SHARIFU FIRDAUSI APEWA LAANA NZITO UWONGO WAKE HU APA ANAFUKIA VITU NI FEKI TAPELI ASHIKE QUR AN LIV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024
  • Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante

Комментарии • 160

  • @anwardamnan3616
    @anwardamnan3616 9 часов назад +7

    Barakah Allahu fikum.batil itaonekana na hakki itaonekana.Alllah awalipe kheri.mashallah

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 4 часа назад +3

    Wallah mimi namshukuru Allah kunijaalia kufahamu haki na batili kitendo cha kuanza kutoa vitu na kuwanywesha maji watu nilishajua ni uganga huo sio uislamu

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 4 часа назад +4

    Allah awalipe kila la kheri enyi ndugu zetu mnaowatahadharisha watu na matapeli wale

  • @RamaJabu-x7g
    @RamaJabu-x7g 6 часов назад +5

    Allah akulipe sheikh wet hawa jamaa wamedhalilisha sana wake zet

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi 5 часов назад +4

    Kwa wote wanaoendelea kukemea na maovu ya kijana yule, tunamwomba Allah Subhana Wata'ala Azidi kuwapa Istiqama na Hifadha

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 часов назад +5

    Allahubakibarr. Yule mtoto anamakubwa Amuogopi Mungu kujiaminisha Dunianzima kujifanya mganga mtabibu na muongo daaa sijuiatqjibu nn kwa Allah

  • @ABUBAKARNDIKUMANA
    @ABUBAKARNDIKUMANA 11 часов назад +5

    Allah akuifadhini na haqi ibaki kuwa haqi bakwata ni mkusanyiko wa watu wa bida ndiomana sio kazi yao kikomesha uzushi

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 9 часов назад +4

    Mashaallah shekh msema kweli kipenzi cha Allah

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide Час назад

    Dah Alhamdulillah mungu atusaidie na tushikamane ktk dini yetu yakislam 🤲na tupendane kwa ajili ya Allah ❤,na atuepushe na washirikina na matapeli km hao 😢😢 tujalie mwisho mwema ya rabby kiama chako kisiwe nakutuzalilisha waislam 🤲🫀

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 часа назад

    Namshukuru sana mwenyezi mungu na pamoja na shekh kishki mungu akulipe kila la heli nusu nami nikatapeliwe kwa mazito nilonayo

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 5 часов назад +4

    Sheikh kishki Allah akupe mrefuuu
    Hakika wewe ndio sababu ya haya maovu kuyaibua

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 часов назад +2

    Maashaallah kaka kwakujitokeza kusema ukweli ww ushajitoa dhima mbele ya Allah. Atakaeenda atajuana na molawake. Ushilikina nizambi kubwa

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 2 часа назад +1

    Allah awalipe mema munaojitahid kutetea uislamu,,mambo kama haya ya masharif fek jua na joto kwann lisiwe kari😢😢😢

  • @sheikhidrisa9793
    @sheikhidrisa9793 5 часов назад +3

    Asante sana alhabibi

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 8 часов назад +5

    Huyu sheikh anazungumza vizuur saana.

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 3 часа назад +2

    Ni amuhongo sana anatumia mpka wasanii kina mkojani wasiojua aqiidah ili ajitangaze

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 5 часов назад +3

    Kama hukumuelwa sheikh Kishk kwa kujitia uziwi tu bure bure na huyu pia hujamuelewa bhasi Tunakunasihi rejea kwa Allah, yawezekana una kibri tu, Allah awahifadhi masheikh wetu hawa wanaoibainisha khaki! Na wakaikemea batwil, AllahumaAmiyn

  • @SuolFat
    @SuolFat 9 часов назад +4

    Allah awalipe pepo ya darja ya juu kutokana na kutuambia ukweli

  • @engshiwamushi952
    @engshiwamushi952 3 часа назад +1

    Hamna Shekhe pale...mganga wa kienyeji yule

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 6 часов назад +3

    Uislamu wetu hauna huo ujinga, mzuien huyo sharifu feki

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 4 часа назад +2

    Mwizi tu Wala Hana dini Wala Hana elimu ya dini kijiita sharifu mazuzu ndo anawaibua

