MAA SHAA ALLAH!! ALHAMDULILLAH!! SHEIKH.WETU OTHMAN MAALIM,ALLAH AKULIPE KHERI NYINGI.KWA KUTUELIMISHA.TUNAMUOMBA ALLAH,AKUZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAA NA UMRI WENYE MANUFAA NA BARAKA NYINGI,NDANI YAKE.SHUKRAN SANA SHEIKH WETU!! ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH.
We unaye pinga kisheria ya dini utoe aya ya moja kwa moja kuwa wapi Mungu haramisha MAULIDI au hadhi kuharamisha sio vipande vipande aya ya kukata mfano aya ya swala na zaka na saumu na mfano wake toa aya ya namna hiyo shekhe namba gani wapi katika quran
Mm nakupa hadithi قال رسول الله صلى الله عليه وسلم ((من أحدث من أمرنا هذا ما ليس منه فهو راد)) وقال ((..من يعش منكم فسيرى اختلاف كثيرا،عليكم بالسنتي وسنة خلفاء الراشدين المهدين فتمسكوا بهم..إياكم بمحدثت كل محدثت بدعة وكل بدعة الضلال..)) Tafsiri 1:(Ataezua kitu kisichokua ktk dini kitarudishwa yaan hakitokubalika 2:Amaesema pia Mtume swallallahu alaih wasalam((Ataeishi baada yngu ataona khitilafu nyingi Ni juu yenu kushikamana n sunna zangu n sunna za makhalifa waongofu n tahadharini na uzushi kwani kila linalozushwa Ni bidaa n kila bidaa ni upotofu..)) Na mm nina maswali yanu ewe unaesherehekea maulid y kila mwaka,nayo nikama yafutayo:- 1:Maulidi Ni ibada au ni maasia? Kama ni maasia kwanini unayafanya? Kama ni ibada,je Mtume swallallahu alaihi wasalam hakuijua ibada hii? Au aliijua Ila hakutufikishia ujumbe? Bila Shaka utasema aliijua,je Kama aliijua unaweza kutupa ushahidi wa Qur-an au hadithi au uthibitisho wa Maswahaba au Tabiina au Tabi -Tabiina ? ((قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين)) Hata Maimamu Wanne Imamu Shafii,Imamu Maalik,Imamu Abuu Hanifa n Ahmad bin Hambal wote hawajasibitisha chochote kuhusu sherehe y kuzaliwa kwa Mtume Kama madai yako Ni kuwa unampenda Mtume swallallahu alaihi wasalam,je unampenda Mtume kuliko Maswahaba?? Nani anaempenda Mtume kushinda Abuu Bakar Swiddik alietoa Mali yake kwa ajili y dini n yy hakuwahi kusherehekea مولد النبوي n huyu ndie wa mwanzo kuhama n Mtume Na nani anaempenda Mtume kushinda Omar bin Khattab radhi za Allah ziwe juu yake ambae Ni Alfaarook wa huu umma Othman Radhi za Allah ziwe juu yake hakuwahi kusherehekea maulid Aly bin Abii Talib Radhi za Allah ziwe juu yke,kijana wa mwanzo kuslim n huyu ndie alielala juu y kitanda cha Mtume pindi alipotaka kuuliwa ,akajitolea akakaa nafas yake Je unampenda Mtume Sana kuliko Maswahaba??? Kama unampenda mfuate kwa sunna zake n matendo mema n co kushereheka
Mashallaah shekhe
Alhamdulillah...Allah akupe umri taawil
MAA SHAA ALLAH!! ALHAMDULILLAH!! SHEIKH.WETU OTHMAN MAALIM,ALLAH AKULIPE KHERI NYINGI.KWA KUTUELIMISHA.TUNAMUOMBA ALLAH,AKUZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAA NA UMRI WENYE MANUFAA NA BARAKA NYINGI,NDANI YAKE.SHUKRAN SANA SHEIKH WETU!! ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH.
