Mashallah sheikh haji umefahamika na Allah akuhifadhi inshalla .. Ila ningependekeza tusitumie neno jahil kumwita mwenzetu ktk uislam jpo kua anamakosa🙏
TUMEKUFAHAMU UST WETU ALLAH AKUWEKE INSHAALLAH NA PIA KWA WALE WANAOTAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW INGIA KTK UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Wallahi lau mungeliwanyamazia hawa wapuuzi wa kiwahabii basi mungeliwavunja nguvuu ,ila hivyo munavyowajibu munazidi kuwapa umaarufu na kuwapa nguvu ya kusema ,waache waseme watakayoo ila ipoo siku watakuja jutia kwa wanayoyafanyaa 😢 maisha yote mtu mjingaa ukimjibuu huzudisha ujinga wake dawa yao hawa ni kuwanyamaziaa waache wabweke kama mbwaaa mwishoo wataacha kubwekaa saivi kelele nyingi wnatafuta wafuwasi ndio maana ukawaona hata ulinganiaji wao ni wajazbaa
Uzuri wa haji upapa ameyaqinisha kua maulid yameanzishwa na mashia. Kisha anajiona ni mjuuuuzi wa kupima mambo Yaani yeye kuanzishiwa ibada na mashia kwake ni dini Na hizo hoja anazozitoa za Abii hurayra anaona ni ibada iliyoanzishwa na hapakuwepo msahihisaji ambae ni mtume rehma na amani ziwe juu yake
@@HashimSalim-qj7znhata nyinyi huko uwahabini muwache Uzushi yaani nyinyi mpaka Mwenye Ezi Mungu mumemgawanya ktk Tauhid ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم hii kigawanyo Cha Tauhid mumeitowa wapi?
Haji Upepo umekosea mno, Wallahi uko n dhima kubwa mno mbele ya Allah. Leo unasema Kwa Kinywa Chako mbele ya Umma kua Mwenyew kuafuata Masalafy wako na 90% kuingia Motoni ? Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Utaenda kujibu siku ya Kiama. Usione sifa kuongea hivyo watu wakakusifu
@@sheikhyusufdiwan2489 Amin na Allah akujaalie na wewe na Sheikh Haji mufuate Sunna na Amutoe kwenye Uzushi na kuutetea Uzushi na Amuujalie mujue thamani ya dini na musiichukulie dini km timu ya mpira
nassirzamzam9312 afadhali la Maulid kwa sababu Maulid ni Mazazi kwa hivo Mtume SAW alizawa, lkni maisha yake yote mpaka kuondoka hakuwai kufanya mashindano ya Quran na alikuwa na Maswahaba ni mafidh kushinda sisi
@@nassirzamzam9312 maneno yako ni kweli na ni mazuri na ndani ya Maulid si pia kwa somwa Quran hiyo hiyo kama ktk mashindano ya Quran au wewe umesikia kwa somwa Quran tafauti na hiyo
@@nassirzamzam9312 maneno yako ni kweli na ni mazuri na ndani ya Maulid si pia kwa somwa Quran hiyo hiyo kama ktk mashindano ya Quran au wewe umesikia kwa somwa Quran tafauti na hiyo
kahusudiwa wap au kujibiwa ndo husda kuwa na inswaf akhii kujibiwa ust haji sio rahis kwasabu ni mwiba kwa mawahabi alijiribu salafi uchwara moja kujibu anaitwa abuu musa kiza nbona alikimbia na huyu punda bachu mwambieni ajaribu aone
Nyny akili zenu zimechanganyika na mavi, nyny mnapenda kudai dalili ya Moja Kwa moja lkn Kwa Jambo msililolipenda, lakini Kwa jambo mnalolipenda mnalitetea bila ya dalili ya Moja Kwa moja 😂😂
hivi kuna haki gani ya kucheza dufu mwanamke mbele ya wanaume huku wanamswalia mtume je maulidi ni halali kidini ikiwa mfumo wenyewe ndio huo...na kuhusu mashia kuleta maulidi ni kosa pia kwasababu wameanzisha kitu ambacho mpaka leo watu wanatafarakiana...mimi mpaka sasa hivi namuona mtoto wa bachu yupo sahihi kwasababu ya msimamo wake...hilo jukumu ulilo beba la kutetea maulidi na unaona dada zako na wadogo zako wanavyo dhalilika basi amini wallah kwa m.mungu una dhima kubwa sana
Upepo upo maana mbili na hapa naona haji upepo, kuna upepo mchafu u aotoma kwa mtu na kuna upepo unaoharibu lakin hapa hakuna kheri sijajua ulepo huo u. Ekusudiwa upi maana mada yenyewe ni upepo mchafu mtupu u anaonuka ukhurafi unaotoka katika mahali si pake
Maalim upo wazi ktk hoja hizi atoe dalili one way moja kwa moja wapi mtume au swahaba kama wanavyo taka wao dalili ya moja kwa moja sasa kama hawana basi ndio mungu anavyo fanya kujibu radi ikawa Rudi wenyewe Sawa maalim wangu vizuri na wote hao mawahabi wajibu hii hoja
mimi nikuulize swali moja na naomba uwe mkweli hivi ni kweli wakati mama wamtume anajifunguwa au kumzaa mtume alizakishwa na mama aya mke wa firauni na bi maryam mama wa nabii isa kama siyo kweli basi ujuwe kwenye maulidi kuna mambo hayafai
Kama unamini maka na madina basi dini safi ya mwenyezimgu iko maka na madina kwa sababu mwenyezimgu ameweka askar wake nao ni malaika wanazilinda hii miji.
