Kipindi kizuri ila Da Zama huyu mtangazaji Bado hajaiva, hamjuwi kumuhoji mtu. Kwani mtazamaji hajuwi huyu ni nani?? Kwani mtu anataka amjuwe huyu jamaa ni nani?? Na jina lake ni nani?? Na Kwa Nini ni Raza Lee?? Ana husiana vipi na kina Marehem Moh'd Raza au Ibrahim Raza. Hayo yote yalitakiwa yajulikane!!
NAKUJIBU MIMI NDIO MTANGAZAJI SALEH SIO KILA KITU MTU ANATAKA KUKIWEKA HADHARANI NA AKISHASEMA HATAKI VITU VYENGINR VIENDE HEWANI UNATAKIWA UMUHESHIMU KWAIYO KILA AMBACHO UMEKIONA HAKIJAENSA HEWANI MWENYEWE HAKUPENDA…. Sada kama Bado sijaiva karibu ulete CV upate ajiraa….. saleh classc hapa IDD MUBARAQ
Unataka ujue nini zaidi na nishasema mfanyabiashara mkubwa zanzibar unataka ujue nini wakati keshatoa historia yake alipozaliwa mpk aliposomaa mpaka Akamaliza ndugu yng🙏🏻
Matajiri wote znz ni warabu au wahindi waznz weusi zao chuki na umasikini umewajaa,walalamikia muungano eti ukivunjika watakua matajiri kimiujiza kama hao waarabu
Mpumbvu sn ww huku Zanzibar kuna wa2 weusi wenye pesa kuliko warabu na wahindi hatupendi sifa na kujulikana ukitaka kujua ilo nijb comment hii nikupe data za wa2 weusi wenye pesa kuliko waarabu
Ww ni pimbi sana unachuki na wazanzibar na huwajui wazanzibar stupid kabisa kumbe ww yaani wazanzibar wanapesa hatari sana. Na huko kwenu Tanganyika munatumwa ba hao hao wazanzibar ndio wanaokutumeni
Mliwauwa ili mrithi majumba na mali zao je vipi hamjafaidikaaaa, na nyie mkatajirikaaaasss, msicheze na mgao wa Allah mmeadhirikaaaa na mmakufa dhaliliiiiii
Hilo jumba alijenga baba yake tangia mwishoni mwa miaka ya tisiini na mwanzo lilikua limeandikwa baadhi ya aya za qur'an kwenye kuta zake na likapata umaarufu kwa raza na kipindi chote cha uhai wa baba yake hatukuwahi kuona akitembelewa na mapaparazi kuhojiwa kwenye nyumba hiyo.
Sio kwamba hatumpendi au hatupen di kipindi ila mfumo wake wa kuhoji. Anakwambia jumba la kifahari la Raza Lee kumbe ni sehemu yake ya biashara sipo anapoishi. Na ukipima yy anasema 2012 kaenda china kusoma hapo kamaliza form 4 ,je china alisoma kipindi Gani?? Chuo alimaliza lini?? Na level yake ya elimu ikoje?? Kwa sababu ukimuangalia huyo,Mali nyingi amezikuta na yy anaendeleza tuu. Kama ilivyokuwa Kwa tawfiq ila tawfiq kidogo yupo tafauti na huyu lkn wanafanana.
Mimi mwalimu wako Mr Muha wa Laureate. Nakupongeza sana kwa hatua uliopiga na ALLAH azidi kukuongoza katika njia njema anayoiridhia.
