MWANACHUO KUTOKA SAUDI ARABIA AMALIZA UTATA KUHUSU VIGAWANYIKO VITATU VYA TAWHID:ALLAH AMUHIFADH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 417

  • @AllyNyube-y6d
    @AllyNyube-y6d 20 дней назад

    Masha Allah kila lakher katka maisha yke Allah akupe umri mrefu ili uzid kutupa matunda aliyokujaalia jjalali

  • @sh.mohamedhussein4148
    @sh.mohamedhussein4148 Месяц назад

    Masha Allah, allah amhifadhi sheikh, darsa nzuri sana.
    Wengi hapa wanahitaji darsa kama hii.

  • @geographicalworld1994
    @geographicalworld1994 Месяц назад

    Sheikh Ally Jumanne,, MashaaAllah

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 Месяц назад +6

    Waislamu tusigombane kila mtu akinahi kile atakachojirisha nacho. Lau ALLAH A'ZZA WAJALLA Angelitaka Angewaongowa watu wote. Tusitukanane,tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA Atuongoe katika njia ya Haqqi.

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      amin na hilo ndo muhimu lakin ndugu zettw mawahabi hawataki kama wako tayar kuwacha hayamamambo na sisi tutacha bila hivo utataswameh akhiy

    • @khamisjuma7616
      @khamisjuma7616 Месяц назад

      tena kwa taarifa tu ukipoteza moja kati ya hivi vigawanyo haujatimia uislam wako jamani tusiwe mbulula elimu imetufikia kwani fardhi za udhu nguzo za swala hizo pia wamegawa maulamaa ktk kuelimisha umma na tunafundishwa tusiwe wabishi tupende kukiongezea ilmu

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Месяц назад

      ​@@khamisjuma7616
      Hata Maulid Pia Dhikri Wamesma Wanawachuoni Tena Wakubwa Mbina Nyie Hamtaki Hayo Na Kuwatukana Watu Kila Kukicha Mkiaacha Nanyie Mtaachwa

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад +1

      Huo ni upumbavu mkubwa mno
      Tawheed ni msingi wa dini na hutakiwi kuchezewa.
      Wanachuoni wamegawanya elimu ya Tawheed katika sehemu tatu baada ya Tawheed kuchezewa na watu kufanya ushirikina huku wakijiona wapo sawa.
      Washirikina inawauma elimu ya Tawheed kubainishwa vizuri

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      @Kekulebenzene Kabla ya jazba zako na joto la hasira ulilonalo wafahamu (jamii). Hawa wanaopinga:"Aqsam Attawhiid" wengi wao ni watu wajinga,wachache tu ni wajuzi. Na hawa wajuzi wanificha Haki hali ya kuwa wanaijua. Elimu ya Usuli kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah inatutaka tuwaelewe wale tunaofikishia. Kupinga vigawanyo ni kama uchochoro tu wa kuipinga. Tawhiid ni mwiba mkali kwa Ahlul hawaa. Sisi tunawahitaji wasioijua Tawhiid ktk hawa wajinga waijue, kwani wanapotoshwa na watu wa matamanio. Hivyo basi busara za Usulubu Daawa zinahitajika ili umma Tawhiid. Watu wengi ni wajinga na ndo maana wanamuabudu ALLAH SUBHANAHU WATAALA wengi wao na hali ni washirikina.

  • @mudrikJuma-s1b
    @mudrikJuma-s1b Месяц назад

    Masha Allah maana masufi wao hata uwape dalili 1000000 bado watasimamia msimamo wao alhamdulillah kwakubainisha

  • @AllySibila
    @AllySibila Месяц назад

    Kule Allah si kasema Faalam annahu laailahaa illah llah kwa uchache wangu wa elimu nlionao nina dalili kibao za kuonesha tawhid Laaaaaaaaa Taqsam

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 Месяц назад +2

    Nimefurahi sana, masheikh kuitangaza hakki katika itikadi sahihi na tawheed.
    Hasa juu ya uwepo wa Allhaah juu ya arshi yake.
    Allaah awabaarik masheikh na awalipe ujira mkubwa mno.

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 Месяц назад

      Yupo kwa dhati yake au sifa yake?

    • @ABDINURA-hb9ky
      @ABDINURA-hb9ky Месяц назад

      Peleka shubuhat zako mbali kapsaa​@@shabansaid2323

    • @nasampro7759
      @nasampro7759 Месяц назад

      itiqadi za kumpa Allah viungo unasema ni zahakki subhna Allah , itiqadi za mayahudi walikua wna imani ya kuwa Allah ana viungo na Allah amekaa kitako .. mumezichuwa wapi hizi itiqadi hata museme ni za hakki

  • @sh.mohamedhussein4148
    @sh.mohamedhussein4148 Месяц назад

    حفظ الله الشيخ ونفع به الأمة .

