NAMSHUKURU ALLAH TOKEA NIJUE HAKI NI IPI KATIKA HILI NIMEIFUATA NA SITOFANYA TENA BIRTHDAY YA MTUME (Swallahu alaihi wasallam) NA NITAMSWALIA NA NITAMSIFU KWA NJIA ALIZOFUNDISHA YEYE SIO KWA NJIA WALIZOFUNDISHA NASHIA.
Wanajifananisha na wakristo kuimba na kucheza wanafanya misikit kama makanisa wanajambo la kujibu mbele ya Allah halafu wakiambiwa wanafura na kutetea upuuzi.
At kucheza msikitinii nkujifananisha na wakristo ukisahaw maanswar walicheza msikitinii huku Aisha akimshikilia bega la mtume pate kuona inavyochezwa msikitinii
Dawhat Mubarak, dawhat salafiya. Mimi ni salafi Alliamdullilah. Allaah atupushe na upetofu wa watu wa Bidaah. Pia awape ufahamu watu wa Bidaah wapate kuitambua haqi.
Naona watu wa bidaah mnatokwa na mapovu. Nyinyi endeleeni kupotosha watu.... Akili ita wa kaa sawa pale mtakapo uona moto... Na amnajinsi ya kukwepa kwa ajili ya Bidaah zenu hizo.
Ewe Mola wetu mlezi tunakuomba tuunganishe sisi waislam wote tuwe kitu kimoja kwa sasa wenye elimu yako kila mmoja anaongea lake sisi uliotuamuru tuwafate viongozi wetu hatujui wapi ndo sahihi ila Mwenyezi Mungu wewe ndo unajua ila tunakuomba Mila wetu tuunganishe tuwe kitu kimoja
@user-et1ow9ic4u Haiwezekani ata kwa bahati mbaya Haki ukaungana na na Baatwili huo ni uongo mtupu, Achana na kila kitu tafuta elimu kwa watu wanao lingania Haki sababu elimu ni diini kwahiyo tafuta wapi wakuyisoma diini yako. Huo muongano wanao usema ni Masilahi ya kidunia tu hamna diini ndani yake. Salaffy na Suufi,Hizibi,Ibaazi,Shia'a,jamaat tabliighi eti waungane? Muungano gani huo kama sio upotofu. Hakuna kitu kama hicho.
Majahil sana hawa Masufi sherehe ya birthday ni ya yule ambae yupo hai kila mwaka Akasherehekewa mazazi yake,Sasa Munafanya Maulidi kila mwezi wa muharam kwazia tarehe Mosi mpaka mwezi 30,kila siku Mtume Swala'Allahu Alayhi wassalam yuwazaliwa tu duuh!! Usawa Mulikua Mufanye huzuni siku yake ya kufa japo ni bidd'a, Makhurafi ni mipumbavu ya kupindukia.Mbona humufanyi maulidi ya wazee wenu waliokufa kila mwaka mwafanya khitima? Allah atunusuru
Mashallahh sheikh mziwanda mungu akuhifahdi ❤❤❤ mwezi wa maulidi umekaribia wanafiqi waanza kupiga kelele kila siku watabisha hivo mpaka kifo kinawafika.nawapenda watu wa maulid Allah atulinde na fitna ya usalafy
@@aliabdullahi9200 huko Allah kashatutoa zamani maana na mm nilikuwa kama ww hunambii kitu Kwa maulid mpaka mpaka nikahifadhi baadhi ya milango ya barazanji
Hakuna umoja nawatu wanao muasi Allah wazi. Ndo maana Ibrahim alaihi salaam alibaki peke yake lakini Allah kauyita Umma. Kwahiyo sisi Masalafy hatutaki wingi wawatu bali tunaitafuta haqi, kwahiyo mwenye kufundisha haqi ata kama atabaki peke yake tutamfuata sisi.
