- Видео 748
- Просмотров 600 313
SAMBAWIY TV
Добавлен 12 фев 2020
KARIBU KATIKA KITUO CHETU PENDWA CHA SAMBAWIY TV
Tunatoa huduma ya mawaidha,visa,mihadhara na mambo yote ya kidini ya kiisilamu
Tufatilie ndani ya page zetu
FACEBOOK SAMBAWIY TV
INSTAGRAM SAMBAWIY TV
RUclips SAMBAWIY Tv
CONTACT 0787226625
Sambawiy tv
NURU KWA UMMA
Tunatoa huduma ya mawaidha,visa,mihadhara na mambo yote ya kidini ya kiisilamu
Tufatilie ndani ya page zetu
FACEBOOK SAMBAWIY TV
INSTAGRAM SAMBAWIY TV
RUclips SAMBAWIY Tv
CONTACT 0787226625
Sambawiy tv
NURU KWA UMMA
Видео
USOMAJI BORA WA QUR AN TAJWEED UKHTY ZAMDA AKONGA NYOYO ZA WATU 2025
Просмотров 117День назад
USOMAJI BORA WA QUR AN TAJWEED UKHTY ZAMDA AKONGA NYOYO ZA WATU 2025
DUFU KUBWA MADRASAT SUFIA WAUWASHA MOTO KIPAWA
Просмотров 6014 дней назад
DUFU KUBWA MADRASAT SUFIA WAUWASHA MOTO KIPAWA
UZAWA WAKE MTUME HAUNA KIFANI SISI NDOMAANA TUNAFANYA MAULIDI
Просмотров 3414 дней назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
QISA CHA WALII WA MUNGU SHEKHE UWESU ALIVYOENDA KWA MTUME MUHAMMADI
Просмотров 6214 дней назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
WANAWAKE HILI NI LAKWENU NJOO UBURUDIKE NA WANAWAKE WENZAKO TAMASHA KUBWA LA NASHEED SERENA HOTEL
Просмотров 14121 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
MAULID YA MTUME MUHAMMADI YA KATA YA KIPAWA 22/12/2024 WAFANYA BALAA MADRASAT SUFIA DUFU KUBWA
Просмотров 11621 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
KIBOKO YA MAWAHABI NAKUPA DALILI NDANI YA QUR AN UHALALI WA KUFANYA MAULIDI UKIBISHA NJOO
Просмотров 5 тыс.21 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
MAZITO YAIBUKA UMOJA WA WAJASILIAMALI (UWAMZI) ULIPO MSIKITI WA MTORO/FITINA,VURUGU,MANYANYASO!
Просмотров 50921 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
MAPINDUZI MAKUBWA YA QASWIDA KUFANYIKA LAMADA HOTEL TASHTITI CLASSIC CREW 27/12/2024 KUBWA KULIKO
Просмотров 7021 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
QASWIDA ILIOMFANYUA MGENI RASMI HABIB AHMADI AFANYA BALAA MADRASA DAMBA
Просмотров 12321 день назад
Mashaallah jambo lilifana sana usikose kutazama video hii
MWAMBA APITA NJIA ZA QARI RAJAI AYOUBU QUR AN TAJWEED AWACHA WATU MIDOMO WAZI
Просмотров 19321 день назад
Tazama jamaa alivyochukua hadhara kwa usomaji wake wa qur an tukufu
SABABU ZA MMONYOKO WA MAADILI WAZAZI SHIKENI HILI UST LUQMAN MUSSA
Просмотров 11321 день назад
Kuwa wakwanza kupata matoleo yetu kwa kubonyeza neno subscribe na alama ya kengele itakayojitokeza ahsante
MASHINDANO YA QUR AN MADRASAT SWABRA ISLAMIA MWANDEGE DSM VIPAJI VYA KIPEKE
Просмотров 337Месяц назад
