Mawahabi wamejawa na chuki ufisadi hawana adabu,na wanachokitafuta ni kuwavunjia heshima wanazuoni,vichwani mwao wameondolewa ufahamu,wanajitia kuochukia bida'ah ilihali nao wapo ndani ya bida'ah hiyo hiyo,allah swt atuhofadhi dhidi ya fitna na shari za mawahabi,
Ndg yangu msikilize vizuri Sheikh Abdulqadeer usiwe unaropoka tuu bila ya faida Sheikh amesema huo ni msiba akimaanisha kumfananisha aliekwenda baa au kuzina kuwa yeye ni bora kuliko aliekwenda kwenye maulidi kwani huyu aliekwenda maulidini lengo lake sio kumuasi Mwenyezi Mungu
@@Masudshaban ni sahihi maasia ni Bora kuliko mzushi ww, mzushi hufanya kitu akijiwa hili so kosa nataraji kulipwa kwa Allah ndo ataeneza bidah zake kwa ummah maasia mtu anae zini hajaongeza au kuweka sheriah katika dini ya Allah Bali matamanio yake yamempelekea kumuasi Allah lakini anajuwa namkosea na ndo rahisi kuacha na akatubia mzushi ni mtu mbaya sana Sabu amemkosoa mwenyezi mungu katika dini na kuweka mambo asoyataraji Allah akayafanya sheriah, na huyu ana madhara Sabu anaeneza bidah zake kwa ummah unajuwa ni mema mwenye maasia anasutwa na watu narahusi kuacha ndomana hufanya kwa kujificha Sasa mzushi anajificha anapofanya bidaah zake yeye aona sawa na hulipwa kheri kumbe katika makosa makubwa na Allah awalipi watu wenye kuzuwa ibada isotoka kwake na mtume wake Sasa atakulipa vipi kitu ajakiwekea sheriah xema watu mkielezwa hivyo hamuwezi elewa hiyo ni sahihi kabisa hata ukisoma vitabu vya ulamaa
Biddah zimegawanyika kwenye darjah, huezi sema biddah ya kuomba Dua baada ya swala ni dhambi kubwa kuliko kuzini, au kunywa.pombe, kupendeza zaidi kwa sheytwan sio kigezo Cha ukubwa wa dhambi,
nani aliekutangulia ktk hii Kauli ili hoja yako izingatiwe na vipi mbona unaipibga kauli ya mtume wetu kila bidaa ni upotevu vip tukufate ww au mtume ktk hili?
@@jumanneissa8226 hakuna aliye sema biddah sio upotevu, biddah ya yoyote ni upotevu, wapi mtume amesema kufanya dhambi ya kuzini au kulewa ni kubwa kuliko biddah, au ni ndio wewe wale wanamfata shekhe kasema na wao wakubali
@@jumanneissa8226 bidah zimetafautiana basi kulingana na wanazuoni walivyo kubaliana, nenda kamuulize mafuta biddah ya mashia ya kubadilisha swala na biddah ya kuomba Dua baada ya swala zote zipo sawa, kama zipo sawa akupe ayah ama Hadith,
@@jumanneissa8226 kwa hiyo kuzini na kulewa ni Bora kuliko kutia Dua ya pamoja baada ya swala, kama ni hivyo Lete ayah au Hadith swahih au wanawachuoni walivyo kubaliana kwa pamoja,
Sasa wewe uislamu wako upo wapi wakati unatukana waislamu wenzako? Bado haujaujua uislamu. Uislamu ni Amani. Nyie ndio munaoharibu dini. Kujiona wewe ndie mwenye akili na unajua kila kitu. Bado kuhukumu watu tu.
Wewe mwenye akili mbona haujatoa ufumbuzi wa kilichoongelewa? Unajua kutukana watu tu? Au hicho wanachofanya masheikh kuchambana na kutambiana elimu zao mitandaoni ndio sawa? Nini wanajifundisha walio nje ya uislamu? Au yule muislam anayetaka kujua amsikilize nani?
@@RAMZANJumma-hr3ff ni sahihi sababu mtume aliposema kulu bidat dhwalala wakulu dhwalala finnari, kila bidah ni upotevu na kila upotevu motoni, akutajs mtume kuna bidah Fulani so upotevu, et duwa ya pamoja duwa ya pamoja si uzushi pia, arafu huyo huyo mfanyaji wa duwa za pamoja ndo huyo mpiga maulidi, ndo huyo msoma khitima, ndo huyo muomba makaburi, ndo huyo msomea mayte quruani Sasa unamtoaje katika bidaah, ile duwa ya pamoja nideehemu yake ya uzushi Ila anamengi azushayo watu wanashindwa kuelewa uleta hoja ambazo hazina kichwa
Nilichogundua zama hizi watu hujinasibisha na makundi na kujifanya waislam bora na kuacha umma unapotea na hali ya maadili ni mbaya mitahani kuhangaika mitandaoni kutafuta viewers na umaarufu Allah atuongoze.
