Sikatai kusherehekea mazazi ya mtume lakini tubadirishe sura ya jambo hilo ili jamii ya kitanzania ipate faida ! Fikiria bajeti hizo tungezielekeza ktk ktk kutatua matatizo ya wananchi iwe sehem ya maulid ! Yapo mengi ya kufanya ya kijamii kisha tuyaelekeze kua ni maulid !
Acha siasa na hadaa za maneno....kama hukatai shida iko wapi??...sisi tayar Allah ametupa taufiq ya kumuadhimisha mtume wengine mufanye hayo mengine u aweza kuungana na wahabi mukafanya hayo mengine ili dini iende mbele ...ila kama unakataa kusherehekea sema usizunguke kwa kusema hukatai kusherehekea
Mashallah Allah akbaar wallah mahhabbaa ya MTUME S.A.W ni mahaba yetuu .
Wallah nimefurahi natamani na mimi ningekuwepo katika HADHARA TUKUFU HIYOO .
Nawasalimu nikiwa URUSI.
TUMSWALIEE MTUME S.A.W
Mashallah Allah amhifadhi mzee wetu huyu
Yuko social sana na ndio kiongozi wa umma ndivyo inapendeza kuwa hivyo
Allah akubariki kwa kumswalia mtume(s.a.w) waahi mufti natamani nikushike mkono live nipate baraka zako inshala
Mufti🎉🎉🎉
walai raha sana kumsikikiza muft wa tz ❤
Kenya hakuna mufti samahani....
Mash Allah
Swalallahu alyhi wassallam
Mufti kwenu hakuna lami kama kwetu kibiti-mloka insha allah tutapata
Oo my brother
insha'Allah
Sufism
hahahhaa
Heshima mufti, please mambo na lami anatokana wapi,tuwacheni Hasad.