Innaa lillahi wainna ilayhi rajiuni, yaani masheikh wenye elimu tunakutegemeeni kupata elimu kwenu ndio mpo hali hii kutoleana aibu n kutukanana mtihani Allah atuingoze na atusamehe kwa sote.
Sheikh nasaha yangu kwenu wote hebu fanyeni suluhu na muache haya mambo hayana faida kwa dini yetu zaidi ya kuichafua dini yetu na unaweza ukawa umedhulumiwa ila ukasamehe kwa ajili ya kulinda heshima kwa dini yetu ya Uislamu Ni nasaha kwa wote mkittaka kufiata sawa au mkikataa sawa pia🎉
@@universitylink Wafanye suluhu na nani? Hao wajinga tu hawakusudii dini wanatafuta kiki tu na umaarufu wanadhani watafahamika kupitia kumtajataja na kumchafua shekh Abul'fadhwil na Mashekh wengine wa Kisalafi, hamtoweza kuiporomosha daawa salafiyya, ninyi hamjiulizi hatuna vituo vya Terevishen wala radio lakini daawa inakuwa tu tena kwa kasi! Mtakufa na hasadi zetu.
Nafikiri haya majibu yako hutakiwi kunielekezea mimi kamaa suluhu hamtaki ni sawa lakini point yangu hizi platform si za kutuelezea magomvi yenu bali itumike kuelimisha dini na si vinginevyo haiwezekani one week watu wanazungumzia pucha kwenye you tube wakati waiskamu wana mambo mengi ya dini yao hawajui
All in all sheikh ngalameno herbal mnaweza msikungane au kukubaliana kwa jambo lolote muhimu pande zote mtu faidishe dini sasa mtu ukisema sheikh kajipiga picha tukubali ni kosa kuchukua wiki nzima unasambaza na kuingelea inatusaidia nini sisi kama waislamu au inaongeza nini katika imani ya mtu mmoja mmoja.Tunapoteza muda mwingi kwa mamabo amabyo hayafaidishi jamii hata kidogo
Ikhwani mcheni Allah sana maneno munayoyatumia ktk comments ni dhulma tupu chungeni maneno ktk mazungumzo na haqi yachukuliwa popote pale itokapo ila mcheni Allah ktk heshma za watu na juweni kuwa mutafufuliwa
Huyu jamaa anaonekana ana mambo binafsi yanamsumbua. Hamtoweza kumshusha sheikh KASIMU Allah AMUHIFADHI, masalaf Zanzibari na genge lenu. Mnachuki binafsi na markazi pongwe.
sikuoni ispokua ni mtu wa bidaa tu na huna anacho taka katika dini ya allah ispokua kujionesha mbele za watu allah awahifadhi Mashekh wetu wakisalafi na awasimamishe katika hakki
Siku zote watu wa batil Huwa hawana hoja kabisa Kwa fitna hii muloisnzisha itawarudi wenyewe daawatu salafiyah inasonga mbele na watu waovu watajitoa wenyewe alhamdulillah hii ndio haki haiwezi kukaa na bstwil Mutashirikiana sana Masufi Mashia mazanandika makhuarafi mahizbi lakini haki itakua juu tuu siku zote Allah azidi kumtia nguvu Sheikh wetu mbora Abdul Fadhil Kassim حفظه الله
2014 ndo unaenda kusoma Pongwe. Na leo ndo wasimama kujisifia elimu na kwamba waita watu majina mabaya mabaya. Kuna wakati hata Umuri una zingatiwa katika kufikiria.
@@JumaMohammed-l4b hizo n Chuki zako Tu Sheikh Kassim hujawahi kumwita mtu Mshenzi na kama unayo hyo maneno weka link. Usiongee Tu Kwa Ushabiki cc Masalafy hatukufunzwa Matusi . Kwa7 Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam kasema Muislamu kutukana n Ufasiki
Abuu umeir kuanzia mazungumzo vitendo ni mtu wa kujinyanyua kujikweza kujipamba na kujiinua daraja.Hana ila zarau na kuleta fitna tu miongoni mwa waislam.