Mashindano ya qur an yalioandaliwa na madrasat swabra islamia iliopo mwandege dsm uwe wakwanza kupata matoleo yetu usisahau ku subscribe like share coments
DUA KUBWA ALOSOMA MAMA WA SHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM SHEKH WALID ALHADI
Просмотров 188Месяц назад
DUA KUBWA ALOSOMA MAMA WA SHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM SHEKH WALID ALHADI
DUNIA YA SASA LAZIME UWE NA MZIGO/QISA CHA MCHAMUNGU ALUETUMWA KWA WANA WA ISRAIL
Просмотров 109Месяц назад
DUNIA YA SASA LAZIME UWE NA MZIGO/QISA CHA MCHAMUNGU ALUETUMWA KWA WANA WA ISRAIL
Mtoto mdogo akonga nyoyo za watu kwa sauti na usomaji wake wakipekee
Просмотров 2,5 тыс.Месяц назад
Mtoto mdogo akonga nyoyo za watu kwa sauti na usomaji wake wakipekee
BINTI SHEILA AWASHANGAZA WATU USOMAJI WAKE WA KIPEKEE
Просмотров 344Месяц назад
BINTI SHEILA AWASHANGAZA WATU USOMAJI WAKE WA KIPEKEE
WOSIA 5 WA MALAIKA JIBRIL KWA MTUME MUHAMMADI UNAHUSU MIMI NA WEWE
Просмотров 227Месяц назад
WOSIA 5 WA MALAIKA JIBRIL KWA MTUME MUHAMMADI UNAHUSU MIMI NA WEWE
HUKUMU YA MKOJO NA KINYESI UKHTY ZULFA JUMA
Просмотров 78Месяц назад
HUKUMU YA MKOJO NA KINYESI UKHTY ZULFA JUMA
🛑LIVE UKIFANYA HAYA UTASAMEHEWA DHAMBI ZAKO MAKOSA MAKUBWA WANAYOFANYA WAISILAM FEKI SHEKH ABDALLAH
Просмотров 56Месяц назад
🛑LIVE UKIFANYA HAYA UTASAMEHEWA DHAMBI ZAKO MAKOSA MAKUBWA WANAYOFANYA WAISILAM FEKI SHEKH ABDALLAH
SHARIFU FIRDAUSI APEWA LAANA NZITO UWONGO WAKE HU APA ANAFUKIA VITU NI FEKI TAPELI ASHIKE QUR AN LIV
Просмотров 19 тыс.Месяц назад
SHARIFU FIRDAUSI APEWA LAANA NZITO UWONGO WAKE HU APA ANAFUKIA VITU NI FEKI TAPELI ASHIKE QUR AN LIV
SHEIKH WA WILAYA AWASHA MOTO BACHU AMPA DARSA YA MAULIDI KUMSWALIA MTUME NI IBADA
Просмотров 1732 месяца назад
SHEIKH WA WILAYA AWASHA MOTO BACHU AMPA DARSA YA MAULIDI KUMSWALIA MTUME NI IBADA
MALIPO YA KUJIFANYA MWEMA KWA KILA MTU PRESENTER KABUMA ATOA SOMO
Просмотров 882 месяца назад
MALIPO YA KUJIFANYA MWEMA KWA KILA MTU PRESENTER KABUMA ATOA SOMO
MAHAFALI MAKUBWA YA PILI YA MADRASA NA NURSERY SALIM DAY CARE CENTERE ILIOPO MBANDE
Просмотров 1842 месяца назад
MAHAFALI MAKUBWA YA PILI YA MADRASA NA NURSERY SALIM DAY CARE CENTERE ILIOPO MBANDE
MTOTO MDOGO AWAGUMZO AIGA SAUTI YA RAISI MAMA SAMIA /SALIM ISLAMIC DAY CARE
Просмотров 3412 месяца назад
MTOTO MDOGO AWAGUMZO AIGA SAUTI YA RAISI MAMA SAMIA /SALIM ISLAMIC DAY CARE
WEWE SIO SHARIFU HUNA SIFA HIZI SHARIFU HAJITANGAZI SHEIKH ABDALLAH ATEMA CHECHE KWA MASHARIFU FEKI
Просмотров 1,8 тыс.2 месяца назад
WEWE SIO SHARIFU HUNA SIFA HIZI SHARIFU HAJITANGAZI SHEIKH ABDALLAH ATEMA CHECHE KWA MASHARIFU FEKI
