BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 894

  • @soniahassan6769
    @soniahassan6769 26 дней назад +12

    Hakuna sheikh kama Othman maalim hanaga mda wa majibizano ya mtandaoni mpole mtaratibu anajua anachokihututubia Mimi binafsi mawaidha yake yamekua yenye ibra kwangu na amenijenga kiimani zaid ya nilivokua japo hajui ila Allah atamlipa ujira wake na Allah aendelee kumtunza Kwan ni kipenzi Cha kila mtu❤❤❤❤❤

  • @alimussahimidi8185
    @alimussahimidi8185 27 дней назад +7

    Muhammad bachu nakuomb jifunze hekma ili upate elimu allah akufanyie wepesi uache kibri inshaallah

  • @AbdiBanda-p9z
    @AbdiBanda-p9z Месяц назад +13

    Mashaallah shekhe othuman maalim hakika mungu akikunge na fitina za dunia

  • @MijichoAmina
    @MijichoAmina 27 дней назад +8

    Allah akupe subra sheikh wetu othman maalim fanya kazi ya Allah

  • @samiraismaily1421
    @samiraismaily1421 Месяц назад +18

    Sheikh Othman Maalim Allah akuhfadh na kila shar yarrab😊

  • @allymakoa7875
    @allymakoa7875 22 дня назад +5

    Allah atuhifadhi na Elim za ria. ALLAH atujaalie tuelewe makusudio ya Elim. Sheikh Othman Maalim Allah Akuhifadh na Akujaalie Moyo wa Subira Mlipaji ni Allah.

    • @Akramamkaku
      @Akramamkaku  22 дня назад

      @@allymakoa7875 aamiin yaa rabbi

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 6 дней назад +2

    Wapi mafans wa Sheikh wetu kipenzi Othman Maalim ,twampenda kwa ajili ya Allah ,anatufunza twaelewa pia wengi kusilm kupitia mawaidha yake❤❤❤❤

  • @khamishussein7036
    @khamishussein7036 12 дней назад +4

    Nampenda sheikh Othman maalim kwa ajili ya Allah.

  • @19ddr
    @19ddr 27 дней назад +7

    Tunakupenda sheikh Othman maalim❤️♥️❣️, dogo bachu kasome tena

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 6 дней назад +1

    WEWE BACHU NI MFITINISHAJI NA KUGONGANISHA WATU SUBIRI MALIPO YAKO HAPA HAPA DUNIANI ALLAH S.W ATAKUAIBISHA INSHA ALLAH

  • @mudimaalim217
    @mudimaalim217 9 дней назад +1

    Mashaallah. Sheikh Othman Maalim utabaki ktk mioyo yetu waislam kutokana na busara zko za kufikisha ujumbe wa Allah. Ila sheikh Muhammad Bachu hutakiwi kuonesha dharau kwa waislam wenzako ambao nao pia wanafanya kazi ya kumtangaaza Allah huwezi kumuita mwenzako "sheikh wa maulid" hiyo ni dharau na Allah hawapendi wenye kujiona bora na kujifakharisha. Sheikh Othman Maalim ni sheikh wa waislam na anamchango mkubwa ktk jamii ya kiislam.

  • @abdullatiframadhani5059
    @abdullatiframadhani5059 Месяц назад +17

    Wallahi angekuwepo Swahaba Omar bin alkhattab hawa masheikh wetu wa mitandao wangekuwa wanapigwa bakora, kuna masheikh wa leo kazi yao kutafuta makosa au kuteleza kwa wenzao na kuwatolea makosa yao ni msiba mkubwa kwa umma

    • @ramatwaha9690
      @ramatwaha9690 Месяц назад +2

      Huu ni mpango wa mayahudi kututengenezea vikundi vikundi tubishane muda wote wakati wenzetu wanaendelea kututawala Kila nyanja.tutaamka lini kutoka usingizini???

    • @watichogutu4162
      @watichogutu4162 Месяц назад

      Kwanza Bachu Anafaa Avunjwe Vunjwe Kabisa

    • @AbrahamaniAlly
      @AbrahamaniAlly Месяц назад

      AVUNJWE KIELIMU AU AVUNJWE VUNJWE KIVIPI YAANI

    • @LinconLopez
      @LinconLopez Месяц назад

      Sasa mnapenda tuwe kama zamani imamu huku anaagua huku anaswalisha acheni hayo Mambo kwenye haki acheni izungumzwe dini cyo ya sheikh flani dini ni ya Allah na masheikh ni binaadamu wakati mwengine ubinaadamu unawazidi wanateleza hivyo ni vyema kukumbushwa ila tu iwe Kwa stahaa sio kuvunjiana heshima lakini usiseme Kwamba eti huu ni mpango wa mayahudi hamna hawahucki kabisaa na hili mczbe nakosea Kwa watu Kwa kuwacngizia mayahudi

    • @Allybinamour
      @Allybinamour Месяц назад

      sio kuwapiga bakora, angewaulia mbali,katka upuuzi ambao umeigawanya jamii ya kiislam basi ni hili.
      msiba nzito kwa waislam

  • @MuhozaRahma
    @MuhozaRahma Месяц назад +13

    Sheikh othman maalim mungu azidi kukubaliki kuna mengi nimejifunza kutoka kwako

  • @umhanadi6828
    @umhanadi6828 24 дня назад +2

    Mwezimungu amjalie sheikh wetu othman yarab mwezimungu atakuzidshia elmu zaid na ziidi inshaallah alhamdulillah

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 Месяц назад +6

    Shekhe Othman maalimu Allah akuepushe na husuda za watu🙏🙏🙏

  • @sabahikhamisabdulla4361
    @sabahikhamisabdulla4361 5 дней назад

    Allah (s w) akulinde kijana wetu ustadh Bachu kwa kuweka bayana haya mambo. Hii sio ria ni elimu tosha kwa anaetaka