@@yusufibnabdallah779 so umaarufu ww kwakuwa kagusia Jambo ambalo tunalitaka ww ndo povu linakutoka wacha hiyo seraa zako dini kunasihana usipofanya raddi watu wanaharibu dinni na kupotosha ummah lazima raadi ziwepo kaka, uislamu auendeshewi kwa matashi ya mtu ndomana Allah ameapia kuulinda usichezewe na watu ndo kama hawo analeta jeshi lake kutetea dini ww kauli zako zaonesha ni mtu ambae upo mbali na dini sana
@@darajanida kwanza ww usemae wahabi ndo utakuta ya Hilo jina la Allah kulinasibisha kwa viumbe kwa kejeli hujui kama unafanya makosa piah, Allah akusamehe ikiwa hujui nawe waita tuuh ikiwa unajuwa wahaby maanake unafanya ukaidi utaadhibiwa kwa kutaka kwake Allah kwa ajili ya ukaidi wako ukikikejeli jina lake kuwapachika watu
@@AbdulIssa-o7e atakaye ulizwa kwanza kuhusu hilo ni shekh muhammad jamil kwa sababu yeye ndo kaulezea uwahabi na kausifu mwanzo kuliko mimi kwa hiyo yeye ndo atakaeulizwa mwanzo ukataka usitake uwahabi upo na mawahabi wapo
@@darajanida muwahabi ni kabila dhehebu au dini mbona kivuruge ww hueleweki, toka lini katika uislamu kuna dhehebu la wahabi hayo mambo ya propaganda yaloletwa na masufi na mashia kumchafuwa shekh muhammadi Abdul wahaby kuwa alikuja na dini mpya kisa alikataza ibada za kuabudu makaburi na kuyavunja na kukataza shirki na uzushi kuzuwa zuwa mambo katika dini Sasa walimueekeea uadui na kumchukia na yeye daaawa yake ilikubalika ni dawa aliacha mtume tawheed na kupinga shirki waislamu ummah urirudi zama hizo kwenye shirki kuwaabudu makaburi na kuzusha zusha mambo katika dini shekh alipoona hali hiyo aliona mbona uislamu unarudi kupotea ndo akaanza dawa mji wa makka kuna makaburi yaliyojengea aileta matinga tinga kuvunja vuja na kutunga vitabu vyake mbona mnafanya shirki daawa yake ilipata nguvu kwakuwa ni daawa ya asli na Nuru itokayo kwa Allah kwahiyo akajengewa chuki na mashia na masufi kuanza kufunga vijarida vya kuchafuwa ili watu wasimfate na kumzulia mambo mengi ya urongo lengo watu wasione hakki wakapanga njama ya kummuuwa wakishindwa Allah alimnusuru na wakawaita wale wafuasi wakikubali daawa yake dawa ya hakki tuwaite mawahaby ndo lilipoanza jina hilo hapo mpk leo wahaby wahaby tunawwauliza tajeni kosa hata moja ambalo muhammadi abdul wahaby ameharifu kuruani ameharifu sunnah kila kitu anachokisema mkienda katika vitabu mnakuta kwwl sasa mmebaki kumupinga tuuh kwa propaganda na kasimu wengine wanaita hawaelewi chanzo wao wafata mkumbo tuuh
@@darajanida issue ya kiama hakutakuwa na waliopoteza watu tuuh na waliopotezwa watahiji ninyi ndo mlitufanya tupotee tuache njia ya hakki na ww ntahukumiwa kwa kumfata yule bila kufanya utafiti akili yako ililaza tuuh ukiwa na kujishughulisha kujuwa huyu wahaby ni nani nasikia tuuh akitukanwa na mimi nafata tuuh ngoja nijue ni kitugani hicho sasa ujishughulishi kuuliza au kujuwa hilo halina udhuru kwa mungu kukejeli jina lake ni swala lingene kabisa tena linaeeza kukutoa katika uislamu bila kujuwa
Hayo maneno yamesemwa na mmoja miongoni mwa wanachuoni waliopita na kipindi hicho bid'a zilikuwa za kufriyya kama vile kutoamini qadari ya Allaah sio bid'a hizi za maulid au khitma
Amekweli mwahibu akilizao ni matome hawana taufauti na mayahudi tena wallah nindugu zao mana hata akidazoa wan miungu mitatu wana mungu wenu ana dumu ni kiwili will ss mimi shishaangai maana nyi ni vobrka vya mayahudi
Wacha kuwekewa watu maneno kwa mihemko yako ya yutube wayahudi leo wanachoma quran na kupika ndani ya msikiti je hyo unayemuhukumu amefikia hpo mbona ummaa umekosa abadu na aibu ya maneno elimu zenu na hao mnaowatukana hamuwafikii wacheni husuda somen
@@swalehseifmuhammed8289 mwislamu unamnasibisha na kafiri ww ukapimwe akili au ujasoma hata arifu ukute unaropokwa ropokwa tuuh, mayahudi anahusiana vipi na mkristo na myahudi umemfanyia dhulma kabisa kabla hujaongea isikupelekeee kumtukana mtu mpk umtie katika kundi la makafiri muogopeni mungu jamaa Aya maneno na kauli mnazotamka azipiti hivi hivi zinarecodiwa, Kisha mtazikuta kesho mtu mwislamu unatokwa na kauli mbovu mbovu tuuh hatari hiyooo
Ndio wanawazidi mayahudi kwa ukaafir,,, unawezaje linganisha dhambi ya zinaa,,riba nazenginezo zilizotajwa ktk Qur'an na Allah mwenyewe!!! na jambo linaloitwa bid'aa (uzushi ktk Dini)??? ,,, huku ni zaidi ya kuinyea Qur'an ni kufru kubwa wanayoitamka . Masalafi wa leo wana laana bado kupazwa tu na Allah.
