Asante sana mtumish mm nabalikiwa sana na neno yaan kupita siku bila kukusikiliza ww mtumish naona loho yangu bado aijalizika moyo wangu unabalikiwa sana kwako Mungu akutunze mtumishi yaan daa
Mungu n mwema wakati wote.Pamoja na yote ametufundisha kusema""Nayaweza Mambo yote katika yeye anitiae nguvu"""...Uwepo wako katika kutumika kwa Bwana...,kuna wagusa wengi sana kiroho Mungu azidi kukubariki mtumishi.
Asanten sana Bwana Yesu.Asante Pastor Mbaga na team Yote. Asante Mahubiri TV. Asante kwa kugusa maisha yetu kila wakati. Mbariiwe na Bwana Amen kutoka Morogoro
Asante kwa hubiri pr, Mungu akutie nguvu zaidi. Mtuombee na sisi nimekuja kusoma India baada ya Mungu kujibu maomba yangu kunipa kibari kusoma huku . Changamoto ni kufanya ibada siku ya sabato, hawajatupa ruhusa , maana ktk mwez ni jmosi mbili tu ndio ziko free, zingine mbili ni masomo. Tuko 8, tunaomba mtuombee watupe kibali cha ibada ya sabato
Mahubiri aya, yananifungua akili sana, kila aiku nikikusikuya tu. Na jengwa sana na Mungu za Mungu. Nasikiya furaha sana ndani yangu na nguvu nyingi sana. Nakufwata kutoka sweden. Mungu akuzidishiye nguvu. David MMbaga
Kweli Mungu ni mwema kila wati, nashukuru sana kwa hili somo. Kwangu lina ni leta ku tubu mbele ya Mungu wangu sababu mimi nime jikuta ku sababisha mengi ninayo pitiya. Nakubali ku rudiya Mungu wangu kwa ku mutolea zaka n'a sadaka. Naelewa kwamba bila Mungu mimi si kitu. Barikiwa sana muchungaji
Mchungaji, wewe ni wetu watanganyika wote. Kwanini huu ni mwaka.wangu wa Ishirini na tano Kihonda S.D.A. Church hujafika kutupa hubiri lako. Tumekumis ukweli tunakukaribisha kwa mikono na miguu yoote uje kwetu.
Mimi naitwa Manase Benjamin naishi Uganda ,ilamimi ni mkimbizi kutoka Congo , nahitaji muombee inchi ya Congo. Nilitafuta namna naweza ku wasiliana na mtumishi , haikuwezekana , Ila ntajaribu tena .ningependa nipate number ya mtumishi ya WhatsApp.
Pastor Mmbaga Mimi ni Mhanga wa mahubiri yako. Ila Kauli yako ya kusema ROMAN CATHOLIC NI WARUMI WA DUNIA YOTE. Hiyo umewadanganya wanakilolo. Historia ya ROMAN CATHOLIC na hata SDA inajulikana vizuri kabisa. ROMAN Catholics are Christians. They Christians because they follow Christ in their practice. SDA are followers of Ellen White and Bates. This is the main difference.
Hapana,SDA si wafuasi wa Ellen White Bali ni wafuasi wa Kristo(Imani ya Kristo Yaani isiyoyumbishwa na msingi wake umjengwa katika kumtegemea MUNGU) Mafundisho ya SDA yatokana na maandiko matakatifu(BIBLIA)pamoja na ushuhuda wa Yesu Kristo(ROHO YA UNABII) ambapo katika hiyo roho ya Unabii ndipo tunawakuta manabii wote na vitabu walivyovuviwa kuandika ikiwa ni pamoja na vile vyaEllen White.
