BACHU KIMEMRAMBA TENA MWANAMKE AENDELEA KUMTIA DARSA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 335

  • @SalmaSaid-jb5zq
    @SalmaSaid-jb5zq 2 месяца назад

    Asante shekh bacho allah akuongoze inshallah una hoja za kielim kabis na ushahid wa kutosha allah akulind na wabay wnye chuk na ww

  • @AbdulAzizSalaf
    @AbdulAzizSalaf 3 месяца назад +1

    mdada hna adabu na umkosa unachokisema ni wew na mashehe wako wapotevu wamkutma usemee😮❤

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 Месяц назад

      Huyu allah ata muongoza na hicho kitoto cha bachu kina badilisha ukweli na kuufanya uongo
      DADA MUNGU AKULINDE NA KUIUONGOZA NA WATOTO WAKO.

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 Месяц назад

      Na wee abdulaziz alla akuongoze na watoto
      Tahadhari na laana isikuku rudia wewe mungu atunusuru na watoto wetu.

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 3 месяца назад +2

    MashaAllaha MashaAllaha Maalimaa Ummu Aisha Swadaqta maneno hili ndio twawauliza mukusanyike mashekhe wote wa kiwahabi kuwa yale matendo yaliyomo ndani ya Maulid kusomwa Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW Mawaidha je haya Mtume SAW na Maswahaba hawakuyafanya?ni kama vile nyinyi huko uwahabini muna Bid'aa mwafanya mashindano ya Quran au ktk Nikkah kusoma Quran au Kuswali Taraweh Rakaa 8 kwa kusoma Juzuu nzima kila siku

  • @bakarisahede9532
    @bakarisahede9532 3 месяца назад +2

    Dada Aisha Allah akufanyie wepesi inshaallah usivunjwe moyo na maneno yawatu wenye mihemko

  • @HijaMussa-v5r
    @HijaMussa-v5r 3 месяца назад +3

    Mashallah, nakuelewa vizuri ukhti.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 3 месяца назад +4

    Wallahi Masufi hawana Wivu
    Naomba tena kwa mara ya pili Niozesheni huyu aje apate stara ya uwakika ili aache haya mambo uislam umekataza.

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 3 месяца назад

      Yani ww ni mhabi usiye kuwa na akili soma ujue km kulikuwa na mwanamke alisoma paka akawa anabishana na maimu wakuu kina imamu maliki shafii na wenginneo kasome ww vibaya angee weka sura yake acha kufuata mkumbo soma

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 3 месяца назад

      Ukiozeshwa utatoa harufu

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 месяца назад +4

    Masufi mmekosa hojja sas mmeanza mipasho 😊😊.
    Maulid ni uzushi tu.
    Ukishika udhu ni ibada

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад

      Mawahabi hamna elimu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      Mawahabi mnafikiria kuwa jazba na mihemko ndio dini

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 месяца назад

      swahilitherapytv3846 na kusoma Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW ktk Maulid pia ni Ibada vile vile

    • @HemedAbdullaSuleiman
      @HemedAbdullaSuleiman 3 месяца назад

      @@swahilitherapytv3846 Wapi Mtume na maswahaba walitia udhu kabla ya kusimulia hadithi... Au wao walikua hawajui km udhu ni Ibada?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      @@HemedAbdullaSuleiman mawahabi wamesahau walipo sema Dini ilikamilika na kulikuwa Sio Dini wakati wa Mtume saw basi haliwezi kuwa Dini Leo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 месяца назад +9

    Wewe ummu aisha umepata wapi kibali cha dhihirisha sauti yako kwa wanaume...??

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад +2

      Ila haanza yeye kudhihirisha sauti elewa ktk nchi yako unaongozwa na mwanamke

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад +1

      ​@@SuolFat KWANI MAWAHABI wanawake wanaokwenda kwenda kudhihirisha sauti ZAO nyororoo za kusoma quran mbele ya hadhara ya wanaume, Hilo hukuliona?!!!😂. Au choyo zinakusumbua.

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад

      @@hilalkhalfan1452 acha unafiki mbona unaongozwa na mwanamke Wala husemi kitu mbona husemi kitu kwa wadada wanaoimba taarabu na bongo fleva huu wako ni unafiki na chuki binafsi

    • @salmanmagwe222
      @salmanmagwe222 3 месяца назад

      WEWE UNAMCHQMBA HUYU DADA KWA KUTOA SAUTI MBELE YA WATU NA KUDAI NI HARAMU,JE BIBI AISHA HAKUENDA VITANI KUONGOZA WANAUME KTK VITA VYA JAMALI?AU ALIKUWA ANAONGOZA KIMYA KIMYA?HUJASIKIA KUWA AKINA MAMA WALIKUWA WAKIMUULIZA MASWALI MTUME SAWW?KUWENI NA ADABU NA HEKIMA KTK DINI

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 17 дней назад

      Hivi mm niulize kwn saut ya mwanamke nayo ni utupu?

