SISI KWA MTUME MAFALA | BABA YANGU ALIMTAFUNA MWANAMKE JUU YA MTI AKATUBU - SHEIKH ANUARI JONGO

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 36

  • @maalimjawzatulhindiiytamr3489
    @maalimjawzatulhindiiytamr3489 2 года назад +3

    Maashallah sheikh nakuelewa sana

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 года назад +5

    Jamaa anatoa mawaidha vizuri sana unapata hamu ya kumsikiliza tuu

  • @jumakadamila8794
    @jumakadamila8794 10 месяцев назад

    Allahuma Salli Ala Sayyidna Muhammad Ya Rabbi Salli aleyhi Wasaliim

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 Год назад

    Mashaallah mwenyezi Mungu akupe umri mrefu sheikh wetu mimi mpaka nimedanlod mawaidha yako hasa kisa cha B Mariam

  • @swaumusuleemani7430
    @swaumusuleemani7430 2 года назад +6

    Allah akuhifadhi sikutegemea kukuona tena nimelia shekh nilikusikiza toka nasoma mpaka leo ninakazi ndoa na watoto ila basi ulianza daawa kijana sana shekh maana nilitegemea kwa sasa utakua mzee bastaajabu bado unanguvu

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 2 года назад

      Unamkumbuka kwenye kisa Cha mfalme wa Sham.... Na sauti yake kwenye mashairi.... Zamani sana dada yangu

  • @maulidmohammed2762
    @maulidmohammed2762 2 года назад +1

    Nimezingatia sana aliekufa kwa kiu cha kiangazi ndie aliepona zama za mvua ya masika

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 2 года назад +4

    MaashaaAllah, mwamba wa kusimulia na mashairi yenye sauti.......

  • @swaumusuleemani7430
    @swaumusuleemani7430 2 года назад +3

    Maashaallah umefikisha kwa ufupi ila ujumbe umetawala nyoyo na akili za watu watakao ibada ya allah

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 Год назад

    Allah ukulipe Kila la heri ustazi wetu
    Nakupenda sana Kwa ajili ya Allah

  • @ExcitedAtv-qx5pt
    @ExcitedAtv-qx5pt 3 месяца назад

    mashallah

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Год назад

    Sijui kwann mnaweka vichwa vya habar vya hovyo, vina maneno ya kihuni.

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 2 года назад +4

    Ila vichwa vya habari ni vya upuuzi mnashusha heshima ya maustadh mnafanya vitu Kama makafiri bwana

  • @rashidikanyama7227
    @rashidikanyama7227 2 года назад

    Ujumbe umefika SHEKHE

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 2 года назад

    Safi sana wasahili hawafichi jambo.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 года назад

    maashaallah

  • @mubaraksaidi6242
    @mubaraksaidi6242 2 года назад

    siyo upuzii huo bali ume fika huo Asnte sheikh

  • @mchuzionlinetv9962
    @mchuzionlinetv9962 2 года назад

    Duh kamla mtu juu ya muembe

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 года назад +3

    Huyu muhuni sas Maneno gan uliyoandik Mweny hii Chanel????Haifikii kutukanana.

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 2 года назад +1

    Upuuzi mtupu mcheni Allah

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 2 года назад +1

      Mpuuzi ni nani ??

    • @rashidmlawa6548
      @rashidmlawa6548 2 года назад

      Mwalim tufahamishe upuuzi upowapi ktk hayo aliyoyaongea nasi tupate faida. Shukran

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 2 года назад +2

      @@rashidmlawa6548 baba yangu alimla mtu juu ya mti mtu mzima mwenye akili zake timamu anaweza akaongea utumbo kama huu mbele ya hadhara watu

    • @rashidmlawa6548
      @rashidmlawa6548 2 года назад +1

      Bac allah atujaalie uckivu kamahuu tulonao wakuckia makosa y watu tuckie namema pia kisha tuyafuate na tuwe wakweli ktk nafsizetu.

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 2 года назад

      @@hamzaswaibu9470 huyu sheikh wenu anaebwabwaja

  • @mussahussein3583
    @mussahussein3583 2 года назад +1

    Kwakweli sio Maneno ya busara hata kidogo eti kuyaongea mbele ya hadhara kma hivi. Ndio mawaidha gani hayo ya style hiyo? Lakini then unaelezeamaovu yamtu tena ujajaribu kuwafahamisha watu ili wamjue nimtu gani eti kwasababu alikufata wewe anataka kutubu. Mhh

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 года назад

    Hivi jamani mbona wahadhiri wengi wapumbavu wapumbavu msibani alafu unaleta mawaidha ya comedian alafu vitu gani unaongea wewe unajitambua kweli? Heee uislam umevamiwa na wahuni kweli

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Год назад

    Sijui kwann mnaweka vichwa vya habar vya hovyo, vina maneno ya kihuni.