BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 907

  • @bakarisahede9532
    @bakarisahede9532 4 месяца назад +13

    Maashallah Dadaangu Allah akutangulie ktk maisha yako inshaallah usivunjwe moyo na wajinga toa elimu kadrri uwezavyo kabla Allah hajachukua roho yako naona unakitu chakuiachia jamii yakiislamu kabla ya mauti yako Allah akulinde nahusda Dada yangu kipenzi

    • @MwinsheikhSamata
      @MwinsheikhSamata 4 месяца назад

      ALLAHUMMA AAAMIIN

    • @Tamthilia264
      @Tamthilia264 4 месяца назад

      Huyo sheikh samir ni mjinga kutia udhu ni sunna Mtume hajasema asheherekewe siku ya jambo la udhu ni sunna kila wakati hizo ni shubuhati za watu wa bidaa

    • @Official_ulipo_tupo
      @Official_ulipo_tupo 3 месяца назад

      Kumbe huyu dada nae hafai sasa wee ukisema sheikh mohammed bachu kakosa adabu kwa sheikh samir na wewe unaemwita sheikh bachu tarumbeta la mawahabi una adabu 😂😂😂😂 لقد صدق من قال تأدبوا ثم تعلموا

    • @TRIPLE.3Rs
      @TRIPLE.3Rs 3 месяца назад

      Wewe mama mpuuzi sana kondooo jistirii utulie.

    • @Bakarmaziwa
      @Bakarmaziwa 3 месяца назад

      Sio wenyeakili bali wenye elimu ndio walio fahamu dada toa dozi had wakuelewe kwini huyo bachu yeye hatoi mada bali n mwenye kupinga mashehe wajuzi wa elimu

  • @swamymiraji3987
    @swamymiraji3987 4 месяца назад +27

    Acheni kupotosha SHEIKH SAMIR TUMEMUELEWA NA SHEIKH BACHU PIA TUMEMUELEWA. mwanamke sauti yako ni nzuri sanaaa iweke kwaajili ya mumeo huko chumbani.

    • @AthumaniBakari-o6r
      @AthumaniBakari-o6r 4 месяца назад +5

      DADA WATUMIKA VIBAYA DINI HAITAKI HIVYO ULIVYO FANYA

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 4 месяца назад +1

      Hey tuliya a aibishwe huyo bachu weenu. Haki ni ya woote hakuna cha mwanamke au kiume. Tume pokea hadisi ngapi kutoka kwa Aisha? Kwahio tuliya huyu mara akojooe mara manakwe amjiibu. Hiyo ni fedheha kutoka kwa Mungu. Atafakari.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      @@AthumaniBakari-o6r inataka nini 😂😂

    • @Akhysayid
      @Akhysayid 3 месяца назад +1

      ww unasem km anapotosh hebu rudi kwa allah umuombe msamaha

    • @mubariekabrahams2650
      @mubariekabrahams2650 3 месяца назад +1

      Tumekuelewa dada lakini jiheshimu walimu wapo na wanafundisha vizuri tuu kama hujaelewa huu si ugomvi hili ni somo.
      Tulia kwako umuangalie huyo mume mwenzio.
      Mungu yupo acha choko choko usije ukapazwa.
      Na jina ni:
      Sheikh Nassor Bachu. Allah amaze mahala pema 🤲................
      TENA.

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 4 месяца назад +4

    Shida ni kuwa sheikh awe wao tu, asiyekuwa wao huyo wamkosee adabu. Na wanamradi. Ahsante dada. Ufahamu pia ni rizki.

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 4 месяца назад +7

    Dada yangu hayamambo hauyawezi achana nayo na waache wanaume wafanye hivyo ww nenda kumuhudumie muumeo acha kueka sauti yako hadharani kwan pia inachangia Iblis maana sauti yako MASHAALLAH

    • @swamymiraji3987
      @swamymiraji3987 4 месяца назад

      Ana sauti nzuri sanaa , hajui sauti yake ni ni utupu kutusikilizisha

    • @ABBASDOLOLO
      @ABBASDOLOLO 3 месяца назад

      Nana Aisha alikuwa akifundisha nyakati za maswahaba, je alikuwa hatumii sauti? Ama sauti yake ulikuwa mbovu?

    • @IbnuumarAlubeidy
      @IbnuumarAlubeidy 11 дней назад

      ​@@ABBASDOLOLOni ilmu ama mizozo

  • @ahmadshaame1332
    @ahmadshaame1332 4 месяца назад +5

    Dah yaani kwa mtazamo wangu mdogo inaonesha kwamba huyu Sheikh Mohammad Bachu yeye anajua kila kitu yaani mambo yote anayajua katika dini kila Sheikh au Mwalimu akiongea katika jambo katika dini basi lazima amradi.
    Ila naomba Sheikh Muhammad naomba ufahamu kuwa hakuna anaejua kila kitu na binadamu aote Wallah Billah Tallah hatuwezi kuwa na ufahamu mmoja akili sawa. Dah masheikh kuweni makini katika daawah zenu. Allah akubarikini kwa daawah zenu.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 4 месяца назад +5

      Yeye anapoona sehemu haijakawa sawa anaweka sawa nae akikosea anawekwa sawa na mara kadhaa anaseme na yeye ni mwanaadamu kwahiyo makosa yapo. Na mara kadhaa ameshaomba radhi pindi anapoona anakosea

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад +1

      MAWAHABI kazi Mnayo.

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 4 месяца назад

      Inamana yeye anaelimu kubwa kuliko masheghe wote huyujamaa anamihemko sana yadini hekma hana adabu hana kanatafuta umaarufu kupitia dini ngoja apambambane nahuyo mtoto mwenzie

    • @PrinceSindayigaya
      @PrinceSindayigaya 4 месяца назад

      Yani allah atunusuru kwa kweli dada acha kutenguwa watu udhu iyo sawuti yako ina tamanisha na kama una muamini allah tafadhali usirudi kujitangaza

    • @mabwege
      @mabwege 14 дней назад

      Wewe mwanake kaa nyumbani hii si KAZI yako ila hata huna la kuambia watu na ufahamu wako ni batil kabisa Shukran saana ustadh Bachu umefahamika vizuri saana

  • @RumeisarajabMkungoma
    @RumeisarajabMkungoma 3 месяца назад +2

    Ewe dada yangu mche Mungu acha kumsema vibaya Sheikh Mohammad bachu mche Mungu...elmu yako ni finyu sana mdada...ivyo bc soma na pia utoke kwenye upotevu na kutetea mambo ya maulidhi...maana maulidhi ni bidaa

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 3 месяца назад

      Muhammad bachoo ni sawa na padiri tu sio muislam kwa sababu yeye ni wahabi na mawahabi sio waislamu

    • @AishahMuigu
      @AishahMuigu 3 месяца назад

      Kweli💯

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 3 месяца назад

      @@RumeisarajabMkungoma ... Muhammad bachoo hata adabu Hana kwa iyo Wacha asemwe vibaya vyenginovo na aende kwa wakristo wenzake huko atuachie uislam wetu yenye sio muislam

    • @RumeisarajabMkungoma
      @RumeisarajabMkungoma 3 месяца назад

      @@chinammasai9967 hivi kaka yangu umejiona kweli ulicho ongea mche Mungu wacheni wawatuhumu wanazuoni tuwapeni eshma zao

    • @mohamedbadru8005
      @mohamedbadru8005 3 месяца назад

      Mbona huyo dada anaelimu kubwa kuliko huyo Bachu mwenyewe?