@@SaidSeif-d4y duuuh! Ndugu yangu unaraani sana watu ilmu ni jambo muhimu sana soma dini utaelewa hizo raana utaona niliwaraani watu bure kumbe ilmu ndo kioo katika uislamu ww una kuta hata juzuu hujamaliza kuna mijitabu na mitabu katika uislamu ilmu ni bahari kaka, unapotukana hizo raana Allah atazipinduwa zikurudie mwenyewe arafu unamkufurusha mwislamu ww ni khwariji mwislamu hakufurushwi ovyo ovyo kama ww waweza laumu jambo kumbe likawa kheri kwako ww umekaa upande huo wa bidaa kawaida mende hawezi ona aryfu mbaya chooni sabu si makazi yake ila alie mbali na choo aona ni mnanuka ww watukana watu na kuwaita makafiri umesoma ukajuwa ilmu ya hilo jambo mwisho nakushauli kijana sijui mzee tafuta ilmu katika dini utaaraani watu raana hizo zikurudie mwenyewe fata sunnah ya mtume muhammadi ndo ukombozi ulobaki na safina ya kufika salama vinginevyo utafuta kuangamia tuuh
Nyinyi masheikh ndio warithi wa mitume je mitume kazi zao zilikuwa ni kubishana au walikuwa wanapambana kuufahamisha ummaa umuabudu Allah na wajiepushe na twaghuti leo mashekhe mumekuwa mukiusoma uisilamu basi mnaanza kubishana je mnataka tumfuate sheikh yupi mwenye uisilamu wa kweli? Basi rai yangu jichunguzeni nyinyi kwanza mashekhe ifanyeni kazi ya mitume walio kuja nayo ummaa ufahamu dini ya kweli ni ipi?
Na hayo ni mawazo yake hao watu wa bidaa pia wana wacha kwani kassim mafuta hakua mtu wa maulid hakuna mtu asobadilika hata 1 bidaa mbaya na madhambi pia ni mabaya
Hawa salafi wenye asili ya tanga ni noma wao hawajawahi kufahamishwa jambo wakakubali ila wao huona kila mtu hajui kutokana na elimu yao na hawamuheshimu yoyote ila rais tu ila ukilinganisha hawa jamaa na bachu ni tofauti sana bachu yuko vyema sana
Mkishamaliza kuchambana tafteni paybill numbers watu wachangie tupeleka maji ya kunywa gaza zanzibar pemba na kenya mara sita wamepeleka vp kuhusu hii channel ama nikuchambana na kutafta views
Uislamu hauendi hivyo, uislamu wa kweli unaendeshwa na Quran na sunnah, ikikosekana dalili kutoka Quran na sunnah, tutawaangalia maswahaba, tukikosa kwa maswahaba tutawaangalia Wana wazuoni wamekubaliana vp kwa ujumlah, uislamu hauedeshwi na mwanachuoni mmoja, jambo ambalo wanachuoni wametafautiana Hilo ni jambo ambalo si makosa kwa mwanafunzi kutegemea upande alouwona una nguvu, uislamu sio ukristo kwamba asikilizwe mtu mmoja kisa yeye ni mwanachuoni, mwanachuoni haangaliwi mmoja wanaangaliwa wengi walivyo kubaliana, wacheni kupotosha watu
@@salmyhussein6255 kwahiyo akhy unataka kutuambia kuna mwanachuoni aona uzushi ni Bora kuliko maasia, tupe ushahidi mwanachuoni yupi aloisifia bidaah awe wa kutegemewa kuwa bidaah ni nzuri kuliko maasia tupe ww Sasa unapinga kauli za shekh apo juu
Hakuna binaadamu asokosea katika dini amini hili ninalo kuambia hata sheikh gani ukisoma cku 1 utakuja jua hata kassim mafuta ana makosa mengi unamkumbuka abuu rajab alisema akatwe abuu muawiya tizama alipofika yeye sasa hivi
Shekh huyu ni hatarii sana minaona ni ana usufi ulojificha yeye na mdogo ake kishki mtihani kweliii yani, wanajinasibishaga na sunnah watu wao wakubwa ni makhurafi kina othman maalimu, yule khurafi wa kenya yule ndo watu wake haooo
Gombe wewe ungekuwa na elimu ya Othoman maalimu si bahari ingegeuka kuwa shuruba wacha kumuhusudu mtu ambaye ata robo ya elimu yke humfiki mtoe mdomoni mwak9 othoman maalim
Mbona ewe mzungumzaji hata kiarabu hutamki vizuri?? Unasema alwakia Fi ahli ahaa?? ุงููููุนุฉ ูู ุงูู ุงูููุงุกAin huzitamki, hutamki uzani wa maneno ya kiarabu vizuri, ni mfano niweke kiswahili, kutaja neno vipi, unataja viip au vipii waswahili lazima watakutilia shaka
Wew nae muislam kweli namatusi yote hayo!? Hujui hadithi ya mtume akikemea kuhusu lugha chafu... Achakudhumu heshma zawaislam wenzio ikiwa kafiri amesalimika kwako.
