MAAJABU MJENGO WA MWIJAKU, SWIMMING POOL JUU, TAA MILIONI, KITASA CHA MLANGONI KINA CAMERA, AFUNGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2024

Комментарии • 566

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 5 месяцев назад +40

    Hongera sana mwijaku, ukiambiwa uchawa wenye faida basi ndio huu saf kbs

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 5 месяцев назад +160

    Nilichogundua Mwijaku mkewake anampenda na anamsupport sanaaa ndio maana huyu mwamba atafika mbaliii

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 5 месяцев назад +7

      You are right.

    • @rehemamcharo8693
      @rehemamcharo8693 5 месяцев назад +2

      Mwijiku ww ndyo mwanaume heshima yamwamaume kuonesha heshima jwajamii na kwenye famili

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 5 месяцев назад +1

      Uhakika nipo upande wako

    • @veronicamhanga2548
      @veronicamhanga2548 5 месяцев назад +7

      Ni kweli kabisa wanaume wengi wanadhani kumshilikisha mke ni ujinga lahasha. Hata kama kipato chako ni kidogo shilikianeni, yatatokea matokeo chanya sana barikiwe. Hongera sana mwijaku

    • @JosephLukumaiLukumai
      @JosephLukumaiLukumai 5 месяцев назад +4

      Alafu huyu mke anamuheshimu sana

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z 5 месяцев назад +27

    ❤❤Hongera sana DC mwijaku kwa mjengo mkubwa mungu yupo pamoja na nyinyii❤❤❤❤

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd 5 месяцев назад +20

    Hawa machawa tusiwachukulie poa🔥 hongera sana mwijaku

  • @user-mt3id9lt2n
    @user-mt3id9lt2n 5 месяцев назад +30

    Dah masikini wengi tumejaa makasiriko tumuombe mungu atupe ridhiki nzuri nasi tufikie ndoto zetu

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 5 месяцев назад +15

    Congratulations Mwemba a.k.a Mwijaku. What's been done by you should completely be imitated by every smart Tanzanian youth! May God keep blessing you!

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 5 месяцев назад +29

    MashaAllah hongera sana Mwanamke mwenzangu kwa Kua mke bora kwa mumeo hadi mmefika malengo. Kila la kheti kwenye ndoa yenu.

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 5 месяцев назад +26

    Kaka hongeraaaaaaaa❤❤❤❤ yaani hiyo ndo Fungal kalomo

    • @asifiwefungo163
      @asifiwefungo163 5 месяцев назад

      😂😂

    • @dorthea8423
      @dorthea8423 5 месяцев назад

      @@asifiwefungo163 ruclips.net/video/zTak_qJqJbg/видео.htmlsi=GADo6gJr5BsSbiMi

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 месяцев назад +48

    Huyu jamaa alivyo na utani na vichekesho hata akizungumza akiwa serious bado naona anafanya utani na vichekesho vile, ila Hongera sana kwa kujenga nyumba nzuri.

  • @nuhumhagama2132
    @nuhumhagama2132 5 месяцев назад +14

    Daaahhh hongera sana bro mwijaku Mungu awabariki sana

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 5 месяцев назад +14

    wanawake njoon uku muna mengi sana yakujifunza kwa mke wa mwijaku

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 5 месяцев назад +3

    Mwijaku na worlper funga kazi ya mwaka 2023 nawapenda sana

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq 5 месяцев назад +8

    Hongera mwijaku umepiga hatua God bless you

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 5 месяцев назад +13

    Hongera sana brother Mwijaku

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 месяцев назад +21

    Hongera sana home boy 🎉

  • @janetnyanchera1252
    @janetnyanchera1252 5 месяцев назад +9

    Congratulations Mwijaku's absolutely amazing guys God Is Faithful always 🙌🙏❤

  • @user-yf7dq8vh5c
    @user-yf7dq8vh5c 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤ hongereni sana DC mwijaku mwenyezi mungu awabaliki sana

  • @adamizlewaiz9099
    @adamizlewaiz9099 5 месяцев назад +27

    Love from Kenya u have mentor many including myself ❤❤

  • @user-px8mx1ce4o
    @user-px8mx1ce4o 5 месяцев назад +12

    big up my DC mwijaku djuma shaban from cape Town south Africa ❤❤❤❤

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 5 месяцев назад +18

    Mashaallah ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @peterbaraza7887
    @peterbaraza7887 5 месяцев назад +13

    Aiseee!
    So inspiring!
    Congratulations Mwijaku.
    Tunakuonaga kama chizi hivi kumbe akili imetimia..😊😊
    Hongera sana mdogo wangu!!