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 Месяц назад

    Maashaa Allah darsa nzur sana❤

  • @abuuaminah
    @abuuaminah Месяц назад

    Bidaa mpaka katka akida😅😅😅

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب Месяц назад

    MAa Shaa Allah sheikh said Al hiliil

  • @ramadhanikuhanga3324
    @ramadhanikuhanga3324 Месяц назад +2

    Jaman achen haya MARAD umma unapotea kuna wanaojiita waislam wamemwona nabii ISSA huku mmekazana TAWHIID vigawanyo VITATU HUYU MOJA

  • @LushweKuandika-lm9zc
    @LushweKuandika-lm9zc Месяц назад +1

    Nmejifunza neno la kiswahili, kumbe kupekesha ndio sahihi kwenye kiswahili,
    Namshukur Allah kwa kunijaalia kuwa muislam na kuwa mtu anaye Fata sunnah.

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      ALLAH AKUBAARIKI SAANA NDUGU YANGU MBORA NA AKUTHIBITISHE KATIKA UISLAMU NA SUNNAH MPAKA UNAKUTANA NAYE

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 Месяц назад +1

    Nimejifunza kitu kwa nyinyi masufi ,huo @Raya ali anasema wanakataa kwasasababu sisi tukipewa aya na hadithi kwenye maulidi hatuzitaki kwa hio na mumeona ukweli ila mnapinga tu ili mupate ushindi , yahitaji mukae mufikiri kila mtu atasimamisha pekeyake mbele ya mula wake makumdi ya washabiki hayatokusaidia . والسلام

  • @IbnHassan-k5b
    @IbnHassan-k5b Месяц назад

    حفظ الله الشيخ ونفع به

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Месяц назад +7

    Isome suratul Fatha kwa kina na ufaham wa hali wa juu utaona Tawheed ni moja na imejigawa ktk kuifanya hyo Tawheed sehem kuu Tatu

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش Месяц назад +3

      huelew ulichoandika.Na hakieleweki hasa.
      Jarib Kuongea kwa kupambanua.

    • @HUSSEINALLY-b7f
      @HUSSEINALLY-b7f Месяц назад +2

      Utatu mtakatifu😢

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад

      Acha uongo ktk suratil fatha hakuna vigawanyo vya tauheed

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Месяц назад

      Hahahah Lete Hivo Vigawo Sio Porojo Hawa Mamaimu Waliopita Hawakusoma Suratul Fat Ha Kwa Kutulia Wewe Mtu Mwaka 2000 Ndio Umesoma Kwa Kutulia Hahah

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela Месяц назад +1

      Half ukisha sema neno tawheed maanske niupweke Sasa upweke unagawika tumia akili kwa kutulia utakuta tunarudi kulekule kwa ndgu zetu katika ubinadamu yaan makafiri wanaambiwa mungu ni mmoja lkin amegawanyika sehem tatu hakuna tawheed tatu tawheed nimoja tu

  • @Abuuyassinmaalik
    @Abuuyassinmaalik 8 дней назад

    Huyo ndo walewale mawahabi wa saudia nahuko ndiko ulikoanzia uwahabi na hanahoja Wala ushahidi wa tawhidi tatu Hawa mawahabi tukiwachekea watatuharibia diniyetu ya haqi ambayo ni uisilamu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Месяц назад +1

    TAWHED Nİ ELİM NA KUGAWANYA ELİM SIO BİDAA
    MASUUF HUCHANGANYA KATİ YA TAWHEED NA MUNGU( ALLAH)
    ENZŞ YA MTUME NA MAS'HABA HAKUKUA NA ELİM BALAGHA WALA NAHAU....
    LKN LEO TWAXİSOMA İLİ TUELEWW QURANİ..
    KWA ELİMU YA TAWHEED İLİ UİELEWE SAWASAWA NDIO IMEGAWANYWA SEHEM TATU KWA MUJIBU WA QUR'AN SURATUL FAT'HA NA ZİNGİNE...
    ZINAELEZEA KUMPWEKESHA ALLAH KTK NYANJA 3
    Swali
    Tawheed; Nİ ELİM YA KUMPWEKESHA MUNGU Nİ MMOJA TU ! katika nini???????????
    JİBU LA SWALİ HİL NDIO UTAGUNDUA WANAZUON WAMEGAWA KTK MAKUND 3 .
    1- Ktk UUMBAJİ
    2- ktk KUUUABUDİWA
    3-Ktk MAJINA NA SIFA ZAKE

    • @AllySibila
      @AllySibila Месяц назад

      Tunafahamu tawhidi ni elimu lakini haina vigawanyo

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب Месяц назад +2

    Maulamaa ni warithi wa mitume tuwaheshimu

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Месяц назад +1

      Kabisaaa Hata Kwenye Maulid Pia Tuwaheshimu Au Wale Sio Ulamaa

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      Ulamaa wa Kisufi?
      Wa MTUME KAFUNGA WAO WAONA WALE??,
      MTUME WETU KAPANDISHA NGUO MPK KATIKATI YA MUUNDI WAO WAO KUBURUZA NDIYO NJIA???
      MTUME AMEACHA NDEVU WAO WAONA KUZINYOA WAISLAMU NDILO JAMBO LILILOBORA???
      NA MENGINE MEENGI AMBAYO MTUME WETU ANAYAACHA WAO WAYAFANYA NA ALIYOYAFANYA WAO WAONA WAYAACHE AU WAYAFANYE WAKIONGEZEA NA YAO...HAWA NDIO MAULAMAA???????????????
      KHAAAAA!!!!

