NGOJEENI JAMA TUMEAMBIWA TUFUATE WALA TUSIZUSHE KWANI TUMETOSHELEZWA TUPENI DALILI YA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM ALIMSOMEA SWAHABA YEYOTE ALIEKUFA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM AKIWA HAI???
No need to arguing about reading quran and praying the mercy for the dead. It's what everyone one wants to be prayed for after they died. I don't know those who refuse reading quran are they sure they will be saved from the punishment of the grave or qiyamah.
Kama hauna mising ya kielim basi minaqasha kama hii haupati faida zaid ya kushabikia Kundi lako tuuu. Rejeeni Kitab Ahkaam janaaaiza Kuna bahath pana mule.Imefanywa
Kwani lailahailallah sio quran. Je, kabla ya kushuka qur'an neno lailahailallah ilikuwepo au dua anazoombewa maiti sio qurani au mnatafuta mabishano tu.
Na ndio mana hawapishani waislam wawili juu ya jambo la kusalia maiti.Lakin hili la kusoma visomo halina Asili ktk Dini. sala ya jeneza Naam imethibit kwa mtume na vitab vya fiqihi vimeandika na namna Alivosali.Lakin hili la visomo Vya khitima Halipo kwa hyo ni ktk Bidaa.
Ikiwa wataka watu wajue haqq mbona hueki munaqasha kamili watu wakasikiza kwanzia mwanzo Hadi mwisho ,,, Wewe nia yako ni ushabiki wala hutaki haqq. Au uwe watafuta viewers tu .
Watu wa bidaa na makhurafi hawataki sunna ya mtume hawa,huleta Barbara zao wanapoambiwa hakki na wamepotea maskini ya mungu tuwaombee kwa Allah awaongoe katika njia ya sawa, mtume wa Allah amesema Inna maa umitu l alima hakika Mimi ni mwalimu kwenu Sasa ikiwa mwalimu hakusoma hitima nyie mnatowa wapi hiyo hitima arafu hakuna kiasi mahali ambako imethibiti sunna ya mtume. imamu shafii kasema mkiona maneno yangu yanakinzana na sunna ya mtume yatupilieni mbali chukueni kilicho cha mtume so ulamaa kutofautiana so hoja kuwa ninyi ndo halali ya kufanya hitima Bali inatakikana muangalie kauli ya wapi waloenda sambamba na sunna ya mtume,tunayawacha ya wale waloenda kinyume na mtume bila ihyana wala kutukana,Sasa mtume akusoma hitima alifiwa na wanawe na mkewe na Amy zake pamoja na maswahaba hakuwai keti kitako kusoma hitima ya ahlu bidaa msipende kupindisha hakki itawaghalimu siku ya kiama 😂😂😂
Jazakumullahu khayran.. mashehe wote kwa kutupa elimu nzuri
Waisilamu wameanza kufahamu na kurudi kwa sunna, wanazinduka na kuwacha kufuata uzushi katika dini. Allah atuongoze.
Kweli nimewaskia,mnazungumzia Swala ya jeneza ama khitma
Jmn quran sio kama aya zote za mashaf ni dua nyengine zina onya zinafahamisha na kuelekeza sio yote ni DUA
NGOJEENI JAMA
TUMEAMBIWA TUFUATE WALA TUSIZUSHE KWANI TUMETOSHELEZWA
TUPENI DALILI YA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM ALIMSOMEA SWAHABA YEYOTE ALIEKUFA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM AKIWA HAI???
Apo ndipo wanaponishangaza mie labda ktk kipindi cha mtume watu walikuwa hawafi ndio mana hakuwahi kusoma khitma
No need to arguing about reading quran and praying the mercy for the dead. It's what everyone one wants to be prayed for after they died. I don't know those who refuse reading quran are they sure they will be saved from the punishment of the grave or qiyamah.
Kama hauna mising ya kielim basi minaqasha kama hii haupati faida zaid ya kushabikia Kundi lako tuuu.
