SHEIKH OTHMAN MAALLIM UNAPOTOSHWA || Muhammad Bachu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 500

  • @MussamalikiOmali
    @MussamalikiOmali Месяц назад +12

    Maashaallah sheikh muhammad nakupenda kwaajili ya allah" allah akulinde nakilashari akupe tauhiidzaid akupe umrimlefu pia akupe janna AMIIN

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 Месяц назад +46

    Huyu kijana wa Bhachu Allah amrehemu babake na amhifadhi.. Kwa kweli amewapa vijana wengi ufahamu wa dini na ndio maana waovu wa kisufi na njia zote za upotovu hawamtakii kheri... Na haswa anapogusa somo hili la Tawhid lazima atapigwa vita ila kwa sisi waskilizaji tunakuombea Hifadh Kwa Allah... Najuwa safari ya daawa na mihangaiko ztakufika illa vumilia kwa hilo... Hata wenzako katika haqqi watakufanyia hasadi ila siku zote mwombe Allah kinga na ubakie katika ucha Mungu

  • @MpembaHalisi
    @MpembaHalisi Месяц назад +9

    Wewe shekh nilikua sikupendi mwanzo kwasababu sijapata elimu ya kutosha huko nilipo kua nikisoma mwanzo ila leo umenipa elimu ya kutosha na kuanzia leo nakiri kwamba wewe ni mwalimu wangu ambae umenitoa kwenye Giza mwanzoni nilikua nafanya maulidi ila saiv sitofanya tena na nitakomea hapa leo inshallah Mungu atupe uhai na uzima kwa sote ili niweze kupata elimu iliyo bora kutoka kwako nami niweze kuisambaza kwa wale wenye ufahamu mdogo nakupenda sana❤

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Mshukuru Allah, maana hakuna alozaliwa kwenye, sunnah sote tulikuwa wazushi ila tumekimbia huko, tumuombe Allah tufe katika njia ya sawa.maana hakuna kitu kibaya kama uzushi sisi tulikubali daaawa na allah ametuongoza, siku zote Allah akuongozi mtu asotaka kuongoka ukitaka kuongoka atakuongoza, ukikomaa na batwil atakuwacha ugeukie kule uliko geukia ww

  • @alihoza1797
    @alihoza1797 Месяц назад +6

    Kwa hakika shekhe Bachu Mungu akuzidishie tulikuwa tumepotea San lakin tumepata faida mimi sio Fufu tena sitaki upuuzi wao kwa nini hao maarufu hawachangii kama huyu Bachu wao kazi yao kubwekatu bora niondoke kwenye ushirikina Mungu akihifadhi shekhe wetu bachu

  • @MariamUmande
    @MariamUmande Месяц назад +2

    Nafwata sana vipindi vya sheikh Muhammad bacho,
    Hata na mimi naipenda sana sheikh wetu Muhammad bacho kwaajili ya Allah
    Iko south Africa 🇿🇦

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Месяц назад +15

    ❤❤✨️✨️✨️✨️✨️✨️🥰🥰😘جزاكم الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتكم ونفع الله بكم أمين يارب العالمين

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Месяц назад +8

    Hemu na wao wakitoa mawaidha yao wachambue km hivi anavyochambua sheikh bachu ndio waanze porojo zao yaan wallah umewazid kw kila k2 na allah akuhifadhi InshaAllah

  • @maalimhalidi7260
    @maalimhalidi7260 Месяц назад +10

    Muhammadi bacho ukovizur shekh baaraka llaahu fii

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Месяц назад +15

    Allah akupe kauli thabiti ktk Dunia naakhera kiujumla amin

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад +1

      @@ismailmakame7183
      Ameen na sote.
      Sh Muhammad Nassor Bachu
      Ni Simba na Bahri katika Quran na Sunnah.
      Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah.

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 Месяц назад +3

    Me nawashangaa sana wale akina diwani porojo nyungi na kelele tu emu waje wachambue km anavyochambua km ustdh bachu mashaallah

  • @AllyHozza
    @AllyHozza Месяц назад +11

    Maashaa Allah Allah atuongoze sote, pambana shekhe bachu ukweli utabaki kuwa ukweli

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Месяц назад +12

    Allah barik ya sheikh Mohammed bachu

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад

      @@mohagurey2214
      Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
      Kiboko yao. Sh Muhammad Nassor Bachu (Allaah Amhifadhi)

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад +1

      @@mohagurey2214 Tunapata faida kubwa sana Alhamdulillah
      Dalili kutoka kwa Quran na Sunnah. Alhamdulillah
      Neema hio.