  • @NassorSaidi-i8i
    @NassorSaidi-i8i Месяц назад +10

    Maashallah kumbe unafaa kuwa mwanafunzi wa shekh Othman Maalim

    • @MsJhshsh
      @MsJhshsh 22 дня назад

      Majina yenu yanafanan ndo maan unasapoti ujinga

    • @MsJhshsh
      @MsJhshsh 18 дней назад

      I'm sorry sikuelewa vizur nikajikuta nimekurupuka samahan san

  • @ingabireviviane6859
    @ingabireviviane6859 Месяц назад +6

    Sheick Othman maalim Allah akuhifadhi akukinge na fitna za ao watu wabaya Allahuma Amiiin

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 27 дней назад +3

    Tunakuombea Dua shehe othumani maalim na fitina za wanaviumbe ss waumini tupo pamoja na wewe wasikusimbue hao hata ukati wa mtume walikuepo assalamualaikum wabilahi tofqi

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 13 дней назад +2

    Aalah akuongoze shehe wetu shehe othmzn maalim kwa hekma .upole na elimu unayotupatia ss wananchi

  • @isaack100
    @isaack100 Месяц назад +10

    Yah Rabb Angamiza kila sheikh anayegawanya waislam.

    • @abfullmajied6092
      @abfullmajied6092 Месяц назад

      Aamin

    • @abassking8296
      @abassking8296 26 дней назад +2

      Usiombee wenzio waangamuzwe mtume katuombea ww Nani sema Allah awajaalie wapatane au washikamane kwenye dini

    • @kassimsango2117
      @kassimsango2117 23 дня назад

      wanaongamiz waislam n watu w bidaa n ndo watu wenu

    • @isaack100
      @isaack100 22 дня назад

      @kassimsango2117 lakini bida mkipenda haiitwi bida tawhid tatu sheikh wenu asema wazi wanachuoni ndo wamegawanya.lakini tukisema Maulid ni wanachuoni wame fanya ijtihad yao haikubaliki

    • @AbdulmajiidAhmedHussein
      @AbdulmajiidAhmedHussein 15 дней назад

      ​@@isaack100mwanachuoni gani aliefanya maulid

  • @multirefrigerationali9608
    @multirefrigerationali9608 8 дней назад

    Mohd bachu punguza maneno makali unatakiwa kutumia hekma kwa wakubwa zako, sheh othman sheh kidawa na wewe mpo katika aqda moja

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 Месяц назад +4

    Ulivyopanga vitabu sasa hapo😀😀😀
    Wewe uwende kwa Othuman Maalimu usome yule si level yako Wallahi Naapa.....

    • @hamedmohamed5189
      @hamedmohamed5189 25 дней назад

      Huyo bachu ni mpuuzi ssna anajiona hiyo dini kasoma peke ake anajiona km ndio kishakuwa nabii punda huyo kila mtu anataka amvae.

    • @AbdulmajiidAhmedHussein
      @AbdulmajiidAhmedHussein 15 дней назад

      Huwezi kumuhukumu mtu elimu yake, anayoyasema wewe umeyaelewa? Unayajua undani na ufasaha wake?

    • @sabahikhamisabdulla4361
      @sabahikhamisabdulla4361 5 дней назад

      Tatizo lenu mnakuja na jazba na wala hamjui nini kinaendelea.
      Sasa hii clip ina mzozo gani Kati ya Sheikh Bachu na Sheikh Othman?

    • @AbdulaziziYussuf
      @AbdulaziziYussuf 3 дня назад

      Muambie mpuuz uy

    • @AbdulaziziYussuf
      @AbdulaziziYussuf 3 дня назад

      Msenge uyu jmaaa kuma kweli ananitukania shee wng uy km nmpta uy msng uy

  • @zainabmohamed-ce2rr
    @zainabmohamed-ce2rr Месяц назад +8

    Nampenda shekhe maalim kwa ajili ya AALLah

  • @mojakatundu
    @mojakatundu Месяц назад +8

    Mohammad Bachu Mimi nakukubali sana, unajitahidi katika dini, ila unaniudhi tabia ya kuradfi raddi mashekh,

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 Месяц назад +2

      Sasa ndugu yangu kama watu wataachwa katika makosa kama haya wakapindisha jamii unadhani tofauti ya Uislam na Ukristo nini sasa kila mtu aachwe Kweli haiwezekani lazima kuwekwa sawa

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb Месяц назад

      Mnao mshabikia bachu vichwa viko hovyo kama yeye

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb Месяц назад

      Yaan uwahabi nimzigo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад +1

      ​@@AlhajiMswaki-de3kbusufi ni mzigo wa mabi tena ww umekaa kwenye itikadi ya waabudia makaburi

    • @SalmaMalikiMsikiti
      @SalmaMalikiMsikiti Месяц назад

      Huwa mwenye ilmu hajigambi Muhammad bachu mpumbavu amekosa hekima

  • @Marjeby
    @Marjeby Месяц назад +18

    Aiseee wallah Sheikh Nassor Bachu ametuachia balaa kubwa sana na fitna kweli kweli watoto kama hawa mungu atuepushe nao

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +1

      Maneno kama haya si mageni!hata Mtume na Maswahaba waliambiwa baada ya kuwaletea somo hili la Tauhidi ambalo lilikuwa ni geni kwao Kwa vile walikwisha Zama ktk shirki,bidaa na itikadi zao za kimila

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +1

      Na ufahamu kwamba Sheikh Nasour ajaleta jipya!Bali amenukuu ktk vitabu na hao walioandika wamewanukuu waliomsikia na kumuona Mtume(saw)nadhani tatizo letu ni uvivu wa kusoma tuu!