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 3 месяца назад +2

    Rudi kamsikilize Shekhe Bachu hautosema tena kwan alisema Mtume ( S.A.W) Hakuitikia Salam kwasabab alihofia kumtaja Allah akiwa hayuko twahira na akasema yote ni dhikri mbona nawe unakuja kukubali then unapinga Hata jawabu pia unaijua.
    Then Maulid tunazofanya, sote ndio ivyo.

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 3 месяца назад +4

    baaraka llahu bachu si zani kama Huwa anafahamu anacho kisema Kwa nilikwiaha sema Sheria za dini hasa bachu hazijui

    • @ramiyawetutv
      @ramiyawetutv  3 месяца назад +1

      Kabisaaa

    • @ramiyawetutv
      @ramiyawetutv  3 месяца назад +2

      Sasa ndo darsa muhim kapewa na ukhty aisha mola amhifadh

    • @NurdinMirandu
      @NurdinMirandu 3 месяца назад

      Mashallah tunaomba atoe ingne kumrekebisha😂

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 3 месяца назад +1

      Hakuna lolote hapo kaolewe kwanza ndo uje,Na huyu dada anaongea asichokijua

    • @NurdinMirandu
      @NurdinMirandu 3 месяца назад

      @@shabanihugo8332 na hutomuelewa tuy

  • @KhalidLema
    @KhalidLema 3 месяца назад

    Sasa atamjibu nini wakati huo ndio ukweli.
    Mashaalaah m/mungu akuweke mama yetu kwa ufasahaa wa kumjibu huyu mtt wa bachu

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 3 месяца назад

    Hongera dada .tunakufaham sasa ALLAH AKUSITIRI WEWE NA WATOTO WAKO.

  • @momsaa08plumbingandelectri7
    @momsaa08plumbingandelectri7 3 месяца назад

    Sauti ya dada tumeipenda ❤❤ hatuskiliz maudhui tunajaribu kumfikiria dada huyu kwa saut yake maashaaallah 🥰🥰

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад +7

    Baada ya wanaume kushindwa kutetea hoja saivi wamemuomba Dayuthi mmoja mkewe aje kupiga kelele😁😁😁

    • @salmaanfaqiih
      @salmaanfaqiih 3 месяца назад

      Utovu wa adabu munasoma kupitia kitabu gani nyinyi mawahabi, tunataka tufuatilie na sisi musitunyime, sisi tumezowea taswawwuf, sasa tunataka na huu utovu wa adabu wenu tuusome pia.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

      @@salmaanfaqiih Aanza kwanza kusoma manaaqibshaafi ya Imaam Baihaq imam alivyozungumza kuhusu usufi kisha usome vitabu vya mawahabi

    • @salmaanfaqiih
      @salmaanfaqiih 3 месяца назад

      @@Hamis-ks1sy Unajua kwamba sitaki utumie uongo, kwani unashindwa nini kuniambia?!

    • @salmaanfaqiih
      @salmaanfaqiih 3 месяца назад

      @Hamis-ks1sy Kama hutaki nyamaza wenzako watanitajia vitabu ambavyo mawahabi wanasomea utovu wa adabu, Imaam Albayhaqiy ni Imaam wetu inakuwaje Mawahabi wamfanye Ilhali wanamuhesabu ni kafiri, rudi kwenye الأسماء والصفات aliyotunga yeye utaelewa

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

      @@salmaanfaqiih Nani kakwambia wanamfanya kafir? Hujawah kusikia wakinukuu ibara kutoka huko akhy?? Kuna vitu mnakaririshwa sana kuhusu wahabi ndio maana kuna baadhi ya masufi kutokana na akili zao fupi Ibn Taimiyyah wanamuita wahabi hali ya kuwa huyo wahabi mwenyewe Ibn Taimiyyah hamjui.

  • @haqilillahtaalaabudhar4697
    @haqilillahtaalaabudhar4697 3 месяца назад +2

    Asante sana kwakumuweka wazi

  • @عمرأحمد-ص9ل4ش
    @عمرأحمد-ص9ل4ش 3 месяца назад +1

    "Hii ni njia wameamua makhurafi kumtumia mwanamke ili sheikh bachu amjibu wapate hoja kuwa yuwabishana na wanawake, ila twaamini sheikh ni kijana Allah amempa hikma si wa kulifanya hilo.......ewe mume wa ukhty huyu, je huna wivu na sauti anayodhihirisha mkeo au kutaka kuhojiana na wanaume, sishangai mwanamke huyu kukosa HAYAA na kudhihirisha sauti yake kwani kwa masufi ni jambo la kawaida kuchanganyika wanaume na wanawake, na la mwisho ni kuwa Sheikh Muhammad bachu hufanya radd kwa kutumia vitabu na akatuwekea tufuatilie au tuvinunue tusome,,,,kwanini masheikh wa kikhurafi hawatumii njia kama yake ambayo ndio sahihi.

