Ostadhi tunakupenda kwajilo ya ALLAH.. Yani unakipaji flan HIVi Yani ukitoa khutba unakuta nakuelewa Tena yanaingia kabisaaa , kama ww upo kama mm like , kusapoti uislam wetu
NA HIKO KIPAJI NDIO IKAWA MAWAHABI MIAKA MINGI WAMEHANGAIKA KUMCHAFUA NA MPAKA LEO NA MPAKA KESHO ILA WAMEBAKIA KUCHAFUKA WAO🤣. MAWAHABI SIO SAIZI YAO HUYU MTU ATA KIDOGO. WATAPATA SHIDA SANNA KUMFUATILIA HUYU MTU NA NJAMA ZAO MPAKA SASA ZOTE ZIMEFELI
Yaani Mashallah Nimeskiliza Maneno mataam sana yaliopangika Sheikh Othmaan Maalim ni katika Watu na masheikh Mwenye Hekma sana Nisiseme sana nisije nikakufuru ila Na hekma na Adabu na hoja nzito Katika Suala hili .. Allah akuhifadh sana
Ameikosa nidhamu, yule asiyeridhia, Anapotajwa HASHIMU, uso akajikunjia, Utadhani, Sura ukimwangalia, Enyi ndugu Isilamu, Tumswalie NABIA...! ALLAAHUMMA SWALLI WA SALLIM ÀLAA SAYYIDINAA MUHAMMAD WA ÀLAA AALIHI WA SWAHBIH
Sheikh uthman maalim Allah walai akupe mwisho mwema ya sheikh,walai sheikh una hekma mno Allah azidi kkupa kila chema unachokihitaji kwa hekma yake,nakupenda kwa ajili ya Allah,siwezi kumaliza hisia zangu kwako katika hii comment ila umenijaa moyoni,Allah akuhifadhi na kila mabalaa ya sheikh,❤❤❤❤
Mashallahu Allah akubariki Sheikh wetu na In sha llah wanaopinga Mawlid pengine wapiga kwa Uhaba wa elimu walonayo lkn In sha llah kwa Njia hii huenda nao fahamu zikawajia
Shukran Sana,, wajazakam llahu khaira shekh wangu Othman mola akuhifadhi na balaa na husda za watu waovu AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲 allahuma swaliy'alla muhamadu wa'alaaliy waswahaabiih wasaalama........ nakupenda Sana shekh kwa ajili ya Allah mola akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah....❤❤
Nakuelewa saaana sheikh Otmn IKIWA KULA MUHDATHA baaaas mawahabi dunia yao yooooote bidaaa tupu mungu awahidi tena naona hawa mawahabi kitengo cha mabacho ndio mijadala mingi mwisho kukimbia hoja. Tuacheni enyi mawahabi na mabacho sisi tukasikize raha ya maulidi nyinyi nendeni mkwakwani mkatizame mechi ndicho mashekhe wenu wanapenda kule saudi.
MOHAMED MUSA COMENT YAKO NZURI MNO ALLAH AKUZIDISHIE ELMU YENYE KUNUFAUSHA ACHANA NA OTHMAN MAALIM SOMA KWA MASHEIKH WA KISALAF MTAFUTE KHAMIS BIN AME YUPO MSASANI DAR ESSA LAAMV,UKITA NAMBA YAKE NITAKUTUMIA INSHAA ALLAH HATA MIMI NILIKUWA MTU WA MAULID SWAHIBU WA SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA SHRIKH SHABAN ALHAMDULILLAH ALLAH AKANIIONGOZA KWA KUICHA BATWIL YA MAULID
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 100%, mie naona washazimika ila wamebakia kutapa tapa. Kwa maulid inavyozidi kwa kasi wanataani kujiua kama baba yao iblisi
Aliyekuwq kadhi wetu making mola amrehem alihitimisha kwq duwq ya jumla rabana mfaana bimalamtana rabiali minalladhi ya mauna hadi misho na akimaliziya na rabana atina fiduniya hasana wafilakhiratul hasanahasana wqkinaadhaba nnar duwq hii alisoma kila alipohudhuriya na mpaka kafa miakaayyam kwq sababu aliipenda hiyo duwq na sio kwqmba hakujuwq nyengine na mrithi wake nafikiri alifatq hiyo duwq yani mzee message makungu mola awarehem wote na wengine makadhi na mashekh wetu amin yarab
OTHMA MAALIM WEWE HUNA ELIMU YA KUJUWA BID'A WALA SHIRKI WALA HUJUI SUNNAH NA BIDA!! ALLAH AKUONGOZE BARAZANJI IMEJAA SIRA ZA SIFA ZA UWONGO!! ETI MTUME AKIWA NA MIEZI TISA ALKUWA ANAPIGA MBIO!!!UWONGO HUO!!