Halali ipo wazi na ndio maana watu wabidaa wanatumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waelewe kua maulid sio bidaa. Siku ya kuzaliwa mtume alikua anafunga nanyi toshekeni na hilo maana lina dalili
@@abuuzahra-fc2jg tuliburuzwa Sanaa Kwa kufuata dini kimazoea ila Kwa sasa alhamdulilah tunamshukur Allah ila sasa tunafuata Allah amesema mtume amesema Kwa ufahamu wa maswahaba kinyume na hapo tunapiga na ukuta kama alivyo sema imamu shafii kwamba kauli yake ikipingana na Qur-an na Sunna ipigwe na ukuta na kama alivyo sema imamu Ahmad, imamu maalik na imamu abuu hanifa kwamba itakapo sihi hadith wao ndio madh-hebu Yao
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh,, Mimi nipo Mwanza Tanzania naulizia kwa wenyeji waliopo mombasa karibu na Sheikh Abdallah Humeid,, nitakiwa nitimize vigezo gani nipate kujiunga na Markaz kwake??
Mzuwanda muogope mola wako. Na mafuumu yako mabovu kwa kutete bidaa na kupoteza umma wa waislam kwa ajili ya kutibu njaa yako....Moto wa kyima Si-mchezo....naona povu likutoka kwa kuuza dini ya Allah kwa pilau la maulidi na wali mweupe....
nakuliza mzuwanda je hayo maulidi ni ibada?kama ni ibada nani mwenye kujuzisha ibada?au si ibada?mwachinja vichinjo ngombe ,nk na mapilau,mwafanya hayo kwa faida gani?au kwa faida ya nani?au mwatarajia kupata kitu gani?
Hebu tujiulizeni kama waislamu, tangu tuanze kukindana kwenye masuala ya khitilafu, Dini yetu imezidi kustawi au kuporomoka? Tumezidi kuwa wamoja au kusambaratika? Kisha tulinganishe maswali haya wakati ule tulipokuwa tunaishi na hitilafu hizi kwa hali ya kuvumiliana na kustahiyana Dini ilikuwaje?
Wewe mjinga humo, huoni ruduud zinzomtia kisunzi za Abuu Fauzan???? Nyinyi mtawafanya wapokomo wajinga huko kweni bloody foolish!!! Watu washajua dini ya Allah sio upuzi wenu makhurafi!!!
Sh. Mziwanda nafuata Sana Darsa zako na nimefaidika Sana, Lakini kwa Hili No No No. Mfano ikatokezea mtoto kaaga kwao anaenda Maulidimi Usiku lakini akapindisha na kuenda kufanya maasi. Vipi Hili?
Hoja gani sasa hii, si lazima uandike, mara nyingine unatulia tu. Mfano ikitokezea mtoto akiaga kwao anaenda kuswali swala ya ISHA usiku lakini akapindisha na kuenda kufanya maasi, vipi hili? swala nayo haramu kwa sababu hiyo?
@@shafisaggaf1889 Sijifanyi hivo ila ninachokifanya nina dalili nacho Siburutwi na mtu nA ww km una shaka na jambo Mtume kakufundisha fumula ya kufuata pale alipo sema "ACHA ULILO NA SHAKA NALO NA UENDEE AMBALO HUNA SHAKA NALO" Na katika hadithi nyengine amesema" NA YEYOTE ATAKAE IACHA SHUBHA HUYO AMEITAKASA DINI YAKE NA ATAKAE INGIA KATIKA SHUBHA AMEINGIA KATIKA HARAMU" Zingatia ndungu yangu dini sio timu ya mpira haitaki ushindani
Kwaiyo mwenye elimu ndogo kwa mfano anajua kuswali,kufunga na ibada zake zote kwaiyo anakua na najis c ndio? mana elimu ndogo ni mtu kujua ibada zake kwaiyo huyu anakua na najis
@@HamadFakhikiwa hawatokujibu basi jua kuwa wanafuata matamanio yao na ni nani aliye potea zaidi kuliko yule anayefata matamanio yake bila uongofu kutoka kwa Allaah?
Wenye elimu nyingi ni wale wapiga Ngoma kuimba n kucheza kama kama wanamusiki hiyo ndo elimu? Masufi acheni kufuata matamanio ya nafsi somedi dini muijue msiburutwe.