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q Час назад

    SHEKH UMESEMA KWELI NA WENGI WA BAADH YA MASHEKHE WAOGA KUONGEA UKWELI WANAZIBWA MIDOMO NA NJAA ZA DUNIA WANAMTETEA KWA MASLAHI YA TUMBO ,TUMUOGOPE ALLAH

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa 10 часов назад +8

    BAKWATA KIMYAA BAKWATA NIKAMA WAKATOLIK2

    • @OmQrf
      @OmQrf 7 часов назад

      Kweli bakwata kimyaa mim nilikuwa siamini ivyovitu vinatengenezwa atubie kwa mungu wake firdaus mtt wew haya

    • @AbdullghanimMussa
      @AbdullghanimMussa 6 часов назад

      😂😂😂😂 watukusakunya wenye, eee😅

    • @jumakumala1337
      @jumakumala1337 4 часа назад

      BAKWATA ni Cham cha maslai yao na matumbu yao nakupikea misada kutoka IRAQ kwa mashia , kwa jambo hilo la shariff feki hawawezi mponda mn wanalipwa na shariff feki

    • @masterjay6279
      @masterjay6279 Час назад

      ndo umejua leo

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 5 часов назад +2

    Yule ni mganga wa kienyeji tapel tuu

  • @JumaMwanga-xd9gy
    @JumaMwanga-xd9gy 5 часов назад +1

    Saw saty nassoro

  • @SalehM200
    @SalehM200 2 часа назад +1

    Kwanini ma Sheikh nyote msiyafikishe haya mashtaka kwa His Eminence Mufti Sheikh Abubakr Zubeir, kuliko kila mara mnazungumza to kwa Media.

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 10 часов назад +2

    Subuana alha maneno ya alha mazito jamani tubadilike

  • @anwarabdallah7095
    @anwarabdallah7095 3 часа назад +1

    Madah mzito saaana

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 5 часов назад +1

    Ma sha allah

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 5 часов назад +1

    Matapeli wale shekh umefanya sawa na usichoke waoneshe ukweli umma ufahamu ukweli

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 часа назад +2

    Yule mwizi firdaus mwalimu wake ni mazinge.
    Njaa mbaya sana😢

  • @king_agogo1871
    @king_agogo1871 7 часов назад +1

    ان الذين يكتمون ما انزل الله من الكتاب ويشترون به ثمنا قليلا اولئك مايأكلون في بطونهم الا النار

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 4 часа назад +1

    sasa mazinge ameji maliza hivo Kama sule

  • @AbdulBakari-i4u
    @AbdulBakari-i4u 6 часов назад +1

    Wapo wengi tu wanatumia dini kutapeli watu tena wamejipatia umaarufu sana nimatapeli na wanafuatwa na wengi

  • @halimamohammed3580
    @halimamohammed3580 6 часов назад +1

    Kishki alisema watadhaliliki mpaka hao machawa wao haya sasa yameanza kujutokeza

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi 5 часов назад +1

    AlhamduliLLahi Rabbil Aalameen uongo na muovu ya huyu kijana anayejaribu kutia aibu uisilamu umefichuka!
    Jamani, BAKWATA iko wapi? Kwa nini BAKWATA hawajitokezi wazi wazi kukemea uovu huu wa huyu kijana tapeli?

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 10 часов назад +2

    Nikweli wanafukia vitu usiku nihakika Hana usharifu

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 5 часов назад

    Bismillah

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 5 часов назад +1

    Hakuna mtu au watu wanapigana hapo ila watu wanarekebishana tabia hizo ziwachwe

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 10 часов назад +2

    Huyu jamaa anasema katumwa na mungu jee alikutana na jibrili nimuongo tapeli kibaka Shetani wa kibinadam

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 11 часов назад +2

    Yule jamaa ni kweli kabisa anatapeli watu Kwa ajili ya kutafuta pesa inafaa azuwiwe haraka sana, anafuata mfumo wa kikristo vilevile wanavyotapeli.

  • @ShabaniNzowa
    @ShabaniNzowa 5 часов назад +1

    ETI SHEKH WALIDI ANAKWAMBIA TUTAKE TUSITAKE YULENISHARIFU😢😢 NAPIA SHEKH MZIWANDA ALIKUWEPO NAE AKATUNZAPESA AKIASHIRIA KUWA AMEFURAHISHWA NAHILOJAMBO ALILOONGEA SHEKH WALIDI 😢😢 MIMIMPAKA SASA SIAMINI KAMA YULE NIWALIDI NAMZIWANDA KWELI WALIFANYA MAMBOYALE???

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 часа назад

      Ndomana tunaambiwa tusiwasikilize watu wa bidaa ,matokeo ndo haya,wanaunga mkono uganga wa kishirikina , wote njaaa tu hzo

  • @bakalikunambi
    @bakalikunambi 6 часов назад +1

    Juzi walikuwa wanapiga taarabu kwenye kituo chao 😅😅

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 6 часов назад +2

    Uislamu umekamilika mtu alikosea anashonwa hadharani sio wakristo mpaka waumini wanachomwa moto 🔥 au kuibiwa pesa kama yule mkongo

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 часа назад

    Naomba selikali yetu iwafungie hawa matapeli usikute ni mkimbizi hatawasalama aitamka swalama

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 5 часов назад

    من أدوية هذا الداء: إذا أردت أن تذكر عيوبَ صاحبك، فاذكر عيوبك. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «يا معشرَ مَن آمَنَ بلسانه ولم يدخُلِ الإيمان قلبه، لا تغتابوا المسلمين، ولا تتبعوا عوراتهم؛ فإنه من تتبع عورة أخيه المسلم، تتبع الله عورته، ومن تتبع الله عورته، يفضحه ولو في جوف بيته»؛ (صحيح).Aug 25, 2023

    • @MohammedAli-tz1re
      @MohammedAli-tz1re 2 часа назад

      اخي الكريم ليس الا مر كما تفكر
      بل هو تصحيح و نصاحة له
      والدليل على هذا قوله صلى الله عليه وسلم .. الدين النصيحة
      وقوله صلى الله عليه وسلم
      من رأى منكم منكرا فاليغيره بيده فان لم تستطع فبلسانه وان لم يستطع فبقلبه وذلك اضعف الايمان

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 5 часов назад +1

    Hata mukisema aitwe ndio munafikiria atawacha na ameonja asali pesa hawezi tena mbishi mshindani mwenye akili ndogo sana wala hatokubali kabisa

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 часа назад

    Huyo kijana mganga anataka kuuharibu uislam.....mkemeeni na kumwondoa kwenye dini hadi afanye toba kwa mola wake

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 11 часов назад +4

    Sasa bakwata mko wapi kwa nn hamuwanasibu wakina sharifu fake wanatapeli watu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 часов назад +1

    Yule hata Quruan kuisoma. Hajui kaletewa msahafu wa kalam kutoka. OMAN. ndiyo anajifunza sasa. Mtihani kweli

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 часа назад

    Walaniwe hao wanaokula pesa za wa mama wachoma mandazi na vitumbua pesa wanacha kulisha watoto wana wapa matapeli

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 10 часов назад +2

    Ndo anaelekezwa hivo ili aache uwongo wake na ushirikina wake

  • @SaidAbdallah-b1s
    @SaidAbdallah-b1s Час назад

    Huyo titaperi mshirina inatakiwa achukuliwe hatuwa yakisheria anadhalilisha dini yetu anadhalilisha uisilam

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 9 часов назад +1

    Firdaws ni tapeli kama matapeli wengine tu

  • @jamillahaidha8184
    @jamillahaidha8184 5 часов назад +1

    Huyu sheikh nani?

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 часа назад +2

      Anaitwa nassor anapatikana markaz ya tabligh ilala mchikichini

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 4 часа назад

    HAYA SASA WALIDI,MAZINGE,MAULANA,NA WOOTE, MNAOMNADI HUYU MGANGA WA TIBA ZA SHIRKI,TWAMBIENI SHARIFU FIRDAUSI NI MWEKWELI AU ANAZINGIZIWA URINGO NJOONI MTUTHIBITISHIE

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 3 часа назад

    Na ndio mana ana mabaunza sbb anajua n muhongo aniwekea ngome ili azike vitu vyake

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 2 часа назад

    Nimesema huyu mtu amechanganya Dini na mambo yke yakishirikina akijificha ktk swala ya mtumi saw

  • @RmoShamte-h9f
    @RmoShamte-h9f 11 часов назад +2

    bakwata wapo kwa ajili ya kuandama kwa mfungo wa ramadhani tu mbona uyu sharifu feki achukuliwi atua

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 часа назад

      Hahahah subirini mwezi kutangaziwa haya mengine hayana umuhimu kwao😂

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 9 часов назад +4

    Wee mtu ana mapete kilo 10 mikononi mpk naogp

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 2 часа назад

    Waislamu waamke na kuungana kukemea hya ayafanyao hyu kijana ajiitae shekh sharif.na baadhi ya mashekhe wamelifumbia macho swali hil8 kwa pesa anazotumia huyu shekh kuwarubuni baadhi yko ili wamuunge mkono

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 5 часов назад

    If you mention your friend’s faults, mention your own faults. The Messenger of Allah, may Allah bless him and grant him peace, said: “O you who have believed with your tongues but faith has not yet entered your hearts, do not backbite Muslims and do not pursue their faults. For whoever pursues the faults of his Muslim brother, Allah will pursue his faults, and whoever Allah pursues his faults, He will disgrace him even in the interior of his home.” (Sahih)

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 4 часа назад

      Wee mm nakuandikia kiswahili kwani ametajwa mabaya yake au tunaongelea kuhusu anacho kifanya ni kinyume na dini hapasengenywi mtu anambiwa ameambiwa na hasikii abembelezwe kama nani kwa nn achwe apoteze watu mtu mmoja achwe anacho kifanya sicho tutaongea na tunaongea kamq waona ana sengenywa kamwambie huna hata haya kuambiwa ukweli ni kusengenywa kusengywa angeletwa katika camera na ametatjwa na jina fungukq akili kilq mtu ni masuhulia siku ya mwisho ukiona ujinga we acha kimbuka uko na malikq wawili watembea nao walala nao wandika na utaenda yaona lazima ambiwe aache kama anataka kuwa mganga awe mganga asitie dini ndani kwani kuna waganga wangapi mbona hawasemwi asemwe yy tu acha unafiki sio vizuri ombea mwenzio mazuri abadilike

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 10 часов назад +1

    Bakwata hawawezi kuchukuwa hatuwa kwa huyu kwa sababu kwenye bakwata washirikina kama hawa wamo nani atamuhukumu mwenzake

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 4 часа назад

    Huyo ni manyaunyau

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 Час назад

    Shida yenu madhehe wote wachawi na waganga wa vienyeji.

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 Час назад

    Huyo firdaus alifatwa na watu wa sheikh kishki kumpa nasaha kuhusu tiba yake ambayo haifuati sunna ya Mtume lakin akapinga sasa bora kumradi mtandalni uenda ataacha

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 4 часа назад +1

    MashaAllah ILa masheikh Dunia ya sahizi na watu wa sahizi mpaka uoneshe ushahidi kwa video ndio mtu ataamini wenye kuwapa ni wengi hivo viapo viko vingi .... Ila Kila jambo oneshee Ili watu waamini zaidi

  • @HusseinNasibu-q4u
    @HusseinNasibu-q4u 20 минут назад

    Acheni unafiki navilemba vyenu

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 5 часов назад

    Lazima akanywe kila mahali uislamu haikuja kisiri siri ilikuja wazi lazima akosolewe kila mahali anafanya adharani nayeye lazima atolewe adharani

