MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AANIKA YASIYOJULIKANA KUHUSU ZANZIBAR | DEC 23/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 112

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf Месяц назад +13

    Alfatah kazi yenu nzuri mnapaswa kuwa nasi katk kuipeleka Zanzibar yeny mamlka kamili.mungu akuhifadhi Mr Othman Masud Othman our next president inshallah

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 Месяц назад +2

    Hafidhahu llah Othman masoud Othman mungu akuhifazi na akujalie uwe ni Rais wetu 2025 Amiin amiin inshaallah

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb Месяц назад +8

    Zanzibar yenye mamlaka kamili ❤

  • @VillaBoy-fv2zw
    @VillaBoy-fv2zw Месяц назад +7

    Yan mungu akubari omo mung katup mtu sahih mrisi wa malim sef

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 Месяц назад +19

    Mashaallah OMO rais unae subiriwa na wanzanzibar inshaallah 2025 ALLAH akulinde na shar za mazalimu tunakupenda

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo Месяц назад +2

      Allahumma Amin yaa Rabb 🙏🏾

    • @JCMaxima
      @JCMaxima Месяц назад

      Anasubiriwa na nani?! 😅😅😅😅

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi Месяц назад +5

      @@JCMaxima wazanzibari labda uwe mtwana wa bara humsubiri na lazima umchukie

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi Месяц назад

      @@AliAbdullah-oy6yo Aamiin

    • @salimmoha7962
      @salimmoha7962 Месяц назад

      Anasubiriwa na wazanzibar wenye asili ya kizanzibari sio wewe wa kuletwa​@@JCMaxima

  • @dalfatsoud4867
    @dalfatsoud4867 Месяц назад +2

    Ishallah kheri hakuna mwana wa mwana kila mmoja na mamaye, pamoja tunaweza.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Месяц назад +1

    MashaAllah Mh..
    OTHMAN MASOUD OTHMAN... NIMEKUELEWA....

  • @MassoudMaghwaly-jo8sh
    @MassoudMaghwaly-jo8sh Месяц назад +4

    Nice🎉

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b Месяц назад

    Mashallah OMO wewe ni hazina ya Wazanzibar, Allah akuhifadhi Kwa ajili ya Wazanzibari

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m Месяц назад

    Jaman mutakee musitake ukweli ni huwooo

  • @omarkubeli1199
    @omarkubeli1199 Месяц назад

    Alfatah on line TV mimi ningeomba utafute connection umpate RAISI WA ZANZIBAR UJE UMUULIZE MASWALI HAYO HAYO ILI TUBALANCE STORY

  • @vandassobrownizo4770
    @vandassobrownizo4770 Месяц назад

    Allah atufanyia wepesi tutawashindwa mazalimi sikumoja nakubali omo

  • @mohammedmbarouk1129
    @mohammedmbarouk1129 Месяц назад

    Mashallah huyu Mhe omo nikimsikiliz sichoki Mashallah... Kwasabb anqongea point mwanzo mwisho

  • @nassorkhamis-s3p
    @nassorkhamis-s3p Месяц назад

    Maashallah al fatah na OMO ..MSOMI

  • @idirisakhamis-m3i
    @idirisakhamis-m3i Месяц назад +1

    Hongereni Sana tunawafuatilia

  • @AhmedAbdallah-y6q
    @AhmedAbdallah-y6q Месяц назад +2

    Insha ALLAH IKO SIKU ALLAH ATAUFUNJA HUU UZALIM WA MUNGANO WA HUVYO HATUTAK TUMEUCHOKAA JAMANII

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f Месяц назад +1

      Kweli kabisa

    • @kassimmohd
      @kassimmohd Месяц назад

      @@AhmedAbdallah-y6q Walkuepo Wajerumani, Waingereza nawote walikimbia muda utafka Nawao wataondo Inshallah maan historia hujirejea.

  • @NassorOmarDadi
    @NassorOmarDadi Месяц назад +6

    Lugha fasaha na safi yenye kueleweka kwa kila mmoja, tumekuelewa OMO na tunaenda na ww 2025 mtalii hatumtaki nchi kaiuza na anazidi kuimaliza

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf Месяц назад +1

    Munngu akujalie kwa nguvu zote ushinde hii gemu

  • @IshakaIssa-h4w
    @IshakaIssa-h4w Месяц назад

    🎉

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w Месяц назад

    Kiongozi yupo vizuri sanss

  • @JRN2612
    @JRN2612 Месяц назад

    Daah,,, huyu jamaa yupo vizuri sana aisee. Yaani kila field anacheza, maashallah.