Ni Makkah au Makka au Mecca sio maka. neno maka lina maana nyingine kabisa sikutarajia tutakuja kuelekezana haya maneno hapa. 😂😂 mwenyezimgu ❌❌❌ iko ❌❌❌❌ (haijakaa sawa kwenye sentensi ) Askar ❌❌❌❌ wanazilinda hii miji ❌❌❌ KAZI KWELI 😂😂
Shekhe haji upepo maulidi ni ibada au siyo ibada ktk uislamu? Na kama ni ibada naomba kujua sharti, nguzo, sunna za ibada ya maulidi, na pia aya iliyofaradhisha maulidi ktk uislamu
Sharti za maulidi ni tatu 1Piga pasi kanzu 2 ukiwa maulidi mswalie mtume 3 kama ukipewa sadaka ya chakula kula. Nguxo zamaulidi ni tatu Wahi nafasi za mbele Itikia kaswida kwa sauti Vaa kanzu na kofia Sunna zaibada ya maulid ni tatu 1mswalie mtume 2mswali mtume 3 mswalie mtume Aya iliyo faradhisha ni. Yaayuha lladhiyna aamanu swallu alayh wasallim taslima
Nilichojifunza kutoka kwa sheikh. 1. Anakubali maulid yameletwa na Mashia - Makafiri 2. Anakubali yameletwa kwenye karne ambayo sio moja ya karne bora tunazotakiwa kuzifuata. Kwanini wanayaendeleza Maulid? Kama Maulid ni IBADA watueleze taratibu ya IBADA hiyo na vitu vinavyoibatilisha hiyo IBADA ya Maulid kwa mujibu wa Quran na Sunnah.
Jambo lolote haliangaliwi nani aloanzisha hata Mtume SAW kachukuwa mambo mengi sio ktk Uislamu ile Mimbar ya Mtume SAW alojengewa asli yake imetoka kwa manaswara Vita vya Handak asli yake imetoka kwa mafursi watu wa kuabudu moto kwa hivo kitu kinachoangaliwa je inakubalika na Sheriya ya Dini? sasa ikiwa Maulid sio ktk karne bora je huko kwenu uwahabini Uzushi wa mashindano ya Quran ni karne bora?alafu ukitaka kujua Maulid ni ktk IBADA sasa wewe ujibu mwenyewe kwa haya nitakao kueleza ktk Maulid kwa somwa Quran kwa letwa Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW sasa tuambie haya ni ktk IBADA au sio ktk IBADA?hebu tupe jawabu
zuberiabdul7941 jambo lolote haliangaliwi nani alianzisha kitu kinachoangaliwa je inakubalika na Sheriya ya Dini?hata Mtume SAW kuna mengi ametwa kwa wasio waislamu ile Mimbar alojengewa asli yake yatoka kwa manaswara
Ata mtume alivo kua mdogo na ami Ake wanaenda sham wakamkuta padri kwenye sehem anawakirim wasafiri kanisan mtume akawa kajitenga akamuta na kumkuta Ana kivuli Cha mawingu kina mfata na pale akamwambia ami yake amrusishe mtume nyumbani baada ya kugundua kua ni mtume
UDHU NI JAMBO MTUME KAFANYA NA KATUAMRISHA KFANYA HIVYO KUJITIA MANUKATO MTUME KAJITIA WAPI MTUME KASOMA MAULIDI WAPI IMAM MALIK KASOMA MAULID ZUA ZUA GROUP
