MWANAMKE ALIYERUKA MAKACHU UCHI AIBUA OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 98

  • @thamani5842
    @thamani5842 7 часов назад +1

    Jazakallahulkheir Sheikh. Tunashkuru kwa kulisemea hilo.
    Sisi km sisi huku ndo tunaishia kuchukia uko moyoni mana ndo uwezo wetu.
    Tunaomba serikali au tasisi husika wayachukulie hatua haya masuala kwa kutungwa sheria, kanuni na adhabu zake kwa yeyote atakaevunja au kwenda kinyume na utamaduni na maadili ya Kizanzibar.
    Tumechoka, hatupendi kuona watu wazima wanakwenda uchi tu. Hali mbaya huku mitaani.
    Tunakuombeni serikali yetu sikivu ya znz idhibitini hii hali.
    Sisi wananchi wa kawaida kwetu itakua mtihani, mara tutakuja kuambiwa tunavunja haki za binaadamu.
    Tutaishia kuchukia tu lkn hatuwezi kuondoa kwa mikono yetu.

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 21 час назад +11

    Hata mwanamke avae buibui basi haruhusiwi kupiga kachu. Mbele za watu. Na. Muache kutudhalilisha tunovaa nicab znz Leo niqab. Inapigwa vita. Mufti tunakuomba hili. Muliangalie. Wake wa mtume salla llahu Alayhi wasalam. Walikuwa wanavaa nikaab. Tunavaa stars. Mnatuvua

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 19 часов назад +3

      Tangu lini hapo Forodhani wanawake kupiga makachuu au kukoga wakati wa jioni?!! Nafkiri haikuwahi kutokeya kwenye tarehe ya Unguja.. Ukweli imekuwa ni Uhuni mtupu hapo Forodhani. Bahari itakuja kukufunikeni hiyo… Kama yalowakuta wenzenu.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 13 часов назад

      Hijab ni nguo yoyote ya mwanamke ambayo inamstiri mwili wake, sio kujiziba uso gubi gubi lakini sio mbaya kama unaweza kujigubika usoni ila sio lazima.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 13 часов назад

      Unaposemea jambo la dini utupe na ushahidi kwa hadithi ama Quraan. Sura gani na aya ya ngapi ama hadithi gani na imepokelewa wapi na nani. Naona masheikh tumekuwa wengi.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 13 часов назад

      Tupe aya ama hadithi iliyopokelewa kuwa mwanamke haruhusiwi kupiga kachu. Unapompa elmu dini mpe na ushahidi sahihi sio nyie mna sema tu.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 13 часов назад +1

      Kweli usemayo ya uhuni sasa lakini mie ni mtu mzima nina umri zaidi ya miaka sitini tangu utotoni kwangu, ujana wangu from earlier 70s tunaogelea Forodhani ila hatukuwa tunakaa uchii. Kuogelea ni katika sunna kwa waislamu na haijakatazwa mwanamke kuogolea nakusikia weye leo. Muhimu stara. Mnaposema imekatazwa kwa mwanamke tupeni ushahidi wa aya ama hadithi sahihi. Msiropoke tu kwa kuwa nyie hamjui kuogelea.. Suna Muislamu kujua na kuogelea..

  • @HarithAlyhamadi
    @HarithAlyhamadi 19 часов назад +6

    Hawo ofisi ya muft nawawo hawana lolte wanapelekeshwa t hawafuwati nin Allah kasema wanafata nin flan kasema kwao wao hawo bora kauli ya kiyongozi flani wanaweza kuifata na kuifanyiya kaz kuliko kauli ya Allah lait ingelikuwa kila ovu linalo fanyika mnakemeya km iv bx ingeliku zanzibar haipo ivyo ilivyo sas

  • @RehemaAli-kk8bm
    @RehemaAli-kk8bm 9 часов назад +1

    Alhamdulillah .Allah awabainishe kuyaona machafu yote na kuyakemea.