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад +1

      Allahumma Aamiin

  • @DiwaniHamisi
    @DiwaniHamisi Месяц назад

    Mhe hiyo ni mpemba mwenzetu kangani

  • @kassimmohd
    @kassimmohd Месяц назад +2

    Hongera sio mwana siasa tu bali ni mwana historia mzur , Inshallah kuazia 2025 Ukairejesh Zanzibar katka it's strength.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry Месяц назад

      Katika it's strength yake
      Naipenda hii😅😢

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h Месяц назад +1

    Wazanzibar hichi kichwa

  • @SAtt-lz1wl
    @SAtt-lz1wl Месяц назад

    ❤❤❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад +2

    Zanzibar ni nchi ambayo inatakiwa kwasasa iwembali kimaendeleo haswa swala la umeme

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Месяц назад

      Kivipi? Kwa sababu kabla 1964 haukuwepo hata msingi.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад

      @@hajihassan5433 zanzibar ni nchi inayounda visiwa viwili vikubwa na ndani ya hivyo visiwa kunapatikana visiwa vidogo vidogo visiwa nibiashara zanzibar inaingiza wageni wengi sasa nchi km hiyo kukiwa na shida ya umeme nitatizo kubwa zanzibar ukichukulia nyuma zanzibar kulikua na treni umeme biashara na utalii pia televisheni na kilimo ila leo zanzibar haiwezi kukidhi chakula Cha wananchi wake nawakati kunamashamba makubwa zanzibar leo inanunua chakula kutoka Tanganyika

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад

      @@hajihassan5433 wakati ule wa mapinduzi ya hapo zanzibar Hilo taifa lilikua na uchumi mkubwa Kwa afrika mashariki na kati na mapinduzi Yale hayakuathiri sana uchumi wa zanzibar kwasababu mipesa ilikuepo katikaserikali ilio ondoshwa madaraka uzuri rais wakwanza wa Zanzibar aliziendeleza Yani leo Zanzibar sionchi yakukosa umeme binafsi nilipokuja zanzibar umeme ulikua nitatizo kubwa Mimi mwenyewe niliona

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад

      @@hajihassan5433heee weye unaijua znz lakin

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад +1

    Ila watanganyika mukifika mbinguni mumechoka 😅😅😅😅

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 28 дней назад

    Ninachokiomba mm kwenu nyinyi wawili ni kuwafatilia masheha hususan wanaoishi kando kando ya mahotel ya kitalii huwa wanaandikisha watanganyika vitambulisho vya mzanzibar bila kujali kwamba sisi pia ni wazanzibar masheha wanaigawa nchi kwa wanyamwezi ili waweze kupiga kura mh omo lifatilie hili na ww mwandishi tena haswa anzia pwani mchangani kuendea matemwe mbeto na wenzake huja kwa kugawa vitambulisho

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi Месяц назад

    Weee matakooo sanaa kaaa kimyaa kichogoooo hayaon nn ss ndo watu wa mwanzo kuekaa taa za barabaran kuliko dubai kenge weww😅😅😅

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 Месяц назад +1

    Mh rais unaesubiri kuapishwa hakika mwanahistoria hasa sio wa kuchovya na ndie utakaeibadilisha Zanzibar hii na sio wageni walofungua milango ya duka na kutunyonya kama walivofanya wakoloni hawana tofauti.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Месяц назад

    Zanzibar hayo maendeleo mpaka leo hawana power station ya umeme. Maendeleo na kiza hapo mashaka kidogo.

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Месяц назад +1

    Ccm,wacheni,ujinga,mnatamanikupiga,tu,falaaa

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Месяц назад

    MUITE NA YULE MVUTA BANGI MBETTTTOO AJE ATOE HISTORIA YA ZANZIBAR🤣🤣🤣

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Месяц назад

    Tatizo kubwa la Zanzibar na Tanzania ni " shared vision" kila mmoja anataka aanze pake. Nashauri vyama viwepo lakini tuwe na sera za kitaifa.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry Месяц назад

      Unaakili weye🎉🎉mauwa yako. Baaaaass umenena

  • @AllyHamran
    @AllyHamran Месяц назад +5

    Kiufupi sie ni koloni la Tanganyika ndo lugha sahihi.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      Hakuna chengine Yani mm nashangaa hadi Karne hizi mtu unamtawala mwenzako Tena Bora wewe unaeneo kubwa😢😢😢

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Месяц назад

      Sisi ni Muungano sio koloni hivi sasa Rais wa Tanzania ni Mzanzibar. Ili jambo liwe la Muungano ni LAZIMA theluthi 2 kila upande ukubali kama tulikubali tunaonewa je?

    • @knight6757
      @knight6757 Месяц назад

      Mkoa labda...

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      @@hajihassan5433 tunajua Ilo kuarais watanzania ni mzanzibar ila je watanganyika wanamtaka uyo mzanzibar aongoze

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u Месяц назад +1

    Hatukosi tukijaliwa

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 Месяц назад

    waandishi ,hamuuwaulizi wazazibar wametokea wapi ? asiliyao marekani historia wanaeleza wapi wapi watu wametoka

  • @masoudalbimani6084
    @masoudalbimani6084 Месяц назад

    mashudu ndio nini?