Yaani nashanga mtu anae post maneno ambayo moja kwa moja yanaonesha ujinga wake. Kuna mlango mzima umeogelea hili jambo "KUTAFUTA ELIMU KABLA YA KUONGEA WALA KUTENDA". Kweli nimeamini hakuna kitu hatari kama mtu ku rizika na ujinga. Tunawaomba acheni kuzipalamia heshima za masheikh wa kisalaffy, nafasi mlio nayo katika ya kuwa maamuma inawatosha, Elimu waachieni mwenyewe hawakuka vijiweni wakapata elimu, walipata tabu sana kupata hiyo Elimu. Kwahiyo nyamazeni.
Abdallah humeid❤❤❤❤❤
Allah azidi fungua kifua changu nishikamane na khaki na atuongoze wote kwani wakilud ni nduguzetu wao
آمين
Kumbe wanakubali kama wamezusha duh
Allah awahifadhi masalafiy wote na awape thabaat Allaahuma amiyn. Na daawa ifikishwe aridhie atakaeridhia na akasirike atakaekasirika
Kwa kweli bidaa ishawatoa akili hawa watu Allah awaongoze
Sheikh Mziwanda Baarakallah fiik
NAMSHUKURU ALLAH TOKEA NIJUE HAKI NI IPI KATIKA HILI NIMEIFUATA NA SITOFANYA TENA BIRTHDAY YA MTUME (Swallahu alaihi wasallam) NA NITAMSWALIA NA NITAMSIFU KWA NJIA ALIZOFUNDISHA YEYE SIO KWA NJIA WALIZOFUNDISHA NASHIA.
Allah akulipe
@@elimikanamadrasa5490 Amin na ww pia
Bad huja ijua haqi ww
@@hashimujumanne9570 Hakki ni uzushi au ?hebu usinichekeshe mie
Wenzio walipwa na Saudi kueneza usalafi we faidika na nn
Wanajifananisha na wakristo kuimba na kucheza wanafanya misikit kama makanisa wanajambo la kujibu mbele ya Allah halafu wakiambiwa wanafura na kutetea upuuzi.
Mhhh Kweli kuna watu akili hakuna kabisa
At kucheza msikitinii nkujifananisha na wakristo ukisahaw maanswar walicheza msikitinii huku Aisha akimshikilia bega la mtume pate kuona inavyochezwa msikitinii
@@isaack100Hawa siyo wale Hawa niwalokole
Someni dawatul salafiyyah
Dawhat Mubarak, dawhat salafiya. Mimi ni salafi Alliamdullilah. Allaah atupushe na upetofu wa watu wa Bidaah. Pia awape ufahamu watu wa Bidaah wapate kuitambua haqi.
WEWE NI SALAFI ? NA AKINA MASWAHABA NA MAIMAMU WET WALIOTANGULIA WATAKUA KINA NAN?@@kadrimwingamno258
Mumeambiw n nani mujiite salaf
Naona watu wa bidaah mnatokwa na mapovu. Nyinyi endeleeni kupotosha watu.... Akili ita wa kaa sawa pale mtakapo uona moto... Na amnajinsi ya kukwepa kwa ajili ya Bidaah zenu hizo.
Kukusanyika na kherehekea uzushi tu kukusanyika na kuweka sheria za kiislam aaaah
Naaam
Hii ndoo haqq
Ewe Mola wetu mlezi tunakuomba tuunganishe sisi waislam wote tuwe kitu kimoja kwa sasa wenye elimu yako kila mmoja anaongea lake sisi uliotuamuru tuwafate viongozi wetu hatujui wapi ndo sahihi ila Mwenyezi Mungu wewe ndo unajua ila tunakuomba Mila wetu tuunganishe tuwe kitu kimoja
@@AdamHwai Tafuta Elimu utajua ukweli ni yupi na utamfuata na utailinda heshima yake.
Kaa chini soma dini yako utajua usahihi upo wapi
Soma ndo utajua haki ipo wapi bila kusoma huwezi jua kaka inshallah mungu akuongoze katika njia ya usawa
@user-et1ow9ic4u Haiwezekani ata kwa bahati mbaya Haki ukaungana na na Baatwili huo ni uongo mtupu, Achana na kila kitu tafuta elimu kwa watu wanao lingania Haki sababu elimu ni diini kwahiyo tafuta wapi wakuyisoma diini yako. Huo muongano wanao usema ni Masilahi ya kidunia tu hamna diini ndani yake. Salaffy na Suufi,Hizibi,Ibaazi,Shia'a,jamaat tabliighi eti waungane? Muungano gani huo kama sio upotofu. Hakuna kitu kama hicho.
