Duh, qumamamae wabongo muziki mnaujua. Yaani ngoma inavuruga kichwa unaskia kinasisimka. Roma should feature chidibenz in atleast 5 trucks non stop, they are sure to cause a major wave in the east african music industry. One perfect love our swahili neighbors. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Chid anajua sema baadhi ya wasanii wa bongo wanamdharau,,hii ndo support anayotakiwa kupewa na sio kumdharau,kumkejeli kisa changamoto alizopitia Viva Roma big up sana
We need a remix of this ft Darassa, Fid Q & the OG from Kenya... Kudos Roma from being a real genius in bringing back Chid Benz in his original form, sio zawadi ya runinga kwa kipofu, ni macho ndio umemfungua, natumai ataendelea kunawiri zaidi..The Reborn of the HIP HOP CITY
Tunakushukuru Roma kutuletea Chid Benz wa zamani! Bado tunamuhitaji huyu piga nae hits kama tatu mfululizo halafu umsapoti atoe zake kama nne utabarikiwa niga!❤
Chid has never been out of the game bro....He has always been there ni vile wasanii wetu sikuizi wachoyo wanaogopa muingiza chid kwene colabo atawameza...yaani atawafunika...
Mziki mzurii lazimaaa utambeeee hongeraaa Roma mkatoliki kwa kukuonesha umaa Kua child king Kong ni mzimaa Badoo tenaa atariiiii sanaaa ✅✅✅✅✅💯💯💯💯💯 chumaaa ina pepea tutakaa number one trending mwezi na miezi wakikaa vibayaa 🔥🔥🔥🔥 gonga like hapaa tusongee mbelee
Oooy upande iniesta upande XAVI,, na supply bars wananiita afisa UGAVI💥💥💥 Na sinaa kikii siandikii mzikiii naandikaa hit,, beki ya boli paul maldini unapita vipii💥💥💥💥💥💥 Kama unamkubaliii romaaaa dondosha like apooo tuondokeeee🙌☝
Huyu ndiye yule Chid Benz wa Dar es salaam stand up,speed 120 na ile bongo fleva bongo bongo fleva. Napendaga kumuona Chid kwenye sauti hii hapa love so much Chid
Haiishi utamu kusikiliza cuz imechangaka sana iko na vibe sababu maneno yaliyotumika yanaburudisha na mdundo wake unaendana na maneno, ispokuwa unahitaji akili kuelewa maana ya kilichoimbwa.
bora tumepata ngoma ya maana ya kuanzia mwaka mpya 2024....mapini kama haya ndio tunataka kuyaskia kwa hewa...big up sana Roma & Chid...mmetisha sana......
Naamini huu ndio wimbo bora wa mwaka 2024. Tukutane kwenye Tuzo...🏅🥇🏆 Respect Kings Roma & Chid Benzi for the HipHop Banger...👊👊👊👊👊 You deserve the most beautiful flowers...🎉🎉🎉🎉🎉
@@albertkassian1495yaani bado una beef na chid aka rashidi , kweli nimeamini wanga hawatoki mbali, ww ni mchawi kabisa, na wala hutofanikiwa na dawa zako mweusi
@@KarisBaya hii ngoma sija kataa kuwa iko vizuri ila huyo kima anayesema hakuna itakayo fanya vizuri Zaidi ya hii full year's namwambia siyo kweli huwezi ku underestimate wasanii wetu kama hivyo
Thank you Roma for this remix it’s show how humble you’re by doing a remix with our Legend especially what He’s going through big up man am full of tears of joy thank you buddy @Switzerland Og Kenya ❤🎉
Its like listening to the old chid once again. Proof that it just needs the right people to turn people around unleash that inner beast once again. Hang out na hawa jamaa chid benz utafika mbal
speechless..never stop watching this and i like the idea, thanks roma kumpa heshima chid as we know he's legend and talented. come on chid..it's time🙏🏽
Am soo happy to see Chid BENZ to His best levels, God is Good, A collabo btwn Chid Benz and Mr, Blue both doing two different chorus in one song, 1 verse together and each seperately.