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Месяц назад +2

    Shukran shekh bachu endelea kuwapasha ukweli coz hawa watu wa dufu,wameharibu dini alaf tunaomba umraddi uyu mganga sule anaharibu uislamu na kauli zake kuhusu majini nkts.

  • @MaulidRamadhani-t8b
    @MaulidRamadhani-t8b Месяц назад +6

    Baaraka Llaahu fiyka,Masufi wana mapungufu makubwa ktk Tauhiid,Hawa wamechafua sana Uislamu .Rududi ziongezwe ndio kusimama kwa Dini .Kuondoa uchafu ulioingizwa ktk dini na watu wa bid'a.

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr Месяц назад +13

    Ahsante nimekuelewa sheikh umefafanua vizuri

  • @iddijuma1428
    @iddijuma1428 Месяц назад +9

    Shekh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi na akupe afya njema zaid ili uendelee kulingania umma

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Месяц назад +8

    Shekh Muhammad Bachu kazi iendelee, wazushi wanapinga kitu wasicho kijua, na kuonesha kua hawakijuwi nikwamba Tawhiid ni Elimu na sio Mungu mwenyewe, bali elimu hii inafafanua haqqi zinazo muhusu Allaah Azza Wajalla peke yake.
    Sasa eti wanasema Mungu ndie tulie mgawa?
    Jamani ujinga huu mpaka lini?
    Masufi Hamuna Dini munayo itetea hapa, wala elimu inayo hitajika hapa.
    Bali mwaonesha watu kua shida yenu sio Dini, shida yenu ni shirki zenu na bidaa zenu hamuko tayari kuziacha.
    Maana kama ingekua hamujuwi lkn mnahamu mujuwe, basi bayana imesha wafikia, lkn bado mnazidi kujichimbia mashimo na kuwaingiza wajinga wenu nanyinyi wenyewe.
    Unaweza vipi kutia kasoro kwenye elimu ya Tauhiid, na kwamba elimu hii kwa mujibu wa dalili zilivyokuja imegawika sehemu tatu, waweza vipi kuipinga hii?!!!
    Haya waje watwambie basi ni misingi ipi ya kielimu ilio tumika kupinga vigawanyo vitatu vya Elimu ya Tauhiid?
    Hatutaki porojo na ujinga mwingi.

  • @seifllahmahmoud2107
    @seifllahmahmoud2107 Месяц назад +7

    Mashallah x 100 Mashallah nakukubali sana shehe wang kwa uwezo wa MUNGU

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 Месяц назад +21

    Sheikh Muhammad bachu nakupenda kwa ajili ya allah siku nilipokuona nilifurahi mnoo aisee m/mungu akupe Elimu yenye manufaaa na akuepushe na kiburi na akupe mwisho mwema ww na sisi pia 🤲🤲

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t Месяц назад

      Umemuombea dua njema kwamba Allaah S.W ampe elimu na amuondoshee kibri...maana dah😅!

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Месяц назад

      Dua ya kuomba kuepushwa na kibri ni muhimu sana maana hapa sheikh huyu....???

    • @muhamadkhalid4976
      @muhamadkhalid4976 Месяц назад +3

      Maashaallah sheikh Muhammad Bachu

    • @LuluAquai
      @LuluAquai Месяц назад

      @@Bombwejr18 Elimu anayo kuwa na kiburi si ajabu ila haitakiwi,kuna watu wa aina tatu kiburi kuwanacho si ajabu,Elimu,mali na madaraka mfahamu hilo

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 Месяц назад +1

      @@LuluAquai Kiburi sio ajabu ila akifai kuwa nacho maana kiburi cha Elimu ni kibaya kwahyo ndo maana nikamuombea na dua hyo sheikh wangu elimu anayo ila haitoshi ndo maana mpaka leo bado anasoma kwahyo nimemuombea dua ambayo anastahili yeye na sisi pia 🙏

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Месяц назад +9

    Allah akuhifadh sheikh Muhammad bachu

  • @IsmaelNdakala
    @IsmaelNdakala Месяц назад +1

    Allah azidi kukulinda shekh wetu na akulipe mwisho mwema duniani na akhera kwakujitahidi kuiteteya tawhidi

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn Месяц назад +3

    ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH BACHU KWA KWELI TULIO NA AKILI NA TUNAO TAKA HAKI BILA YA IBISHI TUNAKUWELEWA VYEMA

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork Месяц назад +5

    Allah akulipe sheikh kwa kazi nzuri!!!

  • @abutafawa
    @abutafawa Месяц назад +7

    Jazzak Allâhu Khayran akhii.
    Allāh akuhifadhi.