Haji upepo mtume aliulizwa kuhusu swaumu y jumatatu akasema ذاك يوم ولدت فيه وانزل علي فيه ni siku niliozailwa na ni siku ya kushushia wahayi Haji wafundisheni watu wenu namna aliyofanya mtume alifunga ktk kuadhimisha kuzaliwa wa Kwake انكنتم تحبون الله فاتبعوني لقد كان لكم في رسول الله اسوة حسن
Kwahio sasa mawahabi mmeanza KUKUBALI kuwa Mtume saw alifanya birthday day ila kwa kufunga, 😂 vizuri tutaendelea kukufunzeni watu wetu mpaka muelewe Zaidi
Shukran ustHaj Mwamba umeweka hoja kwa uzur sn umeelewek kwa uzur Jazakallahukhayri
Mashallah sheikh haji umefahamika na Allah akuhifadhi inshalla
.. Ila ningependekeza tusitumie neno jahil kumwita mwenzetu ktk uislam jpo kua anamakosa🙏
Maa sha Allaah sheikh wetu mpendwa
Shukran Sheikh Hajj. Unaeleweka sana. Allah akupe umri mrefu wa manufaa
MashaAllah tuelimishe zaidi inshaAllah mawahabi watakifahamu
Ust Upepo Allah akuzidishie elimu
Hakika hii ndo elimu
Hongere shehe nakukubali sana wataelewa tu
Mashallah shukran sana sheik wetu
Maa shaa ALLAH tumeelewa vizuri let's hope na mawahabi pia wamefahamu kama nilivo fahamu unless hawana akili ama hawataki kuelewa
TUMEKUFAHAMU UST WETU ALLAH AKUWEKE INSHAALLAH NA PIA KWA WALE WANAOTAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW INGIA KTK UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Acha upotoshaji haji upepo huna lolot nenda kasome dini ujue nin sunna, nin bidaa
Shiekh Muhammad Bachu hakika yupo kweny haki 💯💯✍️
Allah amzidishie manen mazur kwa mweny akil timam
Habi bi shekh haji shukrani
Haji Upepo, kwa Matusi yuko vizur sana lakini katika Hoja ni mweupe anataka huruma za watu. Kwakwel n mweupe sana sana tena sana.
Mashallwah safarihi mawahabi lazima wataelewa tu mashekhe zagu musiwache kuwa funza hawa mawahabu kwa ufahamu wao mbovu wa dini waelimisheni
Allah Yubarik Alayka Ustadh 🎉🎉🎉
Mashaalah sheikh wetu
Jazaaaka llahu khaira
بارك الله فيك يا شيخ
Yani kwa sauti ya upole kabisa wala haupayuki kama mwenye kuelewa ameelewa. ALLAH akuhifadhi
ماشاءاللہ ماشاءاللہ ماشاءاللہ
barazanzi umejaa makosa na shirki.
Unahama mada mjanja ovyo😂😂😂
Swadaqta yaa Sheykh
Wao kuunganisha ni halali wenzao watoe Moja Kwa moja kutoka kwenye Kur an au sunna. Yani hii dini wanajifanya km za mama na baba zao.
Mashaallaa sheikh
Shekh Hajji umetoa hojja zimenyoooka kabisa
Hawa mawahabi watatafuta pakutokea tu nyundo juu ya nyundo
Hongera sana sh hajui upo vzr sana mungu akulinde na husda
Ufaham potofu lazima usahihishwe, sawa kabisa.
Hasbuna llah wani'ma l- wakeel
Mashaallah safi san
Ust... Haji upepo nakuelewa sana aiseee
Malim upepo taratibu mashallah mfahamishe huyo mtupu wa fahamu.