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 4 месяца назад +8

    Dada Ana Hoja Tena Nzito, (IMAMU NNAWAWIY R.A) Hakua Swahaba kabisa, Suala ni kua Mawahabi tupeni hio Hadith, Kwa Alicho Kifanya Imamu Malik, Kutia Udhu Kabla hajasoma Hadith Ya Mtume (S.A.W) Mbona Dada yetu ana Hoja. !!!

    • @SAIDIYABUSHINGEDJUMA
      @SAIDIYABUSHINGEDJUMA 4 месяца назад

      Wewe labda hujasoma unaunga mkono mwanamke kupaza sauti yake mbele ya jamii

    • @ibbu-tz
      @ibbu-tz 4 месяца назад

      Hajasema anaunga mkono kupaza sauti usigeuza maneno. KASEMA ALICHOKISEMA KINA HOJA, HIVYO MAWAHABI WAJIBU HOJA.

    • @MwinsheikhSamata
      @MwinsheikhSamata 4 месяца назад

      Naam huyu mwana dada yupo sahihi kabisa sana
      Ila tatzo lilokuwepo panawatu hushika yale wasemayo masheikh zao hatakama ni makosa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      @@SAIDIYABUSHINGEDJUMA wewe ndo hujasoma

    • @AishahMuigu
      @AishahMuigu 3 месяца назад

      @@ibbu-tzhakina hoja,,, mimi swali langu nauliza… mtume amesema tuchukue elimu wapi??? Na imam maalik ni nani??? Ukielewa hili swali utajua hakusema haki chochote… na ufahamu wake ni mchache

  • @chemicalalli9291
    @chemicalalli9291 3 месяца назад +1

    Namuomba Ustaadhi Bachu ampuuzie huyu ukhty na Allaah amuongoze hakika amepotea waziwazi

    • @mosesmngome1357
      @mosesmngome1357 3 месяца назад

      Wapumbavu mpo wengi kapotea bachu wewe unamwona mtu mwingine shida kweli

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 4 месяца назад +6

    Shekh bachu huyu ummu Aisha inaonekana anakutaka mm Nakushauri muoee tu. Anataka kuolewa na ww huyuuu SI Bure hii halafu inaonekana atakuwa mzuri pengine..

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Picha yake ipo apo juu mwanzo

    • @nassor6333
      @nassor6333 4 месяца назад

      Aowe Sufi !!! Bora Aowe mnaswara kuliko sufi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Bora uoe sufi ndugu yangu kuliko mnaswara kwa 7bu sufi ni muislam ndugu zangu vipenzi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Mimi nimeoa sufi ila mbona kabadilika

    • @nassor6333
      @nassor6333 4 месяца назад

      @@OmarSalum-y9c Bora mnaswara kuliko sufi ,

  • @abdulkarimsalum356
    @abdulkarimsalum356 3 месяца назад +2

    Hongera kazi nzuri mwanzo mzuri

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa 4 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂 DAH UYO DADA ANAMASHAKA SAAN TENA ANACHEKESHA SAAN DAH

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n 3 месяца назад +1

    Bachu upo sawa, una ongea vitu Kwa dalili ila wewe dada nakuonea huruma sana! Pole sana Allah akuongoze wewe na waliokutuma insha Allah

  • @AbdallahHussein-v2l
    @AbdallahHussein-v2l 3 месяца назад +3

    Leo mungu amuonesha bachu kua ww sasa unafaa kujibizana na wanawake, mashaallah mungu akupe majaza mema ewe hurul ayn mjibu vizuri huyo tarumbeta

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe 4 месяца назад +6

    Huyu mdada kaja kujiuza umu mtandaoni au mana simuwelewi mm anachokisema yy anamladi shekh bachu au anawasikilizisha watu sauti yake na kutoa michambo

    • @NaziruNkongogo-z4z
      @NaziruNkongogo-z4z 3 месяца назад +1

      Acheni kumsema dada vibaya ikiwa mnamuamini Allah subhaanahu wataala anawaelewesha vizuri mbona

    • @ZakariaBoy-fv3kh
      @ZakariaBoy-fv3kh 3 месяца назад

      Haraaam sauti yake apeleke bwanake, ni haraam mwanamke kurusha sauti yake mtandaoni, hatuhitaji ma dai wakike. Analeta uyahudi

    • @MohamedSwaleh-d2m
      @MohamedSwaleh-d2m 3 месяца назад

      Tiwa aya kuwa niharamu mwanamke kurusha sauti mtandaoni​@@ZakariaBoy-fv3kh

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 3 месяца назад +1

      Kwa iyo alichokiongea uyo dada kwa hakipo kwa mtazamo wako?

    • @KhatibuKilumba
      @KhatibuKilumba 3 месяца назад

      Yatumie maskio yako vizur wewe Wacha kupindisha unapenda mpaka Unakua kipofu

  • @fakihkhsaid9353
    @fakihkhsaid9353 4 месяца назад +8

    Wewe Dada nenda kampige raddi muumeo dayuthi ataikosa harufu ya pepo kwa kisauti chako naona ujinga umekuzidi hujui hata waongea nini Samiri kakaa kimya ati aja Dada (fitna) Allah akuongoze wakujibu hoja miongoni mwa masufi wapo hatukueliwiii.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      KUJIBU HOJA HAJIBU
      ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA!
      Jibu HOJA ZA DADA YETU? acha kulalamika

    • @abdulkarimsalum356
      @abdulkarimsalum356 3 месяца назад +1

      iyo maana yake bachu hajafkria levle y kujibzana na shekh samir kapewa demu tu amgaragze nd lavle zake hahahahahha

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 4 месяца назад +3

    Assalam aleikum
    Kindly Nauliza kwa upole tu huyu ummi Aisha ana mume au ameolewa kama bado InshaAllah uku kwetu kwa sunna bado tuna nafasi ya kumsitiri na mambo kama haya InshaAllah.