  • @ahmadfauz5878
    @ahmadfauz5878 13 часов назад +2

    Alhamdulilah Inshaa Allah kama hili mmeliona basi Inshaa Allah mtaona uchafu unaofanyika entebe na full moon party kendwa nawasiwasi isije kuwa uchaguzi unakaribia tupo katika kampeni

    • @AslihanKhamis
      @AslihanKhamis 8 часов назад +1

      We unashikilia intebe kuna wanawake wanatembea uchi mitaani na mabarabarani na hawasemi

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 21 час назад +4

    Sera zetu za uchumi zimejenga mazingira rafiki yanayosababisha mambo haya machafu. Usipoziba ufa utajenga ukuta.

  • @HumudSalim-b3l
    @HumudSalim-b3l 19 часов назад +3

    Vingozi WADINI NA SEREKALI SISI WANA KIEMBESAMAKI TUNAKUOMBENI. Taembeleni kisima mbaazi au kwamremi jani znz imeporomoka mpaka aibu makahaba jani wanatembea uchi

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 19 часов назад +2

    Mungu atunusuru. Zanzibar itakuja kuzama hiyo kwa mabalaa yanayo fanywa.

  • @azizali5759
    @azizali5759 11 часов назад +1

    Jamani lazima tuangalie mbali sana. Mimi nilidhani ofisi hii ingependeza kupigwa marufuku kwa shughuli zile pale kwa kuwa lile sasa ni KUNDI LA WAHUNI, limeshafikia mwisho. Wanaume wasuka nywele wapo, wavuta bangi na unga na hata walawiti.
    Maneno peke yake hayatoshi Serikali ichukuwe hatua KUBWA
    WABILLAH TAUFIK

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 6 часов назад +1

    Naona hili jambo limekuwa kubwaaaa wakati kuna zaidi ya hayo na hamsemi

  • @darajanida
    @darajanida 9 часов назад

    zazina imeharibika sana.allah atuongoze mfano ssiv mtaa wakinuni kumeazishwa mchezo wanage wacheza wanaume na wanawake mchanganyiko hii.ni hatar allah atupe mwisho mwema

    • @AslihanKhamis
      @AslihanKhamis 8 часов назад

      Mufti ni nani kwenye nchi hii. Kwani mufti si ashapiga marufuku madufu harusini kwakua hayana maadili yanapwga hayapigwi

    • @MishaHass
      @MishaHass 6 часов назад

      ​@@AslihanKhamisVingi tu havina adabu na hawakatazi Dufu halina hatar yyte

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 13 часов назад +2

    Oyo mnyamwezi ana comment nn humu anakera arudi kwao

    • @sungwizi3390
      @sungwizi3390 13 часов назад

      Wapi kwao? Na wapi kwenu?

  • @musaabkhatib-k1n
    @musaabkhatib-k1n 20 часов назад +5

    Serikali ya Zanzibar mnategemea nini kitokee kumbe, na hilo dogo tarajieni zaidi, mama zetu na dada zetu wanavaa vazi la stara kamili na niqaab, wanalazimizwa wavue, hapo Forodhani hawaruhusiwi kuingia na maeneo chungu nzima, laana ya wenda uchi imejaa mitaani kote, wenda uchi hawasumbuliwi, wazanzibari wanojistiri kikamili ndio wanosumbuliwa.

    • @bilgitamwanjela9830
      @bilgitamwanjela9830 19 часов назад +1

      Yaani mwezi uliopita nilienda Zanzibar kwa mara ya kwanza
      Hapo forodhani nikiwa na Niqab yangu niilifuatwa na askari nikaambiwa nipandishe hawaruhusu niqap pale
      Wallah yaani nilijisikia vibaya kwakweli
      Jambo hili limenifanya nisiipende Zanzibar tena

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 17 часов назад

      ​@@bilgitamwanjela9830innalilahi wainna illahi rajiuon,umagharibi utaharibu Zanzibar

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 17 часов назад

      Subuhanah Allah

    • @safiasuliman5136
      @safiasuliman5136 13 часов назад

      Huu ni msiba mm binafis nilipanda bas la shamba nina nikabu bas nilambiwa hairuhusiw nipandishe juu jmn tunaenda wp😢

