Munaqasha Jee Maulidi ni Ibada au ni Uzushi Part-2 | Ustadh Fadhil Ashirazy

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 145

  • @albayaanalbayaan7534
    @albayaanalbayaan7534 Год назад +4

    ustadhi faadhili, el ghannai el islaamiyya aliwachapa mawahhabiy kihakika , allaahu akbaru

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Год назад +2

    Mawahabi wamechapwa za usoni wallah skhe fadhili nimempenda sana maan ana ilimu nyingi sanaa hakuna hoja hajajabu hata moja . lkn pia toweni aya inayo kataza maulidi

  • @hassanalhussein3982
    @hassanalhussein3982 Год назад +4

    Sheikh Fadhil aliwafundisha Nahau hapo. Mashaallah

  • @hindamir2008
    @hindamir2008 Год назад +2

    Ustadh fadhil ameongea vyemaa sanaaaaaaaaaa

  • @abuidifundi2016
    @abuidifundi2016 Год назад +7

    UST fadhli aliwachapa Sana mawahabi

    • @abuubaaznyungu4073
      @abuubaaznyungu4073 Год назад +1

      Wallahi Allah akuongoze,ushabik umekujaa! Je nikiamua swala ya sub-hi niswali rakaa 3 kwa madai ya bidaa nzuri,ntakuw nimepatia???????

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi Год назад

      ​@@abuubaaznyungu4073
      Wewe una akili kweli kwani swala ni ibada muqayyad au muthwlaq???

  • @kitosio
    @kitosio Год назад +2

    Mabidaa kumbe kelele zao hazina hoja. Duuuh

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman Год назад

    Khurafi noma hayafai haya majitu

  • @BinSwaleh
    @BinSwaleh Год назад

    Utahukumu Mwenyewe unapoona uzungumzaji wao

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 Год назад +3

    Hoja za watu wa maulidi ni nyepesi sana

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 Год назад +1

      Hawana hoja hasa hata kidogo, watoe tu ushahidi mtume kafanya maulid

    • @MulhatOmar-dx7ry
      @MulhatOmar-dx7ry Год назад

      Enzi za mtume hakukuwa na msahafu ila kulikuwa na qur an kwenye ngozi jee Sasa hivi pia kusoma Quran kwenye msahafu ni bidaaa

  • @w4058
    @w4058 Год назад

    Khasara kubwa kweli lakini salama

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 20 дней назад

    UPANDE WA MAULID HAMNA MAJIBU KAMA MULIZWAVO

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 2 месяца назад

    Huyu sufi anabwabwaja kama 😢😢😮

  • @Is-hakaKhamis-dj4mm
    @Is-hakaKhamis-dj4mm Год назад

    Jamani , Kunabidaatun hasana, kama Qur-an haikushuka na Shakli ,nani kaweka ,Uhaiwa MTUME MUHAMMAD ( S A W ) Kuna msikitigani ulikua na Vipaasauti ,

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Год назад +1

    Mashindano ya quran hawasemagi

    • @nasirabdullah6227
      @nasirabdullah6227 Год назад

      Usifananisha qur an ambayo n maneno ya Mungu na ujinga wa maulid ambayo sio maneno ya mungu ni maneno ya watu ya uzushi

  • @ummy-vo6sp
    @ummy-vo6sp Год назад

    Ongea yake tu ni ya dharau
    Mungu atunusuru tu wanavyuoni wetu ni mtihani kwetu

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Год назад +2

    Wallaah mawahabi hawana ilimu,yaani hawajasoma wamekaririshwa tuuu...uozo mtupu

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 Год назад

    Usttaadh fadhhil hhtrr sn mpk nahau uunawaafundisha hhh mawaahaab. Ubish elimu. Hawana duhh hawwaa wanalipw na mayaahud nd kina bachhu

  • @yahayajuma1401
    @yahayajuma1401 Год назад +6

    watu wa maulidi "pilau" lishaharibu akilizao hata uwaeleweshe vipi siwaelewa"

    • @Mbmaster-os5oi
      @Mbmaster-os5oi Год назад +1

      Salam alaykum hawa watu wamaulid ni shida hawajui kuna kitu kinitwa maulid barzanji huu ndio uzushi uliozushwa na mashsia kama unataka maelezo zaidi nitafute

