TUNDU LISSU afichua mazito nyumbani kwao SINGIDA, ataka gari lake liwe sehemu ya kufundishia

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 17

  • @OswadSanga-hb2vi
    @OswadSanga-hb2vi 25 дней назад +1

    Hawajakamatwa kweli mmmh hatari sana

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 8 дней назад

    Kifo hutoka kwa Mungu jmn tuamini hili 😢

  • @user-ng1zw7gk5w
    @user-ng1zw7gk5w 25 дней назад

    Mungu akutunze

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 28 дней назад +1

    Unanikumbusha makanisani mchungaji akihitaji mchango anachangisha, lakini muumini akihitaji msaada anaombewa. Vunguo za watu weusi kuendelea wanazo wazungu. Ndo maana kila Rais africa anaahidi na hawezi kutekeleza kwakua mwenye makampuni ya kufanya ni wazungu ambao unatakiwa kwenda kwao kuwaomba waje kuwekeza kwetu. Kwakua sisi tumefundishwa kua wafanyakazi sio wabunifu

  • @davidchege-fx5ho
    @davidchege-fx5ho 22 дня назад +1

    Magufuli despite your good deeds these was wrong

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 25 дней назад

    Mimi naomba polisi wajifikirie bila hivo hawana haki yakuwa jeshi la kulinda wanachi wa Tanzania

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 День назад

    Gar bdo inawaka muda wote ule dah ila hiii n aibu san kwa serikl ya ccm

  • @hamisgagala4891
    @hamisgagala4891 21 день назад

    Very grief.

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 25 дней назад

    Jamni jesji la polisi ni aibu kubwa kuliko kuwahi kutokea Tanzania.
    Hakuna kesi Kwa hali hii this is not fair 😭😭😭😭😭

  • @patrickjackson1857
    @patrickjackson1857 26 дней назад

    Mimi mwenyewe ntakuchangia hata kias mpambanaji ili upate gari lingine

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 25 дней назад

    Lisu fanya upelelezi, usiache lipite hivi

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 27 дней назад

    Shedrack Richard
    Nami naunga mkono hoja tunaposema WaTanganyika kuna Amani tutofautishe Amani na unyama wa kuuana,kupoteza watu na mengine mengi

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 25 дней назад

    Aibu ya taifa hiii

  • @locyekumollel9951
    @locyekumollel9951 23 дня назад

    Swala kuweka gari Hilo kama makumbusho sidhani Kama ni sawa kwa sababu inaweza ikajenga chuki ya kilipa kisasi kwa kizazi kijacho ndani ya vyama vyetu vya siasa,
    Hivyo naomba tusifanye hivyo Kwan itakua ni jambo ambalo sio sahihi

  • @mohamedially5330
    @mohamedially5330 22 дня назад

    POLE sana

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 28 дней назад

    Ubaya wa watu duniani. Unaweza kuta mtu aliempiga risasi yuko hapo hapo. Lakini kupigwa risasi haikufanyi kua Rais bora ukichaguliwa. Kwakua hata wezi wanapigwa risasi.

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 28 дней назад

    Mnafiki unataka tengeneza Tanzania ya wezi.