ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
  • Видео 589
  • Просмотров 409 772

Видео

SHEIKH WA KISUFI ALIYE IPINGA SUNAH YA MTUME JUU YA MIMBARI BILA WOGA, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
Просмотров 485 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
KUIMBA NA KUSKILIZA NYIMBO HUO NI ULEVI WA NYOYO, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI.
Просмотров 472 часа назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
KWA NINI USIMPASHE JIRANI YAKO KWA QURAAN NA MAWAIDHA, NA SIO MIZIKI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI
Просмотров 894 часа назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
WATU WA BODA BODA NA MABASI YA ABIRIA ACHENI KUWEKA MIZIKI, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI
Просмотров 684 часа назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
MIZIKI INAOTESHA UNAFIKI KATIKA MIOYO YA WASIKILIZAJI WAKE, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI.
Просмотров 664 часа назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
WEKA MASHARTI HAYA KATIKA NYUMBA YAKO KABLA YA KUPANGISHA WAPANGAJI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI.
Просмотров 1594 часа назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
KUPINDISHA SHERIA YA ALLAH KATIKA KUGAWA MIRATHI, SHK, MUHAMMAD SALIM.
Просмотров 597 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
WATU WENYE PESA NYINGI WANAVYO KOSA UTULIVU KATIKA MAISHA YAO, SHK, JUMA BWAZA.
Просмотров 597 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
KUWAPENDA NA KUSHIRIKIANA NA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU NA MAJAMBO YAO, OST, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAH
Просмотров 317 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
UWONGO WA AINA TATU WA NABII IBRAHIM NA WENYE MANUFAA, UWONGO HUU SIO HARAMU, SHK, MUWSA KILONGOZI.
Просмотров 1109 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
WATU WALIO RUHUSIWA KUSEMA MANENO KWA BAYANA BILA KUFICHA FICHA, SHK, MUWSA KILONGOZI.
Просмотров 2619 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
HIYO MALI ULIYO NAYO SIO MALI YAKO, IMETOKA KWA MOLA WAKO, SHK, MAULIDI HAROUN.
Просмотров 339 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
MISINGI INAYO FUNGAMANA NA MAJINA YA ALLAH, SHK, QASSIM MAFUTA.
Просмотров 7212 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
KUMTUNGIA ALLAH MAJINA, AMBAYO HAYANA DALILI KWA KUTUMIA AKILI YAKO, SHK, QASSIM MAFUTA.
Просмотров 14012 часов назад
Changia uwendeshaji wa chaneli hii kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah JAZAKUMULLAH KHAIRAH
NI BORA KINYWA CHAKO KIJAE USAHA KULIKO KUIMBA ANASHEED NA MIZIKI, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL W
Просмотров 9212 часов назад
NI BORA KINYWA CHAKO KIJAE USAHA KULIKO KUIMBA ANASHEED NA MIZIKI, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL W