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana Месяц назад +1

    Kinacho takiwa apo wa limu zetu mashekh zetu wa umini wa ki islam tunaomba tawukhiidi ifundishwe kwa wingi watu wamjuwe allah kisawa sawa nguvu zina tumika kwa kutangaza dawa za nguvu za kiwume kupata bahati kupata mali zitumiwe katika kuyi somesha tawukhidi watu wamjuwe allah kisawa sawa na kisomo cha fiQihi ili tuyi fahamu dini kisawa sawa na khadithi za mtume wetu rehema na amani ziwe ju yake ili tu pate kuji funza tabiya nzuri

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 Месяц назад

      Kumjua kwa vigawe vitatu ndio kumjua kisawa.

  • @kibakombe1020
    @kibakombe1020 Месяц назад

    Kiufupi kabisa bado hajamaliza, hapo katoa maelezo tu, hajatoa dalili hata moja kuhusu vigawanyo.

  • @Abubakar-cb1er
    @Abubakar-cb1er Месяц назад

    Mawahabi wanapenda kulazimisha vitu vyao ndio iwe sahihi wangine wakisema ni bidaa

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Месяц назад

    Maaashaallah

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 Месяц назад

    Masufi watasema katumwa na Muhammad Bachu

  • @abuuaminah
    @abuuaminah Месяц назад

    Kubalini ni Utatu ni Bidaa

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada Месяц назад +1

    Sasa huyu Mwarabu si aje apige magoti Zanzibar na asomeshwe na mabwana

  • @abouswaleh7375
    @abouswaleh7375 Месяц назад

    ​LAZIMA IWAUME WASHIRIKINA HAWA KWA SABABU NDIYO HARAKATI ZAO HIZO MPAKA WANAWAPELEKEA WAISLAMU AWWAAM WAINGIE KATIKA MAS-ALA YA KUABUDIA MAKABURI NA KWENDA KWA WAGANGA HAWA WAKIONA NI JAMBO LA KAWAIDA TU KUMBE LAWATOA KATIKA UISLAMU. YOOTE HII KWA AJILI YA HII MISHEHENA MIZUSHI MISHIRIKINA... TAHAMAKI MUISLAMU ANABAINISHIWA MAMBO NAYE ANALETA TUHOJA KUWA WATU WAKAE KIMYA WASIGOMBANE. HUU NI MTIHANI NDUGU ZANGU HILI JAMBO NI ZITO LAZIMA LISEMWE. NA MISHEHENA YENU LAZIMA UIMUE SASA WEWE USITUMIA COMMON SENSE ZAKO ENDELEA KUWASHABIKIA UTAJA JUA PALE UTAKAPOJIKUTA NA MAKAFIRI KATIKA MOTO NA KWAMBA HUKMU YAKO NI KAMA WAO TU KUWA UTAKAA MOTONI MILELE.
    ZINDUKA EWE MUISLAMU

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ninani annaeabuudiuykkabur

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Месяц назад +1

    MUISLAMU YOYOTE ANAEAMINI TAUHID 3 AMEMZULIA MTUME UONGO NA AMEKUFURU KWA SBB MTUME NDIE MWALIMU WETU KATIKA DINI HII YA KIISLAM NA HAKUFUNDISHA UPOTOSHAJI HUU, TAUHID TATU NI UVUNDO KWENYE DINI

    • @MuhsinAbdalla-q6f
      @MuhsinAbdalla-q6f Месяц назад

      Duuuh kunywa chai urudi ukalale

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Месяц назад

      Na kwenye maulid pia utumie nguvu hiyo hiyo kupinga

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад

      Bila shaka utakuwa Mshirikina

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад

      @@hafidhsalum-jp2mw hawa watu hawana akili kabisa

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      Hahahh😅😅😅😅 nacheka kama mazur vaa pampas kwanza usije ukajikojolea mana naona kama vichwa vako vimewehuka wajiropokea2

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp Месяц назад +1

    Mm nashangaaa hapa tz shehe kisa kakatazwa maulid anaamua kupotosha hasira tu duniani kote wanafaaam tawhid na vip imegwk

  • @AllySibila
    @AllySibila Месяц назад

    Tafuteni kitabu kinachoitwa INTABAH DIINUKA FII KHATWAYA ndo utaona hoja za hawa mawahabi kuhusu tawhidi yao ya utatu na shekhe alivyozivunja kwa aya nzito nzito hawa watapata wale fata upepo ila sio tunaojua