SUBHAANALLAH WANAUWANA KWASABABU YA MALI HUYU SHEYTWANI KAOTA MIZIZI
Просмотров 412 месяца назад
SUBHAANALLAH WANAUWANA KWASABABU YA MALI HUYU SHEYTWANI KAOTA MIZIZI
SHEYTWAN SIO KIUMBE UBAYA WAKE KWA WANADAMU SHEKH ABDALLAH SALUM
Просмотров 602 месяца назад
SHEYTWAN SIO KIUMBE UBAYA WAKE KWA WANADAMU SHEKH ABDALLAH SALUM
Maneno gani siniyale yale, hoja ziko wapi, mshakula ubwabwa, yanakushopoka maneno
Maashallah baba yangu Allah akupe afya komavu tuvune hekma zako kedekede
Khusary style
yaani ukiangalia vzur na kuskiliza kwa umakin hii clip utajua kuwa alifajya makusudi kutupa kitabu na bado hajatubia maana anarudia maneno yale yale eti hicho kitabu kilochotupwa yaani bado nafsi yake haija amin kuwa kutupa kitabu cheny aya za mwenyez mungu ni Kosa aisee Allah amuongoze huyu shekh ana mtihani mzito kweny kulingania
Mashaallah
Ameen thumma Ameen,,Shukran🎉
MASHAALLAH
Maa Shaa Allah.
Dalili?
Amiina yaraby❤❤❤
Masha Allah
Mashallah
Huyi shekh anaitwa shekh nani saut yake naiskia sana ila jina lake silijui
As alykm
Sunnah mnazijua nyie wakufuata mwezi wasaudia mkidai mnafuata wa dunia half out of Saudi hamfungi. Asaivi saudia wanashindana ummiss kwa mfano wa kaaba 🕋making mmepoa tu hamyasemi hamyaoni muziki imetawala hamsemi kazi kuwa sema masufi waislamu wenzenu acheni zenu. Fanyeni mnayoona ni boraa acheni tufanye tunayoona ni boraaa
Naomba niandikie
Kiboko ya wahabi kaikimbia kaida nuraniy akaend kweny maulid 😢😢😢...
Nina swali nataka Jibu Hivi hawa mashehe wanapoenda Kusoma Saudi Arabia Maswala ya Dini Ya Kiislam huwa wanasoma kwa walimu wa madhehebu gani
Ajaalie michango yenu sio atajaalia
Masha Allah Allah ukubarik inshallah nikweli maana naweza kusema anawadhalilisha wanawake, wakipandisha mjini wanawachukuwa kwa kamera Kisha kuwarusha RUclips channel
Umeona maulidi tuu Mawaidha ya kuwaadhi watu yapo mengi sana Allah kasem tukatazane mabaya na sii kuongelea maulidi tuu
Kwani hujayasikia na mengine!? Fatilia darsa zake basi!
Karama gani wew njaa tu😅
DUUUUUUUUUUUUUUUU SASA NDO UKISIKIA UJUHA ULIOPITILIZA KIWANGO NDO HUUUUUUUUU WAISLAM JAMANI TUSOME DINI YETU TUSOME DINI YETU YAANI HANA HADITHI WALA AYA KTK QUR'AN KUJUZISHA AKISEMACHO HAJUI AKISEMACHO KWA SBB WENZETU HAKUNA KUFANYA BAHTH WALA REJEA KWA SBB HADHIRA MASKINI HAIJUI CHOCHOTETE KTK DINI NI KUWABURUZA TU USHAHIDI NI UPI DALILI IPI DAAAAA ALLAH AKUONYESHE NJIA YA SAWA
Maashallah jambo zuri Hongera sana sheikh wangu salum kitabu Jambo lilikwenda vizuri kabisa
Salaam Alaikum.Hivi kuadhimisha matukufu ya Allah ishakuwa bidaa na Alllah kasema mwenye kuazimisha matukukufu ya Allah ni ucha Ucha Mungu Allah Sw.