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Год назад

      Watu wa maulid hamuwawezi nyinyi

    • @khalifamwenye3632
      @khalifamwenye3632 Год назад +1

      ​@@Mbmaster-os5oikumamako

    • @fatumaramadhani1283
      @fatumaramadhani1283 Год назад

      @@khalifamwenye3632 jina lako ni zuri ila matusi acha,na mama ako ana hiyo hiyoo

  • @abdiabdu7179
    @abdiabdu7179 Год назад +2

    Duh kumbe ibn theimiya Ame ya kubali maulidi

  • @MuhammadMustapha-sz7xb
    @MuhammadMustapha-sz7xb Год назад +3

    ما شاء الله kiboko yao huyo😅😅

  • @amritwaha-kp3hu
    @amritwaha-kp3hu Год назад +3

    Tatizo la wahabi wana tatizo la uelewa na hiyo ndio sifa kuu ya mawahabi lakini hatuwashangai

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman Год назад

    Dawa ya makhurafi ni akina al baghdad

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 Год назад +1

    NAPENDA TUELEWE KUWA MUNAQASHA SI KWA KUWATOFAUTISHA WAISLAM BALI NI IKHTILAFU NA KUIKHTALIFIANA SI VIBAYA KATIKA DINI HVY SISI WAFUASI NI TUELEWE KUWA NI SAWA ANAEFWATA NA AFWATE AHASIEFWATA ASIFWATE

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Год назад +1

    Mawlidi ali fanya mungu na malaka watene ujinga mawahabi ni makafiri wakubwa

  • @BinSwaleh
    @BinSwaleh Год назад +1

    Ndevu ni wajibu sio sunna

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Год назад +1

    Wamekiri kuwa uzushi ni bidaa nzuri soma
    وأن الاحتفال بالمولد النبوي وإن كان بدعة لم توجد في العصور الأولى؛ فإنه من البدعة الحسنة، وقد نص الحديث على وجود بدعة حسنة، وقال عمر: نعمت البدعة هي، فليس كل محدث حراما، بل قد يكون مستحبا. وأنه لا تكره البدع إلا إذا راغمت السنة، وأما إذا لم تراغمها فلا تكره.

  • @kvfihf6324
    @kvfihf6324 Год назад +5

    Kila sufi anaupungufu wa akili

  • @AbuuBakar-mj5hk
    @AbuuBakar-mj5hk Год назад

    Huyu jamaa haja toa ata hoja Moja zogo t

  • @HudhaifMussa-v7m
    @HudhaifMussa-v7m 11 месяцев назад

    Kwamaana io km tunatakiwa tufate alichokifanya mtume jee mtume alitumia maiki mtume alivaa jinz achen mambo ya ovyo

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 Год назад +7

    Wawa kataze malaika kumsalia mtume kama waoo ni mabingwa wa elimu mnapinga mtume Mohamed kusifiwa maadui siyo waliisha bado wapo

    • @saidahmada9118
      @saidahmada9118 Год назад +1

      Kinachokataliwa kufanya maulidi kwani hamuwezi kumsifia ukiwa kwako au peke ako lazima mfanye maulidi kwanza ndani yake mna shirki humo

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      Haujielewi unacjo sikiliza kiwamakini na kinachopingwa hapo ni nini

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 Год назад +1

      @@hanifatanzania7258 mwenyezi Mungu mwenyewe KAMSIFIA mtume Mohamed SURAT an NAJIM nini hasa MTUME anacho mpaka asifiwe na mwenyezi Mungu autojuwa ju u una AKILI ya kuelewa

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 Год назад +1

      Ndugu yangu uwe muelewa kumsalia mtume na maulid ni vitu tofauti na kusifu ni kitu chengine

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      @@hafidhseif9638 umeonaee huyo mtu wa kukurupuka na si wakusikiliza ajielewo huyo. Anavyo fikilia kwani ss hatumpendi mtumewetu mahammadi swalalahu alahi wasalam tunampenda kupita na tunamdalia sana ila sikwskupiga madufu