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Месяц назад +1

      Hata mtume saw aliambiwa alileta fitina. Tatizo lenu masufi hamtaki kuelewa.

    • @SuleimanYakubu-im4jc
      @SuleimanYakubu-im4jc Месяц назад +2

      Nahilo balaa lazima liwafikie watu wa bidaaa mpaka mnyooke ALLAH awaongoe

    • @samxx411
      @samxx411 Месяц назад

      @@AliSalim-yu4mo mtume hakuwa jeuri kama huyu usimlinganishe

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 Месяц назад +2

    يُؤْتِى ٱلْحِكْمَةَ مَن يَشَآءُ ۚ وَمَن يُؤْتَ ٱلْحِكْمَةَ فَقَدْ أُوتِىَ خَيْرًا كَثِيرًا ۗ وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّآ أُو۟لُوا ٱلْأَلْبَٰبِ

  • @EshaHajiloh
    @EshaHajiloh Месяц назад +1

    Quran moja, uelewa tofauti. Naamini kuna mmoja kati ya mashekhe yupo sahihi, ketini chini muelimishane bila kujifakharisha, ili mkitoa fatwa iwe moja ... Quran ni pana wacha kujiona umeielewa saana kuliko mashekhe wengine.... Mungu atuwezeshe inshalla

  • @patimazaid1801
    @patimazaid1801 Месяц назад +3

    Huyu mbishani tu, baba yake alikua Masha Allah Allha amrehem ,shekhe jifunze kuwa na hekma kwanza

    • @hassankalulu4677
      @hassankalulu4677 Месяц назад

      Hekma mtu hajifunzi, Allah kasema anampa amtakaye..kwa hyo kuwa na hekma sio ujanja wa mtu Bali ni zawadi inayotoka kwa Mola wetu, maana atakayepewa hekma Allah kasema kampa kheri nyingi mnooo

  • @sharifaals6427
    @sharifaals6427 Месяц назад +2

    Shekh othman maalim tunakupenda na tuko pamoja na wewe kwa ajilili ya Allah

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa 4 дня назад

    Namkubali Sheikh Mselem akisema Mtu unakuta hana uhamika wa ibada zake kazi Ria tu na kututukania Masheikh zetu

  • @MbwanaNjou
    @MbwanaNjou Месяц назад +1

    Vizuri Shekhe Othmani Ame elimisha Nawe umeweka munakasha yaani umetusambazia ukweli na ndio hiyo Allaah Awajaalie note Nasi pia Aamin

  • @omaryiddi7454
    @omaryiddi7454 10 дней назад

    Baba yako alikuwa mwanawazuoni mkubwa MWENYEZI MUNGU AMREHEMU kwa hakika amekula hasara mzee wetu kutokana nawe, ALLAH auzibe mdomo wako,Amina,

  • @ZaZa-ck9sf
    @ZaZa-ck9sf 22 дня назад +1

    Tena aludi darasan na mungu akupe hekima na heshima maalim athumani allaah ampe moyo wa subra katika kipindi

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba Месяц назад +3

    SHKH MUHAMMAD ALLAH AKUHIFADHI NIKOPAMOJA NA WW KWAJILI YA ALLAH.

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 Месяц назад +18

    Othman maalim ni shekh mkubwa usimseme kikawaida jitahdi kumpa heshima yake naamini hata ww umekuwa inspired na yeye kwa namna moja au nyengne

  • @HamissFaki
    @HamissFaki Месяц назад +41

    Jigambe tu ww ila ujue Othman maalim sio levo yako amekuacha mbaaaaliiii sanaaaa ujue hivyo tu tafuta levo yako

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад +2

      Ana Levo gani huyo othman malimu? Wakati kasoma kisauni pale kenya, aliishia thanawi tyuu sasa unasemaje we khurafi, unamuhami khurafi mwenzio

    • @zainabmohamed-ce2rr
      @zainabmohamed-ce2rr Месяц назад +1

      Levo yke amjua said

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @zainabmohamed-ce2rr yule mpiga muziki na vinanda utamlinganisha na muhammadi bachu hamna kitu pale, bidaa zimejaa kichwani so ilmu mtupu yule, mwenzie anaenda na hoja ya vitabu na dalili za wanazuoni na swahaba yeye anatuletea mambo ya kutetea pilau na vitumbua vya maulidini watu wa bidaa hata wakisoma ni kama hamna kitu sabu ilmu yake haisaidii kitu, unajiita msomi huku unatetea bidaa unusuru sunnah za mtume tutakuona msomi, ww unafanya mambo yalozuliwa na mababu utuambie umesoma bado utakuwa jahli, ni sawa na mkristo hata akinadi amesoma ilmu yake ahimsaidii kitu kutukana na dini yake potovu ndo sawa na huku mtu wa bidaah hata akisoma bado tutaendelea kumuona jahli

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 Месяц назад +1

      ​@@AbdulIssa-o7ealichosoma othman Maalim ukiambiwa ww usimame unaweza kusoma angalau mistari miwili ?