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 4 месяца назад +8

    Assalaamu alaykum warahmatu llaah,
    ndugu zangu waislaam tupunguze matus dini yatu nidini ya ustaarabu
    huyu dada yetu anatumika vibaya
    kwanza dini sio biashara wanawake hutumika katika biashara kwaupande wa matangazo nikivutio kimoja wapo, lakini sheria hairuhusu
    kudhihirishwa sauti ya mwana mke
    mbele ya wanaume kosakubwa
    dada yetu anatakiwa alete istghfaari kwa mola wake kwa kosa hilo
    napi napenda kumkumbusha kua
    neno dhikri ni utajo wa Allaah kwa hiyo ndani ya salaamu kuna utajo wa Allaah asitofautishe dhikri na salamu
    kwa sababu mtume kama ange itikiya nilazima angemtaja Allaah. Ndio akasema mm nachukia kumtaja Allaah nikiwa sina UDHU,
    Na usimuite mtu tarumbeta la wahabi kwanza unamkosea Allaah
    Allaah amemuumna kiumbe wake na akajisifu we unamfananisha na tarumbeta dini inatutaka tuitane majina mazuri ww unawaita watu majina mabaya katika suuratl ahzaab Allaah anasema waiteni kwa majina ya baba zao ikiwa hamuyajui
    nindugu zenu kaatika dini kwahiyo huyo nindugu yako katika dini
    je na ww uki itwa tarumbeta la makhurafi itakua umeonewa? fahamu yakua kila unacho kisema na unacho kifanya kina dhibitiwa kwa kuandikwa na siku ya qiyama utakwenda kukikuta tahadhari sana
    na ulimi wako usije ukaja kujuta
    sasa hivi una watu watakusapot ujinga lakini adhabu uta adhibiwa
    pekeyako wala hito waona hao.

    • @darajanida
      @darajanida 4 месяца назад

      wailaikum salam tumekuelewa nduguyangu ila maneno hayo wambiye mawhabi kwasababu ndo walio.anza kutukana mashekh zetu nakuhusu sauti ya mwanamke mbele zaunaume unakusidia wanawake wa kisufi tu au unakusudiya wanawake wote

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 4 месяца назад

      ​@@darajanidamnamkandamiza motoni uyo dada haifai, akamtii mumewe awe na haya sio ivi anakua kama hayawani

    • @SirmaSirma-p8p
      @SirmaSirma-p8p 4 месяца назад

      Kwa hyo MTU anapoikosea dini ya mwenzingu mwanamke hapasw kukemea na kama ataongealea chumban ss tuliokua hatuna uelewa tutajua WAP?

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 4 месяца назад

      @@SirmaSirma-p8p we mwehu unajua sheria ya Allah kwa mwanamke kwenye uislam au unaropokwa, we unaona yupo sawa uyo dada acheni kuwaita watu motoni kwa ujinga

    • @azamomar9920
      @azamomar9920 4 месяца назад

      @@SirmaSirma-p8pKasome ndugu yangu, kusoma dini yako ni lazima kwa muislaam sidhani kama Allah utakuja kumjibu hukuwa na elim ndo maana ibada nyengine hukufanya kwa usahihi. Unakosaje uwelewa kwenye dini ya Allah lakini uwelewa wamambo mengine unao?

  • @fakijecha
    @fakijecha 4 месяца назад +2

    Mtume aliyasema haya itafika wakati watu watajifaharisha na kujiona na elimu kupotea leo kubishana kutana majina yasio faa ndo tumekuwa wa mbele cha ajabu waislam kwa waislmu ndo wanagombna uwislmu umekuja kuleta kitu kimmoja leo watu wanaishi kwa matabaka km timu za mpira tutafika kwa Allah na tutaulizwa tuliupigania au tuliugawa uwislamu Allah atupe hatima njema inshaallah

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 4 месяца назад +3

    Mwanamke unadhihirisha sauti yako kabisa halfu unajibizana na mwanamke unaleta Shubha dada yetu katika Iman halfu watu wanachekea hilo swala allah atuongoze 🙌🙌

    • @abuunuaymiaffasiyassalafiy1089
      @abuunuaymiaffasiyassalafiy1089 4 месяца назад

      Uyuu. Bintii kwanzaa kaolewaa. Kama kaolewaa mumewe. Bas. Ata kua. Dayuth. Ana tulegezea saut tu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      @@Bombwejr18 Dada amekosea, Ila kinachotakiwa hapo ni hadith.

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 4 месяца назад +1

      @@IsmailSanga anachofanya sio katika taratibu zilizoachwa na mtume pia hawana dalili ya wazi ya kutetea maulidi bali wanachofanya ni kumu attack mtu binafsi hapo ndo wanapoleta mtihani katika dini ila yote kwa yote Allah atuongoze na atupe mwisho mwema

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 4 месяца назад +1

      @@abuunuaymiaffasiyassalafiy1089 kama kaolewa huo ni mtihani mkubwa na lazima atakuwa kaolewa na mtu wa maulidi mwanamke anaeijua sunnah vizuri hawezi kuja kubishana na wanaume mitandaoni

    • @gizabombo8166
      @gizabombo8166 4 месяца назад

      Abu nuaayimi,hayo maneno ni sadaqat kabisa hakuna mushikila.

  • @Aminakajanja
    @Aminakajanja 3 месяца назад

    Shekhe Bacho huyu ni Hindu wa zama hizi bar Hindu wa zama za mtume alibadilika sijui huyu Hindu wa maulidi atabadilika lini Allah amoongoze bakllah hii imondokee huyu , kiumbe dhaifu , ameshindwa kulea familia najumhendi mume wake , wewe dada huna aibu kwanza nakujua harahayaya huna Allah akusiri dah subhanallah .

  • @abouwaraqa6408
    @abouwaraqa6408 3 месяца назад +3

    Ukhty Maa Shaa Allah kwa ufafanuzi mzuri na naona nikweli kabisa bachu una ufahamu finyu katika dini na Wewe Ukhtiyetu ndie unae mfaa kumfafanulia

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 месяца назад

      Ummy Aisha,mwanamke jisitiri,maulidi si Ibada,usiitie bei sauti yako,mtume kawatabiria moto wanaotengeneza ibada mpya.

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani 10 дней назад

    Wa Allahu mustaan,,, mwanamke anapata wapi nguvu ya kuongea hapa

  • @Ismailishatri
    @Ismailishatri 4 месяца назад +9

    unatangaza sauti ili utongonzwe hao vip???

  • @yasinikanole5184
    @yasinikanole5184 3 месяца назад +1

    We demu nenda kakate vitunguu tu uwanja ulio uingia hauna ubavu nao kaa chini usome maelezo ya bachu yapo wazi qatada,imamu maalik na aamash walikuwa ktk quruunu mufadhala na mtume amesema watu Bora qarne yake Kisha wanao fuata,Kisha wanao fuata lkn jambo la maulid limezuka baadae sana ktk daula ya abasiya wameanzisha mashia makafiri

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba 4 месяца назад +4

    Mwanamke hata Aibu huoni Hata kisasi mke kwa mume hakuna umepata wapi huo ujasiri alafu umeandikiwa subhanallah Mwenye mke amnasihiiii mke wake ,,,,Mama kapike hivi vitu vina wenyewe

    • @abdulkarimsalum356
      @abdulkarimsalum356 3 месяца назад

      kapata uo ujasiri kw sbb kasoma sio km ww kapuku mafta ya kuku

    • @JeilaniAbdulkadir
      @JeilaniAbdulkadir 3 месяца назад

      Nani kakuambia mwanamke kazi yake nikupika?

  • @MahamudMohamed-i9d
    @MahamudMohamed-i9d 3 месяца назад

    Ma shaa Allah....walakin usijitoe dhahiri kutenganisha dini kwa kumuita mtu mawahabi....

  • @MasoudChoum-pp1ob
    @MasoudChoum-pp1ob 4 месяца назад +6

    SAS ww dada hiyo ni radi au taarifa ya habar kaaa mpikie mumeo huku achia wengine

  • @AdamuMkwizu
    @AdamuMkwizu 2 месяца назад

    Maashaa llah ukhti mungu akuhifadhi

  • @mazruqmohammed4108
    @mazruqmohammed4108 4 месяца назад +11

    We mwanamke akili zako sio mzuri

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 4 месяца назад +1

    Na km hali hii ilikua ni kwa Sahaba wa Mtume vp atakua Mtume mwenyewe vp watakua maswahaba ambao kila mmoja alitaman yeye atajwe vzur na Mtume SAW, maswahaba ambao wakiskia mtu anafanya kheri wanataka wao wazidishe zaid wakishindana kukimbilia kheri. Allah atuongoze ktk hili giza zito mbele yetu 🤲

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 4 месяца назад +6

    Wee dada Allah anasema ولا تنابزوا بالألقاب hapo siku ya Qiyama utapunguziwa thawabu zako apewe bachu mana umemdhulumu heshima yake kumuita tarumbeta si umuite tu bachu jifikirie pole sana kwa kutojielewa

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 3 месяца назад +1

      ni kweli kabisa

    • @MuhamedChabaga
      @MuhamedChabaga 2 месяца назад

      Sio kweli ww mdada hebu usikurupuke kua Adabu kwenye maongezi yako

    • @MuhamedChabaga
      @MuhamedChabaga 2 месяца назад

      Huyu dada anajua nafasi yake kwenye uislamu

  • @HamisiMwalimu-pp9ci
    @HamisiMwalimu-pp9ci 2 месяца назад

    Au huyu mwanamke hana mume subhana Allah Leo hiii mwanamke anasubutu kunyanyau sauti amche Allah uyu dada

  • @ThabitiRashidi-z1b
    @ThabitiRashidi-z1b 3 месяца назад +5

    Wanaokemea sauti ya mwanamke kwa sababu ya haqqi anayoifikisha ni chukitu umari ibnu khattwaab alikosolewa na mwanamke kuusu kuweka kiwango cha mahari na akakubali kua amekosea amiirulmuuminiin hiyo ndo haqqi

    • @KilamiMussa
      @KilamiMussa 3 месяца назад

      Uongo.
      Toa ushahidi katika hadith sahihi siyo porojo

    • @AishahMuigu
      @AishahMuigu 3 месяца назад

      Sio kuwa sauti ya mwanamke,,, kila kinachoelekeza kwenye dhambi ni dhambi… nishaona comment ikisema sauti yake nzuri… wal iyaadhu billah. Pampja na kuwa hana haki alioisema. Ila hakuelewa na kakimbia kurecord ati kuraddd… wah… nimepata aibu kwa niaba yaka

    • @idriskinye1190
      @idriskinye1190 2 месяца назад

      Kwan alimkosowa kwa njia ipi na ukija nahoja ile ilikuwa Zaman kumbuka uislam haupo mpya ama wazaman

    • @KilamiMussa
      @KilamiMussa 2 месяца назад

      Toa riwaya sahihi inayothibitisha hilo unalosema

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 19 дней назад

    Mama pioneer imani sauti yako pia ni tupu..

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 4 месяца назад +10

    Huyu dada ana sauti ya kupika vyakula tu sio kazi yenu hii mama. Na video pia ungetoa basi tukuone

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад +1

      @@NasirJussa Huyo dada kasema leteni hadith inayofundisha hivyo,So mnaleta ujanja ujanja kwenye dini.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      @@IsmailSangaswadakta

    • @abdulkarimsalum356
      @abdulkarimsalum356 3 месяца назад +2

      anza ktoa ww iy vdeo tuone sura yako ya mbuzi

    • @LatifaUkhti
      @LatifaUkhti 3 месяца назад

      😂😂😂

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 4 месяца назад +2

    Kwani mtume hajaeleza kuhusu uzao wake kua watu wafunge jumatatu sasa watu wanahangaika na nini kama kweli asa wanataka radhi za ALLAH anakutia hao wanaotetea maulid hawatumii jitihada kuwafahamisha watu wafunge iyo j3

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      KUJIBU HOJA HAJIBU
      ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA!
      Jibu HOJA ZA DADA YETU? acha kulalamika

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Kuzungumza mambo vengine kivipi

  • @abdulazizimakogesho
    @abdulazizimakogesho 4 месяца назад +5

    We bint haujasimama vizur kwenye dini Allah akuongoze

    • @mohamedumri4176
      @mohamedumri4176 4 месяца назад

      MUACHE AJIBIWE, KWANI SIKIO LA KUFA HALINA DAWA.

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu 3 месяца назад

    Hutu alikua anatafuta umahiri. Wala uelewaji wake ndio mdoooooogo. kama kawaida ahlul bidaa. Huyu hata ni aibu kwake maanake hata mtoto wa miaka kumi kaelewa… subhanallah. Mtake msitake,,, bidaa ya maulidi haiwi dini mpaka kiama kisimame walillahi lhamd

  • @abdulazizmsonde985
    @abdulazizmsonde985 4 месяца назад +4

    Mbona anasoma nani kamuandikia?

  • @hassanbinhassan-bn3rk
    @hassanbinhassan-bn3rk 2 месяца назад

    Ukthy manchallah allah kuifadhi piya akuelimishe

  • @SHAAMEBKR
    @SHAAMEBKR 4 месяца назад +3

    Assalam alaykum 'Enyi watu wa bidaa iv kweli hamtaacha kuongeza vitu vyenu katika dini ya Allah mpaka akawaangamize ?

  • @IbnuumarAlubeidy
    @IbnuumarAlubeidy 11 дней назад

    لا يزال المتعلم عالما إن أيقن الجهل. فإن ظن يوما أنه قد فقد جهل...mambo gani mtu alosoma akawa mwelewa amuite mwenzake mjinga

  • @MuhammadiMbwana
    @MuhammadiMbwana 3 месяца назад +2

    masufi wamechemka kwa bacho hadi mnaleta wanawake?