@@HamadiHussein-q5z ww utakuwa mla bangi tuuh hata dini ipo mbali na ww unatokwa na matusi khaa katukane kwenye koment za wanamuziki huku kwenye dini hakukufai kabisa utachuma madhambi bureee na ukiona lawama nyingi na matusi bakora imeingia vzr unaswali hata kuswali ww mbona kama mvuta bangi tuuh mtu ambae haelewi uislamu wake
Hajapinda bachu labda uwe humfuatilii au unaskiliza watu wakimzungumza hebu mckilize mwenyeo halafu mueke kwenye mezani ndo utajua na mimi nilikua na fikra kama zako ila baada ya kumckiliza nimefaham
Ukimsikiliza huyu wahabi unagundua kuwa hana analolifahamu zaidi ya msimamo wa kiwahabi,sheikh Abdul qadir Al ahdaly ni mwanazuoni mwenye ufahamu mkubwa sisawa na wewe
Radi ya nini rubbish ummah unaisha kazi mabishano tumeshindwa ata kufikiria lipi la muhimu tulikimbilie ama juu tunakula na kunywa na kulala hali ya kuwa tumeshiba tumeshindwa kuvumiliana gaza Palestine maji ya kunywa hawana kazi majibizano pepo sio swala na majibizano
Allah amuhifadhi sheikh abdulqadir alahdal
Vijana hawajakomaa katika malezi wala adabu
Wanajaribu kuodondosha jabali
We khawarij Huna uwezo wa kumradi sheikh abdulkadir wew bado ni mwanafunzi kwake tena ukienda unaanzia alif hebu acha husda
Masha,llah sheikh Abdul qaadiri al ahdaliy Allah akulipe kheri nyingi
Mawahabi wamejawa na chuki ufisadi hawana adabu,na wanachokitafuta ni kuwavunjia heshima wanazuoni,vichwani mwao wameondolewa ufahamu,wanajitia kuochukia bida'ah ilihali nao wapo ndani ya bida'ah hiyo hiyo,allah swt atuhofadhi dhidi ya fitna na shari za mawahabi,
Sisi wala hatuna haja ajibu, sisi twataka Umma umfahamu tu yeye ni nani..
Ndg yangu msikilize vizuri Sheikh Abdulqadeer usiwe unaropoka tuu bila ya faida
Sheikh amesema huo ni msiba akimaanisha kumfananisha aliekwenda baa au kuzina kuwa yeye ni bora kuliko aliekwenda kwenye maulidi kwani huyu aliekwenda maulidini lengo lake sio kumuasi Mwenyezi Mungu
"Lengo halisafishi njia" nenda kasome dini kwanza uwe na kawaaidu
Maasha llah ููุฐุง ูู ุงูุญู
Nachukia usalafi wakina mafuta kwa ajili ya Allah
Abdul qadir hawezi wajibu takataka kama hizi
NYINYI MAWAHABI WENDA WAZIMU MAYAHUDI WAKUBWA, yaani : MAASWI YAWE BORA KULIKO MAULID KWELI NYINYI WENDA WAZIMU
Subhannallah nyie watu muongopeni Allah
Naaam
Hii ndyo Daร wa yetu,
Haw Allah awaongoze hawaoni madhara ya bidaa hata mkiwambia vip kiuhalisia hawa ni miongoni mwao
tueleze taarifu ya bidaa nini
Kwahyo maasia ni bora kuliko bidaa..??
@@Masudshaban ni sahihi maasia ni Bora kuliko mzushi ww, mzushi hufanya kitu akijiwa hili so kosa nataraji kulipwa kwa Allah ndo ataeneza bidah zake kwa ummah maasia mtu anae zini hajaongeza au kuweka sheriah katika dini ya Allah Bali matamanio yake yamempelekea kumuasi Allah lakini anajuwa namkosea na ndo rahisi kuacha na akatubia mzushi ni mtu mbaya sana Sabu amemkosoa mwenyezi mungu katika dini na kuweka mambo asoyataraji Allah akayafanya sheriah, na huyu ana madhara Sabu anaeneza bidah zake kwa ummah unajuwa ni mema mwenye maasia anasutwa na watu narahusi kuacha ndomana hufanya kwa kujificha Sasa mzushi anajificha anapofanya bidaah zake yeye aona sawa na hulipwa kheri kumbe katika makosa makubwa na Allah awalipi watu wenye kuzuwa ibada isotoka kwake na mtume wake Sasa atakulipa vipi kitu ajakiwekea sheriah xema watu mkielezwa hivyo hamuwezi elewa hiyo ni sahihi kabisa hata ukisoma vitabu vya ulamaa
Yaan mawahabi ni wapumbavu
Mimi namshauri sheikh acmjibu ata suala 1
Biddah zimegawanyika kwenye darjah, huezi sema biddah ya kuomba Dua baada ya swala ni dhambi kubwa kuliko kuzini, au kunywa.pombe, kupendeza zaidi kwa sheytwan sio kigezo Cha ukubwa wa dhambi,
nani aliekutangulia ktk hii Kauli ili hoja yako izingatiwe na vipi mbona unaipibga kauli ya mtume wetu kila bidaa ni upotevu vip tukufate ww au mtume ktk hili?
