KIMENUKA! MAKONDA AWATUMBUA WAKUU wa IDARA 2 MKUTANONI - ''WANAKULA PAKUBWA WANAHONGA PADOGO''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 май 2024
  • KIMENUKA! MAKONDA AWATUMBUA WAKUU wa IDARA 2 MKUTANONI - ''WANAKULA PAKUBWA WANAHONGA PADOGO''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 265

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  26 дней назад +19

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @Happizo
      @Happizo 26 дней назад +1

      Hatua nzuri

  • @user-ms7pk2dj2n
    @user-ms7pk2dj2n 26 дней назад +48

    Tungekua tuna viongozi kama makonda kwa kila mkoa. Dah tungekua mbali kwa haki na maendeleo

    • @renatusblandes1131
      @renatusblandes1131 26 дней назад +4

      Nimeona Mkuu wa mkoa wa DSM nae ameanza et

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 26 дней назад +3

      @@renatusblandes1131 yeah yy yukogo hivo ila sio kwa kasi kama ya Makonda. kila mtu na uwezo wake alojaliwa na Munug wetu. kikubwa ni uaminifu na uwelelevu

    • @Ryanzabron
      @Ryanzabron 26 дней назад +1

      @@renatusblandes1131Yule hapana jamani bado turudishiee Makonda Dar 😂

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 26 дней назад +1

      Chalamila ni Mwamba ila Dar kama imemmeza hivi.

    • @NdeshaPaul-uz9bw
      @NdeshaPaul-uz9bw 25 дней назад +1

      Hakika Sasa vijana ndio wanavaa nchi hii. Makonda ni kijana ameonesha uthubutu wa vijana. Tungekuwa na vija 10 kama Makonda nchi isingechezewa wananchi tungekuwa na amani na matumaini makiubwa na maovi yanggeisha Tanzania. Apewe nafasi kubwa zaidi ya kipekee ya kuweza kupitia mikoa yote. Makonda ni Mrema mwingine anachambua Kila kitu kiwe kikubwa kiwe kidogo kinawekwa sawa na HAKI inatendeka bila kujali mkubwa, mdogo,, tajiri Wala maskini. Anatenda HAKI. Mungu azidi kumwimua. Natamani angekuwa kwenye mikoa ninaoishi.

  • @user-vt1dx7gr2j
    @user-vt1dx7gr2j 26 дней назад +25

    Makonda mkuu umengusa uko vizur mungu akubariki

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 26 дней назад +25

    Mungu ashukuriwe na ambariki Makonda.Viongozi wengine pia wafuatie mfano.🎉🎉 Amen

  • @FredrickEdson
    @FredrickEdson 26 дней назад +19

    Makonda sio wakukaa ofisin ni mchapa kazi mtaisoma namba CCM no 1

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 26 дней назад +43

    Tanzania tuna Mkuu wa Mkoa mmoja tu,amabaye hata vipofu wanamsikia,ambaye hata viziwi wanamuona hata watoto wadogo wanamfahamu ni Makonda tu Wingne mnawajuwa nyinyi wenyewe

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 26 дней назад +15

    Ugomvi wenu naununua dah,,,,Makonda Mungu akubariki na kukulinda mtu wa MUNGU.

  • @AbdalaHamadi-fv4qh
    @AbdalaHamadi-fv4qh 26 дней назад +24

    Kiongozi namba moja anaetakiwa kuigwa ni makondo Tanzania hii

  • @shaban6644
    @shaban6644 26 дней назад +14

    Jamaa anajitoa sana kusema ukweli. Anahitaji pongezi Kubwa sana muheshimiwa Makonda.

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 26 дней назад +14

    Safi sana vipara na vitambi kz kula pesa za maendeleo 2 wakwende 3 shenzi kbs hao

  • @JosephMwangiluke
    @JosephMwangiluke 26 дней назад +4

    My coming president! Makonda Mungu akupe uzima na afya njema na kukupa kupanda vyeo hadi ngazi ya uraisi.