Jamani musipate tabu na hawa salaf uchwara si watu wa dini hawa mafuta na genge lake lengo la ni kuleta vurugu tu .Lakn Allah atawafedhehi tu inshaallah .mana ilikua washamvaa dr islam Allah amuhifadhi mtu asie na shida kabisa .ni mijitu nyenye husda tu na chuki kwa wasomi wetu Allah awatafedhehi hawa salaf uchwara wa mafuta
Maendeleo yakuwapi ktk umma😢😢😢 ?,hamna haja ya kusoma ikiwa haal ndiyo hii, Laa hawla walaa quwata Ila billah, Ikiwa Kuna mtu Yeyote kakukera usulubu huu sii mzuri unao ufanya Bal mtafute mtu pray vate umueleze.
Hakuna fitna mbaya kama hawa salafi uchwara wa kasimu mafuta na genge lake la wahuni Allah azid kuwafedhehi washenzi watabia hawa washaharibu sana sasa zamu yao wanabainishwa uwongo wao
Akhiy zungumza elimu utufaidishe.Wacha kuzungumza madhaifu ya watu.Hakuna aliyesalimika na madhaifu .kuwa kama wale waliojifunza adabu kisha wakaelimika.Tusiwe kama wahuni mitaani baada ya kusoma.Tujipambe na uchamungu hakika wachamungu wana mazungumzo yao
Kamakweli unaamin wewenimsafi mbeleyaallah na unaamin utaingiapeponi kwaajiliya elimuulionayo tu na unaamin mizaniyako itasalikanamoto bas endelea kupambana nawatu kuliko kunyenyekea kwaallah
Huku si kuelimishana ni kufedheheshana na jambo la kumfedhehesha muislam mwwnzio ni jambo lisilo faa km kazin hakuzin yy na mola wake mwenyw kumsitir muislam mwenziwe allah nae atamsitir mtu kua salaf haiw sabab kua hakosei ni binaadam nao mkamilifu ni allah pekee shekh ulijue hilo
Shida Salafi Hapa Afrika Ya Mashariki wanajiona wako perfect ndio maana wanakojivua nguo watu wengi wanasema mnaona vijana na madhehebu yao mapya waliyoyavamia 🤣🤣🤣
Kweli Mzee wangu ulisema kweli Wakati ilipo kuja Answar miaka ya 80 kuwa hawa baada ya muda Answari itabadiliki itakuwa nimakundi yaugomvi ilikuharibu uislamu mkiwafuata mtapotea ni mayahudi mtashudia tena migawanyiko yao zaidi Allah atunusuru
Nyie pigeni kelele na maneno yasio na kichwa wala miguu sisi tunaendelea kula durusu tu kutoka kwa mashekh zetu wa kisalafi Allah awahifadhi, we humchapi yoyote na riyaa zako sasa ukiwa jamiya wamtangazia nani? Hizo jamia hata waigizaji wa bongo movi kina Chilo wanazo na hazina manufaa yoyote
Miwahabi imeingia mtegoni hila zao uongo wao uadui wao husda zao kwa wanavyuoni na utuvu wa heshima kwa masheikhe wabainika kumbe mawahabi tabia zao ni mbaya kuliko mapote yote wao waongoza kwa upotofu,
Kama unakusudia dini basi Allah atakunyanyua na tutaona ukweli wako baadae na kama kuna chuki ndio zinazo kusukuma kuzungumza basi utambue utaanguka vibaya sana Na kama unakusudia kheri hebu zungumza kwa elimu ili anae kufuatilia apate faida, maana mazungumzo yako yote unayo ongea yanaonesha kama kuna mambo ya kishakhswia mambo ya binafsi na ndio maana unalalamika sana.
