𝐃𝐉 𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈 𝐀𝐇𝐀𝐋𝐀𝐋𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐙𝐈𝐊𝐈 _____ SHEIKH ABDALLAH HUMEID

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 383

  • @mubaarakhassani5746
    @mubaarakhassani5746 3 месяца назад +3

    Hapo ndugu yetu umekosea Tunakuombea Allah akuongze katika njia iliyonyooka

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 3 месяца назад +3

    اللهم صل وسلم على محمد وعلى آله وصحبه أجمعين ❤

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 2 месяца назад +2

    Hili chizi saidi limenyewa na kunguru

  • @amaniamokachielmorisho1007
    @amaniamokachielmorisho1007 3 месяца назад +9

    Inalillillah wa Ina ilayhi rajiuna Allah akuongeze Sababu utapoteza watu wengi we Dj

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 3 месяца назад +1

      Utakwenda kuulizwa pia huo UDj alisomea chuo gani cha kiislam ambacho aliupata au ulitembea na chuki zako na chuki za mashekh zako, Hukum haikuhusu wewe maana hata wewe hapo sio mkamilifu na ndio maana utahukumiwa au Shekh zako wanaamini na kukuaminisha kua huto hukumiwa? Chunga maneno yako unapo zungumza na unapotoa mawaidha toa kwa njia ambayo yule unae mpa mawaidha hamta gombana nae, Wewe Kazi yako ni kufikisha sio kuhukumu.

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад +1

      Hapa hakuna kosa bali tunazidi kuthibitisha ufinyu na uchache wa elimu kwa mawahabi yaani ndugu zetu hawa ukiongea jambo uongee rahisi mpk mtoto mdg aelewe lkn ukiongea kiufundi kdg tu ukazama ndani ili mtu akomaze akili ndugu zetu mawahabi tunawaacha njia panda hawaelewi na hawataki kusoma matokeo yao ndo kila jambo halifai dah msiba mkubwa kwa kwly tusomeni jmn

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 3 месяца назад

      @@LASSUH4947 kwa hiyo mziki ni halali?

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 3 месяца назад

      @@abdullahmasakata170 unatetea kharam wakati ipo wazi apo!

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 3 месяца назад

      @@alfamody6286 Kua na akili jitambue usiaminishwe jihadi wakati wanao fanya hio jihad wanauwa ndugu zako waislam alafu Wewe unacheka unaona hio ni suna .Elimu mtu wangu ,Achana na mapokeo au elimu ya misimamo au itikadi za watu.

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 месяца назад +3

    Asante shekh 😂😂😂 nmependa hii chalenji yakueka ndombolo msikitini.
    hakika huyu kijana allah amuongoe kateleza sana.

  • @hasnakid
    @hasnakid 3 месяца назад +5

    Fayasubhanallah wallah inasikitisha na inahuzunisha sana 😢😢
    Allah atuongoze njia iliyosawa.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 3 месяца назад +5

    Dah!!! Huyu jamaa naona cjui anaelekea wapi yan kuna watu hii dini ndio moto wao Allah atuokoe na adhabu zake kw rehma zake😢

  • @alfamody6286
    @alfamody6286 3 месяца назад +3

    Ukifaham kuwa maisha ya muislam kila hatua ni ibada basi hautapata taabu kubaini uharam wa hili jambo. cjui huu mziki unachukua sehemu gani ya ujira

  • @Athumaniikaku-wt7vn
    @Athumaniikaku-wt7vn 3 месяца назад +4

    Mmmhh Allah amuongoze inshaAllah

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 месяца назад +5

    Kisomo ni tofaut na mziki... Huwez sema anasoma Quran Kwa kisomo ni kama aina mziki, hapana sheikh kakosea saaana.