Maas😢shaallah
Wallahi lau mungeliwanyamazia hawa wapuuzi wa kiwahabii basi mungeliwavunja nguvuu ,ila hivyo munavyowajibu munazidi kuwapa umaarufu na kuwapa nguvu ya kusema ,waache waseme watakayoo ila ipoo siku watakuja jutia kwa wanayoyafanyaa 😢 maisha yote mtu mjingaa ukimjibuu huzudisha ujinga wake dawa yao hawa ni kuwanyamaziaa waache wabweke kama mbwaaa mwishoo wataacha kubwekaa saivi kelele nyingi wnatafuta wafuwasi ndio maana ukawaona hata ulinganiaji wao ni wajazbaa
Hapana Kuna watu hawajui chocho.huwezi kupigwa bila kukosa.❤
Hacha waambiwe
TULIO MUELEWA MWALIM SHEKH HAJI TUJUANE KWA LIKE HAPA
Asante sheikh haj
Ahsan
Uzuri wa haji upapa ameyaqinisha kua maulid yameanzishwa na mashia.
Kisha anajiona ni mjuuuuzi wa kupima mambo
Yaani yeye kuanzishiwa ibada na mashia kwake ni dini
Na hizo hoja anazozitoa za Abii hurayra anaona ni ibada iliyoanzishwa na hapakuwepo msahihisaji ambae ni mtume rehma na amani ziwe juu yake
Sheikh Haji Upepo umekuja kutufungua sanah AKILI ZETU
Allah akulipe sheikh letu
Sanaaaaa❤❤❤❤❤
جزاك الله خيرا جزيلا
Swahihi sheikh
Wape elimu hawa ndugu zetu mawahabi,
Humuogopi Allah!! sio kwa talbisaat hzo.
بكل فصاحة
Kumbe huyu.upepo.hizbi. subuhanallah. Anazidi kupoteza watu. Mungu akutoe kwenye ujahil
Mwehu😢
@@HemedSerious mwehu😪
Anahitaji ilimu
@@HanifaOman-oo4pl kapoteza watu vipi
Mawahabi kazi yao kutusi watu
Bachu anapenda umaarufu tu,,, elimu bado sana
msitumie aya za allah kupotosha watu na kubebesha maana katika aya isiyo sawa
Nyinyi niwalimu wetu tunategea mutupe elimu munapigana vijembe nyinyi waislamu kumbukeni mnakosea mungu sana
hii ni elimi sio vijembe kaka
Mashaallah
Ila mawahabi hiyo kazi ya kukaza mafuvu kwa waislamu ili muwaridhishe mayahudi jifikirieni mnatumika sana Aisee
Shekh Bachu Nakuombaa uendee Tumbatu kwenu kwenyee Asili Yakoukaelimishwe
Allah akuhifadhi sheikh Ustadh Haji Upepo
@@abujamalaalghammawiy7470 Amin na amuongoe aache Uzushi
@@HashimSalim-qj7zn Ili mauache huo uzushi mnaousema, njooni mumjibu kwa hoja na dalili sasa, sio porojo zenu tu
@@HashimSalim-qj7znhata nyinyi huko uwahabini muwache Uzushi yaani nyinyi mpaka Mwenye Ezi Mungu mumemgawanya ktk Tauhid ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم hii kigawanyo Cha Tauhid mumeitowa wapi?
@@HashimSalim-qj7znwewe mwenyew mzushi mnafiki mkubwa
@@HemedSerious Allah akuongoe uijue hakki na akupe na akili pia
mbna uyo Imam Malik hakumfanyia birthday mtume
Ushahama Kwa mtume sasa unauliza Kwa imama Maliki, mtihani akhiy
Akili zao mbovu wallahi
Shekh upepo twataka kuona uwezo wako wa ilimu kwenye mjadala na bachu plz Fanya bidii ujiandae usidanganye watu ambao hawakusoma
Amiin
Haji Upepo umekosea mno, Wallahi uko n dhima kubwa mno mbele ya Allah. Leo unasema Kwa Kinywa Chako mbele ya Umma kua Mwenyew kuafuata Masalafy wako na 90% kuingia Motoni ? Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Utaenda kujibu siku ya Kiama. Usione sifa kuongea hivyo watu wakakusifu
Ikiwa dini haitakiw kuingizwa vitu vpya vingawanyo vyatawhd mmepatia wapi?au hvi vilifanywa namtume?
alhamdulillah
weye haji na yule dada hanna tofauti
Ndio ilimu yenu mawahabi wapotoshaji kutusi
جزاك الله خيراً
@@sheikhyusufdiwan2489 Amin na Allah akujaalie na wewe na Sheikh Haji mufuate Sunna na Amutoe kwenye Uzushi na kuutetea Uzushi na Amuujalie mujue thamani ya dini na musiichukulie dini km timu ya mpira
@@HashimSalim-qj7znuzushi umeuona kwake ila kwenu hapana hicho ni kiburi
@@HashimSalim-qj7znkwani huko kwenu uwahabini hamuna Uzushi?kuna vitabu tena sio kitabu ni vitabu vya Uzushi wa mawahabi au hajui hilo?