Ndugu yangu...hawa jamaa hawajasoma kabisa Dini...wamesoma itikadi
@@jumanneissa8226 hakuna aliye sema biddah sio upotevu, biddah ya yoyote ni upotevu, wapi mtume amesema kufanya dhambi ya kuzini au kulewa ni kubwa kuliko biddah, au ni ndio wewe wale wanamfata shekhe kasema na wao wakubali
@@jumanneissa8226 bidah zimetafautiana basi kulingana na wanazuoni walivyo kubaliana, nenda kamuulize mafuta biddah ya mashia ya kubadilisha swala na biddah ya kuomba Dua baada ya swala zote zipo sawa, kama zipo sawa akupe ayah ama Hadith,
@@jumanneissa8226 kwa hiyo kuzini na kulewa ni Bora kuliko kutia Dua ya pamoja baada ya swala, kama ni hivyo Lete ayah au Hadith swahih au wanawachuoni walivyo kubaliana kwa pamoja,
Uko pumbafu saana na matusi
NYINYI HAMUNA KAZIII
Ebana ni kweli huyu jamaa anaficha saana ukweli mjinga saana
Wazushi wanasingizia wengine uzushi mizee ya kupenda ligi na kutafu kiki sheikh Abdulkadir hatokujibu tafuta mwengine ili ujulikane...majadida
Bidaa ni mbaya hata hatbu anazungumza bida finnar
Hawa masalafi hata akili hawana
Sasa wewe uislamu wako upo wapi wakati unatukana waislamu wenzako? Bado haujaujua uislamu. Uislamu ni Amani. Nyie ndio munaoharibu dini. Kujiona wewe ndie mwenye akili na unajua kila kitu. Bado kuhukumu watu tu.
Wewe mwenye akili mbona haujatoa ufumbuzi wa kilichoongelewa? Unajua kutukana watu tu? Au hicho wanachofanya masheikh kuchambana na kutambiana elimu zao mitandaoni ndio sawa? Nini wanajifundisha walio nje ya uislamu? Au yule muislam anayetaka kujua amsikilize nani?
Bachu anasema usalafi ni uvundo.. KAAFIR hadhayaan binhadhyaan almuhriq amepinda.
wazee tunapambana na bidaa Allaah atulipe ila usulubu nautumike vizuri ni moja ya misingi ya dawaร tussalafiyyah
@@jumakassim1112 Ukumbuke kupambana Na BIDAA yakujitoa Muhanga.
Hatari kusema mazambi ni bora kuliko bidaa nani kawatangulia
@@RAMZANJumma-hr3ff ni sahihi sababu mtume aliposema kulu bidat dhwalala wakulu dhwalala finnari, kila bidah ni upotevu na kila upotevu motoni, akutajs mtume kuna bidah Fulani so upotevu, et duwa ya pamoja duwa ya pamoja si uzushi pia, arafu huyo huyo mfanyaji wa duwa za pamoja ndo huyo mpiga maulidi, ndo huyo msoma khitima, ndo huyo muomba makaburi, ndo huyo msomea mayte quruani Sasa unamtoaje katika bidaah, ile duwa ya pamoja nideehemu yake ya uzushi Ila anamengi azushayo watu wanashindwa kuelewa uleta hoja ambazo hazina kichwa
Nilichogundua zama hizi watu hujinasibisha na makundi na kujifanya waislam bora na kuacha umma unapotea na hali ya maadili ni mbaya mitahani kuhangaika mitandaoni kutafuta viewers na umaarufu Allah atuongoze.