    • @IssaJuma-jj6jx
      @IssaJuma-jj6jx Месяц назад +4

      huyu bachu bado mdogo sana kwa sheikh othmn maaalimu huyu abishane na watoto

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu Месяц назад +5

    🎉haingii peponi mfitinishaji

  • @teammayuro7267
    @teammayuro7267 13 дней назад +1

    Wengi wanadhani sheikh bachu anampinga ila sio ivo ..anamuunga mkono kwa kuuijuwa tawhid tofauti na hao wengine

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys Месяц назад +5

    Mashekhe acheni mambo yasiyo na maadili shekhe Othman maalim ni shekhe wetu wa zamani Acha kutugombanisha

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Kubali hakki ata ikitoka kwa adui yako mashekh, mtakwenda kuwalaumu hawo, siku ya kiama ww umebweteka ujishughulishi kutafuta hakki umerizika ndugu, moto wa Allah mkubwa angalia nafsi yako, dada waislamu wengi wataangamizwa kutojuwa dini yao

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Kubali hakki ata ikitoka kwa adui yako mashekh, mtakwenda kuwalaumu hawo, siku ya kiama ww umebweteka ujishughulishi kutafuta hakki umerizika ndugu, moto wa Allah mkubwa angalia nafsi yako, dada waislamu wengi wataangamizwa kutojuwa dini yao

  • @kassimsango2117
    @kassimsango2117 23 дня назад +2

    Bachu wallah uko n kazi ngumu maana unadili na mashabiki wa uislam wala si sio watu wanaohitaj kujua haki mana kila kitu kipo wazi peupe wallah ila hawaelew cjui shda zao n nn ila usichoke zidi na kuwafungua akili inshallah

  • @AllymohamedKwao
    @AllymohamedKwao 26 дней назад +1

    Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatuh nashukuru kuwa miongoni ambao tumepata nafasi wakusikiliza mjadala huu wengi wetu tunamkosoa ostadh kwakuonekana kana kwamba anamdhihaki shekh othmaan maalim ila sioni kama kuna sehemu alomkosia shekh wetu ila kwa upande wangu naina ostadh ameenda mbali kwa kauli zake zinaonekana kwamba anadharau watu kwakuona hawananelimu kwamba yeye ni zaidi yahawo kiukweli ostadh hapo amekisea kwasababu dini haifundishi njia hiyo katika kufundishana kwamba unawasema watu kuwa hawana walijualo na kuwatukana kwakuwaita wajinga app ostadh bhana umeenda mbali sana kwenye hili ujirwkebishe

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 6 дней назад

    MWALIMU BORA NAMWENYE HEKIMA NABUSARA NI YULE ANAYEWAHESHIMU WAKUBWA ZAKE WEWE M.BACHU ALLAH S.W HAKUKUJAALIA HEKIMA BALII ULICHONACHO NI MDOMO MCHAFU NAKUWAKOSEA HESHIMA WAKUBWA ZAKO. KWA SHEIKH OTHMAN MAALIM BADO WEWE NI MCHANGA SANA HUJAMFIKIA KABISA NDUGU YANGU WACHA KUJIDANGANYA NAFSI YAKO

  • @AbdulswamadHashim
    @AbdulswamadHashim 9 дней назад

    Sheikh Othmani maalim yuko sahihi bachu kamkubali Othmani maalim kwahili

  • @AhmedMohamed-so7db
    @AhmedMohamed-so7db Месяц назад +1

    Allah akulinde shekh othumani na akupe subra na u 13:00 nayo subra allah akupe mwisho mwema

  • @NyawahamisiNyale
    @NyawahamisiNyale 26 дней назад

    Allah akurehemu akuongoze uwafahamishe wasiojua tawhid

  • @salimmohamed5559
    @salimmohamed5559 День назад +1

    AHLU SUNNA NA JAMAA MFUNDISHE MKEO WAZANZIBAR WANAKUJUA WEWE NI MNAFIQ

  • @BestZain-jc2wk
    @BestZain-jc2wk Месяц назад +4

    ان لله لا يحب من كان محتال فخورا
    Sheikh mohd bachuu hii ay inakugusa san jitasmin halfu utona matukio unayoyafnya

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw Месяц назад +2

    Allah atusalim salama, pametengenezwa ligi ndani ya UISLAMU

  • @allyhemed6380
    @allyhemed6380 Месяц назад +3

    Shakhe badilisha maneno magumu kwa walio kuzid umri na waisilamu wenzio vyachwa vya mashekh vinaukunhu imeniuma sana

    • @mlolikamonja6492
      @mlolikamonja6492 Месяц назад

      Huyu mtu hata kiarabu hajui anakuwaje Sheigh?

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Месяц назад

      ​@@mlolikamonja6492je unaweza kufanya nae nikash tujue kuwa ww wajua lugha zaid?😂

  • @abdallamohdhiyonineematush408
    @abdallamohdhiyonineematush408 Месяц назад +8

    Ndugu yangu unashindana kama mpira somesha. Usidonoe done sisihatukuelewi

    • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
      @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch Месяц назад

      Mpuuuzi tu ndio elimu yke hiyo alosomeshwa

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Месяц назад

      Sio sisi sema wewe ndio umuelewi

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@fatmafatu1128 sio yeye peke yake tupo wengi muhammad bachu ana bwabwaja tu

    • @AbbasFadhiliAbdallah
      @AbbasFadhiliAbdallah 24 дня назад

      Ili uelewe vzr acha mapenzi ya kumpenda sheiikh fulani, sikiliza kwa faida ya nafsi yako km unaupenda ukweli wa Allah. Mapenzi acha pembeni, jua ukweli kwanza

  • @Mafundiplus
    @Mafundiplus 20 дней назад

    As salaam alaikum.Mimi mtupu,naomba kujibiwa swali hili:Kusifiana hadharani na kukosona hadharani ipi Ina manufaa kwa jamii yetu kiujumla? Ila Mimi naomba niseme kwa niaba yangu na watupu wenzangu kama mimi: watupu weengu tuna tabia ya kuto Tenga muda wakusoma,kwa hiyo tuna jikuta tunaendeshwa na mihemko ya mazingira.Tukipata taarifa nyingi positive juu ya organization fulan tunajikuta tuna kua wafuasi humo. Na katika sisi watupu tulio bahatka kua na mapenzi ya dini yetu.Tuna penda kuona matokeo chanya yatokanayo na usomi wenu nyinyi wasomi wetu.Mimi mtupu Nina waomba mlio bahatka kusoma: mtuwekee hadharani strength ya dini yetu .Huwenda tukapata positive Ahsante sana.