Naamu maalimu wangu nakupata vema hakika wewe nimwema katika kumtukuza mtume kma mimi
Allaahumma swalli wasallim alaihi
Mashallah
Hapo neema ni uislam
خزاك الله خير جزائه
Mashallah
Wewe ni qadria
Sasa subir udhalili waja...waanza kukunyoa ndevuu
Nmeenzi sna sheikh uthman maalim xna lkn kwa hili la kushabikia bid'a ya maulidi hpana...emenitia ouga kukusikiliza kbsa
hata mie kwakweli
Hakuna kitu, hakuna ushahidi wowote hapa ila maulid ni upotofu 😢😢
Haujalazimishwa
Lete hoja ya wazi sio Aya za kuwasukuma watu laaaa hiyooo Aya imeshuka kwa mtume na maswahaba wameipokea wamefanyahivyooo
We unaye pinga kisheria ya dini utoe aya ya moja kwa moja kuwa wapi Mungu haramisha MAULIDI au hadhi kuharamisha sio vipande vipande aya ya kukata mfano aya ya swala na zaka na saumu na mfano wake toa aya ya namna hiyo shekhe namba gani wapi katika quran
Allah atuongoze kwenye njia ya sawasawa.
Othman maalim umekwisha kwa kweli
Mm nakupa hadithi
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم ((من أحدث من أمرنا هذا ما ليس منه فهو راد))
وقال ((..من يعش منكم فسيرى اختلاف كثيرا،عليكم بالسنتي وسنة خلفاء الراشدين المهدين فتمسكوا بهم..إياكم بمحدثت كل محدثت بدعة وكل بدعة الضلال..))
Tafsiri
1:(Ataezua kitu kisichokua ktk dini kitarudishwa yaan hakitokubalika
2:Amaesema pia Mtume swallallahu alaih wasalam((Ataeishi baada yngu ataona khitilafu nyingi Ni juu yenu kushikamana n sunna zangu n sunna za makhalifa waongofu n tahadharini na uzushi kwani kila linalozushwa Ni bidaa n kila bidaa ni upotofu..))
Na mm nina maswali yanu ewe unaesherehekea maulid y kila mwaka,nayo nikama yafutayo:-
1:Maulidi Ni ibada au ni maasia?
Kama ni maasia kwanini unayafanya?
Kama ni ibada,je Mtume swallallahu alaihi wasalam hakuijua ibada hii? Au aliijua Ila hakutufikishia ujumbe?
Bila Shaka utasema aliijua,je Kama aliijua unaweza kutupa ushahidi wa Qur-an au hadithi au uthibitisho wa Maswahaba au Tabiina au Tabi -Tabiina ?
((قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين))
Hata Maimamu Wanne Imamu Shafii,Imamu Maalik,Imamu Abuu Hanifa n Ahmad bin Hambal wote hawajasibitisha chochote kuhusu sherehe y kuzaliwa kwa Mtume
Kama madai yako Ni kuwa unampenda Mtume swallallahu alaihi wasalam,je unampenda Mtume kuliko Maswahaba??
Nani anaempenda Mtume kushinda Abuu Bakar Swiddik alietoa Mali yake kwa ajili y dini n yy hakuwahi kusherehekea مولد النبوي n huyu ndie wa mwanzo kuhama n Mtume
Na nani anaempenda Mtume kushinda Omar bin Khattab radhi za Allah ziwe juu yake ambae Ni Alfaarook wa huu umma
Othman Radhi za Allah ziwe juu yake hakuwahi kusherehekea maulid
Aly bin Abii Talib Radhi za Allah ziwe juu yke,kijana wa mwanzo kuslim n huyu ndie alielala juu y kitanda cha Mtume pindi alipotaka kuuliwa ,akajitolea akakaa nafas yake
Je unampenda Mtume Sana kuliko Maswahaba???
Kama unampenda mfuate kwa sunna zake n matendo mema n co kushereheka
fundi kaongea apa mtulie mskilize mjifunze
😅😅😅
Kwahiyo kama nirehma ndio mmeamrishwa shereheee;!!! Au kuchezaa.....?!! Tayarii kinachokupindisha kishaakuja....!!!
Allah akubariki na akupe umbri mrefu,anae pinga pinga kwahoja sio kutowa maneno machafu wati hujasoma,ushabiki mwengine haufai tusomeni jamani
Acha uongooo bwana.....hiyo hadithi Iko kitabu ganii????
Jalibu kutumia stara kumkosoa shekh alie mkubwa elimu zimezidiana si tatizo lkn elimu iongozwe na stara