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 5 часов назад

    Ifike mahali uovu uondolewe kwa Mkono,

  • @AmoIslamicTv
    @AmoIslamicTv 4 часа назад

    Yule sio tapeli tuu yule ni Chizi na genge lakee

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 10 часов назад +1

    Mm nilijua kile shee ni mkanga tu Kisha ushirikina wanaona mtu anashika msaafu anaapa waona ni kitu Cha mzaa .... Allah awe pamoja nanyi masheik zetu .....ila mweteni mumpee nasaha nzuri ile yake njaa tupu ndio anafanya mambo ya utapeli ..... Allah atusamee sote Allah humma ameen🤲

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 часа назад

    Hataki kuowa anasema kuwa ataowa akiwa mislas 70 ? Au ndio masharti aliyopewa?

  • @HusseinNasibu-q4u
    @HusseinNasibu-q4u 20 минут назад

    Loho mbaya tu nauwaswali wenu

  • @phinaowity
    @phinaowity 59 минут назад

    Hawa wote wanavilinge vyao

  • @HamisiFakhi-mx4tb
    @HamisiFakhi-mx4tb 4 часа назад

    Kama ulimuona akiweka kwani usimkataze au wengelitangaza sikiya pili

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 4 часа назад

    Namuombea mazinge kila iitwayo leo amin amin amin

  • @ziongate5464
    @ziongate5464 4 часа назад

    Nchi yetu inaeleweka hana cha Sheikh hapo wala maamuma. Leo utapo ambiwa utoe ushahidi mbele ya jamii huoni kama utawekwa hatiani. Unapo ona jambo alilo fanya ulishindwa kuchukua ushadi wa video ili usibitishie jamii. Tunaelewa vita mnazo mtangazia Sheikh firdaws bado atazidi kuumisha nyoo zenu. Inaonekana amechukua nyota zote, wateja wote na kuwa Kijana maarufu na yote hao majungu tuu

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 8 часов назад

    Kwanza Firdaus ni mchonganishi anakazi ya kuwaambia watu ni wachawi watotot na watu wazima anapofanya hivyo mtaaani hao waioambiwa hivyo anafikiri wataishi vipi na jamii

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd Час назад

    Sasa yule shekh wa darusalam na mazinge hawayajui haya? Tapel kama huyu atawashushia heshima juz tena nimeona anamtunza shekh othuman maalim duu mashekh wawe makini wanaweza wakaangukia pua

  • @hassanally446
    @hassanally446 Час назад

    Huyu nae katokea wapi anatafuta kiki tu

  • @HuseniAbasi-c5c
    @HuseniAbasi-c5c 4 часа назад

    Nanyinyi mnataka muonekane kama nyinyi waisiramu waukweli kwasababu gani msimfate mkamwambie mbele yake kwamba unchokifanya mwenyengu hakipendi ira nyinyi wenyewe mmefanya mabaya mengi sio vizuri kumuanika muisimu mwenzake wakati ww mwenyewe hujakamilika

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 часа назад

      Yeye mwenyewe katangaza mtandaoni, ajibiwe na yy mtandaoni

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 4 часа назад

    Group yake yote waizi

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 10 часов назад +2

    Mufti shekhe mkuu ,shekhe warid,mashekhe wa wilaya zetu za daresalaam kama huyo jamaa anaenda kinyume akina mziwand na mashekhe nilio wataja wangemuita wakamuelimishamuelimisha sasa nyiny mnapiga kelele mnaonekana mnamuonea wivu

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 10 часов назад

      We unaakili kwani kila alie na cheo kwenye dini ndio anaimani ya kweli ? Huyo sharifu wa uongo anahaeibu dini mshenzi yule

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 9 часов назад

      Hawa wanazungumza watu wataacha kumuamini ni vyema kuwajulisha jamii wapo wajinga sawa watakaoendelea kumuamini lakini wengine watamkwepa kama mimi ninavyo mkwepa kama moto