We unasema uongo unaushahidi gani wakti maneno sahihi soma kwnza kabla kulbisha ila muulizee mama ako alipo kuwa na mimba miezi sita alikuw hali gani tumboni atakujib
Atakae naungane na anaetaka asietaka aungane naasie taka . Tutajuwa uko mbele kwambele. Ikishakuwa hatutaji yesu kristo bc . Allahumma maswalli alaa Muhammad.
Maulid ingekua wanatafsiri kama hivi ulivotafsiri wewe sheikh. Basi wallahi ingekua inapatikana faida sannna kujua siraa ya mtume. Lkn saivi maulid hawatafsiri wala hatujui kinachotajwa. Ni kucheza dance tu na kutunza . Hatujui kinachosomwa kwenye maulid. Shiekh ukisoma ww maulid kama hivyo wallahi hata imani inapanda. Lkn maulid ya saivi. Hata imani haipandi zaidi ya kushuka umani. Shukran sannna. Sheikh kutuelimisha. 🙏
Allah akuongoze na atuongoze na sisi lakini mjue kila mtu kaburini atakua peke yake hakuna mtu atakae mshabikia. لقد جئتمونا فرادى كما خلقناكم أول مرة Hili kila mmoja atakikana alijue kabla ya ushabiki wowote au kutetea chochote
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh!! Shekh mashaallah umefafanua vzur sana kadir ulivojaaliwa kuelewa!!! Lakini kwa upande wangu bado hujanikinaisha vzur maana inaonekana hoja zako kama zimeshajibiwagwa!!! Mfano mtume saw alikua ni mwalimu wa dini hii kwa hiyo hata hadithi ya kila bidaa ni upotevu bila shaka kuzua huko ni katika dini tu!!! Pili makhalifa kusema kwamba walianzisha bidaa flan flan sidhan kama hizi zinatafsiriwa kama ni bidaa kwa kua mtume saw amesisitiza tushikamane na sunna zake na za makhalifa wake waongofu tena kwa magego..... Na pia mtume saw alisema kwamba bora ya karne ni ile aloishi yeye na maswahaba zake kisha waliofatia na waliofatia baada ya hapo!!!! Sasa swali langu linakuja haya maulid waliyafanya maswahaba au katika hizo karne tatu bora yalikuwepo??? Na je katika wale maimamu wanne kuna hata mmoja aliyafanya au kuyajuzisha??? Mbaya zaidi watu wanapambania maulid jambo lenye utata baina ya maulamaa lakin hao hao hata yale ambayo hayana khilafu hawafanyi kama swala 5 na hili linaweza kuthibitisha ushabiki usiokua na maana na dalili za unafiq, na hata wakat mwngne watu wako radhi wakeshe maulid lakin ikikaribia fajr ndo wanalala na wasiswali!!!! Bado mimi ni mchanga katika elimu hivo sina hoja zenye mashiko kuyapinga moja kwa moja lakin moyo wangu bado umeegemea kutoyafanya na kuyakubali kwa hiyo mimi naomba tu nifundishwe na nikinaishwe kama kuna nukuu yeyote ya kisheria kwamba hizo karne bora au hao maimamu wa nne tunaowategemea waliyafanya haya.
Me nakuusieni mim mtu ambae sin elmu yoyot ile ila kuna watu wanatuma comment za kumtukana sh Othman mallim na ukiangalia kiukwel hawana elmu yoyote jmn tunak enda kubay jamn
Sema ustadh Unayasoma na kuyatafsiri mashairi ambayo ni mepesi ambayo ni ya kawaida ,ila hebu yasome hapo kwenye mimba ya Bi Amina hebu yasome na uyatafsiri ndio utajua kama kuna ukakasi ndani ya kitabu cha Barzanji
Sera ya mtume sallahu allaihi wassalam ipo kwenye Quran na hadith sahih bukhari muslim. Kumsoma na kumpenda mtume sallahu allaihi wassalam ni Lazima kwa muislamu.