  • @samxx411
    @samxx411 Месяц назад +5

    Sheikh Othman Maalim naamini hana muda wa kujibizana na watu, yeye ukitaka soma kwake hutaki yaache.

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Месяц назад +2

    Wallah watu wengi hawapendi kujua haki isipokuwa wanapenda ushabiki tu mimi nilikuwa mbakwata mzuri sana na nilikuwa nikiwapinga sana answari lakini nilkuwa nikimuomba allah anionyeshe haki lakini wallah allah alinipeleka ktk uanswari bila kutarajia na tulivofika tu ktk madrasa ya kianswari cha kwanza kufundishwaa tauhdi zote kwa sababu mwalimu alijua kabisa kule tulipotoka tulikuwa hatufundishi. Ndugu ,zangu h msiwe wavivu kusikiliza

    • @RICHMOSLOGISTICSLIMITED
      @RICHMOSLOGISTICSLIMITED Месяц назад +1

      wew jamaa akil zako sio timamu ansal ndy nn/ unajua maana yake au unaongea tu na bakwata unajua maana yake

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 Месяц назад

      Ushakua answari na yule muislamu tu wakaida anajua kusali kusoma Qur an na mengine yote Kipi kimebadilka Ndugu yangu Zaidi ya kujibandikia dhehebu ambalo ata hujui umo tu

    • @khatibbakar9572
      @khatibbakar9572 Месяц назад

      Kaka shida sio kufundisha Tawhiid,tatizo hii mijadala.
      Mijadala inaleta farka n chuki baina y Waislamu.
      Hio Tawhiid mim nimefundishwa n kuchmbuliw zaid kuliko yey n Mwalimu wng ambae sio salafi wal answari sunna lkni anaijuw Tawhiid so yey afundishe n asiweke mijadala n kuwafuata Mashekhe n Vitabu n kufany mijada hii inaonesha yey bado ni mchanga sna ki Elimu.
      Watu weny Elimu kkumbushan kwao ni kupelekeaana Elimu (Vitabu) n sio kumsema Mwanazuoni kwny hazara z watu n kuleta mijadala haya ni maafa kwnye Dini kaka.
      Tuombeni kheri lkni hili jmbo sio zuri.
      Naomba unisamehe kka kw kuingia in box ila tatiz sio anacho kizungumz tatizo ni hizo njia anazopita sizo,ahsnte...,

  • @mrazizi2890
    @mrazizi2890 Месяц назад +7

    Kuna watu hawana dini maporini huko , hizi nguvu zinazotumika kuonekana sheikh flani kakosea cjui tawhid zipo 3, hata zingekuwa 1000 haina shida , kuna watu hata hiyo maana ya tawhid hawajui#
    Tafuteni sifa, umaarufu, wafuasi, mashabiki lkn Allah anayaona yaliyo ktk vifua vyenu

  • @ChimzaBakari-xy4jr
    @ChimzaBakari-xy4jr Месяц назад

    Allah Azidi Kukuweka Nakukulinda Sheikh Othman Maalim Wangu

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 23 дня назад +1

    Kwakweli mimi namkubali saana Sheikh Othman Maalim. Huyu Bachu mimi ht cmjui kwajweli.

  • @camronbadhru-dr2du
    @camronbadhru-dr2du 6 дней назад +1

    Huyu kijana bachu ana kibri Sana Na ilimu yake ndugu yangu Dini tunaipeleka kimakosa ikiwa tutashindana namna iyo

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Месяц назад +8

    Bachu bilashaka umetumwa kuharibu uislam. Unashindwa kuwaelimisha Wasiomjua Allah na Mtume wake Muhamad S.W ili wamjue na wawe waislam badala yake unahaika na anaesema Laaila haillallah Muhamad Rasulullah Kama wewe!! Innalillahi wainnailaihi rajiun. Kwahiyo wewe unataka watu wanaokuamini wewe wawe Nani na wasiomuamini na wasiomuamini huyo unayempinga wawe Nani? Usimchonganishe Sheikh Othman na Mashekhe wenzake. Wewe una ria ktk dini. Waingize watu ktk uislam sio kubishana na Masheikh

    • @samxx411
      @samxx411 Месяц назад

      umesema kweli waislamu tunatakiwa kuwa makini na huyu

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi Месяц назад

      @@wazirisaid8326 Riya ya kizanzibari asili aachi aasiyake ndivo walivo hao shekhe othmsni Kaja hp Zanzibar miakamingi hawakuwepo mashehe wenye elim yeye ndo anajiona kasomasana anakeeraaa huyo bachu aasipo jirekebisha tutauona mwisho wake wakuuondoka dunia NaRi zaake hana adabu nawatu wakubwa nimtihan wa Allah

  • @Rehema-b6d
    @Rehema-b6d Месяц назад +4

    Wewe mwache shekh wetu Othaman Maalimu

    • @SadickMussa-g6h
      @SadickMussa-g6h Месяц назад +1

      Hata kama anakosea aachwe tu

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 Месяц назад +1

      Wenu na nani?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Tusifanye ushabiki ktk dini!hakuna mkamilifu kila mwanadamu ni mkoseaji,mm nionavyo ni nanna Tu ya kukosoa tukosoe Kwa kuheshimiana na iwe ni Kwa ajili ya Allah

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Sheikh Othman hajafanywa kitu!isipokuwa amerejea matamko yake KT somo alilofundisha na kuthibitisha alichokisema Sheikh Othmani na mara yake ni sahihi,na kafanya hivyo ili wale wanaompinga yy Kwa Hilo ndilo analolisema pia Sheikh Othman ili wale wanaomfuata wajuwe Hilo ni sahihi