@user-to2qo6on7r Go and read the history of SDA and how it came about in . Go and read how they gave a wrong prophetic message of the end of the world. Then, enlighten yourself when the prophetic message did not come to fulfill what did they do. I have learned not to disrespect other religious affiliations. Telling ROMAN CATHOLICS in Kilolo that they follow UNIVERSAL ROMAN CULTURE OR TRADITIONS is misleading and wrong. I hope they will inform themselves what they believe. I hope they have strong faith and have knowledge of what they follow. Misleading about what other denominations do and follow is not something new to SDA. Mostly, they always spread false information about other faith and credited themselves they are the true followers. Of course superficially it might look so, but if you dig down - your history of how this church came about and their fundamental beliefs and their documents they follow, you will realize a lot of flaws. Just like other religious affiliations, SDA has lots of flaws. To me don't spend your time discrediting other religious groups. Preach what is right so that people will turn to SDA because of the true message from God, but not by giving misleading information about other religious affiliations. In 1990s, I was in one of the University in Tz. I was saying with an SDA. The pope John Paul the second, was scheduled to come to TZ. My SDA roommate warned me not to go to Jangwani, Dar es Salam, and that she was going to pray so that when the pope kneel down on arrival, lightning would happen and kill everyone. I went to Jangwani to attend the pope conference, and we all came safe. My call to anybody, preach the world of God, proclaim the truth, but do not confuse people with misleading information and untruthful messages
Sala ya kila mkatoliki ni hii: EE MUNGU MWEMA, UMBARIKI BABA MTAKATIFU, ASKOFU NA MAPADRI, WAKUBWA, WAALIMU NA JAMAA. UWAFADHILI MARAFIKI NA ADUI ZETU, UWAONGOZE WALE WASIOKUJUA BADO AU WASIOITII INJILI. UWARUDISHE WAKOSEFU. UWASAIDIE WAGONJWA NA WANAOZIMIA. UWAHURUMIE WALE WANATESWA TOHORA. UWAPE HERI YA MILELE AMINA
Asante sana mtumish mm nabalikiwa sana na neno yaan kupita siku bila kukusikiliza ww mtumish naona loho yangu bado aijalizika moyo wangu unabalikiwa sana kwako Mungu akutunze mtumishi yaan daa
Asante mutumishi wa Mungu nakufwata kilamara kwa nshi ya Congo nimebarikiwa sana n'a mahubiri Mungu wetu akujaze n'a Roho mtakatifu
Mungu n mwema wakati wote.Pamoja na yote ametufundisha kusema""Nayaweza Mambo yote katika yeye anitiae nguvu"""...Uwepo wako katika kutumika kwa Bwana...,kuna wagusa wengi sana kiroho Mungu azidi kukubariki mtumishi.
Amen
Asanten sana Bwana Yesu.Asante Pastor Mbaga na team Yote. Asante Mahubiri TV. Asante kwa kugusa maisha yetu kila wakati. Mbariiwe na Bwana Amen kutoka Morogoro
Ubarikiwe pastor mbaga. Ww ni combo cha BWANA. Umekuwa m baraka mkubwa sana kwa ajili ya BWANA
Amen! Mungu atukuzwe
Asante sana mtumishi wa mungu mafundisho yko huwa yananipa nguvu sana nayasikiliza kuanzia saa 6mpaka saa 11 huwezi amini nisaidie nimfikie mungu
Mungu akubariki
Asante but ukiandika Mungu andika kwa herufi kubwa, sio m ndogo
Asante kwa hubiri pr, Mungu akutie nguvu zaidi.
Mtuombee na sisi nimekuja kusoma India baada ya Mungu kujibu maomba yangu kunipa kibari kusoma huku .
Changamoto ni kufanya ibada siku ya sabato, hawajatupa ruhusa , maana ktk mwez ni jmosi mbili tu ndio ziko free, zingine mbili ni masomo.
Tuko 8, tunaomba mtuombee watupe kibali cha ibada ya sabato
Nimeinuliwa sana pastor barikiwa zaidi in Jesus Name Amen Amen
Sifa na utukufu Kwa mwenyezi Mungu.. nmebarikiwa sana na hili neno, Pastor barikiwa sana na mungu azidi kukutumia ili tuweze kupata neno lake.
Mungu akubariki mchungaji nimefunguliwa na mafundisho unayotia yehoa mungu wetu apewe sifa
Amina acha tujitie moyo na kubwa na imani ya kupigana na changamoto
Mungu Baba unirehemu nilipoingia mwenyewe kwa taabu naomba Unitoe unitakase nifae kwa utumishi wako katika jina la Yesu Kristo Amina.