Hapa wajifanya ohh bidaa sijui bachu sijui barzanji wao wenyewe swala tano kuswali matatizo na mingokaa kwa juu........huo mtandao wenyewe mnautumia pia bidaa......
Shekhe Othmaan Alla.akubari wewe ni kisima Cha Elimu na wewe ni miongoni mwa Wanawachuoni Wa zama hizi Tena Mimi nakuitaga ni mujaadid wazamahizi nilikusikiliza vizuri sana tulipokuwa kule makka ktk viwanja vya Minna mpaka Arafaa nilitosheka sana mpaka ukanitoa machozi wallah,
Mbuj usimbeze mtu huenda akawa ni bora kuliko ww na kusoma maulid haimainish ww ndio utamtia motoni au peponi humilik chochote ww ninani mpaka umbeze mwezako
@@mbjunior166 unasikitisha Wallah, Mungu atakuongoza InshaAllah, kwani zama zetu Mawahabi hulipwa fedha nyingi sana na maadui wa uislam, kuwagombanisha Waislam. Kama unatafuta uongofu wa kweli, basi tujitafakari zaidi.
Hakuna Muislamu hata mmoja duniani anakataa kuswaliwa kwa mtume ama kusifiwa, masikini ila hamjui wapi tunatafautiana? Tunatafautiana kwenye haya kaa makini ujiulize pia wewe: 1- Vipi anaswaliwa na kusifiwa 2- sampuli anayo sifiwa 3- Na wakati anao sifiwa Kama watu wange focus kwa haya hata tusingefika kwa hiyo BARZANJI pia
Hatari iliopo waweza kushikilia jambo ukazani ni sawa kumbe laa ukafa bado hujazinduka ,jambo hawakufanya wajawema maswahaba,Abuu bakari,Omar,Athuman,Alii nk. Hawa hawakufanya maulid yaan sis niwachamungu zaid kuwazidi maswahaba
Ostadhi tunakupenda kwajilo ya ALLAH.. Yani unakipaji flan HIVi Yani ukitoa khutba unakuta nakuelewa Tena yanaingia kabisaaa , kama ww upo kama mm like , kusapoti uislam wetu
Uko na maradhi yuakupenda bida'a ndio Mana kwani c useme tu Allahuma swali A'ala Muhammad kwani lazima uimbe
Na ww uko na maradhi ya husda ,. Waminsharil haasidin idhaa hasad🤲'
😂 Dah tuwacheni na maulid yetu na dhikri za kukohoa chuki za nini jamani nyinyi mnayenu na sisi tuna yetu 😂😅
@@saidmadizi9152 na weye una maradhi ya iblisi laana tullahi akisikia utajo wa Mtume saw inamuuma sana
NA HIKO KIPAJI NDIO IKAWA MAWAHABI MIAKA MINGI WAMEHANGAIKA KUMCHAFUA NA MPAKA LEO NA MPAKA KESHO ILA WAMEBAKIA KUCHAFUKA WAO🤣. MAWAHABI SIO SAIZI YAO HUYU MTU ATA KIDOGO. WATAPATA SHIDA SANNA KUMFUATILIA HUYU MTU NA NJAMA ZAO MPAKA SASA ZOTE ZIMEFELI
Yaani Mashallah Nimeskiliza Maneno mataam sana yaliopangika Sheikh Othmaan Maalim ni katika Watu na masheikh Mwenye Hekma sana Nisiseme sana nisije nikakufuru ila Na hekma na Adabu na hoja nzito Katika Suala hili ..
Allah akuhifadh sana
Amiin
shekhe othman allah akujaalie umri mrefu kwa ajir ya allah na kuendelea kutusomesha allah akulipe shkh una kila akhlaq ya kitwaliqa
Nakupenda sana maalim kwa ajili ya Allah,Allah akulinde Inshallah
Masha Allah Masha Allah leo nineelewa vzr sana yule bachoo kumbe mpotoehaji km maulid ni kumsifia na historia yke tu hapo kweli hapana kosa
Mashaallah tabaraka Rahman Allah ulipe yalio mema duniani hadi akhera 🤲🤲🤲
Maasha Alla baarakallah fee kum sheikhe nakupenda sana kwaajili ya Allah akupe umri mrefu wenye neema kipenzi chetu Allah kakujaalia hekma
Masha Allah shekh wangu othman Allah akuhifadhi yarabi 🤲🏻🤲🏻🤲🏻❤nakupenda sana 🙏 😊😊😊sisi na mtume mtume na sisi ☝️☝️☝️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Ameikosa nidhamu, yule asiyeridhia,
Anapotajwa HASHIMU, uso akajikunjia,
Utadhani, Sura ukimwangalia,
Enyi ndugu Isilamu, Tumswalie NABIA...!