Jamaa yuko humble sana ,, neno brother na karibu tena kalisema zaid ya 100 kwenye haya mahojiano
Sio kama taufiq kamwambia akihojihojiwa na uyu mwandishi, mwandishi atakua star 😂😂
Nachompendea razaleeee pesaaa kajaza ila kuvimba hajui very humble
Kuna watu wana hela halafu ni very humble. Angezipata Doto magari/Mwinjaku ingekua hatulali
Nimependa Jamaa Anavyo Jibu Maswali Hekima Ndo Kitu Bora SANA Katika Maisha Yetu Mungu Anisaidie Aniongoze Vyema Katika Safali Ya Maisha Yangu
Mr Razalii umezungumza kwa hisia saan kwenye suala la kuiletea maendeleo Zanzibar allah aakuwafilishe
Ndugu mtangazaji pole ,umepambana na matajiri wakubwa wenye imani zao za Dini Mashaallah
Safi bro ❤
Razaleeeeeee sema tenaaaaaaa......hongera saleh
Rich young man but very humble
Huyu Mr Sematena ni mtu poa sana yani hana majivuno kabisa Mungu akuzidishie kheri
MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah anampenda kusema karibu Sanaa half nitajir huyu
Wengine tumeishia tu kumjua jina na lijumba lake ila hatujui ni nan na imekuwaje hadi kahojiwa 😢bora millad ayo anauliza maswali muhimu
True!!
daaah haya bhna
Iknw is nice house m father is contractions doing this big bangaloo
eeeeenh kwa mara ya kwanza kuliona hili jumba ndanii nilikuwa napita tu kwenda beach😁😁😁
Mwisho wasiku namimi nimeangalia kipindi 👍
Nilichopenda jamaa ni mshabiki mwenzangu wa Chelsea
😂😂
Nyumba nzuri aweke pazia za umeme
Pazuri sana🎉
Vipindi vingi wakigonga wanjfanya kwenda kuu Liza Kwan hajui km anafwata😅😅
Mmeona watu na maswahiba zao😀😀
Kipindi kizuri Ila ungekifanya mchana ingependeza zaidi
camera man movement zako zipo slow,unachelewa kufika eneo husika wakat inaanza kuelezewa,fanyia kazi hilo
TATIZO HUJUI KUPANGILIA MASWALI, MTIRIRIKO NI MBOVU.
Kipindi kizuri lakini kuna maswali yanakosa kuulizwa ..maana huyu ni kijana amefikaje hapo ? Au amerithi Mali au namna gani..
Utajiri ni wa kurithi tu
Form 4 2012 duh ?? Mdogo wangu kabisa pesa sasa😂😂😂
Wazanzibar wanaishi bwana
Sio wote
Wemuongo 😂😂 njoo zanzibar uone jualitavokuwakia
@@user-lj7mu1tk2b
Akaribie 2 mbona 😂😂😂
huyo ni mr. mwisho wa siku sio mr sema tena
Si michezo ❤
Bado mtangazaji hajaiva yaan km mtalii vile
Mpeni mashavu castor Dickson atauwa San kwenye hichi kipind izuri sema mwana unyama
Hao ndio wazanzibari halisiii
Kwanini msitafute watangazaji wenye uwezo. Na mtu wa editing pia aongeze uwezo.
Ila mtangazaji big NO
Kitaaaa hapo Bush Doctor kibweni Mshelishelini Wapi Msouth,
hahha msouth yupo
Kijana kwa maneno yako hayo ya watu wanaingia kimya kimya na yatch chonde usije mfufua jiwe huko alipo😂
Nimecheka salehe kwenye tenesi
Mdogo angu kabisa 😂😂😂
Tungekuwa wabongo kama huyo haongei na mtu
Huyu si muarabu rangi tu mbona wapo wachanga weupe nao utasema waarabu
Wanaume wa zanzibar hawana vichogo
hata komwe awana
salehe mbona anacho??
Kipindi kizuri ila Da Zama huyu mtangazaji Bado hajaiva, hamjuwi kumuhoji mtu. Kwani mtazamaji hajuwi huyu ni nani?? Kwani mtu anataka amjuwe huyu jamaa ni nani?? Na jina lake ni nani?? Na Kwa Nini ni Raza Lee?? Ana husiana vipi na kina Marehem Moh'd Raza au Ibrahim Raza. Hayo yote yalitakiwa yajulikane!!