  • @hassanmussa2859
    @hassanmussa2859 Год назад

    Wanapinga maulidi Kiarabu wakisema wanakosolewa
    Hii inaonesha bado elimu yao ni changa sana
    Sisi tu nawaambia kasomeni kwanza

  • @mubarakiddy-ll5qs
    @mubarakiddy-ll5qs Год назад

    Huu munaqasha wa mwaka gani ...samahan nlikua naomba kujua

    • @Inukanaalmasipodcast
      @Inukanaalmasipodcast Год назад

      Huu mnakasha wa zamani sana ila umekatwa sana ,watu wa maulid walipotea mnooooo

  • @daudimasasi-ht1yy
    @daudimasasi-ht1yy Год назад

    Waislamu Kuna mambo mengi ya msingi ya kuwausia watu juu ya uchamungu na maendeleo ya uislamu na waislamu,tuko na kubishania vitu ambavyo havina maana,uzinzi, uongo,dhulma,kaumu lut na mambo mengi ya kuyakataza kwa waislamu na wasiokuwa,ymetamalaki katika jamii zetu,hebu tuacheni kunyoosheana vidole,tukataze mabaya tuamrishe memaa,wasiokuwa waislamu Leo wanaelezea uzuri wa uislamu,sie tunafeli wapi?

  • @omaryabdallah8734
    @omaryabdallah8734 Год назад

    Dah watu wamaulidi bwana watalaamu walugha kweli kwalugha zenu ndo mnazua mambo

  • @w4058
    @w4058 Год назад

    Aibu tena aibu kubwa Waislam kwa Waislam kila siku kurusha minaqasha ilokuwa haina tija kwenu wala kwa wengine hamtaki kusoma basi kwisha khadithi mbona mnakera Waislam wenzenu duuh

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Год назад

    anatoa hoha za kiakil na hana Dalili yyte katka kitab na sunnah.

    • @aljahuur
      @aljahuur Год назад

      Washenzi sana mbwa koko wa kiwahabi shenzi kabisa

  • @Inukanaalmasipodcast
    @Inukanaalmasipodcast Год назад

    Kwahiyo hii chanel imeamua kutoa vipande kwa upendeleo pia Bado inaonesha tu kuwa waliotetea maulid hawakua na hoja za kujibu.

  • @ommydesigner
    @ommydesigner Год назад +2

    Unajiita mwanasunnah hata kofia huna duuh ushabiki mwengine ni shida

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Год назад +3

    Mawahabi tangu wakati huo hawana hoja mpaka leo,kaz kupiga domo

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe Год назад +1

      Tangu lini kipofu akaona haki, jitieni upofu. Alafu shekh hoja zako mantwiki. Na maulidi haifai mutwlakan kwa kuzua niya ambayo hawakuwa nayo salaf Rudi katika kitabu (مدخل)upate maneno ya ibnul haji almaalikiyu rahimahullaahu kuhusu maulid

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe Год назад

      مدخل (2/232)

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      ​@@muhamadberhekipofu wa kwanza wewe

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe Год назад

      @@mafiatv5479 tafuta hiyo kitabu soma Kisha utajua kipofu wa kweli nani Kati yangu nawewe?! Yani mwamuona huyo shekh wako kazungumza elimuuu. Wacheni uzushi na ushabiki!

