DIDDY ataenda JELA kwa VIDEO ya kumpiga CASSIE? Mwanasheria afunguka ukweli wa Mambo!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 54

  • @piusdeo9380
    @piusdeo9380 22 дня назад +6

    Sns nawakubali sana bhagosha

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 22 дня назад +7

    Kessy hata akatae inaonekana DIDDY anazo kesi nyngi

  • @reisedyy4910
    @reisedyy4910 22 дня назад +5

    Mwanasheria wenu aende shule... criminal zina life span kwenye baadhi ya nchi.... tayari LAPD wamesha sema assault kwenye jimbo la Calif. haipaswi kuzidi miaka 6.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 22 дня назад +2

    Mpenzi lkn boss same to Achibu and Zuu @?

  • @pizowed1583
    @pizowed1583 22 дня назад +1

    SNS for my life 🙌🙌🙌

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 22 дня назад +10

    kwenye ile video p didy anaonekana ni mwenye roho mbaya sn

    • @piusdeo9380
      @piusdeo9380 22 дня назад +1

      Dooo jamaa alikua na hasila

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад

      ​@@piusdeo9380Hasira hasara, ukiwa mnyanyasaji siku yake utaishia aibu na majanga

    • @HowardKitamkanga
      @HowardKitamkanga 22 дня назад

      Dem alitaka kukimbia na maelekezo ya msela
      Mwamba akasanuka akiwa cjui anaoga atoka natauli nahasir km zote😂

    • @mr.yahzadochuno7914
      @mr.yahzadochuno7914 21 день назад

      Evel 😭💔

  • @directormafelingz2956
    @directormafelingz2956 19 дней назад

    Ishu ya Lil Wayne kuhusu Diddy ilikuwa voice over ya watu wa internet . Original voice Lil Wayne hakusema hivyo

  • @piusdeo9380
    @piusdeo9380 22 дня назад +1

    Sns forever sky giant Men

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 22 дня назад +4

    DIDDY HE IS DEVO ☹️☹️

  • @joe_was_here.
    @joe_was_here. 22 дня назад

    Nakukubali sky

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 22 дня назад

    Dj Sma katoa uchambuzi bora sana,Sma is a genius

  • @user-jb7of2oq7k
    @user-jb7of2oq7k 20 дней назад

    uyo mtangazaji....ni mali,,,,
    //

  • @swahilibrotherhood
    @swahilibrotherhood 22 дня назад

    Nomasana

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 22 дня назад +1

    Kesi ndogo sana 😂😂 hamjui sheria

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 22 дня назад

    Ndio kwakipigo kile kessi nilazima p Diddy lazima imletee shida ..mana sikwakipigo kile ..nimejifunza Sana hata ukifanya nini ipo siku mungu akiamua kukuumbua lazima utoke jasho

  • @john_1trader
    @john_1trader 22 дня назад +1

    Didy naye ana mengi

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 22 дня назад

    Mm sijaiyona video

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 22 дня назад +1

    Ilukuwa nguvu ya pesa.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 22 дня назад

    👊✌️👍.

  • @alphaigogo787
    @alphaigogo787 20 дней назад

    Jela sina huwakika lakini kibiashara kajimaliza! Siyo yeye tu hata watoto wake haswa wale wakiume.

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 21 день назад

    Gman ndio nakuona sauti Yako na mwili wako hauendani

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад +1

    Cassie alikua anamfichia siri Didi asiharibu brand yake alikua anatishiwa maisha yake Didi angeweza kutuma panya rodi wakamfanyie fujo, Cassie kajitahidi yamemzidi mpaka kashitaki

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад

    Mume wa Cassie amesema mwanaume mkumbushe mwanaume mwenzako, kumbusha kaka rafiki na wanaume wa familia yako wasifanye ukatili kwa wanawake badala yake muwalinde na wajisikie na amani

  • @Kudonjoshow
    @Kudonjoshow 21 день назад

    Aende jela tu

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 22 дня назад

    Selekari y’a américain kwahakika aina haya ikiwa didy anafaida kwako bc sio ajabu kuona kesi inapindishwa pindishwa nakupotea or maybe kuwe na wahusika wengi kwenye jambo moja linalohusisha watu mashuri bc sio ajabu kuona kesi imepote,, km shauri la shitaka la South Africa juu y’a israél

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 22 дня назад

    Inavyoonekana Didy kaishiwa pesa sasa anakosa kiasi cha kutosha kuwapatia wabaya wake ili wasimuharibie. Didy alikuwa anajitengenezea bomu kubwa kuliko

  • @user-zm2hz7dc7h
    @user-zm2hz7dc7h 21 день назад

    Diddy forgot to pay his Illuminati bills 😂

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v 22 дня назад

    diddy pia ni mende

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 21 день назад

    Didd mbona kashamaliza huo mchongo

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад +3

    Tanzania tumekua sugu wa ukatili yaani wanaume wanne wanajadiliana kwenye kipindi hakuna hata mmoja anakemea ukatili wala kusikitika kwa kipigo alichopigwa Cassie wala husikii wanaume wakitoa onyo kwa wenzao kwamba acheni fikra za ukatili wa aina hii, badilikeni mioyo yenu msiuzoee ukatili

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 21 день назад +1

      Swala la kutetea wanawake kila wakati linaharibu dunia sana😢

    • @marlonstudios4408
      @marlonstudios4408 21 день назад +1

      We mwanamke kama hana adabu wacha apigwe

    • @piusmbwana3329
      @piusmbwana3329 21 день назад +1

      Mdomo ukizidi unatakiwa Ubondwe na sio kupigwa tu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 21 день назад

      Akili zimeshazoea ukatili unavyozema mwanamke Hana adabu au abondwe hapo weka picha ni Mama yako Mzazi utambonda?

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 21 день назад

      @@marlonstudios4408 kuna dira Lako huku jikoni njoo tuchanbue mchele wewe sio mwanaume

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад

    Dola elfu hamsini hata laki haiwezi kuficha ukatili wa mtu, tena aliyeficha video alaaniwe kabisa, unaficha ukatili unalalaje usiku na kupata usingizi?

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 21 день назад

    mbona izo kesi ni za zamani au aliwatuliza kibunda sasa wamerudi kivingine kumfilisi kbs

    • @openglo
      @openglo 21 день назад

      Marekani akunaga kesi ya zamani endapo mwanamke kakustaki ataiwe miaka 100 kaburi lako litafuatwa.

    • @Mamodel-Park
      @Mamodel-Park 21 день назад

      Hakuna kesi ya zamani My friend apa tu Tanzania kama uliuwa mtu mika 10 ilopita na ushahidi upo kesi inaanza upya. Haki ya mtu haipotei ata ufe

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 22 дня назад +1

    Warudi tu Afrika wamarekani weupe hawatupendi ss weusi. Wanatuona minyani tu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 22 дня назад

      Umpige binadamu mwenzako halafu usingizie ubaguzi wa rangi? Acha ujinga wewe

    • @mwajumabinwa604
      @mwajumabinwa604 21 день назад

      @@darajalakidatukilomgi2362anjamanisha ivio

    • @Mamodel-Park
      @Mamodel-Park 21 день назад

      Ufanye uhalifu usingizie ngozi nyeusi? Usituaibishe

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 21 день назад +1

    Uyu kaka sauti yake nilikua. Nadhani ni jamaa mmoja wa kibabe sana dah! 😂😂

  • @EmmanuelGabriel-zm6nv
    @EmmanuelGabriel-zm6nv 19 дней назад

    Diddy hawamuezi.