UTAULIZWA HAYA BAADA YA KULAZWA KATIKA MCHANGA NDANI YA KABURI LAKO, SHK, QASSIM MAFUTA.
Просмотров 23112 часов назад
UTAULIZWA HAYA BAADA YA KULAZWA KATIKA MCHANGA NDANI YA KABURI LAKO, SHK, QASSIM MAFUTA.
WANAO SIKIZA NYIMBO NA ANASHEED USHAHIDI WAO HAUCHUKULIWI, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI.
Просмотров 11014 часов назад
WANAO SIKIZA NYIMBO NA ANASHEED USHAHIDI WAO HAUCHUKULIWI, OSTADHI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAABI.
WAISLAMU WAWILI WANAPO KUTANA NA KUPIGANA KWA AJILI YA KUUWANA, SHK, ABDALLAH HUMEID.
Просмотров 11914 часов назад
WAISLAMU WAWILI WANAPO KUTANA NA KUPIGANA KWA AJILI YA KUUWANA, SHK, ABDALLAH HUMEID.
KUJIONA MBORA KWA MALI ULIZO PEWA NA MOLA WAKO MLEZI, SHK, ABDALLAH HUMEID.
Просмотров 9214 часов назад
KUJIONA MBORA KWA MALI ULIZO PEWA NA MOLA WAKO MLEZI, SHK, ABDALLAH HUMEID.
WAJA WALIO ELEKEZWA NA MTUME KATIKA KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI, SHK, ABUL ABBAS.
Просмотров 5019 часов назад
WAJA WALIO ELEKEZWA NA MTUME KATIKA KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI, SHK, ABUL ABBAS.
NI KWA AINA GANI WATU WANAWEZA KULIBEBE JABALI HILI KUBWA, SHK, QASSIM MAFUTA.
Просмотров 14921 час назад
NI KWA AINA GANI WATU WANAWEZA KULIBEBE JABALI HILI KUBWA, SHK, QASSIM MAFUTA.
MZEE MAJUTO ALIVYO LINGANIWA NA WATU WA MANHAJI SALAFI, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
Просмотров 2,5 тыс.21 час назад
MZEE MAJUTO ALIVYO LINGANIWA NA WATU WA MANHAJI SALAFI, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
IBADA YA SWALA INAVYO MAFUTA MJA MWEMA MADHAMBI YAKE, SHK, ABUUBAKARI KHAMIS.
Просмотров 12621 час назад
IBADA YA SWALA INAVYO MAFUTA MJA MWEMA MADHAMBI YAKE, SHK, ABUUBAKARI KHAMIS.
HIKI NDIO KILICHO MRUDISHA MZEE YUSUFU KATIKA UWOVU WAKE WA TAARABU, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
Просмотров 1,1 тыс.21 час назад
HIKI NDIO KILICHO MRUDISHA MZEE YUSUFU KATIKA UWOVU WAKE WA TAARABU, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
MATENDO MEMA NA MATENDO MAOVU YANAVYO ITANA, KATIKA MWILI WA MJA MMOJA, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
Просмотров 11921 час назад
MATENDO MEMA NA MATENDO MAOVU YANAVYO ITANA, KATIKA MWILI WA MJA MMOJA, SHK, ABUU ABDIRAHMAN SHAFII.
RUDUD NO 3, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
Просмотров 7221 час назад
RUDUD NO 3, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
RUDUD NO 2, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
Просмотров 91День назад
RUDUD NO 2, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
RUDUD NO 1, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
Просмотров 136День назад
RUDUD NO 1, JUU YA POTE LA QADIRIYA NA UPOTEVU WAO, MAZAZI YA JAILANI, ABUU ABDIRWAHMAN ABDUL WAHAAB
WATU WA ABUDI ROGO WALIVYO GAWANYIKA BAADA YA KUFA KWAKE, SHK, ABUU YASSIR.
Просмотров 567День назад
WATU WA ABUDI ROGO WALIVYO GAWANYIKA BAADA YA KUFA KWAKE, SHK, ABUU YASSIR.