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Месяц назад +1

    Hivi mi nashangaa itikadi za ndugu zetu hawa sijui wanaziokota wapi, kusema allah yypo kila mahali, Wakati itikadi ya mitume wote kuanzia adamu hadi mtume etu muhammadi, waliashiria allah yupo mbinguni, na tunaona mtume wetu swala alienda kuookelea ikulu kabisa ya allah, mbinguni na akiongozana na jibril mpk mbinguni, na ndo itikadi ya sisi ahlsunnah, wal jamaa imeenda sambamba na manabii wa allah, kuanzia adamu nuhu, waliwalingania watu kumuabudu allah wakiashiria yupo mbinguni, ukisoma injil ya nabii issa anawaambia bani israel, mungu wenu ni mmja mungu wangu na mungu wenu, hakuna hata mmoja wenu alotupa jicho lake mbinguni likamshuhudia yeye, ndugu zetu wazushi masufi kama kawaida yao kwenda kinyume na itikadi sahihi, wanakuambia allah yupo kila mahali, mimi nashukuru mungu kutoka kule maana ni hatarii itikadi kama hizoo, ni humpelekea mtu maangamivu badae

    • @BurahaKessi
      @BurahaKessi Месяц назад

      الله اكبر

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      soma uwelewe hakuna itikadi ya ahalu suna kuwa mungu yuko mbingun hii ni itikad batwil

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      @@AbdulIssa-o7e Wacha uhuni wewe!,Lete hadith inayosema mtume aligawanya tawhid Mara tatu,au lete dalili swahaba gani akiefundisha kua tawhid imegawanyika Mara 3.

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q Месяц назад

      INNA LLAAHA `ALAL `ARSHI STAWAAA

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @darajanida kwani hatuwajui ninyi ashaira, na masufi kazi yenu kupinga sifaa za Allah unasema batwil wakati Allah kujifunuwa katika aya mbali mbali, nyi mapote walopotea na hakki sijui mpoje kazi yenu kumpinga sifa za Allah, tuuh ninyi hamna tofauti na kundi la jaamia, wanasema Allah hatoonekana kiama, wakati mwenyewe kajifunua kwenye quruani waja wema watamshuhudia Allah, itikadi za kufru hizo, kupinga sifa za Allah na hapa ndipo mlipoingia masufi, kusema Allah yupo kila sehemu, bali twarika zingine za kisufi zikachupa mpk kabisa, kusema Allah ndo viumbe na uingia ndani ya viumbe inamana mambwa, mapaja Allah anaishi humo, ndomana madaruweshi wengi akili zao mbovu sana, et Allah anaishi ndani ya viumbe na viumbe ndo Allah subuhana lllah, kama wafalme wa duniani maraisi, wanaikulu yao ya kuishi vipi mfalme wa wafalme,Allah aketi kila sehemu itikadi batwili na mtume alipomuuliza yule mjakazi aliulizwa na mtume aina Allah yupo wapi Allah? Akamuashiria mbinguni, Allah yupo mbinguni, mtume akamwambia na mimi nani wew ni mtume wa Allah, vipi ninyi mnao pinga sifa za Allah, ni itikadi mbovu sana na batwili, kuwa Allah yupo kila sehemu subuhana llah, mtume wetu swala 5 alipaizwa mbinguni alipo mola wake na jibrili alimsindikiza mpk mbinguni ninyi, wakaidi wa sifa za allah.masufi kundi potovu xana itikadi zenu za kupinga pinga tuuh.mjuwalo ninyi kuimba na kucheza ngoma so mambo ya tahweed kumjuwa mola wenu

  • @shabansaid2323
    @shabansaid2323 Месяц назад

    Kamaliza utata au ameongeza utata???

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Месяц назад +1

    TAUHID 3 NI UOZA KATIKA DINI TAUHID 3 NI UYAHUD NA UNASWARA

    • @MuhsinAbdalla-q6f
      @MuhsinAbdalla-q6f Месяц назад

      Duuuh nenda ukapimwe akili

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Месяц назад

      Kivipi hebu tuambie
      Wap umeskia tauhid 3 mana ake miungu wa 3
      Punguza uchizi uo kaa chini soma acha upuuzi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 Месяц назад

      ​​​​​@@hafidhsalum-jp2mw Pole kwa kuwa haujafahamu makusudio ya vigawanyo vitatu vya tauheed, haimaanishi mungu watatu, bali ni tauheed yako iwe kamili mpaka umpwekeshe Allah katika mambo matatu:
      1. Umpwekeshe Allah kuwa peke yake ndie mlezi(tauheed rubuubiya)
      2. Umpwekeshe Allah kuwa peke yake astahiki kuabudiwa(tauheed uluuhiya)
      3. Umpwekeshe Allah kwa sifa zake na majina yake mazuri(tauheed al asmaai waswifaati).
      Kigawanyo cha kwanza cha tauheed ambacho ni tauheed rubuubiya hata makafiri wako nacho, kafiri yoyote ukimuuliza ni nani anakupa rizki au aliumba mbingu na ardhi atakuambia ni Allah, lakini kukubali kwao katika kigawanyo kimoja cha tauheed hakitawaokoa na adhabu ya moto mpaka wakubali vigawanyo vyote vitatu.

    • @AbuuMulhat
      @AbuuMulhat Месяц назад

      Mh!!! Sio kosa lako wazazi wako ndo walikosea kuto kukufundisha dini ukawa nauoni wa dini yako, ikiwa hunaupeo wa wa elimu ya dini kaa kimya

    • @AbuuMulhat
      @AbuuMulhat Месяц назад

      Manaswara wanakusudia myungu watatu je umeambiwa tauhidi nimyungu watatu???