ALLAAHUMMA SWALLI WA SALLIM ÀLAA SAYYIDINAA MUHAMMAD WA ÀLAA AALIHI WA SWAHBIH
Mwenyeezi Mngu akupe umrifu mrefu Sh.Uthman Maalim very clear open clarification atakae kukubali akubali naasitaka asikubali.
Maashallah hasbiyallah waniimalwakiil Ustadh Othman Maalim wallah nakukubali Allah akulinde huwa hukurupuki na uko na hoja za maana sana Maashallah
Mashallah shekhe mungu akujaliye kher siwanjema ww na family yako mungu awaifadh 'elimu inafika nakuelewasana alhamdulilah
Sheikh Othman nakuambia jazaakallahu khairan. Maneno mazuri. MaashaaAllah. Maneno ya hakki na ukweli. Allah akuhifadhi. Allah akulipe malipo mema.
Shukran sana Sheikh Othman Allah akubarik nimestafid sana tena kwa kuifafanua maulid👏🏼👏🏼👏🏼👍🏼✅
Mashallah twakupenda kwa jili ya Allah khutba zako makiniii sana
Sheikh uthman maalim Allah walai akupe mwisho mwema ya sheikh,walai sheikh una hekma mno Allah azidi kkupa kila chema unachokihitaji kwa hekma yake,nakupenda kwa ajili ya Allah,siwezi kumaliza hisia zangu kwako katika hii comment ila umenijaa moyoni,Allah akuhifadhi na kila mabalaa ya sheikh,❤❤❤❤
Jazakallahu Kheir ustadh,Allah akupe umri,uzidi kueneza dini ya Kiislamu.
❤❤❤🎉🎉
Mashallahu Allah akubariki Sheikh wetu na In sha llah wanaopinga Mawlid pengine wapiga kwa Uhaba wa elimu walonayo lkn In sha llah kwa Njia hii huenda nao fahamu zikawajia
Mashallah Allah akupe maisha mrefu na uendelee kuwafunza wanaopinga maulidi bila sababu
MashaAllah,,,uko vizuri sheikh wetu
Shukran sheikh kwa hutba yako nime kuelewa vizuri tu namuomba Allah akujalie kila laheri akuepushie kila la shari atujalie mwisho mwema inshaallah
Shukran Sana,, wajazakam llahu khaira shekh wangu Othman mola akuhifadhi na balaa na husda za watu waovu AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲 allahuma swaliy'alla muhamadu wa'alaaliy waswahaabiih wasaalama........ nakupenda Sana shekh kwa ajili ya Allah mola akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah....❤❤
Alaah muhifadhi sheikh letu na hasad ,za waja
Swadaqta Maalim shukran kwa ufafanuzi wa wazi , uhura wako kwa alaah.
Mashallah.mugu.akupe.maisha.mrefu.shekhe
Inshallah Allah atupe maisha marefu na atupe mwisho mwema
Shukran shekh othman Allah akuhifadhi jazaka llah kher
MashaAllAH, shukran jazakallahu kheir maalim Othman kwa darsa nzuri uko fasaha
Shkh nakupenda kwaajili ya Allah hawa ndugu zetu kunawengine wanasema wakidaikuwa baadhiya vipngele ktk mawlid ni uwongo wakatoa makosa yao ktk barzanji kwamf. (Watabaa sharat wuhuushul mashaariq walmaghaarib wadawaabbuhal bahriyya) n.k.
