Ila Arusha Noma: RC Makonda, Yani Jamaa Anawatoza Ushuru Anakula Yeye Peke Yake Halafu Bado Ana..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Ila Arusha Noma: RC Makonda, Yani Jamaa Anawatoza Ushuru Anakula Yeye Peke Yake Halafu Bado Ana..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 55

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 23 дня назад +12

    Respect sanaaa p ww ndio unaweza kukivaa kiatu cha magu mungu awe naw akulinde namafisadi🙏🙏💪💪💪💪💪

  • @MayoSulle
    @MayoSulle 21 день назад +3

    Makonda hongera Sanaa kwakusikiliza KERO mbalimbali Jimbo letu la karatu

  • @fidelotyeno
    @fidelotyeno 23 дня назад +12

    My role model

  • @user-uz9hu4wn3h
    @user-uz9hu4wn3h 23 дня назад +7

    Mungu akutunze kaka

  • @NormanHerman-dr6qj
    @NormanHerman-dr6qj 22 дня назад +4

    God bless you makonda

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 22 дня назад +4

    PIGA KAZI KONDA,UKIMALIZA ARUSHA MAMA AKUHAMISHIE MKOA MWINGINE UKASAFISHE MACHAKA,

  • @Bquality
    @Bquality 22 дня назад +6

    Safisha njia baba 25 kama naiona hv

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 22 дня назад +3

    Mikoa mingine wanamtamani Makonda lkn cc mama Samia katupendelea Arusha.
    Mama Samia Mungu azidi kukulinda.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 23 дня назад +4

    Makonda ananifurahisha Kuwa mwelewa haraka

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w 22 дня назад +8

    Piga kazi tunakuombea jembe la wanyonge tanzania nzima kweli mungu ni mwema naamini magufuli hajafa yupo mrith wake

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 18 дней назад +2

    Wafunge na kuomba kama sisi haikuwa rahisi kumpata tumesugua goti sana awepo mtu angalau ashtue hii rushwa ya Arusha na jina lenyewe limekaa kirushwa kabisa

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 22 дня назад +4

    makonda oyeeee

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 22 дня назад +2

    Kijana anashindwa kiujieleza hao ilipwasa kusema mfumo wa ukusanyaji kodi mbovu walipwasa wajumuishe iwe moja

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 22 дня назад

    Houeeeee mkuuu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💯

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 20 дней назад +1

    Nimecheka daah😂😂😂😂😂 yaani umevaa suti afu hueleweki

  • @JohnPhilipo-oq3xq
    @JohnPhilipo-oq3xq 17 дней назад +1

    Tukipata viongozi kama 15 wa hivi atleast

  • @regnaldmoshi9780
    @regnaldmoshi9780 22 дня назад +1

    Ningepata namba ya Makonda ningempa kero nyingine hapo Ngaramtoni

  • @user-rh5yn3bc1o
    @user-rh5yn3bc1o 23 дня назад

    😢

  • @elizabethysamweli2187
    @elizabethysamweli2187 22 дня назад +1

    Shkamoo baba

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 23 дня назад +3

    Ni bora kumsikiliza mtaalamu halafu baadaye ukamhoji kwa uhakika.
    Bila wao halmashauri haipati chochote

    • @Darian2550
      @Darian2550 22 дня назад

      Kabisa, huyu jamaa sometimes anasaidia lkn kuna sehemu anazingua.

  • @oscarmisiru9725
    @oscarmisiru9725 20 дней назад

    Hiii ni sehemu ndogo ya kerooo

  • @AnnaKomba-nn2wu
    @AnnaKomba-nn2wu 19 дней назад

    Saluti kwako mh. Makonda mama akuhamishie Iringa, na nakuombea Kwa MUNGU Mama Samia akimaliza miaka yake ya uraisi wew uje ushike uraisi maana Tz inahitaji sana mtu kama wew! "In the Jesus name I believe it will be."

  • @eliasammomunguitunzeeyanga1454
    @eliasammomunguitunzeeyanga1454 22 дня назад

    Tuna liwa Sana

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 21 день назад

    Ambao hawampendi makonda wachimbe mashimo wajifukie

  • @gwamakajohn7122
    @gwamakajohn7122 9 дней назад

    Moto

  • @BEATHARWANYUMA-fc1ec
    @BEATHARWANYUMA-fc1ec 9 дней назад

    2025 kama mama ana hicho la kuona akupe uwaziri mkuu unyoshe watu

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 23 дня назад +4

    Yaaani Commissioner wa madini ana wakala alafu Bado anakusanya tena yaaani hapo kuna double taxation ya wazi kabisa

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 21 день назад

    lile shati la mkuu wa mkoa mnalikumbukaa??

  • @yusuph1547
    @yusuph1547 23 дня назад +3

    Basement means "Ghorofa ya chini"😂

  • @TinahFrank
    @TinahFrank 19 дней назад

    Mtoto mdogo jizi duuu ukifika uzeeni ijeee

  • @cecilianyirenda3377
    @cecilianyirenda3377 22 дня назад

    Mh. Utakuja lini huku mafinga, watu tunakutegemea uje utatue migogoro ya uonevu katika umiliki ardhi

  • @charlesjohnjohn7953
    @charlesjohnjohn7953 22 дня назад

    Bro @paschal ndo huyo kijana anatakiwa aeleze vizuri kuwa mfumo uko hivyo na hizo tozo zote ni halali, yaani Tume ya madini, kijiji, Halmashauri,mmiliki na huyo mtu mwingine.

  • @neemamollel6057
    @neemamollel6057 22 дня назад

    Camera man pour kabisa ujaitendea haki tafuta camera

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 22 дня назад

    Sasa muhuheshiwa na wewe unalalamika mwanamchi anakamuliwa si serekali ya chama chenu ndo mikakat yake hiyo ndo kitu watu wanacholalamika hicho kuwa maisha magum sasa ni hiyo mchanga ni kila kitu makamuz ndo hayo hayo then ugum wa maisha

  • @mc-stephenmasome6553
    @mc-stephenmasome6553 22 дня назад

    Hii nchi bwana ..

  • @davidami7980
    @davidami7980 23 дня назад +1

    Madaraka ya kulevya

  • @user-cu3dg8xd7q
    @user-cu3dg8xd7q 20 дней назад

    Makinda unatibu ugonjwa ambao serikali yako ndio imeleta . Unaleta matatizo ambayo unakuja kuyasove wewe mwenyewe

  • @SimonEmilyo
    @SimonEmilyo 22 дня назад

    Makonda anataka kushangiliwa lkn huyu dogo yuko sahihi

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 23 дня назад

    Lakini huyo kijana yupo sawa tatizo ni mfumo wa serkali ndiyo ulivyo na hivyo makonda mambo mengine unapaswa upige simu kwa commissioner wa madini