Nakubali sana kazi zako kaka Roma,nategea nikiwa inchini 🇰🇪 naomba pia kama inawezekana ufatilie kazi zangu.niko kwa hii industri ya hipop baada ya kuwa inspired na wewe kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameomba sapoti tumpe sapoti huwezi kujua wewe kesho yako itakuaje kama mtu mmoja akidharau usiwachanganye na wengine na sio wakenye wote futa hiyo kauli
@@RafaelsII-x1jnakusihi ndugu usichukulie poa usemi wa waswahili kuwa samaki mmoja aweza kuozesha bahari nzima,tupendane tukijua sote ni waafrika sawa na kuwa pembe moja ya mashariki ❤❤❤❤❤
Ukiiskiliza hii ngoma bila kutizama mwenye nayo ninani, unaweza kusema ningoma ya Chidy Benz kumbe sio yake ila tu kaamua kufanya unyama. Aisee huyu mwamba apewe mauwa yake tena hapo yupo bize na DIEGO je angekuwa kichwa yake haina DIEGO sijuwi ingekuwaje tu🙌🙌
Chidi Benz is a living legend, hope life is kind to him, it's not fair what's been happening to him and also hope he's back and that he can kick on now
Sounds like a "PRIME CHIDI" jamaa ako na talent very natural ,am proud of him ❤king 👑 Kong mob love from Nairobi Kenya 🇰🇪.
Beat ka hizi, ukipiga collabo na Chid lazima akufunike
Chidi ameupiga mwingi sana
Kama umekubal alicho fanya chid benz gonga like haapa kwa legend
Kauwaa mbaya
Nomaa sana aaisee
Kajazia nyama ila Mashine haikuwi
Wakikwambia Ndevu bila Hela ni Uvimbe Wambie Tako bira Sula ni Uvimbe😅😅😅😅😅😅😅😅
Mapicha yamazombi
Huu ndio msaada alikua anahitaji CHID BENZ big up brother's
Zamn
Huu sasa kasaidiwa sio maneno kama yale ya wakina manara
Jamani mbona chidi kaimba na watu kibao tu lakini ye mwenyewe magumashi
@@YonaSimon-um9cjakilipwa pesa akapulize mpaka atembee uchi
yupo street hapa hizi vtu km unajua njoo uone
@@sarahmuhammed6872
Wale mnaorudisha verse ya chid kama mara 10, like 👍🏾 hapa😅😅😅
😃😃😃liver chief Benz Kaua😂😂
Watu wa chidi likes hapa. Dmx wa East Africa. Show some love to chidi sisi wakenya tumekubali. Big fan of Roma as well very creative 👏 👌 👍
Huyu director ni next level... km na ww umemkubali kama mimi gonga like tuondoke...
Hatar huyu kabla sijaplay hii ngoma niliangalia jina la director
Katisha sana kwenye kioo jombii
Picha lnaanza roma hajaja bongo na chidi ajaenda USA ila wapo wote😅😅😅
hahahaha jamaa kaunga utamu sana @@prosperjacob4357
Oyaaa wee anaemkubali chid benz andondoshe like jamaa kauwa walah chid his back🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Katisha saaana aseee
Child Benz ni kitu ingine asee.mpeni like zake hapa chini
Naskia harufu. Wale tulio rudia zaidi ya mara mbili tukutane hapa kwa like. VIVA Roma fan from Zurich Switzerland 🇨🇭🇹🇿👍
Chid benz kauwa , huyu chid ndy tunaomjua sisi
Oya chidi kaja kibabe zaidi
Chidiiiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiii
@@mdedsm5522 ninomaaaaa🔥🔥🔥
Hippop to the world
Duh, qumamamae wabongo muziki mnaujua. Yaani ngoma inavuruga kichwa unaskia kinasisimka. Roma should feature chidibenz in atleast 5 trucks non stop, they are sure to cause a major wave in the east african music industry. One perfect love our swahili neighbors. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂😂sema siku ingine usitukane sasa
@@yusuphpilion2465 🤣
I dont know why most kenyans dont know Roma. He is a beast from day one. Alot of support from the 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
75% of Kenyans know ROMA
Kenya gani hio kwa maana ukiongelea hip hop east Africa Roma apo
@@hamingtonkiti1357 tusingize siasa tusikilize goma
We do. He even nyoroshad in their collab. He is a beast in his own right. 🇰🇪
Kuna Disasta vina pia bro....kijana hatari
Huyu chidy huyu duu mungu amsaidie yan kaitawala nyimb o❤❤❤
Roma na Chidi to the world. Nawakilisha Nairobi, Kenya. Cheers my brothers 🎉🎉
Ngoma Kali sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Magical
ruclips.net/video/hoVQmrNqGfU/видео.html uga remix song
Chid anajua sema baadhi ya wasanii wa bongo wanamdharau,,hii ndo support anayotakiwa kupewa na sio kumdharau,kumkejeli kisa changamoto alizopitia Viva Roma big up sana
sauti ya chid benz sijawahi kuizoea kila nikiiskia hua na enjoy ina vibe lisilo la kawaida🔥🔥
Nilivyoona chid yupo nimeangalia ndiyo msanii pekee ananifurahisha❤❤
Chid Benz jaman anakipaji kama unawakubali hawa jamaaa likes hapa🎉🎉🎉
"Wakikwambia ndev bila hela ni nyasi waambie tak* bila sura ni uvimbe" hits alot # Nasikia harufu 🔥
noma sana
🤣🤣🤣🤣
wenye ndevu tumepata wakutusemea
ruclips.net/video/hoVQmrNqGfU/видео.html uga remix song
😂😂😂 kaka umetisha
Chid proves himself to be a long time legend, naskia harufu ya umaarufu wake.
We need a remix of this ft Darassa, Fid Q & the OG from Kenya... Kudos Roma from being a real genius in bringing back Chid Benz in his original form, sio zawadi ya runinga kwa kipofu, ni macho ndio umemfungua, natumai ataendelea kunawiri zaidi..The Reborn of the HIP HOP CITY
Matusi yananoga mpaka usiku...gong alike kama umemuelewa Chidibenzino...nakwambia Tanzania mzima hakuna kama Chidi..respect Roma
Tunakushukuru Roma kutuletea Chid Benz wa zamani! Bado tunamuhitaji huyu piga nae hits kama tatu mfululizo halafu umsapoti atoe zake kama nne utabarikiwa niga!❤
Kweli kabisa
Kabisa ,do that broo
❤❤❤
Hadi raha jamani
Ogopa ni atari
2024 starts with a banger 🔥🔥FINALLY CHID KARUDI KWENYE GAME🔥🔥🔥
Chid has never been out of the game bro....He has always been there ni vile wasanii wetu sikuizi wachoyo wanaogopa muingiza chid kwene colabo atawameza...yaani atawafunika...
Chidi afanye kazi tuu.
Chidi is the master of the game
@@justinderosa2469ni vile TU masters hawapiganagi mara kwa mara
ruclips.net/video/hoVQmrNqGfU/видео.html uga remix song
Now this is real hip hop,beat, lyrics zote safiii....hapa Kenya nimeiweka tiki❤
Chidi Benz is really a genius as far as hip hop is concern , he never fades away. congratulations man ! much respect.
Chid benz..amefunika sana kwa floor...kazi nzuri sana..big up guys Good job..Roma umepotezwa humu na chid
😂😂😂😂yani roma kajichahanya kwa chid unadhani roma ndio mgeni😂😂😂😂
I'am from Kenya but hats off for Roma & Chid..this is lit
Naisubr Kwa ham nijue nan ni nan🎉🎉🎉
Chidi benzi kaifunika mpaka biti,
From Brasil são Paulo
Mziki mzurii lazimaaa utambeeee hongeraaa Roma mkatoliki kwa kukuonesha umaa Kua child king Kong ni mzimaa Badoo tenaa atariiiii sanaaa ✅✅✅✅✅💯💯💯💯💯 chumaaa ina pepea tutakaa number one trending mwezi na miezi wakikaa vibayaa 🔥🔥🔥🔥 gonga like hapaa tusongee mbelee
Chid ainda está melhor no game. Much love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇹🇿
P1
Na shukuru
ruclips.net/video/hoVQmrNqGfU/видео.html uga remix song
Likes Kwa chid
👏👏👏👏
Asante sana ROMA binafsi umenipa zawadi kubwa sana kumrudisha CHID BENZ kwenye game ! Much respect brothers !
