Kisima cha Milioni 600 na hakitoi maji, MAKONDA ambananisha mtumishi idara ya maji ARUSHA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 78

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 22 дня назад +4

    Funga wote hao wala rushwa ndio wanaharibu nchi ....Makonda Upo vzr kiongozi tukipata watu kama ww nchi itakuwa nzuri na salama na watu itafika mbali..

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 23 дня назад +2

    Mwanangu hapo fedha m.l 600 hizo wamekula halafu kisima wamekitelekeza bila maji. Kuna maana gani hapo kuwepo hicho kisima. Hao Mwanangu:Mtan wangu hao kula nao sahan moja:wezi tu.❤❤❤❤❤👍👍

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 24 дня назад +7

    Inchi ipo sawa tukiwa na Mkuu wa mikoa yote Makonda 🎉

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 24 дня назад +20

    Nyie watumishi muwe na huruma na binaadam wenzenu mpo kwenye wizi utazani hamfi ukifa kila kitu utaacha makaazi yako chini ya ardhi na unawekwa porini mjitasmini watumishi wa uma dunia mapito tu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 23 дня назад +2

      umemaliza kbs I like your comment!

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 23 дня назад +1

      Huzikwi na kitu lakin sielewei biandam tutalidhika na lipi watu wanaishi vizuri lakin hata kidogo cha jamii wanakilamba chote mwisho ukifa wanaobaki ni migogoro na hakuna faida yoyote

  • @stephanSandika
    @stephanSandika 23 дня назад +4

    Anko alikuwa akifukuza watu mnasema dicteta Kwa hari hiii Anko alikuwa sahii

  • @user-xe5kr2yk5d
    @user-xe5kr2yk5d 24 дня назад +9

    Mh.Makonda Mungu akuweke mzee unaijua kazi sana...taratibu mpaka kieleweke

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 24 дня назад +5

    Makonda....maswali Yako ni ya msingi Hadi panapovuja panaonekana hata kwa kipofu....ofsini kalamu inaiba sana

  • @user-xd9kw6nt8w
    @user-xd9kw6nt8w 24 дня назад +7

    Bora tu mtumbuliwe kwa sababu mnafaidika na pesa ya wananchi bado hamuwathamini

  • @breksalim6349
    @breksalim6349 21 день назад +3

    Njia ni moja tu MH Makonda.Tuweke sheria kali kwa ubadilfu wa fedha za wananchi.sheria itakapokuwa ni kunyongwa,wataishimu hizo fedha

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 24 дня назад +7

    Viongozi wengi wa hii nchi ni wezi

  • @mabulamanonga8722
    @mabulamanonga8722 24 дня назад +2

    Hongera makonda.kwautumishi wako mugu yupo pamojanaww amee

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 24 дня назад +3

    Huu mwaka mtasema,na mtasema sana....MAKONDA VIVAAAA

  • @user-ju5ee1gx2w
    @user-ju5ee1gx2w 23 дня назад +2

    Dkt Samia woyeeee makonda woyeeee kzi iyenderee na c morogoro tunatamin mkuu wetu wa mkoa awe kma makonda, akika morogoro uwozo mwingi na upgaji mwingi,

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 24 дня назад +16

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣milioni miasita jamani mtuurumie jamani hizo nikodi zetu daah😭😭😭

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 24 дня назад

      😂😂😂

    • @kunsah2
      @kunsah2 23 дня назад +1

      Ni kweli kabisa.

    • @kunsah2
      @kunsah2 23 дня назад

      It's very, very sad.

    • @edisonemmanuel-
      @edisonemmanuel- 22 дня назад

      Wanajisahau tu wakishapewa ofici ndo wanakuwa wao sasa

    • @edisonemmanuel-
      @edisonemmanuel- 22 дня назад

      Wanajisahau tu wakishapewa ofici ndo wanakuwa wao sasa

  • @user-ju5ee1gx2w
    @user-ju5ee1gx2w 23 дня назад +2

    Kwa kweli Mimi nafikilia tungemuomba mhe rais wetu dkt Samia kma ingempendeza angependekeza makonda hawe mkuu wa mikoa wote ya Tanzania azunguke Ili kutatua changamoto mbali mbali za wananch Hawa wanyonge na masikin akika wanamengi ya kesema ila akuna pakusemea mi Namin Ili linawezekana mama akiamua kma alivyo Fanya kw nafasi ya mhe naibu waziri mkuu Veo viwili na tunaona kazi nzuri ya mhe naibu waziri mkuu umeme sa unaptkana dkt Samia dkt biteko woyeeee kzi iyenderee?

  • @user-lx6ep1dn5k
    @user-lx6ep1dn5k 24 дня назад +3

    Arusha hatimaye tumefikiwa 🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @mangakwigema
    @mangakwigema 22 дня назад +2

    Maswali ya msingi sana asiyeona panapovuja ana lake jambo😊

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 22 дня назад +2

    Tunataka viongozi wa Tanzania waige mfano wa makonda,na si kulinda ufisadi, RIP JPM

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 24 дня назад +3

    Nauliza Rais wetu Dr Samia,hayayanayo fanywa nawatumishi wake kwenye miradi wanavyo watesa watanza nia kunywa maji ya hovyo je anaona, pesa zinavyo liwa anaona, napatapicha ndio maana makonda alipokuwa katibu mwenezi kunawatu wameona wata haibika ,wakaamua kumpa ushauri Rais amtoe kumpeleka makonda kuwa rc arusha, kumbewanao fanya wizi sio hawa watumishi wadogo hawa kuna wajuu yao wanaiba pamoja nao, angekuwa naile nafasi tanzania nzima ingenyooka, okay sio mbaya tulikuwa tunamfutilia kila anapokuwepo makonda, lakini sasa tumeamia Arusha ndio kwenye habari, Mungu aitetee Tanzania

    • @user-ne5cg4vv1h
      @user-ne5cg4vv1h 22 дня назад

      Ndio utawala walio wanautaka Sana watumishi usio fatilia hayo JPM alichukiwa kwa ufutiliaji wake acha wajipigie Sasa makonda pekeake ana pambana wengine wanetulia tu mikoa mingine Sana wanamjadili kwa ubaya tu kuwa anajipendekeza .makonda chapa kazi mungu atakulinda

    • @aliabdallah8456
      @aliabdallah8456 21 день назад

      Kwa kweli mama yetu anatakiwa awe mkali hii ichi bila kuwa mkali uiwezi majizi ni mengi sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 24 дня назад

    Aweso aweso

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 24 дня назад +3

    The next president

  • @daudiathanasio1872
    @daudiathanasio1872 24 дня назад

    Kazi iendeleee

  • @romwaldoamsi2783
    @romwaldoamsi2783 24 дня назад +3

    Hii nchi ngm

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 10 дней назад

    Am from kenya lakini nauliza 600 million ya tanzania inachimba kisima moja

  • @GovenronMichael
    @GovenronMichael 24 дня назад

    Mungu yupo pamoja nasi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 23 дня назад +1

    M.l.600 mhmhmhmh Mwanangu hapo si kweli

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 21 день назад +1

    Kweli jamani kima cha milioni mia sita hata maji wanaichi hawapati hii ni shida ya watumishi wengi wanapenda wizi kuliko kuwajibika kwa wanaichi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 22 дня назад +2

    Hii inaitwa jino kwa jino makonda lala nao sambamba hao watumishi wa hovyo

  • @sistajeremiakalinga5436
    @sistajeremiakalinga5436 24 дня назад +4

    HeLa xinachexewa wanafungwa wexi wa kuku jela. Duu eeemwenyexi mungu

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 22 дня назад +1

    Mpambanaji Makonda Hapa Ndipo Nchi Yetu Ya Tanganyika Imefikishwa Na Hao Viongozi Wa Juu Wa Taifa Letu.Kumbuka Huu Usemi:Kila Mtu Ale Kulingana Na Urefu Wa Kamba Yake.Je Unaukumbuka Huu Msemo????

  • @user-kr2qr8vx1x
    @user-kr2qr8vx1x 24 дня назад +1

    Pole makonda baba...mungu akulinde ktk yote.

  • @musaamos2431
    @musaamos2431 3 дня назад

    Nchi ya wapigaji

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 19 дней назад

    Kwa Tanzania niifahamuyo hiyo siyo news, ni kitu Cha kawaida kabisa!!
    Kwani Mkaguzi mkuu wa hesabu za umma C.A.G na kazi gani?

  • @user-od5si7ld6b
    @user-od5si7ld6b 14 дней назад

    Kaz indelea

  • @kinotasontravel2093
    @kinotasontravel2093 21 день назад

    Ni Shida madudu ya mafinyofinyo watu wanaramba asali

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 24 дня назад +1

    Mwiziiiiiiiiihuyoooooooo

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 24 дня назад

    😢wakaguliwe mali zao hao

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 24 дня назад

    Yani mheshimiwa huo ni wizi mkubwa sana milioni mia sita zimeisha na maji hayatoki daa kweli hii nchi imekuwa shamba la bibi kwanza waulize kina urefu gani😭😭😭😭

  • @user-oq5oy8cl6u
    @user-oq5oy8cl6u 23 дня назад

    Ivi mama kwann ulimtoa makonda kwenye uenezi ungemwacha aendelee kuzunguka nchi nzima

  • @user-gp2ue2ny6n
    @user-gp2ue2ny6n 23 дня назад +2

    Makonda kiukweli upo vizuri 🎉

  • @masatumtani1588
    @masatumtani1588 23 дня назад

    Dada anajua km 900 hiyo Dar to Songea

  • @medylui5492
    @medylui5492 23 дня назад

    Duh 🙄 mbona huku mitaani kuchimba kisima kuweka pampu na tank mbona ht haifiki milioni 6 watumish wa serekali mnatuumiza sisi wananchi walipa kodi na ndyo maana kla siku kodi zinazidi tu tuhurumieni na sisi

  • @EmilyMsacky-hq9qy
    @EmilyMsacky-hq9qy 24 дня назад +2

    Hivi hichi kisima ni Mt ngapi zinachimbwa kwa mil 600?wakati wachimbaji kawaida wanachimba Mt kw sh 100000,150000,na Kuna magari ya kuchimba maji ya serikali ,tufafanulieni vizuri mil 600 kwa kisima kimoja inakuwaje?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 24 дня назад

      Hatari!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 24 дня назад

      Hii, hivi km 900 ndio kupeleka Maji. Hii ni zaidi ya kisima kipo Mtende Kusini Unguja Zanzibar upeleke maji Makuwe Kaskazini Pemba bado ni karibu. Nani aliyesema tuungane.

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 24 дня назад

    Baadae wanataka Kodi

  • @neemalaizer2541
    @neemalaizer2541 21 день назад

    600 Ml?? 😳😳😳😳

  • @SelijusiMalambo-ur6cr
    @SelijusiMalambo-ur6cr 24 дня назад

    Wizi mkubwa huyo nomwizi kwakawaida tunachimbiwa visima milioni kumi ishilini hicho kinaulefu gani kinafika kenya ulefu

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 23 дня назад

    Makonda hadanganyiki hanajuwa maswali kweli

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 24 дня назад

    Wamezoea kupiga funga tu miaka 40.mje na morogoro

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 24 дня назад

    hivi wakuu wa wilaya wako wapi na wanafanya nini mpaka mkuu wa mkoa tena mgeni aje aulizie hayo.

  • @user-tz8yn9uf2k
    @user-tz8yn9uf2k 23 дня назад

    Nchi inaliwa

  • @Donrugi
    @Donrugi 23 дня назад

    Makonda anafaa kuwa Rais kabisa

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 23 дня назад

    Wameshatajirika hao sisi ni mateso tu

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 24 дня назад +1

    Watu wanapiga mno awana huruma na wanawatumikia

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 24 дня назад +1

      Waliruhusiwa kula urefu wa kamba zao 😢😢😢😢😢😢

  • @AstonMayengo
    @AstonMayengo 24 дня назад

    Duuh kisima kikitumia garama sana ni milion 30 tu duuh milion 600😂😂😂😂

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 24 дня назад

    Nchi yetu upigaji tu vijana wetu wakionyesha uaminifu tu ni maadui wa hata viongozi

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 18 дней назад

    Funga hao wezi

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 23 дня назад

    Milioni 600? 😮

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 24 дня назад

    Sasa ukimsikia Aweso anavyojielezea kumbe utapeli mtupu jamani kazi kumdanganyaa tu nakumsifia eti anaupigawingi kumbe wanamuibia ma wa watudah nimekata tamaa labisa na nchi hii kabisa sina hamau na chamachangu cha ccm kazi kupambana tu kupata vyeo lln lazi zerp ulaji tu

  • @YoakimMsuha
    @YoakimMsuha 24 дня назад

    JAMAN KWELI HIKI KISIMA TSH MILION 600??????? AU NMESKIA VBAYA

  • @respiciuskabigumila5246
    @respiciuskabigumila5246 23 дня назад

    Wewe uliona wapi kisima kuchimbwa kwa milioni 600? He he he!!

    • @geofreykayombo401
      @geofreykayombo401 22 дня назад

      Kisima kina Bluetooth!ukikaa home una share tu maji yanatoka kwa kazi sanaaa.😂😂😂😂

  • @user-fu3hn1ms2j
    @user-fu3hn1ms2j 24 дня назад

    Wezi tu nyie

  • @eliaMatola-vy7xv
    @eliaMatola-vy7xv 24 дня назад

    MAKONDA TATUA NA MATATIZO YA MIKOA MINGINE

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 24 дня назад +1

    Jamani hawa WaTZ ni majizi sanq hakuna wakumuamini hata huyo awesu ni shida tu

  • @SaidHassen-gf5tx
    @SaidHassen-gf5tx 24 дня назад

    Million mia sita jamani mwee cyo kwa kuzitafuna hukofwezwa dah nyny NY nyiny .million mia sita kwa kakisima hicho ?