@@yusufibnabdallah779 so umaarufu ww kwakuwa kagusia Jambo ambalo tunalitaka ww ndo povu linakutoka wacha hiyo seraa zako dini kunasihana usipofanya raddi watu wanaharibu dinni na kupotosha ummah lazima raadi ziwepo kaka, uislamu auendeshewi kwa matashi ya mtu ndomana Allah ameapia kuulinda usichezewe na watu ndo kama hawo analeta jeshi lake kutetea dini ww kauli zako zaonesha ni mtu ambae upo mbali na dini sana
mawahabi wacheni kufarakanish waislamu mutarnda juta kesho mbele ya allah
@@darajanida kwanza ww usemae wahabi ndo utakuta ya Hilo jina la Allah kulinasibisha kwa viumbe kwa kejeli hujui kama unafanya makosa piah, Allah akusamehe ikiwa hujui nawe waita tuuh ikiwa unajuwa wahaby maanake unafanya ukaidi utaadhibiwa kwa kutaka kwake Allah kwa ajili ya ukaidi wako ukikikejeli jina lake kuwapachika watu
@@AbdulIssa-o7e atakaye ulizwa kwanza kuhusu hilo ni shekh muhammad jamil kwa sababu yeye ndo kaulezea uwahabi na kausifu mwanzo kuliko mimi kwa hiyo yeye ndo atakaeulizwa mwanzo ukataka usitake uwahabi upo na mawahabi wapo
@@darajanida muwahabi ni kabila dhehebu au dini mbona kivuruge ww hueleweki, toka lini katika uislamu kuna dhehebu la wahabi hayo mambo ya propaganda yaloletwa na masufi na mashia kumchafuwa shekh muhammadi Abdul wahaby kuwa alikuja na dini mpya kisa alikataza ibada za kuabudu makaburi na kuyavunja na kukataza shirki na uzushi kuzuwa zuwa mambo katika dini Sasa walimueekeea uadui na kumchukia na yeye daaawa yake ilikubalika ni dawa aliacha mtume tawheed na kupinga shirki waislamu ummah urirudi zama hizo kwenye shirki kuwaabudu makaburi na kuzusha zusha mambo katika dini shekh alipoona hali hiyo aliona mbona uislamu unarudi kupotea ndo akaanza dawa mji wa makka kuna makaburi yaliyojengea aileta matinga tinga kuvunja vuja na kutunga vitabu vyake mbona mnafanya shirki daawa yake ilipata nguvu kwakuwa ni daawa ya asli na Nuru itokayo kwa Allah kwahiyo akajengewa chuki na mashia na masufi kuanza kufunga vijarida vya kuchafuwa ili watu wasimfate na kumzulia mambo mengi ya urongo lengo watu wasione hakki wakapanga njama ya kummuuwa wakishindwa Allah alimnusuru na wakawaita wale wafuasi wakikubali daawa yake dawa ya hakki tuwaite mawahaby ndo lilipoanza jina hilo hapo mpk leo wahaby wahaby tunawwauliza tajeni kosa hata moja ambalo muhammadi abdul wahaby ameharifu kuruani ameharifu sunnah kila kitu anachokisema mkienda katika vitabu mnakuta kwwl sasa mmebaki kumupinga tuuh kwa propaganda na kasimu wengine wanaita hawaelewi chanzo wao wafata mkumbo tuuh
@@darajanida issue ya kiama hakutakuwa na waliopoteza watu tuuh na waliopotezwa watahiji ninyi ndo mlitufanya tupotee tuache njia ya hakki na ww ntahukumiwa kwa kumfata yule bila kufanya utafiti akili yako ililaza tuuh ukiwa na kujishughulisha kujuwa huyu wahaby ni nani nasikia tuuh akitukanwa na mimi nafata tuuh ngoja nijue ni kitugani hicho sasa ujishughulishi kuuliza au kujuwa hilo halina udhuru kwa mungu kukejeli jina lake ni swala lingene kabisa tena linaeeza kukutoa katika uislamu bila kujuwa
Pia kiarabu hujui alafu unasema sheikh kashindwa kusoma maneno ya kiarabu
Hayo maneno ya salafi ni hadithi au aayah
Hayo maneno yamesemwa na mmoja miongoni mwa wanachuoni waliopita na kipindi hicho bid'a zilikuwa za kufriyya kama vile kutoamini qadari ya Allaah sio bid'a hizi za maulid au khitma
Amekweli mwahibu akilizao ni matome hawana taufauti na mayahudi tena wallah nindugu zao mana hata akidazoa wan miungu mitatu wana mungu wenu ana dumu ni kiwili will ss mimi shishaangai maana nyi ni vobrka vya mayahudi
Wacha kuwekewa watu maneno kwa mihemko yako ya yutube wayahudi leo wanachoma quran na kupika ndani ya msikiti je hyo unayemuhukumu amefikia hpo mbona ummaa umekosa abadu na aibu ya maneno elimu zenu na hao mnaowatukana hamuwafikii wacheni husuda somen
@@swalehseifmuhammed8289 mwislamu unamnasibisha na kafiri ww ukapimwe akili au ujasoma hata arifu ukute unaropokwa ropokwa tuuh, mayahudi anahusiana vipi na mkristo na myahudi umemfanyia dhulma kabisa kabla hujaongea isikupelekeee kumtukana mtu mpk umtie katika kundi la makafiri muogopeni mungu jamaa Aya maneno na kauli mnazotamka azipiti hivi hivi zinarecodiwa, Kisha mtazikuta kesho mtu mwislamu unatokwa na kauli mbovu mbovu tuuh hatari hiyooo
Ndio wanawazidi mayahudi kwa ukaafir,,, unawezaje linganisha dhambi ya zinaa,,riba nazenginezo zilizotajwa ktk Qur'an na Allah mwenyewe!!! na jambo linaloitwa bid'aa (uzushi ktk Dini)??? ,,, huku ni zaidi ya kuinyea Qur'an ni kufru kubwa wanayoitamka . Masalafi wa leo wana laana bado kupazwa tu na Allah.