@@homeboyvr8184vizuri ndugu asome kwanza
Maulidi tuu ndiyo iwatoe roho na iwashughulishe. Hzi nguvu za kupinga Maulid, mngezielekeza zaidi kwenye kupinga Mziki na Mipira, ingekua angalau
Ttzo hujui athar za uzushi ndio ukasema hivo
Asilimia 99 ya watu wa maulid wanapenda na kuskiliza miziki na ndio mana tunawasakama nyinyi mpaka muache biidhnilah
وفيه علامات كافية أنه عندما سئل النبي عن اليوم الذي يصوم فيه الأسبوع الثالث أجاب أنه صام لأنه يوم ولادته
SOMENI KWANZA DINI BADALA YA KUKARIRISHWA TU, HALAFU MNAKUJA KUBWEKEA WATU HAPA.
Majahil sana hawa Masufi sherehe ya birthday ni ya yule ambae yupo hai kila mwaka Akasherehekewa mazazi yake,Sasa Munafanya Maulidi kila mwezi wa muharam kwazia tarehe Mosi mpaka mwezi 30,kila siku Mtume Swala'Allahu Alayhi wassalam yuwazaliwa tu duuh!! Usawa Mulikua Mufanye huzuni siku yake ya kufa japo ni bidd'a, Makhurafi ni mipumbavu ya kupindukia.Mbona humufanyi maulidi ya wazee wenu waliokufa kila mwaka mwafanya khitima? Allah atunusuru
Sasa mifano gani hiyo ya kibwege unayotoa ya kujipaka kinyesi.....mzuwandaaa weeee umepinda vya kutosha. Allah Must'an.
Mashallahh sheikh mziwanda mungu akuhifahdi ❤❤❤ mwezi wa maulidi umekaribia wanafiqi waanza kupiga kelele kila siku watabisha hivo mpaka kifo kinawafika.nawapenda watu wa maulid Allah atulinde na fitna ya usalafy
Daah pole sana Kwa kupofuka moyo Allah atuongoze kweny haqq
Kwani inawauma nini mnapata mateso kubwa mungu awatulishe kwa upande wa moulid mtaumia hivo mpaka kiyama kisimame
@@aliabdullahi9200 huko Allah kashatutoa zamani maana na mm nilikuwa kama ww hunambii kitu Kwa maulid mpaka mpaka nikahifadhi baadhi ya milango ya barazanji
@@aliabdullahi9200hivi wewe wafanya maulidi ukere watu ama upate ajri , kweli hapa hata ikhlaas hakuna
Kilicho zuswa
mbn ujitokezi
Wenzenu wanataka umoja si mfarakano
Wanataka umoja wa nini
Hakuna kushirikiana ktk bid'aa umoja umoja upi mnaoutaka ninyi? Haqqi na Batwil havikae pamoja
Hakuna umoja nawatu wanao muasi Allah wazi. Ndo maana Ibrahim alaihi salaam alibaki peke yake lakini Allah kauyita Umma. Kwahiyo sisi Masalafy hatutaki wingi wawatu bali tunaitafuta haqi, kwahiyo mwenye kufundisha haqi ata kama atabaki peke yake tutamfuata sisi.
