KAMA MUNAKUBALI TAWHIYD INAGAWIKA SASA YANINI MUPIGE KELELE || Muhammad Bachu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 318

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 дня назад +28

    wallah kila mda nafungua youtube natamani nione video zako mpya jins unavowatandika hawa Makhurafi. Allah akuhifadh

  • @SalimAli-lj5sr
    @SalimAli-lj5sr 18 часов назад +2

    Sheikh Muhammad Tafadhali unapofundisha usitowe tusi hata likiwa dogo na usithubutu kumdharau yeyote hata unayebishana naye inshaAllah

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 2 дня назад +27

    Wallahi shekh wangu mpendwa mbainishaji wa haqqi na batil shekh Muhammad bachu wewe unatuelimisha sana zaidi hata ya sana na hawa jamaa wanajikusanyia matatizo makubwa mbele ya Allah .

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad День назад +10

    Sheikh muhammad bachu Masha allah wewe huko sahihi kabisa uhibuka fi allahi from Moçambique 🇲🇿🇲🇿

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op День назад +9

    Wallahi yusufu diwani haifai kumsikiliza mpaka atubie nakama hajatubia haifai kuskikiliza kwasababu ni mpotoshaji na muovu na mjinga kwenye tawhidi na mshirikina,
    Allah tuepushe na fitna za yusufu diwani na wenzake

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 21 час назад +1

    Mashallah sheikh Muhammad bachu nakuelewa sanaa

  • @mohammedshikanda7706
    @mohammedshikanda7706 День назад +6

    Sheikh sisi tuanaokuelewa Wallahi tunakupenda kwa ajili ya Allah. Kazi unayoifanya ni kubwa sana hasa kwa sisi tuliokuwa na itikadi ya kikhurafi mwanzo. ALLAH akulipe kila la kheri. Pata nafasi utembee Kisumu Kenya ndugu yetu.

  • @ShabaniIbrahim-u3y
    @ShabaniIbrahim-u3y День назад +5

    Sheikh Muhammad bachu Sisi huku Congo D R C tunafatilia darsan Yako kwa makini , Allah akujaze kila kheri na azidi kukulipa kheri na atujalie mwisho mwema Insha'Allah. Hao matapeli hawajuwi tawhid ndio maana wanatapeli wasio juwa tawhid.

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 День назад +11

    SHEKH BACHU ALLAH AKUJAALIYE HAYA MAMBO UYAENDESHE KWA IKHLASWI UPO VIZURI MASHALLAH YAANI UNAWAAMBUA HAWA WANAOTIBU WATU KISHIRIKINA

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 День назад +2

    Alaf ushabiki eka kando angalieni vile bachu anachambua vitabu ,mashallah..kama unataka haki utaelimaka tu..acheni ubishoo kwenye dini ya Allah..

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 2 дня назад +8

    Mashallah Tabaarakal Rahman.. Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe

  • @alliymuhamad-s8l
    @alliymuhamad-s8l День назад +3

    mwalim assalam alykum nipo love hapa mwanafunzi wako hamdullah najifunza mengi kutoka kwako mwalim wangu maashaallah allah akuhifadhi mwalim wangu ❤🤲🙏

  • @ibrahimrashid7017
    @ibrahimrashid7017 День назад +1

    Shekh Nassor amepata urasi wailimu. Allah akuhifadhi

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 2 дня назад +34

    Huyu ndie sheikh kijana bora na msomi bora afrika mashariki kama si afrika nzima sheikh muhammad nassor bachu allah amhifadhi.

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud День назад

      Ameen

    • @RanadhanHamad
      @RanadhanHamad День назад +1

      Mpe sifa umuangamize

    • @RanadhanHamad
      @RanadhanHamad День назад +1

      Huyu ni bingwa wa mizozo duniani,hana lolote zaidi ya kiburi

    • @RanadhanHamad
      @RanadhanHamad День назад

      Na hiyo Mtume S.A.W angekua na khulka mbovu Kama huyu Wala maswahaba wasinge muelewa

    • @AliKhamis-xb7et
      @AliKhamis-xb7et День назад

      unachoyo nakiburi yeye​@@RanadhanHamad

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 День назад +8

    Nataman saana nipate kusoma dini kutoka kwako sheikh. Allah akujaaalie kheir

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 2 дня назад +13

    Allah akupe umri mrefu wenye faida Shekhe wangu.