@@SaidSeif-d4y duuuh! Ndugu yangu unaraani sana watu ilmu ni jambo muhimu sana soma dini utaelewa hizo raana utaona niliwaraani watu bure kumbe ilmu ndo kioo katika uislamu ww una kuta hata juzuu hujamaliza kuna mijitabu na mitabu katika uislamu ilmu ni bahari kaka, unapotukana hizo raana Allah atazipinduwa zikurudie mwenyewe arafu unamkufurusha mwislamu ww ni khwariji mwislamu hakufurushwi ovyo ovyo kama ww waweza laumu jambo kumbe likawa kheri kwako ww umekaa upande huo wa bidaa kawaida mende hawezi ona aryfu mbaya chooni sabu si makazi yake ila alie mbali na choo aona ni mnanuka ww watukana watu na kuwaita makafiri umesoma ukajuwa ilmu ya hilo jambo mwisho nakushauli kijana sijui mzee tafuta ilmu katika dini utaaraani watu raana hizo zikurudie mwenyewe fata sunnah ya mtume muhammadi ndo ukombozi ulobaki na safina ya kufika salama vinginevyo utafuta kuangamia tuuh
Kama kusoma quran na kuelezaya istoriya ya mtume Mohammad (S.A.W) ni bidaa sijui usheihk wako ni upi
Yaani mnakosoa mwanachuoni kwa maneno matupu hamjatoa hadithi Wala Aya inayoendana na mnayoyapinga
Hii Sauti kama ya Abubakar Kiza
Nyinyi masheikh ndio warithi wa mitume je mitume kazi zao zilikuwa ni kubishana au walikuwa wanapambana kuufahamisha ummaa umuabudu Allah na wajiepushe na twaghuti leo mashekhe mumekuwa mukiusoma uisilamu basi mnaanza kubishana je mnataka tumfuate sheikh yupi mwenye uisilamu wa kweli?
Basi rai yangu jichunguzeni nyinyi kwanza mashekhe ifanyeni kazi ya mitume walio kuja nayo ummaa ufahamu dini ya kweli ni ipi?
Ata ukikagua vitendo vya kimaulidi ni mahasi matupu wanaumea wanakata mauno tu eti ndo sunna hizo
Na hayo ni mawazo yake hao watu wa bidaa pia wana wacha kwani kassim mafuta hakua mtu wa maulid hakuna mtu asobadilika hata 1 bidaa mbaya na madhambi pia ni mabaya
hawa lazma wawe masuuf il kulinda taasis zao Tonge liende kinywani
Wakikaza watafngiwa kama ilivyokuwa Redio Imaan
Iman 00
Ila kassim mafuta kapeleka matangazo yake huko huko radio iman
Hahaha ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ mafutaaaa amepinda amekuwa almuhriq.
Pia anayemkosoa Abdulqadir hajaelewa mwenzake anasema nimsiba kusema maulid nisawa na kunywa pombe
Weye huna akilikabisa alichokisema khatari nikufananisha maulidi na kufanyazinaa
Unamtukana utaweza kuwa hasimu yake mbele za Allaah au kwasabbu uko nyuma ya keyboard akhiy?? Mche Allaah
Hawa salafi wenye asili ya tanga ni noma wao hawajawahi kufahamishwa jambo wakakubali ila wao huona kila mtu hajui kutokana na elimu yao na hawamuheshimu yoyote ila rais tu ila ukilinganisha hawa jamaa na bachu ni tofauti sana bachu yuko vyema sana
Pale tanga kuna nabii maeneo ya pongwe aitwa mafuta,, hakosei,,, hatari sana,,Hadhayaan binhadhyaan almuhriq Bachu anamjuwa vizuri sana. Wanasema kuraddiana kutoana ktk manhaj ndio walivyokuwa wakifanya walotangulia peponi ๐ ๐ ๐ .
โ@@SaidSeif-d4yacha ujinga kwanza unakosea kumwita sheikh qaasimu mafuta ni mtume unasema hakosei ushamfuatilia kukosea anakosea na alishawahi kutaraajai acha ujinga
HUYU ANAEMRADI ALHADALLY NI MSHENZI WA KIYAHUDI TU MBWA WEWE MSHENZ KENGE UNAFARAKANISHA UMMA
Kijana unaonekana kbisa huna malezi hahahaha Allah akuongoze
wahabi ni vibaraka vya wayahudi lkn mawahabi walioko afrika maskini hawatambui
Ushaur wangu kwako mzungumzaji,usitafute umaarufu kwa kujifanya wamkosoa sheikh abdulqadir,wewe wamkosoa sheikh huyu wewe ninani,?huomuda wapoteza kumradd sheikh nakusia tafuta ilmu unayo makosa tele kwene matamshi.yako, pia usisahau nyama zawana wachuonu.zinasumu
Halafu wewe akhiy bwana kwa abdulqadir yeye ni nani sheykhul islamu ??
Kua na.adabu wewe mtoto elimu ndogo mbona mAzuri yake husemi saiv ao watu wa dawa wapoooo au ubishi tuu???