Hakika kabisa 💯 nimesikiliza Kwa utulivu mkubwa Sana lakini nmegundua kua Nafsi Yake Abuu Nuaym iko n kisasi kikubwa Sana . Na amedhamiria hasa kutafuta Aibu za Masheikh na amefalia toka Yuko huko kutafuta taarifa na kukusanya , jeee Uislamu unasemaje juu ya kuongelea Aibu za watu? Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam amefundisha nini ? Nani katika cc Hana udhaifu au mapungufu Yake? Jeee kwavile mtu n Salafy hakosei? Jee wewe hufanyi Makosa na huna Aibu zako? Chunga San kbla Allah hajakudhalilisha. Soma Kwanza Kijana Acha malumbano na kutka kueka Fitna na kugawa umma WA kiislamu
Na nyie mnaosambaza hizo picha je kwa imani yenu inafaa kufanya hivyo najua mtasaema mnatoa ushahidi lakini kwanini usambaze kama amefamya kosa akiwa chumbani kwake au uwani kwake wewe dalili ya kusambaza unatoa wapi
We kijana kwa haha maneno yako yadhihirisha kuwa huna akili sawasawa.basi ndugu yangu kapime akili kwanza .mwehu we yaani mlevi wa pemba ni bora kuliko shekh bara kwa lipi mlililo malo
AMA KWELI WEWE MJINGA UNABWEKA SANA!!! YAANI UNAZIDI KUDHIHIRISHA KWELI WEWE NI MJINGA!!! UNAZIDI KUBWEKA, UPO UNAZUNGUMZA MWENYEWE, HAKUNA SHEIKH HATA MMOJA ANAYEHANGAIKA NA WEWE!! ENDELEA KUBWEKA!!!
Allah amuhifadhi shekh Qasim mafuta tunampenda sana
Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema
Hakuna chakumuhifadhi wala nini, angekuwa na lengo la kumuhifadh asingemfedhehesha kwa kusambaa picha yake
@Rukaka_jr ww umeelewa nilichosema lkn
. kwani kusambaa kwa picha ndio inamaana Allah hajakuhifadhi?@@Rukaka_jr
@@Rukaka_jr nyinyi ndo waeditaji wakubwa wa picha ninyi
Innaa lillahi wainna ilayhi rajiuni, yaani masheikh wenye elimu tunakutegemeeni kupata elimu kwenu ndio mpo hali hii kutoleana aibu n kutukanana mtihani Allah atuingoze na atusamehe kwa sote.
FANYA MAMBO YA KHERI NA JIFUNDISHE DINI ALAFU UFUNDISHE UMAARUFU ANATOA ALLAH
Hii sio haki kusambaza picha ya mtu bila idhin ya mwenyewe
Bali haki itabainika inshallah
Duh jamn dini ya uislamu imekuwaje na hwa walinganiaji jamn waislamu tunaelekea wapi, tunatiana motoni sheytwan katu tawala wallah 😢
Nawapendawote kwaajili yaallah
Abuu Nuam una akili ndogo sana Allah akuaongoze ss pia tulikua uamsho kabla ya Daa'wah unadanganya
SUBHAANALLAH DUH! HUYU CHENGA TUPU...
Sheikh nasaha yangu kwenu wote hebu fanyeni suluhu na muache haya mambo hayana faida kwa dini yetu zaidi ya kuichafua dini yetu na unaweza ukawa umedhulumiwa ila ukasamehe kwa ajili ya kulinda heshima kwa dini yetu ya Uislamu
Ni nasaha kwa wote mkittaka kufiata sawa au mkikataa sawa pia🎉
Ningekuomba uwache hayo mengine umeshaeleweka
@@universitylink Wafanye suluhu na nani? Hao wajinga tu hawakusudii dini wanatafuta kiki tu na umaarufu wanadhani watafahamika kupitia kumtajataja na kumchafua shekh Abul'fadhwil na Mashekh wengine wa Kisalafi, hamtoweza kuiporomosha daawa salafiyya, ninyi hamjiulizi hatuna vituo vya Terevishen wala radio lakini daawa inakuwa tu tena kwa kasi! Mtakufa na hasadi zetu.
Nafikiri haya majibu yako hutakiwi kunielekezea mimi kamaa suluhu hamtaki ni sawa lakini point yangu hizi platform si za kutuelezea magomvi yenu bali itumike kuelimisha dini na si vinginevyo haiwezekani one week watu wanazungumzia pucha kwenye you tube wakati waiskamu wana mambo mengi ya dini yao hawajui
All in all sheikh ngalameno herbal mnaweza msikungane au kukubaliana kwa jambo lolote muhimu pande zote mtu faidishe dini sasa mtu ukisema sheikh kajipiga picha tukubali ni kosa kuchukua wiki nzima unasambaza na kuingelea inatusaidia nini sisi kama waislamu au inaongeza nini katika imani ya mtu mmoja mmoja.Tunapoteza muda mwingi kwa mamabo amabyo hayafaidishi jamii hata kidogo
@universitylink Fact ni sahihi kabisa hata mimi ninawapinga haohao so nakubaliana na hilo lako sema kikubwa kilichopo ni chuki na hasadi tu.