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад

      Bro yaani naamini mawahabi ufahamu wao ni mdogo anamaanisha kwnye Qur'an hizo mnazo tumia balagha bayat rasti nahawandi ajamy zote hizo hazikuletwa na mtume kwaio kma hamtaki bidaa msitumie lkn mnatumia kisha hizo hizo mtu akitumia kwenye shairi au kwenye kusoma mlango au qaswida au anaashid mnasema haramu so swali kwnn huku kwengine ziwe haramu na huku kwa Qur'an ziwe halali yafaa uelewe hajasema Qur'an ndo usisome au ndo kasema ni kma mziki bali hizo ala unazotumia yaani hizo sauti na hazijaletwa na mtume cjui umeelewa

    • @erishaaboumpangaje8597
      @erishaaboumpangaje8597 3 месяца назад

      Dunia atatuangaikisha yaan ma shekh dj

  • @IbrahimRajabh
    @IbrahimRajabh 3 месяца назад +1

    Allah akbr Allah akbr Allah akbr

  • @ABDINURA-hb9ky
    @ABDINURA-hb9ky 3 месяца назад +3

    Dj saidi anafitna wallahi,,Allah atuhifadhi kutokana na fitna zake subhanaAllah,,,fatan

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 3 месяца назад +7

    Huyu ni DJ kweli.Subiri collabo na diamond uwe maarufu sababu walazimisha umaarufu kwa dini na haumoooooo.

    • @Wastara001
      @Wastara001 3 месяца назад

      Akimaliza kolabo ya diamond afanye kolabo na zuchu

    • @abuuhafswamunsheedu5790
      @abuuhafswamunsheedu5790 3 месяца назад +1

      Kumbe mnawafuatilia hao waimbaji ba nyie!

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 3 месяца назад +1

    subhana Allah hapa amefeli chehe said

  • @KhatibuAkida
    @KhatibuAkida 6 дней назад

    we shekhe said muogope Allah usipoteze watu

  • @FadhilFadhil-y8t
    @FadhilFadhil-y8t 3 месяца назад

    Allah atuongoee inxhallah

  • @fadhilimatano3213
    @fadhilimatano3213 3 месяца назад +5

    Tuchungeni ndimi zetu waislamu matusi ni madhambi na Mtume hakuwa na sifa hizo

  • @FatumaWaziri-v2w
    @FatumaWaziri-v2w 3 месяца назад +1

    saidi upo sawa na mim nafsi yangu nakupenda ila ushaur t si kila jambo lafaa kusemwa kwa watu unge tetea maulid t ingetosha bila kutaja mziki m mungu akubariki sana ust saidi tunakupenda kw ajili ya allaah

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +3

      @@FatumaWaziri-v2w subuhana llah kweli mtu akipotea hawezi ongoka yani jitu linaharatisha muziki unasema tunakupenda kwa ajili ya Allah yani ni sawa na kusema endelea kutulingania moto wa jahamu sala laa duh! Ama kweli usufi ni upotevu na itikadi batwil Leo nimeamini

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 3 месяца назад +1

      Huyu anaonekana kampenda tu huyo Saidi kwa hiyo hata kama kaona anamakosa lakini kaamua kumkosoa kwa kumsifu! Nonsense!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@fatmasalim7132 ana mahaba na mtu kuliko hakki itokayo kwa Allah ndo wajichunguze watu itikadi yao nitaingia katika makundi 72 alitabiri mtume yataingia motoni isipokuwa kundi moja nalo fil janna.sasa unahararisha miziki utasje kuingia katk makundi 72 yenye kuangamia motoni mtu inatakiwa akiewa abari aichuje so anapokea tuuh shekh kasema saivi wameibuka watu wengi kila mtu adai ushekh.

  • @Hashim-v1t
    @Hashim-v1t Месяц назад

    😢 wah

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 3 месяца назад +1

    Muambie bas diamond akuunge wasafi kule umependexwa

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 3 месяца назад +4

    Wajua mm nashangaa sna watu wengine ety ni madaaia wanasimama mbele y watu kutoa mawaidha watu kama hawa kweli akili timamu ni kitu nzuri sna

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 3 месяца назад +5

    Ukiskia masheikh wa kupotosha ummah ndio Hawa Sasa...ata hao walio kaa chini wanamsikiliza washapotoka ..... Allah atuongoze njia ya haki... Allah humma Ameen 🤲

  • @kitosio
    @kitosio 3 месяца назад +3

    Huyu Kijana kumbe Mashakka Sana. Anapiga mazumari

  • @KhamisHilali-p4d
    @KhamisHilali-p4d 3 месяца назад +3

    Kujiona unaujua sanaaa Kweli kunakupeleka kwenye ujinga hakika huyu ni mjinga na wala hajijui km mjinga...unaihalisha allioharamisha mola wala dah innalilah waina illaikh rajiuni