    • @safiasuliman5136
      @safiasuliman5136 13 часов назад

      Huu ni msiba mm binafis nilipanda bas la shamba nina nikabu bas nilambiwa hairuhusiw nipandishe juu jmn tunaenda wp😢

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 21 час назад +2

    Kataza mabaya,wala usione maovu ukawa kimyaa,litapofika JANGA halimfiki mmoja.ni kila mtu..ila AKHERA ni yule tu aliyetenda

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 6 часов назад

    Shekh kasema kwa sababu viongozi wengine wamesema tu lakini wangekaa kimya na yeye asingesema chochote

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 21 час назад +1

    MBONA MENGI TU NDUGU YANGU, MASHEIKHE MPO NA YAMEFANYIKA MENGI KABLA RAMADHANI MWAKA JUZI,YALIANZA DAR,MLIMANI CITY HADI KUJA ZANZ..WAZIII KWEUPE MIEZI,HADHARANII😅

  • @rashidmkwinda23
    @rashidmkwinda23 6 часов назад

    Na watalii wanaotembea na vichupi wanaofika Zanzibar pia wapigwe marufuku

  • @ramadhansimba2928
    @ramadhansimba2928 19 часов назад +3

    Watu wanauza uchi na kufiran ..sehem za ech mufti hakemei

    • @saeedamour5483
      @saeedamour5483 10 часов назад

      Kweli unafki mwingi sana

    • @darajanida
      @darajanida 9 часов назад

      yumia hekma katika mazungumzo yako tumia lugha nzur

    • @saeedamour5483
      @saeedamour5483 9 часов назад

      @@darajanida hekma gani kwani sikweli

    • @darajanida
      @darajanida 8 часов назад

      @@saeedamour5483 kwahiyo unasapot ujinha uislam hauja tufundisha kutumia ligha za kihuni hemu angalia vizur hiyo sns alio andika huyo mjinga na wewe usiwe mjinga kama yeye

    • @darajanida
      @darajanida 8 часов назад

      @@saeedamour5483 mimi cja sema kuws sio kwel mim nimekemea lugha alio tumia hemu angalia vizur hiyo sms alio andika uislam hajatufundisha lugha zakihuni kwani angesema watu wanafanya liwatwi asinge eleweka mpaka atumie lugha hizo ila kama unaona nisawa endelea

  • @Mazrui22
    @Mazrui22 21 час назад +2

    Mufti mambo muhimu jamjitokezi

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 15 часов назад

    Mufti Ajiuzulu
    Ana udini
    Sisi wanyamwezi tuko mtambwe
    Munatufukuza

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 2 часа назад

    Jamani jamani jamani tusiwe wanafiki kwa tunayo ya taka tuu jamani hili alilofanya huyu dada siojambo zuri hata kidogo na limetuchukiza wengi ila wapo ambao Wana vaa vibaya zaidi na mpaka kizazicha ki zanzibar kinapotea tembeeni mtayaona

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 6 часов назад

    Kuna mwengn hayupo hata Zanzibar na sio kwao wala haimuhusu lkn hili pia lItamkera

  • @saadaahmada7600
    @saadaahmada7600 3 часа назад

    Haya mambo yakwenda uchi yaoo sehemu nyingi hapa Zanzibar hata Nungwi nako kumrkisiri kwa wanawake wakuja wanaotembea uchi,lakini hakuna hata kiongozi mmoja wa serekali anaekemea hiyo wakati haya yanawezekana kuyazibiti kwasababu serekali ina mkono mrefu ila hizi ni kampeni za watu fulani,pili kuhusu mufti hawapo kwaajili ya dini ila maslahi binafsi Na ndio maana mambo mengi mabaya yanatoke lakini hatusikii ofisi hii ya mufti kuhusika kukemea au kukataza kama hawayasikii au kuyaona,kwa Zanzibar hii bila kubadilisha uongozi wa kidini unaambatana Na serekali basi haya mambo c rahisi kuondoka kwasababu viongozi hawa wanaangalia naslahi yao tu Na cvyenginevyo Na ndio maana watu wanadhulumiwa lakini hatuckii office ya mufti kusema chochote wala kukemea.