  • @muhammadkarama9996
    @muhammadkarama9996 Месяц назад +9

    1. Lazima wajue ufafanuzi wa bidaa ni nini?
    2. Bidaa ni katika ibada sio katika elimu.
    3. Tauhidi ni elimu. Hili ni somo sio ibada.
    4. Na kama tauhidi ni elimu, basi vigawanyo vya tauhidi ni katika istilihat za kielimu na sote twajua لا مشاحة في الاصطلاح
    5. Hata wanavyuoni wao wa ki ashari kama kina Al Bajuri wameigawanya tauhidi.
    Haya sasa warudi wawabidiishe maulamaa wao. Assalamu aleikum

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 Месяц назад +18

    Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
    Simba wa East Africa kutoka Zanzibar Tanzania 🇹🇿 Sheikh Muhammad N Bachu.

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 11 дней назад +1

      Ma Khurafi hawana dalili
      Kufuata kichwa mchunga.
      Hatari hii Sheikh Muhammad Nassor Bachu ni Bahri.
      Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Alhamdulillah

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 11 дней назад +1

      Neema kupata Simba kama huyu East Africa 🌍 ♥️
      We love you.

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 8 дней назад +1

      Tunapata faida kubwa sana Sheikh Muhammad Nassor Bachu.
      Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Месяц назад +4

    Maashaa Allaah, kwakweli ukijaaliwa kuijua itikadi vizuri na Tauhiid hupati tabu hata kidogo.
    Tatizo ni kutokua na maarifa kwenye hivi vitu.....!!!

  • @KhamisAli-v2z
    @KhamisAli-v2z Месяц назад +5

    MshAllha Allha ukulipe kheri kwakazi mzuri unayo ifanya,

  • @SAIDMOTE
    @SAIDMOTE Месяц назад +4

    Allah akulinde sheikh bachu

  • @ShabaniIbrahim-u3y
    @ShabaniIbrahim-u3y Месяц назад +5

    Allah akuzidishie umri mrefu na mwisho mwema

  • @hassanomarhassan7774
    @hassanomarhassan7774 Месяц назад

    Mashallah alhamdullilah mwalimu Mohammad bachu

  • @ibrahimmussa212
    @ibrahimmussa212 Месяц назад +1

    Mungu akupe maisha marefu kijana unajua upo vizuri sana

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y Месяц назад +7

    Masahaallah allah akuhifadhi shehk letu kiboko ya maghurafi

  • @SaadMkuna
    @SaadMkuna Месяц назад +1

    Ukikataa vigawanyo vtatu vya tauhiid hunanjia ixpokuw utakuwa mshirikina mashallah bach

  • @SahimAbuAyyub
    @SahimAbuAyyub Месяц назад +1

    Mashallah namuomba Allah akupenguvu ya kupambanana ahlu hawaa katika maishayako

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku Месяц назад +2

    Sheikh bachu Allah subhannahu wa taala akubariki sana na akupe umri mrefu na afya sababu hii faida tupu na mwenye akili atazingatia kwa makini sana na inshaallah watatiii

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 28 дней назад +1

    Mashallah allah akulinde na shari zote inshallah❤😂😂

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana Месяц назад +3

    Unacho sema ni kweli ila tatizo wengi miyongoni wetu tuna mshirikisha allah nandomana hawa kupendi una ingiya kwenye mambo yawo kijana allah akuhifadhi na shari zawo

  • @samkaka2218
    @samkaka2218 Месяц назад +1

    Baakallahu laka. Sheikh naomba huyu Yussuf diwani ajibiwe kwasababu amepotosha watu sana katika ile darsa yake aloandika ubaoni kuhusu Tauhid

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs Месяц назад +11

    Nyinyi Masufi nyinyi musipomuelewa shekh bachu mtapotea sana mashekh zenu wanawaburuza sana

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Месяц назад

      We ndioooo unapelekwa ucpopajua

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn Месяц назад

      Hahaha pole yako​@@AdamChogo

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Месяц назад

      @@HashimSalim-qj7zn asante mfata upepo wa kuraddddd

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku Месяц назад

      😂😂😂😂haki kweli na wengi wanafuata mikao ili mfuko usikose kitu

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn Месяц назад

      @hassanWanjiku Pole yako Allah akuongoe ktk hakki

  • @abdulazizimbwana1586
    @abdulazizimbwana1586 Месяц назад +3

    Mashaallah shekh allah akufungulie uwezo wa kielimu zaidi ili utufunze zaidi.

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 Месяц назад +2

    Mashaallah baraka llahu fiik.nimepata faida kwa somo la leo.Uchambuzi wa kielimu kwa kutumia vitabu.Masufi jamani haya maji ni marefu mutayaweza kweli.