    • @sassboy9360
      @sassboy9360 Месяц назад

      @@AliSalim-yu4mo Kaonesha dharua juu yake licha kutumia maneno yake kuwaaminisha watu othman maalim ni sheikh mkubwa na amefanya makubwa anapendwa hadi na watu wa dini nyengne kwa hekma na namna ya uzungumzaji wake anajishusha ndo mana anainuliwa

  • @Bosezizunae
    @Bosezizunae Месяц назад +7

    wacha na shekh Athman maalim ..humfiki hata thuluth

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 Месяц назад +1

      Kipimo gani wengine mnatumiaga?
      Ili tutumie n sisi

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Месяц назад +1

      Othman maalim Hana jipya Zaid ya visa vya uwongoo

  • @AllyAbdallah-tn5xb
    @AllyAbdallah-tn5xb Месяц назад +8

    Huyu ni mtata ,haelimishi jamii anazua migogoro. Namkubali sana baba yake lakn huyu hajanishawishi bado.

    • @KombHaji-dr5pd
      @KombHaji-dr5pd Месяц назад

      jam wasem nimwan harm

    • @McT-m1m
      @McT-m1m Месяц назад

      Subhana llah​@@KombHaji-dr5pd

    • @McT-m1m
      @McT-m1m Месяц назад

      ​@@KombHaji-dr5pdmuogope allah na pia acheni ushabiki mcheni allsh ukweli wakumcha

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Месяц назад

      Atakushawishi vp na yeye ni Mpinga Bidaa na ww hupendi hivyo?

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад +5

    Mim bachu namkubali sana na vile vile sheikh wangu kipenzi othman nampenda sana pia na wote nawaombea dua na mimi naamini kua sh bachu anampenda sh othman na sh othman anampenda bachu

    • @IddiAmeMcha
      @IddiAmeMcha 16 дней назад

      Sh. Bachu hajamkosea heshima Sh. Othman maalim tuskilize vyema video ila Sh. Bachu alitoa ufafanuzi wa aina za tawheed kama alivozielezea Sh. Othman maalin

  • @wardasaid8833
    @wardasaid8833 22 дня назад +1

    Al kamalu lillahi❤❤❤❤ ...mkamilifu ni Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi jini na binadamu na vilivyomo ardhi na samai.......

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 28 дней назад

    Shekh Muhammad punguza kibri Allah akupe elimu na azidi kukupa elimu ila unapenda sifa punguza

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide Месяц назад +6

    Binafsi mimi bacho nakukubali na nimekuelewa vizur sana ❤zamani mashekhe wetu walikua kitu kimoja na guvu kazi yao ilikuwa moja,ila hao hao wazamani tuliokua tukiwaamin nakuwafuata,sasa hivi tupo ktk hali ngumu sana sabbu binadamu sio mungu wala malaika tunatabia yakubadilika badilika,sio dini kubadilika mashekhe ndio wamebadilika, wengine washirikina wamajin, wengine upako,wengine sifa kwa watu kujionesha,wengine kupinga kitu bila kuwa na elim sahihi,nawengine kukubali mambo wakat anajua hii sio haki,ewe Allah tufanyie wepesi ktk dunia yako na akhera yako,amin❤❤❤

    • @SaidChiddy-l6j
      @SaidChiddy-l6j Месяц назад +2

      Kwani kuna ulazima gani wa kukejeli mawaidha ya ma sheikh anapata faida gani yeye anatakiwa atoe mawaidha bila ya kutaja mtu somesha bila ya kumkejeli mtu somesha tuuu usilinganishe wallah niabu sana somesha anaetaka kujua atajua asotaka huwezi kumlazimisha

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 Месяц назад +1

      Soma dini yako vzuri asitokee mtu akakupelekesha

    • @RaimamomedSaide
      @RaimamomedSaide Месяц назад

      @@SaidChiddy-l6j hakutaja mtu,kamueka osman malim mawaidha yake kuyafafanua alivosema tauhid,baadae sasaiv amekuwa mwanachama wa maulid wakat yy alisomesha watu tauhid,km ilikuwa hamjamuelewa bacho,na kumtaja mtu sasaiv nilazima maana ni mambo yamitandaoni kwahio inakwenda vile vile kimitandao tandao,mbona huko nyuma hakuwah kumtaja mtu,spelekeshwi nafuatilia vizur,maana hakuna mmoja mwenye kujuwana hapo.

    • @amanifundi7505
      @amanifundi7505 Месяц назад

      HUU NDO UTARATIBU WA KIELIMU

    • @mauwasaid3050
      @mauwasaid3050 Месяц назад

      Hii tabia ya kuvunjiana heshima viongozi weru wa dini.
      Tangu zamani khitilafu zilikuwepo na walizitatua kwa busara na hekima bila kudharauliana!
      Tufunzeni kwa hekima na heshima ili na ss tunojifunza kutoka kwenu tufaidike na elimu zenu

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад +1

    Namuomba ALLAH awajaalie pepo maana wote wanajitahidi kama mimi nitapewa nafasi ya kuchagua watu waende peponi basi kwanza nitawachagua masheikh wote kwanza

  • @zuhurarashid9158
    @zuhurarashid9158 Месяц назад +2

    Nasaha zangu wako wanazuoni walioigawa tauheed sehemu 3 na wako walioacha kugawa wote wana dalili lakini tusidharauliane kutokana na misimamo yetu na kulazimisha misimamo yetu kwani misimamo yote ina dalili sh othman tunamkubali na sh Bacho pia anatoa kwenye vitabu kwa hiyo ni ni Jambo la Allah tusiitane majina ya dharau, tutumie hekina HESHIMA na BUSARA Allah atuongoze Amiin

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      hakuna dalili ya kugawa tauhid