Комментарии

  • @KalengaKassim
    @KalengaKassim 57 минут назад

    Ujanja ujanja TU aboud rogo akitajwa lazima uogope maana alifanya ambayo hawezi kufanywa na mashekh wengi wa Sasa aboud alikuwa na Kijiji chake

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 14 часов назад

    Allh awajaalie muendelee kutubainishia daawa salafiya

  • @0stadhyMohamed
    @0stadhyMohamed День назад

    Salafi munaongoza kwa kuwatusi wazaz wenu na wazaz wa wenzenu washenzi nyie

  • @islaminmyheart9348
    @islaminmyheart9348 3 дня назад

    جزا الله شيخنا خيرا.

  • @IsmailMasule
    @IsmailMasule 3 дня назад

    Jitu likiwa salafi linakuwa puuzi puuzi unatoa dalil za sheikh wako unaowaponda masheikh wawengne bora answar ata mwanangu sikubali aolewe nahaya majuha yan kwanza mavivu yakaz walokole wakislamu tumswalie mtume

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 дня назад

    mahizbi wa kianswari sunnah ndo wapigaji anasheed saivi wazi kabisaa, wakiambiwa wamepinda wanakasirika wakati miharafa yao ipo wazi kabisa salafi gani alipiga hizo pumbao"

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 дня назад

    Mufti menki ni hizby? Au ni salafi?

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 дня назад

    Hivi yule mufti menk ni hizbi au mu ikhwan?

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 дня назад

    Tunaendelea kufaidika na dawaa salafiyaa na kujitenga na hawa ahlu bidaa wa dwalala

  • @hamadrajab8042
    @hamadrajab8042 8 дней назад

    Huu unaofanya wewe ni ujinga, huna hoja wala mada ya kuongea , badala yake unakosoa kosoa bila dalili, kama qurani imesema , hubu shahawati mina nisaai, aya wewe unaijua yote kadhalika bwana mtume kasema mie napenda wake, na dalili ni kibao tu, HEBU SHTUKA, UONNGEE vp tutakabiliana na fitna za akhiru zamani ambazo zimetuzunguka?? Na tupo kwenye hizo zama, ?? Nakutajia baadhi, paper money NA MFUMO MZIMA WA PESA UNAOTAWALA ULIMWENGU, IMF, UN NA AGENDA ZAO, WORLD HEALTH ORGANIZATION NA AGENDA ZAO, haramu, feminist revolution , kukithiri kwa riba NI MENGI MNO HAYAMALIZI HUMU, WEE BADO PUMBA TU , SHTUKA WEE. ALAFU UNAOMBA UCHANGIWE PESA HUMU, KATAFUTE DINARI NA DIRHAM UKO AMBAZO NDIZO PESA ZILUZOTAJWA KWENYE QURANI ZINAZOPASWA KUTUMIKA ILI TUONDOKANE NA UTAWALA WA MAKAFIRI. SHTUKA WEE BABU , KWANI ATAPOKUJA IMAM MAHDI ATAONGEA PUMBA KAMA WEWE, ATATUFUNDISHA NI JINSI GANI YA KURUDISHA HADHI YA UMMA KWA VITENDO , SIO KWA PUMBA. ATAWACHANA NA MIFUMO YOTE YA KIKAFIRI, NA WEWE UWACHE MIFUMO YA KIKAFIRI YA KUTUMILIWA KUGAWA UMMAH.. KWA LEO SAIZ YAKO AYO

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 8 дней назад

    Huo ulembo wa Sauti wa Nini shashhh😅

  • @LiiwaylHassan
    @LiiwaylHassan 8 дней назад

    Kuna ayanyingi tu ktk Quran zinapinga kuwati makafiri

  • @AliIbrahim-yk6qe
    @AliIbrahim-yk6qe 9 дней назад

    Allah Atujaalie Thabat katika haqqi

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 9 дней назад

    Washaanza kuchanganyikiwa hao juzi2 wamekisanyika hata wanachozungumza hawakijui.

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 9 дней назад

    Hivi ule mzozo ulishamalizika dhidi ya Markaz Ummary??

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy 9 дней назад

      @@AlmasAbdallah-r3g haukuishaga ule

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 9 дней назад

      @@Hud_hud_Salafiy Akhy lakini usishawishike. Sambaza daawa. Woote ni masalafi bwana uishe usiishe woote masalafi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 9 дней назад

      ​@@abbaspaziaog2188 Hahahhhahha! 😂 Ile mgogoro uishe inabid mmoja akitoa radd mwingine anyamaze😂😂😂 Mana wakianza kujibizana na mwisho wataanza kubidiishana... Solution ya kumaliza Fitnah ni kukaa kimya! Huwa namkubali sana Abul Fadhwil kwenh hyo sekta