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 3 месяца назад

      Inaitwa Jahal murakkb

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад

      Kwly maneno yko bro unaezajiona unajua kumbe ukawa ndo mjinga wa mwsho sasa hapo amehalalisha kipi ambacho Qur'an imekataza hem twambie na cc tuone

  • @OthmanMbuguni
    @OthmanMbuguni 3 месяца назад +1

    Inna lillahi wainna ilayhi raaj'uun

  • @Tr.Abdussamiy
    @Tr.Abdussamiy 3 месяца назад +1

    Eti mziki sio nini?

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 месяца назад +1

    Ebu tuambie DJ said wataka Qur'an hisomweje , mn naona ndipo ht wamshinda RASULLULLAIH

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 3 месяца назад +1

    HUYU SAIDI KAROGWA KWELI YAAN MZIKI WAFANANISHA NAMZIKI

    • @maalimothman684
      @maalimothman684 3 месяца назад

      Lakini mganga alio kuroga wewe ni mkali zaidi soma ulicho andika

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 месяца назад +8

    She mche Allah ndugu yg acha mziki

  • @allyjuma9669
    @allyjuma9669 3 месяца назад +1

    Ww said muogope allah yaani unahalalisha muziki kwa kufuata ya mataamanio ya nafasi yako

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@allyjuma9669 Sasa watu kama wanaoabudu makaburi na wanaonba Aya na hadithi inayo kataza kuwaomba mayte atashindwa kuhararisha muziki

  • @AbdihafidMohamed-c8h
    @AbdihafidMohamed-c8h 2 дня назад +1

    Wee rasta ni mustaqim we watu wengine ni mabumbafu 😂😂😂

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 3 месяца назад +3

    kwenye kazi Kuna kazi kweli hapa sijui si Bure uchizi unamjia huyu dj

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 3 месяца назад +2

      Ndivyo alivyo sema imamu shaafy rahimahullah kwamba ukiingia katika usufi asubuhi haifiki mchana isipokua ushakua chizi huyu amekaa mda gani katika usufy itakua ana uchuzi uliopitiliza

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 3 месяца назад

      ​@@Abuu-lr5bz
      Malizia hayo maneno ya Imam shafi usiyasome nusu nusu.
      Yaani umeyasoma ulipo pataka wewe panapo kuumbua umepaacha,
      Malizia hayo maneno ndio utoe hoja.

    • @hamidaawadh9024
      @hamidaawadh9024 3 месяца назад

      ​@@suleymanmohd3418malizia wewe tuyajue

  • @Salimajeeb
    @Salimajeeb 3 месяца назад +4

    Shekh said yuko sawa mashallah allah amzidishie ilmu❤

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 3 месяца назад +1

      muogope mungu wako wewe,huyu kashakufuru asikuingize na wewe kwenye ukafiri

    • @hamadysalum7242
      @hamadysalum7242 3 месяца назад +1

      Na elimu yenyewe ndio hio?

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад

      Hakika maneno mazur hayana shaka kwa mwenye elimu na ufahamu

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад

      ​@@Allybinamourkakufuru vp hem twambie

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад

      ​@@hamadysalum7242kma yako au😂😂😂

  • @أبومعاذ-ض6ع6ب
    @أبومعاذ-ض6ع6ب 3 месяца назад

    Haya,baada ya kuskiza,kuwa Hakimu muadilifu na uache kufuata hawaa ya nafsi!Baraka Allahu fikum

  • @omarmohammad1528
    @omarmohammad1528 3 месяца назад

    Wallhy Bila Ilm mtapotea vbya sanaa. Uzushi ni motoni direct

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 3 месяца назад +1

    Uyu akapige muziki tu ajuulikane kuliko kuuchafua Quran na uislam Allah atukinge na Shari za maghurafi

    • @athmanbilal810
      @athmanbilal810 3 месяца назад

      Wewe ndio shari kubwa hapa ulimwenguni. 😂😂

  • @HuseynDaudi
    @HuseynDaudi 3 месяца назад +2

    Kisha akitwa dj mwakasirika

  • @alimzee7397
    @alimzee7397 3 месяца назад +1

    Naona saiv kunawatu wanampenda mtume zaid kuliko maswahaba yaani mpaka wanapiga mziki kwa ajili ya mtume saw subhanallah allah atuhifadhi