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 Месяц назад

    Allaah yuko mbinguni juu ya arshi yake, quruan yote ukisoma hakuna aya inayo sema Allaah yuko kila mahali

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад +1

      Mm najua Allah yupo kila mahala kwa utukufu, uwezo, mamlaka , maamuzi, usimamizi na udhibiti wa kila kitu. Nyny mnadai Allah yupo mbinguni mki mnasibisha na maumbile yupo yeye kimaumbile km msemavyo ana mikono na mdomo eti Kwa vile anasema. Mna ufahamu mbovu sana, Yani , aya ikisema ''Allah anaona na kuskia Kila kitu'' ndio mnasema ana macho na maskio. Yan mna mnasbisha na viungo? '' eti utaskia sheikh linsema Allah ana mokono na miguu lkn sio kma yetu'' hata tembo ana miguu lkn sio kam a yet acheni kumnasibisha Allah na viungo... Eti yupo mbiguni, haya kabla ya mbinguni alikuepo wapi? Kabla ya Kila kitu alikuepo wapi? Allah hafananishwi na chochote.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад +2

      Toa ufafanunuzi , yupo juu ya kiumbe chake? Maana arshi kaumba yy na ni kiumbe chake.. Allah hategemei chcht

    • @YussufOthman-wj3lu
      @YussufOthman-wj3lu Месяц назад

      ​@@HemedSerious
      Kwa hiyo Quran ikitaja allah ana mkono sisi tuseme nini??
      Kwa hiyo tuipinge Quran??
      Au tuitafsir kama unavyotaka ww?

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg Месяц назад

      Acha kuisingizia qur an 7wongi hakuna Aya inayosema mungu Yuko juu ya arshi wala mbingu ufahamu wako wakimwehu

    • @YussufOthman-wj3lu
      @YussufOthman-wj3lu Месяц назад

      @@SaidiMohamed-bj2wg elezea ulivyofahamu ww na utajo waliokutangulia na huo ufahamu wako.
      Maana mnachojua ni matusi na sio maneno ya hekma
      Ajabu ilioje ya anaezungumzia dini kisha akatokwa na maneno ya ovyo

  • @hajiameir3832
    @hajiameir3832 Месяц назад

    Ndio she ndo mwamsikia huyo

  • @commandokhalidi5284
    @commandokhalidi5284 Месяц назад

    Ivi mawahabi wapi mnakwama?😅

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 Месяц назад

    Bidaa kama bidaa Zingine tu ima shirk

  • @Rabbihdini
    @Rabbihdini Месяц назад

    Huyu kamaliza utata ama ameongeza utata

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 Месяц назад

    Waislamu wa Tanzania tuna kasumba ya kuwa thamini mno waarabu hata akija na elimu yake ndogo sisi tunaona raha tu. Akisema kidogo tayari sifa tele kuwa anajuwa. Hili nie tatizo matokeo yake tunapondana wenyewe kwa wenyewe hatimaye tunaondoka katika musingi ya Mola wetu. Tangazeni kutafuta watu wenye elimu tujitokeze. Tazama huyu Sheikh anacho zungumza ni kile kile masheikh Wetu hapa huzungu vizuri , lakini kwa sababu ni mwarabu ameonekana vema sana. Watanzania tubadirike. Kwa mujibu wa takwimu za utiifu ndani ya dini Tanzania tunaongioza tunasumbuliwa na umimi yaani ubinasi tu. Wa hadha asalamu a.kum.

    • @MuhsinAbdalla-q6f
      @MuhsinAbdalla-q6f Месяц назад +1

      Ni kama humfahamu uyu sheikh alie toa hii khutba.... bora unyamaze

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Месяц назад +1

      Acha roho mbaya na choyo mzee
      Hiyo dini imeshuka kwao kwanza ndio ikafika kwetu uswahilini kwaio apo tu inaonesha kua wao wamepewa kipao mbele mana aya zimeshuka kwa lugha zao

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад

      Sio hivyo tu hata wakifunga tunawafata

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад

      Sio hivyo tu hata wakifunga tunawafata

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 Месяц назад

      @MuhsinAbdalla-q6f sasa kigeni kipi labda kigeni yeye ni mwarabu, lakini hapa wapo wazuri zaidi japo hawajiamini.

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn Месяц назад +2

    MASUFI UFAHAMU WAO NI MBOVU

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад +1

      @@HashimSalim-qj7zn Tabia zakuiga mayahudi ndo hizo,Utatu mtakatifu unaletwa kwenye dini!

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      @@HashimSalim-qj7zn MAWAHABI ufaham wao ndo mbovu,Ndo maana wamezusha TAWHID 3.

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 Месяц назад

      Kama kuukataa utatu wa manasara ndo ufahamu mbovu nabaki nao

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn Месяц назад

      @musakibwana4596 Pole yako Allah akuongoe

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 Месяц назад

      @@HashimSalim-qj7zn Kama ambae wewe ni katika kumi walo bashiriwa pepo, masikini jidogoshe atakae tuhukumu ni mola babu usijipe uhakika. Sote twalilia rahma zake na sio matendo yetu yatakayo tuepusha na adhabau zake....

