Naandika huu ujumbe huku natokwa na machozi ya wivu mkubwa....Namuonea Sana Wivu huyu Ndugu yangu Saidi Lugumi kwa Mambo makubwa anayofanya...Hakika yananifurahisha mno kwasababu mwenzangu anafanya hivi ili kupata radhi za Mwenyezimungu....Sina la kusema zaid ya kukupa Hongera sana Bwana Lugumi Mungu akupe zaidi ya unachotoa insha'Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Salamu ziwafikie na matajiri wengine wa kiislam mukifanya hivi matajiri wote mtafanya waislam wasiojuwa dini yao vizuri washindwe kuritadishwa na oneni wivu wa maendeleo ya dini yenu .... kila Muslim mwenye uwezo ashindane na mwenzake kweny mambo y akheri haya uwanja wenuuu jamaa ndio kashaanza
Kuna vitu vitatu hapa ukiambiwa ujibu utabaki huna jibu. 1: Ushahidi 2: Uhakika 3: Uthibitisho 4: Nani kamkuta na hatia Na la mwisho ukiwa hivi ujanani basi ukizeeka ww ni mchawi.
Allah akukunjulie riziki father na kesho akhera akukupe malipo mema inshaallah
Allah akulipe kheri na ujue umri mrefu, amin
Ubarikiwe sana sana namuomba Mwenyzi Mungu niwe kama wewe
Natamani nichangie elfu kumi katika "mradi" huu 😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢
Mungu akiniajalia nitafanya zaid ya hichiiii
Amin
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na hiyo ndio Siri kubwa ya kuwa tajiri
Naandika huu ujumbe huku natokwa na machozi ya wivu mkubwa....Namuonea Sana Wivu huyu Ndugu yangu Saidi Lugumi kwa Mambo makubwa anayofanya...Hakika yananifurahisha mno kwasababu mwenzangu anafanya hivi ili kupata radhi za Mwenyezimungu....Sina la kusema zaid ya kukupa Hongera sana Bwana Lugumi Mungu akupe zaidi ya unachotoa insha'Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mwenyezi mungu akupe afya njema na akuongezee umli
Salamu ziwafikie na matajiri wengine wa kiislam mukifanya hivi matajiri wote mtafanya waislam wasiojuwa dini yao vizuri washindwe kuritadishwa na oneni wivu wa maendeleo ya dini yenu .... kila Muslim mwenye uwezo ashindane na mwenzake kweny mambo y akheri haya uwanja wenuuu jamaa ndio kashaanza
Swaddakta
Na ww pia kidogo ulichukua nacho , uwanja wako huu.. sio lazima matajiri
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Lugumi kwa Fadhila hii🎉🎉🎉
Karibu: Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
😢😢😢😢2013 Duuh huyu ni mtu
Allah akubaariki
Masha allah allah akuongoze mpaka akhera
Mwenyezi mungu akujalie neema
Kila la kheri kaka MWENYEZ MUNGU akulipe kila zaidi ya ulichokifany
Mungu akuweke miaka mingi sana
Mungu amuwek said lugumi any time Ana smell
Ila huu mziki usiwaekee unawapatisha zambi
Mashaallah
Huyu mwamba ananitoa machozi ya furaha hata kama aliwahi kuwa MTU mbaya mungu asamhee
Allah akulipe hapa duniani na akhera,na akupe umri mrefu .
Alllsh akupe afya njema
Na washindane wenye kushidana kwenye kheri,
Wachache sana wenye akili kama zako
Huyu sasa ndo tajiri wa kweli sio hao wengine ungeona show off nyingi mara mabodigadi mara mazingaombwe kibao 😂lakin mwamba kachiri tu
Pls waogoze kwenye njia ya kheri ili update malipo ya kheri Kwa mungu
Katika ulimwengu huu tutayaona mengi.
Kwahyo anafanya kazi ya kutusahaulisha 😂,,,kwa walio zalwa 2000 hamuwez elewa au bas
Kwacc great thinkers tushaelewa xana
Laundry
Kuna vitu vitatu hapa ukiambiwa ujibu utabaki huna jibu.
1: Ushahidi
2: Uhakika
3: Uthibitisho
4: Nani kamkuta na hatia
Na la mwisho ukiwa hivi ujanani basi ukizeeka ww ni mchawi.
@GeorgeAkasha-zx2rj wewe ni jaji????
@jeremiahcharles6027 Usipende kuongea au kuandika vitu usivyo na uhakika navyo sana mkuu la sivyo dera utavalishwa.
Lugumi muhuni tu kwanza hajasoma amepataje pesa
Azam ana masters au
Matajir 90% dunian hawajaasoma tembea uone lakin pia ww umesoma unann zaidi ya makasiliko😂😂😂
Matajir 90% dunian hawajaasoma tembea uone lakin pia ww umesoma unann zaidi ya makasiliko😂😂😂
Hizo pesa za walipa kodi maana huyu alikuwa na network kwenye miradi mikubwa ya serkali na hivyo walikuwa wanachota tu pesa za serkali
Kama alichota anajalibu kurudisha kwa wenye uhitaji @@paschalpaul3862