MUNAQASHA BAINA YA MUHAMMAD BACHU NA SHEIKH KIDAWA || SEHEMU 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 452

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Месяц назад +6

    MASHA ALLAH sheikh kidawa ALLAH akuzidishiye mazuri. amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline Месяц назад +19

    MaashaaAllah. Twendeni maulidini sasa. Tukamswaliye Mtume

    • @ashasalum4467
      @ashasalum4467 Месяц назад

      Huyu kakubali leo maneno ya wanawazuoni kuwa yanafaaaa.. sasa mbona alikuwa anamkataa sheikh mwenye sharful anaami.

    • @mq8856
      @mq8856 Месяц назад +1

      Kwani kumswalia mtume ni mpaka ktk maulid😂😂

    • @shabanmohamed7071
      @shabanmohamed7071 Месяц назад

      @@mq8856kwan ukimswalia maulidini ni kosa?

    • @shabanmohamed7071
      @shabanmohamed7071 Месяц назад

      Wahabi kuna wakati akili zao sijui zikoje😅😅😅

    • @hamidaawadh9024
      @hamidaawadh9024 Месяц назад

      ​@@shabanmohamed7071zikoje kwani

  • @abouhafswa5580
    @abouhafswa5580 Месяц назад +6

    KUMUELEWA BACHA YAHITAJIA TAUFIQ YA ALLAH..BAARAKA LLAHU FIYKA YA AKHUYA

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y Месяц назад

      Bachu ni Hadhayaan binhadhyaan almuhriq waulize watu wa pongwe,,,!!!😮😮😮ahluFarqa walfitna. Wacha talbiiis zako.

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn Месяц назад

      ​@@SaidSeif-d4yHata hueleweki maana akili huna hata ya kupima mambo upo kiushabiki zaid

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y Месяц назад

      @HashimSalim-qj7zn we bwege kweli,,, sitaki unielewe hata kidogo,, hakueleweka Mtume Muhammad kwa lolote si sala wala udhu wake wala ttahiyytu wala Uislam na ttauhiid zake we huoni wala husikii izo vurugu??? Jiulize walikuwa wapi hao masahaba wakati mtume anafundisha?? Au kila Sahaba alikuwa akifundishwa peke3yake Uislam umekuwa ujinga mtupu siku hizi wanaojiita masheikh wanaumbuana tu siku hizi mitandaoni?? Masalafi kwa Masalafi,,, mashia,,masufi ,,Ibadhi????makundi kibao.. Qur'an hasomi wakiisoma wanailetea tafsiir ya hovyo itakayobeba maslahi yao. Kunielewa mimi utaelewa tu!!! fanya kama challenge tu.

    • @amkadunia
      @amkadunia Месяц назад +1

      Hiyo ni sawa na kusema Kuelewa Jambo ni Mpaka upate roho Mtakatifu, NON SENSE

  • @AliKitole-r9e
    @AliKitole-r9e Месяц назад +5

    Nimefuatilia clip zote tatu sijauona ujaahil bali werevu na elimu alonayo Ustaadh Muhammad Bachu. Ameeleza kwa ubainifu na mifano

  • @YusufMriri
    @YusufMriri Месяц назад +4

    Mashaallah sheikh Muhammad bachu Allah akulipe kheri ktk dunia na akhera umefundisha na umeeleweka vema,asotaka kuelewa Allah amuongoze❤

  • @Kassim-k6h
    @Kassim-k6h Месяц назад +5

    Bachu GIANT I see soon ,u will be our teacher inshallah

  • @MuhajirinaTv
    @MuhajirinaTv Месяц назад +15

    Sheikh bachu allah akupe taufiqi unafanya kazi kubwa sana

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 14 дней назад

    Na niwahusie nyinyi mnaeweka klip hizi msikate maneno ya shekh bachu mcheni allah ktk hili Kuna kifo na kila mmoja wetu atasimamiswa ktk mahakama ya allah

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 Месяц назад +5

    Pongezi sana kwa Sheikh KIDAWA, na Allah akujaliyeni kila la kheri nyote wawile na wenye viti kwa namana mlivyo endesha munaqasha kwa hali ya kiislam na eshima upande zote

  • @MTAVASSYTv
    @MTAVASSYTv 2 месяца назад +16

    Sasa haya haya wakisema watu wa maulidi munasemaga hakuna aya Bachu mche Allah.