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 Месяц назад +3

    raha ya bachu anaeleza kwa ushahidi wa qur ani,hadithi,vitabu mbali mbali na mifano kwa baadhi ya mashekh ,ila hao wanaompinga hawachambui wao wanapinga tu,ndio maana leo wanatumia nguvu sana kumpinga bachu ila hawamuwezi kabisa.Allah amuhifadhi bachu.

  • @AbdallahMzonge-pg9il
    @AbdallahMzonge-pg9il Месяц назад +2

    Allah akibaariki sana Sheikh letu, faida kubwa tunaipata kutoka kwako Mashallah

  • @rekhanifaizi8746
    @rekhanifaizi8746 Месяц назад +2

    Shukran baba ALLAH atakulipa kheri nyingi kwa kutuongoza

  • @rekhanifaizi8746
    @rekhanifaizi8746 Месяц назад +3

    ALLAH akuhifadhi baba wewe sheikh wetu , ndio utatuokoa nadarsa Yako

  • @bahatiadam2790
    @bahatiadam2790 Месяц назад +3

    Allah ukulinde na mahasidi shekh wetu Muhammad bachu

  • @SaidMcha
    @SaidMcha Месяц назад +6

    ASSALAMUALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATU
    Othman maalim hayupo kwa ajili ya dini yupo kwa ajili ya maslah ya kidunia na kuwaridhisha watu
    La pili hakujibu kwa kibri alichonanacho na vile watu walivomuweka
    La tatu atanyamaza kimya km humwambii yy
    La mwisho aliwahi kufuatwa na masalafi akaelezwa kuhusu maulid kua ni bidaa na mambo mengine hakujibu kitu hakuwa na hoja yyte
    Tunamuoba allah subhana amuongoze shekh Othman maalim ktk haki alitusomesha sana ila allah hajampa taufik

  • @JumaBakari-ii5uz
    @JumaBakari-ii5uz Месяц назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh wangu

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 Месяц назад +6

    ❤simba ungurumaa tuuu vijana tunakuerewa sana

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад +1

      @@mpogonm5203
      Alhamdulillah
      Neema hio

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe Месяц назад

    Mashekhe wengineniwabishi shekhe bachu allah akihifadhi

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Месяц назад

    وَالَّذِينَ يُؤْذُونَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ بِغَيْرِ مَا اكْتَسَبُوا فَقَدِ احْتَمَلُوا بُهْتَانًا وَإِثْمًا مُّبِينًا (58)

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 Месяц назад +3

    Huyu jamaa kama jet li anapiga. kwenye maeneo nyeti. Mashallah.

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 Месяц назад +2

    Allah akuhifadh

  • @MohamedMwangare-sw3sl
    @MohamedMwangare-sw3sl Месяц назад

    ما شاء الله. It's really something ❤

  • @ibrahimmussa212
    @ibrahimmussa212 Месяц назад +1

    Mashallah upo vizuri sana kija

  • @NjalaNgawina
    @NjalaNgawina Месяц назад +6

    Sheikh Othuman Maalim ,amesoma chuo cha kisunna pale kisauni Mombasa. Na ukweli anaujua ,ila pesa ndo zinamchanganya.

    • @rajanyoussuph1513
      @rajanyoussuph1513 Месяц назад +1

      Ndugu, siwezi kuamini kama Sheikh Othman Maalim kuwa ni mtu wa pesa. Elimu ni Pana sana, Allah amfanyie wepesi na ampe elimu ya Hakki. Amen

    • @sassboy9360
      @sassboy9360 Месяц назад +1

      Sheikh Othman maalim ni kipenzi cha watu wengi east Africa na kwengineko ila nlichokiona hapo sio pesa ni kutaka kuwarizisha watu ila na yeye ni binadam allah atampa taufiq inshallah asifungamane na wazushi

    • @rajanyoussuph1513
      @rajanyoussuph1513 Месяц назад

      @@sassboy9360 mawazo yangu: fuatilia hotuba yake kuhusu bid'aa ameeleza vizuri kwenye channel yake. Ukienda ukaangalia utakuja kumwelewa.

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Месяц назад +2

    MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH. SHEIKH BARAKALLAH FEEK

  • @MohdmakameAmani
    @MohdmakameAmani Месяц назад +2

    Mashaa Allah, waeleweshe sana masufi hao mana wao kazi yao sio dini nikuwaridhisha watu 2

  • @SharafuAli
    @SharafuAli Месяц назад

    Masha Allah Masha Allah ❤

  • @badrumulinda7349
    @badrumulinda7349 Месяц назад +9

    Sheikh Bachu tunakufata hapa marekani Allah akubariki.

