RADDI ADABISHI KWA WAPAMBE NA WANAOMTETEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 56

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад +1

    Habib shaf endelea alla awe nawe

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 4 минуты назад

    Wew ni kitoto huna elimu ya kushindana na Muhammad bachu weka mjadala na muhamad bachu uone vitabu vinafindishwa pale wew

  • @AbdulkasimuDossa
    @AbdulkasimuDossa 2 дня назад

    وفقكم الله لكل خير

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 2 дня назад +1

    Maashaalla sheikh yatupasa kusoma sana tuepukike na fitina ya mayahudi

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      @@hassanrangambo8007 fitna yaki yahudi ndio ipi bro bainisha tujue ww ni sufi ubudul kubur ama ww ni salafi

    • @darajanida
      @darajanida 2 дня назад

      ​@@IsmailGavara-r5s na wewe bainisha ni wahabi khawariji au salafi kweli

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@darajanida ni salafiyu wa abuu jehel kwasababu swalaf swaleh hawapo sasa.

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад

    Naa mini huyu ni kikoto khaswa Kwa bachu

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад

    Afahdali anae kutokana kuliko anae kuchinja

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад

    Na muomba alla bachu take mjadala na shafi

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 3 дня назад

    Haji upepo amejificha wapi?

  • @abdillahsuleiman2278
    @abdillahsuleiman2278 2 дня назад

    lini waenda kenya kumtembelea sheikh lako sharif mwenyebaba

  • @AbdulkasimuDossa
    @AbdulkasimuDossa 2 дня назад

    اللهم العن اول ظالم ظلم حق محمد وآل محمد

  • @abuuasmaa9474
    @abuuasmaa9474 2 дня назад

    Nikuulize shaafii, jambo ambalo ni waaqi, kwani leo hakuna makafiri ambao hawaamini Mungu kabisa? Ndiyo hivyo walikuwepo makafiri ambao hawaamini Mungu kabisa wapagani, wengine wanaamini Mungu kama ahlul kitaabi, kwahiyo kuna aya zinawahusu makafiri wasioamini Mungu na wapo wanaoamini Mungu lakini lakini haiwasaidii kuamini kwao kama manaswara.

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw 2 дня назад

    Wewe unajua imam ibin mutaimia ama othuman maalim

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад

    Mawahab ni wanafiki

  • @IssaMakokha
    @IssaMakokha 2 дня назад

    Sauti yako yenyewe mbaya kweli kweli, elimu pia hauna

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 2 дня назад

    Wewe mwanzo katafute Radhi za Waalimu walokusomesha huwezi kuwa Duwaat Da'ai ikiwa hauna maelewano walokupa Elimu

    • @othmanramadhani6962
      @othmanramadhani6962 2 дня назад

      Wao sio mitume wakikosea unawachana kma kawaida maana hawashishiw wahyi

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 дня назад

    Wanao komet Kwa kukukegeli hao ni mawahab

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 21 час назад

      @@HamisiKassimhamisi Mawahabi ndo watu gani? Shafii ni mpotoshaji kwa mtazamo wangu lakini..simlazimishi mtu. Na hata mtu akinitukana simjibu tusi lakini hanilazimishi kamwe mtazamo wake juu ya hili,naomba radhi kwa hilo.

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 2 дня назад

    Hayoo mapete ya kishirikina Yanatia kinyaa hata kukusikiliza Golo shia yahud Abdullah bin sabaa

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 3 дня назад

    Sh tafauti ya kugawanya naku fafanua kwa tawheed nini

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      @@shuaibabdullahi7544 kasome utajua tofauti.hudhuria ktk majalis zakielimu utafahamu bro kwa sharti ziwe majalis zaki salafi manhaj salafi

  • @abuuasmaa9474
    @abuuasmaa9474 2 дня назад

    Nakuhusia Shaafii na kuihusia nafsi yangu kunako ulimi wako kwa wanachuoni , ni jambo kubwa sana. Dhibiti ulimi wako

  • @IsmailGavara-r5s
    @IsmailGavara-r5s 3 дня назад

    Mambo mangapi yatakiwa ww kumfanyia Allah??? Peke yake mpaka kiama hamjibu subutu😂😂😂

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 3 дня назад +1

      Nyinyi ikiw jambo hakufany mtume Wala swahaba kwenu ni bidaa Sasa toeni dalili wap mtume saw kagawa tauhid 3 au swahaba gan kagawa tauhid 3 let dalili kama haun dalili hio ni bidaa tena ضلالة

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      Bro u jahil ni kero. Kwanza kafunzwe bidah ni nini kisha useme ni bidah hamuoni katika qurani auni kujitia ham nazo?? Tunaenda kulingana na ufahamu wa mtu. Hivi wewe hebu tuambie masharti ya swala ni ngapi naumetoa wapi?? Haitwi bidah kugawa ulum shar'iyya hio inakua ni ijtihada za ulamaa maadamu imenyofolewa katika kitabu cha allah. Sio bid'ah ufahamu nao ni rizq

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      @YahyaAli-o9z sio kila kitu kilicho fanywa baada ya mtume ni bid'ah mumeathirika na neno bid'ah tu pasina kuzingatia. Sikiza bro mwana chuoni anapojitahidi ku sarifu jambo ktk dini jambo hili haliitwa ni uzushi maadamu amefanya itim'bati ktk qurani na hadith haambiwi ame zua. Sababu anapo jitahidi mwana chuoni akapatia anafungu ktk thawabu akikosea pia anapata fungu je swali sasa mwenyezi muungu vipi ampe thawab mwenye kuzua ya bid'ah??