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 9 дней назад

    Akhyu ALLAH akubaarik shekh huyu shaafee mahdiy ana rududy zake kwa khàjawirat. Ukizituma huma watu wakafaidika na wakazidi kuujua uovu wa yahya al hajour. .itakua vyema saan

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy 9 дней назад

      @@abbaspaziaog2188 zipo na baadhi nilishazitumaga ila sio zote

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 9 дней назад

      @@Hud_hud_Salafiy ooh ALLAH akubaarik akhyu unapambana saan kusambaza. Daawat salafiyyah

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy 9 дней назад

      @abbaspaziaog2188 sahihi sana Allah atubariki sote

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 9 дней назад

    BAARAKANLLAH fiyk wajazakumnllah khairay akhyu ALLAH amuhifadh shekh wetu Abuu Abdirrahmaan shafee mahdiy na amrejeshe kwenye haqq mzee yusuph

  • @hemedahmed3094
    @hemedahmed3094 9 дней назад

    Nyie mbwa toen bc aya zinazosema tuwatii viongoz waovu Nyiny hamna elim ni fitna

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 8 дней назад

      Astaghafirrullah, akhi sio sawa kutukana kama muisilamu mwenye imani yenye msimamo mzuri

    • @hemedahmed3094
      @hemedahmed3094 8 дней назад

      @lacroquetalacroqueta6813 Kwenye Qur'an watu wasioweza kuzitumia akili zao vzr wametolewa mfano wa mbwa na wanyama wengn ss ww labd mgen wa Qur'an kwa kukuzindua tu soma sura no 7

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 дня назад

      Yani hukmu za makafiri unaziteremsha kwa waislamu ila atuahangai ndo kawaida ya makhawariji kuwatowa waislamu katika imani na kuwaita makafiri, na muda mwengine wanatumia aya Allah alizowahukumia makafiri wanazibeba kuwatupia waislamu

    • @hemedahmed3094
      @hemedahmed3094 4 дня назад

      @AbdulIssa-o7e toa Aya zinasena umtii kiongoz jahl au kafir sio wabweka tu maana ya khawarij yenyewe hujui mmekaririshwa tu

    • @IsmailMasule
      @IsmailMasule 3 дня назад

      ​@@AbdulIssa-o7ewe nae hakili huna nyie masalafi mnawatoa watu wote ktk dini wasio kuwa masalafi mbwanyie maongo kwanza muogopen Allah Kuna na kiama na hukumu siku ya kiama

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 10 дней назад

    Jazaaka Allahu khaira

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 20 дней назад

    Alwah akuhifadhi ustadh wetu

  • @rushu1232
    @rushu1232 20 дней назад

    Ajabu mwazungumza musioyafanya kuna mrongo kama wewe wasingizia watu uwongo kuita watu wazushi waabudu makaburi.

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 20 дней назад

      ukisia kelele ujue dawa imetibu ugonjwa 😂

    • @rushu1232
      @rushu1232 20 дней назад

      @jumanneissa8226 kelele za chura hizo ugonjwa hutibiwa na Allah dawa sababu.

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 20 дней назад

      @@rushu1232 😂 💊 hayatawakuta maut ispokua sababu ninyinyi wenyewe 💊 hakuna chochoro ya kupenye mahizbi 🤣🤣

    • @rushu1232
      @rushu1232 20 дней назад

      @jumanneissa8226 nafkiri hamujielewi tizama darsa na masheikh za hao munaowaita mahizbi na hizozenu za hizbu salafi zipi zinazo hudhuriwa sana.

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 20 дней назад

      @@rushu1232 ndo kipimo chamahizbi hicho 🤣 haq nikufata dalili Sio wingi wewe wawapi mfano takwimu zinaonyesha Tanzania ndo makafir wengi kulilo waislam ndo hoja wao wapo ktk haqi bc wewe ni hizbi mbumbu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 день назад

    Zama za mtume msikiti ilikuwa haina ukuta wa kizuhizi vipi sunnah hii misikiti yetu tumeiacha, tunapiga ukuta?? Nakati wakina mama wameswali nyuma ya mtume akukuwa na kitenganishi, sunnah hii kuweka ukuta tumemfata nani??