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 10 часов назад

    M'mungu azidi kukupa elimu na ufahamu tuzidi kunufaika,kama uskilizi kiushabiki basi utamuelewa sheikh Muhammad Bachu,lkn kwa bahati mbaya wengi wetu dini tunaifanya kama timu za mpira,nimemfuatilia sana sheikh Muhammad mara nyingi huongea kwa dalili,tofauti na wengine

  • @tajimchondo9035
    @tajimchondo9035 9 часов назад

    Ustadh namuelewa sana na Allah azid kumpya afya zaid tuendelee kuchota elimu kwako huyu ustadh wa mbagara mungu anamuona

  • @IsmaelNdakala
    @IsmaelNdakala День назад +1

    Sinamengu yakusema juu Yako shekh wetu wa tawhid ilatu nakua nafurahika nikikusikiliza Kila mara namuomba allah azidi kukulinda allah akulipe mema duniani na akhera

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp День назад +1

    Ametakasika m/mungu aliyeteremsha quran... Kwa hakika hakuna mola ispokua yeye... M/mungu akuhifadhi muhammad bachu kwa hakika umekuja na haki

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e День назад +1

    Alhamdulinlaahi Allah kutuonyesha ukweli ulipo, twamuomba Allah azidi kutuongoza sisi na hawa masufi

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 День назад +7

    DIWANI MBONA UNATUKANA,UNAHASIRA,UNAONYESHA ELIMU ULO NAYO NI KIDUCHU,WALAHI BILAHI BACHU MFUNDISHE HUYU MGANGA NA WENGINE TUNASOMA HAPA KWAKO MUNGU ATAKULIPA KHEIR INSHA ALLAH

  • @AmoIslamicTv
    @AmoIslamicTv День назад +1

    Wallahi mm hawa Masufi wanaanza kunitoka kidogo kidogo namuomba ALLAH azidi kunipa ufahamu. INSHAALLAHU

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf День назад

      atuzidishie sote ufahamu akhii

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 День назад +5

    Shukran nafurahi sana unavyo mujibu sheikh lakini kunaneno limenichekesha eti mwanaharamu hhhhh hhhhh mbona ana tumia maneno mazito eti mwanaharamu Allah atuogoze Shukran sheikh Muhammad nakupenda kwaajili ya Allah❤❤❤

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud День назад

      Ndio,,, watu wajinga wanapokuwa hawana hoja huleta matusi.

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 17 часов назад +1

    Diwani kwa hapa umeharibu ubishi tu unakusaidia lkn dah kwa akili zetu tunamuona hana ujuzi diwani unamshirikisha sana Allah dah musiba mkubwa kwako diwani

  • @SaidMussa-du9qh
    @SaidMussa-du9qh День назад +1

    Mashaallah Sheikh Muhammad Nassor Bachu Allah akupe umri mrefu wenye kheri ili uelimishe Umma. Hawa kina Yussuf Diwani wapo wengi sana

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 2 дня назад +13

    Tatizo masufi hawakufunzwa somo hili la Tawhid na ndio maana wengi wao hawana haja ya Tawhidi za kumpwekesha Allah mimi nimesoma kwa hizi madrasa za kisufi tulikuwa tukifunzwa dhikiri mawlidi na kuwakomoa watu sana sana wanawke mnafunzwa rukia feki... Hata Qur'an masufi bado na uikipata sufi anasoma Qur'an kwa hukmu zake ujuwe anafanya kwa kuwakomoa wtu sio kwa ajili ya Allah... Na ndio maana wao hawana mda wa kumridhisha Mola wao wana mda ya kuwakomoa hela wajinga.. Alhamdulilaah kwa hidaaya kwa kweli wanachuoni wa Ahlu sunna wametusaidia sana sisi vijana... Allah awahifadhi na awape elimu yenye manufaa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 дня назад +8