  • @Kassim-li4mv
    @Kassim-li4mv Месяц назад

    Wacheni zenu

  • @darajanida
    @darajanida Месяц назад

    naamu maalim mwenyezimungu yupo bila ya mahali

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s Месяц назад +1

      Bro. Hamna yeyote ktk ulamaa waki shia. Sufi. Bohora. Makadiani.mahizbi.maibadhi.mpaka mayaudi.na makufar wengine ana aya swarih tena ya wazi inayo vunja msimamo wa qurani yakwamba Allahu azzawajallah yuko juu ya arshi yake swali kwani juu ni sehemu au sio sehemu??? Usituambie Allah yuko pasina sehemu bila dalili.bro leta hoja yakielimu wafaa kusema Allah yupo sehemu pasina kuitajia sehemu bali sehemu ndio yamuitajia hapo maneno yako ktk mustawa wake sio kutuambia Allah yupo pasina sehemu!!! Masalafi hatukuelewi

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s Месяц назад

      @@darajanida hio sio aya bali nima dai tu yama sufi nama shia yakudai Allah yupo pasina sehemu hawana aya wala hadith.nandio mmeshindwa vunja hoja zama salafi hao wana dalili ya aya na hadithi tena mutawatir kwamba Allah yuko juu hadith ya jaria..pamoja na aya nyingi hii yenu hayupo sehemu mmetoa wapi??

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@IsmailGavara-r5s mtume s.a.w. anasema alikuwepo mwenyezimungu na hapakuwa na chochote kisicho kuwa yeye mepokea imamu bukhar na imamu baihaki

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@IsmailGavara-r5syani wewe ni jahih hadithi jaria unasema ni hedithi mutawatir kivip emu tueleweshe mimi namini hadithi jaria huijuwi mpaka kusema ni hadithi mutawatir ni waz hiyo hadith huijt-wi au hujuwi istwalahat za hadithi

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s Месяц назад

      @darajanida kweli kabisa Allah niwa azzal kabla ya chochote alikueko wala sidhani kama kuna mtu wakupinga hilo bro ktk masalafi hamna.. tunacho pinga ni eti Allah yupi pasina sehemu hio wamaanisha kwa njia yamkato Allah hayupo na hio ndio madai hewa hayaja jengwa juu ya misingi ya kielimu sisi qurani yatuambia yupo Allah tena juu ya arshi vunjeni hii hoja kielimu mbona tu madai...

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande Месяц назад

    Mawahabi ni khatari maulidi wanasema bidaaa kwakua hakuna mtume alipozungumzia maulidi lakini kwa masikitiko wao wanagawa tauhidi tatu hakuna mtume alipogawa ila ni aya za kuuuungaunga tyu lengo wawatie waiislamu wenzao katika ukafili

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      Yan unaita aya za Allah zakuunga unga mbuzi wewe unajihurumia lkn ww ivi ndani ya Qur an kuna aya zakuunga unga au ufaham wako ndo finyu wakuunga unga استغفر الله من كلامك الخبيث لقد قلت بهتان و إثما عظيما

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er Месяц назад

      Huu sio mwenengo wa dini yetu ya kiislam akhui, ikiwa unaona kakosea mkosoe kwa maneno mazuri ya kumfahamisha, kutukana kwa kumuita majina, ambayo hata ukiiwa wewe ni kosa na utakereka​@@abdulkarimabdallah9536

    • @LushweKuandika-lm9zc
      @LushweKuandika-lm9zc Месяц назад

      Tukisema masufi kila siku wanakufuru wanakua wakali, hivi katika Qur'an kuna aya za kuunga Unga kweli?
      Au unamaanisha nn ndug yeng muongope Allah kama huelewi bora ukae kimya sio dhambi

    • @IbrahimHassan-tu9lg
      @IbrahimHassan-tu9lg Месяц назад

      Dini ya Allah ipo bayana kabisa ukitaka kuijua vizur acha ushabiki kaa chini usome

    • @LushweKuandika-lm9zc
      @LushweKuandika-lm9zc Месяц назад

      @IbrahimHassan-tu9lg elimu ni ufunguo wa maisha kwani hili watu walikua wanaimba tu hawaelewi

  • @abuuuyaynah8801
    @abuuuyaynah8801 Месяц назад

    Usalafi ndani ya ngome ya maibadhi allah awaongeze kwenye manhaj salaf

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      اللهم آمين يارب العالمين

    • @idrisamara6510
      @idrisamara6510 Месяц назад

      Hivi hapo anapoongea huyu shaikh ni kwenye msikiti wa Ibadhi?