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 часа назад

      Huyo Walidi mwenyewe kasema ukitaka usitake hyo sharifu,na mziwanda alikuwepo naye kimyaaa.wote wanasupport uganga wake

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 8 часов назад +1

    Kwanini wa islamu wa Tanzania mnapigana wenyewe Kwa wenyewe

    • @OmQrf
      @OmQrf 7 часов назад +1

      Hawpigani wao kwawao laa haiwezekani mtu achezee dini hatuwezi kumuacha lazima ambiwe haipo

    • @abdulrahimsaid7864
      @abdulrahimsaid7864 6 часов назад

      Kivp cc tunazungumzia din ao wengne wanachnganya na din

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 9 часов назад

    Hakuna hizo tiba kisheria acheni uzushi wajinga

  • @najimsharif9694
    @najimsharif9694 4 часа назад

    Mutakuwa kuna mambo yenu tu ya ndani kwa ndani ila ukweli sheikh Sharif aliwahi kuja kuweka kambi maeneo ya Mpendae na Jang'ombe na tulikuwa na mtoto wa dada yangu ana maradhi ya kuanguka (kifafa)na akampatia matibu mpaka leo hii kijana yuko fiti shaidi la hayo ni babaa yake mtoto na mama yake mtoto na mimi mwenyewe kwa sababu wakati ule nilikuwa nashindwa kwenda nae kazini kutokana na maradhi yake hayo na Mungu kamjalia kapona kupitia sheikh Shariff kwa hivyo hayo mengine hatuyajuwi ila shukurani zimfikie popote alipo kwenye hilo Mungu amuongoze hakuna alokabilika kila mtu na kasoro zake ila kwa hili tunashukuru Mungu kijana anaendelea vizuri ni dereva wa gari kipindi ana maradhi yale alikuwa harusiwi kuendesha hata baskeli au kutembea peke yake.

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 3 часа назад +1

      Wewe ni jahili mkubwa uliyekimbia umande.unaandika gazeti la daily news.Acha unafiki kwa kutoa ushahidi wa uongo

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 часа назад

      Kwahyo kakutuma ututolee ushuhuda

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg 7 часов назад +1

    ACHA UNAFIKI WEWE SHEHENA,UNAMTUKANA FIRDAUSI,JE UNAUHAKIKA YEYE NI MUONGO,ACHA HUSDA,NYIE MASHEHE NDIO MTAKUWA WA KWANZA KWENYE MOTO INSHAALLAH.

    • @yusufulukamata7152
      @yusufulukamata7152 7 часов назад +1

      Sasa wew nae unaongea vitu gan au ujui unachozunhumza

    • @iddmohammed1086
      @iddmohammed1086 6 часов назад

      Ataanza uyo SHARIFU wenu wa mchongo kwanza

    • @technicalgearboxenginebysc1360
      @technicalgearboxenginebysc1360 6 часов назад

      Wewe ndio huna akili kilaza mnafanya uislamu uonekane sio dini ya maana firidaus ni Kibaka hana usharifu wowote

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 6 часов назад

      Acha njaa

    • @Sarahmponjo
      @Sarahmponjo 6 часов назад

      Achana na uwo uwongo wa ghushi wa firdaus, bali ata tiba zake tu ni dhahiri sio za kisheria

  • @Giftedness.
    @Giftedness. 5 часов назад

    Pesa za kusambaza dhehebu la mawahabi zaingia kwa kishki kutoka kwa ufalme wa Saudi Arabia. Kenya hua mawahabi wanaapa msikitini mwezi kaonekana ilhali bado kuonekana kusudi tufunge na kufungua saum sawa na Saudi Arabia. Hii fitna mbaya sana imeingia Tanzania.