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev Месяц назад +2

    Ndugu yangu muhamad bachu masha Allah nakufahamu vizuri sana Allah akupe mwisho mwema nakufatilia kutoka Uk ila ni jirani yako hapo natoka michenzani zanzibar jumba number 4

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg Месяц назад

    Weemwehu mungu kasema ستوا hakusema جلس na nawapa chalenj tajeni mfassir mmojatu alie fasiri kua الله kakaa katika ichokiumbe chake

  • @YussufSabaliy-gr8xn
    @YussufSabaliy-gr8xn Месяц назад

    Mashaallh muhamad bachu Allh akuhifadhi

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 Месяц назад

    WAFUNDISHE SHEIKH BACHU IPO SIKU WATAELEWA TU INSHA ALLAH

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 Месяц назад +4

    nna wasiwasi na wanaokuja ku comment utumbo hapa bila shaka hata hii video hawajaiangalia mpaka mwisho wamekuja kiushabiki zaid maana kama wangekuwa open minded wangekuwa tayari washaslim kwa maana Shekh wetu bachu umetupa elimu kwa ufasaha Ma Shaa Allah Allah azidi kukuhifadh umetunyoosha
    Wanasema akili iliyowazi inapokea mambo mengi sana wasiokukubal ni ujaheel tu unawasumbua ila wakumbuke ya kwamba marejeo yetu ni kwa Allah na hesabu yetu ni juu yake Allah

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb Месяц назад +1

    HUYU BACHU ALLAH AMPE UMRI MREFU MAANA HAWA MAKHOLAFI NIDAWA YAO HII

  • @rahimumustafa587
    @rahimumustafa587 Месяц назад +1

    Muhammed Bachu allahu skype umri mrefu

  • @faizahmed2898
    @faizahmed2898 Месяц назад +2

    Assalaam aleikum waislamu tunatakiwa tuchunge Sana hamna bid'aa nzuri tueni makini na dini ya Allaah ambayo tuliwekewa kila kitu wazi bila upungufu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Месяц назад +5

    Na masufi wengi wanaikubali RUBUBUY Lakin ULUHIYA inawapa shida wanaishirikisha
    Wanavikaburi vyao wanata wakatabaruk kwa wazee mamweyee na uganga ndo kazi kwao
    Othaman maalim anataka kuwalinda watu wake kwa talbisi zake Duu

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад +1

      Mtihani mkubwa sana
      Allaah awape Hidaayah.
      Kila kitu kiko wazi kabisa!
      Subhana'Allaah.
      Surah Al Fatihah ni dalili tosha kabisa..