Ww wangea hujuwii lolote lilee ktika maishaa
Ikhwani mcheni Allah sana maneno munayoyatumia ktk comments ni dhulma tupu chungeni maneno ktk mazungumzo na haqi yachukuliwa popote pale itokapo ila mcheni Allah ktk heshma za watu na juweni kuwa mutafufuliwa
shukran akhii, binafsi nimekuelewa,, asante kwa ukumbusho
Nauwausieni kumcha Allah s.w
WEYEEEE AKHUIIII MBONA WAONGEA KAMA UKO FERR
NKOSA SAMAKIIIII WEYEEEE.
Na unahangaika mwenyewe
Hili jamaa liongo sana jambo lililokufanya ufukuzwe pongwe wala halihusiani na tazkia bali umekufuzwa kwa ujinga wako wa tabia mbovu
Huyu jamaa anaonekana ana mambo binafsi yanamsumbua.
Hamtoweza kumshusha sheikh KASIMU Allah AMUHIFADHI, masalaf Zanzibari na genge lenu.
Mnachuki binafsi na markazi pongwe.
Mafuta ni nani paka asishuke acha Iman za kijinga
sikuoni ispokua ni mtu wa bidaa tu na huna anacho taka katika dini ya allah ispokua kujionesha mbele za watu allah awahifadhi Mashekh wetu wakisalafi na awasimamishe katika hakki
wewe so.chawa lazima
Kumbe masalafi mna mambo
picha umezitoa wapi?
Sheikh naombeni muache kuaibishana. Kutaneni Mpate muafaka
Siku zote watu wa batil Huwa hawana hoja kabisa Kwa fitna hii muloisnzisha itawarudi wenyewe daawatu salafiyah inasonga mbele na watu waovu watajitoa wenyewe alhamdulillah hii ndio haki haiwezi kukaa na bstwil
Mutashirikiana sana Masufi Mashia mazanandika makhuarafi mahizbi lakini haki itakua juu tuu siku zote
Allah azidi kumtia nguvu Sheikh wetu mbora Abdul Fadhil Kassim حفظه الله
@@kassimabdillah5998 kwani anauzungumzia jambo Gani huyu? Da'wa au yanayofanyika ndan ya da'wa?
2014 ndo unaenda kusoma Pongwe. Na leo ndo wasimama kujisifia elimu na kwamba waita watu majina mabaya mabaya. Kuna wakati hata Umuri una zingatiwa katika kufikiria.
Sheikh abuu nuaim Allah akuhifadh uzidi kuwabainisha hawa salafi uchwara washenzi wa tabia kasim mafuta na wahuni wenziwe
Allah akuekee kwenye Mezani yako siku Malipo aamin.
Wanawaitaje Masheikh WAHUNI na washenzi Nani kakufunza Haya? Jee Uislamu umekufundisha hivi?
we umemuona huyo TU mbona huyo mafuta anatukana wat usiiongee ujinga
@@JumaMohammed-l4b hizo n Chuki zako Tu Sheikh Kassim hujawahi kumwita mtu Mshenzi na kama unayo hyo maneno weka link. Usiongee Tu Kwa Ushabiki cc Masalafy hatukufunzwa Matusi . Kwa7 Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam kasema Muislamu kutukana n Ufasiki
@@zanlec7357ww ni mpuuzi salaf uchwara ww uyo kasim kumbe humjui ww amemtukana matusi sheikh Salim barahiyan na amezulia uwongo kibao
@@zanlec7357ila nyinyi kuwaita wenzenu majin y kifedhul ni halal
Abuu umeir kuanzia mazungumzo vitendo ni mtu wa kujinyanyua kujikweza kujipamba na kujiinua daraja.Hana ila zarau na kuleta fitna tu miongoni mwa waislam.