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 26 дней назад +8

    Mh:RAIS tunaomba Mh:makonda awe mkuu wa mkoa wa DSM

  • @rajabuidd45
    @rajabuidd45 26 дней назад +11

    Huo ndii msingi wa legend wa hapa kazi tu

  • @malilaebayoth5776
    @malilaebayoth5776 26 дней назад +17

    Sasa kila siku wanaend OFISINI mishahara wanapata kwq kazi gani sas hapo!? Dah nchi hii aisee unawez laumu wizara kumbe huku chini ni balaa

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 26 дней назад +7

    Makonda wewe ni mtu na nusu!🙌🙌

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 26 дней назад +12

    Samia Aliona mbali sana❤

    • @mercyzakariah
      @mercyzakariah 26 дней назад +2

      Rais wetu Samia ana akili Saba MNOO huu mkoa anae umdu NI jembe makonda sivinginevo

  • @user-gp5wx1ev9f
    @user-gp5wx1ev9f 26 дней назад +1

    Wakuu wa Mikoa mengine waige mfano wa Muheshimiwa Paul Makonda wa Mkoa Wa Arusha. Mungu Akubariki Ndugu Paul Makonda kwa kazi nzuri unayoifanya Arusha. Pongezi nyingi zaidi zinwendee Mama Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa Mungano wa Jamhuri ya Tanzania kwa kumleta Hon. Paul Makonda Arusha

  • @user-yf5uq6bl2w
    @user-yf5uq6bl2w 23 дня назад +1

    Mama tunakupenda tunakuheshimu na tunakushukuru sanaa kwa kutupatia kiongozi huyu( Mr MAKONDA) Tunakuomba utuachie akae hapo Arusha hata kwa miaka 5 ikikupendeza ila kama utaamua kumpandisha cheo hata sasa nisawa tunakubari ila kwa nafasi hiyo tunakuomba tuachie Arusha yetu abakie . Mungu akulinde Mama SAMIA pia MAKONDA na viongozi wengine ambao ni wachapakazi.

  • @Byme6434
    @Byme6434 23 дня назад +1

    Daaaaaah Namuombea Kwa M'Mungu Amnusuru Kwa kila Baya Muheshimiwa Makonda Daaaah🥹

  • @juliusntandu4302
    @juliusntandu4302 26 дней назад +3

    Mh. Akilala usingizi hauji ndoto za matatizo ya wananchi humsumbua usiku kucha hana raha na usingizi wake akiwaona mshetani wakiwatesa wananchi wake, Kiongozi huyu hupata shida na kiu raha yake ni kuwatumikia wananchi wake 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Ikiwa wewe Mungu unasikia bac sikia ombi langu moja tu keep him safe from his enemies.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 26 дней назад +7

    Enough is Enough.Wajanja wakomeshwe😮 Wizi umezidi 😮

  • @mbutaleetz225
    @mbutaleetz225 26 дней назад +9

    Kwa nn makonda asigombee ura is mwaka 2024 2025

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 26 дней назад +8

    Je ni Arusha tu au ni mikoa yote? Kama ndivyo Makonda awakague wakuu wa mikoa wote na Mongela hakuwajibika pamoja na kulipwa mishahara muda wote!

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 26 дней назад

      Hana mamlaka ya kukagua wakuu wa mikoa yote, na hamna hiyo nguvu kisheria, hiyo ni kazi ya waziri mkuu

    • @barakaPaulo-ei8zp
      @barakaPaulo-ei8zp 24 дня назад

      Hahaha😂😂 kwel kbsaaa

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 26 дней назад +9

    Yaani ni wavivu mpk wanatia hasira

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 26 дней назад +1

    Unafanya kazi ngumu sana, Mungu akulinde Mh. Makonda

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 26 дней назад +12

    Akibanwa wana huzunisha kabisa . Wizi umekithiri kabisa

    • @JeyJeydoctar-gq1bw
      @JeyJeydoctar-gq1bw 22 дня назад

      Makonda akija Morogoro hapa yni Mkoa utasimama mwezi mzima kwa manyanyaso yaliopo hapa dah wanyoge tunakufa kwa stress

  • @user-cg3px3fc2q
    @user-cg3px3fc2q 26 дней назад +7

    Asante mkuu wa mkoa mungu akulinde endelea kutumgua

  • @johnmaryjoel2968
    @johnmaryjoel2968 26 дней назад +2

    Mungu akusimamie mkuu wa mkoa makonda Ktk kazi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 26 дней назад +3

    Makonda be blessed 🙏🙏🙏🙏

  • @justinhokororo9147
    @justinhokororo9147 26 дней назад +5

    Jipu limepata mkunaji. Huwa tunadhani serikali imetusahau kumbe kuna watu wanajilia tu.