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 Месяц назад

      Jambo la kustaajabisha utekelezaji wke usiowezekana

  • @SaidSaid-xt1qe
    @SaidSaid-xt1qe Месяц назад +1

    Bonge moja la interview,OMO ni almasi,Mh andika kitabu kabisa madini yako tunayahitaji

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 Месяц назад

    Mwinyi arudi kwao, si mzawa wa zanzibar 😂

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Месяц назад +1

      Jamani hivi ni visiwa kila mmoja ana asili ya alipotoka. Iwe kweli mwenye asili ya India, Uarabuni nk awe Mzanzibar kuliko aliyetokea ndani ya Africa?

    • @kassimmohd
      @kassimmohd Месяц назад

      @@hajihassan5433 Kasome kitabu kinaitwa KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU, Utapta jibulako , Ww ulitakiwa uishi miaka ya 60 Uhai wa Nyerere ndugu maana wezako walipandkizwa Huo ujinga na Nyerere miaka hiyo kumbe bado mupo

    • @kassimmohd
      @kassimmohd Месяц назад

      @@hajihassan5433 Mzanzibar atabaki kua mzanzibari tu , Ametofautiana na Mtanganyika Tamaduni Hadi muonekano , Nmtusi kumwambia Mzanzibar Anasili Ya kimasai, au kisukuma

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud Месяц назад

      Nisawa ila vinautaratibu wake katiba na Sheria kama zilivyo nchi nyengine zote za visiwa sio shamba la bibi​@@hajihassan5433

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq Месяц назад

      ishu amezaliwa visiwani

  • @MeinyiFaki
    @MeinyiFaki Месяц назад

    Makurunge

  • @IflahIssa
    @IflahIssa Месяц назад +1

    MUH . O M O ANAONGEA VIZURI SANA UNAJUWA KILA SIKU UKIMFATILIA AKIONGEA NDIO UTAMUELEWA HUWA HATA AKIREJEA MANENO HAONGEZI NENO YANI MUNGU TU ATUPE WAZANZIBAR TULICHOKIOMBA KWA MDA MREFU .......TUMECHOKA KUNYANYASWA HAPO BANDARINI TUNAFANYWA KAMA WANYAMA

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman6720 Месяц назад

    Huyu na asubiri tu bakora kama haoni ataona vizuri

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t Месяц назад +2

      Iyo bakora utaanzwa kupigwa wewe kwanza na aliyetuumba .

    • @abdulatifismail4747
      @abdulatifismail4747 Месяц назад +2

      Umetumwa sio ?

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 Месяц назад +1

      ​@@MahmoudDouch-o6tAamin Rabbil aalamiin

    • @ibrahimmaneno8486
      @ibrahimmaneno8486 Месяц назад +3

      Inshallah❤ Zanzibar mpwa Zanzibar moja Mamlaka kamili

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      Bakora rabda apigwe baba Ako alikua hanakitu huyu hanawasi na maisha wewe ulikua huna ajira sasa kutwa mwapigwa na jua uko matawini halafu wafaidika wachache😂😂😂😂😂

  • @bongo39
    @bongo39 Месяц назад

    Hivi wewe yote yanayofanywa na mwinyi hauyaoni baada ya kushirikiana wazanzibari mutengeneze zanzibar yenu nyie mnaanza fitna unafiki

    • @abdulatifismail4747
      @abdulatifismail4747 Месяц назад

      Fitna gani shuhulikia mambo ya kwenu tanganyika Sisi sio malimbukeni wa kujenga majumba na barabara kinachotakiwa zanzibar itoke kwenye ukoloni wa ccm ili nchi iendeshwe Kwa haki na kujitawala sio kutawaliwa nyamaza kimnya kama huna unachokijua

    • @BinMohammed112
      @BinMohammed112 Месяц назад +6

      Uyo mwinyi mchukueni uko kwenu akufanyieni nyie sisi tunataka mamlaka ya ZANZIBAR tu ukoloni wenu pelekeni uko

    • @HashimMohd-xs6ii
      @HashimMohd-xs6ii Месяц назад

      Yap

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +2

      Sisi hatuna haja nahayo tunataka taifa letu na Mana hata hayo majengo karume aliyajenga 😂😂😂 majengo kwetu sio fakhari kubwa km nyinyi mukitoka vijijini mukija mjini munayashangaaa

    • @kassimmohd
      @kassimmohd Месяц назад +6

      Kafnya nini Kwa mzanzibar kama skuleta watalii ili Wabongo Mpate ajira, Maana tumekuachien nyny Mahotelin kazi Ya laki 7 mnafnya lak 1😢

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w Месяц назад

    Kiongozi yupo vizuri sanss