Fanya yako na ukristo wako hauna nafasi Wala uwezo wa kuwaelekeza waislam Cha kufanya uislaam umekamilika sio dini ya matakwa ya mtu, waislam tunafaham Cha kufanya katika kila jambo hatuhitaji kufundishwa na mtu Kama wew
Waambiye haoviongozi wa serekali wa ache zulma watu wanatekwa Wana uwawa hamjitokezi kusema hivimnajitokeza huyo ni uchawa na unafiki haki mnaiyona tu kwa ccm
Mufti mnatakiwa muwe mnafundishwa na katiba na sheria kwenye vyuo vyenu vya kidini hivi ni nani aliewaroga kwamba Kila mkisikia maandamano akili zenu zinajaaa kumwaga damu
Shukran 🙏 Mufti mkuu
Uyu sheh ni chawa wa ccm
Na wewe bila shaka una ujinga na uchawa wa chama chako.
tanzania tuna sheikh mmoja tu. mwenye hufu ya mungu ponda isaa ponda hawa wengine wanafiki tu. machawa wa ccm.
Mzee Mauaji Mbona Majaji Huyasemei??? Mauaji Nisahihi; Mungu Kayarusu???.Muda Gani Maovu Kama Haya Yametokea Nchini????
Mimi sijaelewa hapa anakemea mauwaji au au anasemaje.
Honestly Waislamu viongozi wenu hawawapendi, kweli mwislamu mwenzao kauliwa kikatili hiki ndo wanachosema kukemea😭😭😭
Ukristo udumu, hatumwachii Mungu tutapambana mpaka haki ipatikane
Fanya yako na ukristo wako hauna nafasi Wala uwezo wa kuwaelekeza waislam Cha kufanya uislaam umekamilika sio dini ya matakwa ya mtu, waislam tunafaham Cha kufanya katika kila jambo hatuhitaji kufundishwa na mtu Kama wew
Daaaah ni shida
Sijakuelewa sheikh
Mzee serikali hii au ccm hii ni matatizo ya nchi hii atuwezi kukubali viongozi kufanya mambo ya kijinga
Tenda haki
Sheikh kemea mauwaji, kemea mzizi wa tatizo siyo matokeo ya matatizo
Nchi haichafuki yote ila wenye mali wanaogopa miladi yao itavulugika
Mufti akemee Mauaji
Waambiye haoviongozi wa serekali wa ache zulma watu wanatekwa Wana uwawa hamjitokezi kusema hivimnajitokeza huyo ni uchawa na unafiki haki mnaiyona tu kwa ccm
Viongozi wa dini acheni kutumiwa na CCM kabisa maana japokuwa umevaa kanzu ya brown ila Mimi naona Ina rangi ya Kijani (CCM) kwa maneno yako
Kwahivyo mtume alipokuwà añawauwa viyongozi wa maka alikuwa anakoseya
Hivi huyu cheo alikipataje
Mpaka Shee nae chawa was ccm
Kuma kabisa huyu anajifanya kuongelea kooni kumbe njaa t
Mufti mnatakiwa muwe mnafundishwa na katiba na sheria kwenye vyuo vyenu vya kidini hivi ni nani aliewaroga kwamba Kila mkisikia maandamano akili zenu zinajaaa kumwaga damu
Sheikh wewe Nichawa km mwijaku
Uzalendo haram katika uislam hatuna uzalendo
Naam sheikh umeeleweka
serikali isitumie dini kujisafisha... tumeshachoka
Anapoteza muda tu
Bakwata wamesema vizuri sana
Watu wajinga hawajui umuhim wa amani unaenda wapi ukiharibu kwenu
Na uyu mufti ni mjinga asiyejua umuhimu wa haki ktk kupata amani