Hakika kabisa 💯
Kumbeee Omari ni chakaa tu la washenzi
Muogope Allah unajua maana Ya washenzi Kua makini usikurupuke kana malaika Kila kitu wanandika
As we sheikh unataka uwachafue watu kwa ajili ya kupat umaarufu au
Ss hata sijui hizi tuna skiliza wasomi wa dini au tunaskiliza watu gn maana ni aibu hizi Allah atuongoze na atustiri
Allah akubarik kwa kuwabainisha maswaafiqaa
@AmaniKepa-s8i kweli fis ila ww shoga wa kassim anaekifira kila siku ndo maana unamtetea kwa nguvu zoteee
Shekh na ww unakosea moka maneno yko unayarejea rejea hayo kwa hayo mara zaid ya mia kwa kukosa lakusem
Itakuwa aliompiga picha Qasim mafuta ni hawa maadui zake . Labda walimpiga bila kujijua
Ndio wamemscreenshoot wakati wavideo call
Wacheni uhizbi sikilizeni maneno yanayo zungumza mutowe hoja na mafuta afanye bayana au afanye taraajui
Km kweli ni mchamungu bc mche mungu kwnza uwe na adamu acha kibri humuogopi duniani sw lkn heshimu watu
Naam Allah akufishe
Hapa umesema kwa ajili ya Allah au kwa ajili ya hawaa ya nafsi yako mche Allah
Hahahahahaha allahurmustaan
Usipambanie kupataheshima kwawatu pambania kupataheshima kwa ALLAH. watuhatawakikusifuvipi ila utazikwapekeako utaulizwapekeako" usifos heshma kwawatu mcheallah": " kwani wakikuchafua wewe utaulizwa kua kwanini wewe hukuwachafua? achakumsapot ibilis anatakamgombane yeye afurah
Acha ujinga wees
Naona umekua mpole
hujazuliwa ww ni mtivu wa nithamu hata mm nalijua hilo
Jamani musipate tabu na hawa salaf uchwara si watu wa dini hawa mafuta na genge lake lengo la ni kuleta vurugu tu .Lakn Allah atawafedhehi tu inshaallah .mana ilikua washamvaa dr islam Allah amuhifadhi mtu asie na shida kabisa .ni mijitu nyenye husda tu na chuki kwa wasomi wetu Allah awatafedhehi hawa salaf uchwara wa mafuta
Wewe ndio unaesema sheikh wa bara bora mlevi wa Pemba
Mcheni allaah
WATU HAWAWEZI KUHANGAIKA NA WEWE KWASABABU HUJIELEWI, UNAROPOKA TU, KISWAHILI TU
Ww ndy humuelew ila watu wanamuelewa
Maendeleo yakuwapi ktk umma😢😢😢
?,hamna haja ya kusoma ikiwa haal ndiyo hii,
Laa hawla walaa quwata Ila billah,
Ikiwa Kuna mtu Yeyote kakukera usulubu huu sii mzuri unao ufanya Bal mtafute mtu pray vate umueleze.
kwani yeye mwenyewe mafuta
huwa akiwatafuta wengine private?
Weye kushaumwa si bure
Kumbe unahasira ya kufukuzwa pongwe,
Semaa Kisha tafuta chai unywe hunaga ishu kifaranga ww
Jifanyieni daawa kwanza ndo muwafanyie wengine masalaf
Hakuna fitna mbaya kama hawa salafi uchwara wa kasimu mafuta na genge lake la wahuni Allah azid kuwafedhehi washenzi watabia hawa washaharibu sana sasa zamu yao wanabainishwa uwongo wao
Uko kulliya gani akhii
Tupe moja yamoshi
Kweli tupu
Alaf kwann picha imesambazwa kwa masufi na mahizb kwann haikusambazwa ktk channel yko au na ww pia ni sufi na pia ni hizbi?
Bangi iliingia kichwani vizuri.
😂
Hivi nyinyi masalafi Jambo gani linawafanye muvurugane
Hichi kikundi cha salafiya jadida ni mtiani sana
UMETUMWA WEWE KIBARAKA HUWEZI KUFANIKIWA UNAPOTEZA MUDA....ENDELEA KUSOMA ACHA KUWA MUONGO
Abuu Nuaym hana tofauti na mwijaku au lokole, mdaku sana, mwanamme hatishi mtu, sema tu jahil murakab
We mbumbavu sheikh wetu usimfananishe na hao wapuuzi wenzako salaf gan ww uchwara unae mfuatilia mwijaku
@ kujibu mjinga kama wewe ni kupunguza pumzi.