  • @AmeKeis-yt9ij
    @AmeKeis-yt9ij 12 часов назад

    Zanzibar msipojielewaaa mtaiangamizaaaa nchiii nahioo ndioo Zanzibar lakin hamuwasikilizii wananchiii

  • @MishaHass
    @MishaHass 6 часов назад

    Kec ni ndogo cha mcngi waambieni wageni wavae nguo za stara nazani wataelewa nao pia ni bnaadamu. Maana hata wao nchi zao wanaeka Sheria zao na nyny mkenda mnazfata. Co kuwakataza watt kuruka makachu kisa chup ya Mgeni wkt wageni wameruhucwa kutembea Uchi🥺

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 15 часов назад +1

    Usiturudishe nyumba
    Dini ni nini
    Zanzibar sio makka
    Mufti ajiuzulu
    Funga utalii
    Kama hutaki wageni

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 10 часов назад +1

      Wee Kafiri nyamaza Zanzibar ni ya Wazanzibari

  • @HassanAbdillah-e6l
    @HassanAbdillah-e6l 2 часа назад

    Kwa kuengezea na hizi nguo za ndani za kina mama zinauzw ovyo na mapambo yao ya ndani hebu likemeeni hakuna heshima zina anikwa mmadukani zamani zilikua zinauzwa siri aibu uchafu fedheha

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 8 часов назад

    Kosa kubwa ni kuwaruhusu watii kuingia zanzibar ,hawa watalii lengo lao ni kueneza maovu ,wakija huku wanazini wanakunywa pombe. Nk,Kwani bila watalii hamtaishi

  • @HumudSalim-b3l
    @HumudSalim-b3l 19 часов назад

    Channing ya alfalfa tunakuombeni me kiembesamaki kwa msikiti kwa abdalla rashidi tukupelekeni kwa mtemi ni album kwa yanayo fanyika

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 11 часов назад

    Kuna na Amani inatangazwa San kutunzwa lkn Haki haifanyi nyinyi kam Office ya Muft Zanzibar mna kauli gan

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Час назад

    Serikali yenyewe inachangia kufanyika kwa machafu znz ikiwemo wanawake kuvaa nguo zisizo na staha, leo znz wanawake wanavaa nguo za kubana na kutembea hadharani na serikali ipo haisemi lolote, kwaiyo serikali inachangia machafu yanayofanyika znz

  • @HassanVuai-zz4ew
    @HassanVuai-zz4ew 12 часов назад

    As ssalaam Aa'laykum.
    Mabaa yaliyojaa kila kichochoro na mitaa, Mjini na Vijijini mmenyamaza kimya. Mmesahau kwamba hiyo taasisi yenu sio ya kulipwa mshahara tu bali mumsaidie na kumshauri Mhe. Rais mambo yote ya dini yetu.
    Tunashangaa mlijitokeza kwa hilo tu, haya ni matokeo ya kimya chenu. Wassalaam

    • @MishaHass
      @MishaHass 6 часов назад

      Wallahi Vooh mm serekali yetu inanishangaza kweliiii yaan hufikiri mpk nacheka kwa hacra na UJINGAAA

  • @ahz6907
    @ahz6907 15 часов назад +1

    Hii ofisi ya mufti inachekesha sana.
    Basi mkataze na watalaii wavaa uchi kuja zanzibar ndio mtaonekana wenye akili timamu.

    • @abdulfatahmussa1999
      @abdulfatahmussa1999 13 часов назад +2

      Hakikaa
      Je hawa wataliiii wanoingia uchi na kutembea mitaani kote wakiwa uchiii munachukua hatua gan naooo

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      Akili timamu, mtalii ni kafiri makazi yake motoni milele, Kuna Mimi na wewe .