    Allah akuhifadhi ibn Bachu
    Makhuurafi masuuf wanakukhofia sana kiukweli hawana raha wallah nakuambiaa
    Mimi nikifuatilia darsa zako unatumıa vitabu lkn Masuuf cjaona watumie vitabu ni maneno ya kısıasa tu!
    kutoka Suudia

  • @jumashechambo5412
    @jumashechambo5412 День назад +1

    Al, hamdulillahi faida imepatina sana zaidi ya sana hawana hoja zaid ya ujanjaujanja tu Allah alipe shekh muhmmadi Naifuatilia xana hii mada ya tawhidi Wallahi hoja hawana hawa zaidi ya matusi hassa huyu mganga na kama kweli mko lillahi kaeni kielimu sio porojo

  • @HafidhSalum-de5cz
    @HafidhSalum-de5cz День назад +2

    Nakupenda sana shekhe wangu Muhammad bachu kwa ajili ya Allaah mrithi sahihi wa masjid Sunnah tunakuombea kwa Allaah wakufungulie hawa ili uje uhuishe msikiti yetu

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 День назад

    Dah yaan shekh bachu unawanyoosha hawa matapeli vibaya sana Mungu akuhifadhi na hasad mana km wangkua na uwezo wangekupiga juju hawa, Mungu akuepushie mbali

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 День назад +2

    MashaAllah
    Tunakuelewa vizuri sheikh Muhammad bachu

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 16 часов назад

    BACHU ALLAH AMEKUCHAGUA UJE UWEKE WAZI USHIRIKINA NA NDO HAISAMEHEWI DHAMBI YA HAWA WASHIRIKINA KAMA WATAKUFA NAYO

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 День назад

    Maashaa Allah Allah akuhifadhi cn shaka tena nlikua natak nijue kwanini anaitwa mganga na mchawi Alhamdulillah tupo sawa sasa Baraka Llahu fiyk

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp День назад +1

    Leo umeshomesha sana MUHAMMAD BACHU ALLAH AKUHIFADH NA AKUPE AFYA MZUL

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 дня назад +5

    Jamaa wanatizama nani kasema na hawatizami nini kasema sisi unatufanya tuzidi kusoma unatushawishi sana mashaallah

  • @nnajahtv
    @nnajahtv 2 дня назад +7

    Asalaamualaykum... Shekh Muhammad hawa waganga ndo wale alio wataja Allah katika suratul baqara "asufahaau" hawasomi wanafuata ngoma

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 День назад +3

    Daawa ya Sunnah ya mtume Muhammad itafika tu InshaAllah

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 День назад +2

    Sheikh bachu Leo nimecheka sana wallah

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 2 дня назад +3

    Washooshe kaka na haji upepo tunamsubir naona kapotea ajiandae vzr tu InshaAllah Allah atakulipa ujira unaistahiki sheikh muhammad bachu

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 День назад +1

      Hawezii kutokea mizinga anayoshusha machu wee uogop

  • @mbaroukseif3409
    @mbaroukseif3409 День назад

    Wallahi Yussuf Diwani ni Kumbe ni MSHIRIKINA MCHAWAI KHASWAA.

  • @ismailsilima5274
    @ismailsilima5274 2 дня назад +2

    Masha Allah sheikh Muhammed bachu upo sawa endelea kutuelimisha jazakallahu khayrah

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 дня назад +7

    احسنتم وجزاكم الله خيرا ونفع الله بكم الإسلام والمسلمين❤❤❤

  • @BereKimas
    @BereKimas День назад

    Basi kijina wetu bachou una kosea tena una kosea mimi niko njeee ya inchiii ila kipenzi wa ma shekh y dr aima mbongo

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr День назад +1

    Wallahi masufi ni watu hatari namshukuru Alla Alla atuongoze na vizazi vyetu

  • @abubakarmohamed5295
    @abubakarmohamed5295 2 дня назад +6

    Nilikua sijuwi kua Yussuph diwani hajielewi. Lakini Alhamdulillaah kwa sasa nimeona wazi wazi kua Yussuph diwani hamna kitu. Namshauri Arudi upya kusoma na pia akajifunze Uslubu wa kuongea na hikma katika maongezi.