  • @azamomar9920
    @azamomar9920 4 месяца назад +2

    Allah atuongoze na atujalie ufaham. Wallahi hakuna muislaam anae jitambua namwenye hof ya Allah kisawasawa anaeweza kuendelea kuwaskiliza na nakuwatii hawa mashekh wanao sapoti maulidi nashindwa kuelewa maana ya elimu ni nini kwasababu Shekh bachu anakosoa majambo wanayo yafanya kwania ya kuzindu umma wakiislaam. Lakin hawa ndugu zetu hawajawahi kujibu kwakunufaisha umma bali utafuta uchochoro tu wakujificha ili waendelee kuwapoteza waislaam wewe ni shekh na elimu ulio nayo ili uwe bora kwa Allah uwe mwenye kuwanufaisha watu tayar umekosolea kuusu maulidi tuchotaka kujua nakuskia sisi wanafunzi utuambie nani ameturuhusu sisi waislaam kusherehekea mazazi ya mtume? Kwadalili ya Qur aan na sunna tunacho kiitaji Shekh Samir ni elimu yako itunufahishe sio kuwatuma vibaraka wenye miemko naushabiki ktk dini ya Allah naleo mmeenda mbali mmekuja nahuyu Dada maskin ajitambui mpaka sasa Mola wake anamtaka awe vp kwanza kaonyesha kabisa hana sifa yakuwa mke wamtu kwasababu kama ameweza kumchamba shekh Bachu Allah amuhifadhi nahali yakuwa anamuona tu kwe mitandao uhalisia wake amfaham, itakuwaje kwamumewe wakikosana chumbani? Allah akuongoze
    Kwenye njia ya sawasawa dada angu.

  • @muntaxdelacream3195
    @muntaxdelacream3195 4 месяца назад +4

    Kwani mwanamke hapaswi kuwa mwalimu?....leta vitu mama❤

    • @JumaawazirWazir
      @JumaawazirWazir 3 месяца назад

      Kwanza mwanamke mwenyewe anaonekana hata adabu Hana

  • @MohammedMorsi-qp5qp
    @MohammedMorsi-qp5qp 4 месяца назад

    Maa shaa Allah ukhiy allah akulinde na kila shari hasad na fitna Allah akuzidishie elimu zaidia hio
    Na akujaalie pepeo ya firdaus

    • @AishahMuigu
      @AishahMuigu 3 месяца назад

      Hebu usimdanganye,,, muusie kwanza ajitunze kama mwanamke… na fitna zote kajiweka mtandaoni…. Kama wampenda kama muislamu ungemuusia aitoe hii sauti mtandaoni…

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 4 месяца назад +5

    MashaAllaha maalim Mmaa Ummu Aisha Mwenye Ezi Mungu akuzidishie Elimu tumekuelewa kama mama mlezi

    • @mwalimulossilamsuya1944
      @mwalimulossilamsuya1944 4 месяца назад

      Acha UPUMBAVU..TUMIENI MUDA WENU KUWAUNGANISHA WAISLAM SIO KULETA MAMBO YA MATHEHEBU..MADHEHEBU YATATUPELEKA WAPI?..

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 месяца назад

      @@mwalimulossilamsuya1944 kaka mwanzo nini maana ya Madhehebu?kwa sababu kuijuwa Dini bila kupitia Madhehebu huwezi kuijuwa Dini

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 месяца назад

      @@mwalimulossilamsuya1944 wewe kusema watu wawache upumbavu kuleta Madhehebu sasa tuambie kwa uwelewa wako Madhehebu ni kina nani na ni yapi Madhehebu unayo juwa wewe?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 4 месяца назад

      @@mwalimulossilamsuya1944 na kama hujui Madhehebu ni kina nani TUBIA OMBA KWA MWENYE EZI MUNGU

    • @RajabuTimbwa
      @RajabuTimbwa 2 месяца назад

      ​we muongo

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb 3 месяца назад

    Maashaallah Allah akulipeni dada yangu na sh sameer,huyo kijukuu cha kiyahuri,poti la kikristo bila ya kujijua,

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 4 месяца назад +2

    ukhty Aisha bachu Yuko sahihi ila kilichokukera ww ni kuambiwa maulidi yameletwa na makafiri na ndio sahihi

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 4 месяца назад

      Na wataudhika sana sababu hawana jipwa masufi

    • @darajanida
      @darajanida 4 месяца назад

      ​@@hassanWanjiku mawahabi ndo kabisa

    • @saidali9255
      @saidali9255 4 месяца назад

      Swadakta!..

  • @aishaothman3326
    @aishaothman3326 2 месяца назад

    Huyu Bachu kweli mwanaharamu mungu amlani

    • @MuhamedChabaga
      @MuhamedChabaga 2 месяца назад

      Chunga neno lako la kumwita muislam mwenzio mwana haramu ujue halitaachwa Bure Dai lako hilo

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 4 месяца назад +3

    Wewe tarumbeta la mawahabi unaadhilika Sasa unajibiwa na wadada

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Hebu fanya usawa katika kuskiliza acha ushabiki yuko sawa bachu

  • @HarunaKhamisi
    @HarunaKhamisi 4 месяца назад +1

    Ww mwanamke kazi yako ni kukata vitunguu nakutandika kitanda ukamsubiri mumeo hapa biidaa hainyamaziwi

  • @AwessAbbass
    @AwessAbbass 4 месяца назад +5

    Mwenye akili anaona bachu yupo sahihi lkn huyo dada anaongelea chuki tu kwa nasoro bachu.

    • @abuushekhaliynkusa6912
      @abuushekhaliynkusa6912 4 месяца назад

      We mshabiki sio msimi ndo mana ukasema hivyo
      Lkn ukisikiliza kwa makini na ukawa unataka kufahamu basi utafahamu tu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 месяца назад

      Kwa kweli mawahabi wanachopinga ni maulidi tu bidaa za kwao km kawaida, mazuzu hawa😊

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      Leteni Aya au Hadith inayosema ukiadithia hadith za Mtume uchukue udhu!!.

    • @bukharymohd977
      @bukharymohd977 4 месяца назад

      Huyo mgonjwa wa kike anaelimisha nini hapo naona sijaona akisoma hadithi yyte hapo yaani kama anatangaza mpira tu au movie

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      @@bukharymohd977 Nyie hamumuoni huyo vuvuzela wenu!

  • @FaridSaid-y5l
    @FaridSaid-y5l 4 месяца назад +1

    Ewe mwanamke muogope Allah, acha kudhihirisha sauti yako tena kwa jeuri ya kuwadogosha wanachuoni, ivi waijua nafasi ya wanachuoni na salafi waliotangulia tena wadhihiri kwa kutetea uzushi katika dini ya Allah, kuwa na nidhamu wewe mwanamke Allah kakutukuza acha kujidhalilisha mtoto wakike maulid yatakua ni Bida na uzushi mkubwa katika dini yetu ya uiislaam popote itakapokua na yeeyote atakae sema maulid ni uzushi na wanachuoni wana nafasi kubwa katika dini ya uiislaam.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад

      KUJIBU HOJA HAJIBU
      ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA!