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 3 месяца назад +1

      Yani mtihani sijui wamesoma wapi hawa wana hamasisha watu vibaya

    • @AllyKiduka
      @AllyKiduka 3 месяца назад

      Wewe abdallah ni chizi kabla hujaharamisha mziki kwani taarifu ya muziki ni nini?kuharibiwa maana ya mziki na kinadayamondi kwani mziki ni ni?ماهو الموسيقي؟wewe chizi lete taarifu

  • @shariffomar
    @shariffomar 3 месяца назад +2

    SUBHANALLAH ALLAH

  • @MwanahawaKhoja-le6bm
    @MwanahawaKhoja-le6bm 3 месяца назад

    Tatizo uwelewa wenu mahabi ni mdogo mnoo

  • @KhalidMavumbi
    @KhalidMavumbi 3 месяца назад +2

    Unaongeaa sahihi ndugu yangu

  • @FadhilFadhil-y8t
    @FadhilFadhil-y8t 3 месяца назад

    Allah atuongoee

  • @NassifSuleiman
    @NassifSuleiman 3 месяца назад +5

    Uzushi ni mbaya sana wampeleka mtu sehemu mbaya sana ukiuungia kutoka kwake ni kazi kubwa mno mpka Allah amrehemu mtu huyo ndio hali ya huyu DJ, ni bora angebaki hukohuko kwenye mziki sio jambo lake hilo kuliegemeza na Dini

  • @jamalikatikiro6145
    @jamalikatikiro6145 3 месяца назад +1

    Tafuten elimu achenni kukufurisha wenzenu

  • @jafarimalesi3872
    @jafarimalesi3872 3 месяца назад +1

    Wapotosha waislamu kaka

  • @zahraamer-jp5nc
    @zahraamer-jp5nc 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @famaufarmajo9665
    @famaufarmajo9665 3 месяца назад +2

    الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله، وصحبه، أما بعد: فإن التغني بالقرآن مأمور به شرعًا، فقد جاء في صحيح البخاري، وغيره أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ليس منا من لم يتغنَّ بالقرآن. أي: يحسن به صوته،

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 месяца назад

      Je Qur'an inaimbwa au inasomwa?

    • @muhamadali-r8r
      @muhamadali-r8r 3 месяца назад

      Ufafanuzi wa neno Hilo maana yake ni kufanya uzuri katika usomaji wa Qur'an​@@jumakapilima7295

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 3 месяца назад +2

    Masheikh wahaq waksema mnasema wana hasad kwalipi wanalo waimbaji kama awa

    • @khamiisathmaan4362
      @khamiisathmaan4362 3 месяца назад

      Sio wasema kwa media niwamfuate hadharani wajadiliane Naye

    • @haidarsalum9228
      @haidarsalum9228 3 месяца назад

      Na shkh wa haqi? Mwny ubakika 100% na anachokifnya kuwa ndivyo hvyo hivyo ilivyokuwa..

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 3 месяца назад +2

    Astaghafillah🥺🥺🥺 huku tunakoelekea ni kutimia kwa maandiko matukufu ndani ya Qur'an "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfate mila zao". Huyu sheikh anaupoteza ummah wa kiislamu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 3 месяца назад +3

    Huu mtihani kabisa

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 3 месяца назад +1

    Wacha kujifichaa Sura zako ukaonesha za wenzako,jitokezee nyuma ya pazia kama mwanamume

  • @alliyharith3457
    @alliyharith3457 3 месяца назад +4

    Duh!! Ndugu yng Said, sasa unachupa mipaka. Rudi kwa mola wako

    • @kingmansa523
      @kingmansa523 2 месяца назад

      Basi huyu asiwe nduguyako sometime naona huyu kijana kama amepungukiwa na akili kbs

