SHEIKH MZIWANDA AWAJIA JUU TABIA ZA POLISI, MKIVAA SARE HUWA MNAJIKUTA WAKINA NANI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 25

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 Месяц назад +1

    Maa shaa ALLAH Shekh mziwanda MUNGU akuweke uzidi kutuelemisha

  • @KibwanaSimba
    @KibwanaSimba Месяц назад +1

    Mashaaallah nakuelewa sana shekhwangu mungu akupe afya njema

  • @saadmbarak1903
    @saadmbarak1903 Месяц назад +1

    Mashallah sheikh mziwanda huchoki kumskiza akitoa waadhii

  • @abdallahmkali3251
    @abdallahmkali3251 Месяц назад

    Maa Sha Allah

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Месяц назад

    Mashaa Allah
    Vitu vizito

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline Месяц назад

    Sheikh Mziwanda, MaashaaAllah.

  • @PembeSalehe
    @PembeSalehe Месяц назад

    Maashallah

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 Месяц назад +2

    alie mpiga risasi ninaani kwanin huwaongelei Hao walio amuru risasi Bana unazinguwa hata sisi hatukumini itaisha mjadala mimi nawew tuu

  • @Hamisi-c9c
    @Hamisi-c9c 9 дней назад

    🎉❤😊

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku Месяц назад

    Tuko pamoja shehe wangu

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 Месяц назад

    Ndivyo mlivyo tumika wakati wa ukoroni afrika kuwahofisha watu mpaka sasa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Месяц назад +1

    Mziwanda ,umeongea ukwer kabisa ,serikali yetu umeisema kwenye ukwer wanataka madunduka wakuyapelekapeleka

  • @heykids6792
    @heykids6792 Месяц назад

    Mashaa-Allah 😂

  • @Talib-j5x
    @Talib-j5x Месяц назад

    Kilicho pelekwa ulaya unakijuwa unazungunzia akili lkni chuki zimekujaa moyoni,hj yko awepo hapo mummalize

  • @mwaramially2651
    @mwaramially2651 Месяц назад

    Safi

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Месяц назад

    Yaani Mziwanda hata sijui niseme nini. UMENENA.

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman Месяц назад

    Mgonjwa uyo shehe njaa tu inamtesa

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 Месяц назад +1

    Kinachotusumbua ni elimu ile ile ungekuwa unavyosoma quran ndiyo unavyosoma katiba ungekuwa na akili swali langu shekh maandamano ni kosa? Ukijibu nijua mwisho wako wa kufikiri na kiwango chako cha elimu

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 Месяц назад +2

    sheikh wangu unawaza padogo saana sheikh jamani hivi madudu ya CCM huyaoni kweli vijana tutakuondoa akili jamani soote niwaislaam Ila usijiipe kibali hivo hivi shida huzioni za CCM

    • @BilalMuhammad-jt6sq
      @BilalMuhammad-jt6sq Месяц назад +1

      Huna adabu

    • @Talib-j5x
      @Talib-j5x Месяц назад +1

      Sheikh ccm

    • @issataslima9846
      @issataslima9846 Месяц назад +1

      @@BilalMuhammad-jt6sq unasemaaje wewe adabu umenifundisha wewe au wazee wangu mtu mzima kama hawezi kuona maovu ya serikali yetu basi anakosea saana

  • @SalumDimoso
    @SalumDimoso Месяц назад

    Mumtaaaaz

  • @chochotekitu-hf6of
    @chochotekitu-hf6of Месяц назад

    Talkibiil

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Месяц назад

    Madunduka