  • @MohdAliHaji
    @MohdAliHaji 4 месяца назад +4

    Ummu Aisha hili ulilo fanya Leo nikosa kutoka nje nakubishana na wanaume

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 4 месяца назад

      Omar (RA) ale bora kuliko bachu alikosolewa na mwanamke mbona hakumtolea jeuri

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 месяца назад

      @@musakibwana4596 mtaumia sana, BACHU yafaa wanawake ndio wasutane NAE MAANA akiona wanaume anajikojolea🤣

  • @HadijaAli-d2l
    @HadijaAli-d2l 3 месяца назад +1

    Unamtaka bachu sikiliza vzuri ndio ujibu kwanza sauti yako haifai kusikika Kisha leo umepata ujasiri kusimama kumjibu mwanaume

  • @RidhwanIdrissa
    @RidhwanIdrissa 4 месяца назад +9

    Mwanamke lake jiko huku anatafuta nn??

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 4 месяца назад +1

      Towa hadithi isemayo kazi ya mwana mke ni jiko tu?

    • @Humud-in6qk
      @Humud-in6qk 4 месяца назад

      Watafuta hatar ya Mola wake huyo bibie

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 4 месяца назад

      @@Humud-in6qk wacha ushabiki na kutowa hukumu bila ya elimu

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 4 месяца назад +1

      Anatafuta bwana huyu

    • @MaalimMuhunzi
      @MaalimMuhunzi 4 месяца назад

      Kila jambo unataka hadithi ww mwanamke lake jiko ndio haitakikani kuanika sauti yake​@@jimjam-xg7rv

  • @omarmwaiga
    @omarmwaiga 3 месяца назад

    Subhana ALLAH wewe dada Allah akuongize kwakuiachilia sautiyako namna hiyo lkn hayo ni maneno ya wanawake

  • @wamiujizacholo7413
    @wamiujizacholo7413 4 месяца назад +14

    Naomba sheikh bachu asimjibu huyu dada maana kaja kutatuta waume huku 😂😢😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 месяца назад +2

      Sindano imepenya

    • @FuadHamed5804
      @FuadHamed5804 4 месяца назад

      @@rayisadesigns2646 sindano gani na ameongea uzushi n uongo mtupu Sasa ajibiwe nini hapo na ujahil wake ....

    • @FuadHamed5804
      @FuadHamed5804 4 месяца назад

      @@rayisadesigns2646 mwenyewe amejidhalilisha maana Bachu amekubali katika kutawadha kabla ya kusoma hadithi Sasa maulidini hua watu wanaenda kusoma hadithi ama wanaenda kusoma barzanji .. mwambieni huyo mama atafute watoto alee asijiingize katika fani ambazo Allah amemkataza anatafuta moto kwa lazima...

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 4 месяца назад +1

      Wee nabachu wote hamja soma someni acheni kudanganywa bachu hajaui na ww unaye sema kafata waume kasome

    • @FuadHamed5804
      @FuadHamed5804 4 месяца назад

      @@jamilahjamilah4157 wewe ndio umesoma ??? Waliosoma wanafwata yanayowahusu na ukweli katika dini. Ww uliskia wp mwanamke amepewa ruhusa ya kupaza sauti yake mbele ya hadhira iliyojaa wanaume ama na wewe ni wale wale munaoongea musioyafanya

  • @YusuphJuma-x7k
    @YusuphJuma-x7k 4 месяца назад

    A alaykum kweli nimeamini wallahi sio vizuri kuakashfu wanaoni naona wazi madhara yake kudhalilika kwa shekh bachu

  • @JumaMbarouk-s2q
    @JumaMbarouk-s2q 4 месяца назад +4

    Huyu Dada majibu yake yako wapi mbona hajielewi

  • @mauldisalim2024
    @mauldisalim2024 4 месяца назад +1

    Bachu anakiburi sana anaona wanawazuoni wete hawakufahau yeye tu ndio alie fahamu na ndio anataka afuatwe yeye na jambo Hilo haliwezekani kabisa kwababu ww ikiwa Muhammad bachu ww maulidi kiupande wako hayafai basi fuata mwingi wako na ikiwa kwa wezako yanafaa basi wachee wasome maulidi

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 4 месяца назад

      Bachu aloshindwa Mombasa mpaka mkojo ukamtoka 😂
      Porojo nyingi

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine 4 месяца назад +3

    Huyu dada majibu anaeyatoa si yeye anaepekua vitabu anahada , kaadikiwa karatasi ili ajibu msikilizeni vizuri, tena hata hishima hana afai hata, kama hivi alie muoa kazi anayo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      Mwambie bachu atoe hadhi au Aya!

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 4 месяца назад

      Punguzo ushabiki na utuliye mfunzwe elimu ni kama bahatlrie na haki aichaguwi ama kumpendelea mtu yeyote

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      @@jimjam-xg7rv Elim IPI!!?
      Mnaleta uhuni kwenye dini.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 месяца назад

      Unataka HAQQI AU unataka majibu katoa Nani!. Bachu anajikanyaga TU. JAMBO sio AMRI ya Allah sw wala Mtume saw HALAFU anasingizia ATI Ni wahyi HUO. 😂 Wahyi kapewa tabiina 😂, HII Kali ya mawahabi

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 4 месяца назад +2

    Wewe bint haifai sauti yako kuchomoza mbele ya hadhara za wanaume mitandaoni huo ni utomvu wa adabuu! Jiheshimu uheshimiwe🙏

  • @mmmnstudio9344
    @mmmnstudio9344 4 месяца назад +3

    Kasome kwanza dada,acha kuongea kiswahili kingi bila aya wala hadithi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 месяца назад

      @@mmmnstudio9344 KWANI wewe mwarabu? Au ndio nyie likisomwa Shairi la KIARABU kumsifu bosi huwa mnafkiria Ni quran?. KWANI bachu kasoma Aya GANI iliosema SHURUTI Ni kutia udhu KABLA KUSOMA HADITHI?!

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 4 месяца назад +2

    Kumbe bachu ni muongo kiasi hicho 😊😂😂😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 месяца назад

      😂😂😂 BACHU ASEMA KUTIA UDHU KABLA YA KUSOMA HADITHI NI WAHYI ( YAANI QURAN) IMETEREMSHWA KWA IMAMU 😂😂😂😂😂

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 4 месяца назад +8

    Mwanamke unatangaza sauti yako dunia nzima?
    Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun.

    • @Abdulrazaki92
      @Abdulrazaki92 4 месяца назад

      shubuhat

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 4 месяца назад

      Sauti tu unawaza uroda, wacheni matamanio ya Nafsi.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 месяца назад +1

      KUJIBU HOJA HAJIBU
      ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA!