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад

      ACHA ZARAU KWA AKINA MAMA
      HIVI SASA MOHAMED BACHU ATAJIBIWA NA AKINA MAMA MAANA NDIYO SAIZI YAKE
      MO NI MZUSHI NA MUONGO ANACHUKUWA MANENO NUSU NISU ILI KUWAAMINISHA MAWAHABI WENZIWE KWAMBA AKISEMACHO NI CHAKWELI HALIYAKUWA NI MUONGO NA NI MNAFIKI KAUMBULIWA NA UKHTY
      MOHAMED NI MNAFIKI NA MPOTOSHAJI LENGO LA MAWAHABI NI KUWAGAWA WAISLAM ILI WAFARAKANE WAO KWA WAO HUYU MOHAMED NAHISI NI MNYAHUDI MAANA KAZI KUWAANDAMA WAISLAM WENZIWE TUU KAMA MAYAHUDI WANAVYO WAUWA WAISLAM NA MOHAMED KAZI YAKE NI KUWAFARAKANISHA WAISLAM HANA JENGINE ZAIDI YA FITINA TUU
      NAMUOMBA ALLAH AMUINGIZE YEYE PAMOJA NA MIMI AMIN

  • @JumanneJumampunga
    @JumanneJumampunga 3 месяца назад +2

    Kumbe hujui hats kisemwacho Nini innaa lillaah

  • @SuolFat
    @SuolFat 3 месяца назад +3

    Hongera sana dada kwa kumchakaza hichi kijamaa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      😂😂😂 HUYU Dada amenifurahishaaaaaaaaa!!! Yupo wapi nimtupie JAPO kilaki kimojaaaaaa. Aaah , ukioa mwanamke mwenye elimu ya Dini na Akili basi utastereheeee😂

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад +2

      Hivi enyi mnatuona raha kusikiza huyu mwanamke ni waislam au wakristo, hamuoni kama mnamuangamiza na anajiita motoni hamjui sheria ya uislam kwa mwanamke, au ndio mnamchukia mtu huyo bachu kiasi cha kutoona hatari inayomkuta huyu dada😢😢😢.
      Allah atunusuru na vizazi vyetu mumnasihi huyu binti anapotea msiwe na chuki yenye kuchupa mipaka mpaka kumtoa kafara mtu

    • @HassanHassan-v3t
      @HassanHassan-v3t 3 месяца назад +2


      Sio dini hiyoo Lakin ndugu yang tazama,,, unless mutaingia motoni nyote kwa uzush

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад

      @@hilalkhalfan1452 wenye elimu ya dini wamejistili wapo majumbani mwao wanatafuta pepo, huyu hana haya yupo huku anatafuta moto we unamshangilia so sad

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      @@mobilespecialschool4216 imekuchomaaaa, jibuni hoja mawahabi

  • @MohamedKibwana-mc5wu
    @MohamedKibwana-mc5wu 2 месяца назад

    Muhammad Bachu kwa tabia hii ni mnafiki dhahiri shahiri.

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 3 месяца назад +2

    "Tahadharini na dunia na wanawake" amesema Mtume rehma na amani zimuendee yeye.

  • @COM09
    @COM09 3 месяца назад +1

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @dhwahiqudumila3894
    @dhwahiqudumila3894 3 месяца назад

    MASWAHABA رضوان الله عليهم WALIKUA NA WUDHU MDA WOTE, NA WAKIUTENGUA WUDHU, HUTIA TENA WIDHU

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      @@dhwahiqudumila3894 hata Mtume saw hakuwa hivyo licha ya maswahaba. Acha kudanganya watu.

  • @ahmedchoden9970
    @ahmedchoden9970 3 месяца назад

    Maashaallah

  • @ImranMrisho-f9u
    @ImranMrisho-f9u 3 месяца назад +2

    Yan ningekuwa naweza kuwafungia Hawa wazush wooote ningewafungia wasionekane mtandaon maana wanatukera sana watu wanachezea din ya Allah hawana adabu kachezee mme wako huko acha kuchezea din shika adabu Yako,,,

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад

      Uwezo upo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 месяца назад

      ImranMrisho-f9u uwezo upo wa kuzifungiya lkni uwanze na kwako uwahabini kwenu kuna mabid'aa kibao pia na kuna vitabu vizima haswa vya Uzushi wa mawahabi au hujui hilo?

