🤲,la Muhimu Ni Tuwapokee Kwa Imani na Tuwasomeshe Dini na Sharia ,za Dini hii,Ili wafanye Ibada kikamilifu.Wasipoteze Muda.Uislamu Ni Jengo lilotimia.❤❤❤❤️
MA SHA ALLAH. Namuomba ALLAH awajaalie wafate muongozo wa dini. Na wacmamie swala zao. Na ALLAH atujaalie sisi na wao tuwe pamoja jannat Al firdaus…🤲💕TAKBIIIIR.
Allah awajalie wawe waislam wazur na tunamuomba Allah atujalie mwesho uliokuwa mwema wapelekewe walim wa kuwafundisha. Nimaeneo ya wapi hapo mwenye kujua anijuze.
Allah kwa kiarabu, ila sisi waswahili huyu muumba mbingu na ardhi huwa tuna sema Mwenyezi Mungu. Kwa kiyahudi Yehova, wajapan humuita Ira, na hata warangi wanamuita Ijuvaa, kwa hivyo kusema Mungu si tatizo, kila mtu ana lugha yake ya kumtambua kwa sifa zake.
Mashaallah karibuni kwa dini yetu hii tukufu ya kislamu Allah awaongoze in shaa Allah Karibuni ndungu zangu nawapenda sana kwa ajili ya Allah 💖 😊
MashaAllah,Alhamdulillah Allah atujalie waislam wote tuingie peponi
Amiin 🤲
Ameen
Amiyn @@HassanJaphari-rx7jy
Amiin amiin ya Rabialamin
Amiin
Allah Akbar
Allah awajaalie wawe waislamu thabit
Amiin
🤲,la Muhimu Ni Tuwapokee Kwa Imani na Tuwasomeshe Dini na Sharia ,za Dini hii,Ili wafanye Ibada kikamilifu.Wasipoteze Muda.Uislamu Ni Jengo lilotimia.❤❤❤❤️
MA SHA ALLAH. Namuomba ALLAH awajaalie wafate muongozo wa dini. Na wacmamie swala zao. Na ALLAH atujaalie sisi na wao tuwe pamoja jannat Al firdaus…🤲💕TAKBIIIIR.
Allah Akbar
Amina 🙏
MashaAllah ashukuriwe Mungu. Karibuni ndugu zetu katika Imani. Alhamdulillah ☝️🕌♥️♥️♥️
Allahu akbari allahu akbar allahu akbar
Mashaallah mashaallah hzi ndo habari nzuri tunazozitaka
Mashallah Allah huakbar karibuni ktk dini yetu ya haki na tukufu nawapenda Sana nduguzzangu
ماشاء الله. الله اكبر
Maa Shaa AllAh Taqbir ALLAHU AKBAR...BISMI LLAHI RAHMANI RAHIM ..IDHA JA'AA NASRU LLAHI WAL FATHU .❤❤
MashaAllah karibu ndugu zangu katika uisilamu.
Karbun inshaallah muufate uislamu na sio waisilamu Allah huakbar
Karibuni kwenye uwislam ALLAH awaongoze nnjia ilionyooka
Alhamdulilahi rabilghalamini
Masha allah tabarak allah allah akber
Allah Akbar ... Alhamdulillah !
Takbirrrrrrr Allahu Akbar
Mashal aah ALLAH AWAONGOZE VYEMA
Takibiruuuuuuuuuh
Allah akbar
Asalam aleykum allahu akbaru jalajalalu Hadi inasisimua hakika hi dini ya mungu
Mashallah ❤❤❤
Waislam wote tuingie peponi Kila aliyetamka لاإله إلا الله وحده محمد رسول الله
Wakristo hapo wanaumia
Hatuumii
Kila mtu atauchukukuwa mzigo wake mwenyewe
Tunawaombea tu
Vibaya mno allah akbar
@@emmymatigula4870 mzigo gan tena Na yesu alishachukua mzigo yote pale msalaban
MashaaAllah tabaraka Allah Mola awaongoze dungu zangu karibun dini yetu nzuri
Allah Akbar
Wakalimatu llahi huwa l'ulya
Allahu akbar
ALLAH AKBAR ❤❤❤
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyote mmeslimu kweli tafadhalini msicheze na mungu
Takbir takbir takbir
Mashaallah Alhamdulillah
Takbir allah hul akbar
Mashalllh safisana
Maa sha Allah tumemuona shee maulid
Maashallah ❤
اللهم ثبتهم في دينك
Aamin Yaarab
Mashaallah mashaallah mashaallah
ماشاء الله تبارك الرحمن
Maashallah tabarakallah!