  • @jumarajabu5066
    @jumarajabu5066 26 дней назад +2

    Makonda fanya kazi mungu atakulipa ukimaliza arusha wakulete kwetu napo ufanye mambo we ni mwanaume

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 26 дней назад +7

    Lamda Hao ni wafuasi wa chadema wanataka kuharibu siasa ya CCM na kumchafua mama samia ili warusha waichukie CCM

  • @ehsantv7740
    @ehsantv7740 26 дней назад +13

    Piga spana mkubwa maana watu wamekaa napesa za miradi kama zao spana ndiyo dawa yao

  • @nehemia397
    @nehemia397 26 дней назад +11

    Huwa wanafanyaga kazi gani sasa huko ofisini.

    • @lelekilele2
      @lelekilele2 26 дней назад +2

      Wanapiga story jioni wanaishia bar kutongoza mabinti

    • @allymnyenye8109
      @allymnyenye8109 25 дней назад +1

      Wanachat tu na kujamba jamba ovyo si wana hela 😅😅

    • @davidmziray2048
      @davidmziray2048 24 дня назад +1

      Makonda njoo Moshi municipal kazi yao kushinda bar kunywa na kuongoza vibinti

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l 26 дней назад +5

    Makonda apewe ukuu wa wakuu wa mikoa,

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 26 дней назад +6

    Kuiga jambo jema sio vibaya,wakuu wa mikoa mingine tokeni ofisini katatueni matatizo ya wananchi,Rais kasema nyinyi ndio ma Raisi ktk mikoa yenu

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 26 дней назад

      Ni ngumu kuiga style hiyo kwa sababu ya msingi uliowekwa na "mama" baada kuingia madarakani. Alikuwa kama anawapiga mkwara watendaji wa aina hiyo, watu wakarudi nyuma baada ya kuona hapendi spidi hiyo, leo Makonda anafanya hayo wengine wanatazama tu maana "mama" hasomeki sawa sawa.

    • @sa3dasa3da87
      @sa3dasa3da87 26 дней назад

      @@hamisisalum6116 ingekua vyema kama wakuu wa mikoa wote wangefanya hivyo halafu tuone mama atamtoa nani atamuacha nani maana nikitu wananchi wanapenda atajinyima kura mwenyewe kama ataonyesha wazi hapendi watu wackilizwe kero zao

    • @AlvinManyenye
      @AlvinManyenye 26 дней назад

      Anaeweza kutoka km Makonda mwingine ni ALLY HAPI na KASSIM MAJALIWA sioni mwingine mwenye kauli km hao

  • @LinusiMeza
    @LinusiMeza 26 дней назад +3

    Goodman!

  • @emanueldrancula
    @emanueldrancula 26 дней назад +9

    Kumbe wazee nao wakibanwa wanatiaga huruma😂😂😂😂

  • @barakaPaulo-ei8zp
    @barakaPaulo-ei8zp 24 дня назад

    Ubarikiweee Sanaa kiongoz

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 26 дней назад +2

    Nchi hii inahitaji Mimi na akina Makonda 4 ili tusogee pale juu

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 26 дней назад +7

    Wanaweka Hela kwa fix deposit wanakula interest

  • @user-jz6lm5yv4f
    @user-jz6lm5yv4f 26 дней назад +2

    Makonda oyeeeeeeeee

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 26 дней назад +7

    Hivi ni kweli mwaka 2024 bado wahindisi wetu wanatengeneza vyoo vya shimo kweli ? Watalamu wetu amukeni bwana .

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 26 дней назад +1

      Watendaji makanjanja, enawezekana system ya maji hamna

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 26 дней назад

      Unataka vya kukaa ma UTI ? Jiulize UTI miaka ya 90 tunasoma ilikuepo ?

    • @israelisponsor8755
      @israelisponsor8755 26 дней назад

      Kwa shule lazima viwepo

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 26 дней назад

      ​@@AllyMaya-yj3xdUTI ilikuwepo, haikuwa widely known, na UTI hailetwi kwa vyoo vya kukaa . Wenzetu wa nchi nyingine wanazitumiaje wao? Mbona hawalalamikii vyoo vya kukaa au hawana matako?