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 4 часа назад

      Ww tibitisha na macho yako funga kwa kuuonq fungua kwa kuuonq au zikifika thelathini basi acha hamjishulishi na kuangalia mwezi ndio maaana mnadanganywa kitabu kiko na kimeandikq kila kiltu kwann msisome mukaelewa mnangoja mtu aseme alafu muanze kulalamika ni haramu usiseme uongo

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 часа назад

      Sawa subiri sharifu mganga akutangazie mwezi

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 6 часов назад

    Nyinyi wachen kuanikana ukimuona mtu na makosa kama ayo Adin nasaha din nikunasahiana wala sio kuanikana

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 4 часа назад

      Kanikwa kwani si aliwambia sio vizuri unavyo fanya walimwambiaje awaache au watampeleka police kisha bado wanataka kumpa pesa hii ni haramu alafu hii ni dini sio mchezo jamani kumbukeni tuna watu hawajasoma quru'an vizuri tuko na vizazi vitashika haya tutahadhirika na upa nde wapili utafanyia nani daawa kama wafanya uganga nani atakuamini mwataka kusema quru'an kuna uchawi hatogopi mtu angefanya kisiri kama alikuwa hataki kutajwa au kuqmbiwa lazima ambiwe peupe ajue ni vybaya anavyofanya tunaokoa watu wengine wasio jua wakijua ni dini ina ruhusu kumbe sivyo utakufa utawacha wataendelza chanzo ni ww una jua sivyo umeogopa kumwabia ukidhani una muanika kesho Allah ataenda kukuluza kwann hukumwambiq na ulikuwa wajua na yy atasema kwann hukunikataza na ulikuwa watasema sikubqli ntaenda na ww motoni

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 10 часов назад +7

    Sasa kama anakosea anafanya kinyume mnamuita mnamuelekeza au mnampiga vijembe hamuo mnampadisha cheo mnaonekana mnamuonea wivu mnatuchosha mashekhe kuapa hata mnafiki anaapa mnatangaza dini au mnaimba taarabu

    • @AdnanMohammed-l6i
      @AdnanMohammed-l6i 10 часов назад +5

      Akhiy ingekuwa ni makosa ya kibinadamu yakimaumbile angegatwa lakini kwautapeli atendao maksud lazima lazima atahdharishwe live kweupe

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 10 часов назад

      Hujitambui fala wewe

    • @AdnanMohammed-l6i
      @AdnanMohammed-l6i 9 часов назад +1

      @@SadamSarita-t7z We ata ukinuna ukatukana ni bure kwanza wewe ni dalili kwamba ni muislam jina ukuleleka kidini wazazi wako hawajakulea wala ujapelekwa chuoni ukaelimika kijana alo leleka ktk dini hawezi kutukana kamaivo pasina sababuya msingu wakati ujui unamwambia nani nidalili kwamba ww ni kijana mshenzi ujaelimika

    • @aminaamina3972
      @aminaamina3972 8 часов назад

      Muite wewe uone kama atakuja wenzake wagapi wamemuita hakwenda

    • @aminaamina3972
      @aminaamina3972 8 часов назад

      ​@@SadamSarita-t7zwee shika adabu yako acha kuwatukana mashekhe jahali mkubwa wewe

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 9 часов назад +1

    Ktk mambo ambayo waislam hatutakiwi kuyafanya ndio haya kama kutoa dawa tunatakiwa tuwe na hekima halafu tuwe na Sitara ktk kueneza fitina kama kutoa dawa basi towa usimtaje mtu ili mradi dawa ifike lakini ukimtaja mtu bayana kuwa hivi hivi matokeo ndio haya kila upande unashambulia sasa tuko wapi faida ni ipi hapo

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 4 часа назад

      faida ni kujua anacho kifanya ni makosa na kuna watu hawajasoma quru'an na anawafqnyia hayo watu wataamini vitu ambavyo sivyo kusemwa wazi ni bahati ashukuru mungu ana mpenda bora arudi nyuma afanye yannayo takiwa aone kama atasema tna

  • @HusseinNasibu-q4u
    @HusseinNasibu-q4u 20 минут назад

    Loho mbaya tu nauwaswali wenu