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 день назад

    😂😂sauti ya Simba wa wazushi Allah akujaalie kheri, unawapo wachapa wazushi na mahizbi unanifurahisha xana, sauti ya Simba wa khurafi

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 день назад

    Ñaam tunaendelea kunufaika na hii dawa tumejuwa mahizbi ni wepi salafi ni wepi huwezi ukawa salafi wasifia kina saidi kutubi kina hossama bin raden na sururiyah afu mtu ataka aitwe salafi nae

  • @KhamisiRamadhani-d9e
    @KhamisiRamadhani-d9e 24 дня назад

    Allah akubarik shekhe wetu

  • @bakarimabele9295
    @bakarimabele9295 24 дня назад

    Jazakallahu khair

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 25 дней назад

    Huyu Sheikh mpuuzi. Sio kama mtu anawakana watu wake na kuwatupa, anafanya hivyo ili apate fursa ya kupata kipato ili awasaidie hao jamaa zake alowakana. Ni njia tu ya kupata fursa ili awe na kijiuwezo cha kuwasaidia jamaa zake. Nchi zetu za Afrika mumeziharibu sana kiasi hata fursa za ajira ni adimu mno.

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 26 дней назад

    Subhanallah wallah masufi waweza sema siwaislam kwa vituko vyao. Vya ajab na vya uongo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 26 дней назад

    Maghurafi akili xao zintoboka kidogo

  • @lusupi
    @lusupi 27 дней назад

    Asalam aleykum akhiy nisaidie hapo elimu ya maswahaba abu bakar ndo alikua na elimu kubwa kuwazidi wote

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 29 дней назад

    Barakallahu fiyka Allah akuhifadhi

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 29 дней назад

    Nawaombe dua masheikh wa kisalafi kwa kaz yao adhiim ya kubainisha talbis za masufi, maana masufi wametuchezea sana akili kwa siku nyingi

  • @OmarHajj-r5k
    @OmarHajj-r5k 29 дней назад

    Allah amlipe kheri sheikh Abuu Arqam ally masoud

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Aamiin

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Allaah akulipe na akuhifadhi sheikh wetu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    AAMIIN

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Laa ilaaha illaa ALLAAH

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Allaah akulipe na akuhifadhi sheikh wetu allaah akuzidishie ilimu na akusamehe makosa yako

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Месяц назад

    Una kiburi kwa nini usiskilize

  • @omarabdullah-k8j
    @omarabdullah-k8j Месяц назад

    Walinganizi.tusichukua.manhaji.kama ni umiliki.wa watu maalum hiii ni dini na dini.nikatika ibda.tusiwefanye hiimanhaji kama chama tuwache maneno ya ushamba na ovyooo

  • @NAJMASAIDI-e6b
    @NAJMASAIDI-e6b Месяц назад

    Usalaf ni dhehebu la kiyahudi linalo saidiwa na marekani ilekuvuruga uislam dunian na kugombanisha watu

  • @NAJMASAIDI-e6b
    @NAJMASAIDI-e6b Месяц назад

    Usalaf ni uyahudi ndomaana hauwizi kukwaama , .

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 Месяц назад

      Kwahiyo mayahud wanafuta Quran na sunna kwa ufaham wa wema waliotangulia, halafu useme eti usufi ndo din na michezo ile yote mara kunyoa ndevu na kuacha masharubu, tumia akili kabla hujaongea chochote

    • @allyjaffar7072
      @allyjaffar7072 Месяц назад

      Hawa ndio wale wanaocomment wakiwa na stress....

  • @rushu1232
    @rushu1232 Месяц назад

    Shida yenu mwajiona nyinyi ndio mukosawa wengine wote hawakuelewa hawakufahamu kama nyinyi ndio muna akili special na ufahamu mzuri zaidi hiyo ndio shida yenu nakuiita wa majina mabaya mahizbi makhurafi matabligh masufi.