    • @HemedAbdullaSuleiman
      @HemedAbdullaSuleiman 3 месяца назад

      Kaanze kumfungia Imamu Malik ndio aliezusha bidaa ya kutia udhu kabla ya kusimulia hadithi za Mtume(s.a.w)... Semeni basi km Imamu Malik nae ni mzushi😅😅

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      KUMBEE HIO DALILI YA KUPINGA MAZAZI YA MTUME WETU ALAAA😂, SHEIKH WENU MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI NAJDI ALIPOSHINDWA HOJA AKAONA AUWE SUFI WOTE 😂. SASA NA WEWE UWA NDIO SUNNA YA SHEKH WENU.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      ​@@HemedAbdullaSuleiman Yaani mawahabi wanatupiga changa la macho kweupeeeee 😂. Imam Malik kaja kutimiza Dini ila wengine Ni wazushi 😂😂😂

  • @fundkiboflo
    @fundkiboflo 3 месяца назад +2

    Kunakauli unaitoa unasema twita matarumbeta kwanza mm skusamehe hapa dunian na mpaka akhera

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 Месяц назад

      Mwenye kusamehe mungu humpeda jee hutaki kupendwa na mungu? Usikereke kasome ilmu na uwe mkweli na muaminifu

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 3 месяца назад +1

    She Muhammad nakuomba usinynyue mdomo kumjibu huyu mpumbavu endelea kuelimisha atakaeongoka ni Kwa nfsi yake n'a atakae poteya ni Kwa nfsi yake mtume yalimfika mengi mpaka akaambiwa yasikuhuznishe maneno Yao huyu mwanamke Nampa miez Sita kama laana ya alla haijampata anitafute

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 месяца назад +2

    Hivi enyi mnatuona raha kusikiza huyu mwanamke ni waislam au wakristo, hamuoni kama mnamuangamiza na anajiita motoni hamjui sheria ya uislam kwa mwanamke, au ndio mnamchukia mtu huyo bachu kiasi cha kutoona hatari inayomkuta huyu dada😢😢😢.
    Allah atunusuru na vizazi vyetu mumnasihi huyu binti anapotea msiwe na chuki yenye kuchupa mipaka mpaka kumtoa kafara mtu

    • @IbrahimuSaid-z7e
      @IbrahimuSaid-z7e 3 месяца назад

      Jina lake Ummu Aisha fikilia jina Aisha aliyekua na elimu nenda kamsome.
      Kukosoa tuuu ila kusoma aaha
      Nenda kasome

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 месяца назад

    Angalieni fatwa za sheh farsy alisema vitu hivo vimetngwa na jafary barazanji alishiba akatunga mashairy leo iweje mfanye maulid ibada

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад +1

    Daaah! Wallah usufi ni uwendawazimu haya basi muiteni huyu ukhty siku1 kwenye misikiti yenu aje atoe na khutba na kwa jinsi akili zenu zilivyo hamshindwi😀😀😀

  • @abdallahally8640
    @abdallahally8640 3 месяца назад

    Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatouh....Ndugu zangu Hapa tulipo fikia nikusubiri kiyama2 kama tumefikia mda wa kuwa watu kama Muhammad bachu kuitwa masheikh hiki ni kiyama2 ...na wao wanajifahur kuitwa masheikh ndio msiba mkubwa ulipo tupata ktk dini...Tumuombe Allah atuonyeshe haki na atupe taufik ya kuifata na atuepushe na batwit na yoote anayo yachukia.

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 месяца назад

    MASHA ALLAH 💚

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu 3 месяца назад

    Kutoka kwa mwanamke kwa mwingine, naomba uitoe hii sauti mtandaoni. Inna lillahi wa inna ilayhi raajiuun

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb 3 месяца назад +2

    Huyu mtoto wa bachu hana adabu kabisa,sheikh mzima unamwita hurafi mwenzio,,ndio suna yenu hiyo kudharau wanavyuoni ww,suna gani hiyo,uwe na adabu basi

    • @ilyasawadh6375
      @ilyasawadh6375 3 месяца назад

      Mohmd bachu Kama Sio wazazi wake Basi Ni walimu wake hawajumfunza adabu au yeye mwenyewe tuu kaamua kuwa Na adabu mbaya. Allah atuongoze sote amiin.

    • @fakijecha
      @fakijecha 3 месяца назад

      Hamna kitu ndugu yangu umo kasoma lakin hajaelimika hakuna mwana zuwoni amefaya ujinga unao faya yenye anauharibu uwislamu lakin anajiyona anajua waislamu Kwa waislmmu ni ndugu alafu angalia yenye anacho kifaya ni kinyume kabisa na mamrisho ya Allah

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      ​@@fakijechayeye swahaba anayoyafanya😂. Yaani dada kamfichua mnafiki kweupeeeee

  • @hashimhamis-bj1kf
    @hashimhamis-bj1kf 3 месяца назад

    Daaahh ukiskia siasa za makundi ndohizi bwana Kila Mmoja yy ndo yupo sahihi na mwezie hafai kazi kuparanganya uma tu

  • @SalimAli-lj5sr
    @SalimAli-lj5sr 3 месяца назад +2

    Wewe ni mjinga hujitambuwi Mwanamke mpuuzi unaepaza sauti yako kwenye mitandao

    • @GhimranaJuma
      @GhimranaJuma 3 месяца назад

      Acheniii ufinyuu wa elimuuuuu usuli mtaelewaa unaptakaaa kutoaa hukumu unazingatiaaa nin

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx 3 месяца назад

    Mama Aisha allah akupe umri na atujaalie pepo kwa jitihada ya elmu yako na wazaliwe wanawake millioni kama wewe ambayo watakuja kulinusuru hili janga la mawahabi wakiyahudi..

  • @Mganga-z6m
    @Mganga-z6m 3 месяца назад

    Kuna watu kibao wanahitaji kufikishiwa dini ya kiislam hamuendi huko kazi kushambuliana nyinyi kwa waislamu

  • @alf8177
    @alf8177 3 месяца назад +1

    MWAMBIE HUYO UST SAMEER KUOMBA MAITI INAFAA ATAKWAMBIA INAFAA

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b 2 месяца назад

    we mama acha mbwe mbwe na ucchache wako wa ufahamu ndio mana watu hawakujibu mana nikama unaleta fitna shindana na mabanati wenzako.

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 3 месяца назад +1

    Huu mke hata kuoga janaba au hedhi hajui anashindana na sh Mohamed

  • @amoursalim9031
    @amoursalim9031 2 месяца назад

    Ww umeruhusiwa na sheria gani kuwaradi mashekh

  • @ThabitisalumJuma-o9l
    @ThabitisalumJuma-o9l 3 месяца назад +1

    Wanawake ni fitna kubwa sana tuwe na tahadhari nao mwanamke akifikia hatua ya kupaza sauti kwa wanaume basi huyo tuwe makini nae sana tusije kuingia ktk fitna

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 3 месяца назад +2

    Masufi hawana hoja ni viburi tu ndovyawasumbua

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 3 месяца назад

    Dada piga nakuelewa sana

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v 3 месяца назад

    Nyinyi masufi labda shirki ndizo mnazozijuwa unajuwa shekhe abdallah salehe farsy aliyaelezea vizuri sana maulid wacha shirki alisema yana kufru kabisa

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 месяца назад +2

    Kanyooosha maelekezo ukhty.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      YUPO sawaaaaaa, katuliaaa hana pupaaaaa😂

    • @moralist6100
      @moralist6100 3 месяца назад

      NA YEYE ATANYOOSHWA

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      @@moralist6100 mihemko ya bachu inaenda mrama, hawez kunyoosha mtu. Kila pahala anachapwa yeye

    • @moralist6100
      @moralist6100 3 месяца назад

      @@hilalkhalfan1452 HATUSHANGAI HIYO NDIO AQIDA YENU KUGEUZA MAMBO MAANA BACHU ANAWACHAPA VIZURI SANA MAKHULAFI HALAFU HUKU INAKUJA ANACHAPWA HEE JAMANI NYIE MNYONGE MNYONGE NI LAKI I HALI YAKE MPENI

  • @AliSuleiman-v2x
    @AliSuleiman-v2x 3 месяца назад +2

    Yaani haki itabaki kuwa haki kucheza hio ni Ngoma

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад +1

    Uzuri wa masufi kila mtu wa sunna ni wahabi mpka Ibn Taimiyyah Wahabi hali ya kuwa huyo Abdulwahaab hamjui na wanawakaririsha watu wao kuwa wahabi watu waovu lakini siku wakisoma wanaona usufi ni uwendawazimu wanauacha kweupeee😁😁😁😁

  • @AwadhTariq
    @AwadhTariq 3 месяца назад +1

    Km tushakubaliana kuwa kutia udhuu ni jambo zuri na tabiin wamelifanya bc mtupe hoja kuwa tabiin walifanya maulid shida ipo wp kinachofanywa kwenye maulid ni bidaa na uongo uliopo kwenye barzanji

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 3 месяца назад

    dadayangu asante sana bachoo ni muongo sana

  • @OthmaniSelemani-tj3lv
    @OthmaniSelemani-tj3lv 3 месяца назад +1

    Hivi unamume kweli wew au unatafuta maana wenye mume wapo majumbani kwao

  • @khalifaobo5715
    @khalifaobo5715 3 месяца назад +1

    Huyu bachu huwa anatafuta mada za watu watoa khutba ati atoe radi ili apate tu kuzungumza bila ya kutafakari kunasemwa nini hii yaonyesha kuwa hana busara

  • @alf8177
    @alf8177 3 месяца назад +3

    MIMI NAMJUA SANA HUYU UST SAMEER HAWEZI MJADALA NA HATOTHUBUTU KUJIBU NA NDO MANA WANATUMWA KINA DADA. WANAUME WAMESHNDWA KUJA NA HOJA

    • @Abuumustwapha
      @Abuumustwapha 3 месяца назад

      @@alf8177 Nahana huo muda wakumjibu mtu ambae anaacha vidio kamili nakuchukua kakipande kwamba naww hujaona ??? Kiongoz?