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj Месяц назад +2

      Bachu mbabaishaji atakae mfuata atapotea.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Месяц назад

      Mtume saw smesema swalini km mkiona naswali. Sasa huyu bachu hana akili. Ataka Mtume saw aseme wakati anaonekana anaswali akaigwa. Huyu bachu ni vurugu tu

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo Месяц назад +7

    SHEIKH LETU KIDAWA MAUA YAKO HAYOOO ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤ KWA KUMNYAMAZISHA HUYU HU BACHOOOO

    • @SaidSalafy
      @SaidSalafy Месяц назад

      Dah sheikh kidawa ni mjinga San maan han huja hata moj

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 Месяц назад +2

    Masheikh wetu wote sheikh kidawa na sheik bachu Allah awahifadhi
    Ktk mzozo kunapatikanwa faida kubwa sana
    Wote wapo sawa
    Tatizo suala la wanavyuoni tunataka kulivamia sisi ambao hata uwanafunzi hatujaufikia
    Suala la wao tuliache kwao ktk hukmu kwa kuwa wakipatia hulipwa na wakiteleza ktk jitihada husamehewa kwa kuwa wmetoa umri wao kumtumikia Allah almuhimu kuishi ktk ukweli

  • @JumaMwamba-t9z
    @JumaMwamba-t9z Месяц назад +8

    Umejivuruga bachuuu duh

    • @khamissheha276
      @khamissheha276 Месяц назад

      Sasa alichojivuruga hapo

    • @JumaMwamba-t9z
      @JumaMwamba-t9z Месяц назад

      @khamissheha276 kauli ya suna wali jamah jambo lolote zuri kwakuwa halipo kwenye qur ani au kwenye hadithi za mtume swalallah aley wasallam halifai je? Hili neno tawhid lipo kwenye qur ani na hadithi

  • @WahidIbrahim-z7r
    @WahidIbrahim-z7r Месяц назад +2

    Mashallah Sheikh Muhammad Bachu yupo sawa na inahitaji Akili kuelewa Sana na umekomesha Bidaa Tanzania na east Africa Allah akuhifadhi

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Месяц назад

      Endeleeni kumfuata kwa vile yupo sawa, na munao waona wamepotea waacheni na upotevu wao mbivu na mbichi itajulikana tu

  • @HamzaBashiru-t9g
    @HamzaBashiru-t9g Месяц назад +1

    Shekhe kidawa allaah akupe umr mrefu

  • @yussuphkhamis5878
    @yussuphkhamis5878 2 месяца назад +7

    Wallahi Sheikh Upepo njoo tuendelee Darsa kweny Group naon Bachu hana Hoja.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      MashaAllah
      Tuendelee na vitabu vyetu

    • @muhamadkhalid4976
      @muhamadkhalid4976 Месяц назад +1

      @@yussuphkhamis5878 Tafta masheikh wa kukusomesh ukaelew din sio kuwafuata akina haji upepo wanaosema mambo kwa matamanio yao na sio haki

    • @nainasmash6966
      @nainasmash6966 Месяц назад

      Niungeni na mimi nimemuelewa sana sheikh

    • @abilahiMajasho
      @abilahiMajasho Месяц назад

      Duuh nyinyi kama kidawq mumemuelewa pumba zake bola ata asie soma maana ilimu yenu ni ujinga tu​@@IbraFareed

  • @feizalmas
    @feizalmas Месяц назад +10

    Wallah sheikh upepo mungu akulipe kheri na akupe afya njema mashaallah umefundisha na kaelewa ila kwa kua anakibri na ujinga kabakiza jichekesha kama duyuth.