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 2 дня назад +1

      Na'am hawa ni wachawi akhi na baya zaidi ni kwamba wanalijua hilo na wanafanya hiyana wal-iyadhu billah

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 День назад

      Ayaaa ulicherewa diwan mbovuu

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 День назад +3

    Daa bachuu nakusikiliza vzr mpaka nalia Allah akuongozeee

  • @NduwayezuGuyDarcy
    @NduwayezuGuyDarcy 2 дня назад +5

    MashaaAllah sheikh nakupenda kwajili ya Allah 😊

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 День назад +3

    Sheikh Muhammad simama na hakki tu na utapata ujira kutoka kwa Allah tabaraka wataala.
    Hawa jamaa ni washirikina na hawataacha kukutukana mpaka uungane nao katika kufru.
    Allah akulinde na fitna na ushawishi wa wanafik hawa.

  • @salehkhamis6567
    @salehkhamis6567 2 дня назад +2

    Allah akupe Fahamu sahihi na muongozo
    Mtume kasema katika kila ugonjwa una dawa je watu hawaumwi mpaka kufa na dawa wanatumia
    Kuna uhusiano gani kati ya cheni na kuuwa chawa aliyovaa shaykhul islam
    Tupeni elimu yenye faida na sio khiyana mnayofanya

  • @saididogoli9698
    @saididogoli9698 День назад

    Shekhe usia wangu kwako ni ihlas tuu katika Kila kitu na nakupenda Kwa ajili ya Allah mungu akuzidishie elmu na baraka tele

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 дня назад +4

    Shekh muhammadi ww fundi na mwalimu wa kufundisha, lakini hawa masufi wengi wao waganga wa kienyeji na wachawi wachawi, ndiomna wana pingana na tahweed ili issue za kuabudia makuburi waendelee nazo

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 День назад

    Al akhy ndugu yetu na sheikh letu Muhammad bachu Allah akuhifadhi na chuki na hasadi za makhurafi

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 День назад +1

    Allah akuhifadhi shekh wetu muhamadi nazidi kuwafundisha hao washirikina

  • @fatmasuleimanhamad
    @fatmasuleimanhamad День назад +1

    Maashallah. Mwenyezi Mungu akulipe kheri kwa elimu unayotoa

  • @badrumulinda7349
    @badrumulinda7349 2 дня назад +7

    Tunafaidika sana hapa Marekani kwa Tauhidi.

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm 2 дня назад +8

    HALAFU HILI JINA MTOTO WA HARAMU DAH,SHEIKH BUSARA HANA KABISA😥

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy День назад

      Bado hujasema mpak muache kuabudu makaburi

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn День назад

      Kuna mashehe na mashehena

  • @FadhiliMnyonge
    @FadhiliMnyonge День назад +1

    Sheikh Muhammad bachu nina mtoto wa miaka 14 amehifadhi Quran yote nakuomba kwaajili ya ALLAH unipe namba yako nimlete umsomshe asije kua kama wakina yusuf diwani umfunze elim uliyojaaliwa na ALLAH mimi nakupenda na tuna ambiwa ukiwa MTU WA HAQI UTAWAJUA WATU WAHAQI namimi naamini wewe nimtu wahaqi ndio maana sura yako ina NURU nasura za wakina yusuf diwani zinatuonesha nuru hazina wako kwaajili yadunia tu ALLAH ALLAH awaongoze pia

  • @iddijuma1428
    @iddijuma1428 День назад

    Mashallah shekh Muhammed namuomba Allah akupe mri mrefu wenye kheri na wewe ili umma wa kiisilamu unufaike kwa ajili yako ---Amiin

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op День назад +3

    Miongoni mwa faida nilioipata kwamba mtu asieijua tawhid kwamapana yake hafai kua mganga (twabibu) nakusudia mganga wa miti shamba na rukia akiwa hajui tawhidi nilahisi kuingia kwenye ushirikina

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 13 часов назад

    Allah akuhitimishe pamoja natauhid asamehe pale ulipoteleza amin

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 День назад +1

    MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLAH akuhifadhi nahusda

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 2 дня назад +6

    Waacheni waseme hizi comments zote ni simu zake Bachu😂, ushirikina utawaletea ufukara hao Ahlul Qubur😢

  • @muaadhegyptegyptairlegypta6699
    @muaadhegyptegyptairlegypta6699 2 дня назад +5

    Allahu akbar....Allah akuhifadhi akhui...