Mashaallha ❤
ALLAH AKBAR ALHAMDULILAH RABBIL AALAMIIN TAKBIIR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
ورءيت الناس يدخلون في دين الله أفواجا
Masha Allah
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! ❤
Allahu akbar ☝🏻
ManshAllah tabarak Rahman ❤
AllahuAkbar AllahuAkbar❤❤❤
Allah Akbar Allah Akbar
Maashallah
MASHA ALLAH 💚
Mashallha
MASHAALLAH
Allah akibar Allah akibar Allah akibar Allah akibar Allah akibar Allah akibar
Masha Allah tabarakarahman Allahu Akbar
Maashaallaah 😊
karibuni ndugu zetu❤
Allah awajalie wawe waislam wazur na tunamuomba Allah atujalie mwesho uliokuwa mwema wapelekewe walim wa kuwafundisha. Nimaeneo ya wapi hapo mwenye kujua anijuze.
Maasha-Allah alhamdulillaah wapi iyo
Allahu Akbar mashaallah
Wapi hapa
Mapepo km yte hpo mungu wa Giza anaigiz anaisia
Unafirwa wew
Wasiokua waislam wataingia katika uislam makundi kwa makundi. Hio ni dalili ya kiama. Dunia imekwisha.
Ma sha Allah
Wapi hapo mm abubakar said khalid alhosni kutoka malindi kenya alhamdulilahi
Allah Akbar Takbiiirr🦾🦾
Alaaaaa kumbe
Sio muwasilimishe tuu wanahitajika wasomeshwe waislamu jina tanzania wapo wengi uwislamu jina muhimu wasomeshwe
Na hayo ndio maelekezo ya sheikh.
01: wanawajibika kujifunza
02: waislamu wenzao wanawajibu wa kuwafundisha
Hiii ndio dini ya haki njoon
Nawapongeza nyote mloingiya ktk uislamu
Msiingiye ktk uislam kutegemeya kitu yani fedha ingiyeni kwa kumfata mungu wa khaki na mtume wake Muhammad kuwa mtume wa haki
تكبير الله اكبر
Ndio tunataka kujua waislaam wenzetu wapi hapo
Haqi itakuja juu tu siku zote
Ni wapi hapa jamani? Allaahu Akbar
Tabora
Tabora
Wilaya ya Igunga
Kijiji kinaitwa Kalangale
TAQ BIIIR
Allah Akibar walillah lihamdu
Kadhi ama mufti wa oman
bora nsfsi nying zinaokoka na moto
Uyo alie sema kwa kiswahili chawi kubwa kwanini asiseme Allah watu awatamkishe hivo anatamkisha mungu chawi kubwa
Wew mjinga mkubwa, watu hao hawajui kiarabu ndo wafahamishwa walichokisema kiarabu, wew pumba unasema mchawi, atajuana na mungu na huo uchawi unaomsemea, mjinga achaa ujinga pumbavu,
Kumbe chizi sio mpaka avue nguo
We kweli akili zako ndogo kwani nini hujaelewa apo. Allah hutajwa Kwa lugha yoyote ilimuradi ni sanifu na ya mawasiliano
Nyamaza ujistiri
Allah kwa kiarabu, ila sisi waswahili huyu muumba mbingu na ardhi huwa tuna sema Mwenyezi Mungu. Kwa kiyahudi Yehova, wajapan humuita Ira, na hata warangi wanamuita Ijuvaa, kwa hivyo kusema Mungu si tatizo, kila mtu ana lugha yake ya kumtambua kwa sifa zake.
Wapi hapo? Watu hao wanasilimishwa
Mkoa: Tabora
Wilaya: Igunga
Kijiji: Kalangale
Ma sha ALLAH...Allah Azidi kuwaongoza katika njia sahihi
Mashaallha ❤
Maa shaa Allah
Maashaallaah
Allah Akbar
Mashallha
Ma shaa Allah
Masha Allah
Mash Allah
Masha aalah