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 5 часов назад

    Mnajitia aibu
    Hivi kwenda uchi mumeona leo?
    Mara ngapi riadha zao tena hufunguliwa na Raisi na kuwavusha midani wanatembea uchi,tena wanapita mitaani hamuyaoni hayo?
    Ukizungumzia uislamu basi hata kutawaliwa na ukafiri uislamu hauruhusu kwani ndio chanzo cha kashifa zinazopatikana kwa waislam na uislamu.
    Democracy ni ukafiri zungumzeni mambo kwa upana wake

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 6 часов назад

    Tutabakia kuporoja kwa maneno tu. Hii si mara ya kwanza kwa Zanzibar kuvunjiwa heshima yake na watu wake. Muda sio mrefu uliopita alikuja harmonize na kurekodi video ya miziki na kundi lake la wanawake wakiwa nusu uchi. Nini kilifanyika zaidi ya maneno tu. Inaonekana tumewezwa hata viongozi wetu wa dini hawathubutu wanaishia kusema tu.

  • @abdulfatahmussa1999
    @abdulfatahmussa1999 13 часов назад

    Nying hamukemei wanawake malaya na madisko ya kila sikuu hap Zanzibar
    Kama nyinyi office munaufeel ubaya bas anzeni na malaya na madanguro yoteee. Uislaaam unatutak kuyaondosha yote hayaa

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis 8 часов назад

    Kwahyo ofisi ya mufti hawa wanawake wengine wanaotembea uchi huku mitaani mabarabarani na kwenye madaladala hawa hamuwaoni au ni huyo tu aliyepiga kachu. Hii nchi mumeifikisha mahali sio pazuri kwa kuogopa kwenu wanaandamu kuliko kamuogopa Allah sw

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 56 минут назад

    Si mnasemaga nyinyi mna dini alafu huku bara sisi ni makafiri hapo vpi hapo

  • @abrahmanhmd2557
    @abrahmanhmd2557 10 часов назад

    UWE NI MUENDELEZO MANA KESHO KUTWA MWAKA MPYA TUTAYAONA ZAID YA HAYA

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 11 часов назад

    Mh nasikia kumeibuka utalii wa misikitini sas

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 15 часов назад

    Mufti anachanfanya
    Kati ya imani na serikali
    Zanzibar sio nchi !

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 11 часов назад

      E! kwenda huko we, Zanzibar si nchi basi kachukue kifusi uje ufukie bahari iwe tamabarare toka sinza hadi Forodhani Zanzibar, ukitaka kuja kuuza utupu wako uwe unakuja kwa miguu tu.

  • @Mussasaidi-m2n
    @Mussasaidi-m2n 5 часов назад

    Allah Akibaru
    Simuandikaji sana komenti ilaa kwa hilii mnaandika kwa sababu limenigusa sana zaidi ya sana .
    KWANZA NAOMBA HILI LIWE MWAZO.
    Mengine yaendelee maana yapo mengi

  • @provisionpublicitybase
    @provisionpublicitybase 5 часов назад

    Hawa jamaa ofic ya mufti waovu kweli.
    Yaani wameona uovu wa kukemewa ni kupiga kachu mwanamke akiwa uchi peke yake.
    Hawa viongozi wanaochukuwa riba,wanaohalalisha yaliyoharamishwa na kuharamishwa yaliyohalaliswa hawayaoni

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 11 часов назад

    Huna lolote ww sheikh ss hatutaki ulaani sisi tulitegemea munggepiga marufuku kwa mwanamke yeyote kujirusha forozani na sio kulaani tu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 18 часов назад

    Point kubwa

  • @Jjbfm
    @Jjbfm 9 часов назад

    Nyie Sio Mamufti Ni Munafikoon na Mauti yana Wangoja Mumeona Clip moja tu Zanzibar Wazungu hawazunguki uchi...?
    Madanguro na Mabaa kila sehem mlishawahi kukemea..?

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      Na wewe uliyekaa ukafikiria kufanya biashara hizi . Hukujua kama Kuna Mungu. Tujilaumuni na sisi. Ukiwa kiongozi yeyote ikiwa wadini au wakidunia lazima ubebe lawama. Ukisema wasifanye lawama kiwaacha wafanye lawama. Kwa hivyo tutizame nafsi zetu.

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 15 часов назад

    Kwani Zanzibar ni nchi ya kiislamu ?

    • @alihaji215
      @alihaji215 13 часов назад +1

      Hivyo ndio mnavyotaka zanzibar iwe sio nchi ya kiislam maana asilimia 99% ni waislam ila hamuwezi jutupangia nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu

    • @sungwizi3390
      @sungwizi3390 13 часов назад

      Ulikuwa hujuwi? Pole saaaana

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 11 часов назад

      Unauliza makofi police 😢

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 11 часов назад

      ​@@alihaji215💯

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      ​@@MdNasr-jm8pjBasi haya 😂😂😂😂 na Cheka kama muzuri. Astaghafrullah.

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 12 часов назад

    mwwnyezi mungu ,haiangamizi zanzibar mwingi wa subra ,lana kubwa ya kutisha hayo mahoteli yenu hoteli zote sio za halali , zinaa pombe bangi ,utalii ndip nini ? laaana tupu mashekhe wanakwenda mbio kuoga na kichupi mbele ya watu ,je mwenyezi mungu ,hajui kinavo fanyika ktk fukp za zanziba , maklabu ,?

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      Huyu ndio kiumbe alivyo, hapo Kila mmoja ajifikirie nafsi yake, wewe unaona ni serekali, lakini ikichukua hatua juu yahayo tunaona serekali mbaya. Cha maana nikujikataza sisi wenyewe kufunya biashara kama hizo , Tena ukiwa muislamu.

  • @shaabanmrisho-ko5fg
    @shaabanmrisho-ko5fg Час назад

    Eeh waislamu
    Mfumo wa kidemocrasia maadili yake ndio hayo
    Ndio suluhisho
    Na hayo yote yaliotajwa kama maovu nisehemu ya serekal kwasababu inafuata democracy
    Mfano kampeni za kidemocrasia watu wanasherehekea vipi na Nani mdhamini?
    Matamasha ya kidemocrasia
    Yanafanywa vp
    Pia democracy kunauhuru wa mtu binafsi uhuru wa maoni ....
    Tuisimamisheni KHILAFA

  • @AmeKeis-yt9ij
    @AmeKeis-yt9ij 12 часов назад

    jaman mbona hukoo fukwenii na mabaaaa hali teteee

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 12 часов назад

    hoteli wanazolala hao munaita watalii ,hawafanyi machafu ? hoteli zote zanzibar sio halali sio za kiiskam ,, laana tu ,jambo dogo munalikemea ,, hoyeli zote zinaa tupu

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 9 часов назад

    Wanafok tuu haoo

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 15 часов назад

    Hadisi za mtume hazituhusu Zanzibar
    Ndio maana tukafanya mapinduzi

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 14 часов назад

      Na sisi Wazanzibari Sharia za Kikafiri hazitukhusu Zanzibar.

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      Mapinduzi hayakufanywa watu wamuasi Allah. Wewe kwanza hayakuhusu , utatakiwa na wewe ubadilike

  • @hamadrajab8042
    @hamadrajab8042 16 часов назад +1

    Vp utakemeaa maovu wakati ofisi ya mufti ni jina tu bali ni chombo cha serekali butu inayotawaliwa na tanganyika kupitia mkoloni mweusi ccm?? Mbona unafunga zizi na ng"ombe washatoka???? Tatizo lako ,you are trying to treat the symptoms but what you really neef to do is to eliminate the disease.

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 8 часов назад

      Kila mmoja anamaradhi yake.

  • @abdulfatahmussa1999
    @abdulfatahmussa1999 13 часов назад

    Vp hawa wanawake wa kibara na kizanzibar je wao hawawaibishi milka na tamaduni ya Zanzibar
    Au hizo aya unazozisem special naona munamtungia yule mwanamk aluepiga kachuu tuuu

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 7 часов назад

      Funguka sio kubana ukweli, tuelezee wanawake wa Bara wanafanyaje na wakizanzibar wanao pia.