  • @NGWALISHAAME-d4d
    @NGWALISHAAME-d4d 22 дня назад

    mche allah wedada hujajua matumizi ya saut yako nadhambi unazo beba kwenye audio hii

  • @AbasiShariff
    @AbasiShariff 4 месяца назад +18

    Bora Sasa huyu achiwe wanawake ajbizane nao sababu ndio size yake wanafana nao Kwa maneno Na vtendo

    • @KhamisSaleh-gg7ov
      @KhamisSaleh-gg7ov 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад +1

      Msie na mihemko bachu yuko vizuri sana hata kama mtasema hana elimu na hajasoma hata sehemu 1 ila kijana anajua sannnnnna

    • @IssaHamisi-z2v
      @IssaHamisi-z2v 4 месяца назад +1

      Kiukweli ajibiwe na wanawake tu huwenda atapata akili

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 4 месяца назад

      Acha ujinga soma kwanza hii elimu ya huyu mwanamke umeona kua huyu ana elimu ya kumshinda bachu ndugu yangu mzuri tuachu ushabiki

    • @IssaHamisi-z2v
      @IssaHamisi-z2v 4 месяца назад

      @@OmarSalum-y9c kama una akili zilizo fika na mwaka kama bachu anavyo kosa adabu kwenye kilpu zake kwa kutukana na kukashifu wanachuoni na masheikh ni bora ajibiwe na mwanamke, kiukweli amekuwa kevo kwa jamii ya kiislam pasina ya kutizama analokataza ni maslahi yapi yanapatikana mbele ya umm wa kiislamu.

  • @abdallahrashid218
    @abdallahrashid218 3 месяца назад

    Audhu billah mina shaytwani rajiim bi ismi llahi arrahmani arrahiim.
    Innallaha yaalamu ma fi sirri wal ilani

  • @JamalAbdallah-t1y
    @JamalAbdallah-t1y 4 месяца назад +3

    Acha mawahabi wafundishwe na kina Dada Sasa, maana tukiwafundisha siye vidume itabidi tuwapige bakora😂😂😂

  • @yussuflali6110
    @yussuflali6110 4 месяца назад +2

    Kwanza ulisikia lini mwamke kutowa sauti kila mtu kusikia hiyo nikukosa haya huna Adabu na dini ungefanya makala ndiyo inafa lakini sauti haifai na kama umeolewa basi mume Wako niduyuthi Atakuwata vp utowe sauti kila mtu kukusikia

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb 2 месяца назад

    Bachu huyu Mama ana Elimu kwa kiasi kinachofaa kuzingatiwa.Sasa narudia kuku nasihi kasome kwanza ili ufahamu vizuri unachotaka kuzungumza kielimu

  • @ALIALI-ob5vb
    @ALIALI-ob5vb 4 месяца назад +1

    Asante data ila usitumie maneno ya kejeli 17:56 katika kujibu au kuonesha chuki.

  • @jazilimohamed6606
    @jazilimohamed6606 4 месяца назад

    Namaana Bachu hajui tofauti ya tohara na udhu!!!!

    • @SHARIFF100
      @SHARIFF100 4 месяца назад

      Assalaam alaykum, wewe ndio hujui maana ya tuhur, we unatafsir tuhur ni kuoga janaba tuu? Au heidh?
      Mtume swala llah wasallama anasema:
      Laa swalat lighair tuhur (hii hadithi ipo katika milango ya udhu na si heidh)
      Baaraka llah fiyka. Na'aam

  • @binismail2029
    @binismail2029 3 месяца назад

    SASA hiyo ndio HOJA ya shekhe. Udhu na Manukato Ni Sunna. Kuna Ubaya gani

  • @bobsule5183
    @bobsule5183 4 месяца назад

    Wewe mwanamke MCHE ALLAH wee MCHE ALLAH huu ndio Mwanzo wa nyie wanawake mwisho mtataka kupanda juu ya mimbar musifananishe uislam na Ukristo hii ni Aibu kubwa ewe mwanamke tubia Kwa Allah Kwa Raddi uliotoa si mala Pako hapa

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 месяца назад

    Ht mamaetu AISHA mke wa mtume hakuna ht siku alifundisha maswaaba , ww nani uliechukua ujashiri huu ebu muongope MUNGU

  • @litimbaify
    @litimbaify 4 месяца назад +2

    Mi nikajua unakuja kutubainishia uhalali wa Maulidi kumbe na wew ni mweupe, tulia nyumbani mtoto wa kike usidhalilishe wa awake wenzako, mwanamke ni kiumbe mtukufu sana sio kujidhalilisha mitandaoni, mkivunjiwa heshima mulalamike, tulia nyumbani bint hiyo vita huziwezi hao masheikh Wako wameshindwa ndo maana wamekuandikia karatark ukarekodiwe, sion hata ulichokiongea hapo zaid ya mipasho!

    • @saidali9255
      @saidali9255 4 месяца назад +1

      She is fighting the loosing Battle! Bachu si level yake!😊😊😊

    • @mmmnstudio9344
      @mmmnstudio9344 4 месяца назад

      Mashallah,umewaza kama mimi akhy

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад +1

      Kinachotakiwa leteni AYA na HADITH sio ujanja ujanja.

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 3 месяца назад

    Huyu bachoro hajui kutafsiri hakijui lugha hakija soma hakina ilmu sasa anajiona yeye ni shekh mkubwa anajiona kasoma kumbe ni zumbu kuku sasa unaolna leo unakosolewa na mtoto wa kike aibu uliyoipata mombasa huikumbuki leo aibu ingine

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t 3 месяца назад

    Icho kidada hakina mume kama Una Imani hamna haja ya sauti yako kuxkika

  • @ابنمحمد-ط6ع
    @ابنمحمد-ط6ع 3 месяца назад

    Nyinyi mawahabi wacheni kelele zenu, ni waislamu gani nyinyi kila kitu kwenu ni bidaa basi kufeni muende zenu akhera,duniani hapawafai nyinyi kwani dunia kwenu pia ni bidaa,
    Ninawambieni hivi kusherehekea maulid sio bidaa,sisi na Bwana Mtume صلى الله عليه و سلم na bwana Mtume na sisi صلى الله عليه و سلم

  • @JumaSwalehIdd-nt9gv
    @JumaSwalehIdd-nt9gv 4 месяца назад +1

    Wallah nyinyi makhulafi jitahidini mnavyojitahidi hamtopata njia kukimbilia mpaka mnashindwa mpaka hamuezi kujibu wanawakoe ndio waji kupambana.Haka kajimwanamke hakana hata elimu kisha kaone waume zake wamefumuliwa haka kajinga ummu Aisha ndio kapambane😂😂😂