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 2 дня назад +6

    Sheikh wang bachu ivi unajua km sabbas al-majaazi ulimpoteza kbs kweny hii ramani 🤣🤣🤣 maana alizidi majitambo sasa bado uyu diwani mkubwa uyu inabidi umpige 50 kw 0

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 День назад +2

    Jazakallahu khair sheikh.Allah akuhifadhi

  • @spartachize122
    @spartachize122 2 дня назад +5

    Nadhan hakujiskiza alikurupuka tu maana anayoongea ata hao wenzie wanamshangaa😂😂😂ati "una uhakika gani kama Allah anaetajwa ni yule Mungu wao"? Shirki kubwa

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr День назад

    Wallahi kila zama Alla humleta mtu kwaajli ya kutetea dini yake Alla akuhifadh mtoto wa mm Amina na amsamehe mzee wako aliotangulia mbele ya hakki

  • @fatmaomar3731
    @fatmaomar3731 День назад +2

    يا شيخ محمد والله أوصيك لا تترك هذه الدعوة السنية ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OmariSaria-p6j
    @OmariSaria-p6j 8 часов назад

    Waalikum salaam warhamatullahi wabarakaat❤🎉

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 2 дня назад +6

    Masufi wameshindwa lakufanya yeye anasoma wao wanachokijua ni maulidi na anasheed yani kukata viuno tu hawamuwezi

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 2 дня назад +5

    Kaka hii come back yake ya hatari sijui kama atapumua huko aliko Yusuphu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi День назад

      Hahaha wallah lazima ahare debe kw pressure diwani yaan anakosea mpm inatia huruma

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud День назад

      Allah amjalie aweze kuyafuata,,,

    • @AliKhamis-xb7et
      @AliKhamis-xb7et День назад

      Atapumua hawana haya eti

  • @spartachize122
    @spartachize122 2 дня назад +4

    😂😂😂😂😂apo mwisho nimeinua mikono..... Dua ya ngamia haikufanya kazi kwa wenyewe, ndo yale ya wachungaji wakitaka magari wanafanya mchangisho, ila wafuasi wakitaka magari wanaombewa😢😢wote ni matapeli tu

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 День назад

    فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ

  • @akrambwana5926
    @akrambwana5926 День назад

    Shekh Mohammad fimbo ya washirikina,wachape sana wache wao wakutukane ilaa Allah anajua na yy ndio mjuzi

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya День назад +1

    Naapa mbele za Allah Wewe unajua kufundisha vizuri Tena kwa ushahidi hata tusio jua tunaelewa unavyo nyoosha

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 День назад

    وَالَّذِينَ يُؤْذُونَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ بِغَيْرِ مَا اكْتَسَبُوا فَقَدِ احْتَمَلُوا بُهْتَانًا وَإِثْمًا مُّبِينًا (58)

  • @abubakarmohamed5295
    @abubakarmohamed5295 2 дня назад +3

    Halafu inaonesha wazi wazi kabisaaaa kua Yussuph diwani kwa Upande wa Qur ani hamna kitu

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs День назад +1

    Huyu shekh bachu ni zaidi ya computer Allah akihifadhi

  • @AbuuKiweru
    @AbuuKiweru 2 дня назад +1

    Naishallah sheh wangu mm niko kenya bali mm ni tz ila ndug yangu ujumbe wako unafika mbali ,naamin watatuelewa

  • @RashidAllyRashid
    @RashidAllyRashid 12 часов назад

    MUNGU AZIDI KUKUPA NGUVU NA UTHUBUTU INSHAALAH!!!

  • @ShabaniMdoka
    @ShabaniMdoka День назад

    Shekh Muhammad Nasor Bachu anapiga kwenye mshono

  • @HasaniSasi
    @HasaniSasi 8 часов назад

    Allah hakufanyie wepes ktk daawa zako inshaAllah

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 дня назад +3

    Huyo ndiye shehe ya watu, wallahu musta'an

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 2 дня назад +5

    sasa kumbe yeye nimchawi alafu anatitimua misuli eti anatetea tauhid😂😂

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 2 дня назад +6

    Hao majamaa kusoma hawataki ata kdg kisha wakielimishwa wanatukana .