    • @HumudSoud
      @HumudSoud Месяц назад

      Kila mtu ana upeo wa akili wa kuelewa wewe upeo wako umeishia kwa sheikh upepo ni sawa sio tatizo ndo elimu ilipoishia

  • @OyayaSima
    @OyayaSima Месяц назад

    Allah akuhifadhi

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r Месяц назад +1

    Nyinyi masufi mume athiriwa na mashia

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 2 месяца назад +2

    Kumbe nimwalimu Maasha Allaah umekir na kweli ni mwalim kakusomesha

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 27 дней назад

    Bachu allah akuhifadhi uzidi kutupa elimu juu ya dini yetu tukufu nasaha zangu tusikilize hii mijadala kwa ajili ya kupata elim tusisikilize kishabiki ukiijua haki hata kama haipo kwa unaempenda ifuate kwa kuwa hii ni dini

  • @omaryshiza195
    @omaryshiza195 Месяц назад +3

    Wap kwenye kitabu na Sunna kuandika vitabu au vigawanyo vya tawhiid!?

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz9934 Месяц назад +1

    MISUFI BHANA MIJINGA YA KUTUPA. MIJITU IMESOMA LAKINI HAIKUELEWA.

  • @mohdomar6760
    @mohdomar6760 Месяц назад +1

    Sheikh bachu unatuadhirisha wazanzibar

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd 2 месяца назад +4

    Wallah bachu ktk sehemu uliojichanganya ni mjadala huu lete hukumu hukumu ya viganyo hivi nisuna au ni wajibu usibabaike

  • @jumakibwana7419
    @jumakibwana7419 Месяц назад +5

    Leo ndo nimesikia kuna mambo yalikua hayana Tija kufundishwa zama za mtume s.w 😅😅😅duuh kweli bachu umeingia chakike

  • @samxx411
    @samxx411 Месяц назад

    Mbora mbele ya Allah ni Mcha Mungu zaidi na anaejinyenyekesha kwake..Allah atujaalie tuwe wacha Mungu tusiwe na kibri kama hawa masheikh

  • @swalehAlly-c3r
    @swalehAlly-c3r Месяц назад

    Isikilize sanaa kauli ya mtume (S.A.W.)na ifanyie kazi kasema hivi mweny kufutu mas_ala au kufasir ndoto pasi na kuwa na elimu nayo ni kama waliotok mbinguni had kufika ardhini na akakutana na shimo halina mwisho hata kama alilopatia ni saw lakini hakuwa na elimu nalo

  • @AdamuMohd-k1s
    @AdamuMohd-k1s 28 дней назад

    Hafaham masuali shekidawa

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 Месяц назад

    Mbona mnakata clip ?

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy Месяц назад

    Watu wabidaaa mnatia aibu nipo Burundi 🇧🇮 nafatilia swali aliloulizwa bacu kajibu vizuri. Ya subhanallah

  • @KassimHussein-b7f
    @KassimHussein-b7f Месяц назад +5

    Faida niliopata ni Kuwa ulamaa wakiweka mambo wafuatwe hata kama mtume hajasema maadamu ni warath8 wa mtume
    Sasa Kuna haja Gani mijadala ya maulidi wakati pia ni ulamaa wameweka lazima tukubali sote ni watu wa bidaa na sote ni watu wa Sunna.Alhamdulillah wa MAULID wako sawa na wengine wafanye

    • @omaryAthumani-ee8by
      @omaryAthumani-ee8by Месяц назад

      ❤umeelewa sawiya shekhe namimi nakubaliana nailo biidhinillah

    • @HarunaArmani
      @HarunaArmani Месяц назад +1

      MAULIDI IMEPITA HIYOOOOOOOOOOOOOOO
      SWALLALLAHU ALEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE3EEE

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Месяц назад

      Maulid ni bidaah

    • @KassimHussein-b7f
      @KassimHussein-b7f Месяц назад

      @@mikekhalifaali7510 ni kweli mswalie mtume s.a.w

  • @sharifumussaalaadabiy9001
    @sharifumussaalaadabiy9001 Месяц назад +18

    Huyu Sheikh kidawa nimtu wakutazamwa mno kwasbb amepewa ufahamu mkubwa mno duh

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o Месяц назад

      Hhhhhhhhhhhh

    • @MohammedAli-ud8so
      @MohammedAli-ud8so Месяц назад +1

      Kweli hatari sna Zanzibar tuna watu wenye uelewa km shekh kidawa

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Месяц назад +1

      Hana uelewa hata kidogo

    • @pandumwadini9214
      @pandumwadini9214 Месяц назад +2

      Labda umtazame wewe na baadhi ya masufi wezio.
      Huyo bachu ni mtu mwingine kabisa
      Allah amuhifadhi

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Месяц назад +1

      Mimi mkristo nafuatilia sana huyu Shekhe kidawa hamuwezi kabisa Bachu bachu ni mwanazuoni mkubwa sana

  • @HilaliSaidi-n2f
    @HilaliSaidi-n2f Месяц назад

    Namshukuru ALLAH kwa kunipa elimu ya thamani,ili nijue ujinga wa bachu

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n Месяц назад +3

    Bachu kwishaaaaaaaaaaa

  • @MahfodhAmeyr
    @MahfodhAmeyr Месяц назад +2

    ASANTTTTTTTE SSSSSSSHHHHEEEEKKKKKHHH KIDAWA KWA KUMMWAGA MAJI BACHU

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 Месяц назад

    Dahh hatari mwalimu akiwa mzuka wanafunzi watakuwa hali gani bachu rudi ukasome kidawa shukran

  • @AlhamduHamza
    @AlhamduHamza Месяц назад

    العلم نور من الله لمن ناله

  • @AwadhAlmagram
    @AwadhAlmagram Месяц назад +3

    Atizamwe vizuri huyo tarumbeta lakiwahabi huku kwetu Kenya kajikojolea kwenye mapambano dhidi ya chipukizi wa twariqa ndugu Said Omar

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo Месяц назад +2

    BACHOOO JIBU BIDAAA SUALI JE KUNA BIDAA MZURII

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      Mbona keshajibu Kwa fasaha kabisa Tena kielim nyie Bado mnasumbua kuelewa😂😂 masufi shida nin

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 2 месяца назад +2

    Mashallah sheikh Muhammad bachu umeeleweka alhamdhulillah

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂 aliwahi kuseema bida yoote mootoni. Leo usikubali bida.

    • @feizalmas
      @feizalmas Месяц назад

      Masoud muogope Allah usiwe mshabiki

    • @muhamadkhalid4976
      @muhamadkhalid4976 Месяц назад

      Kwa kweli yupo saww sheikh Muhammad Bachu

    • @karimuHamisi-z5h
      @karimuHamisi-z5h Месяц назад

      Bachu ni mpumbavu tu.

    • @jumabalozi
      @jumabalozi Месяц назад

      Kivipi fafanua hebu​@@karimuHamisi-z5h

  • @AbuMirfat
    @AbuMirfat Месяц назад

    Mashallah shekh kidawa umemuweza Bachu hana usemi

  • @shakoshahamdu7273
    @shakoshahamdu7273 Месяц назад +10

    Tatizo lipo hivi,bachu qauli za mashekhe asio wataka wakiongea Huwa ni bidaa,Ili awadhoofishe,lakini anao wataka Huwa ni wapo sahihi,afike mahala akubali mawazo na juhudi za wasomi wezake.asiwe na tabia zakupinga Pinga tu.

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      Sio kweli lazma ukisema kitu kiwe na msingi wa Quran na Hadith na kisivuke mipaka kwenye vitu hivo bacho Yuko sawa mbona kaelezea Kwa vitabu kabisa

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Месяц назад +1

      @@Saidimkwizu Hajatoa ushahidi Wa aya na hadithi kuthibitisha kuwa mtume na masahaba walikuwa wakifanya hivyo, Au Wewe umeona ameosha ushahidi huo tokea enzi hizo?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Месяц назад +1

      @@Saidimkwizu mbona sijaona kama ameonyesha ushahidi Wa elimu na ushahidi Wa maandiko ya aya na hadithi. Sahihi.

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      @abdullahmasakata170 si kaonesha aya hapo au hujui Quran au Quran haitoshi kwenye Hilo Hadi iwe Hadith?

    • @hamisisaid-zz2ye
      @hamisisaid-zz2ye Месяц назад

      kaelezea kwa vitabu lkn mtume wala maswahaba hawajalifanya hilo na bc kama atakubali hilo n sawa asipinge juhudi za wanazuoni wengine wanaofanya juhudi kuchambua kwa mjibu wa Qur'an​@@Saidimkwizu

  • @ndizeyeabdallah6741
    @ndizeyeabdallah6741 Месяц назад

    BACHU Allah akuzidishie elimu yeny manufaaa kwa ummah wa Muhammad
    Napenda unavyo wafundisha ma khurafiiii

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f Месяц назад

    INGIA KTK UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA?? UONE WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW

  • @allstarhighlights-j1n
    @allstarhighlights-j1n Месяц назад +1

    pole sana Ustaadh Bachu ,unajaribu kuelimisha watu lakini wamekataa kuelimika

  • @MohammadHaji-e5r
    @MohammadHaji-e5r Месяц назад +1

    Bachuu bachuu eee Sante sanaaaaaaaaaaaaa Asante sanaaaaaaa❤

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y Месяц назад

      Bachu ni Hadhayaan binhadhyaan almuhriq.. waulize watu wa pongwe...kasuku wa znz

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo Месяц назад +3

    bachu amejivurugasan duh

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo Месяц назад +4

    KIBACHO KINAJICHEKESHA TUU KISHASHINDWA

  • @RanadhanHamad
    @RanadhanHamad Месяц назад +1

    Wengine bachu wengine Kidawa kwangu mimi wote 👍

  • @RanadhanHamad
    @RanadhanHamad Месяц назад

    Na wote mashaallah

  • @MuhajirinaTv
    @MuhajirinaTv Месяц назад

    Allah akubarik sheikh bachu

  • @lookhooksook
    @lookhooksook Месяц назад

    Mwenyekiti anazingua, si apeleke tu mic lazima aongee kitu?

    • @newttechog75
      @newttechog75 Месяц назад

      😂😂😂mwenyekiti muadilifu

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 Месяц назад +4

    BACHU NDIO KAUWA BIDAA TANZANIA NA AFRICA NZIMA😂😂

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 Месяц назад

      Bidaa gani hiyo alioiua bachuu,??

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Месяц назад +1

      Hivi utaitishaje mdahalo kama husomi vitabu? SHEIKH Kidawa yaan umepigwa leo , wachan na usufi tu

  • @newttechog75
    @newttechog75 Месяц назад +2

    "JAWABU FUPI NI KWAMBA HAKUNA BIDAATUN HASSANA BIDAA ZOTE NI DWALALA, SHARTI KWAMBA TUKUBALIANE KWAMBA HILI JAMBO NI BIDAA" NAOMBA KUULIZA SWALI KWA WALIO ELEWA YANI WAKUBALIANE KIVIPI NA WAKUBALIANE NA KINA NANI NA ALLAH ALISHASEMA KATIKA QURAN SURATUL MAI'DAH AYA YA 3 KWAMBA DINI IMEKAMILIKA SASA WAKUBALIANE NA NANI?! NA KWA MINASABA IPI YA KUKUBALIANA?!😢😢

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Месяц назад

      Kuna mtu anaweza kusema kwamba mtume hakunywa yogurt, sasa kunywa yogurt ni Bidaah, sasa lazima tukubaliane

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 2 месяца назад

    Alafu umekata vidio swali la Muhammad bachu akiuliza hatujaona

  • @Hawanalugha255
    @Hawanalugha255 2 месяца назад +2

    Ww Haji upepo Mche Allah

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r Месяц назад

    Ww shekhe au shekhuna

  • @KhalifaSaid-lg5dh
    @KhalifaSaid-lg5dh 2 месяца назад +2

    Kwel bachu kashindwa wallah Bado ushindani

  • @Kassim-k6h
    @Kassim-k6h Месяц назад +1

    Bachu hivu huelwweki au watu Hawataki Haki , ndio Dunia iliyo baki uwongo Uwe kweli na. Kweli Uwe uongo BACHU GIANT

  • @MakweHardwarestores
    @MakweHardwarestores Месяц назад +17

    Bachu nakuomba uwombe razi maana nagunduwa elimu yako ni duchu

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o Месяц назад

      Hhhhhhhhhhh

    • @Cherehanitanzania
      @Cherehanitanzania Месяц назад +2

      Ulijuaje kua elimu yake ndogo ikiwa wwe mwenyewe nimjinga ktk dini yako

    • @MbarouksilimaJuma
      @MbarouksilimaJuma Месяц назад

      Pokeeni haqi enyi wtu nyie acheni ushabiki dini si ushabiki

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 Месяц назад +1

      ​@@CherehanitanzaniaULIJUAJE KAMA MJINGA KATIKA DINI KAMA NA WEWE SIO MJINGA?

    • @Cherehanitanzania
      @Cherehanitanzania Месяц назад

      @ huna kitu ktk dini ndoman haki unaipiga mateke ilhali Hata Madrasa ujasoma nalau ungelisoma usingekua Shabiki So kama umesoma basi Sio kwakutaka kuelewa Sabab kama nikwakutaka Kuelewa Kuijua vyema dini yako basi unapo sikia Qala’llahu Qala’Rasul Unatakiwa Kubalans Mzani wa elimu Yako Dhen Kusikiliza Kwamakini Pasi nakua Mshabiki
      So Nimaelezo machache Nimekupa miongoni mwa Mengi Tafakar Hili Ukilielewa Chukua Hatua Kwaajili ya Nafsi Yako Utazikwa Peke Yako Kaburi lako peke Yako na Utakaa Humo Peke Yako Maswali Utaulizwa Peke Yako Allah Akuongoze Wwe Pamoja Namimi Nawengine Pia Ktk Kuyasikiliza Maneno Yake Nakuyafwata Bila Yakuongeza Wala Kupunguza,

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Месяц назад

    😮😮😮😮duuu bacho kaangukia pua.

  • @arrifymshenga3104
    @arrifymshenga3104 Месяц назад

    Mbona hii video umeirukishaa

  • @abouhafswa5580
    @abouhafswa5580 Месяц назад

    ALLAH AKBAR..MOHAMAD BACHO UKO VZR SANA KIELIMU KWA WENYE KUTAFUTA ELIMU

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 Месяц назад +2

    HAPA KUNA KITU NIMESOMA KWA MZEE KIDAWA.
    BACHU NI MTU WA JANJA JANJA AKIONGEA SANA KUKWEPA SWALI

  • @msarama5406
    @msarama5406 Месяц назад +1

    Duuh hivi unawezaje kumuandika mtu aliekaa na kusoma dini kuwa jahil tunafanya dini ushabiki kama mpira tu na watu wanafurahia Allah atuongoze hali zetu ni mbaya sana

    • @ZainabRacho-j1i
      @ZainabRacho-j1i Месяц назад

      Mtihany kwa kwel, yaan akuna kitu kibaya kama mtu kujiona bora na kumshusha na kumchafua mwenzie 😢jahil duh

  • @arrifymshenga3104
    @arrifymshenga3104 Месяц назад

    Kwaiyo sheikh haji barzanji pia bidya

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 14 дней назад

    Mm nafikiri elim iendelee shekh bachu allah akuhifadhi shekh wangu kila kitu umekiweka wazi anaetaka afuate asiyetaka awache shekh kama kidawa anasema vitabu ni bidaa yeye kasomea wapi mpaka kawa shekh na anajenga swali anatoa kwenye vitabu hivyo hivyo waislam wenzangu tumche allah

  • @MuhdisaidiSaid
    @MuhdisaidiSaid Месяц назад +3

    Bachu kaanguka

  • @husseinsuleiman4137
    @husseinsuleiman4137 Месяц назад

    Kwani lugha ukiamini vingine unakufuru? Na jee tawhiid ukiamini tofauti hupati makosa?

  • @joauchitlango3547
    @joauchitlango3547 Месяц назад +1

    Waliokuwa hawaja muelewa Bachu na kubaki katika ushabiki nawapa pole sana
    Bidaa niupovu mkubwa sana

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 Месяц назад

    Wallah unasikitisha mtoto wa Bachu😢

  • @allysaidshaban7734
    @allysaidshaban7734 Месяц назад

    Sasa mbona ulipinga maulid

  • @mufydal-harousy5939
    @mufydal-harousy5939 Месяц назад

    Bachu amejikoroga yeye mwenye kwa maelezo yake anakubali kama kunabidaa nzuri😂😂😂 shekh Kidawa ALLAH amuhifadhi....

  • @Lotalota-u9r
    @Lotalota-u9r 2 месяца назад +2

    Kidawa unakwepa unachoolizwa ....

  • @SalimHamza-w4f
    @SalimHamza-w4f Месяц назад +2

    Wallah sijapata kuona watu wasiokuwa na akili kama masufi kwasababu naona kwenye huu mujaadala shekh bachu kapasua mishono ya masufi lakini naona bango umeandika kushindwa kwake kumbe kawashinda tena kwa maksi nyingi sana

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      Lau kama ni kheri maswahaba wangefanya
      Kugawanya tawheed 3 kama ni kheri
      Wangefanya maswahaba 😂
      Kama ni mafunzo ya MTUME MUHAMMAD ﷺ tupeni dalili
      Na kama sio bidah hayo meyatoa wap
      Naa kama navosemaga وَكُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ
      leo kisu kimegusa mfupa sheikh
      Acha lawana tunataka dalili
      TUJIBUNI wewe au wenzako wenye akili

  • @fuadabdallaahmed1532
    @fuadabdallaahmed1532 Месяц назад

    Sheikh amejibiwa sharti tukubaliane hili jambo ni bida'a..

  • @IddiKyeju
    @IddiKyeju Месяц назад

    Surat yasin mtume hatukumfundisha mashahiri na wala havimfai isipokua dhikkir na quruan ya wazi

  • @kabeyajeff2948
    @kabeyajeff2948 29 дней назад

    Asalaam alaykum sijawahi kuona niqash hata moja ilioisha kwa makubaliano mazuri mmoja akiri kua amekubali kushindwa na kuushika msimamo wa mwenzie tunachokiona niqashi zote hua kila mmoja anatetea upande wke hata kama ukweli utabainika

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Месяц назад

    Allah awape kheri walioandaa munakasha kumbe Sasa Mawahabi wanakubali kua silazima aseme mtume Wala kufanya mtuuuu.tunataka munasha mwengine wa Taraweeeh

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Месяц назад +2

    Utata uliokuwepo ni kwamba Sheikh Bachu anasema kama mgawanyo wa kusimamisha Tawheed si bidaa bali ni uchambuzi wa elimu ambao maulamaa wametuletea na ushahidi wa Aya akitoa na pia SHEIKh Kidawa yy anasema kama ni Bidaa hapo ndipo kuna utata... Inapswa kuwe na mdahalao tena kuwa uthibitisho wa Tawheed ktk quran na watu warejelee tena ila Ikumbukwe kwamba Kuigawanya Ktk vipande vitatu si kumgawa Mungu Bali ni kuonesha Tawheed ili kusimama na kuizingatia inatakiwa usimamie nguzo hizo tatu

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa Месяц назад

    MASHAALLAH SHEKH LETU MACHU MASUFI WENYE AKILI WAMEFAHAM

  • @ibrahimndikumana3400
    @ibrahimndikumana3400 Месяц назад

    Kidawa anakwepa niatari kwakweli

  • @abdallahassan2080
    @abdallahassan2080 Месяц назад

    Nahaw na Tawhid jameni zafanana??