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Год назад

    Masufi wa kubwa wa kiarabu wana elewa sana lugha wa kubali ni uzushi tafadhali soma kawli masufi wakuu
    كما أن هناك من المستحسنين لهذه البدعة من يقر ويعترف بأن الاحتفال بالمولد أمر محدث، لم يكن النبي صلى الله عليه وسلم ولا صحابته من بعده يفعلونه.
    ومن هؤلاء:
    1- السيوطي:
    حيث قال: (أول من أحدث فعل ذلك -أي: الاحتفال بالمولد- صاحب إربل الملك المظفر) [حسن المقصد ضمن الحاوي للفتاوى (1/ 189)].
    2- السخاوي:
    حيث قال: (أصل عمل المولد الشريف لم ينقل عن أحد من السلف الصالح في القرون الثلاثة الفاضلة، وإنما حدث بعدها بالمقاصد الحسنة) [نقلاً من المورد الروي في المولد النبوي لملا علي قاري (ص: 12)].
    3- أبو شامة:
    حيث يقول: (ومن أحسن ما ابتدع في زماننا من هذا القبيل: ما كان بمدينة إربل جبرها الله تعالى كل عام في اليوم الموافق ليوم مولد النبي صلى الله عليه وسلم من الصدقات والمعروف، وإظهار الزينة والسرور) [الباعث على إنكار البدع والحوادث (ص: 95)].
    4- محمد علوي مالكي:
    حيث يقول: (فالاحتفال بالمولد وإن لم يكن في عهده صلى الله عليه وسلم، فهو بدعة ولكنه حسنة) [حول الاحتفال بالمولد (ص: 19)].
    5- يوسف الرفاعي:
    حيث يقول: (إن اجتماع الناس على سماع قصة المولد النبوي الشريف، أمر مستحدث بعد عصر النبوة، بل ما ظهر إلا في أوائل القرن السادس الهجري) [الرد المحكم المنيع (ص: 153)].
    وبهذه النقولات يتضح جلياً أن السلف الصالح لم يحتفلوا بمولد النبي صلى الله عليه وسلم، ولم يكن تركهم إياه إلا لكونه لا خير فيه.
    وكل خير في اتباع من سلف وكل شر في ابتداع من خلف
    وصلى الله وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين..

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz9934 Год назад

    Watu wa bidaa JANJAJANJA SANA NDO MAANA WAMEITWA KHURAFI - Porojo nyingiiiiiiii wala hawana dalili

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 Год назад +2

    Mimi hapa na swali nataka khelim bangi na sugara ivi zimetajwa wapi katika Quran,aya ipi na sura gani mana napata tabu kweli hapa.musnitafsiri vibaya kila mwenye kuliza anataka kujua

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Год назад +1

    Huu ndio ubaya wa kujibu raddi bila ya elimu lkn huyu sheikh anaekubal maulid km wengeweka munaqash wa live bc engedhalilika kw ushahid mbovu anaoutoa

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Kwani hapo n chumban au?hao watu huwaoni mkiambiwa somen hamwelewi hilo ndio tatizo

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 Год назад

      Kwan kama unaakili hujaona mawahabii wengi lkn hakuna wanacho kifnya apo kazi kukosea tu ndo wanarwkebishwa

  • @w4058
    @w4058 Год назад

    Hamna la kuzungumza nyie vibaraka wa kuwasaidia Wazayuni kuwagawa Waislam hamna jengine ovyoo

  • @muslimqueen5314
    @muslimqueen5314 Год назад +2

    5 vs 1 🦁

  • @ABDULFATTAAHNASSIR
    @ABDULFATTAAHNASSIR Год назад +4

    mtu wabiidaa hata umfahamish hawezi kukuelewa kwasababu allah kaeka uziwi bidaa mbaya katika dini

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад +1

      Na tueleze bidaa nzuri Ni ipi?

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад +1

      Hakuna bidaa nzuri

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад +1

      @@hanifatanzania7258 Kwa hivyo musabaq quraan Ni bidaa au si bidaa ? Imam Shafii alisema Kuna bidaa mahmudan na bidaa madhluman sasa baina ya Imam Shafii na wewe chokoraa tumfuate Nani?

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Год назад

      @@hassanalhussein3982 nyundo imemuingia 😂 anabwabwaja tu

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Год назад

    Huyu anaesema kua maulidi yanafaa mbona hakwenda moja kw moja ktk munakasha kubw tu anaraddi baada ya masheikh kutoa neno why wasikutane wakapeana elimu

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад

      Wataka mjadala Gani na huo hapo Ni mjadala uliofanyika ? Hoja zimetolewa kama unaupungufu wa kuelewa shida Ni yako. Hao walimu wenu wametolewa makosa kwenye Nahau na Sheikh Fadhil. Hii Ni kuonesha kua hawana elimu ya lugha ya kiarabu. Fahamu kua unahitaji lugha kuweza kufundisha.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      wewe kwako kua hayafai iwapi

  • @AliMohammed-e2g
    @AliMohammed-e2g Год назад

    Mashehe wa mchongo Nani kasema maulidi ni ibada maulidi ni kama mashindano ya kusoma Quran yote ni katika Mambo maxuri

    • @saidmuslim51
      @saidmuslim51 Год назад

      Jamaaa wacheni ugomvi kwa jambo dogo hilo tupambane na hili janga la ushia ambalo limekuwa ni shakahola kwa ummah huu.