    • @Abuumustwapha
      @Abuumustwapha 3 месяца назад

      @@alf8177 dada anamtosha sana kama kaamua kufanya uhuni wakuikata vidio yake na ilikua yajieleza vzr amjibu nni ssa wakat kaitaka si ilikua awaonyeshe waislam vidio nzima mbona kachukua anachokihitaji t mengne kaacha na mumeliona hilo mbona hamsemi kumwambia aaache tabia hiyo?

    • @ThabitThamAlharthy
      @ThabitThamAlharthy 3 месяца назад +1

      Sasa unataka ajibu nini.. na maneno yake yapo wazi kwa mwenye kuelewa.. sio kila mtu anajibu tu.😂😮

    • @Abuumustwapha
      @Abuumustwapha 3 месяца назад +1

      @@ThabitThamAlharthy Ndo hapo nammi nashangaa maneno ya shekh Sameer clip nzima imejieleza ss bacho ye kachukua kakipande ndo kafanya ghushi yake Skkh ajib nni.😁

    • @KhamisBakar-ge4sp
      @KhamisBakar-ge4sp 3 месяца назад +1

      Sh Saamir ni mtu anae jielewa sidhan kama anaweza kukaa kuradi upuuz wa bachu

  • @abdulkarimsalum356
    @abdulkarimsalum356 3 месяца назад +1

    bachu hajafkia levle y sameer nd man kajbiw nademu maan yke levle y bachu nd kwnz ipo sw na demu tu bad hajafkia elim za wanaume 😅

  • @salmaanfaqiih
    @salmaanfaqiih 3 месяца назад

    Utovu wa adabu munasoma kupitia kitabu gani nyinyi mawahabi, tunataka tufuatilie na sisi musitunyime, sisi tumezowea taswawwuf, sasa tunataka na huu utovu wa adabu wenu tuusome pia.

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 3 месяца назад

    Sheikh Muhammad hana mda uo wa kukujibu ww m.mke usojielewa unataka sawahaba gan au Mtume mwenyewe alifanya hivyoo yaan kutia udhu. Sayyidna Bilali swahaba alikua na hio tabia ya kutia udhu mara kwa mara hivi nyie hili hamlijuiii au mnajipofua, haya Sayyidna Bilal awe ni bora wa kujitoharisha kila wakati amzidi Mtume SAW bila shaka Mtume ndie alotuzidi kila kitu bc io mibichwa yenu ifunguke maghurafiiiiiiiiiiii

  • @UsamaAhmaderic
    @UsamaAhmaderic 3 месяца назад

    Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh,dada kutawadha lilifanywa na swahaba,je kuna athari ya maulidi Kwa maswahaba?shukran

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 3 месяца назад

      Maswahaba hawakuwa wakitawadha walipokuwa wakisimulia hadithi za Mtume. Maulidi walifanya maswahaba ilikuwa wanatunga shairi na kumsifia Mtume

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 3 месяца назад

    kumbe sheikh samir amemjibu bachuu

  • @ThabitisalumJuma-o9l
    @ThabitisalumJuma-o9l 3 месяца назад

    Maulidi yangekua ni dini basi mayahudi wangekua washa yapiga vita zamani sana

  • @moralist6100
    @moralist6100 3 месяца назад

    NDUGU WATAFUTA HAQQI HUYO DADA KITANTARITA KIHEMKO KIFIRIMBI CHA KHULAFI AMEYAKANYAGA NA ATAJUTA KUACHA KUTUMIKIA KAZI NYUMBANI NA KUHEMKA MITANDAONI KUNA UKHTI MARYAM KITOTO CHA MIAKA TISA KINAKUJA KUKUJIBU UTAJUTA

  • @wamiujizacholo7413
    @wamiujizacholo7413 3 месяца назад +1

    Huyu dada kaja kutafuta umaarufu,, vipi mwnamke uje ushindani ubavu wa kielimu na mwanaume wakati kila mwezi unatoka damu, kaa na mume wako dada yangu uishuhulikie familia yako ,,

    • @IbrahimuSaid-z7e
      @IbrahimuSaid-z7e 3 месяца назад

      Kujua mwezi mtu anatokwa damu tuuu ila maneno ya aliyoyarekebisha aahaa
      Fuatilia usikurupuke

    • @wamiujizacholo7413
      @wamiujizacholo7413 3 месяца назад

      @@IbrahimuSaid-z7e mwanamke hapaswi kuskika sauti yake angewachia wenyewe wakajibizana . Yeye kaja kufanya nini huku kwenye mitandao wakat yeye anamadhaifu kibao,,,