Allah akuhifadhi na akuzidushie hekima na Elima tunakupenda kwa ajili ya Allah❤
Allah akuhifadhi na akupe umri twawil na wenye manufaa
Jazak Allah kheir yaa sheikh
Shkrn Sana Sheikh Othaman mungu akujazi kheri. Mungu akupe umri twawili
Allah akubariki umri mrefu uzidi kuongoza umma
Ustadh Uthman mashallah
شيخ عثمان معلم I love you
ماشاء الله تبارك الله❤️❤️❤️
Masheikh wa Maslahi
Allahumma swalli wa sallim wa baarik alaa Muhammad
Maa shaallah,, Allah akutunze sana sheikh letu ,,we love you
Allah atuongoze katika haqq
Shukran Allah akulipe kila la kheri insha Allah
Nakuelewa saaana sheikh Otmn IKIWA KULA MUHDATHA baaaas mawahabi dunia yao yooooote bidaaa tupu mungu awahidi tena naona hawa mawahabi kitengo cha mabacho ndio mijadala mingi mwisho kukimbia hoja. Tuacheni enyi mawahabi na mabacho sisi tukasikize raha ya maulidi nyinyi nendeni mkwakwani mkatizame mechi ndicho mashekhe wenu wanapenda kule saudi.
Mashllah akujazi kheir Sheikhe letu
mashaalla❤❤❤ allah atupe mwisho mwema
Mola akuhifadh ya shekh
Up vzr shekhe langu
MOHAMED MUSA COMENT YAKO NZURI MNO
ALLAH AKUZIDISHIE ELMU YENYE KUNUFAUSHA
ACHANA NA OTHMAN MAALIM
SOMA KWA MASHEIKH WA KISALAF
MTAFUTE KHAMIS BIN AME YUPO MSASANI DAR ESSA LAAMV,UKITA NAMBA YAKE NITAKUTUMIA INSHAA ALLAH
HATA MIMI NILIKUWA MTU WA MAULID SWAHIBU WA SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA
SHRIKH SHABAN
ALHAMDULILLAH ALLAH AKANIIONGOZA KWA KUICHA BATWIL YA MAULID
Mnataka kumzima mtume mtazimika nyie. Na ndiyo maana hata nuru mnakosa
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 100%, mie naona washazimika ila wamebakia kutapa tapa. Kwa maulid inavyozidi kwa kasi wanataani kujiua kama baba yao iblisi
Mwenyezi mungu akujaalie Kila LA kheri
Kum salia mtume ni amri wajib na ametufundisha jinsi yamkusalia, alhamdulilah tunasalia kweyne, dua na usiku kuamkia ijuma mpaka maghribi.
W.S.A❤❤❤❤❤ hawajui maana yke ndio maana wnapinga
rasullalaah❤❤❤❤marhaba shekh wangu
Allah atuhifadhie shekh wetu dunian nakesho akher
Mashaa Allah Wallah wapingao na wapinge Waumini wa kweli hatutoacha kumswalia Habiib kipenzi
Kwa kweli kuheshimiyana tu ya shekh kama ulivosema Allah yaalam
Tunakupenda kwa.ajili ya Allah
Mashaallah jazakallahu khayr
Ma sha Allah
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
Allahumma aamiin
Allah akuhidha shekhe letu tustfidi zaidi na zaidi
Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri .
Shukran wajazaka allahu kheir Habib
Aliyekuwq kadhi wetu making mola amrehem alihitimisha kwq duwq ya jumla rabana mfaana bimalamtana rabiali minalladhi ya mauna hadi misho na akimaliziya na rabana atina fiduniya hasana wafilakhiratul hasanahasana wqkinaadhaba nnar duwq hii alisoma kila alipohudhuriya na mpaka kafa miakaayyam kwq sababu aliipenda hiyo duwq na sio kwqmba hakujuwq nyengine na mrithi wake nafikiri alifatq hiyo duwq yani mzee message makungu mola awarehem wote na wengine makadhi na mashekh wetu amin yarab
Masha Allah🤲🤲
maashanllh ❤
allah akuhifadhi ostadhi fi dunia wali akhera
Masha allah
OTHMA MAALIM
WEWE HUNA ELIMU YA KUJUWA BID'A WALA SHIRKI
WALA HUJUI SUNNAH NA BIDA!!
ALLAH AKUONGOZE
BARAZANJI IMEJAA SIRA ZA SIFA ZA UWONGO!!