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e День назад

    Wallahi huyu yusufu diwani na genge lake amnakitu wanachojua nimatusi tu baasi

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya День назад +1

    Ambae hajamuelewa sheikh bachu ujue akili yake ni sawa na ya makafiri wasio elewa mpaka kiama bachu upo sahihi aslimia 100

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m День назад

    Shekh ujumbe umefika alla akuhifadh usivunjlike moyo kwa hawa mashetan wa kibinadam

  • @Lotalota-u9r
    @Lotalota-u9r День назад +2

    Allaah azidi kukuhifadhi

  • @joauchitlango3547
    @joauchitlango3547 День назад

    Mashaa Allaah Mohamed Bachu endelea nao hao
    Maana kiukweli tunaupata ukweli wa dini pili tunapata elimu ilioaahihi kwa mwenye uelewa
    La kama watu wanakusikiliza kwa ushabiki kushabikia basi hawatakuelewa kabisaaa
    Yaani kiukweli hata Mimi nisie na elimu nakubali kipindi Cha nyumba nilikuwa naona hao wanaoitwa mawahabi hawapo sawa
    Ila kadiri nilipokuwa nikiwafuatilia ndio nakita uislaamu upo kwa ahalal Sunna walijamaa
    Kiufupi huyo aliemuita mwenzie mwana haramu haeleweshi Bali anashabikia kitu Fulani au anatetea jambo Fulani na halina manufaa kwenye uislaamu
    Na jengine nilimsikiliza Sana maana alisema Mohamed Bachu hua ana community mwenyewe kwenye hizi clips zake nilishangaa sana

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 2 дня назад +4

    Wanatapelia watu hawa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr День назад

    Wallahi hawa watu hawachakuwi maneno unaposema mwanaharamu ujue humwambii bachoo unamzulumu mm ake bachoo je ? Utakwenda kuthibitisha mbele ya Alla

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 День назад

    Allah sw akuhifadhi ktk mjadala mtu akianza kutumia lugha za kashfa ameshindwa huyu mganga diwani tyr keshaonesha margea hamna kitu,we wacharaze ivo ivo kwa evidence na lugha safi

  • @amamossi4203
    @amamossi4203 День назад

    Assalamu alaykum
    Mashekh tunakoenda kama kelele za mauzinde na kijogoo. Maana tunatafuta wapi mtu kachemka na sio kusidio lake la kawaida. Vzr jamani mashekh tunaelekea kubaya

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 День назад +2

    Sheikh Bachu unapobainisha hakki lazima utapingwa mfano wao wanaamin kwa kufanya mambo yao kwa wingi bas wapo kwenye njia sahihi wakati ni ujinga.

  • @samkaka2218
    @samkaka2218 День назад

    Allah Akupe kila la kheri inshaallah watanyooka tu hawa

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 дня назад +7

    😂😂😂 hawezi kuapa kwa mtume tena

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 День назад

    القول في تأويل قوله تعالى : فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ (65)
    يقول تعالى ذكره: فإذا ركب هؤلاء المشركون السفينة في البحر، فخافوا الغرق والهلاك فيه ( دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ ) يقول: أخلصوا لله عند الشدّة التي نـزلت بهم التوحيد، وأفردوا له الطاعة، وأذعنوا له بالعبودة، ولم يستغيثوا بآلهتهم وأندادهم، ولكن بالله الذي خلقهم ( فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ ) يقول: فلما خلصهم مما كانوا فيه وسلَّمهم، فصاروا إلى البرّ، إذا هم يجعلون مع الله شريكا في عبادتهم، ويدعون الآلهة والأوثان معه أربابا.

  • @JumaBilali-pq9ge
    @JumaBilali-pq9ge День назад

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakat. Masheikh zangu mbona mnakosoana kwa kutiana aibu na kila mtu anajifanya mbora mbele ya mwenziee ?? Hicho kitu sio kizuri na msishindane bali elekezani kwa ustarabu na adabu