  • @MuslimKilalo
    @MuslimKilalo 3 месяца назад

    Ww muddy bachu unaakili kwel et

  • @MohamedKibwana-mc5wu
    @MohamedKibwana-mc5wu 2 месяца назад

    Tarumbeta la mawahabi limetoboka😂😂😂😂

  • @mohdmassoud749
    @mohdmassoud749 3 месяца назад

    Hhah ili toto la bachu limeghushi na kashaghushiwa na ukhty mara hii atajinyea badala ya kujikojokea😂

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 месяца назад +3

    Hakuna kusherekea mkuzaliwa mtume

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад

      Mutaelewa tu

  • @RashidAli-ft2om
    @RashidAli-ft2om 3 месяца назад

    Jamaa naomba me nipeleke kwao huyu demu nikamfanyie nusra
    Maana nyege
    Nyege mbaya sana

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 3 месяца назад

      Sheghe wangu tuwe japo nastara ktk manenoyetu iwe kwakuongea au kuandika usimtukane mtu alohifdhi maneno ya Allah kumbuka kua huyo Dada haimbi mziki ila anajishughulisha nadini tusimkejeri kunyamaza nibora zaidi kuliko kuongea kwa mihemko

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 3 месяца назад +2

    Dada msomeshe hicho kitotochabacho

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v 3 месяца назад

    Wewe mwanamke kuwa na adabu kumtaja bachu si umuite mohd wewe mwanamke huna adabu wala elimu wewe mwenye unatakiwa utubiye kwa kuleta sauti yako mitandaoni wewe una mume mpaka akakuwacha ukaja mitandaoni sauti ya mwanamke ni uchi fanya toba

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 3 месяца назад

    Mukiambiwa maulidi bidaa mwakasirika Kwa sababu Muna maslahi yenu na ww dada utabaku dadatu hunajipya

  • @anwarsalum7772
    @anwarsalum7772 3 месяца назад

    Mhhh.. Kumbeeee

  • @SalmaSaid-jb5zq
    @SalmaSaid-jb5zq 2 месяца назад

    Hna lolote hyo shekh said na ww pia haifai kumwit mwenzko muongo jitambue ww mwanmke khiyan unay ww na watakiw utubie pia na upof wko hun akil baad utafte mas'haf usom waanik kisaut chak hadharan upat nn

  • @fakihkhsaid9353
    @fakihkhsaid9353 3 месяца назад +2

    Wee mwanamke huna haya Hivyo fanya utakalo.

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад +1

      Acheni makasiriko

    • @HassanHassan-v3t
      @HassanHassan-v3t 3 месяца назад

      Kama Hana mume na aje huku

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 3 месяца назад

      Mbona mna mihemko kama mnamuweza huyu dada mjibuni mnalialia nini

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 3 месяца назад

    Dalil za qiyama hizi Masuf mna mambo mazito Hamujielew

  • @SaidMadai
    @SaidMadai 3 месяца назад +1

    Hajitambui bachu n zaid kukosa adabu kw wanaxuoni ndio fani aliyonayo ila elimu hamna zaid y kudapia masheh nakuaibishwa akakimbia 😂

  • @khalifaobo5715
    @khalifaobo5715 3 месяца назад

    Nyinyi munaopinga haya maelezo ya haki kutoka kwa huyu ukhti pia mwaonyesha busara zenu ni ndogo,haki ni haki hata ikitolewa na asiye kuwa muislamu ni lazima ipokelewe hii kwa mujibu wa dini,walakini si walaumu maana hamuelewi haki kama vile bachu

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 3 месяца назад +1

    Kaolewe kwanza

  • @JabuUssi-e8b
    @JabuUssi-e8b 3 месяца назад +3

    Acha kutafuta umaarufu hunaelimu yoyote zidi ya umalaya

    • @IbrahimuSaid-z7e
      @IbrahimuSaid-z7e 3 месяца назад

      Alafu mwajiita salafi wa kuwaita ovyo wanawake Malaya hujasikia amesoma Quran, ni malaya gani anayefundisha na kusoma Quran hvi,
      Natamani nikupe kubwa ngoja nikupe kubwa zaidi.
      Allah akuepushe na maneno machafu yenye kinyaa kwenye mdomo wako ikiwa mdomo wako huo unautumia kusoma Quran.
      Allahumma ameen

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 3 месяца назад

      Muogope Allaah wewe Umemshuhudia akifanya umalaya? Jiepesheni na Madhambi 7 yenye kuangamiza
      Dhambi ya saba nikumsingiziaa mwanamke anaejihifadhi na maovu kwa kumtaja kwa ubayaa

    • @arifali3942
      @arifali3942 3 месяца назад

      Km tungekuw na dola ya kiislam basi tungekupiga bakora 80 viboko kwend mbele ?

    • @JimmyKates
      @JimmyKates 3 месяца назад

      Wewe ndio malaya mwehu mkubwa, wewe na Bachu na mawahabi ndio malaya wakubwa

    • @ahmadiyusuph1663
      @ahmadiyusuph1663 3 месяца назад

      Wewe nimalaya mwenzie mana utakua mwalimuu wake

  • @amoursalim9031
    @amoursalim9031 2 месяца назад

    Ww km unaelemi waelimishe wanawake wenzako nasio kuja mitandaoni eti uambiwe umesoma hatujapokea hadithi yyt kuwa fatma bint rasul akiwaradi mashwahaba wengine

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 3 месяца назад +1

    Sheikh Mohammed bachu uyo mwanamke anatafuta mchumba lakini anaona tabu kusema ukweli .Muowe ili umuondoe kwenye giza

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 месяца назад

      Jibuni hoja

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 месяца назад

      Huyu dada hawez kuolewa na kafiri na WANAFIKI. Tupo wengi wenye ADABU ZETU tumemkosa, 😂 . Basi jibuni hoja huyo ana mwenyewe.

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 3 месяца назад

      Dadake haji upepo uyo

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад

      ​@@hilalkhalfan1452 kumbe ana mwenyewe uyo mwenye hana wivu saut kama iyoo inayowachemua رجال

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 3 месяца назад

    Mashaallah dada kiboko huyo

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 3 месяца назад

    Wewe Binti unatumiwa shauriyako

  • @islambinomar8716
    @islambinomar8716 3 месяца назад

    Inalilah waina ilah rajion msiba mzito waislam kwa waislam wanatukanana hadharani ndio uislamu unavyotufundisha?

  • @ThabitisalumJuma-o9l
    @ThabitisalumJuma-o9l 3 месяца назад

    Huyu dada anaushabiki hii ni dini dada yangu sio genge la wana siasa kua makini na kila unacho kiongea

  • @GjdtYk
    @GjdtYk 3 месяца назад

    We mkumbavu San wew kazi yak ni kukog

  • @fundkiboflo
    @fundkiboflo 3 месяца назад

    Naona bachu kawakaa kooni naonamwiba bado umewaganda nyinyitowen saut yachumbani maulid hayafai upige dufu usipoge hayana ushahid wake kwenye kuan wala hadisi

  • @khermisybonaya3741
    @khermisybonaya3741 3 месяца назад

    Bachu ajiandae Wanawake wakimaliza kumraddi twaja sisi Watoto wa Ibtidaaiyyah na sisi tutabarruk😂😂😂

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад

      Vip demu kishaolewa ???? Nataka maana sio kwa saut iyooo

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 3 месяца назад

    Ukiingia katika usufi asubuh mchana utakuw mpumbavu

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 3 месяца назад

    Kwanza aende akamjibu sheikh said ikisha ndio aje na upuuzi wake tena hapa

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 3 месяца назад +1

    Mbona kama bacho anaanza kukubali maulidi

  • @AbdullahKhamisi-t6x
    @AbdullahKhamisi-t6x 3 месяца назад

    Mm naona ww ndo tarumbeta hujui ulitendalo maana mmeambiwa mchunge saut zenu lakin ww huichungi

  • @saidibwanaidi7030
    @saidibwanaidi7030 3 месяца назад

    Huyo kamrekebisha mwanamke mwenzake hana makosa huyo mwanamke asilaumiwa kabisa

  • @OthmaniSelemani-tj3lv
    @OthmaniSelemani-tj3lv 3 месяца назад

    Wew kweli hujasoma umekaririswa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 3 месяца назад

      MAWAHABI baadhi yao Niwahuni! Sheik alishasema Kuna mambo hayafai kwenye maulid,Alafu eti bachu anasema eti sheik akatoe kauli tena!!!

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu 3 месяца назад

    Kwaaanza,,, kwa majibu ya kwanza,,, hukubainisha chochote… maskini….

  • @SadaJuma-f4t
    @SadaJuma-f4t 3 месяца назад

    Ma swahaba unataka kutuambia walisikliza saut tu za wakeze mtume sio elimu

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 3 месяца назад

    Mwanamke huna aibu kwani mbona unajinsibisha na mtume ila unachamba sio adabu nzuri mama huna mume wewe??

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 месяца назад

    mjinga kweli huyu mwanamke heb katafuje jiko upikee pumbavu ww

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 3 месяца назад

    Ikifikia unaradiwa na mwanamke jitafakari jua umeonekana kichwa kitupu .aibu

  • @kassimbitogwa6992
    @kassimbitogwa6992 3 месяца назад

    Mwanamke mpumbavu kweli

  • @daudikombo5957
    @daudikombo5957 3 месяца назад

    Sasa wasifanye wakati ndo wanavofanya na huyu kadada kaja na mipasho ktk dini watu wanafanya fikira kuwatoa watu ktk uwovu yeye anakuja na mipasho

  • @ATICKLUNKO
    @ATICKLUNKO 3 месяца назад +1

    Hiv huku kucheza,,hakjawahi patikan,,wkti wa mtume,,nae akishudia kabisa,,,haikuwepo,,u mwajitoa akili,,,