KUISHAMBULIA MARKAZI OMAR NI KUVUNJA MSHIKAMANO WA KISALAFI, SHK, MUHAMMAD MAFUTA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 39

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 13 дней назад +2

    Allah aitie nguvu Daawatu Salafiya na masheikh wetu n wote wenye kuifuata aamin

  • @hamadiissa700
    @hamadiissa700 13 дней назад +2

    Inshaalha

  • @MuhammadJuma-u7n
    @MuhammadJuma-u7n 13 дней назад +1

    wew saidi mbeg nikama mwendawazimu sahau kuhusuilo analoliomba

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 13 дней назад +6

    Tunamuomba Allah awaangushe maadui wa daawa salafiyyah na kuwalinda maduwati wetu wa hii daawa

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 13 дней назад

      Pole
      Atawangusha wapiga kura

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  13 дней назад +1

      Amiiyn

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 13 дней назад

      @pavillioncry5241 huzingatiwi makhurafi na mahizbi munaumwa sana kupitia daawa salafiyyah hamzingatiwi al hamdu lillahy kadiri mnavyo tupiga mawe daawa inaenea kwa kasi na maduwati wanaongezeka kufeni na chuki zenu sisi quruani sunnah ala fahamu salafi swaleh

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 13 дней назад

      Amminnn yarabiii wakina qassi mafuta na gengelake

    • @ZahorWazir-p1l
      @ZahorWazir-p1l 13 дней назад

      Kufa na chuki zako na upumbavu wako@pavillioncry5241

  • @udu-abdissamy
    @udu-abdissamy 13 дней назад

    Allah awaangushe nyinyi salafi uchwara kma alivyo muangusha firaun

  • @YusufuGoma
    @YusufuGoma 12 дней назад

    KULA CHUMA
    ruclips.net/video/m1pfi0C9BWY/видео.htmlsi=FjELUYJnKtpqbb-z

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 13 дней назад

    Nyinyi ni wahuni tu.
    Kila siku mnashambulia waislam
    Lkn hamtaki nyinyi kushambuliwa

  • @SaidiMbega-j4n
    @SaidiMbega-j4n 13 дней назад

    Dawa hii inayo nasbishwa na manhaj salafi namuomba Allah aingushe kwasababu hainakheri ndani yake Ila niwakuwagawa wanasunna

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 13 дней назад

    KADA WA CHAMA

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 13 дней назад

    Mzungumzaji wa sasa ni kada wa ccm

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 13 дней назад

      @@pavillioncry5241 kufeni na chuki zenu hamtaweza waangusha masalafi na daawa yake mahizbi na makhurafi mnaumia sana kufeni sisi tunasomesha kila siku daawa inaenea ni asli toka kwa Allah azzah wajala, dawaa asli ya mtume wameshindwa mahizbi kina barahyani kuidondosha kila alipojaribu kuxuia akadondoka yey

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 13 дней назад

      Wewe ni mjinga hujui lolote

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 13 дней назад

      ​@@mashaurimvungi2232😅😅😅 wewe ndo una Lolote

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 13 дней назад

      Tena kada la kweli hasa ccm kada

    • @iddihamisiharuna8261
      @iddihamisiharuna8261 13 дней назад

      Mwenye kumzushia muislamu uovu ni dhaalimu, na madhaalimu ni wenye kupata hasara kwa Allah

  • @الحق-د
    @الحق-د 13 дней назад

    Katika watu wasiofaa kusikilizwa n huyu mzungumzaji

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 13 дней назад

    Wajinga ni wengi kuuchukua usalaf ni kuuchukia uislamu