  • @adenmohamedwarsame5580
    @adenmohamedwarsame5580 Месяц назад +1

    قُلِ ادْعُوا اللَّهَ أَوِ ادْعُوا الرَّحْمَٰنَ ۖ أَيًّا مَّا تَدْعُوا فَلَهُ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ ۚ وَلَا تَجْهَرْ بِصَلَاتِكَ وَلَا تُخَافِتْ بِهَا وَابْتَغِ بَيْنَ ذَٰلِكَ سَبِيلًا (110)
    يقول تعالى : قل يا محمد ، لهؤلاء المشركين المنكرين صفة الرحمة لله - عز وجل - المانعين من تسميته بالرحمن : ( ادعوا الله أو ادعوا الرحمن أيا ما تدعوا فله الأسماء الحسنى ) أي : لا فرق بين دعائكم له باسم " الله " أو باسم " الرحمن " ، فإنه ذو الأسماء الحسنى ، كما قال تعالى : ( هو الله الذي لا إله إلا هو عالم الغيب والشهادة هو الرحمن الرحيم ) إلى أن قال : ( له الأسماء الحسنى يسبح له ما في السماوات والأرض وهو العزيز الحكيم ) [ الحشر : 22 - 24 ] .
    وقد روى مكحول أن رجلا من المشركين سمع النبي صلى الله عليه وسلم وهو يقول في سجوده : " يا رحمن يا رحيم " ، فقال : إنه يزعم أنه يدعو واحدا ، وهو يدعو اثنين . فأنزل الله هذه الآية . وكذا روي عن ابن عباس ، رواهما ابن جرير .
    وقوله : ( ولا تجهر بصلاتك ) الآية ، قال الإمام أحمد :
    حدثنا هشيم ، حدثنا أبو بشر ، عن سعيد بن جبير ، عن ابن عباس قال : نزلت هذه الآية وهو متوار بمكة ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها وابتغ بين ذلك سبيلا ) قال : كان إذا صلى بأصحابه رفع صوته بالقرآن ، فلما سمع ذلك المشركون سبوا القرآن ، وسبوا من أنزله ، ومن جاء به . قال : فقال الله تعالى لنبيه صلى الله عليه وسلم : ( ولا تجهر بصلاتك ) أي : بقراءتك فيسمع المشركون فيسبوا القرآن ) ولا تخافت بها ) عن أصحابك فلا تسمعهم القرآن حتى يأخذوه عنك ) وابتغ بين ذلك سبيلا ) .
    أخرجاه في الصحيحين من حديث أبي بشر جعفر بن إياس به ، وكذا روى الضحاك عن ابن عباس ، وزاد : " فلما هاجر إلى المدينة ، سقط ذلك ، يفعل أي ذلك شاء " .
    وقال محمد بن إسحاق : حدثني داود بن الحصين ، عن عكرمة ، عن ابن عباس قال : كان رسول الله صلى الله عليه وسلم إذا جهر بالقرآن وهو يصلي ، تفرقوا عنه وأبوا أن يسمعوا منه ، فكان الرجل إذا أراد أن يستمع من رسول الله صلى الله عليه وسلم بعض ما يتلو وهو يصلي ، استرق السمع دونهم فرقا منهم ، فإن رأى أنهم قد عرفوا أنه يستمع ، ذهب خشية أذاهم فلم يستمع ، فإن خفض صوته صلى الله عليه وسلم لم يستمع الذين يستمعون من قراءته شيئا ، فأنزل الله ) ولا تجهر بصلاتك ) فيتفرقوا عنك ) ولا تخافت بها ) فلا تسمع من أراد أن يسمعها ممن يسترق ذلك دونهم ، لعله يرعوي إلى بعض ما يسمع ، فينتفع به ) وابتغ بين ذلك سبيلا )
    وهكذا قال عكرمة ، والحسن البصري ، وقتادة : نزلت هذه الآية في القراءة في الصلاة .
    وقال شعبة عن أشعث بن أبي سليم عن الأسود بن هلال ، عن ابن مسعود : لم يخافت بها من أسمع أذنيه .
    قال ابن جرير : حدثنا يعقوب ، حدثنا ابن علية ، عن سلمة بن علقمة ، عن محمد بن سيرين قال : نبئت أن أبا بكر كان إذا صلى فقرأ خفض صوته ، وأن عمر كان يرفع صوته ، فقيل لأبي بكر : لم تصنع هذا ؟ قال : أناجي ربي - عز وجل - وقد علم حاجتي . فقيل : أحسنت . وقيل لعمر : لم تصنع هذا ؟ قال : أطرد الشيطان ، وأوقظ الوسنان . قيل أحسنت . فلما نزلت : ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها وابتغ بين ذلك سبيلا ) قيل لأبي بكر : ارفع شيئا ، وقيل لعمر : اخفض شيئا .
    وقال أشعث بن سوار ، عن عكرمة ، عن ابن عباس : نزلت في الدعاء . وهكذا روى الثوري ، ومالك ، عن هشام بن عروة ، عن أبيه ، عن عائشة : نزلت في الدعاء . وكذا قال مجاهد ، وسعيد بن جبير ، وأبو عياض ، ومكحول ، وعروة بن الزبير .
    وقال الثوري عن [ ابن ] عياش العامري ، عن عبد الله بن شداد قال : كان أعراب من بني تميم إذا سلم النبي صلى الله عليه وسلم قالوا : اللهم ارزقنا إبلا وولدا . قال : فنزلت هذه الآية : ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها )
    قول آخر : قال ابن جرير : حدثنا أبو السائب ، حدثنا حفص بن غياث ، عن هشام بن عروة ، عن أبيه ، عن عائشة ، رضي الله عنها ، نزلت هذه الآية في التشهد : ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها )
    وبه قال حفص ، عن أشعث بن سوار ، عن محمد بن سيرين ، مثله .
    قول آخر : قال علي بن أبي طلحة ، عن ابن عباس في قوله : ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها ) قال : لا تصل مراءاة الناس ، ولا تدعها مخافة الناس . وقال الثوري ، عن منصور ، عن الحسن البصري : ( ولا تجهر بصلاتك ولا تخافت بها ) قال : لا تحسن علانيتها وتسيء سريرتها . وكذا رواه عبد الرزاق ، عن معمر ، عن الحسن ، به . وهشيم ، عن عوف ، عنه به . وسعيد ، عن قتادة ، عنه كذلك .
    قول آخر : قال عبد الرحمن بن زيد بن أسلم في قوله : ( وابتغ بين ذلك سبيلا ) قال : أهل الكتاب يخافتون ، ثم يجهر أحدهم بالحرف فيصيح به ، ويصيحون هم به وراءه ، فنهاه أن يصيح كما يصيح هؤلاء ، وأن يخافت كما يخافت القوم ، ثم كان السبيل الذي بين ذلك ، الذي سن له جبريل من الصلاة .