@@HashimSalim-qj7zn hujui kusema
@@MuhidiniNassor Sw
Mtume s.a.w aliswali taraweh vitendo vyovote alio fanya mtume ni dini lakini maulidi hakuwahi kufanya maishani mwake kwa hivyo maulidi ni bidaa %.
Skiliza 3:33
nassirzamzam9312 afadhali la Maulid kwa sababu Maulid ni Mazazi kwa hivo Mtume SAW alizawa, lkni maisha yake yote mpaka kuondoka hakuwai kufanya mashindano ya Quran na alikuwa na Maswahaba ni mafidh kushinda sisi
Abubakar omar Qur'an ni maneno ya mwenyezimgu kwa hivyo mashindano ya Qur'an ni bora katika dini.
@@nassirzamzam9312 maneno yako ni kweli na ni mazuri na ndani ya Maulid si pia kwa somwa Quran hiyo hiyo kama ktk mashindano ya Quran au wewe umesikia kwa somwa Quran tafauti na hiyo
@@nassirzamzam9312 maneno yako ni kweli na ni mazuri na ndani ya Maulid si pia kwa somwa Quran hiyo hiyo kama ktk mashindano ya Quran au wewe umesikia kwa somwa Quran tafauti na hiyo
Muhammad bachu Allah amhifadhi na husda zenu hawezi kuujibu upepo kwa kua siku zote upepo hauna mwelekeo. Hujibiwa watu sio upepo
kahusudiwa wap au kujibiwa ndo husda kuwa na inswaf akhii kujibiwa ust haji sio rahis kwasabu ni mwiba kwa mawahabi alijiribu salafi uchwara moja kujibu anaitwa abuu musa kiza nbona alikimbia na huyu punda bachu mwambieni ajaribu aone
Nyny akili zenu zimechanganyika na mavi, nyny mnapenda kudai dalili ya Moja Kwa moja lkn Kwa Jambo msililolipenda, lakini Kwa jambo mnalolipenda mnalitetea bila ya dalili ya Moja Kwa moja 😂😂
sasa hapa kuna husda gani mbona naona wanaelimishana vizuri tu❤
Ama kweli we upepo,,,, unatumia akili kuliko elimu nakuonea huruma Allhaa akuongoze na utuke kwenye uzushi mr upepo
Khaalifu lyahuud wan naswaaraa
Makhurafi ni watu Waongo sanaa
Je kutia udhu ni uzushi
Kujitia manukato ni uzushi
Mtume katia udhu
Mtume kajitia manukato
Wapi Mtume kasoma barzanji
Wapi Maswahaba walisoma maulidi
Zuazua zua zua zua group
hivi kuna haki gani ya kucheza dufu mwanamke mbele ya wanaume huku wanamswalia mtume je maulidi ni halali kidini ikiwa mfumo wenyewe ndio huo...na kuhusu mashia kuleta maulidi ni kosa pia kwasababu wameanzisha kitu ambacho mpaka leo watu wanatafarakiana...mimi mpaka sasa hivi namuona mtoto wa bachu yupo sahihi kwasababu ya msimamo wake...hilo jukumu ulilo beba la kutetea maulidi na unaona dada zako na wadogo zako wanavyo dhalilika basi amini wallah kwa m.mungu una dhima kubwa sana
Ama kweli ww ni upepo kweli
Mawahabi wanapoteza watu sanaaaaaa dah
Mushapotea sasa mwaona wengine ndio wapotevu..ajib😂
@@swabirswabiri1714 tetea hoja kwa kujibu maneno ya sheikh
USILALAMIKE
Maasha Allaah uwahabi ni ugonjwa jmn
Ww umesoma wap
Upepo upo maana mbili na hapa naona haji upepo, kuna upepo mchafu u aotoma kwa mtu na kuna upepo unaoharibu lakin hapa hakuna kheri sijajua ulepo huo u. Ekusudiwa upi maana mada yenyewe ni upepo mchafu mtupu u anaonuka ukhurafi unaotoka katika mahali si pake
Uyu mtoto wabachu nlijua alivonyooshwa nasheikh said amekoma. kumbe bado anakurupukaga
What Sheikh had said actually was true deeper than what tou say here, because Maulid it is fabricated and non known
Ila mutambue kuwa Maulidi ni Uzushi
Ww mwenyeo mzushi
@@yussuphkhamis5878sawa tuachie wenyewe
Kwahiyo kama ajasema kama alikua anatawadha. Ndiyo mjitungie mamboyenu uzushitu. Intakillah
Km hujafamu ni vizuri kuuliza acha mihemko
@@AbdullahOmar-be4wy mzee wa ubwabwa😄😄 uwogopi
@@HanifaOman-oo4pl inna lillah wainna ilahi rajiuni sawa mtu wa peponi
@@AbdullahOmar-be4wy Amyn🤲
Maalim upo wazi ktk hoja hizi atoe dalili one way moja kwa moja wapi mtume au swahaba kama wanavyo taka wao dalili ya moja kwa moja sasa kama hawana basi ndio mungu anavyo fanya kujibu radi ikawa Rudi wenyewe Sawa maalim wangu vizuri na wote hao mawahabi wajibu hii hoja
Haji upepo ww cmkweli
WAISLAM MTAENDELEA KUJUANA KWA MADHEBU HADI WALINI?
MUOGOPENI ALLAH
Mtihan xn uwahabi
UST HAJI NIMEYAPEMDA AYO MASHAIRI ULOWEKA MWANZO NAWEZA YAPATA?
mimi nikuulize swali moja na naomba uwe mkweli hivi ni kweli wakati mama wamtume anajifunguwa au kumzaa mtume alizakishwa na mama aya mke wa firauni na bi maryam mama wa nabii isa kama siyo kweli basi ujuwe kwenye maulidi kuna mambo hayafai
Naam Alhabib,Wenye akili zilizosalimika tumekuelewa vizuri sn,ALLAH Akuhifadhi,Umeeleza kiufasaha na Elimu ya juu sana
❤❤❤❤❤
Eee jamani acheni fitina na kujiona izoo so elimu
Kama unamini maka na madina basi dini safi ya mwenyezimgu iko maka na madina kwa sababu mwenyezimgu ameweka askar wake nao ni malaika wanazilinda hii miji.
Ni Makkah au Makka au Mecca sio maka.
neno maka lina maana nyingine kabisa sikutarajia tutakuja kuelekezana haya maneno hapa. 😂😂
mwenyezimgu ❌❌❌
iko ❌❌❌❌ (haijakaa sawa kwenye sentensi )
Askar ❌❌❌❌
wanazilinda hii miji ❌❌❌
KAZI KWELI 😂😂
Hata makafiri Na wanafiq wako huko
Allah amuhifadhi shekh Muhammad bachu
Shekhe haji upepo maulidi ni ibada au siyo ibada ktk uislamu? Na kama ni ibada naomba kujua sharti, nguzo, sunna za ibada ya maulidi, na pia aya iliyofaradhisha maulidi ktk uislamu
Sharti za maulidi ni tatu
1Piga pasi kanzu
2 ukiwa maulidi mswalie mtume
3 kama ukipewa sadaka ya chakula kula.
Nguxo zamaulidi ni tatu
Wahi nafasi za mbele
Itikia kaswida kwa sauti
Vaa kanzu na kofia
Sunna zaibada ya maulid ni tatu
1mswalie mtume
2mswali mtume
3 mswalie mtume
Aya iliyo faradhisha ni.
Yaayuha lladhiyna aamanu swallu alayh wasallim taslima
Kwanza ujue maulidi ni ?
Pili jua Ibada ni nini?
Ili uweze kupewa majibu yako
Apo unaulza na kujijib mwenyw
Huyu Muhammad bachu anaakili kwel et
Ww upepo wakisulisuli nawenzio niwalafi ukitaka kuazimisha funga j3
Maasha Allaah uwahabi ni ugonjwa
Yani upepo lazma upeperushe wenzako katika bid'a😂😂eka ndevu kwanza ikiwa wampenda mtume.
Nilichojifunza kutoka kwa sheikh.
1. Anakubali maulid yameletwa na Mashia - Makafiri
2. Anakubali yameletwa kwenye karne ambayo sio moja ya karne bora tunazotakiwa kuzifuata.
Kwanini wanayaendeleza Maulid? Kama Maulid ni IBADA watueleze taratibu ya IBADA hiyo na vitu vinavyoibatilisha hiyo IBADA ya Maulid kwa mujibu wa Quran na Sunnah.