    • @dorthea8423
      @dorthea8423 5 месяцев назад

      ruclips.net/video/zTak_qJqJbg/видео.htmlsi=GADo6gJr5BsSbiMi

  • @fransiscongonyani-
    @fransiscongonyani- 5 месяцев назад +6

    Hongera sanaaaa boss🎉🎉🎉🎉 piah shemej nawe ni kichwa Kwa kumshaur Mwamba kufanya makubwa🎉🎉🎉🌹🌹🌹

  • @ezekieljustine8241
    @ezekieljustine8241 5 месяцев назад +7

    Kazi nidhamu na kujituma❤ respect mwijaku

  • @emmanuelmwaipopo3039
    @emmanuelmwaipopo3039 5 месяцев назад +6

    Uchawa unalipa mwaka huu lazima na Mimi niwe chawa. Hongera sana mwijaku

  • @Iamnanapeak
    @Iamnanapeak 5 месяцев назад +3

    Congratulations 🎉👏 mwinjaku from KENYA 🇰🇪🇰🇪🙏

  • @zainabufaidhi4799
    @zainabufaidhi4799 5 месяцев назад +12

    MA Shaa Allah hongera Sana Kaka mwijaku umeupiga mwingi sana

  • @michaelmwimule1001
    @michaelmwimule1001 5 месяцев назад +4

    Mwijaku baba kazi ipo. congratulations bro

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 5 месяцев назад +20

    Hahahaaa Mwijakuu asante kaka kazi nzuri.
    Inawezekana Mwaka huu kuwa wa kwangu.

  • @user-pc8fv2vd7q
    @user-pc8fv2vd7q 5 месяцев назад +1

    Mashaallah mjomba wangu laweza Allah akuzidishie barka

  • @edwardfaraji1133
    @edwardfaraji1133 5 месяцев назад +2

    Hongera sana kaka Mwijaku uchawi unalipa aisee...

  • @YussufSaid-ok4pu
    @YussufSaid-ok4pu 5 месяцев назад +1

    Mashaallaah Tabarakallaah Allah awahifadhi na husda,Mwijaku mwambie mke wako ajistir nywele zake Allaah awadumishe kwenye ndoa yenu

  • @user-vh7ts1fc2e
    @user-vh7ts1fc2e 5 месяцев назад +4

    Mungu akusimamie Kaka hongera Sanaa

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 5 месяцев назад +2

    mashalaah ongera sana kk,wale waliokuona wajichetua lazima wajiulize.

  • @user-tv7yx8nt5k
    @user-tv7yx8nt5k 5 месяцев назад +5

    Hongera mwijaku🎉🎉🎉❤

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 5 месяцев назад +5

    Mashaallah mungu atuongezee kwa wote amin

  • @abdulazizamani8103
    @abdulazizamani8103 5 месяцев назад +7

    Masha Allah ❤

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 месяцев назад +12

    Hongera sana Mwijaku ndio faida ya kwenda shule hata ukiuza vitumbua ukiwa umesoma na umeelimika unatoboa , madogo wengine wanapata hela ila bado wako kwenye nyumba za kupanga sababu shule zao ndogo !

    • @user-qe9pk1sf1f
      @user-qe9pk1sf1f 5 месяцев назад +4

      Tatzo sio shule nijins yakutumia hela unaweza umesoma lakin hunamatumiz yahela

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 месяцев назад

      @@user-qe9pk1sf1f elimu inasadia sana huyo ana masters degree na unaona ana mipango mizuri ni shule hiyo mfano baba Levo hamna shule pale tofauti Na Mwijaku

    • @thebmcblackmiccatcher3949
      @thebmcblackmiccatcher3949 5 месяцев назад +1

      Aliyekufunza elimu ni hela na nyumba alisahau kukufunza sababu ya diamond kukuzidi hela pamoja na elimu yako

  • @husseinchokaijr5897
    @husseinchokaijr5897 5 месяцев назад +4

    Hongera sanaaaaa

  • @floraflora5964
    @floraflora5964 5 месяцев назад +3

    Mashaallah hongera sana ❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 5 месяцев назад +11

    I'm So Proud For This D.C Wa Insta Mungu Awabariki Kweli Kweli🎉🎉🎉

  • @ray45king84
    @ray45king84 5 месяцев назад

    Congratulations... this is inspiring. Sio uchawa but maendeleo

  • @biasharaonline693
    @biasharaonline693 5 месяцев назад +4

    Congratulations brother and sister you both made it 💪

  • @wankurumasanja4764
    @wankurumasanja4764 5 месяцев назад

    Inshallah mr mwijaku..nvzri mjengo wako

  • @hassanimwiyombo3385
    @hassanimwiyombo3385 2 месяца назад

    Assalamu aleikum warehematulah wabarakatuh baba hongera kwa mafanikio yako mwenyezi mungu akujaalie majaliwa mengine zaidi ktk dunia na akhera maana yote ndio mapitio yetu Mwijaku mm nahitajia sana kufika clous hasa ktk kipindi chenu cha leo tena kwa haja ya kuwaona live na ni kipindi ambacho hakinipiti naomba nifanyie mchakato nipo manyara