  • @onlineislamictv7126
    @onlineislamictv7126 Месяц назад

    MashAllah

  • @alihoza1797
    @alihoza1797 Месяц назад +1

    Ww unae mtetea odhuman malim kwan katukanwa usha wahi kumsikia bachu anatukana wao ndo wa puuzi majina yote machafu wamemuita mtoto waharamu sijui muza pweza mropokwaji yote hayo hamuyaon shekhe bachu usimuogope mtu kwenye kuitetea haki tupo nyuma yako mungu aichukue roho yako ikiwa unatamka shahada usirudi nyuma toa elimu sisi tuna kuelewa shekhe wetu

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 Месяц назад +8

    MAASHALLAAH dini ya kiislam ni kwa dalili sahihi.

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 Месяц назад +2

    Sheikh hao masheikh wakisufi unaowataja hapo wengine wanakuchukia sana kwa kuwambia ukweli.Wadunge Sindano usiwasaze hata mmoja kwa kupotosha watu na bidaa zao.

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf Месяц назад +3

    Allah akuhifadhi shk muhammad Bachu kwakweli wengi wamekufahamu

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 Месяц назад +1

    Elmi ndogo kufafanua na kugawanya kitu tafauti sana eewe unaelemwa kiswahili au kiarabu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Месяц назад +6

    Kweli watu wanakana ukweli Kwa kuwaogopa watu kabla ya kumuogopa Allah waache tu na itikad zao mbovu.

    • @saidali9255
      @saidali9255 Месяц назад

      Sheikh Athuman Maalim Mbona Unatuangusha!?..

    • @HanzalaMubaaraka
      @HanzalaMubaaraka Месяц назад

      ​@@saidali9255😂😂😂😂😂 tena ana tuangusha khaswaa

  • @AhishakiyeSahnun-by2yi
    @AhishakiyeSahnun-by2yi Месяц назад +1

    Ilah: anahestahiki kuabudiwa,aliha ila fulan:kupata utulivu kwa fulan ilah anaeleta utulivu,lata:kujiweka juu ,ilah:aliyejiweka juu,laqad laha an nadwari nas:watu hawamuoni,ilah:asiyeonekana,mtoto wa ngamiya anapotenganishwa na ngamiya ili asinyonye analia warabu wanasema laqad aliha alfasl:fasl hawezi kuishi bila mama yake anamlilia,ilah:ambaye hatuwezi kuishi bila yeye ,anaestahiki kuliliwa,alwalah:alieyepoteza fahamu,ilah:ambaye akili haiwezi kumfahamu kayfa yake

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm Месяц назад +2

    DIWANI KAFIKIA HATUA YAKUKUITA MWANAHARAMU😢😢,YANI JAMAA NILOTAKA NIMTUKANE TUSI MOJA JADIDI SANA KWA BAHATI MBAYA WAMEZI OFF COMMENTS,
    DIWANI NI MPUMBAVU SANA ASEE...
    SHEIKH MUHAMMAD ENDELEZA SOANA NDUGUYANGU, ALLAH AKUONGEZEE

    • @dhidhasalim267
      @dhidhasalim267 Месяц назад

      Anasikia uchungu kaambiwa ukweli ndio maana anatukana.ukweli siku zote unauma.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Месяц назад +4

    ما شاء الله

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад

      @@mahfoudhcalender2747
      Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
      Allaah Amhifadhi na Ampe Furaha na Afya .
      JazakaAllaahu'khayran.

  • @AbuuKiweru
    @AbuuKiweru Месяц назад +4

    Mashallah huyo anayekataaa mambo na tawhid jua huyo so sheh ndug yangu huyo mwanafunzi kama mm ila kajipatia usheh bila elim

  • @diagfinamix1861
    @diagfinamix1861 Месяц назад +4

    Tatizo la kijana huu ni jazba kwa maongezi yake , kukosoa ma sheikh wenzake Hana kauli ya kutekeleza kama umri wake na wao ni tofauti japo ana juwa sana angejifunza kauli ya kulingania kwa kauli njema isiyo na kashfa ndani yake , itamfanya mafunzo awe thabit kabisa. Ngoja tukusubir ufikie utu uzima sheikh wetu . In Sha Allah

    • @Muhammadindolela
      @Muhammadindolela Месяц назад +1

      Uyu yupo kwajili ya ukwel kwenye dini lini uliona kiongozi wa serikali yupi na bachu uyu simwanasiasa uyu alimu kuna pesa yakenya 50000 pinga tahudi azipo tatu mbini hawaji waislam tusome tuache ujinga ukiongea na mwanafunzi ac ejua ataona una nidhamu tulien simba wa elim awafunze

    • @babaawena
      @babaawena Месяц назад +1

      Bas mpk hii clip hii jazba iko wapi?

