RADD KWA IZZUDYN ETI KWAMBA HADITHI YA KUGAWANYIKA KWA UMMAH WANAKUSUDIWA MAKFIRI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 28

  • @KhadijaAlly-wf6wx
    @KhadijaAlly-wf6wx 6 месяцев назад +1

    ALHAMDULILLAH KWA ALLAH KUNIJAALIA KUFUATA NJIA YA WEMA WALIO TANGULIA

  • @ShakimTyger-vw4ly
    @ShakimTyger-vw4ly 7 месяцев назад +2

    Tandika bakola hawo wajielew. Allah awahifandi mashee wetu wakisalafy

  • @abdulikhamis
    @abdulikhamis 7 месяцев назад +2

    Allah Akuhifadhi na Akupe UMMURY mrefu wenye Barakah!! yaa Sheikh Abul Khatwaabi Abdallah Humeid..

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 7 месяцев назад

      Tutaangalia mwezi WA jamaica kwani huko hamna waisilamu Na mwezi?

  • @kiduamakinda
    @kiduamakinda 7 месяцев назад +2

    Jazaakallaahu khaira Allah akuhifadhi sheikh wetu pamoja na masheikh wote wa kisalafiy na awaongoze waliopinda Allaahuma amiyn

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 6 месяцев назад

    Birri moja bila...Khurafii huyu maskini Allah amsaidie.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 7 месяцев назад +1

    Sheikh wa Jamaica itakua unavuta bangi, ama ana elimu duni, ama yupo kibishani zaidi, mimi hapa nimeelewa makundi yalivyo fafanuliwa.
    Sitakua na muda tena na darsa Sheikh Jamaica, kila nikimsikiliza naona ananipoteza tu, darsa yake moja ati amenitaka niwe mbali na simu ya mke wangu, nimeamini ni mpotezaji tu.

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 7 месяцев назад

      Dah MASALAFY nyie hongerenj kwa KEJELI na MATUSI
      Allah atakuhifadhieni MATUSI na KEJELI zenu ktk DAFTARI Lisilowacha KITU...
      JITAZAMENI upya heshima ya Daawa yenu inaporomoka nodhamu yake sana sana sana..
      Nyie siye Salafy wallah wala Salafy hawakuwa na Matusi kama yenu..

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 7 месяцев назад

    Ma sha Allah mna lugha na Daawa ya KEJELI hadi Raha....
    Allah anahifadhi kila kitu...

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 6 месяцев назад

    Mawahabi ndio wale alowasema MTUME s.a.w ni vizazi va yule Swahaba aitwae Dhulkhuweswira. Alie mkosea adabu MTUME s.a.w kumwambia MTUME s.a.w hafanyi.uadilifu. ndio hawa wenye kukosea adabu mashekhe

  • @binseif2216
    @binseif2216 7 месяцев назад +2

    Hivi masheikh zetu mnakumbuka kusilimisha wasiokuwa waislamu?

  • @Hunger388
    @Hunger388 6 месяцев назад

    Sasa huu ni ufudhuli kumwita sh Izudiin sh wa Jamaica hu ina inaonesha ukosefu wa Adabu na kutomfuata mtume muislaamu hafaai kutukaana wa la kuvunjia watu hishima kama ni kimkosowa mtu basi fanya kwa hishima wala sio kwa kumtukana kumvunjia heshima na Kum kejeli natumai mtafahamu bi iznillah

  • @abuahlaam
    @abuahlaam 7 месяцев назад

    Assalaam'alaykum
    Afwan mwenye channel Kwani siku hizi pic kwetu salafiyun zimekua halali ??
    Subhanallah tunayopinga kwa watu ndo tunayoyafanya
    Ama pic za walim wetu abdallah humeid na qasim mafuta ndio haram pekee ??
    Tumcheni allah kila pahala

    • @suuahmed71
      @suuahmed71 6 месяцев назад

      Hawa ma Salafy picha zao ndio kuweka ni Haram. Lakini za mashekhe wetu yafaa. Sijui wavuta bangi itikadi yao??. Wanashangaazaa

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 7 месяцев назад

    A.alqykum
    Kumbe Shekhe IZXUDIYN ni wa JAMAICA? kama sio kweli kuwa ni wa Jamaica kwanini MSEME UONGO? au UONGO sasa ni ktk SUNNA na Mwenende wa KISALAFY???? Au ni Dharau na Kejeli baina yenu Mashekhe wa Kimtandao?

    • @suuahmed71
      @suuahmed71 6 месяцев назад

      Bora uwambie wewe. Hawa ndio masalafy ukiskia ni hawa . MUNGU awaongoze maskini waskitisha sana. Wajiona wajuwa dini kumbee..

  • @binaamour318
    @binaamour318 7 месяцев назад

    Humeid ww u c ache na endelea kujisifu hakuna refu lisilokuwa na mwisho

  • @ellyndaprincess3235
    @ellyndaprincess3235 7 месяцев назад +2

    Sijui kama Kuna mtu anawasikliza nyie maahira😅😅

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 7 месяцев назад +2

      Tahira wewee😂unaepewa ufahamu wa jamaica

    • @MohamediHasani-bm6xu
      @MohamediHasani-bm6xu 5 месяцев назад

      Hahahaha we mwenyewe uko hapa kusikiliza alafu wasema nani anawasikikiza sasa wewe unefuata nini hapa

  • @MohammedSaid-zk7yg
    @MohammedSaid-zk7yg 7 месяцев назад

    Muawiyah laanatullah alayh nae ni straight motoni sababu naye alimpiga vita imam Ali alayh Salaam kama khawariji, hakuna difference between ya Muawiyah laanatullah alayh ba khawariji

    • @malkiahsalimu2652
      @malkiahsalimu2652 7 месяцев назад

      Unamlanije sahaba,,,usiseme mambo bila elmu

    • @abdurazackhassan1842
      @abdurazackhassan1842 7 месяцев назад

      We ni nguruwe wa kishia

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 7 месяцев назад

      @@abdurazackhassan1842 nguruwe ni wewe uliekosa rehma za Allah kwa kutotambua maqam ya ahlu bayt rasul llah pumbavu wa kiwahabi wewe

    • @samirrubeya2379
      @samirrubeya2379 6 месяцев назад +1

      Shia Allah awalaani...

    • @abdurazackhassan1842
      @abdurazackhassan1842 6 месяцев назад

      Naamu, amiina laana za Allah ziwe juu ya mashia