@@مقدادعبدالرشیدجمعةmashallah kk hiyo ndo haki kaka uliyosema
Halali ipo wazi na ndio maana watu wabidaa wanatumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waelewe kua maulid sio bidaa. Siku ya kuzaliwa mtume alikua anafunga nanyi toshekeni na hilo maana lina dalili
Mnaosherehekea maulidi muogopeni Allah mnalifanya jambo Mtume hajalifanya wala maswahaba hawajalifanya inamaana nyinyi mnampenda mtume kuliko maswahaba? hilo haliwezekani
HojA za kitoto unotowa
Hiv wewe ndio wajielew kweli we nimufsid bas
Amekuchoma kweny mshono nini Mzee? Naona umekuwa mkali
Yarrab musfidiin hawa wazuie na insha'Allah liko karibu hilo
Vumilia tyu ndio ukwl ulivyo unauma sana
Ukweli gani unaozungumza
Manhaj hii ambayo iliyojengw juu ya kuuwa na kubidiisha na takfiir ndio ukwel hiv mtazinduk lini nyiny mnaoburuzw
@@abuuzahra-fc2jg tuliburuzwa Sanaa Kwa kufuata dini kimazoea ila Kwa sasa alhamdulilah tunamshukur Allah ila sasa tunafuata Allah amesema mtume amesema Kwa ufahamu wa maswahaba kinyume na hapo tunapiga na ukuta kama alivyo sema imamu shafii kwamba kauli yake ikipingana na Qur-an na Sunna ipigwe na ukuta na kama alivyo sema imamu Ahmad, imamu maalik na imamu abuu hanifa kwamba itakapo sihi hadith wao ndio madh-hebu Yao
Lakini shekhe muharram mara hii kajiaibisha mbele za wenzake wanamchora tu anavyoropokwa.
HIVI NYIE MNATAKA UISILAMU WA AINA GANI??? SHENZI KABISA
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh,, Mimi nipo Mwanza Tanzania naulizia kwa wenyeji waliopo mombasa karibu na Sheikh Abdallah Humeid,, nitakiwa nitimize vigezo gani nipate kujiunga na Markaz kwake??
Jaman mm naombeni namba ya abdallah humeid ya Whatsapp jaman napenda mawaidha ya huyu sheikh sana
Uko wapi?
Mzuwanda muogope mola wako. Na mafuumu yako mabovu kwa kutete bidaa na kupoteza umma wa waislam kwa ajili ya kutibu njaa yako....Moto wa kyima Si-mchezo....naona povu likutoka kwa kuuza dini ya Allah kwa pilau la maulidi na wali mweupe....
Watu wa bidaa wanajua hasa kama wanafanya makosa ubishi tu.
Mtu akitaka Lake atatowa aya atatumia kilanjia lakini kila mtu ana kitabu chake
nakuliza mzuwanda je hayo maulidi ni ibada?kama ni ibada nani mwenye kujuzisha ibada?au si ibada?mwachinja vichinjo ngombe ,nk na mapilau,mwafanya hayo kwa faida gani?au kwa faida ya nani?au mwatarajia kupata kitu gani?
Dhambi kisha wachekekaje??
Hebu tujiulizeni kama waislamu, tangu tuanze kukindana kwenye masuala ya khitilafu, Dini yetu imezidi kustawi au kuporomoka? Tumezidi kuwa wamoja au kusambaratika? Kisha tulinganishe maswali haya wakati ule tulipokuwa tunaishi na hitilafu hizi kwa hali ya kuvumiliana na kustahiyana Dini ilikuwaje?
Ukisikiliza hoja za masufi unaona ni wazi wana ilmu na hekma ila ukiwasikiliza masalafi jadida utagunduwa wana uchache wa ilmu na na wamejaa chuki
Mjibuni bachu😅😅😅😅😂😂😂😂 wacheni kelele
Wewe mjinga humo, huoni ruduud zinzomtia kisunzi za Abuu Fauzan???? Nyinyi mtawafanya wapokomo wajinga huko kweni bloody foolish!!! Watu washajua dini ya Allah sio upuzi wenu makhurafi!!!
@@مبغضالبدع-ع9ص mjinga ni wewe na babako
Sh. Mziwanda nafuata Sana Darsa zako na nimefaidika Sana, Lakini kwa Hili No No No. Mfano ikatokezea mtoto kaaga kwao anaenda Maulidimi Usiku lakini akapindisha na kuenda kufanya maasi. Vipi Hili?
Hoja gani sasa hii, si lazima uandike, mara nyingine unatulia tu. Mfano ikitokezea mtoto akiaga kwao anaenda kuswali swala ya ISHA usiku lakini akapindisha na kuenda kufanya maasi, vipi hili? swala nayo haramu kwa sababu hiyo?
