MAKONDA "Eleza izo Bilioni 3 Mmezipeleka Wapi,.? WALIMU WAMKIMBIA MAKONDA MMOJA ABANANISHWA,.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024

Комментарии • 30

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 24 дня назад +7

    Huu mwaka kazi mnayo Arusha....Makonda Oyeeeeee VIVA MAKONDA VIVAAAA

  • @georgeomondi4567
    @georgeomondi4567 24 дня назад +5

    Makonda mwenyezi mungu akuongoze pamoja na familia Yako yote 🙏🕊️🤲🙌🇹🇿❤️🇰🇪👏🇹🇿❤️🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪kuja tusaidie hapa Kenya 🇰🇪 yetu 🙏

  • @joycemwango943
    @joycemwango943 24 дня назад +3

    Mh,, MAKONDA ubarikiwe 🙏🙏

  • @joycemwango943
    @joycemwango943 24 дня назад +3

    MH,, MAKONDA tubarikiwe,,njoo Kenya utusaidie,,

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 24 дня назад +6

    Makonda my next president, Jerry Slaa prime minister

    • @erneokisinda7179
      @erneokisinda7179 22 дня назад

      Hapo prime minister awe hamfrey pole pole alafu uone huo moto

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 22 дня назад

      ​@@erneokisinda7179katbu mkuu awe mpina

  • @Mateen7912
    @Mateen7912 24 дня назад +5

    Uwaminifu na uzalendo hapa kwetu Tanzania ni shida

  • @francisbajungu746
    @francisbajungu746 24 дня назад +2

    Daah, Hawa watu sijui huwa wanaajiliwa kwa vigezo gani😅

  • @gabybulba9574
    @gabybulba9574 21 день назад

    Makonda our next president

  • @salviusmkulu7490
    @salviusmkulu7490 24 дня назад +3

    Walimu nanyi mmesomea ujenzi?? Fanyen majukumu yaliyowapeleka huko mashulen ujenzi waachien maengener wakisimamiwa na madiwan wa kata husika ambako shule inajegwa. Mtakuja mfwee kwa pressure nyie walimu.

  • @latifarichard3370
    @latifarichard3370 24 дня назад +3

    Weken full video

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 22 дня назад +1

    😂😂😂😂😂walimu sogeeni karibu..Thomas soogea😂😂😂😂

  • @GEOFFREYJapheth-nx6jq
    @GEOFFREYJapheth-nx6jq 24 дня назад +1

    Wapigaji hao wanyooshe babaaaa😂😂😂

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 24 дня назад

    WALIMU OYEEEE. LAZIMA MJIPONGEZE

  • @user-bj9ej7tt1k
    @user-bj9ej7tt1k 24 дня назад +1

    Tunakuombea.kwamungu.makoda.tumbua.majizi

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 24 дня назад

    Mda huu wa mitihani ya kufungia shule

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 24 дня назад

    😂😂😂😂 huu mwaka nauona utakuwa ni waneem kwa viongozi na wateule😂😂😂

  • @AllyMohammed-nv5sj
    @AllyMohammed-nv5sj 24 дня назад

    Wapigaji
    Hao 4:21 4:34

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 24 дня назад

    Sasa mbona wanakamati wengine wote wametulia wamemwachia Temu mwenyewe!!halafu wanacheka!kama anakosea kujibu basi si wajibu wao maana kamati hakuna wasichokijua

    • @ProsistaTarimo
      @ProsistaTarimo 24 дня назад

      Huenda anawainulia mabwga wakati akiishika hiyo pesa. Maana hakupaswa kujihusisha na shughuli za ujenzi. Walizoea kupiga pesa bila kuulizwa sasa Mavi yanawatoka

    • @ProsistaTarimo
      @ProsistaTarimo 24 дня назад

      Ana wazarau wenzake

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 20 дней назад

    😂😂😂😂😂

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 24 дня назад

    Mwalimu Temu,amenikumbusha mbali sana

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 24 дня назад

    Bwaloo

  • @reginajoseph1667
    @reginajoseph1667 24 дня назад

    Leo temu kashikwa

  • @andrewsayi2152
    @andrewsayi2152 24 дня назад

    Mwl Gregory yuko wapi

  • @skymack.internet
    @skymack.internet 24 дня назад +3

    Makonda Naomba ufuatili hili jambo la Stendi yetu , imekuwa ni aibu kwa jiji letu , hile sio stend, ni banda la kuku, tunaomba wewe pamoja na rahisi wa jamuhuri ya muhungano wa tanzania, muheshimishe mji huu wa kitakili kujenga stendi nzuri ya kitalii , hili kuvutia watali, , wakifika wajuwe wapo kwenye jiji la kitaali