    • @AbduSalam-o9u
      @AbduSalam-o9u 2 месяца назад +1

      Anza wewe

  • @khalifaahmedmohamed4775
    @khalifaahmedmohamed4775 3 месяца назад +1

    SHEKHE MCHONGO WAJUA MPAKA DOMBOLOO😂😂

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn 3 месяца назад +1

    Yote haya kwa sababu yakutaka twari

  • @malishainvestment-i2i
    @malishainvestment-i2i 3 месяца назад

    Alaaaàaah kumbe waangalia picha

  • @Harunery
    @Harunery 3 месяца назад +1

    Huyu chizi anautafuta moto wa ALLAH

  • @Athumaniikaku-wt7vn
    @Athumaniikaku-wt7vn 3 месяца назад +2

    Kunawatu wanamtetea huyu Dj

  • @MadinaChikumbi
    @MadinaChikumbi 2 месяца назад +1

    Kwenye comet kuna vichaa wengi sana hiv watu hawajui uharamu wa muziki kweli?

  • @AliyKhamis-c5d
    @AliyKhamis-c5d 3 месяца назад

    Subhan allah

  • @nassor6333
    @nassor6333 3 месяца назад +2

    Zuchu , Diamond, Ally kiba, Khadija kopa, Eheee wamepata mtetezi wao ! Eti huyu ni shekhe tegemezi wa kisufi mtetezi wa Mawlid.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@nassor6333 Sasa watu kama wanaoabudu makaburi na linasimama jitu lina vilemba na kusema tunaomba Aya na hadithi inayokataza kuwaomba mayte atashindwa kuhararisha muziki

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 3 месяца назад

      @@nassor6333 mwenye kumskiza huyu DJ na kubali na kumtetea ni wazi kuwa hana elimu ya dini au n ta'asub anayo

  • @abuuyaasiriibrahimkyone.2911
    @abuuyaasiriibrahimkyone.2911 3 месяца назад +2

    Hili ni zigo zito kweli kweli.

  • @sayeedsaleem6395
    @sayeedsaleem6395 3 месяца назад

    MashaAllah sheikh Said Allah akuhifadhi

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 3 месяца назад

    Huyu DJ HAMUONEI HATA AIBU ALLAH......NA DINI YAKE HII SAFI YA KIISLAM

  • @hassanswaleh2021
    @hassanswaleh2021 3 месяца назад

    Sstaffullah bro watoa kusmama kwa kibla matusi ya mfano wa kende ww umekoaea omba msamaha

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 месяца назад +4

    Elimu aliyokupa Allah ni Amana

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 месяца назад +2

    Wanaohuzunisha ni hawa wanaohutubiwa ujinga na huyu DJ mpotoshaji mropokaji halafu wakacheka. Atakupelekeni motoni huyu Juhhaat. Shauri lenu

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 3 месяца назад

      Sahihi kabisa!😢

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 3 месяца назад

      Nadhani huyu shetwani said anavuta bangi,maana hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza fananisha kusoma qur'an na kuimba nyimbo.huyu kachupa mipaka nyie mnaoishi kenya harakisheni kumuua huyo dj said inshaALLAH mtaikuta pepo ni yenye kuwasubiri

  • @BIOBIBER_Musician
    @BIOBIBER_Musician 3 месяца назад

    Muziki ni sanaa ya kupanga na kuunda sauti kwa namna inayovutia na kufurahisha. Muziki unahusisha vitu kama vile melodia, mdundo, harmonia, na wakati mwingine maneno (nyimbo). Ni njia ya kujieleza inayoweza kusikika, inayogusa hisia, na hutumika kwa burudani, ibada, au mawasiliano ya kihisia. Muziki unaweza kuwa na mitindo mbalimbali kama vile muziki wa jadi, muziki wa kisasa, pop, jazz, hip hop, na aina nyingine nyingi kulingana na tamaduni na ladha za watu.

  • @Aishabunu-i4y
    @Aishabunu-i4y 3 месяца назад

    Subhanaallah 😢😢

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 3 месяца назад +2

    Huyu si mumuite mjadala wazi au hamuoni amezidi😂😂😂 Muiteni mjadala wazi basi mumueleweshe😂😂😂😂😂😂

  • @MussaMussa-ph6wm
    @MussaMussa-ph6wm 3 месяца назад

    Dah! ALLAH awaongoze hawa watu.
    Yaani watu wa Bida'a watatafuta kila namna kutetea Bida'a zao, shirki zao na kila baya lao.
    Kwani alosema "IPAMBENI QUR'AN TUKUFU KWA SAUTI ZENU" ni nani?
    Kweli hawa ni WALINGANIZI KATIKA MILANGO YA JAHANNAM,
    MWENYE KUWATII WATAMUINGIZA HUMO."
    ALLAH atukinge nao.