ETI MTUME AKIWA NA MIEZI TISA ALKUWA ANAPIGA MBIO!!!UWONGO HUO!!
we kasome
Soma hekma sio elimu ya kujua bidaa tu
Ati anapiga mbio 😮
We unasema uongo unaushahidi gani wakti maneno sahihi soma kwnza kabla kulbisha ila muulizee mama ako alipo kuwa na mimba miezi sita alikuw hali gani tumboni atakujib
Mwongo baba ako mbwa ww
tutamswalia mtume hadi mwishowetu❤
Allah amuongoze ktk haki mwalimu Othman Tena ajita ashaira daa mtihani huu
Huo ndio mwisho wa elimu yenu MUNGU akuongoze hebu tizama upeo wa elimu Kati yako na yake nyie Ni mambumbumbu
@@mwalimumuhidini1544 Elimu ni kusimulia visa😂😂😂
Tatizo kina bachu wamewapotosha
Haki ipi tena unayoizungumzia uongofu ni wa mungu hata ww unahitaji haki
@@mbjunior166 mbona watu wanasoma sera una juwa sera maana yake kasome dogo acha upuuz ww
اللهم صل على محمد صلى الله عليه وسلم
الهم صل وسلم وبارك عل سيدنا محمد وعل اله وصحبه وسلم
Ekima unayo na mawaidha yametulizana maaashaaalla
Tatizo kubwa la watu hutafsir hadith au quran kwa vichwa vyao…….allah akubarik shegh Othman
Maulid mpaka kifo inshallah ☝️
Hhhhhhhh👏🏻
Mashallah❤
Huyu sheikh ni bingwa Allah amuhifadhi inshallah
Bingwa wa bida'a sio?
@@saidmadizi9152 kasome maana ya BIDA'A kwanza, maana umekuwa limbukeni. Nikikuuliza nini BIDA'A hujui
Kwa sababu ww ni mjinga!
Atakae naungane na anaetaka asietaka aungane naasie taka . Tutajuwa uko mbele kwambele. Ikishakuwa hatutaji yesu kristo bc .
Allahumma maswalli alaa Muhammad.
Zuwena..
Maulid ingekua wanatafsiri kama hivi ulivotafsiri wewe sheikh. Basi wallahi ingekua inapatikana faida sannna kujua siraa ya mtume. Lkn saivi maulid hawatafsiri wala hatujui kinachotajwa. Ni kucheza dance tu na kutunza . Hatujui kinachosomwa kwenye maulid. Shiekh ukisoma ww maulid kama hivyo wallahi hata imani inapanda. Lkn maulid ya saivi. Hata imani haipandi zaidi ya kushuka umani. Shukran sannna. Sheikh kutuelimisha. 🙏
S ALK JAMANI TUACHE MAULID. TUPAMBANE NA MASHOGA .MABASHA.WASAGAJI.WAVUTA UNGA.....
Barakallah fiik
Mashaallah ❤
Mashaallah 🔥🔥🔥
Allah akuongoze na atuongoze na sisi lakini mjue kila mtu kaburini atakua peke yake hakuna mtu atakae mshabikia.
لقد جئتمونا فرادى كما خلقناكم أول مرة
Hili kila mmoja atakikana alijue kabla ya ushabiki wowote au kutetea chochote
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh!! Shekh mashaallah umefafanua vzur sana kadir ulivojaaliwa kuelewa!!! Lakini kwa upande wangu bado hujanikinaisha vzur maana inaonekana hoja zako kama zimeshajibiwagwa!!! Mfano mtume saw alikua ni mwalimu wa dini hii kwa hiyo hata hadithi ya kila bidaa ni upotevu bila shaka kuzua huko ni katika dini tu!!! Pili makhalifa kusema kwamba walianzisha bidaa flan flan sidhan kama hizi zinatafsiriwa kama ni bidaa kwa kua mtume saw amesisitiza tushikamane na sunna zake na za makhalifa wake waongofu tena kwa magego..... Na pia mtume saw alisema kwamba bora ya karne ni ile aloishi yeye na maswahaba zake kisha waliofatia na waliofatia baada ya hapo!!!! Sasa swali langu linakuja haya maulid waliyafanya maswahaba au katika hizo karne tatu bora yalikuwepo??? Na je katika wale maimamu wanne kuna hata mmoja aliyafanya au kuyajuzisha??? Mbaya zaidi watu wanapambania maulid jambo lenye utata baina ya maulamaa lakin hao hao hata yale ambayo hayana khilafu hawafanyi kama swala 5 na hili linaweza kuthibitisha ushabiki usiokua na maana na dalili za unafiq, na hata wakat mwngne watu wako radhi wakeshe maulid lakin ikikaribia fajr ndo wanalala na wasiswali!!!! Bado mimi ni mchanga katika elimu hivo sina hoja zenye mashiko kuyapinga moja kwa moja lakin moyo wangu bado umeegemea kutoyafanya na kuyakubali kwa hiyo mimi naomba tu nifundishwe na nikinaishwe kama kuna nukuu yeyote ya kisheria kwamba hizo karne bora au hao maimamu wa nne tunaowategemea waliyafanya haya.