    • @alexchungu6263
      @alexchungu6263 26 дней назад

      Huku shule za msingi unataka waweke vyoo gani ?

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 24 дня назад

    Makonda mungu akubariki ndugu yangu unatutetea

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 25 дней назад

    MUNGU akubariki sanaaaa Mtumishi Makondaa

  • @user-wy3uc2cd8x
    @user-wy3uc2cd8x 26 дней назад

    Makonda Mungu akulinde Baba

  • @BEATHARWANYUMA-fc1ec
    @BEATHARWANYUMA-fc1ec 26 дней назад

    Mungu akulinde Makonda, namwona makufuria anaishi

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 26 дней назад +6

    Ujinga wote huo hakuna sheria ya kuwaajibisha sheria ingekuwepo kama china mtu kunyongwa mbona madudu hayo yasingekuwepo

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 26 дней назад

      Tena ananyongewa hadharani ili iwe fundisho kwa wengine@handenitakuru

  • @bonnykweka7609
    @bonnykweka7609 26 дней назад +4

    Wanasubiri wazipige mwishoni mwa bajet

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 26 дней назад

    Makonda oyeeeee jaman Mungu akuhifadhi na Kila Audi akuhifadhi na wachawi Akupe umri mrefu wakuwanyoosha wadhalim na akudumishe kwenye serikal na kuwa mustakibal raisi WA wa Tanzania hakika mm si mtazania ila na kupenda kwa ajili ya Mungu wewe NI kiongozi Bora mwenye huruma ya wa Tanzania na mwenye upendo kwa wa Tanzania na nchii yko pia ❤❤ kijana mahiri dua ndo zawadi yangu kwako

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 26 дней назад +2

    Aise watakuchukia ujue heee lkn usiogope Makonda. Ww ndo rais wa hii nchi. Piga kazi.

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl 26 дней назад +4

    Hapa mtu ndio unasema nimetumikia serikali sasa hata uwajibiki unasema umetumikia serikali cjui mnanielewa

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 26 дней назад

      Makuma hawa wanapokea Mshahara bureeeee

  • @charlesmakelele4268
    @charlesmakelele4268 26 дней назад

    Ubarikiwe makonda.

  • @lameckrange-ol6uz
    @lameckrange-ol6uz 26 дней назад +3

    Mm naona wangefuta wakuu wa mikoa wote Makonda anatosha kwa mikoa yote
    kwani tangu aende Arusha ndo Mkuu wa Mkoa2 tunaona anfanya kaz ya wananchi na kutatua kero yao
    Ila msinlewe vibaya kwa ss Wananchi tunahitaji Viongoz wanao tatua kelo za Wananch

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 26 дней назад +1

      Hatoweza kuhudumia nchi nzima, katiba haito ruhusu

  • @benardnyakebere5981
    @benardnyakebere5981 17 дней назад

    Makando Yuko vizuri

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 26 дней назад +4

    Makonda ana nyota ya kupendwa na watu kuliko mtu yeyote maarufu tanzania huo ndiyo ukweli

    • @mercyzakariah
      @mercyzakariah 26 дней назад

      Ukimtoa rais Samia, anae pendwa na WA tz milion 68 no 2 NI jembe makonda, no 1 NI rais Samia no 2 makonda, huo ndo ukweli,,

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 26 дней назад

      Hawezi kimfikia marehemu maalim seif sharif Hamad kwa kupendwa na watu

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 25 дней назад

      @@mercyzakariah nan?😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 26 дней назад +2

    Pesa za tz zinaliwa kwaajili ya viongozi waovyo wasiofatilia miradi ya nchi jamani raisi ukiona haya wausika wafukuzwe na kifungo juu nchi itaisha ivi mpaka lini

  • @irangamatandura8537
    @irangamatandura8537 26 дней назад +1

    Wanakula pakubwa hao safi sana kwa hiyo hukumu

  • @abdirazakmadhar2000
    @abdirazakmadhar2000 26 дней назад +2

    HII NI MFUMO UNAOPASWA KUIGWA NA VIONGOZI WA MIKOA YOTE ILIYOPO TZ.MUNGU IBARIKI TZ NA RAIS SAMIA SULUH HASSAN.SPANA NA KAZI IENDELEE SPANA TU

  • @thelalas9204
    @thelalas9204 26 дней назад +2

    Ndio maana wanachagua sisi m na mimi maana hawawafatilii,kwa kuogopa kukosa madaraka.maana hao ndio wapiga kura wao kina sisi m na mimi

  • @LibraryChuo-mg4ne
    @LibraryChuo-mg4ne 26 дней назад +2

    watumishi wazembe ndio wanaorudisha maendeleo yetu nyuma ,waachie ngazi hao wezi

  • @consesaphelician9266
    @consesaphelician9266 26 дней назад +3

    Samia anatakiwa amfuatilie na kumpa ulinzi po makonda

  • @user-ov3cy1nr8f
    @user-ov3cy1nr8f 26 дней назад +2

    Walee spana tu hao.....wanakaa tu ofisini wanasubili mpaka wasukumwe....

  • @saidrajab3808
    @saidrajab3808 25 дней назад

    Wanajikutaga miamba sana hao hawafany kazi wao kuwaonea walimu tu

  • @user-sn7gy6cd5q
    @user-sn7gy6cd5q 26 дней назад +4

    Uposahihi

  • @auriliamushi4092
    @auriliamushi4092 26 дней назад +1

    Makonda unatumbua miozo big up mkuu yaani wanao sikia hivyo watajibadikisha una maono ya jpm copyright

  • @PamelaKasambala
    @PamelaKasambala 26 дней назад +2

    Watu wanacheza na kazi

  • @fatumasaidimmependezamjeng8994
    @fatumasaidimmependezamjeng8994 23 дня назад

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 26 дней назад +1

    Makonda nimependa uongozi wako naomba ugombee uraisi muda wa mama yetu ukiisha

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j 26 дней назад +2

    Hv wakuu wa mkoa wengne hua hawajitathimin

  • @hawaa341
    @hawaa341 26 дней назад +1

    Kazi kula hela tu kazi hawafannyi ofisini kila siku

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i 26 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉piga spana mpaka wanyooke utendaji wako umepasi unafaa kuwa raisi wa Tanzania

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 26 дней назад +3

    Big up sana makonda-----

  • @EliasMeena
    @EliasMeena 25 дней назад

    Wanakula pakubwa wanahonga padogo ❤❤❤ piga sipana mpaka wanyoke mbwa hao✅

  • @TedyDominic
    @TedyDominic 25 дней назад

    Makonda be blessed♥️🙏

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 26 дней назад

    Mheshimiwa Makonda Mungu akulinde ww Ni mfano wakuigwa

  • @fahamnyaulingo5994
    @fahamnyaulingo5994 26 дней назад +2

    Daaa! Huu mkoa mkuu wa mkoa alikuwa nani?

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 26 дней назад +7

    MAKONDA BABA ENDELEA KUWABANA SPANA

  • @JeyJeydoctar-gq1bw
    @JeyJeydoctar-gq1bw 22 дня назад +1

    Jaman mbona mikoa kibao inachangamoto hapa Tz sasa mbona naona Arusha tuu aliko Makonda ndo matatizo yanatatuliwa inamana hii mikoa mingine haina wakuu wa mikoa?au ktk mikoa yao hamna changamoto jamn viongozi ebu igeni huo mfano wa mwenzenu msisubr kutumbuliwa ni Aibu badiliken aisee

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 26 дней назад +3

    Mungu akulinde popote uendapo makonda

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 26 дней назад +1

    Hawa wakurungenzi wanaiba sana hela za wananchi,

  • @AbdifatahaHassan
    @AbdifatahaHassan 26 дней назад +3

    Muheshimiwa po makonda Mzee wa fufunguwa span njoo kijijini kwetu engaruka mbona huji wananchi wakutaka uku muheshimiwa mtetezi wetu njooo bababab

  • @user-yf5uq6bl2w
    @user-yf5uq6bl2w 23 дня назад

    Jamani ... Tunaposemaga MUNGU anatenda huwa haimanishi anakuja mwenyewe lahasha! Bali huwa anatumia watu kama Mr Paul Makonda. Mungu amlinde mtu huyu tazama maendeleo hayo yoote watu wameyakalia na hela zipo sasa sijui huwa wanazizungusha au laa!