@mohdomar6331 kuadhimisha matukufu ya Allaah mbn sijakuelewa au unamaanisha matukufu yapi hayo kwasabu kilasiku Allah anatajwa na anasifiwa ndo mana kuna adhkar za asubuhi na zajioni kuna adhkar baada ya swala na bado ukiswali yote mkusudiwa ni Allah sasa hayo maadhimisho uloyakusudia ni yapi?napia sikukuu kama idd adh ha idd fitri zote twapiga takbira zamuhusu yeye au ww ulitaka kumuadhimishaje labda
Kama hujapata kuona masheikh wakichangia Ofisi, basi mmepotezea watu muda mrefu sana pasina maendeleo
We mzee acha porojo lak kupotoa ummah
Ukwel ukidhihir uongo hutowek, kwel haw masuf wameishiw maan mtu mzim lkn anaongea pumba tupu
Kama ww ulivyoandika pumba tupu
Mmmmh dah ety huyu ndo kiboko WA masalafi sokweli huyu ni adui WA dini so kiboko WA mawahabi huyu Bado sana
Mawahabi ni maadui wakubwa wa dini
Sasa wewe waongea maneno ambayo hayapo hata kwenye huo uislamaneno ya kuokotaokota umri umeumalizia kwenye mangoma Allah akurudishe kwenye hakki.....
Wakina shekh abuubakar burhan alishaamaliz utata maulidi sio dini na sio ibada sasa nastahii umri wakotu
Nyie masofiii nyimbo ndio dini yenu lakini kusoma hiviii msome nyie kwakweli,,,,,
Kwani niya nikumuona sura yake au?umekazia ktk kumuona sura!jamani ikiwa mtu kaamua kujihifadhi hata akiwa kwa wanawake wenzake musilazimishe ajitandue, hiyo mnavunja dhamira yake ya kujihifadhi
Ninyi mawahabi ndy Umejitia ujinga kwa kupinga kila kitu et bidaa wakati ninyi ndy mnabidaa ambazo hazina Asli ktk Dini na Dalili wala hamna, mlicho jichangany Mawahabi ni ile kauli yenu yakusema hakuna bidaa nzur ktk Dini bidaa ni bidaa, ninyi mmegawa Tawhid wala Mtume hakugawa, mnafanya makongamano wala mtu hakufanya, mnafanya mashindano ya Quruani na mshindi wa kwanza anapata pesa nyingi mtume hakufanya hayo, zote hizo ni bidaa, lakini kwakuwa mnafanya ninyi mawahabi siyo bidaa wakifanya wezenu bidaa, hiyo ndyo shida yenu mawahabi
Sheitwan amewatek weng. ukwel hua uongo na uongo hua ukwel. Kwaio si ajabu watu wa bidaa kuwa wngi kuliko wale wanaofuat HAQQI
Huyu pamoja na Masufi wengine kawaida yao ni kujikosha na kupindisha maneno. Mjiandae kwenda kumjibu Allah kwa uongo wenu mnao mzulia Mtume rehma na amani ziwe juu yake. Alafu bidaa ni maradhi ambayo hujaza giza moyoni mtu anakudanganya mchana kweupeee wala humsitukii. Al hamdulillah alie tunusuru na ujinga wakisufi
Mawahabi sisi tuna msifu mtume nyinyi shida yenu nini au ulitaka mtume ajisifu
@RAMZANJumma-hr3ff Basi nyinyi Masufi mnataka kuwafunza maswahaba wa mtume siku ya kuzaliwa Mtume sw na isitoshe mtume wetu alikuwa hajui Hadith ya Qur'an ni nyinyi ndio mmetuambia hadithi ya kweli ya subhanallah.