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 месяца назад

    Hawamasufi kumbe wamezua kitu hakikuwah kuwepo? Duuuh hakina hatadalili ndani yaquran

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 Год назад +1

    Watupe hadith mtume akafanya maulid au wanafunzi wake wakafanya. Au mwenyezi mungu akatuamrisha

  • @FatumaOmar-u8c
    @FatumaOmar-u8c Год назад +4

    Hata jaahili kabisa Hawezi shawishika nahizo oja zako shekh juu ya mawlidi😅😅

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      jahil wa kwanza ndo wewe,,,,

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад

      Wewe Ni jahili mkubwa na hujitambui

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      @@hassanalhussein3982 bas wewe baada ya abuu jahli
      mimi baada yako wewe

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад

      @@mafiatv5479 Itakuaje Uwe baada ya Mimi Hali yakua wewe ndie unaongoza kwa ujahili?

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      @@hassanalhussein3982 bs kumbe twaongoza sote

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 7 месяцев назад

    😂😂😂USTADH FADHIL ANAPIGA KIBAO MMOJA MMOJA NA HAREJEI TENA ANATUMWA MWENGINE, KILA ANAECHEZEA KOFI USO UNAMSAWAJIKA HASEMI TENA AMTUMA MWENGINE, KAMA MBWA KOKO WALIOMZUNGUKA SIMBA 😂

  • @kipineonline302
    @kipineonline302 Год назад

    Yani huyo ustadh bado sana! Yani hakuna hoja!
    Eti anatoa kosa la kilugha lakin hoja havunji

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

      Wewe masikio huna utasikiaje hoja zinapovunjwa

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад +4

      Kwani hujui kwamba lugha ya kiarabu Ndio msingi wa kujua mafunzo ya kiislamu? . Sheikh Fadhil alitoa mifano ya masahaba walimsifu Mtume akaendelea kueleza kua quraan pia ilimsifu Mtume. Na Maulidi Ni sifa za Mtume. Ulisikia ama ulikuja moja kwa moja kuandika maoni. Mawahabi munashida ya ufahamu.

    • @kipineonline302
      @kipineonline302 Год назад

      🤣 🤣 🤣 🤣
      Kwahiyo twende kwa lugha maulidi mana yake ni ?

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 Год назад

      Maulid maanayakee ni pahala pakuzaliwaa pahala ulipo zaliwa kwa kiarab ni maulid. Hapo ujuwe kuna maneno mawili tofauti nchi uliyo zaliwaa na pahala ulipo zaliwa kwa mfano. Umetokea tanzania. Ila ulipo zaliwa ni jambiani so kwa kiswahili ni pahala kwa kiarabu ni maulilid natumai utakuwa umeelewa

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 Год назад

      KWAKIUFUPII MAULID NI NENO LILILO BADILISHWA MAANA YAKE NA HAOOO. WALIOZUSHA. MAMBO YASIYOKUWA NA UMUHIMU WAKAYAWACHA YALIYO NA UMUHIMU. AATII NI KUMSIFU MTUMEE. WAPII MTUMEE ALIJISIFU AUU ALITUFUNZA KUMSIFUU ? AUU ALITUFUNZA KUMTUKUZAA. ? Tukija kwa sheria auu maadili auu umuhimu na ubora wa uislaam. SIO KUKUSANYIKA NA KUIMBA KASIDA NA KUMSHEREHEKEAA. NNOP NI KUMSIKILIZAA NA KUMFUWATA MATENDO NA MAAMBRISHO ALIYOKUJA NAYO KUTOKA KWA AMBRI YA MOLA WAKE AKIWA NI MOLA WETU NA KUYAZINGATIA MAKATAZO ALIYO TUKATAZA. NA KUFUWATA SUNNA ZAKE NA KATIKA SUNNA ZAKEE HAKUNA HATA MOJA YA KUWA TUMSOMEE AUU TUMSIFU KWA MAULIDI TUTAMSIFUJE MTUMEE WAKATI MAAMBRISHO NA MATENDO YAKE TUMEYAWEKA NYUMA ILAA MASEREHE NA KUFANYA UPUUZI USIOKUWA WALAZA NDIO TUNAYOYAKIMBILIA KUYAWEKA MBELE MPAKA VIZAZI. VYETU SASA HAWAYAONI YAMUHIMU ILAA YA UPUUZI NDIO WANAYO YAENDEA MBIO