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 26 дней назад +3

    iv kweli mbunge kazi yake ni nini Jamani Yani makonda anafanya kazi nzuli utazani mbunge ayupo daaih asante makonda

    • @samsonkivuyo9548
      @samsonkivuyo9548 26 дней назад

      Mbunge sio mtendaji wa serikali, hiyo kazi ya mkurugenzi wa jiji

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 26 дней назад

      @@samsonkivuyo9548mkuu wa wilaya na mkurugenzi wakutoka

    • @mcback4384
      @mcback4384 24 дня назад

      Mbunge ni mwananchi tu hana meno ya kuiwajibisha serikali kama RC

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 26 дней назад +2

    Sasa nimeanza kuelewa kazi ya wakuu wa mikoa sasa

  • @bitonyFabian
    @bitonyFabian 26 дней назад +1

    Piga kazi kaka

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 26 дней назад +1

    Naomba kuuliza hivi viongozi wa mikoa mingine, majukumu ni sawa na ya mhshmw Makonda?
    Mimi nilikua sijui majukumu ya wakuu wa mikoa,

  • @peterjengela1770
    @peterjengela1770 26 дней назад +6

    Haya yote ni matokeo ya mfumo mbovu kwakuwa hayapo Arusha tu ni kila mahala Kwa Tanzania yani Halmashauri zote nchini.

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 26 дней назад

      Uozo mtupu........ Nchi haina maendeleo kutokana na watu kama hawa

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 26 дней назад +2

    Piga hao mkuuuu?

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 26 дней назад +2

    Mbona awajasikilizwa

  • @williammkamba4433
    @williammkamba4433 26 дней назад +1

    Makonda upitie na huku kimandolu Mzee baba tukupe mauwa yako

  • @johnkapinga755
    @johnkapinga755 24 дня назад

    Nilijua magufuli amekufa kumbe bado hai mungu akubariki makonda

  • @nyigomakunza4285
    @nyigomakunza4285 25 дней назад

    Kimsingi Sina tatizo uamuzi wake ingawa nilidhani alitakiwa kuwasikiliza kwanza kabla ya kufikia uamuzi huo!!
    Ukiangalia kwa jicho la tatu utaliona tatizo lingine kubwa zaidi.... Kwa hao watu wote wanafanya kazi kwenye jengo Moja yaani maafisa Elimu wote na afisa manunuzi.
    Kama wote walikuwa wote walikuwa na taarifa Kuna fedha zimeingia Afisa manunuzi alishindwa Nini kwenda kuwaambia wapandishe documents kwenye mfumo!!? Wakati wako kwenye jengo Moja wanapishana vyumba tu!!?
    Nadhani ipo haja ya kulitizama jambo hili vizuri Ili na wengine watakaoteuliwa wasiingie kwenye mtego huu!!
    NI MAONI TU DON'T TAKE IT PERSONAL

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 26 дней назад +2

    Ili idara ipeleke mahitaji lazima wapewe barua za kuwekewa pesa ...sasa je hao wakuu walipewa hizo barua mkuu???

    • @mcback4384
      @mcback4384 24 дня назад

      Yaani wewe kiswahili hujui ama?

  • @user-vb9ci1wl5e
    @user-vb9ci1wl5e 26 дней назад +2

    Spana itawanyoosha

  • @user-ov3cy1nr8f
    @user-ov3cy1nr8f 26 дней назад +2

    Watumbue tu mkombozi wetu

  • @user-iy7kf2mj1u
    @user-iy7kf2mj1u 26 дней назад

    Mbona mkuu wa wilaya hatulii au sioni vizuri

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 26 дней назад +3

    Piga Spana

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 26 дней назад +2

    Apewe maua makonda

  • @PaulNdekiro-vb3gg
    @PaulNdekiro-vb3gg 22 дня назад

    Mama SAMIA hana shida nasi kabisa shida ipo kwa watendaji Yani wengi wanajali mashlahi yao na unafiki nimkubwa sana Yani wapo kama panya wachukue mfano kwa makonda ukweli mama tumeshachoka na hawa majizi mama yao doe wanakuangusha