  • @ZalfaOthman
    @ZalfaOthman 5 месяцев назад

    Masha allah masha allah mungu awabarik wewe na mkeo maisha ya furaha kwenye nyumba yenu mpya Mungo awaondoshee hasad aamin thuma amin

  • @pendolymo9354
    @pendolymo9354 5 месяцев назад +14

    Uku juu weka uzio Kwa sababu y usalama zaid hasa watoto😊

  • @silvestermwakyosi194
    @silvestermwakyosi194 5 месяцев назад +16

    Hongera sana mwijaku

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 5 месяцев назад +31

    Congratulations to both of them, it's q beautiful and very modern home. Amazing view and finishes.

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 5 месяцев назад +8

    I'm so proud of you ❤❤❤❤❤

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 5 месяцев назад +2

    MashaAllah ❤❤❤
    Aka bachuchu Mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 5 месяцев назад +1

    Nice. Hongeraaaaa sana Broo

  • @juliaskasiaka
    @juliaskasiaka 5 месяцев назад

    Congratulations Mr mwijaku mungu azidi kukutia nguvu,,,, one day nitakuja kuishi nyumba kama hiyo

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 5 месяцев назад +3

    Hongera sana MWINJAKU NA MKEO 🎉

  • @faizG254
    @faizG254 5 месяцев назад +6

    Congratulations to Mwijaku.I respect you bro

  • @FabianTebeka
    @FabianTebeka Месяц назад

    Brother unafanya mambo vizuri lakini Acha kumsema vibaya diamond kwa kuwa wewe muislamu kwani Mtume Muhammad alisema eli ya mchawi kuliko mnafiki piga kazi achana na mambo ya Dunia my brother respect

  • @boscomwambapa8584
    @boscomwambapa8584 5 месяцев назад

    Pongezi sana kaka mwijaku hongela sana pia kwa shem mkisapotiana mambo hayakwami

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 5 месяцев назад

    Mashallah kweli wanakuona chizi lkn upo vizuri sana hongera 😘😘😘😘

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 5 месяцев назад +2

    Ongera sana M mwijaku, mwanamke anajitambua sana uyo.

  • @user-jf7vh4zo1d
    @user-jf7vh4zo1d 5 месяцев назад +48

    Am so proud of this 🥰🥰🥰🥰✌️

  • @davidmichael8748
    @davidmichael8748 5 месяцев назад +4

    Mwijaku shikamoo skudharau tena nisamehee🙏🙏

  • @user-ir6xj4xm6c
    @user-ir6xj4xm6c 5 месяцев назад

    Du hongera sana DC umejitahidi sana nyumba nzuri sana

  • @lilymuro4993
    @lilymuro4993 5 месяцев назад +4

    Hongera Kaka Yangu Mwijaku Karibu Japan 🇹🇿🇯🇵 👍

  • @mustafatsomba6178
    @mustafatsomba6178 5 месяцев назад +2

    Hapo nimekukubali Mwijaku wewe ni zaidi ya Baba Levo ongera sana bro much ❤from D.R.CONGO. Tunawafatilia sana

  • @josephnobashi3223
    @josephnobashi3223 5 месяцев назад +1

    Hongera sana kamanda mwijaku

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 5 месяцев назад +1

    Hongera mwijaku umeweza

  • @janetsharon2839
    @janetsharon2839 5 месяцев назад +1

    Congrats mwijaku🇰🇪

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 5 месяцев назад +26

    mwijakua kumbe alikuwa anatafuta kitu akili nyingi sana big up

  • @user-es9xl6sh9f
    @user-es9xl6sh9f 5 месяцев назад +1

    Daaah hili funzo kubwa ukiona Mwanaume amefanikiwa ujue Kuna mwanamke shujaa nyuma yake
    Congratulations bro mwijaku

  • @user-xl6qp8pr7b
    @user-xl6qp8pr7b 5 месяцев назад +1

    Hongera sanaa

  • @mgosimanyara5650
    @mgosimanyara5650 5 месяцев назад +1

    Saluty hongera umepambana

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 месяцев назад +9

    Usimdharau usiye mjua,tukikuona mtandaoni na usemaji wako tunakuchukulia poa, big up Bro

  • @aloyceakilumanga2649
    @aloyceakilumanga2649 5 месяцев назад +1

    Hongereni sanaaaa

  • @SharifaSelemani-ix4xs
    @SharifaSelemani-ix4xs 5 месяцев назад

    Hongereni Sana Masha Allah

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 5 месяцев назад +2

    Kumbe jamaa ana akili nyingi Duuuh 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿big up sana chawa namba moja

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 5 месяцев назад

    Dah aisee hongereni sana...