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +1

      Lkn hata Sheikh Othman ktk maelezo yake ameigawa sehemu tatu mbona!tafadhali isikilize hii clip Kwa makini ssna

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 25 дней назад +1

    Sjui nini umesema sijaskiliza lakini sikukubali namkubali sh na maalim wangu Almarhum Nassor Bachu Allah amsane makosa yake

  • @SimaiHaji-fn6oz
    @SimaiHaji-fn6oz 4 дня назад +1

    Waislam tuwema makini na zama hizi za mashehe pesa wata tuvuruga

  • @malishainvestment-i2i
    @malishainvestment-i2i Месяц назад +9

    *DUA YA KUOMBA MUONGOZO*
    ALLAHUMMA RABBA JIBIRILA WA MI KAILA WA ISRAFILA
    ANTA TAHKUM BAINA IBADIKA FI MA KANNU FII YAKHITALIFUN
    IHHIDIN FI MA KHITALIFA FII BI IDHINIKA BIL HAQ
    FA INNAKA TAHDII MAN TA SHAU ILLA SIRATUL LMUSTAKIM
    Ewe Mola wetu
    Mola wa Jibril na Mikail na Israfil
    Wewe ndio una hukumu baina ya waja wako kwa wale wanayokhitlafiana
    Niongoze katika njia ukhitalifi hizi katika kweli
    Kwa hakina (wewe) unamuongoza umtakaye katika njia iliyonyooka

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi Месяц назад

      Shukrani san kwa dua hawa ma shekhe wa Sasa hiv wana tak kutupoteza mazimaaaaa

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi Месяц назад

      Shekhe bachu nilikua na kukubalisan lknsada hiv skiliyamg unanambia we mijadala yak ni kukosoa kila shekhe ata wajuuku wa bwana mtume hawalukosoa Pale yule mzee alikua hajui kitia udhu walitumia hrkma she mkubwa othman huwezi kumuweka mitandaoni mbona hana maneno na mtuu?

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb Месяц назад

      Bachu wanaokushabikia wapo hovyo kama we mwenyewe

    • @IsmailiMasule
      @IsmailiMasule Месяц назад

      Basu siuache mijadala au hakiliyako nimbovu mim nimtu wa Sunna lakn uo unaofanya ndo uzwazwa walakujanao mijitu ya daamaj ambayo nimakhawarij kwajina la salafiy acha uzwazwa

  • @shehahamadi8035
    @shehahamadi8035 Месяц назад

    Inakera sana kuweka hii clip ya Sheikh Othman Maalim katika mazingira yako ya mizozo

  • @YahyaShabani-tl2sr
    @YahyaShabani-tl2sr 20 дней назад

    Semeni daawa ya Allaahu msiseme yeni

  • @MohamediAwadhi
    @MohamediAwadhi 29 дней назад +2

    Huyu jamaaa ni mzushi yey

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule Месяц назад +5

    Sheikh Othuman Maalimu ana baya kwetu...stop kutugombanisha na Kipenzi chetu

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq Месяц назад

      Wewe wakili haule hamna ugombanishi hapa kama ww ni muislamu nadhani umeelewa kama sio muislamu usitoe maneno ya ugombanishi kea waislam

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v Месяц назад +1

    Daaaaaahhh jamanii wakristoo hawana dini hawana mtume hawana nabii hawana pepo
    Ilaaa hawakosoanii kizembeee kama masheikh wetuuu
    Daaaaaahhh ni msibaaa tuuuu

    • @BjleonardBhianda
      @BjleonardBhianda Месяц назад +1

      Wakristo hawana pepoo?!..kuna msomi mmoja mwanazuoni aliyekuwa muislamu kasoma chuo cha Mtume huko Arabuni..Adam Haji msomali anasema wakristo hawana dini inayoelewaka lakini wamekamata chanye nguvu yaani Yesu Kristo...ukristo ulikuwapo miaka mia 5 kabla ya Uislam...Leo vipi uje uirekebishe wewe wa juzi...mambo mengi mmekopi kwa Wayahudi na Wakristo.. Mmeyabadili maandiko mkaweka ya kwenu kama majini...mnashirikiana na majini mtakwenda mbingu ya nani,mmepotea ndugu ndani ya giza tororo YOHANA 14:6...Adam Haji Msomali na hafidhi Qur'an kamfuata Yesu kaokoka..na wapo wengine wengi wanazuoni wa kiislamu wameona ukweli wameokoka na wameona njia ya mbinguni yaani Yesu Kristo MATHAYO 7:13 .wameona Kiongozi wa uislamu Muhamad hajui njia wala yeye hajui atafanywaje..Yesu anasema "Mimi njia kweli na uzima" maneno mengine anasema Mimi ni nuru ya ulimwengu Yeye Aniaminiye mimi na kunifuata hatakwenda gizani kamwe...Giza ni kushirikiana na majini..huwezi kunywea kikombe cha Mungu hapo hapo unanywea kikombe cha majini..Ndugu njoo kwa Yesu kusudi akupeleke mbinguni SOMA SURA YOTE YOHANA 14...Yesu Kristo anajua anachokifanya yu hai..Muhammad mambo mengi kajichanganya hana tumaini..vipi wafuasi wake watakuwa na tumaini la kweli..habadan..Injili hii nimetumwa Yesu nikuambia wewe uko ulipo sipo umepotea na mbinguni hutafika..Narudia tena njoo kwa Yesu...ukikataa hipo siku atakutokea Msikitini..Neno la Mungu lenye nguvu linakutafuta wewe.