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 месяца назад +1

    Nilijua huyu ni mpuuzi

  • @SushmermSwaleh-uh7ds
    @SushmermSwaleh-uh7ds 3 месяца назад +2

    Kweli huyu khurafi ni DJ.
    Mtume swallallahu alaihi wa sallam alitymia sauti nzuri na sisi twatumia sauti nzuri Wala hatusemi mtume ametumia Hayo majina ulio taja

  • @QassmuManaaph
    @QassmuManaaph 3 месяца назад

    Yani Hawa Masalafi wao washaajitia peponi tayari

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 3 месяца назад +1

      @@QassmuManaaph ebu taja mmoja tu na mji wake au nchi yake aliyesema kwa kinywa chake ni wa peponi

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 3 месяца назад

      Au syo ni ukweli hamtaki kubali .....na hyo ndyo sifa za watu kama Abuu Jahal akina Firauni na mfano wao

    • @HuseynDaudi
      @HuseynDaudi 3 месяца назад

      Kusema kua mziki ndio kujitia peponi , acha urongo , na ujinga

    • @HuseynDaudi
      @HuseynDaudi 3 месяца назад

      Kusema mziki ni haramu , ndio kujitia peponi ? Mbona husemi ukweli

    • @QassmuManaaph
      @QassmuManaaph 3 месяца назад

      @@KhamisiMulusi Tushaafananishwa na Akina Abuu Jahli tena na kina Firaun duuh.
      Mna kazi ninyi

  • @AbuufawzanaSalafiy
    @AbuufawzanaSalafiy 3 месяца назад +1

    إنا لله وإنا إلیه راجعون

  • @muslihmohd3685
    @muslihmohd3685 3 месяца назад +1

    Huyu ni mtu kasoma wala hakuelewa vibaya ispokuwa nafsi yake imempambia hayo akapenda Sauti ya shetani(muziki)...
    Anajuwa ila anafamya makusudi,Allah amuongoze

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 месяца назад +1

    Awake disco msikitini kwake

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 3 месяца назад +2

    Ufahamu wa masalafi nimdogo sana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      Nenda zako we khurafi Allah ameharamisha muziki katika surati yunusi aya 54 na 56 kama sikosei nyi wapotovu kweli yani usufi ni itikadi batwili kadri siku zinavyoenda mashek zenu wanalingania batwil subuhana llah kwahiyo ninyi na Allah pamoja na mtume wake na Hawa mashekh zenu wanalingania watu moto yupi mkweli???

    • @NassifSuleiman
      @NassifSuleiman 3 месяца назад

      @@SaleheKhamis Kwanza masalafi wawajua au wazungumza tu kwa matamanio yako na ninaamin hata unachokisema hukijui na km unajua njoo useme masalafi ni kina nani

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 3 месяца назад

      Wenu masufi ndio mkubwa syo? Ndo mtetetete huyu DJ anayehalalisha alicho haramisha Allah na mtume wake? Au nyinyi dini yenu ni ipi

    • @amanihuseni5007
      @amanihuseni5007 3 месяца назад

      Iv we huo ujing anaosem ndug yk yy ndoanaufahm mpan
      Yyt anaitw salaf allah awabaarik ❤❤❤❤

  • @RAMADHANIMohammed-vv6bx
    @RAMADHANIMohammed-vv6bx 3 месяца назад +1

    Mbona sauti za mziki zinatumiwa kusoma kuran ,niwekeni sawa

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 3 месяца назад +1

    Kama huyu shekh anaona shekh Said anakosea aombe mnaqasha tuone ukweli upo wapi kuliko kujibu akiwa mafichoni na sura yake haionekani, Ila sauti inasikika akiongea kwa rekodi voice, Omba hilo ili tumalize utata tuone kma itamshinda huyu shekh Said. Wallah ukimshinda nakuwa mfuasi wako na ukiogopa kufanya mnaqasha nitajua lengo lako ni ubishi na ushindani na kutafuta umaarufu na kujionyesha wewe ni hodari,Elimu huwa haijifichi na mwenye elimu anajulikana anapoongea na namna anavyo zungumza.