Rejeeni Kitab Ahkaam janaaaiza Kuna bahath pana mule.Imefanywa
Hazimfikii kwani we ndo unozipokea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Basi pia hakuna duaa kwa marhuum wetu,,, hakuna kinachomfikia maiti zetu,, daa,, waislam mtihani,,@@shabanmuhoro3342
na ww ndio wazirudisha😂😂
khitima mm nikifa nisifanyiwe ni uzushi mkubwa sana
HUYU MKIZI HATA LUHA HAJUWI MMBISHI HATARI
Elimu chache ni udhia mwingi tusomeni acheni ushabiki mawahabi elimu zao chache
MAWAHABI ELIMU ZAO CHACHE NA WABISHI KWELI KWELI
Huna hoja today happened na uwahabi wako sisi tutasoma hitma
SISI TUTASOMA HITIMA NA IKRAM TUTAWAPA WAISLAM WENZETU BIIZINI LAHI
Kwani lailahailallah sio quran. Je, kabla ya kushuka qur'an neno lailahailallah ilikuwepo au dua anazoombewa maiti sio qurani au mnatafuta mabishano tu.
Maghurafi ni tatizo hoja ni wapi Mtume alikusanya maswahaba kuwasomea khitma wenzao waliotangulia mbele ya Allah?
Bin taimiya sindiyo Imamu wenu mkuu kakubaliyana nahiyo kusomeya
@@MunezeroHabiba-td3mv hili ndilo tatizo linalo wabungua maghurafi unauliza wapi mtume kafanya hivyo yeye anasema ibun Taymia shida kweli😀😃
kusulia maiti mbona ina sihii ila hitimu tu ndio isio sihii?
Kuna kuthibiti jambo na kutokuthibit jambi.
Na ndio mana hawapishani waislam wawili juu ya jambo la kusalia maiti.Lakin hili la kusoma visomo halina Asili ktk Dini.
sala ya jeneza Naam imethibit kwa mtume na vitab vya fiqihi vimeandika na namna Alivosali.Lakin hili la visomo Vya khitima Halipo kwa hyo ni ktk Bidaa.
Ikiwa wataka watu wajue haqq mbona hueki munaqasha kamili watu wakasikiza kwanzia mwanzo Hadi mwisho ,,,
Wewe nia yako ni ushabiki wala hutaki haqq.
Au uwe watafuta viewers tu .
Watu wa bidaa na makhurafi hawataki sunna ya mtume hawa,huleta Barbara zao wanapoambiwa hakki na wamepotea maskini ya mungu tuwaombee kwa Allah awaongoe katika njia ya sawa, mtume wa Allah amesema Inna maa umitu l alima hakika Mimi ni mwalimu kwenu Sasa ikiwa mwalimu hakusoma hitima nyie mnatowa wapi hiyo hitima arafu hakuna kiasi mahali ambako imethibiti sunna ya mtume. imamu shafii kasema mkiona maneno yangu yanakinzana na sunna ya mtume yatupilieni mbali chukueni kilicho cha mtume so ulamaa kutofautiana so hoja kuwa ninyi ndo halali ya kufanya hitima Bali inatakikana muangalie kauli ya wapi waloenda sambamba na sunna ya mtume,tunayawacha ya wale waloenda kinyume na mtume bila ihyana wala kutukana,Sasa mtume akusoma hitima alifiwa na wanawe na mkewe na Amy zake pamoja na maswahaba hakuwai keti kitako kusoma hitima ya ahlu bidaa msipende kupindisha hakki itawaghalimu siku ya kiama 😂😂😂
Hii imetoka kwa mkubwa bin taimiya hudjaskiya viruri ao
tusome tutajua kua yafaa au haifai maana watu wajua ubishi tu
We unaetetea hitima, ni uzushi tuu uloanzishwa na mababu zenu basi, si tunajuwa hakuithibiti kwa mtume.