NIMEGHAIRI NATAKA NGOMA IPIGWE UWANJANI SIO NDANI TENAA! SHEIKH MZIWANDA MAULIDI MADRASAT MUHAJIRINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 48

  • @AbubakarMugeni
    @AbubakarMugeni 2 месяца назад

    Mzee wetu askari wa allah mungu akulinde milele cheikh letu mziwanda akudjalie mwisho mwema tunakupenda daima kwadjili ya allah

  • @Shamsia-shangani
    @Shamsia-shangani 3 месяца назад +5

    Vitu kama hivi msivitume nusu jitahidi wanao shooting watume yote ili hao wapumbavu wasotaka kusoma wasomeshe vizuri na vigogo vyetu ❤❤

    • @Harunery
      @Harunery 2 месяца назад

      Nyinyi wakata viuno ndo wasomi hahaha

  • @shmohd11
    @shmohd11 3 месяца назад +3

    Sheikh na hii hapa وأوحينا إلى أم موسى)ى )
    في سورة القصص

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 месяца назад +1

    Angalia toafauti hapo
    Masahaba waifunga kama alivfuga mtume
    Manasara ( wakristo)wanaimba wanaimba nakumchezea
    Masufi wanimba na kumchezea muhammad

  • @shmohd11
    @shmohd11 3 месяца назад +3

    Ziko nyingi ktk Quran و أوحينا haikutumika kwa Mtume Muhammad pekee (rehma na amani ziwe juu yake)

  • @thuwaibahassan5225
    @thuwaibahassan5225 3 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @Shamsia-shangani
    @Shamsia-shangani 3 месяца назад +3

    Waambie hao mwalim wanao pinga kusifiwa mtume na kusherehekew

  • @Maherzain_Tz
    @Maherzain_Tz 3 месяца назад +2

    Bachuuuuuu uko wapii 😂😂😂😂😂

  • @rajabunchimbi2842
    @rajabunchimbi2842 3 месяца назад +6

    Bidaa. Wazee wa kwanza kuna ubaya gani.

    • @Maherzain_Tz
      @Maherzain_Tz 3 месяца назад

      @@rajabunchimbi2842 mtafute sheee kaisha toa namba

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 3 месяца назад +2

    Mawahabi hawawez munakasha... Wanachoweza wao ni kutukana watu tu mitandaoni... Ila hawathubutu kufanya mjadala wa hoja kwa hoja.

    • @Harunery
      @Harunery 2 месяца назад

      @@HemedAbdullaSuleiman kwa hujja za gani watu wa bidaa

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 3 месяца назад +2

    Mtume yeye mwenyewe alijisahau kujifanya sherehe ya maulid, wanaompenda wanamfanyia.

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 2 месяца назад

      @@Sheba4651 wewe kakimya kajisahu vipi na lifunga ww kasoma

  • @allynally4015
    @allynally4015 3 месяца назад +3

    Huyu ni maneno tuu lkn Hana ushahidi hata mmoja wa maulidi

    • @Shamsia-shangani
      @Shamsia-shangani 3 месяца назад +1

      Wew kam unao lete bas

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 2 месяца назад

      @@allynally4015 kabisa mwehutu huyu shehe kazi kuongelea siasatu kwenye mimbali

  • @Maherzain_Tz
    @Maherzain_Tz 3 месяца назад +4

    BACHUUUU JICHANGANYE UJE HUKUU 😂😂

  • @hamynas
    @hamynas 3 месяца назад +5

    shekhe mwenye mbwembwe zake ,elimu kiduchu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 3 месяца назад

      @@hamynas ww ndoo mbwembwe

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t 3 месяца назад

      @@hamynas kuliko bachu bwebwe zake

    • @salummbunga4167
      @salummbunga4167 3 месяца назад

      @@hamynas HALAFU UNAJIITA MUISLAMU 😄😂😂

    • @darajanida
      @darajanida 3 месяца назад +1

      @@hamynas wambie mashekh zako wajitokeze basi

    • @hamynas
      @hamynas 3 месяца назад +1

      @@darajanida hata haina haja ya kujitokeza,wabishane na mwehu ?si kupoteza time

  • @BinAli-m8e
    @BinAli-m8e 3 месяца назад +3

    Bachu kazi hio

  • @chibwa7103
    @chibwa7103 2 месяца назад

    Mbona akiulizwa hajibu hoja ,amjibu abuu khaula maswali aliolizwa mpaka leo
    Huyu shekhe hamna kitu

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 месяца назад +1

    Aa kumbe ni ngoma sio dini tena ipige tu mzee

  • @darajanida
    @darajanida 3 месяца назад +2

    mawahabi jitokezen basi

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 2 месяца назад

    Hutakitena mdahalo wa ndani eeee Sasa SI ujibu hayo aloyazungumza she Abuu khaula ww ujibu tu hatauko chumbani kwako halafu achaitabia ya kuyazungumza mambo nusunusu Wacha ujanja na maneno ya kuvungavunga

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 2 месяца назад +1

    Mziwanda unapotaka watu watumie adabu unapaswa kujiuliza je wanaotaka adabu itumike wao wanaadabu? Pia mnadhani kwamba nyinyi mmesoma kulikoni mtuyoyote kulikoni mtu wa madhehebi yoyote kituambacho sio sahihi na qur ani hajawahi kusema uongo وفوق كل ذى علم عليم Hata mkimzonga mtu kwa kuto kuelewa baadhi ya vitu ktka Ala za Elimu jibulahayo yote dini nimekuja kwa wahayi kama ulivosoma aya ya 13 ya surat shura dini hamuwezi kuchukua dini ya mashia mkafanya talbisi mkatizamwatu Eti kwasababu mnajua Nahau swarf na balagha na sihoja kujua aina kuminatano za wau zijuwe kuanzia waul hali mpaka wau bihasbi ma qablaha kama umekwenda kinyume na mafundisho ya dini utakua mjingatu

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 месяца назад +2

    Mpinga maulid huyo

  • @DAUDIIDDI
    @DAUDIIDDI 2 месяца назад +1

    Wahabieeeeeeee mpo jamani sikilizeni madini hayo mnayo

  • @Harunery
    @Harunery 2 месяца назад

    Hahahaha,mziwanda wanaokuona msomi ni hao wapiga ngoma wakata viuno,huna lolote

  • @DAUDIIDDI
    @DAUDIIDDI 2 месяца назад +1

    Alafu muache ujinga wakututukania mashekhezetu nyie wahabi muache hyotabia

  • @KhadijayahyaHamdu
    @KhadijayahyaHamdu 3 месяца назад +2

    Uyo bachu ndo nani kwani

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад

      Tupe jina lako tukutaje wewe

    • @hassanmambomambo8442
      @hassanmambomambo8442 3 месяца назад

      @@KhadijayahyaHamdu yeye amechagua kuhakikisha mtume asisifiwe maana nimtu kama wewe tu wakawaida

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад

      ​@@hassanmambomambo8442Bachu hana mpango wa Mtume asisifiwe, hapana. Anachofanya kusema kuna uongo kumsifia Mtume.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад

      ​@@hassanmambomambo8442Mashairi ya barzanji si Quran lazima kuna mapungufu, ati mama Asya na mama Maryam walihudhuria kuzaliwa kwake.