    • @WakatiShibu
      @WakatiShibu 3 месяца назад

      Asanta sana bingwa

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 14 дней назад

      Hana mda huo na mnakasha na huyo dj, ww hoja umesikia amebainisha vzuri sasa akili kichwani mwako,

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 3 месяца назад +4

    Huyu d j amche Allah jamani hata mziki ni Halali ? eeeeee kweli dunia hiooo inaishaaa

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 3 месяца назад +13

    yaani. unasema Qur'an ni miziki. Kwani mtume si kasema tusome Qur'an kwa sauti nzuri yaani ww shetani amekutawala

    • @abdoumadiousseni4835
      @abdoumadiousseni4835 3 месяца назад +3

      Wala sio mtume sw tu bal Allah amesema katika surate muzamilu aya 4 أوزدعليه و رتل القرآن ترتيل au uzidishe- na usome Qur'an kwa utaratibu na utungo.lkn ndivo bidaa nilazima iyo mwazo inavo anzia inaazia kidogo kidogo mwisho wasiku matokeyo yake hupeleka mtu pwabaya mno 😢😢😢😢 huyu Dj said amesha fika sehem husika shetani alivotaka kumpeleka sio mda mrefu masikini yitakuwa kama makanisa wataweka kabisa vifa za miziki 😢😢😢😢

    • @QassmuManaaph
      @QassmuManaaph 3 месяца назад

      ​@@abdoumadiousseni4835😂😂😂😂😂
      Wewe unajua maana ya hiyo aya

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 3 месяца назад

      Tumeambiwa tusome kwa utungo na taratibu,
      Je kuna Aya au hadith inatoa maelezo utumie sauti gani kuisoma hiyo qur an....,!!!?
      Unaweza ukatuambia mtume hiyo qur an kwa utungo alikuwa anaisoma vipi ili tuige kama yeye.....,!!!!?
      Sheikh said ametoa mfano Imam Sudeis tartiil yake ni sauti ya RAST je ndivyo mtume au Allah kaelekeza tuisome kwa sauti hiyo.....,!!!?
      Au nyinyi wenzetu elimu za ASW'WAATU HAMNA.....,!!!?
      Mnaweza mkatuambiwa ni nin maana ya mziki.....,!!!?
      Mnamhukumu vipi mtu ambaye ameweka taarabu au bongo fleva ndani na mkewe hali ya kuwa wapo uchi na wanacheza mziki.....,!!!?
      Muwe na ilimu ya kuzungumzia hayo mambo kwanza kabla ya kuyatolea maelezo.
      Mnaposoma kwa masheikh zenu muwaambie wawape mafhumu ya hizo hadith na Aya sio wawasomee tu fafsiri, elimu haiko hivyo.

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 3 месяца назад +2

      Ufahamu siku zote ni rizqi kma mnaelewa hajakwambia Qur'an ni mziki bali amekwambia Qur'an mnaposoma mnatumia naghma akina bayat na zengine lkn naghma hizo hizo ukitumia kusomea qaswida mnasema haramu kwnn iwe huku haramu na kule halali? Qur'an ubora wake uko pale pale ila anazungumzia hizo maqaamat maana huwezi soma hivi hivi lazma utazitumia kwaio mbn kwenye Qur'an mnasema halali na mnakubali lkn kwenye qaswida zinakua haramu cjui mnaelewa ndo nmewaambia ufahamu ni rizqi ALLAH humpa amtakae na sio kila mtu

    • @yahyamalolo3202
      @yahyamalolo3202 3 месяца назад

      Allah wakati anamwambia Mtume hakika leo nimekukamilishieni Dini yenu hapo Maulidi ilikuwepo

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 3 месяца назад +1

    WACHA KUSEMA WENZAKO NYUMA YA PAZIA.MBONA UNAOGOPA MUNAQASHA NA USTADH SAIDI

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 3 месяца назад +2

    huyu mpotoshaji tuu

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 3 месяца назад +1

    Shekh AbdaLLah humeid radhi za mwenyezimungu ziwe juu yako bora umeliona hilo baadhi ya waislamu wameunga mkono huyu dj baada ya kuhalalisha mziki nilisumbuka kuwaelekeza lkn ikiwa kama mashindano