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      @@idrisamara6510 ndio

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Месяц назад

      ​​@@idrisamara6510ndio nimeshangaa kwann maibadhi wamempa fursa sheikh wa kisalafi hali ya kuwa wanajua watapigwa vibaya kuhusu tawhidi

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Месяц назад

    Hata kama huyo sheikhe kasema kuna tauhid tatu, hakuna ushahid kutoka kwa mtume wala swahaba na huyo sheikh si swahaba ni kama masheikh wengine wananukuu tu kutoka kwa masheikh wengine, na wahabi wote duniani hata awe sheikhe shekhena itikadi yao ni moja ya utatu, utatu ni mila na itikadi za mayahud na manaswara za mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu, Tauhid tatu ni katika bidaa bidaa kubwa zilizopinda na hakuna sheikhe wala sheha atakae leta ushahid kutoka katika Quraan au hadithi ya mtume kuwa kuna hata mtume mmoja alifundisha tauhid 3 hizi ni porojo tu za kuwakufurisha waislam na mawahabi wengi ilimu yao ni finyu

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Месяц назад

      Ubongo ukichanganyika na mavi ya ng'ombe matokeo yake ndio kma hivi

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm Месяц назад

      Mm ni salafy nakuuliza kwanini unatukana allah anakataza msitukanane toa ufaham wako usimtukane mtu kwa comment nitabiya mbaya tunayo yasema na kutenda yanaandikwa na malaika namuomva allah anisamehe mm na wewe ❤❤❤❤❤❤

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b Месяц назад

    hawa wanao kataa tauheed 3 bado ni wale wale makhurafi tu,ili ety mbona mawahabi mwapinga maulidi so kuping kwao tauheed tatu nakama wanalipiza kisasa,so utakuta wapo katika ushabiki wsl hwakusudii kuikubali haki.

    • @ArabiMuchande
      @ArabiMuchande Месяц назад

      Sasa mawahabi mnashangaza maulidi mnataka aya ya wazi ila tauhidi mnatumia aya za kuuuungaunga mna khiyana katika dini

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 Месяц назад

    HAKUNA CHA TAUHIDI TATU WALA NINI!!
    TAUHIDI NI MOJA TU, NA NDIO MAANA IMEITWA TAUHIDI.

    • @MudathirMohammed-e2f
      @MudathirMohammed-e2f Месяц назад

      Uyu sheikh umemuelewa lakin

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 Месяц назад

      @@MudathirMohammed-e2f huyo sio hoja

    • @nassor6333
      @nassor6333 Месяц назад

      Kwani kitabu chenu cha Tawheed nyinyi masufi kinaitwaje?

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo Месяц назад

    Uzushi usiokuwa na kifani miongoni mwake ndio kama huo

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Месяц назад +1

    Tawuhidi Tatu bidaa

    • @AbubakarAlly-th6op
      @AbubakarAlly-th6op Месяц назад

      Kila asiekua na akiri timamu ndio anasema hivyo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад +1

      ​@@AbubakarAlly-th6opWacheni uyahudi,Hakunaga tawhid 3.

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Месяц назад +1

      Mtume hajazifundisha😂😂

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Месяц назад +1

    Hakuna hadithi yatauhid Tatu

    • @wardinizuri
      @wardinizuri Месяц назад +1

      Sio hadithi tu... ukitaka aya tunakupa.
      سورة مريم 65

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@wardinizuri hiyo aya maswahaba hawakuiyona wapiwamegawa

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty Месяц назад

      ​@@darajanida
      Ndo walijua kuitekeleza jinsi ilivyo. Ikiwa na vigawanyo vyote.

    • @aooshosho4255
      @aooshosho4255 Месяц назад

      ​Sikio lafa kufa halisikii Sawa.

    • @aooshosho4255
      @aooshosho4255 Месяц назад

      Halisikii dawa

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Месяц назад

    TATIZO LA MASUFI HUWA NI KUBISHANA PASINA HOJA,WAMEKUWA KAMA WANASIASA TU

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Месяц назад

      Wewe leta Hoja Kuwa Twahidi Mtume Kaisema Au Qur Aan Au Swahaba Hapo Tutajua Masufi Hawana Hoja

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад

      Wanajua wanachokifanya,
      Hao ni Washirikina, vigawanyo vitatu vya Tawheed vinawaingiza kwenye kufuru na kuwatoa kwenye uislamu

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад

      @@hafidhseif1686
      Hoja hii mngeitumia kwenye mabidaa yenu ya maulid, mazishi, hitma nk mngefanikiwa sana kuacha bidaa

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 Месяц назад

    Nyie ofisi ya mufty hamueleweki mnawakaribisha mawahabi wanaleta itikadi chafu bwana

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Месяц назад +2

    Sisi tunakataa kwa sababu kila siku katika maulid mwataka hadith namukpewa hadith na Aya hamuzitaki

    • @wardinizuri
      @wardinizuri Месяц назад +2

      Shida ni kuwa maulidi hayamo hata kwa bahati mbaya kwenye Quran wala hadithi.
      Tauhid kwa aina zote tatu zimo kwenye Quran.
      سورة مريم 65

    • @habibuchakusaga7981
      @habibuchakusaga7981 Месяц назад +2

      Uelewa wa baadh ya masufi umepinda sana ndio shida

    • @muhammadhariz1100
      @muhammadhariz1100 Месяц назад +4

      Shida masufi waliiyadha billahi kama wakristo hawataki kuelewa

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@wardinizuri wapi mtume kagawa wapi aya imegawa

    • @wardinizuri
      @wardinizuri Месяц назад +1

      @@darajanida wewe kipofu?
      Nishwambia aya ni hio na sura nimekutajia, bado unauliza wapi Allah kagawa?
      Au hujui Quran wewe?