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 дня назад

      Nyinyi mawahabi acheni kubabaisha watu.Hizo tafsiri zenu na maswali yenu yakijinga wapi na lini mtume aliyafundisha

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 дня назад

    Ibada za makaburi zimevuruga ubongo wako. Tawhiid lazima iwe mwiba mkali kwako.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@ahmadmzoa74 ibada za makaburi ndio zipi? . Maana kama wewe huna ibada ya kuzuru MAKABURI basi AFADHALI ya kafiri anajali watu wake kuliko wewe kumjali Mtume wako alio kaburini

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 День назад

      @hilalkhalfan1452 Kuna kuna kuzuru makaburi (ni Sunnah na kuna dua maalum unapoingia au kupita ktk makaburi ya Waislamu).Ninachokisema ni Ibada kwa ahlul qubur. Na kama muislamu hajajua nidhamu ya Ziyaratul maqaabir ajulishwe kwanza vema ndo afanye ziara.Inaonekana una jazba mwepesi wa kukufurisha. Jitahidi kusoma ukishaelimika utakuwa mtulivu.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@ahmadmzoa74 Mwenye jazba ya kukufurisha watu ni wewe na kundi lako la kiwahabia ya kuwa kwa hasad na choyo zenu mkiona watu wanaenda kwa wingi kuzuru MAKABURI mnawatangazia WANAABURU KABURI. SASA NAKUJUILISHA NA NIKUFURISHE TU, MIMI NI AHLU LQUBUR YAANI NI MTU AMBAE NAZURI MAKABURI SANNNA TENA SANNA NA TENA NI BORA KWANGU ALIOKUFA SALAMA AKAWA KABURINI NAMPENDA ZAIDI KULIKO NYIE MLIO HAI HAMJAHULIKANA VIFO VYENU. Tena napenda sana kuzuru makaburi ya mitume na mawalii wa Allah sw na watu wema kwasababu pale Ni bustani ya peponi kwa mujibu wa kauli ya Mtume saw na pia kwa mujibu wa quran pale NI WAHAI MAKABURINI MWAO WANARUZUKIWA NA KWA MUJIBU WA MTUME SAW LICHA KUSEMA NAO SAUT BALI HATA MCHANATO WA NYAYO WANASIKIA, MIE NAENDA KUWARUZU MASWAHIBU ZANGU WA MAKABURINI WALIO WEMA KULIKO WA DUNIANI SIJAJUA WATAKUFANYE, TENA NIKIWAOMBEA DUA NA NIKIMUOMBA ALLAH SW ANIFISHE KAMA WAO NA PIA KWA WEMA WAO NA USAFI WAO BASI MWENYEZIMUNGU SW ANISAMEHE KWA KUWAPENDA KWAO NA WAO KUMPENDA MWENYEZIMUNGU SW. Sasa wewe una jazba na mihemko ya kiwahabia ya kutukufurisha waislamu tuno tabia ya kuzuru makaburi ndio nikakuambia kuwa, MTUME SAW AMESEMA* ANAE HIJJI NA AKAACHA KUNIZURU BASI AMENITENGA # SASA SISI AHLU LKUBURI HATUWEZI KUMTENGA MTUME SAW WALA WAFUASI WA MTUME SAW WOTE TUTAWAZURU. WEWE FATA UKAFIRI WA KUTUSHAMBULIA SUSI WAISLAMU TUNAO ZURU MAKABURI . MIMI NI AHLU LQUBURI, HASHA SIABUDU MTU WALA UDONGO WA KABURI, KAMA WEWE DHANA YAKO KUWA SISI TUNAABUDU ULE MCHANGA AU YULE YUHAI KATIKA MAISHA YA KABURI BASI HIO NI JUU YAKO. QURAN # WALA MSISEME WALIOKUFA KATIKA NJIA YA ALLAH SW NI MAITY BALI SEMENI NI WAHAI......# WEWE NA MAWAHABI WENZAKO KWA UKAFIRI WENU MNAIPINGA QURAN NA KUITA MTUME SAW NA WAJA WEMA WALIOKO MAKABURINI NI MAITY. TENA BAYA ZAIDI KWA BAADHI YENU HUWAITA MIZOGA HASWA YAANI VIBUDU KWA KUMAANISHA ATI TUNAABUDU TENA VIBUDU NA WANAONA SIFA KUSEMA HIVYO KUMUITA HATA MTUME NI KIBUDU, LAKINI NYIEE MTAKIONA CHA MOTO SIKU YA QIYAMA. SOMA KIJANA ACHA KUKUFURISHA WATU KUMBE WEWE UPO KWENYE SHIMO LA MOTO NA KUMFANYIA MWENYEZIMUNGU MTUKUFU VIUNGO. WEWE KIJANA OLE WAKO NA DINI YAKO YA MIHEMKO BILA ADABU ZA ELIMU. UNATAKA KUNIFUNZA MIMI ELIMU GANI WEWE AU KUMFUNZA NANI ELIMU ZA KUZURU MAKABURINI?!. JIFUNZE MWENYEO UPUUZI WAKO WA KULIPA MGONGO KABURI LA MTUME ATI NDIO UNAMUOMBA ALLAH SW KWA KUJIDANGANYA UKILIELEKEA KABURI ATI NDIO USHAMUABUDU MTUME SAW, HAYA MAWAHABI MUEKENI MTUME MGONGONI MWENU NA SIKU HIO HASHUO LITAKUTOKENI