❤sana kaka hata 20,afanyiwe msaada kama huo uzalendo kwanza 🇹🇿
Kabisa siyo hawa kila cku kumzungimzia tu without nothing
The World is happy,Chidi karibu tena. Love n Respect from Kenya.
no one is speaking about the video editing here. pure class... made it look like roma was with chid.
Yeah he killed this song
Mpka sasa sijaelewa wamefanya I like that
ndo maan ya kumshirikisha msanii mwenzake
Oi 🔥🔥🔥🔥🔥 najkuta nadondosha koment kah mvua🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Nrskia kua CHID kamfunka ROMA ckuamn had nripo skia audio 👏👏👏👏
Swahili hip hop legends in one track 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umesikiliza zaidi ya mara mbili hii Ngoma gonga like apa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Roma Asante Kwa kumkumbuka mwamba chidi Benz ❤❤❤❤❤
Asante sana Roma kumkumba chid kipaj angekuw anajitumbua Jinsi alivyo Leo hii tungekuw burna boy WA east Africa
Wakikwambia ndevu bila hela ni nyasi wambie tako bila sura ni uvimbe au basi....wangapi tumependa hii verse 😂😂😂
Hiiiiii kalii mkali
😂😂😂😂
😂😂😂
Hii ndio hit ya mwaka na imetoka mwanzo wa mwaka na itafunga mwaka
Maua yako bro🌷🌷🌷🌹
Chid Benz kingkong🎉🎉🎉
Roma hujawah kosea kabisa ngoma Kali video Kali yaaan ni unyama mtup
Chid Benz wewe ni bora na utazidi kuwa bora sana, thanks Roma, umefanya
Team chuma King Kong x viva Roma nasemaje nasemaje tujuane tuh kwa like maneno kidogo vitendo kwawingi❤❤
WAKIKWAMBIA NDEVU BILA HELA NI NYASI,
WAAMBIE TAKO BILA SURA NI UVIMBE AU BASII...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥This track
Nakubaliiiiii😅
Oooy upande iniesta upande XAVI,, na supply bars wananiita afisa UGAVI💥💥💥
Na sinaa kikii siandikii mzikiii naandikaa hit,, beki ya boli paul maldini unapita vipii💥💥💥💥💥💥
Kama unamkubaliii romaaaa dondosha like apooo tuondokeeee🙌☝
Huyu ndiye yule Chid Benz wa Dar es salaam stand up,speed 120 na ile bongo fleva bongo bongo fleva.
Napendaga kumuona Chid kwenye sauti hii hapa love so much Chid
❤uuuuuh nasikia harufu 🇰🇪 watanzania nipeni like
The Chidi we ALL missed!!
hii ngoma KALI from Beat, Flow, Lyrics, Kichupa 🔥🙌🏼
Haiishi utamu kusikiliza cuz imechangaka sana iko na vibe sababu maneno yaliyotumika yanaburudisha na mdundo wake unaendana na maneno, ispokuwa unahitaji akili kuelewa maana ya kilichoimbwa.
nikisikia ngoma yeyote iko sauti ya chid najua nibonge la ngoma jamaa hajawai kukosea
Best new year gift so far. Welcome back Chid Benz. Mob love from Kenya 🇰🇪. ❤. Naskia harufu 💪
nasikia harufu bonge la hit...........roma na chidy mtoto wa ilala .........waanbie tako bila sura ni uvimbe
The return of Legend chid benz welcome to the game again king of rap hili Goma kali sana ,more respect from India
bora tumepata ngoma ya maana ya kuanzia mwaka mpya 2024....mapini kama haya ndio tunataka kuyaskia kwa hewa...big up sana Roma & Chid...mmetisha sana......
Director
..much respect...gonga like kama tupo pamoja
I had to watch over 20 times to comeback here and comment, the song, the video Chid benz comeback what can I say I'm speechless.
Nimebahatika Leo kukuwa mkenya wa Kwanza nawaombeni watanzania mnipee like tafadhali
Msisahau Chidi benzi na Roma ni motoo kali🎉🎉🎉💯
Wewe so mkenya,wakenya apana omba tunaoda
@@favourspapatv hahaa👍
Naamini huu ndio wimbo bora wa mwaka 2024.
Tukutane kwenye Tuzo...🏅🥇🏆
Respect Kings Roma & Chid Benzi for the HipHop Banger...👊👊👊👊👊
You deserve the most beautiful flowers...🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥✍️👌🔥
Sasa muje na sanda na mufti ona nawaua kizembe niliwaambia VITA BUNDUKI NYIE MMEKUJA NA VIWEMBE😂🔥🔥 VIVA ROMA TO THE WORLD ONCE AGAIN📌🔞
Chidi Benz KILLED IT 🔥. Then the director is simply on fire 🔥. Welcome back Chidi Benz. I'm happy 😊
i agrer with that
Braza chidi moto😮😮🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Hichi ndoo kitu tulikuwa tunataka Roma ft Chidbenz big up my brothers 🚀🚀🚀 Mwaka wenu hiii ngoma namini december inatoboa hakuna ngoma itakayo kamata
Acha ku underestimate wasanii ww
@@albertkassian1495yaani bado una beef na chid aka rashidi , kweli nimeamini wanga hawatoki mbali, ww ni mchawi kabisa, na wala hutofanikiwa na dawa zako mweusi
December ya lini kwanza??
@@KarisBaya soma vizuri comment kabula huja reply kima wee
@@KarisBaya hii ngoma sija kataa kuwa iko vizuri ila huyo kima anayesema hakuna itakayo fanya vizuri Zaidi ya hii full year's namwambia siyo kweli huwezi ku underestimate wasanii wetu kama hivyo
Thank you Roma for this remix it’s show how humble you’re by doing a remix with our Legend especially what He’s going through big up man am full of tears of joy thank you buddy @Switzerland Og Kenya ❤🎉
Legend + Genius =GOATS💯
Nimelata majani kwa meee
From Kenya 🇰🇪. Chidi benz all day everyday
Directors wote mmefanya kazi kubwa big up sanaa kwa kaka yangu @chidibenz na @vivaroma salute sanaa kazi kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Its like listening to the old chid once again. Proof that it just needs the right people to turn people around unleash that inner beast once again. Hang out na hawa jamaa chid benz utafika mbal
He is the best amini mimi
ruclips.net/video/hoVQmrNqGfU/видео.html uga remix song
Kitambo sana bro turikuwa tunasubiri kazi yako ❤❤❤❤❤❤❤ haswa video ngoma kari sana harufu roma viva ft chid benzi🎉😂❤❤
Chidi chidi chidi Benz 🔥💯 if you from🇰🇪 and you like the song tap in 💯💯💯”Hujasea na unaomba msamaha”😂😂Chidi can never disappoint 🔥💯💯💯
Mungu msaidie Chidi awe yule wazamani nampenda mpaka nampenda tena
Chid Benz is a living legend. Keep it up Chid welcome back to the game. Your always the best
Chidi is indeed undisputed. He's on another level..viva roma...its been a minute but you killed this beat like u never left. ..bravo👏
Chid Benz est une étoile filante jamais ne s'éteint pas. Depuis notre enfance on aimait son style et Roma c'est du feu 🔥🇨🇩
Much respect homie n*** from South Africa.
Hii ngoma kama ingekua ya chidi bongo wange koma ingepigwa redio zote na TV zote zingeonyesha ila tu kwa sababu ya roma
Its roma again all the way from London 🎉🎉🇬🇧🇬🇧
Chid Benz being the Monster we all know👊🏼👊🏼You all bless ²⁰²⁴ 🇹🇿
Unakuza Nyama Ila Mashine Haikui 💥. Ndevu bila Hela ni Nyasi , Tako.... Ni UVIMBE 😂😂😂 ✍️🔥🔥🔥🔥
Demu wako viatu mkononi asubuhi, katoka geto kupgwa beto, wahun wanachabo huku wanapga nyet... Oya weeeee uko mbele hakuandkiki mnisaidie wakuuu...💥💥💥💥💥
speechless..never stop watching this and i like the idea, thanks roma kumpa heshima chid as we know he's legend and talented. come on chid..it's time🙏🏽
Am soo happy to see Chid BENZ to His best levels, God is Good, A collabo btwn Chid Benz and Mr, Blue both doing two different chorus in one song, 1 verse together and each seperately.