Amen
Amen Amen Ubarikiwe sana pastor❤
Amen be blessed more and more Man of God im so blessed with ur powerful word wja roho asiti kukuweka ktk kiwango cha juu
Amen
Amen 🙏🙏🙏 hakika nimebarikiwa asantii
Ubarikiwe sana Pr Mmbaga yaan hili somo utadhani uliandaa kwa ajili yangu nmebarikiwa sana sasa nipo huru ktk Kristo
Thanks!
Yote kwa yote pastor u are good storyteller! Mungu azidi kukutumia
Amina ubalikiwe mtumishi
Ubarikiwe Pastor kwa somo hili
Mahubiri aya, yananifungua akili sana, kila aiku nikikusikuya tu. Na jengwa sana na Mungu za Mungu. Nasikiya furaha sana ndani yangu na nguvu nyingi sana. Nakufwata kutoka sweden. Mungu akuzidishiye nguvu. David MMbaga
Ameen, nabarikiwa na huduma yako ombi langu kwa MUNGU akupe maisha marefu wafaidike wengi
Amen
Asante sana mungu awabariki nyie wote
Asante sana kwaku tuondoa ndani ya shimo.
Amina mubarikiwe Sana ❤❤❤❤❤❤❤
Amen mutumishi umenifuza mengi sana mungu azidi kukutumia huedelee na kutusaidia
Amina sana ubalikiwe sana mchungaji
Amen naamini mungu wangu anipe moyo mwepesi wa utoaji
Asante sana pastor barikiwa. Amen and Amen
Mungu ni mwema siku zote
Nakushukuru sana mchunganji kwa mafundisho mazuri ❤❤
Asante sana, nimebarikiwa sana
Mungu wangu uturehemu bwana bila wewe atuwezi
Mungu akubariki pastor nimepona dam zilikua zinatoka mfululizo ila zimekata, naomba nijibiwe na maombi yangu mengine naamini imekua
Asante kwa NENO LA MUNGU.
Asant yesu maan tunakuelew kuptia mtumish wak
Mungu wetu kweli ni mwenye rehema sana kwetu
Amina baba na mm nimmoja wao ninamsongo mnoo
God bless you pastor am Blessed niombee mungu kwa neema yake anivushe salama
AMEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
Shukurani sans Amina
Nimebarikiwa sana na mafundisho ya neno la MUNGU ubarikiwe
Amen
Kumbe EE BWANA YESU nisaidie
Ameen ameen barikiwa San kw somo zuri
God is good all the time & all the time God is good Ameen 🙏🙏
Mwenyezi mungu awalinde amen
Amin
Amen amen, pastor niambie niweze kurudi kanisani
Aminaa Mungu akubariki sana akupe maisha marefu
Kweli Mungu ni mwema kila wati, nashukuru sana kwa hili somo. Kwangu lina ni leta ku tubu mbele ya Mungu wangu sababu mimi nime jikuta ku sababisha mengi ninayo pitiya. Nakubali ku rudiya Mungu wangu kwa ku mutolea zaka n'a sadaka. Naelewa kwamba bila Mungu mimi si kitu. Barikiwa sana muchungaji
Amen
AMEN, BARIKIWA SANA PR
Amen 🙏
Amina
Nabarikiwa sana najifunza mengi hadi sayansi
barikiwa
Mungu aendelee kukutia nguvu kwa roho mtakatifu ameen
Amen
Ameeen
Amen Amen ubarikiwe sana mchungaji wetu
Amina 🇨🇩
Mahubiri mazuri yanahimiza
Mungu akubariki pastor Mbaga
Mungu ni mwema wakati wote
God bless you
Barikiwa mtumishi
Sifa kwa bwana ❤🙏🙏
Blessed is the servant
Amen
Huwa naomba namba za mchungaji David Mmbaga munaniima
Mgumu sana huu wakati for sure
Nimebarikiwa sana
Mchungaji mungu akubariku sana
AMINA
Amina
Amen
Amen nimejifunza kitu kwenye hili somo la Leo Kuna jambo kumbe nijisabishia mwenyewe bt kwenye hili somo nimejifunza
Mungu akurehem
Amen
@@MahubiriPrMmbaga Amen pastor mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri
Amen 🙏
Niombee na mm Niko taifani sana nitakufatilia sana RUclips
Amina,Amina Amina.