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 Месяц назад

    Qurani iliandikwa mtume tupo na Hadithi ziliandikwa mume Alisema qayidul l-ilma bil kitaba sasa mitume swalallahu alihi wasallama akisema nisunnahiyo sasa ukisema kuandika nibidaa utakua umekosea kwa kua mtume swalallahu alihi wasallama alishasema قيد العلم بالكتابة

  • @AllyKhalfan-d4o
    @AllyKhalfan-d4o Месяц назад

    Bachuuuuuu hoooooooi bado kibarakabmwengine haji upepo

  • @JamalKishangu-p7w
    @JamalKishangu-p7w Месяц назад +1

    Wanazuoni ni warithi wa mitume, hao wanazuoni ndio walileta maulidi.

  • @muhammadal-bimani8120
    @muhammadal-bimani8120 Месяц назад

    Sasa sheikh Kidawa mbona una quote Hadithi kwenye Bukhari na Muslim wakati unasema vitabu vimekuja baadae?

  • @MTAVASSYTv
    @MTAVASSYTv 2 месяца назад +1

    Tawheed ni msingi wa kiibada na elimu zote alizotaja bhachu hapo utagundua ni qadeem katika uisilamu lakini hii ya utatu ni jambo lililozushwa tu

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb Месяц назад

    Na hapo Bachu anakunywa maji na amesmama jee inajuzu ?

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 2 месяца назад +2

    Bachu hapo umebugi unavuruga siomuadilifu wakuongoza huelewi Nini unaongea Nini unakataza Nini unaaamrisha

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 2 месяца назад +3

    Kwan ulama ni mtume mpaka isiwe bida a

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV Месяц назад

    Bachu hukomi?

  • @MuslimBakar-uf6xd
    @MuslimBakar-uf6xd Месяц назад

    Mka3kimyq atakusoma hamjasoma

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm Месяц назад

    Hata firauni alitamka shahada

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Месяц назад

    Huyo ndo Buchu utaumiza Akili zenu buree

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 2 месяца назад +5

    Sasa Bachu ikiwa si lazima mtume afafanue na kazi ya kufafa nua ni ya maulamaa kwanini Anapiga maulid ilihali maulid hayakufafanuliwa na mtume na maulamaa wameyafafanua ? Yani anajijengea hoja za kipuuzi sana anajichanganya tu

    • @abuufayaadh8270
      @abuufayaadh8270 2 месяца назад

      Huna ujuacho mbumbumbu kabisa

    • @alhialhijjaziyy
      @alhialhijjaziyy 2 месяца назад +2

      Tatizo ni mlango wa ijtihadi elimu hii bacho hajasoma na wafuasi wake ambao muna comment hapa .
      Na tafsiri ya bidaa ni kila ambacho hakikufanywa na Mtume as kwa mujibu wa hawa watu ambao wa wamedhizihirisha hizi bidaa.
      Hivyo mjadallah huu bacho kajakukubali kuwa wanazuoni wanayo nafasi ya kustambitwi ktka nususi hivyo ikiwa vigawanyo hivi vinakubalika bc khitima na maulidi jaiziiiiiii.

    • @abdulrashid1506
      @abdulrashid1506 Месяц назад

      Maulidi ni ufafanuzi au ni Ibada??
      Bachu amezungumzia ufafanuzi wa jambo ila sio ibada kwa nilivoelewa. Allahu a'alam

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@abuufayaadh8270 mjibu wewe MSOMI
      acha lawama

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@abdulrashid1506 unajua maana TAWHEED utaongeleaje TAWHEED BILA IBADAH
      sheikh uko sawa kweli

  • @OmariMakange-d9e
    @OmariMakange-d9e Месяц назад

    Bhachu ana ushabiki ila hajui kitu.. Dini yatuponyoka hii..

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 2 месяца назад +3

    Kweli Bachu hajielewi kkkkkkkkkkkk

  • @RashidiIsmaili
    @RashidiIsmaili 12 дней назад

    Sheikh kidawa inahonekana alisomeshwa kupitia malaika