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz Месяц назад +1

    Bachu ana kibri dah

  • @FatahFatah-x4u
    @FatahFatah-x4u Месяц назад

    Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatu

  • @FatoumiaMango
    @FatoumiaMango 11 дней назад

    Hamja mpuguza

  • @HamisiMganga-p2y
    @HamisiMganga-p2y 16 дней назад

    Nidhamu nimuhimu sana

  • @Filleduvillage9999
    @Filleduvillage9999 Месяц назад

    اللهم نستغفرك ونتوب اليك
    لا تأخذنا ان نسينا او أخطأنا

  • @MselemAbdallah-q8r
    @MselemAbdallah-q8r Месяц назад

    Sheikh Muhammad bachu unaendeleaje msellem apa hongera kiongoz

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 27 дней назад

    Huyu bachu kweli Ana laana wallah

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary Месяц назад +4

    Huna kauli nzuri za hekma na adabu za kielim wewe bachu

    • @JaylanAbdallah
      @JaylanAbdallah Месяц назад

      Acha ujinga wewe hata mkileta ujinga

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад +1

      ​@@JaylanAbdallah ujinga uko wapi apo au kusema ukwel ndo ujinga kiufupi muhammad bachu hana nidham

  • @HemediAlly-i4z
    @HemediAlly-i4z Месяц назад +2

    huna elimu yakumzungumzia othumani maalim

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui Месяц назад +1

    Umma mmoja, dini moja, Mungu mmoja

  • @salmaanfaqiih
    @salmaanfaqiih Месяц назад +2

    Hicho kiti kina upupu au

  • @japharyjuma5660
    @japharyjuma5660 Месяц назад

    Msiba mzito. Allah atunusuru. Hakuna elimu inatolewa kwa lugha na mhemko wa namna hii

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Месяц назад +3

    Shukran sheikh Moh'd BACHU

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo Месяц назад

    WEWEEE BACHOOO ULIAMBIWA NA SOLOKA USISEME Alhamduuuu

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb Месяц назад +2

    Ndugu yangu katafute Shekh usome kwanza.wewe bado sana katika upande Elimu

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Месяц назад

      Hamutaki kusoma tauhidi mnanenepeana kyenye ushirikina

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Месяц назад

      Asiyeju tauhidi na kuifanyi kazi basi hana kwake yeye muabudiwa wa kweli ...

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Месяц назад

      Basi ilikuw umsomeshe ww at unojua snaa elimu

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@issaabdallah1205 tuhid zipi au utatu wa ukiristo

  • @zainabmohamed-ce2rr
    @zainabmohamed-ce2rr Месяц назад +3

    Bacho Wacha ubabe somesha tujue tusio jua

    • @BurahaKessi
      @BurahaKessi Месяц назад

      Daaah bacho Hana adabu ebu aje TANGA

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Месяц назад

      ​@@BurahaKessiaje mara ngapi?

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 Месяц назад +2

    Huyu ni mjinga sana yeye yuko ktk ubishani

  • @AbdulKarimAmeirmwita-m2m
    @AbdulKarimAmeirmwita-m2m 19 дней назад +1

    Ingelipendeza San mashekh mkaungana mkapinga masula ya zinaa , shirki na ushogo

  • @yunusahazi2668
    @yunusahazi2668 Месяц назад +3

    Mwalimu wangu muhammadd bachu respect sana nakukubali

  • @omarmbwilo2380
    @omarmbwilo2380 Месяц назад +1

    Aaah uyo shekhe kidawa ulivowaganda khaa uislam ndio wakuumbuana ivi sijapenda

  • @idrisahamadi2059
    @idrisahamadi2059 Месяц назад +3

    Sheikhe achana na kibrii ni kibaya Wacha kujiona mbora zaidi ni mbaya sana Ewe Allah tupe mwisho mwema

  • @Filleduvillage9999
    @Filleduvillage9999 Месяц назад +5

    ALLAH amrehem Shekh wetu Shekh Nasser Bachu.
    Alikuwa ana تواضع
    Alikuwa Shekh mwema.
    ALLAH awe radhi nae.
    Tumesoma mengi kwake.
    *Shekh Othman Maalim,*
    Tumesoma mengi sana kwake na bado tunaendelea kusoma kwake.
    ALLAH amlinde, amzidishie siha na afya na awe radhi nae.
    Nae pia ana تواضع
    amejishusha chini kabisa, na ndivyo anavyo taka Mola wetu ALLAH Muumba.

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela Месяц назад

      @@Filleduvillage9999 kwahyo.bacho nae shekh huyo nimuzandiq

    • @abumuhammad721
      @abumuhammad721 Месяц назад

      MASHA ALLAH TAbarakALLAH

    • @Dan-g2v
      @Dan-g2v Месяц назад

      Wew bacho Huna elimu tulia kbs shèikh othman maalim sio levol yko

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela Месяц назад

      @@Dan-g2v huyo hamuingii Othman maalim hata kwa nusu ya kidole et anajifanya anamatabu mengi kumbe hakuna kitu mwenzio Othman maalim kanywa Kila kitu wew Kila kitu kitabu

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq Месяц назад

      ​@@Dan-g2vshekh hakumsema vibaya shekh wetu othman maallem ila kathibitisha walichokifanya katika munaqasha wao kama hicho hakiko kwake tu bali hata mashekh wengine wanaamini hivyo

  • @binbakrii751
    @binbakrii751 Месяц назад +1

    Othmani maalim hana mda wa kujibizana yeye ni mwalimu anadarsisha

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Месяц назад

      Huwa anasomesha KITABU gani kwenye darsa yake.

  • @BjleonardBhianda
    @BjleonardBhianda Месяц назад +2

    Wanabishana wao kwa wao, dharau kiburi, daa huyu kijana Bachu kweli anashida!!...nilidhani ni Wakristo tu wenye malumbano wao kwa wao.fujo kila upande kumbe! mwanadamu ni mwanadamu na Mungu ni Mungu ndiye mjuzi wa yote.