Omba ajira uende wewe ukawe mtangazaji wa kipind
@@Ciyara248 ahaaa. Haya
NAKUJIBU MIMI NDIO MTANGAZAJI SALEH SIO KILA KITU MTU ANATAKA KUKIWEKA HADHARANI NA AKISHASEMA HATAKI VITU VYENGINR VIENDE HEWANI UNATAKIWA UMUHESHIMU KWAIYO KILA AMBACHO UMEKIONA HAKIJAENSA HEWANI MWENYEWE HAKUPENDA…. Sada kama
Bado sijaiva karibu ulete CV upate ajiraa….. saleh classc hapa IDD MUBARAQ
Unataka ujue nini zaidi na nishasema mfanyabiashara mkubwa zanzibar unataka ujue nini wakati keshatoa historia yake alipozaliwa mpk aliposomaa mpaka
Akamaliza ndugu yng🙏🏻
Salehe baba pumzk mwaya ....Sisi tunao fatilia kipind chako kila siku Ndo tunao jua ubora wako katika kazi achana na izi ng'e🤬
Nlikua nashindana nae kuenda mbio na mavespa maeneo ya chukwani
Kwaiyo tukufanyejr
Sale hataki kaondoka naona mwenyeji anasimama kukuaga wewe umekaa bado 😂😂
Matajiri wote znz ni warabu au wahindi waznz weusi zao chuki na umasikini umewajaa,walalamikia muungano eti ukivunjika watakua matajiri kimiujiza kama hao waarabu
Sema huwajui zipo gapiz zanzibar zina pesa wala hazina papara ya kujisifu
Aisee
Mpumbvu sn ww huku Zanzibar kuna wa2 weusi wenye pesa kuliko warabu na wahindi hatupendi sifa na kujulikana ukitaka kujua ilo nijb comment hii nikupe data za wa2 weusi wenye pesa kuliko waarabu
Ww ni pimbi sana unachuki na wazanzibar na huwajui wazanzibar stupid kabisa kumbe ww yaani wazanzibar wanapesa hatari sana. Na huko kwenu Tanganyika munatumwa ba hao hao wazanzibar ndio wanaokutumeni
Mliwauwa ili mrithi majumba na mali zao je vipi hamjafaidikaaaa, na nyie mkatajirikaaaasss, msicheze na mgao wa Allah mmeadhirikaaaa na mmakufa dhaliliiiiii
Hilo jumba alijenga baba yake tangia mwishoni mwa miaka ya tisiini na mwanzo lilikua limeandikwa baadhi ya aya za qur'an kwenye kuta zake na likapata umaarufu kwa raza na kipindi chote cha uhai wa baba yake hatukuwahi kuona akitembelewa na mapaparazi kuhojiwa kwenye nyumba hiyo.
Na baba yako mbona hakujenga mpaka leo hii bado maskini?
Acha hasira😂
Sio kwamba hatumpendi au hatupen di kipindi ila mfumo wake wa kuhoji. Anakwambia jumba la kifahari la Raza Lee kumbe ni sehemu yake ya biashara sipo anapoishi. Na ukipima yy anasema 2012 kaenda china kusoma hapo kamaliza form 4 ,je china alisoma kipindi Gani?? Chuo alimaliza lini?? Na level yake ya elimu ikoje?? Kwa sababu ukimuangalia huyo,Mali nyingi amezikuta na yy anaendeleza tuu. Kama ilivyokuwa Kwa tawfiq ila tawfiq kidogo yupo tafauti na huyu lkn wanafanana.
@@nickalreadyknows Hana.
We ulitaka ajengewe na baba yako nini? We mbona baba yako kakuachia masufuria hamna anaeshangaa
Msimlaumu mwenzetu amekutana na vitu vya ajabu vimemtoa mchezoni amebaki anashangaa maswali hamna..ila amejikaza hata hivyo
Kweli kbs. Masikini ukikutana na tajiri mtetemo lazima😂