  • @NAJMASAIDI-e6b
    @NAJMASAIDI-e6b Месяц назад

    Usalafi ni uyahudi ulio wazi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Na usufi nao ni unini au unafata mkumbo tuuh

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo Месяц назад

      Na usufi nn....kuabudu makaburi.....kupiga ngoma kama wanakwaya....kupika uzushi wa maulidi...kuimba na kucheza cheza kama wendawazimu......kuabudu mawaliiii feki....ambao hata hawasali.......na kuacha kumuomba Allah...na kuomba viumbe wenzio

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @SameerMdumbemalongo wapotevu wasojijuwa kama wamepotea sioo, usufini ni mtihani mambo yanayo fanywa na mashekh wao wale ni kinyaa kabisa, unakuta jitu linakula makohozi ya daruweshi shekh wake et hutakiwi kukataa wanaamini kumuharifu shekh ni makosa kwahilo inabidi unyww upokee karama na wanakunywa wale wakaitwa muridu, yani mwanafunzi kukubali kila atakachosema shekh wako, inafika kipindi wengine hata mke akitakiwa na daruweshi hutakiwi kukataa atamchukua akalale nae na ww ukikataa umemuharifu shekh ni ujahli umejaa kwenye twarika zao, mtu anafumba macho anasema amejuwa na mtume anaongea nae anapena mikono na mtume ni wajinga wale jamaa sijapata kuona Allah awaongoze wazee wetu walokufa na itikadi hizo na awasamehee kwa kama hawakujiwa na hoja

    • @NAJMASAIDI-e6b
      @NAJMASAIDI-e6b Месяц назад

      Mashoga wakiyahud hao

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo Месяц назад

      @NAJMASAIDI-e6b tufanye subra....uzuri hatukai miaka mingi hapa duniani ...makaburi hayako mbali....halafu mbele ya allah utaona matokeo ya haya unayoongea.....ewe KHURAFI wa kike

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Месяц назад

    Daawa salafiyya daawa ya hakki imekuja kuvunja na kusafisha taka taka ndani ya uhizbi, mimi kabla sijajiwa na hoja vzr kuhusu hii daawa nilimtwani shekh kasimu nikiona kwamba anawadhulumu watu kumbe yupo katika hakki naomba anisamehe kwahilo na allah anisamehe, answari sunnah walitudanganya sana khusu sunnah.

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy Месяц назад

      Sahihi sana hautohukumiwa kwa kufanya kitu pasipo kujua

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j Месяц назад

      mengine huwa nimihemko

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @omarabdullah-k8j hamna mihemko hizo ni kauli za kupinga daawa salafiya isienee kwa idhini ya Allah inapenya sehemu mbali mbali, Allah amejaalia hii dawa inakubalika pamoja na vita vyote vya makhurafi na mahizbi kupinga hii daawa

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 29 дней назад

      allah kuhifadhi

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Месяц назад

    Nashukuru Allah kunijaalia kutoka katika fikra za jamaat answari sunnah wanakemea bidaa kumbe kuna miharafa imejificha kwao, hiii daawa imewakomboa wengi

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g Месяц назад

    Naomba kufahamu sheikh Abdallah Farsy(Rahimahullahu) alikua ni Salafy??

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy Месяц назад

      Sina ufahamu katika ilo jambo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Mi mnachojuwa alifata kitabu na sunnah kama kuna makosa akikosea huenda hakujiwa na hoja Allah amsamehe kama kuna sehemu alitereza

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy Месяц назад

      @AbdulIssa-o7e sahihi sana

  • @azizimtege
    @azizimtege Месяц назад

    Sauti iko chini akhy

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy Месяц назад

      @@azizimtege imerekodiwa hivyo hivyo ndugu

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 Месяц назад

    Kweli mijadala sio mizuri

  • @abdouabdouroihim3518
    @abdouabdouroihim3518 Месяц назад

    Hiello