SHEIKH MUHAMMAD IDDI KAMA NILIVYOMJUA_KIFO CHAKE!! FURAHA ZA MAGAIDI!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 13

  • @WanuOmar-p6t
    @WanuOmar-p6t Час назад

    Amiin amiin amiin, inshaa llah, mungu amtie peponi, tuko pamoja sheikh wangu

  • @WanuOmar-p6t
    @WanuOmar-p6t Час назад

    Mungu atazidi kukutia nguvu sheikh wangu, umesema kweli, tena kweli isiyoyakini, kaza buti sheikh wangu

  • @HafidihAlly
    @HafidihAlly 2 часа назад

    حفظك الله ، و بارك الله فيك ، وزد لك علما نافعا. عليك أخ الفاضل أن تفتح الدرسة العقيدة إذا رجعت في التنزانيا

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 2 часа назад

    Shekhe umesema kweli, na leo nimejua umakini wako, mungu akulipe kheri

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 52 минуты назад

    Mhmm

  • @willysospeter9270
    @willysospeter9270 8 минут назад

    Sheikh umeongea kwa fikra zako zaidi bila kuleta evidence yyt. Tuhuma za ugaidi kwa unaowaita mawahabi, ni uchochezi na ndio ugaidi wenyewe. Siamini unajitoa fahamu kuwa hujui itikadi ya hao mawahabi au salafi. Pole sana kwa jazba.

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 4 часа назад

    بارك الله فيك سنجتهد انشاء الله دعاءك الينا يا معلم

  • @abdillahsuleiman2278
    @abdillahsuleiman2278 2 часа назад

    Watu wasiojua twariqa watamuita hutu shia , kumbe hawajui twarika barabara

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 часа назад +1

    Shia gollo

  • @fatmamohammad623
    @fatmamohammad623 2 часа назад

    SWADAKTA

  • @MahedMaisara
    @MahedMaisara 2 часа назад

    Nawewe gaidi mkubwa unatukana maswahaba

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Час назад

      Wapi ametukana maswahaba?

    • @darajanida
      @darajanida 53 минуты назад +1

      ​@@Mumewangu mimi nimsuf lakin huyujamaa kuna baadh yamambo siyakubal kwake mfano anatumia.hadith ambauyo haikuswih akisema muawiya ni fur.aun wa zama hizi hapo hajawatukana maswahaba