KLIPU ZA MADA • Sio Sahihi Kusema Zinaa ni Deni • Skh. Abu Umeyr Twahir

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 3 месяца назад

    Kwakweli Sheikh wangu hapa ndionasibitisha kuwa huu Uislam ulikuja mgeni utaondoka mgeni.
    Allah atuhifadhi.

  • @abdulqadirmasuo1550
    @abdulqadirmasuo1550 Год назад +3

    أطال الله عمرك

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 2 года назад +1

    Maashaallah Allah akulipe na akuongoze

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 года назад +2

    Shukan sana akhy

  • @AbdallahMzonge-pg9il
    @AbdallahMzonge-pg9il 11 месяцев назад

    Mashallah

  • @godfreyfabian8849
    @godfreyfabian8849 2 года назад

    Jiungen Boomplay tupate faida kwa wingi

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 10 месяцев назад

    Acha ujinga kasome huko

  • @rashidmweta2336
    @rashidmweta2336 10 месяцев назад

    Sheghe naona hujaielewa kauli hii.haikua maan kua madhambi atapewa mwingine hakua na maana hiyo

    • @ameirfaki9277
      @ameirfaki9277 9 месяцев назад

      Maaan ykr ni nini...tufahamishe ww bc plz

  • @ibrahimramadhan7594
    @ibrahimramadhan7594 2 года назад +3

    Sheikh mimi nauliza swali kama mzinifu hutubia tu kama ivyo na akasamehewa kulikua kuna haja gani wakati wa mtume watu kupigwa hadi? kwanini wasiambiwe ww kama umefanya hivyo katubie tu mwenyewe ????

    • @sheikhabuumeyrammartwahirs2142
      @sheikhabuumeyrammartwahirs2142  2 года назад +6

      MTU AKIFANYA DHAMBI LA ZINAA ILI ASIMAMISHIWE HADD NI KWA NJIA MBILI
      AONEKANE NA MASHAHIDI WANNE AKIFANYA HILO TENDO( NA HII IMEEKWA KWA AJILI YA KUFUNGA MLANGO WA TUHMA )
      2. AKIRI MWENYEWE KAMA AMEZINI ..NA HII YA PILI WOTE WALIOSMAMISHIWA HADD KWA AJILI YA KUKIRI HAKUNA KWENYE HISTORIA YA KIISLAMU ALIESMAMISHIWA HADD KWA KUONEKANA NA WATU WANNE
      NUKTA YA PILI : MTU AKISMAMISHIWA HADD BASI TAWBA YAKE NI MOJA KWA MOJA AMA AKITUBIA BAINA YAKE NA MOLA WAKE BASI NI IMMA ALLAH AMSAMEHE AMA ASIMSAMEHE ..KWA SABABU HAKUNA ANAEJUA TAWBA YAKE IMEKUBALIWA AMA LAA HIO NI SIRI YAKE ALLAH ...NA USHAHIDI WA HILO KWANZA NI HADITH YA UBAADAH ILIOKO BUKHARY NA MUSLIM
      عن عبادة بن الصامت رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : " بايعوني على أن لا تشركوا بالله شيئاً ولا تسرقوا ولا تزنوا ولا تقتلوا أولادكم ولا تأتوا ببهتان تفترونه بين أيديكم وأرجلكم ولا تعصوا في معروف ، فمن وفَّى منكم : فأجره على الله ، ومَن أصاب مِن ذلك شيئاً فعوقب في الدنيا : فهو كفارة له ، ومن أصاب من ذلك شيئاً ثم ستره الله : فهو إلى الله إن شاء عفا عنه وإن شاء عاقبه " .
      MTUME ASEMA NIFANYIENI BAY3A KWAMBA HAMUTOMSHIRIKISHA ALLAH WALA HAMUTOZINI WALA HAMUTOIBA....KISHA MWISHO MTUME AKASEMA NA YOYOTE MWENYE KUFANYA KATIKA HAYO KISHA AKADHIBIWA DUNIANI ( YANI AKASMAMISHIWA HADD )) BASI HIO NI KAFFARA YAKE NA YULE ALLAH ATAKAE MSTIRI BASI JAMBO LAKE LIKO KWA ALLAH AKITAKA ATAMSAMEHE NA AKITAKA ATAMUADHIBU
      USHAHI MWENGINE NI HADITH KWENYE MUSLIM ALIPOKUJA MA3IZ AKAMAMBIA MTUME NITWAHIRISHE YANI NIMEZINI MTUME AKAMAMBIA WAYHAK NENDA UKALETE ISTIGHFAAR NA UTUBIE ...
      صحيح مسلم عندما جاء "ماعز" إلى النبي صلى الله عليه وسلم وأقر بالزنى وقال : "طهِّرني" (يعني بإقامة الحد) ، قال له : ويحك ارجع فاستغفر الله وتب إليه .
      IMAAM ANNAWAWY AKASEMA HII NI DALILI KUA MADHAMBI MAKUBWA YASAMEHEKA KWA TAWBA NA HII NI KWA IJMAA YA WANACHUONI HAKUNA KHILAAF..
      ALAFU WOTE WALIOKUJA KUKIRI KWAMBA WAMEZINI MTUME ALIWASMAMISHIA HADD WAO WALA HAKUMUULIZA MA3IZ UMEZINI NA NANI ...NA BILA SHAKA KUNA MWENZAKE LKN MADAMU YULE HAKUJA KUKIRI AMEAMUA KUTUBIA KWA SIRI MTUME HAKUMUULIZIA
      والله أعلم