  • @ilungamukaza
    @ilungamukaza 5 месяцев назад +2

    Congratulations 🎊 my brother

  • @congratulationmayunga3833
    @congratulationmayunga3833 5 месяцев назад

    Hongera saaana DC Mwijaku umeupiga mwiiingi

  • @diipesa
    @diipesa 5 месяцев назад

    For sure na enjoy sana life la huyu jamaa,I'm so inspired👋

  • @mwanahawasalehe
    @mwanahawasalehe 5 месяцев назад +1

    Hongera sana my brother umeweza na umeweza Tena ❤❤❤ karbu kigambon

  • @hanifaalhanif6392
    @hanifaalhanif6392 5 месяцев назад +1

    MashaAllah Allah azidi kukubarikieni

  • @hamisyusuph2519
    @hamisyusuph2519 5 месяцев назад

    hongera kwake ila aache kusema kaiheshimisha kigamboni,kigamboni ni next level kuna nyumba hyo ya kwake ni takataka

  • @user-ti5lz4he6x
    @user-ti5lz4he6x 5 месяцев назад +1

    Hongera Sana tunakitu kikubwa cha kujifunza sisi Vijana hongera Sana brooo

  • @omanmct135
    @omanmct135 5 месяцев назад +2

    Mashallllah naic

  • @Boskarii
    @Boskarii 5 месяцев назад +6

    Street ICON 🙌🏽

  • @Ramaamuzic
    @Ramaamuzic 5 месяцев назад

    Aki wacha niweke comment..kwahii story because bibi ya bro mwijaku amenigusia moyo wangu unacho tamani yani mwanamke mwema niyule anae sikizana na mme wake na ningependa kumpongeza bro mwijaku kwakupata jiko jema ...much love kwa wote bro na shem late me say i love this family god bless them....be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 месяцев назад +1

    Wow Mwijaku Mashallah

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ 5 месяцев назад +5

    Congratulations mwijakuuu 🎉🎉

  • @user-xs4ow5ce4b
    @user-xs4ow5ce4b 5 месяцев назад +2

    Congratulations 🎉🎉

  • @merinaemmanuel3593
    @merinaemmanuel3593 5 месяцев назад +1

    Big up sana mwijaku.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 месяцев назад +15

    Yaaaaan leo mwijaku umejua kujiangaisha na hii mitandao hongera sana mwijaku ❤

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 5 месяцев назад

    Mashaallah tabarakallah mabrouq alfu mabrouq

  • @dottohami
    @dottohami 5 месяцев назад +2

    Mashaallh ❤

  • @masanja9256
    @masanja9256 5 месяцев назад

    Mwijaku hongera kaka pamoja na shemeji yangu ila wanaowaona mnaelezea mafanikio yenu wanadhani kuwa ukimuona nyani kazeeka hawajui kama karuka mishare mingi, pengne hebu uwe na kipnditu cha kuwaeleza au kutoa magum kidogo ili wajifunze kuvumilia kwenye familia vijana hata mababa wakileo ,

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 месяцев назад

    Ongera sana kaka mwijaku
    Umeuwa sana lakin kaka
    Lakin jiandae wasanii
    kutokukuripa ovyo ovyo
    Kwa pale utakapo waongelea
    Maana tayari wamesha stuka
    Kuwa wanakutajirisha
    Yabila wao kujua kwaiyo
    Kaka mwijaku jiandae vzr
    Kwa hilo broh wangu

  • @user-kk5nf3pu1g
    @user-kk5nf3pu1g 2 месяца назад

    Masha Allah blessed

  • @zawadikombe7289
    @zawadikombe7289 5 месяцев назад

    Hongera mwijaku

  • @afsannanahimana1241
    @afsannanahimana1241 5 месяцев назад

    Ma sha allah Allah awalinde vijicho kaka yangu wewe na family yako

  • @jacksonkendavis8689
    @jacksonkendavis8689 5 месяцев назад

    Well done, big up sana

  • @user-gf3xt6xb6t
    @user-gf3xt6xb6t 5 месяцев назад

    Hongela sana

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 5 месяцев назад

    Hongera Sana