That would be a criminal offense🙌🏽🔥
I wish they could give us this. Is a legal offence any way
Nakubali sana kazi zako kaka Roma,nategea nikiwa inchini 🇰🇪 naomba pia kama inawezekana ufatilie kazi zangu.niko kwa hii industri ya hipop baada ya kuwa inspired na wewe kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaombe Papa Jones
TZ tumewacancel na industry zenu komaeni si mnaleta dharau
Ameomba sapoti tumpe sapoti huwezi kujua wewe kesho yako itakuaje kama mtu mmoja akidharau usiwachanganye na wengine na sio wakenye wote futa hiyo kauli
@@SimoniShirima-b2c nakubali sana usemi wako kaka,nawapenda sana ndugu zanguni
@@RafaelsII-x1jnakusihi ndugu usichukulie poa usemi wa waswahili kuwa samaki mmoja aweza kuozesha bahari nzima,tupendane tukijua sote ni waafrika sawa na kuwa pembe moja ya mashariki ❤❤❤❤❤
Ukiiskiliza hii ngoma bila kutizama mwenye nayo ninani, unaweza kusema ningoma ya Chidy Benz kumbe sio yake ila tu kaamua kufanya unyama.
Aisee huyu mwamba apewe mauwa yake tena hapo yupo bize na DIEGO je angekuwa kichwa yake haina DIEGO sijuwi ingekuwaje tu🙌🙌
Kama unasubir hii ngoma kama mimi gonga like hapa🎉
Hili ni JIWE BABA🎉
Ngoma ilishatoka kipya hapa ni video
Msumari huu
Bonge la chemist
Uko speed kama miale ya mwanga, una speed mbaka umeupita muda na kwa sasa unajiona wakati unakuka
This is massive project both rappers shown their potentials
Came here for Chidi Benz and I wasn't disappointed #bigtune #naskiaharufu 👍🏿👌🏿❤️🔥💯👊🏿💪🏿
Mala ya kwanza nasikia ili goma nikasema yesss
Wow! Great! Sasa Watanzania wamekuja. Loving this from Kenya🇰🇪
Wwe wa tanzania ndiyo mafundi wa hip hop mzeee nyie wa kenya machawa wa hip hop tuu 😂😂
@@MocraLaghano😂😂😂😂😂 jiangalie ndg utapigwa mawe
@@MocraLaghano una miaka mingapi, boss?
Nimefurahi kuona Chid kwenye ubora wakee!!!! Mmetisha saana Roma na Benzinoooo
Hats off to the hip hop duo. Impeccable video. Chidi King Kong to the world... Alhamdulillah🙏🏿
"Wakikuambia ndevu bila hela ni nyasi waambie tako bila sura ni uvimbe." - Roma🔥🔥
Huyu ndie chid wa kitambo tunayemtaka🔥🤝🔥hits like zenu
Chidi Benz is a living legend, hope life is kind to him, it's not fair what's been happening to him and also hope he's back and that he can kick on now
The video, lyrics, and the whole vibe feels like EAST COAST 🇺🇸vibe
Back again in 2024 ain't a jokeee chichi chichichi chichichichi benzoooooooooooo from kenyaaaaaa we love you Mr snoopy doggy doooh
Wana HIP POP unganeni ku push hii ngoma Kali sana au nyie HAMSIKII HARUFU🎉🎉🎉
Chid blaster so high with different styles..Good floors bro..i salute both of you my people..classic music 4really
Naisubiri hii ngoma Kwa amu zote jmni nipeni like zangu tafadhali 😊😊😊
Nzuri sana...
Kuna fumbo hapa...Nanusa Sauti na Kusikia Harufu...Harufu sio Harufu, Harufu ni nini?
Chid Benz has killed he's really soldier let us all proud of our artists 🎉🎉🎉
2024 imeanza na 🔥🔥 chidy umetisha big up roma
This is now we call hip-hop mmmmmmh naskia harufu🔥🔥🔥🙌🏽
Salute kwa Roma respect for chid B machine 🎯🎯🎯🎯🎯