Mi cjafahamu unachokita kuwa makini kaka watu wanaposha kwa malengo kaka usifuate mkumbo
We pia moja wa mashia kumbe
اللهم صل عليه
Me nakuusieni mim mtu ambae sin elmu yoyot ile ila kuna watu wanatuma comment za kumtukana sh Othman mallim na ukiangalia kiukwel hawana elmu yoyote jmn tunak enda kubay jamn
Kweli kabisa wengi huwa ni vibakaa tu
Sema ustadh Unayasoma na kuyatafsiri mashairi ambayo ni mepesi ambayo ni ya kawaida ,ila hebu yasome hapo kwenye mimba ya Bi Amina hebu yasome na uyatafsiri ndio utajua kama kuna ukakasi ndani ya kitabu cha Barzanji
Yote hayo yamesomwa kabla hujazaliwa usitutowe kwenye reli
😂😂😂imeisha hio shekher wangu ilove you so much baba
Nakubali sana sheikh huyu
❤❤❤❤
Sera ya mtume sallahu allaihi wassalam ipo kwenye Quran na hadith sahih bukhari muslim. Kumsoma na kumpenda mtume sallahu allaihi wassalam ni Lazima kwa muislamu.
Hapa wajifanya ohh bidaa sijui bachu sijui barzanji wao wenyewe swala tano kuswali matatizo na mingokaa kwa juu........huo mtandao wenyewe mnautumia pia bidaa......
Shekhe Othmaan Alla.akubari wewe ni kisima Cha Elimu na wewe ni miongoni mwa Wanawachuoni Wa zama hizi Tena Mimi nakuitaga ni mujaadid wazamahizi nilikusikiliza vizuri sana tulipokuwa kule makka ktk viwanja vya Minna mpaka Arafaa nilitosheka sana mpaka ukanitoa machozi wallah,
Mjinga asiojua anaweza kua mujaddid zzaman😀😀😀
Mbuj usimbeze mtu huenda akawa ni bora kuliko ww na kusoma maulid haimainish ww ndio utamtia motoni au peponi humilik chochote ww ninani mpaka umbeze mwezako
@@mbjunior166 unasikitisha Wallah, Mungu atakuongoza InshaAllah, kwani zama zetu Mawahabi hulipwa fedha nyingi sana na maadui wa uislam, kuwagombanisha Waislam. Kama unatafuta uongofu wa kweli, basi tujitafakari zaidi.
Si u bidaa yimo ushirikina na uwongo ya sira ya mama Mtume
صلوات الله وسلامه عليه
Tatizo wanaopinga maulidi lugha ya kiarabu inawakoroga wao wanawafwata walimu wao ndio maana wanapotea
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
Hakuna Muislamu hata mmoja duniani anakataa kuswaliwa kwa mtume ama kusifiwa, masikini ila hamjui wapi tunatafautiana? Tunatafautiana kwenye haya kaa makini ujiulize pia wewe:
1- Vipi anaswaliwa na kusifiwa
2- sampuli anayo sifiwa
3- Na wakati anao sifiwa
Kama watu wange focus kwa haya hata tusingefika kwa hiyo BARZANJI pia
Kumbe sio maulid bidaa ila ni jinsi gani yanavyofanywa hayo maulid ndio shida
Kumbe sio maulid bidaa ila ni jinsi gani yanavyofanywa hayo maulid ndio shida
Hatari iliopo waweza kushikilia jambo ukazani ni sawa kumbe laa ukafa bado hujazinduka ,jambo hawakufanya wajawema maswahaba,Abuu bakari,Omar,Athuman,Alii nk. Hawa hawakufanya maulid yaan sis niwachamungu zaid kuwazidi maswahaba
Hoja zimetandikwa na dalili zote sasa jitathmini au pinga kwa hoja
Mtumi Muhammad saw aswaliwe mchana usiku na Maisha yote
Hii ndio dini inavyotaka