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 Месяц назад

    Sasa ikiwa mwanachuoni ametoka Saudia eti kwa kusema amemaliza utata wa vigawanyo vya Tauhid haijakuwa kuwa Tauhid ina vigawanyo vitatu huyo mwanachuoni ni hao hao wakiwahabi alete Dalili kutoka kwa Mtume SAW ndie aloteremshiwa Quran na akatufafanuliya haya ni mas'ala ya Akida hatutaki ufafanuzi wa wanazuoni wa kiwahabi. Yaani hivi hao wanazuoni wanajuwa zaidi ya Mtume SAW kuwa hizo Aya ziko na Taqsimu Tauhid vigawanyo vitatu?

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      Hahahhaahahhha
      Subir mfungo 6 ule ubwa bwa unenepeane kuhusu mas ala ya tauhidi achana nayo hakuna unachokielewa
      Mlafi wewe ushafaham😅😅😅😅

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @abdulkarimabdallah9536 kula ubwa ubwa ipo ktk Ambri ya QURAN

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@abdulkarimabdallah9536 wewe ndio hujui kitu hujielewi hao mashekhe zenu si huwa wanasema wapi Mtume SAW amefanya Maulid hawataki kauli za wanazuoni,ndio pale na sisi twauliza wapi Mtume SAW aligawanya Tauhid Tatu pia hatutaki kauli za wanazuoni

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@abdulkarimabdallah9536 kila siku Maulid Bid'aa Mtume SAW hakufanya,haya nayo Taqsimu Tauhid Mtume SAW wapi aligawanya tena ukumbuke Tauhid ni mas'ala ya Akida

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@abdulkarimabdallah9536 أما القسطلاني ( ت923ھ)، (شارح صحيح البخاري) فيقول: "ولا زال أهل الإسلام يحتفلون بشهر مولده عليه السلام، ويعملون الولائم، ويتصدقون في لياليه بأنواع الصدقات، ويظهرون السرور، ويزيدون في المبرات، ويعتنون بقراءة مولده الكريم، ويظهر عليهم من بركاته كل فضل عميم. ومما جُرِّب من خواصه أنه أمان في ذلك العام، وبشرى عاجلة بنيل البغية والمرام، فرحم الله امرءا اتخذ ليالي شهر مولده المبارك أعيادا...".

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Месяц назад

    Waislamu wanautatu nao😂😂😂😂😂😂😂

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Месяц назад +1

      Ujinga unakuandama.
      Kwani Tawheed ni jina la ALLAH?
      Yaani kumpwekesha ALLAH ni kumfanya utatu?

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Месяц назад

      Waislam wa wp hao
      Em tuache kdg

    • @amaroo1220
      @amaroo1220 Месяц назад

      Fuata lako, kaolewe na pasta mume mwenzio. Ninyi yenu yamekwisha kitambo mbona.

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Месяц назад +1

    Alla hayuko mbinguni alla yko kilamahali suratul mujaadila Aya 7

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Месяц назад

      Mpaka chooni hongera mzee kwa ufahamu wako Mzur

    • @wardinizuri
      @wardinizuri Месяц назад +2

      Eeee... kwa ufahamu huo manake Allah yupo mpaka baa na wazinifu huko

    • @habibuchakusaga7981
      @habibuchakusaga7981 Месяц назад +3

      Huo niulewa mbov mno Aya nyingi zinathibitisha Allah Yuko juu

    • @ابومعاذاحمدناصر
      @ابومعاذاحمدناصر Месяц назад +2

      Kasome uko

    • @عثمانصديق-ظ4ظ
      @عثمانصديق-ظ4ظ Месяц назад +2

      Je yupo kweny fuko la uzazi la ngombe ,je yupo mpaka kweny sanamu la Bikira Maria!?
      تعالى الله عما يقولون علوا كبيرا

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga Месяц назад

    Hizo nimila zakiyahudi,Hakuna tawhid tatu katika uislaam.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      Din umeisom wapi ukosefu wa maarifa nd tatizo

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Месяц назад

      ​@@AmourAmour-ux3nm we lete aya😮

    • @SheikhYussuf-iv6lo
      @SheikhYussuf-iv6lo Месяц назад

      Kasome tena wacha kukariri km kasuku soma ndugu ndio utajua acha kua mjinga

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      @SheikhYussuf-iv6lo Utatu mtakatifu Mtume haujui ni uzushi uliopitilza kuwasaidia mayahudi

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      @@darajanida angalia ujinga wako Yaaan ikiw ktk ibada inakuwa Hasana nakujib hakuna aya wala hadithi iliyokuj imetaya taqswiim swariih ila ni instibaatw walioifany wanawazuoni kupitia aya za Allah na hadithi ukapatikn mkusanyiko wa tauhiid rubuubiyyah, tauhiid uluuhiyya na Tauhiid asmaai waswifaaat.....pinga Katk hayo matatu hakuna Katk Qur-an