Huna lolote we wazulie uwongo tu utakugharimu Kwa Allah!
Masalafi ni KIRUSI kwenye uislam kuliko mashia
Andaa majibu basda yakufa kwahiki ulicho kiandika.
Mmmh.. Mche Allah.. Fanya istighfaar kwa kauli yako hii. Jitafakari sana kabla hujasema jambo lolote.
Sasa mpaka hapa nikundi gani lipo sahihi!! Haya ndo matokeo yakudharauliana.
Akhiy zungumza elimu utufaidishe.Wacha kuzungumza madhaifu ya watu.Hakuna aliyesalimika na madhaifu .kuwa kama wale waliojifunza adabu kisha wakaelimika.Tusiwe kama wahuni mitaani baada ya kusoma.Tujipambe na uchamungu hakika wachamungu wana mazungumzo yao
Kamakweli unaamin wewenimsafi mbeleyaallah na unaamin utaingiapeponi kwaajiliya elimuulionayo tu na unaamin mizaniyako itasalikanamoto bas endelea kupambana nawatu kuliko kunyenyekea kwaallah
Usisimulie hayo waache na ujinga wao
Jaamiya sio shida kwasababu wapo walio soma jaamiya lkn sasa hivi wana ekti
Akhy wewe baadayamasomo utakua ukigawanyasana watu mana huna tawaathuy unapenda kujikweza nahii nishidayamashekh weng mpaka vijijini hatawewe unamapungufuyakoo usjifanye malaika"
Uwahabi 😄 🤣 😂 ni shida kwenye jamii
Huku si kuelimishana ni kufedheheshana na jambo la kumfedhehesha muislam mwwnzio ni jambo lisilo faa km kazin hakuzin yy na mola wake mwenyw kumsitir muislam mwenziwe allah nae atamsitir mtu kua salaf haiw sabab kua hakosei ni binaadam nao mkamilifu ni allah pekee shekh ulijue hilo
Akhiiii someshaaaaa acha kulalalama ndugu usitie huruma una elimu somesha
Jino kwa Jino
BROO HUNA HOJA ZOZOTE NI BOROJO TU ZIMEKUJAA.
Jamani tuchungeni midomo yetu fitna ni mbaya sana, waliosoma pongwe wote wanamjua guruba sasa kweli kosa la guruba ukampe kassim mafuta?
Kwani Salafi wema di wapo katika makaburi yao, hawa wametokea wapi?
Shida Salafi Hapa Afrika Ya Mashariki wanajiona wako perfect ndio maana wanakojivua nguo watu wengi wanasema mnaona vijana na madhehebu yao mapya waliyoyavamia 🤣🤣🤣
Kazi mnayoo masalf wenyewe kwa wenyew 😂😂😂😂😂
Achaa tuonee filamu
Kweli Mzee wangu ulisema kweli
Wakati ilipo kuja Answar miaka ya 80 kuwa hawa baada ya muda Answari itabadiliki itakuwa nimakundi yaugomvi ilikuharibu uislamu mkiwafuata mtapotea ni mayahudi mtashudia tena migawanyiko yao zaidi Allah atunusuru
Kazi nikusemana hawa sio waislamu
Dogo hata kumalizia kusoma uko ulikoenda htujamaliza. Alafu wtaka Kiki.
@@HajiHaji-r6n kiki gan tena
Hujui dogo wtaka Kiki tu.
Nyie pigeni kelele na maneno yasio na kichwa wala miguu sisi tunaendelea kula durusu tu kutoka kwa mashekh zetu wa kisalafi Allah awahifadhi, we humchapi yoyote na riyaa zako sasa ukiwa jamiya wamtangazia nani? Hizo jamia hata waigizaji wa bongo movi kina Chilo wanazo na hazina manufaa yoyote
Kma wtafuta umaarufu basi hupati wala hujibiwi.