Wewe mwenyewe Bidaa kwanini usiende kutoa hoja zako Msikitini? Unatafuta Nini humu mitandaoni? Wakati wa Mtume kulikua na mitandao ya kijamii? Mna akili fupi sana nyie mawahabi. Nguvu mnazotumia kumpinga Mtume asitajwe mngezitumia kukataza zinaa na ulevi mngekua mmefanya jihad kubwa. Lakini nyie kwenu watu kunywa pombe, kuzini, kudhulumu, kula Mali za yatima yote hayo kwenu ni sawa! Ila watu kukusanyika kumtaja Mwenyezi Mungu na Mtume kwenu mnaugua Hadi mnataka kukata roho! Na mtangangaika sana Nuru ya Mtume hamuwezi kuizima Mwenyezi Mungu alishaapa mtashindwa kama makafiri wenzenu
Halali gani inatafutwa kwatabu hivyo?oya msijizime data mi nimeelewa sikukuu au idd inayoitwa maulid ktk uislam haipo kwaiyo msikitie uchiz mkiambiwa sikukuu ya maulid mnahama mada mnataja wahabi hata mm cmuhabi lkn nimeelewa
sheikh walid sisi tuko lamu twakutegemea huyu kijana usimtetee sana fanya uchunguzi atakuangusha ana za uongo
Hebu ile aya mungu mwenyew alokuwa akimswalia mtume tuchambulie ina maan gan na kwann mungu amswalie mtume na akatuambia enyi mloamin msalien mtume na musalim kwa salam sheikh hii aya heb tuchambulie tukuelew hap na ww na mung nan mwenyew amr y kufatwa
Kwani yy amekataza asiswaliwe Mtume!?
Ndugu yangu hoja sio kwamba haifai kumswalia mtume bali niamri kutoka kwa Allah suala la kuswalia mtume na kuna fadhila nyingi za kumswalia mtume swalallahu alayhi wasalama
Wache wajinga wajifurahishe
Mnatukashfu masufi lkn tumesoma dini kwa uzuri sana
Hamjasoma Dini Bali mmesoma uzushi zaidi kuliko sunnah
@@SadickMussa-g6h hizo Sunna ndio tumzxoma hasaaa
Assalam
Allah akujaalie
Hakuna sufi sielala kwa sababu ya Muhammad bhachu.masufi tupo na tuna lala vzr sana
SHEKH WETU BACHU YUNAKUOMBEA KWA ALLAH AZIDI KUKUBAARIK MAANA UMEWAFANYA MASUFI WAKOSE USINGIZI KILA KUKICHA WANAKESHA KUTAFUTA UZUSHI WA KUIHALALISHA BIDAA YA MAULID LKN BADO WANAFELI
Nimeelewa hapa kuna ukweli uloingiliwa na matamanio na ushabiki yani skukuu ya maulid haipo lkn tunafanya kwa matashi yetu mbn idd adh'ha.idd fitri hatubishani minimeelewa bana tuache ushabiki mandaz
Acha kuropokwa wewe kasome kwanza, Shekh wenu mkubwa wa Kisufi Athuman Maalim kavikubali vigawanyo vya taw- heed itakuwa wewe!! Soma suratul Ikhlaas...
Swadakta wabarakta
Masufi hawakosi usingizi hakuna Cha kuwakosesha usingizi ila ujinga wa mawahabi ndio unaondolewa
Nyie endeleeni na uzushi wenu na hoja dhaifu,Maulid asiifundishe Mtume s.a.w muifundishe nyie...acheni njaa
Tawheed mtume kagawa wap? Ata isiwe uzushi?
Wanafunzi wa Shekhe wenu IBN TAYMIYAH ambao ni IBN KATHEER NA IMAMU DHAHABY wanayatambua MAULIDI na wamesema yanafaa Basi hao pia Wazushi?
Acheni kuwalisha maneno nyie Masufi,Sisi tunachoangalia ni Allah na Mtume wake wanasemaje au Maswahaba wake basi...kwa hiyo hata hiyo mnaemsingizia nae ni binadam inawezekana kabisa akaghafilika.
Masufi wanadai wanampenda mtume S.a.w wakat hawafuati sunna zake ,Masufi wananyoa ndevu zao wanaenda kinyume na sunna ya mtume s.a.w
Wapuuzi hao
Yani umeona Sunnah ni kufuga ndevu tu?
1)Suali. Maulidi ni abada au sio ibada.? 2) tupe maana ya hii beti. Khayril Matwaya, khayril Matwaya Ilaaa Rusulillah?........
Hakki yako 2000 wanajua huna akhlaki
Masufi munawatia ujinga wasiojuwa kitu tu
Muongo huyu anasoma kitabu chenye uwong