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 2 месяца назад

      Swahaba peke yake ndye anafaa kuambiwa radhi za Allah ziwe juu yake ama wengne tunawaombea Rahma za Allah ikiwa ameshafarik au tunawaombea Allah awahifadh ikiwa wapo hai Naam

  • @farajichilumba5114
    @farajichilumba5114 3 месяца назад +1

    Eti kuna mijipumbavu yamsapoti dj

    • @aminabdalla7824
      @aminabdalla7824 3 месяца назад

      @@farajichilumba5114 eti bana ipo tu imeweka majisura apo... subhana Allah 🤭🤭 Allah humma Ameen

  • @mohadsalum9764
    @mohadsalum9764 3 месяца назад

    Yaani miaka miasita uisilam unajuwa mziki haramu we unae halalisha elimu hiyo umetoa wapi we dj

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 3 месяца назад

    Huyu jama atawapoteza masufi wenzake wote

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 3 месяца назад +1

    Mmh huyu nilikuwa namkubali ila.saiv naona hakuna kitu hapa allah akuongoze

  • @waleedalhinai367
    @waleedalhinai367 3 месяца назад

    Shekhe Said yupo vizuri

  • @Abuthwalib88
    @Abuthwalib88 3 месяца назад

    Kwani Alhaakumu takaathur sio Qur'an? Na nani aliweka eti Taraweh isomwe Qur'an mzima? Acheni ushoga bana

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 3 месяца назад

    She saidi yupo sahihi knisa shida ufahamu wenu mdogo tu na kutafsiri mambo juu

    • @NassifSuleiman
      @NassifSuleiman 3 месяца назад

      @@hajisimaikhatib9002 ufaham wenu unamatatizo sana, wapo wanazuon waliotelekeleza ktk hili kina Ibn Hazim lkn wamepewa udhuru kwasababu ni mujitahiduun na wamekosolewa, sasa Huyu Dj anaparamia mambo asiyoyajua kabisa ni afadhali angeenda kuimba taarabu hukoo kuliko kuyaingiza mambo haya kwenye dini

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 3 месяца назад

      Sio yeye
      Ni wanawavyuoni ndio wasemao

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 3 месяца назад

      We pia ni mgonjwa mwengine

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 месяца назад

      ​@@jamalishoo3802ukiwa sio mfatiliaji maisha utakuwa mjinga
      Haya hao wana wa chuoni waliosema mm nisaidie jina la kitabu na namba ya kurasa tu

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 3 месяца назад

    Hata mie naupenda lakini usogongana na uwislamu

  • @Iddy-e5m
    @Iddy-e5m 3 месяца назад

    Huyu kachanganyikiwa

  • @HalimaKinyashi-w7h
    @HalimaKinyashi-w7h 3 месяца назад

    Huyu hajielewi , hajui maana ya mziki , Mziki maanayake ni Ara na gani . Sauti pekee haiwezi kua Mziki , Bali Ara pekee bila hata ya sauti yaweza kua Mziki na ndio uhakika wake ulivyo , tujitahidi Sana kwenda kinyume na matakwa ya NAFSI zetu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 месяца назад

    Mnakurupuka ktk kufahamu uyo kaeleza mambo ya sauti ambazo zinatumika kuimba nyimbo za kumsifia mtume

  • @Zuhura-w2u
    @Zuhura-w2u 3 месяца назад +1

    Huyu dj hajitambui mbona ww unalingania usheitwani huo acha ujinga ww hata kama watu hawajasoma hata picha hawa oni ???kwani Aya ya Allah hamuioni ikiharamisha miziki?????achakudanganya watu

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 3 месяца назад +1

    Sheikh humeid ni SIMBA wa makhurafi

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 3 месяца назад

    Si mpka mayahudi wawe na ilmu huezi muelewa kma ww ni shabika wa dhehebu

  • @ali_ford
    @ali_ford 3 месяца назад

    😂daaah

  • @NassorrajabJuma
    @NassorrajabJuma 3 месяца назад +1

    Huyu juha anapeleka watu moton