Kama unawarad mashehk nahawabadiki tatizo ni wewe .uko pabaya umepotea
Mkishamaliza kuchambana tafteni paybill numbers watu wachangie tupeleka maji ya kunywa gaza zanzibar pemba na kenya mara sita wamepeleka vp kuhusu hii channel ama nikuchambana na kutafta views
Uislamu hauendi hivyo, uislamu wa kweli unaendeshwa na Quran na sunnah, ikikosekana dalili kutoka Quran na sunnah, tutawaangalia maswahaba, tukikosa kwa maswahaba tutawaangalia Wana wazuoni wamekubaliana vp kwa ujumlah, uislamu hauedeshwi na mwanachuoni mmoja, jambo ambalo wanachuoni wametafautiana Hilo ni jambo ambalo si makosa kwa mwanafunzi kutegemea upande alouwona una nguvu, uislamu sio ukristo kwamba asikilizwe mtu mmoja kisa yeye ni mwanachuoni, mwanachuoni haangaliwi mmoja wanaangaliwa wengi walivyo kubaliana, wacheni kupotosha watu
@@salmyhussein6255 kwahiyo akhy unataka kutuambia kuna mwanachuoni aona uzushi ni Bora kuliko maasia, tupe ushahidi mwanachuoni yupi aloisifia bidaah awe wa kutegemewa kuwa bidaah ni nzuri kuliko maasia tupe ww Sasa unapinga kauli za shekh apo juu
Wee shehe unae mkosoa she he abdulkaadiri akili yako ndogo
Mcmamo wa nasor bachu alikua ni kuzungumzia bidaa ila hawa jamaa wao ni kuwazungumzia vibaya watu wa sunna hutafuta kasoro ndogo ndio hua mada kwao
Hiyo sio kasoro ndogo ndogo akhiy halafu anarekebishwa kwenye dini na wala sio katika mambo yao ya kimaendeleo kama kujenga shule na vitu vingine
Mbona unazungumzia vitu anavyo vimiliki kama shule jee hana jema huyu cjackia kuzungumzwa hata jema lake 1
Hakuna binaadamu asokosea katika dini amini hili ninalo kuambia hata sheikh gani ukisoma cku 1 utakuja jua hata kassim mafuta ana makosa mengi unamkumbuka abuu rajab alisema akatwe abuu muawiya tizama alipofika yeye sasa hivi
Shekh huyu ni hatarii sana minaona ni ana usufi ulojificha yeye na mdogo ake kishki mtihani kweliii yani, wanajinasibishaga na sunnah watu wao wakubwa ni makhurafi kina othman maalimu, yule khurafi wa kenya yule ndo watu wake haooo
Sio lazima awe ktk fikra za kiwahabi
@@MbegaTurubaitz fikra za kisufi siyo
@@MbegaTurubaitz wazushi mnareteana
Ulitaka awe myahudi
Gombe wewe ungekuwa na elimu ya Othoman maalimu si bahari ingegeuka kuwa shuruba wacha kumuhusudu mtu ambaye ata robo ya elimu yke humfiki mtoe mdomoni mwak9 othoman maalim
Mbona ewe mzungumzaji hata kiarabu hutamki vizuri?? Unasema alwakia Fi ahli ahaa?? ุงููููุนุฉ ูู ุงูู ุงูููุงุกAin huzitamki, hutamki uzani wa maneno ya kiarabu vizuri, ni mfano niweke kiswahili, kutaja neno vipi, unataja viip au vipii waswahili lazima watakutilia shaka
Kwahiyo wewe salafy uchwara ni bora kwenda Bar kuliko kwenda kwenye Maulid??
ุงูู ุนุตูุฉ ูุง ูุชุงุจ ู ููุง
Nyinyi nyote wasenge na huo mjinga wenu hamuna elimu yyote ety kokua katetea maulid nyinyi wenyewe mmepotea kwnye akidaa mtabak hvyo hvyo uo sheikh anaelimu kubwa
Wew nae muislam kweli namatusi yote hayo!? Hujui hadithi ya mtume akikemea kuhusu lugha chafu... Achakudhumu heshma zawaislam wenzio ikiwa kafiri amesalimika kwako.
Ndugu mche allah kwahyo ndo utukane
Hakuna tofauti baina ya hamadi na hao wanaovaa vazi la elimu kumbe ni sufuri
Mnamkemea hamadi hussein na mnazisahau nafsi zenu
Wapuuzi
@@HamadiHussein-q5z ww utakuwa mla bangi tuuh hata dini ipo mbali na ww unatokwa na matusi khaa katukane kwenye koment za wanamuziki huku kwenye dini hakukufai kabisa utachuma madhambi bureee na ukiona lawama nyingi na matusi bakora imeingia vzr unaswali hata kuswali ww mbona kama mvuta bangi tuuh mtu ambae haelewi uislamu wake
Huna uwezo wakumrad huyu sbdul kadir wewe. Bado mbumbu wewe
Na hapa bachu ana husika na nini
Bachu ni Hadhayaan binhadhyaan almuhriq,,, emepinda๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐
Hajapinda bachu labda uwe humfuatilii au unaskiliza watu wakimzungumza hebu mckilize mwenyeo halafu mueke kwenye mezani ndo utajua na mimi nilikua na fikra kama zako ila baada ya kumckiliza nimefaham
Ukitumia hadhayaan haileti maana ndugu yangu tafuta kamuc ya kiarabu hii ni lugha ndugu yangu usiandike hivi
@OmarSalum-y9c Bachu ni Muh'riq,, kama huamini waulize pote la pongwe Bachu vipi???
Iko cku utathibitisha hilo