Jambo lolote haliangaliwi nani aloanzisha hata Mtume SAW kachukuwa mambo mengi sio ktk Uislamu ile Mimbar ya Mtume SAW alojengewa asli yake imetoka kwa manaswara Vita vya Handak asli yake imetoka kwa mafursi watu wa kuabudu moto kwa hivo kitu kinachoangaliwa je inakubalika na Sheriya ya Dini? sasa ikiwa Maulid sio ktk karne bora je huko kwenu uwahabini Uzushi wa mashindano ya Quran ni karne bora?alafu ukitaka kujua Maulid ni ktk IBADA sasa wewe ujibu mwenyewe kwa haya nitakao kueleza ktk Maulid kwa somwa Quran kwa letwa Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW sasa tuambie haya ni ktk IBADA au sio ktk IBADA?hebu tupe jawabu
zuberiabdul7941 jambo lolote haliangaliwi nani alianzisha kitu kinachoangaliwa je inakubalika na Sheriya ya Dini?hata Mtume SAW kuna mengi ametwa kwa wasio waislamu ile Mimbar alojengewa asli yake yatoka kwa manaswara
Maulidi sio ibada bali yanayofanywa ndio ibada
zuberiabdul7941 ikiwa Maulid sio ktk karne bora je huko kwenu uwahabini mashindano ya Quran ni ktk karne bora?
Ibada qur ani na sunna je taqsimu ttauhid ilaa thalathat aqsaaam mtume amesema wapi au naswahaba au karne 3 mwanzo?
Haji upepo tunauona ujinga wako
Mbona roporopo mwenzio kaleta hoja na dalili
Ata mtume alivo kua mdogo na ami Ake wanaenda sham wakamkuta padri kwenye sehem anawakirim wasafiri kanisan mtume akawa kajitenga akamuta na kumkuta Ana kivuli Cha mawingu kina mfata na pale akamwambia ami yake amrusishe mtume nyumbani baada ya kugundua kua ni mtume
Wee ni upepo kweli mana upepo haujui unacho kifanya
Kawaulize watu wa Adi.
@@omaryjumas6327😂
Mwenye kujua anijuze au atujuze Mtume Muhammad (S.A.W) alikua dhehebu gani? Katika haya madhehebu wanayofuata waisilamu mathalan Sufi, Sunni,Shia ,Wahabi, Ibadhi, salafi sijui n.k shukran .
Sahihisho : HAKUNA DHEHEBU KATIKA UISLAMU LINALOITWA WAHABI .
Afwan Muhibu! @abdallahal-khaify ukitoa Wahabi hivi haya Madhehebu mengine wanayofuata waisilamu Mtume Muhammad yeye dhehebu lake lipi .shukran
Acha upotovu ww upepo wakisulisuli
Huyu jamaa maskini kadiri akijaribu kumjibu Muhammad bachu.. ila yeye anapuuzwa na Muhammad.. ila yumoo 😂😂😂 jitahid Kuna siku atakujibu inshallah
Mimi binafsi. Ha mkafiri akiwa anam siifu mtume ntampenda na kujaribu kumslimisha. Hawa waatu wako na shida na mtume bali wanatafuuta kisingizio.
UDHU NI JAMBO MTUME KAFANYA NA KATUAMRISHA KFANYA HIVYO
KUJITIA MANUKATO MTUME KAJITIA
WAPI MTUME KASOMA MAULIDI
WAPI IMAM MALIK KASOMA MAULID
ZUA ZUA GROUP
Haji upepo mtume aliulizwa kuhusu swaumu y jumatatu akasema
ذاك يوم ولدت فيه وانزل علي فيه ni siku niliozailwa na ni siku ya
kushushia wahayi
Haji wafundisheni watu wenu namna aliyofanya mtume alifunga ktk kuadhimisha kuzaliwa wa
Kwake
انكنتم تحبون الله فاتبعوني
لقد كان لكم في رسول الله اسوة حسن
Kwahio sasa mawahabi mmeanza KUKUBALI kuwa Mtume saw alifanya birthday day ila kwa kufunga, 😂 vizuri tutaendelea kukufunzeni watu wetu mpaka muelewe Zaidi
Mim siangalii ubole km huu w ubishi mn hakuna asie makosa