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Год назад +2

    Mtume amesifiwa kw njia gn mbona huyu jamaa hana point za kukubali maulid hemu atupe ushahid mtume amesifiwa vp mbona ibada ya swala au hijja ipo wazi kua w2 waswal vp na wahijji vp sasa ktk hayo maulid je mtume alisifiwa vp na yy alijisifu vp mbona huyu jamaa hana point za msingi

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад

      Matatizo ulionao Ni ufahamu wa huu mjadala. Sheikh Fadhil ametowa mfano wa Hassan bin Thabit pamoja na Masahaba wengine kua walimsifu Mtume Mohammad Amani ya Allah iwe juu yake. Aliendelea kutoa hoja kwa mwanachuoni ambae nyinyi mawahabi mwampenda. Nae Ni Ibn Tymia. Sasa unataka hoja Gani? Wewe tueleze wapi imekatazwa kumsifu Mtume? Maana Maulidi Ni sifa za Mtume na dhambi zake Zina adhabu Gani siku ya kiama?

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 Год назад

      Hata wewe umeona hilo e. Aseme maulid ni sifa au ibada hii wanaifanya

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Год назад +1

      Kwani Kuvaa Nguo Ni Ibada? 👂

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 Год назад

      Mie naona kufundishana nahau porojo tu sio dalili za wazi

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Год назад

      @@ahmadlitwe7190 Kwani wewe Ni kiziwi? Ushuhuda uliotolewa hukuusikia. Nenda kapige bomba masikio

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Год назад

    Huu projo hata hajui anasema bado haku jibu neno ya mazazi ni ibada ? Na hathubu kujibu ku kuruka ju na chini, wale wakuba wake wamekiri kuwa ni bidaa lakini wakaongeza bidaa hasana wameshindwa ku sema mazazi ni ibada.

  • @w4058
    @w4058 Год назад

    Hutiswalehe uwoza nyie pia hamna elimu nyie mmekaa kama sikio la kufa halisikii dawa

  • @abdullzahor3019
    @abdullzahor3019 Год назад

    😂sikuzote watu wamaulidi niwabishi sana saivi wameshafikia kukata keki ya mtume Muhammad(s.a.w)
    Mtume amepigania dini kwashida amepoteza meno,watu wamaulidi wanalegeza sauti nakula wali eti wanamsifu mtume😂😂😂😂

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Год назад

      Watu wamaulid wanao ilimu nyinyi mawahabi ilimu hamuna na akili

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Год назад

      We umeifanyia nn dini

  • @swabrianwar1020
    @swabrianwar1020 Год назад +3

    mawahabi shida yao n chuki hata dalili kama wazi kam jua hawaoni bado

    • @swalaheswalehe
      @swalaheswalehe Год назад

      Yaani ukiwa ww ni bidaa ww jua2 ni motoni maan hmn tauhidun ndani ya bidaa

    • @swabrianwar1020
      @swabrianwar1020 Год назад

      @@swalaheswalehe pepo ni yako?

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Год назад

    hii minaaqasha inajenga chuki tu hakuna zaidi yahilo.
    kutwa minaaqasha huu niupuuzi tu.we kama hupendi maulidi kaa kimya kuna bidaa kibao mnajifanya hamzioni mbona siku hizi kuna mashindano yaquran nahaya alifanya swahaba qani?mbona mmejenga shule nawakati wamtume watu walikuwa wanasomea misikitini hii pia c bidaa??