MAULID HAYAKUANZISHWA NA MASHIA, NI MUNGU MWENYEWE- SHARIF MWENYEBABA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 45

  • @Zanzibarherbs
    @Zanzibarherbs Месяц назад

    Mashaallah Allah ampe umri jisheikh letu .elmu hii hautoipata kma una sikiliza kwa mihemko.

  • @aminashekuwe670
    @aminashekuwe670 Месяц назад +1

    Mmungu atakuhifadhi mwenye wetu swallallahu alyhi wassallam

  • @alhajshekomba5327
    @alhajshekomba5327 Месяц назад +2

    Hapo hakuna ujinga na huyo ni mwanawachuoni mkubwa na mwanawachuoni hawezi kudanganya na kuwa mjinga hata siku moja.. Ila wewe unaeona kwamba anadanganya kaa darasani usome. Utaona kwamba yupo sahihi. Haya mambo yapo kenye vitabu na mwanawachuoni wanayasema na kuandika kwenye vitabu kazi yetu sisi ni kusoma tu. tatizo nyinyi ni wavivu kusoma na mkisoma mwafundishana misimamo na sio elmu.. Tuwaheshimu MASHEIKH wetu na wanazuoni ndio warithi wa mitume. Tumswalieni mtume muhammad s. a s

  • @hajjikhamis1820
    @hajjikhamis1820 Месяц назад

    Kwenye mikusanyiko yetu hii ya dini Masheikh fikisheni mawaidha kwa Hawa viongozi wa CCM Dhulma zinazoendelea nchini zinawahusu moja kwa moja.Wallahi kesho mtaulizwa mbele ya Allah.Maovu mnayaona mnayanyamazia.Watu wanatekwa,uchaguzi Dhulma tupu.

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 29 дней назад

      Punguza jaziba CCM haihusiani na Kikao cha Mtume

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 Месяц назад

    Ati nabii Adam hasingeumbwa kama si mtu Muhammad swallah alehi wasalam,mzee umetudanganya hapo

  • @YunusMatindi
    @YunusMatindi Месяц назад

    Mashaashalhaa

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 29 дней назад

    Wanalazimisha dalili hawana

  • @IsmailKambona-id9ql
    @IsmailKambona-id9ql Месяц назад

    Eti maulidi yameanzishwa na mungu tupe aya tusidanganyane

  • @Yusuphmazohany
    @Yusuphmazohany Месяц назад

    Nnaam adhweem

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya Месяц назад

    Wala msiwajibu wanao mtukana mawahabi hakuna mwanazuoni wanae mkubali zaidi ya ibnu taimia hajabahatia kuchaguliwa kua wenye kumswalia mtume acheni watukane tu msiwajibu

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 29 дней назад

      Mtume alipoulizwa kwanini unafunga kila j3 alijibu nini akhi? Maulid ni uzushi na mnamaswali ya kujibu kwa allah..mmezua jambo na mnalipigania kana kwamba ni dini

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h Месяц назад

    Kwanini yeye Mtume hakujifanyia Maulidi umri wake wote na hata Maswahaba na watu wote wema waliotangulia Mzee acha kupoteza umma tubia na Allaah amekupa umri ili upate kutubia lakini bado unazidi kutokomea tu

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Месяц назад

      Hv unajielewa kw Hilo swali ulouliza?na ww je ni msomi au wafuata mkumbo?embu kuwa mkn na hlo sw km vp embu tucht kw hoja mm na ww kw wema tu ili unieleweshe au nikueleweshe

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 Месяц назад

    Yani huyu mzee adanganya watu mchana kweupe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Yaani hamkuchoka kumsingizia mtume sasa mnaisingizia na Allah mwenyewe hee ujinga mbaya jamaa😂😂😂

    • @baruakivuma8024
      @baruakivuma8024 Месяц назад +2

      Shekh pinga kwa hoja basi sio kwa matusi ya kuita watu wajinga

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 Месяц назад

      @baruakivuma8024 sasa tapinga kwa hoja ipi na wakati hali unaiona

    • @SuleimaniSahab
      @SuleimaniSahab Месяц назад +1

      hata kiumri yawezekana kakupita lkn kwajazba zako binafsi ukaona sawa kumuita mjinga hyo sio tabia ya uislam

    • @SuleimaniSahab
      @SuleimaniSahab Месяц назад +1

      Mfano angekuwa ni baba yko ww ungeonasawa kuitwa mjinga mche mola nduguyng

    • @SuleimaniSahab
      @SuleimaniSahab Месяц назад

      kwanza ww hukubal haya umetizamia nn haya maulid kumbe hayafai au sikuhiz mmeruhusiwa kusikiliza masufi