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani 3 месяца назад

    Hivi huyu mwanamke anapata wapi nguvu kuweka kasuti kake mbele ya wanaume hapa ndipo ujue hiki kiumbe ni hatari sana😡😡😡

  • @mohamedubwa5945
    @mohamedubwa5945 3 месяца назад

    Udhu mtume amesema lakama nisingelionea mashaka umma wangu ningeliwaamrisha kutia udhu kila muda hii inaonesha uzito wa udhu imam shafi Ana Kauli anasema toa Dalili kabla ya Kauli na kitendo

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 4 месяца назад +1

    We mwanamke huna nidhamu una mume wewe Nakama una mume huyo mwanamme wake anakuchia kama mbuzi hana mchunga anakuchiaje unajibizna na wanaume ambao sio mahrimu zako shika adabu yako acha kujitokeza kwenye wanaume walinginie wanawake wenzako

    • @darajanida
      @darajanida 4 месяца назад

      sindano imengia vizuri

    • @AbulBarakaat-d4x
      @AbulBarakaat-d4x 4 месяца назад

      @@Thabitilubunani huyu sister me namsikiliza nadindisha

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 4 месяца назад

      Huna adabu kama imamu ssuyuuti alidhalilisha Qur'an kwa kuinasibisha na matendo ya kujamiina

    • @Thabitilubunani
      @Thabitilubunani 4 месяца назад

      @@SaidSeif-d4yجاهل مركب اصلحك الله

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 4 месяца назад

      Mbona sauti ya mama Aisha ilisikilikana, au alikua akihadithia vipi tabia za Mtume? Tatizo lenu mnaendeshwa na tamaa za nafsi, mkisikia sauti ya kike tu mnawaza mambo fulani.

  • @karimuHamisi-z5h
    @karimuHamisi-z5h 4 месяца назад

    Mashekhe wanawachanganya watu na baadhi ya watu hata wanaacha dini kabisa. Kazi kwenu, endeleeni!

  • @HassanJuma-xy9jk
    @HassanJuma-xy9jk 4 месяца назад +1

    hv ww mwanamke humuogop mungu hujui km saut yako nifitina hvy kwel wew ndio mwenye elim mpumbavu mkubwa

  • @shadhirimaalim9739
    @shadhirimaalim9739 4 месяца назад +1

    Kwaiyo we dada mwenye kudhihirisha sauti yako mtandandaoni bila ya hofu ya mola wako hiyo sauti yako na maneno ya shekh wako Yana Fanya maulidi kuwa ni Jambo Linalo ruhusiwa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 месяца назад

      Mnakataza Bidaah kumbe mnazifanya!!

  • @NasmaJohn-o6i
    @NasmaJohn-o6i 20 дней назад

    Nyinyi jambo kubwa la kufanya kuwaringania wario katika upotevu wakiristo na wapagani waione aki katika uislam

  • @HamisiAlly-ms8ei
    @HamisiAlly-ms8ei 4 месяца назад +1

    Acheni kumshambulia huyo bint kwasab anahaki ya kumuongoza yule alie potea kam nyinyi amuezi acheni bachu afunzwe na mwanamke maan😂akili zake ziko kwenye ndevu😂

  • @markazzadlittaalimwalakhla355
    @markazzadlittaalimwalakhla355 4 месяца назад

    Mwanamke kujitoa sauti yake ulimwengu mzima , ima wanaume wao wameshindwa na ni aibu mwanamume ukae nyuma umtangulize mwanamke mbele, ima ataka kusikika sauti Yake ambayo itafitini wengi Wala hakuwa na dharura kuleta sauti yake. Lkn kwa watu wa Bid,a hawajali kufanya Wala kusema lolote lisilokuwa na msingi, ndio Leo matwariqa wakubwa wasema Haina haja kumzuru Rasul ukimzuru Sharifu tosha, na laulatul maulid ni Bora kuliko lailatul Qadr, haya husemwa na wapinga Ngoma za maulid na zaidi ya haya wawezakusema au kufanya Allah awaongoze.

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 4 месяца назад

    Mumekosa adabu hadi mnasukuma mwanamke awatetee masufi tufuateni sunnah safiiiiiii ya mtume salallahu alayhi wasalaam bila kuzidisha au kupunguza muogopeni Allah subhannahu wa taala kiasi cha kumuogopa

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 4 месяца назад

      Mbona wewe mjinga sanaa kwani mama Aisha aliposimulia hadithi ni makosaa

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 4 месяца назад

      @@hassanisihaka910 heri mm mjinga kuliko nynyi mnataka hadithi za mtume salallahu alayhi wasalaam ziende na Hawa za nafsi zenu ila hapa hamna kitu masufi mlishindwa kujibu hoja ya bachu mkatupia mwanamke ujahil ni kama uzungu kweli n mna raha sana mkiskia akitoa matusi hamna haya kweli usufi na kama ukafiri kweli wapi mwanamke anafaa kuweka darsa ati anaelimisha watu wakae huko waelimishane wao hukoooo hatutaki tabu cc kueni n adabu na dini

  • @AbdillahHabib-c9z
    @AbdillahHabib-c9z 3 месяца назад

    Sheikh Muhammad naomba uachane na huyu dada maana Mtume S.A.W kasema wanawake ni wapungufu wa akili na dini.

  • @saidabeid9310
    @saidabeid9310 4 месяца назад +1

    Dada nenda kapike hio sio kazi yako mume wako ana njaa

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 4 месяца назад +1

    Tuacheni ushabiki ndugu zanguni wazuri wa kiislam huyu mwanamke ana elimu kweli ya kulingana na bachu tucfanye ushabiki

    • @JumaawazirWazir
      @JumaawazirWazir 3 месяца назад

      Hakuna ushabiki kwanza Hana adabu anamjibu mwanaume na kumuita talumbeta achen kutetea ujinga

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ bachu umekimbiya ukowapi hhhhhhhhhhhh bachu huna elim Rudi darasa ni

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 4 месяца назад

      Ameitwa akasomeshwe mambrui amekataa😅

  • @LatifaUkhti
    @LatifaUkhti 3 месяца назад

    Sauti yamwanamke niuchi
    Unamakos dada usijifanye mjuaji
    Pia huna adabu wew.
    Kajifunze arabu kwanza

  • @KomboShineni
    @KomboShineni 4 месяца назад +2

    nakuomba dada tubua haraka umefanya kosa kubwa Sana we unatakiwa ukae Kwa mumeo tu

    • @mmmnstudio9344
      @mmmnstudio9344 4 месяца назад

      Mashallah

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 месяца назад

      Asizungumzie dini au ? Make wko anakukimbia yupo kwenye ma hall ucku mzima huna lolote la kusema

  • @ابنمحمد-ط6ع
    @ابنمحمد-ط6ع 3 месяца назад

    Kuna uzao bora zaid wakusherehekea kuliko huu wa bwana Mtume صلى الله عليه و سلم mpenzi wetu.