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi Месяц назад +1

      Kw uwezo wa allah atabadilika tu kubw tumuombee dua ila wallah ukimsikiliza huyu sheikh bachu unajua fika kua anaongea k2 kwel kw ushahid tena anaelezea wallah unapend hata km uwe mtt mdg bx unamuelewa yaan anatoa ushahid kias ambacho hata swal la kuuliza unalikosa

    • @KiwakaAbdallah
      @KiwakaAbdallah Месяц назад

      Ndugu yangu fuata u kweli tu kuhusu matamshi mm pia namsifu anauvumilivu kwa just watched wa bidaa wanavyomtukana.

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 Месяц назад +2

    Umejuwa kuwashenyeta leo.

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Месяц назад +4

    Mashaallah

  • @rajanyoussuph1513
    @rajanyoussuph1513 Месяц назад +1

    MaaShaaAllah

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 Месяц назад +1

    Kufafanua na kugawanya ni kitu tafauti

  • @GHULAMCHANNEL1
    @GHULAMCHANNEL1 Месяц назад +3

    Mashallah

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud Месяц назад +1

    Maashallah

  • @YahyaMkuya-t1j
    @YahyaMkuya-t1j Месяц назад +2

    Baarallahu fiyka

  • @AliAwadh-qc8wk
    @AliAwadh-qc8wk Месяц назад +1

    MASHA ALLAH AMMI

  • @HusseinSaidi-j8g
    @HusseinSaidi-j8g Месяц назад

    hakusem kweny surat al ikhilasw kasema kwamb kwenye surat al ikhalasw kun ukamilif wabtauhidi

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад

    تعريف التوحيد
    التوحيد في اللغة: مصدر للفعل (وحَّد، يوحِّد) توحيدا فهو موحِّد إذا نسب إلى الله الوحدانية ووصفه بالانفراد عما يشاركه أو يشابهه في ذاته أو صفاته، والتشديد للمبالغة أي بالغت في وصفه بذلك.
    وتقول العرب: واحد وأحد، ووحيد، أي منفرد، فالله تعالى واحد، أي: منفرد عن الأنداد والأشكال في جميع الأحوال، فالتوحيد هو العلم بالله واحدا لا نظير له، فمن لم يعرف الله كذلك، أو لم يصفه بأنه واحد لا شريك له، فإنه غير موحد له.
    وأما تعريفه في الاصطلاح فهو: إفراد الله تعالى بما يختص به من الألوهية والربوبية والأسماء والصفات.
    ويمكن أن يُعرف بأنه: اعتقاد أن الله واحد لا شريك له في ربوبيته وألوهيته وأسمائه وصفاته.

  • @rahimumustafa587
    @rahimumustafa587 Месяц назад +1

    Maghurafi mtaelewa 2

  • @SwahibAjamy
    @SwahibAjamy 26 дней назад

    Huwo sio ushehe wala sio ujuwaji, Usijioneshe kama una elimu kwa kuanza midahalo ya yaso mana... Watu hawajui hata moja wafikishie ujumbe sio ubishani wa omvyo.
    Bachu acha dharau elimu yataka hekma sio maneno ya utoto

  • @AllyHozza
    @AllyHozza Месяц назад +2

    wanaona aibu kukubali wanafanya ligi na hawawezi kukubali Kwa sababu wanaweka maslahi mbele kuliko dini

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku Месяц назад

    Aaaaaah nimejua shida iko wapi sheikh hawa jamaa kwa rububiya hawataki sababu wana yao kando uluhiyya wanavingine kando #makaburi masharifu navinginevyo Allah awaongoze

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Месяц назад +1

    Allah atuongoze ktk usawa

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Месяц назад +1

      Tawhid ni muhimu sana
      Weka wazi Sheikh Muhammad Nassor Bachu
      Allaah Akuhifadhi kutokana na Hasadi na Jicho Baya na Chuki za watu

  • @IsmaelNdakala
    @IsmaelNdakala Месяц назад

    Kila nikikusikiliza nafurahika sana nakua natamani nionane nawe ana kwa ana

  • @hajiameir3832
    @hajiameir3832 Месяц назад +1

    Mtoto wa bachu yuko Sawa hamjamfahamu.tu.someni.kwanza