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@ahmadmzoa74 wewe unajua nini

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@ahmadmzoa74 JE wewe hukugurishi waislamu?

  • @IsmailGavara-r5s
    @IsmailGavara-r5s 3 дня назад

    Suratul mariam😂😂😂jibuni

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      Naam sheikh watu jibu ni mambo mangapi mja anastahiki kumfanyia Allah peke yake.wewe una dhani wameshindea la! Wanajua wakijibu tayari watakua wameikubali attaqsimul tawheed na ndio unaona wayumba tu!!

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 дня назад

      Shukra bro niko kenya nawafatilia alhamdulillah

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@IsmailGavara-r5s Ni jambo moja tu kumuabudu.

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s День назад

      @hilalkhalfan1452 sawa kumwabudu sivyo nikaa budu Allah naniamini yeye peke yake mola wakuabudiwa kisha nika chukua sifa ktk sifa zake nikampa asio stahiki je ntakua nimekamilisha ibaada yangu ktk kumwa budu???? Naomba unijibu bil hikma ikiwa kweli ww talibul ilmu alieji tambua tuache makeke na kiki

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@IsmailGavara-r5s kama kweli na wewe ni twalibu l ilmu, nakujuilisha kuwa na ndio ilivyo, SIFA ZA MWENYEZIMUNGU SW BAADHI YAKE AMEWAGAWIA VIUMBE WAKE KWA MFANO HUO. IMA KUMUABUDU TU NDIO HASTAHILI ILA YEYE, LAKINI SIFA ZAKE KWA MFANO HALI WALA HANYI NA MALAIKA HAWALI WALA HAWANYWI WALA HAWAZAI, MFANO MWENGINE KUWA MWENYEZIMUNGU SW NDIO ANAE HUISHA NA KUFISHA, ILA ALLAH SW AMEMPA SIFA HII MALAIKA NA AKAMPA SIFA HII MWANAADAMU PALE ALIPOSEMA KWENYE QURAN, # YATAWAFFAA MALAKU LMAUTU " YAANI ATAWAFISHA MALAIKA MTOA ROHO. hapo IPO atawafisha malaika na sio atawafisha Allah sw japo kule Allah sw amesema yeye NDIO mfishaji. Au # MAN YUKTAL MUUMINA MUTAAMIDA .....# YAANI MTU ATAKAE MUUA MUUMINI KWA MAKSUDI ..# utaona sifa ya kuua kapewa mwanaadamu na hali Allah sw ndio mfishaji. KWAHIO na Hio tawheed Yako basi ujue sifa za Allah sw nyingi yeye mwenyewe ndio amewavisha viumbe wake pale atakapo, MFANO PIA, QURAN, MWENYE KUMHUISHA MMOJA NI SAWA SAWA NA KAWAHUISHA WOTE. utaona anatolewa mfano MWANAADAMU wa kuhuisha.
      ☝️ MIFANO NI MINGI ILA KUNA SIFA ZA ALLAH SW HAIWI SHIRIKI KUWA KWA VIUMBE WAKE KWASABABU YEYE NDIO ALIO WAVISHA INGAWA HAQIQA YAKE NI YETE ALLAH SW PEKEE ATAKE NDIO LIWE NA ANAPOWAVISHA VIUMBE WAKE NDIO KATAKA LIWE.

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 2 дня назад

    Mimi naona vijana wazama hizi adabu hawana

  • @IsmailGavara-r5s
    @IsmailGavara-r5s 3 дня назад

    Haji mapepo huyooo mitini yua subiriwa na bachu😂😂😂

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 дня назад

      @@IsmailGavara-r5s wewe huyo bachu adanganya watu juzi alijiteteya ktk kigawanyo cha Tauhid Tatu kwa Clip ya Shkh Othman Maalim ya zamani kutoka bado kijana kijana kisha asema urongo eti hiyo ni Clip ya jana ndio ametowa hayo Mawaidha

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 День назад

      @@abubakaromar6101 mawahabi kwa kuchukua kauli kongwe karibu wataanza kulewa ila kwenye swala 😂