WADANGANYE HAO WENYE AKILI MGANDO KAMA WEWE
HUNA LOLOTE WEWE NI MGANGA NJAA TU
Ww muamsho😂😂
Unaushahidi kwa unalolisema upo tayari kwenda kutoa ushahidi mbele ya Allah au hawaa za nafsi yako
Miwahabi imeingia mtegoni hila zao uongo wao uadui wao husda zao kwa wanavyuoni na utuvu wa heshima kwa masheikhe wabainika kumbe mawahabi tabia zao ni mbaya kuliko mapote yote wao waongoza kwa upotofu,
Kijana unaonekan huna adab
Kama unakusudia dini basi Allah atakunyanyua na tutaona ukweli wako baadae na kama kuna chuki ndio zinazo kusukuma kuzungumza basi utambue utaanguka vibaya sana
Na kama unakusudia kheri hebu zungumza kwa elimu ili anae kufuatilia apate faida, maana mazungumzo yako yote unayo ongea yanaonesha kama kuna mambo ya kishakhswia mambo ya binafsi na ndio maana unalalamika sana.
مبارك بكلامك القيم
كلامك حق لمن كان له قلب يعقل
Hakika kabisa 💯 nimesikiliza Kwa utulivu mkubwa Sana lakini nmegundua kua Nafsi Yake Abuu Nuaym iko n kisasi kikubwa Sana .
Na amedhamiria hasa kutafuta Aibu za Masheikh na amefalia toka Yuko huko kutafuta taarifa na kukusanya , jeee Uislamu unasemaje juu ya kuongelea Aibu za watu? Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam amefundisha nini ? Nani katika cc Hana udhaifu au mapungufu Yake? Jeee kwavile mtu n Salafy hakosei? Jee wewe hufanyi Makosa na huna Aibu zako? Chunga San kbla Allah hajakudhalilisha.
Soma Kwanza Kijana Acha malumbano na kutka kueka Fitna na kugawa umma WA kiislamu
Kwa mujibu wa maelezo yako unataka kutuambia picha ni halali huko Madina kama ndo unacho soma hicho خبت وخسرت
SASA KWA WATU WENYE KUJITAMBUA WEWE TUNAKUONA KAMA MCHONGANIFU NA MNAFIKI TU
Anatafuta umaarufu kweli umaarufukazi kweli
Na nyie mnaosambaza hizo picha je kwa imani yenu inafaa kufanya hivyo najua mtasaema mnatoa ushahidi lakini kwanini usambaze kama amefamya kosa akiwa chumbani kwake au uwani kwake wewe dalili ya kusambaza unatoa wapi
We kijana kwa haha maneno yako yadhihirisha kuwa huna akili sawasawa.basi ndugu yangu kapime akili kwanza .mwehu we yaani mlevi wa pemba ni bora kuliko shekh bara kwa lipi mlililo malo
Kwani waliokua ndani ni uamsho wote?
humu hamna mtu humu 😂😂
Naon salafy uchwara mnakulana wenyew kwa wenyewe sasa
AMA KWELI WEWE MJINGA UNABWEKA SANA!!!
YAANI UNAZIDI KUDHIHIRISHA KWELI WEWE NI MJINGA!!!
UNAZIDI KUBWEKA, UPO UNAZUNGUMZA MWENYEWE, HAKUNA SHEIKH HATA MMOJA ANAYEHANGAIKA NA WEWE!!
ENDELEA KUBWEKA!!!
Sindano imekuingia baraabara lazima utoe sauti
je hao maswawaafika wakitoa yakwake huwa siwajinga hebu jibu
@omarabdullah-k8j NA WEWE AKILI ZAKO NI KAMA ZA HUYO MPUUZI SASA HAPO UMEZUNGUMZA NINI??
Majadida wamecharuka kwa matusi kwenye coments 😅😅 nidalili ya kushindwa, na bado mpaka mrudi kwenye haki ndio tutaacha ruduudi kwenu,
Duuuh hatareeee . Wasamehe waadhirika. Wasijeleta fitina kwako.
Wewe ni muongo huaminiwi ila na waongo wenzako
Huyo alyezaa na mke wa mtu Kisha baadae akamuoa ni sheikh Nani??
Maneno yaliyo kosa adabu kabisa,
niko hapa mim nasubir hayo mafaili shekh 😅😅
Wapuuzi na wapumbavu picha sio i'lmu ya dini tunayo itaka kuiskia
Mawazo mwisho ni umbea tu hujazungumza kimoja cha elimu.