Masalafi uvundo ni nguruwe,,, makaafir hata kizazi chao ni haraam
Saraf jadida hamujielewi na niwajinga munacho weza kufanya ni matusi tu
Masalafy ndo akina nani sasa maana kuna mahizby na masalafy
Andika "Salaf" Sio Saraf.... Kuitamka salafy tu huwez , kuielew utaweza kwel
Hhhhhhhhh@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
Hizo aya na hadithi na kauli za wanachuoni kwako ni matus au
@@seifsalum3018 Je! Una ilimu yoyote ututolee au ni maneno matupu tu?
Kijana Acha upotoshaji fuata sunna mangapi mtume( s w s) ameyafanya hatujayafikia Leo tunatunga mengine.
Kukaa na huyu uso Kwa macho hamuwezi lakini
Salafi kilugha ni kitu kilichopita sasa jadida Iko wapi wacheni jahli
Sasa nyinyi mmepita wap au hamjiit salaf
eti masalafi hawana elimu!!nyie shikamaneni na mauvundo ya masufi halafu mwisho wake.....ukafukuzwe kwenye ...fhodhi ya mtume صلى الله عليه وسلم
Mtume alishajuwa hawa na iljuwa watakuwepo watu wa bidaa ni wajinga. Mashekh musichoke kuwalingania hawa masufi
Kwani mashindano ya Quran, yalifanywa nani wakat wa mtume??aliandaa nani, zawadi ilikua nini??kama hoja ,kwamba chochote hakufanya mtume kisifanywe??. Ah nambie msahafu ulichapwa kiwanda gani?kipindi cha mtume?
Hujielew ww
😂😂😂 salafi hamna lolote
Pora ucheke maana ujinga umekuzonga ila Allah akuongoze
@@HashimSalim-qj7zn 🤣🤣🤣🤣🤣 akuongoze na wewe pia
Usijifajye ati umeongoka
@@shafisaggaf1889 Sijifanyi hivo ila ninachokifanya nina dalili nacho Siburutwi na mtu nA ww km una shaka na jambo Mtume kakufundisha fumula ya kufuata pale alipo sema "ACHA ULILO NA SHAKA NALO NA UENDEE AMBALO HUNA SHAKA NALO" Na katika hadithi nyengine amesema" NA YEYOTE ATAKAE IACHA SHUBHA HUYO AMEITAKASA DINI YAKE NA ATAKAE INGIA KATIKA SHUBHA AMEINGIA KATIKA HARAMU" Zingatia ndungu yangu dini sio timu ya mpira haitaki ushindani
Salafi uchwara mnashida elimu yenu ni ndogo na elimu ndogo ni najisi
Duuh 😭
Kwaiyo mwenye elimu ndogo kwa mfano anajua kuswali,kufunga na ibada zake zote kwaiyo anakua na najis c ndio? mana elimu ndogo ni mtu kujua ibada zake kwaiyo huyu anakua na najis
@@HamadFakhikiwa hawatokujibu basi jua kuwa wanafuata matamanio yao na ni nani aliye potea zaidi kuliko yule anayefata matamanio yake bila uongofu kutoka kwa Allaah?
Wenye elimu nyingi ni wale wapiga Ngoma kuimba n kucheza kama kama wanamusiki hiyo ndo elimu? Masufi acheni kufuata matamanio ya nafsi somedi dini muijue msiburutwe.
Yaani nashanga mtu anae post maneno ambayo moja kwa moja yanaonesha ujinga wake. Kuna mlango mzima umeogelea hili jambo "KUTAFUTA ELIMU KABLA YA KUONGEA WALA KUTENDA". Kweli nimeamini hakuna kitu hatari kama mtu ku rizika na ujinga. Tunawaomba acheni kuzipalamia heshima za masheikh wa kisalaffy, nafasi mlio nayo katika ya kuwa maamuma inawatosha, Elimu waachieni mwenyewe hawakuka vijiweni wakapata elimu, walipata tabu sana kupata hiyo Elimu. Kwahiyo nyamazeni.
Salaf uchwara
Ondoa ushabiki katika Dini ili ukhurafi ukutoke
Wew ndo uchwara
we ujielewi kam mziwanda
Kichwa Kabeji wewe. Kila ukifunuliwa jani
Chaajabu hawa mawahabi wanasikiliza maulidi mwanzo mwisho