Nabarikiwa sana kupitia wewe mchungaji.
Mchungaji, wewe ni wetu watanganyika wote. Kwanini huu ni mwaka.wangu wa Ishirini na tano Kihonda S.D.A. Church hujafika kutupa hubiri lako. Tumekumis ukweli tunakukaribisha kwa mikono na miguu yoote uje kwetu.
nisaidiye namber ya Mchungaji naomba
Mung ni mwema Kila wakat!
Nimeguswa sana na mafundisho yako , Mungu aendelee kukutumia .😂😂
Asante sana Mtumishi
Nikweli majaribu ni muhimu na lazima kwetu
Mimi naitwa Manase Benjamin naishi Uganda ,ilamimi ni mkimbizi kutoka Congo , nahitaji muombee inchi ya Congo.
Nilitafuta namna naweza ku wasiliana na mtumishi , haikuwezekana ,
Ila ntajaribu tena .ningependa nipate number ya mtumishi ya WhatsApp.
Amen Amen 🙏🙌
Amen 🙏🙏
Nikungojea
Malazi magumu kweli
Eti unatema mate hahaha
😁
Pastor Mmbaga Mimi ni Mhanga wa mahubiri yako. Ila Kauli yako ya kusema ROMAN CATHOLIC NI WARUMI WA DUNIA YOTE. Hiyo umewadanganya wanakilolo. Historia ya ROMAN CATHOLIC na hata SDA inajulikana vizuri kabisa. ROMAN Catholics are Christians. They Christians because they follow Christ in their practice. SDA are followers of Ellen White and Bates. This is the main difference.
Hapana,SDA si wafuasi wa Ellen White Bali ni wafuasi wa Kristo(Imani ya Kristo Yaani isiyoyumbishwa na msingi wake umjengwa katika kumtegemea MUNGU) Mafundisho ya SDA yatokana na maandiko matakatifu(BIBLIA)pamoja na ushuhuda wa Yesu Kristo(ROHO YA UNABII) ambapo katika hiyo roho ya Unabii ndipo tunawakuta manabii wote na vitabu walivyovuviwa kuandika ikiwa ni pamoja na vile vyaEllen White.
@user-to2qo6on7r
Go and read the history of SDA and how it came about in . Go and read how they gave a wrong prophetic message of the end of the world. Then, enlighten yourself when the prophetic message did not come to fulfill what did they do. I have learned not to disrespect other religious affiliations. Telling ROMAN CATHOLICS in Kilolo that they follow UNIVERSAL ROMAN CULTURE OR TRADITIONS is misleading and wrong. I hope they will inform themselves what they believe. I hope they have strong faith and have knowledge of what they follow. Misleading about what other denominations do and follow is not something new to SDA. Mostly, they always spread false information about other faith and credited themselves they are the true followers. Of course superficially it might look so, but if you dig down - your history of how this church came about and their fundamental beliefs and their documents they follow, you will realize a lot of flaws. Just like other religious affiliations, SDA has lots of flaws. To me don't spend your time discrediting other religious groups. Preach what is right so that people will turn to SDA because of the true message from God, but not by giving misleading information about other religious affiliations.
In 1990s, I was in one of the University in Tz. I was saying with an SDA. The pope John Paul the second, was scheduled to come to TZ. My SDA roommate warned me not to go to Jangwani, Dar es Salam, and that she was going to pray so that when the pope kneel down on arrival, lightning would happen and kill everyone. I went to Jangwani to attend the pope conference, and we all came safe. My call to anybody, preach the world of God, proclaim the truth, but do not confuse people with misleading information and untruthful messages
Sala ya kila mkatoliki ni hii:
EE MUNGU MWEMA, UMBARIKI BABA MTAKATIFU, ASKOFU NA MAPADRI, WAKUBWA, WAALIMU NA JAMAA. UWAFADHILI MARAFIKI NA ADUI ZETU, UWAONGOZE WALE WASIOKUJUA BADO AU WASIOITII INJILI. UWARUDISHE WAKOSEFU. UWASAIDIE WAGONJWA NA WANAOZIMIA. UWAHURUMIE WALE WANATESWA TOHORA. UWAPE HERI YA MILELE AMINA
AMINA
amen.
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen