MCH AFICHUA SIRI YENYE UTATA KUHUSU CHRISTINA SHUSHO NA MUME WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 195

  • @ZenaidaMngongo
    @ZenaidaMngongo 18 дней назад

    Hallelujah MUNGU akubariki mtumishi

  • @macleanuronu2899
    @macleanuronu2899 6 месяцев назад +21

    Umesema vyema Mtumishi wa Mungu Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu hakuna kupindisha Mungu amrehemu Christina na wengine wote waliamua kutoka kwenye ndoa kwa kisingizio Cha utumishi wamrudie Mungu alie Hai

    • @rebmanwillbard7464
      @rebmanwillbard7464 5 месяцев назад

      Tatizo kubwa lililopo ktk huduma za kikikristo hakuna chombo imara Cha umoja kuruhusu huduma Fulani ianze Kwa kuwa imekidhi viwango vya kikristo maana yake makanisa yote ya kikristo. Ulepweke upweke unazaa huduma tunazo ziona Sasa sasa, ikiwepo hii ya Christina Shusho na makanisa yanayoota km uyoga Tanzania, tushukuru Mungu km kweli huduma hizi zinamfuata Mungu.Wenzetu wa Rwanda, ili uitwe mchungaji, ni lazima uwe na degree ya theolojia ili uitwe mchungaji.Huku mtu yeyote tu a naweza kuitwa mchungaji.

    • @clotildatarimo7847
      @clotildatarimo7847 5 месяцев назад +1

      Mungu ni mwaminifu kwa dada Christina ikiwa ni mtumishi wa Mungu kwake ataanguka na kwake atasimama tena. Unaehukumu hukumu tu lakini nakushauri kama unaweza kuomba omba kwa ajili yake zaidi ya kuzidi kumuua, na sidhani kama utakuja kutubu hii dhambi angalia isijekua jiwe la kujikwalia

    • @GiannisGibson-x6q
      @GiannisGibson-x6q 5 месяцев назад +1

      Tuwaombeye il wapate mwisho mzuri

    • @GiannisGibson-x6q
      @GiannisGibson-x6q 5 месяцев назад

      Barikiwa sana mtimishi unaongeya ukweli

    • @GiannisGibson-x6q
      @GiannisGibson-x6q 5 месяцев назад

      Kweli kabisa APO amejichanganya

  • @LeahLince
    @LeahLince 6 месяцев назад +13

    Mtumishi umefafanua jambo hili kwa uwazi bila uwonga kwa kulitetea Jina la kristo na bibilia ambayo imewafanya wakristo wengi kuzitetea dhambi kwa kutumia Bibilia,Mungu akuzidishei neema hiyo,

  • @upendofredrick8988
    @upendofredrick8988 4 месяца назад +1

    Mungu amekupa hekima ya ajabu sana mtumishi wa Mungu daaah! Mungu azidi kukuinua sana sana na akusaidie kuepuka kila mashawishi ya adui, na siku moja ufike mbinguni kabisaaaaaaa

  • @elia5475
    @elia5475 24 дня назад

    Amina Mtumishi umeongea vizuri sana kwa hekima na ufafanuzi wa hali ya juu mno

  • @ChristinaMlama
    @ChristinaMlama 6 месяцев назад +1

    Amina babaangu ,kiukweli dada christina mrudie Mungu wako ombatoba haya mambo ya duniani niyamudatu huyo diamond haowi kwakuwa naww umeambatana nae huwezi kuishi na mume ushauri wangu kwako nikutambua kuwa nuru na giza havichanganani

  • @luckylucas2125
    @luckylucas2125 3 месяца назад

    Bg up! Sana ukopoa sana kimaelezo ndicho nilichokiona mdamrefu wanaanza na Mungu wanamaliza pekeyao

  • @pendomelenjack4499
    @pendomelenjack4499 5 месяцев назад +3

    Kuna siri nzito nyuma ya mtoko wa pasaka watu wa Mungu kuweni macho hizi ni siku za mwisho,toka lini nuru na giza vikachangamana.

  • @angelinahmwabili5665
    @angelinahmwabili5665 6 месяцев назад +4

    Ukweli mtumishi asante kwa kuturegesha kwa Mungu

  • @alamagatasanga1805
    @alamagatasanga1805 5 месяцев назад

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Bwana he wajane wachungaj tuishije

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 6 месяцев назад +3

    Hallelujah Hallelujah 👏,glory be to God forever. You have answered correctly guided by the Holy spirit.
    Mungu akubariki sana Mtumishi.

  • @PeninaMwali-rf5bm
    @PeninaMwali-rf5bm 6 месяцев назад +19

    Kweli kabisa mchungaji but chewing gum is not good for you in bublic

    • @sarahmulandigracedofficial9401
      @sarahmulandigracedofficial9401 6 месяцев назад +4

      Kweli kabisa imenidumbua sana kumbe sio mimi naona.
      Inaitwa bad manners...bad public etiquette.
      However good and annointed we are..we should not chew publicly while tlking or singing. Its very disturbing and annoying

  • @AswileJoseph-d2m
    @AswileJoseph-d2m 5 месяцев назад +4

    Bro umenifunza!! Wengi tunataka kutenda dhambi takatifu,yaani kuhalalisha dhambi.Mungu atusaidie sana.

  • @SaidNjenjema
    @SaidNjenjema 5 месяцев назад +3

    Ntasema na ntasema na ntasema tena,,,,alietumwa kuimba ni rose muhanditu,,,uyu ndo alipewa miujiza na mwenzake bukuku bas

  • @mosespius3276
    @mosespius3276 6 месяцев назад +4

    Ni siku za mwisho wapendwa Yesu yu karibu kurudi.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 6 месяцев назад +3

    Uko vzr,nmekuelewa sana umenena vyema

  • @maryjohn2580
    @maryjohn2580 5 месяцев назад +1

    Mungu akubariki zaidi katika huduma

  • @rwanikakisosi6756
    @rwanikakisosi6756 6 месяцев назад +3

    Dhambi ya kumfukuru Roho Mtakatifu inawalenga hasa zaidi watumishi wa Mungu wakubwa ambao wameinuliwa sana na Mungu kihuduma kwa kupewa neema iliyo kubwa zaidi ya wengine katika kanisa.

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 6 месяцев назад +6

    Kwakweli umesema. Aksante baba

  • @cynthiawanza3977
    @cynthiawanza3977 6 месяцев назад +5

    Binadamu tumejaa mapungufu ...nakuombea wewe christina shusho kwenye mapito yako , wengi wameokoka kupitia kwa nyimbo zako

  • @Lilianmbeyu-ev2rw
    @Lilianmbeyu-ev2rw 5 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @teddygodwin8447
    @teddygodwin8447 6 месяцев назад +3

    Kweli kabisa..mim binafsi nasikilizaga nyimbo zao za zaman tu za sasa naona makelele tu

  • @josephine753
    @josephine753 5 месяцев назад +1

    Mungu akubariki unasemakweli

  • @jeniferkabigumila1653
    @jeniferkabigumila1653 6 месяцев назад +5

    Amina Mungu akubariki

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 6 месяцев назад +2

    Kwa kweli leo umenigusa nilikuwa nakuona kama mpinzani wa watumishi lkn leo umeongea vzr

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 месяцев назад +2

    Ameni mtumish pokea mauwa.yakoo

  • @protasdmassawe
    @protasdmassawe 6 месяцев назад +7

    Amen mtumishi Mungu akulinde!

  • @eugeniamartin7737
    @eugeniamartin7737 6 месяцев назад +9

    Huyu mtumishi ameongea Kwa hekima ya Hali ya juu. Na huo ndio ukweli

  • @SalomeSalama
    @SalomeSalama 6 месяцев назад +2

    Amen baba umesemakweli

  • @YohanationkizaTresor-ev6lc
    @YohanationkizaTresor-ev6lc 6 месяцев назад +8

    Kabisa huo ni ukweli dhadiri

  • @GodfreyMwamaka
    @GodfreyMwamaka 6 месяцев назад +1

    Amludie mungu tuu, mungu Anachukia kuachana atubu dhambi hakuna mungu wa hivyo

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 5 месяцев назад +3

    Kwanini Shusho Mko Na Ajenda Gani Na Yule Mdada Mrembo Sana Kwenu Kwasababu Mambo Mabaya Mengi Hata Ukahaba Pia Ni Ubaya Unaitaji Maombi Kwanini Amuendi Kwenye Madangulo Kuweka Mikutano Wabadilike Mnabaki Na Yule Mdada Kisa Mrembo Apo Pagumu

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj 4 месяца назад

      Ukisoma comment yako utagundua ni kama haujitambui vzr
      Yan n kama una kaukichaa Fulani hivi...
      Huyu anaongea mambo ya msingi we unaleta urembo WA dukani.
      Sio lazima ucomment kama huna cha maana

    • @AwaziRajab
      @AwaziRajab 4 месяца назад

      @@Abcdefghijjjjjjjj We Kama Ujui Kitu Nibola Ukakaa Kimia Kuliko Kuingia Maoni Ya Watu Kwa Mtandao Uyu Hana Mamlaka Ya Kukemea Watu Isipokua Kama Umesoma Neno Nenda Kampe Mtu Neno Mimi Nilipenda Kuona Uyo Mdada Akiwa Tofauti Alafu Siku Za Mbele Kati Ya Uyu Mdada Au Uyu Mchungaji Akitoa Ushuhuda Wa Kumsifu Mwingine Mfano Mdada Atoe Ushuhuda Nilipotea Lakini Mchungaji Fulani Alikuja Kwangu Kuleta Neno Na Nikabadilika Na Mchungaji Pia Ivo Ivo Sasa Kitu Ujui Mchungaji Anawatumia Watu Ambao Wapo Kiwango Fulani Cha Familia Yao Kwenda Chooni Na Wenye Wafuasi Wengi Mitandaoni Kama Daraja La Yeye Kufanikiwa Hi Sio Sawa Imani Ya Dini Inaanza Kwenye Familia Yako.Kwanza Na Uko Kwingine Kasambaze Neno Usiukumu Watu Nawewe Ni Mtu Pia Unajua Wako Watu Wanazani Kama Wao Niwatu Wa Peponi Kusambaza Neno Aimanishi Wewe Ni Mwema Sana Mbele Za Mungu Apana Bali Wengine Wanatumia Dini Kama Kujenga Ufahali Mbele Za Macho Ya Watu Mfano Wako Kwanini Uyu Angekua Yeye Ni Mtu Mwema Hata Wewe Usingeweza Kumuona Kwa Mitandao Akimlaumu Mtu Angekua Mwema Angetafuta Nyumbani Kwa Yule Dada Wapi Na Kumueka Chini Na Kumpa Maandiko Bila Kuchoka Yesu Alipotoka Kwake Aliwafata Watu Uko Mbali Na Kwao Sasa Yeye Ameona Youtubu Kunalipa Mana Kila Video Ukiwa Mnaicheki Yake.MB Nyingi Zinaenda Na Anapata Kitu Kama Angekua Yeye Ni Mkweli Angejenga Kanisa Kulingana Na Kipato Chake Watu Waende Kwake Na Kupata Neno Na Watatoa Sadaka Na Atimae Atajenga Kanisa Sasa Yeye Anaenda Kwenye Vichaka Mala Wapi Ambapo Anajua Akuna Hata Condoo Wa Kwenda Apo Ambapo Akuna Alama Ya Kanisa Hu Ni Ujanja Ambao Wengi Amuujui Hata Upande Wa Kiislamu Mtume Alijenga Sehemu Ya Ija Wengi Walimuona Kama Kachanganyikiwa Vile Lakini Angalia Kwa Nyakati Za Mbele Dunia Nzima Macho Yako Pale Imani Sio Nyimbo Za Akina Daimondi Useme Utumie Simu Bali Hata Mtu Mmoja Ajae Kanisani Kwako Anatosha Kusambaza Neno Uyu Aliumwa Wenda Ajachangiwa Sasa Kama Nimtu Mwenye Kisasi Moyoni Mana Kila Mchungaji Mwenye Nacho Ni Freemason Ndio Mana Tunaendelea Kuamini Kama Wazungu Ni Mashetani Mpaka Sasa Ndio Mana Afrika Masikini Ulaya Tunaita Duniani Wakati Ulaya Na Tz Dunia Moja2 Umasikini Wa Mafanikio.Bado Sana Umetawala Vichwani Ndio Mana Ukiwa Tajili Afrika Hata Usingizi Wako Wa Mashaka Mpaka Tembea Yako Kwanini Tunaishi Kwa Of

  • @RainaLaurenti
    @RainaLaurenti 4 месяца назад

    Ameeen unanibarikigi sana poster jamanii

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 6 месяцев назад +2

    Mbona Yesu hakuoa!!
    Hata Paulo hakuoa

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 месяцев назад

    Mungu akupe maisha malefuuu sanaaa

  • @heneriko_pius
    @heneriko_pius 6 месяцев назад

    uko sawa mtumishi 🙏🙏🙏🤝🤝🤝❤️🤝❤️

  • @MyriamShekinah
    @MyriamShekinah 6 месяцев назад

    Mungu akubaliki sn

  • @SaidNjenjema
    @SaidNjenjema 5 месяцев назад

    Kafeli uyoooo angoje kuzalilijatu,,,,atapgwa namungu atabak nashetanitu,,,,,

  • @DavidMushaga-xj3bf
    @DavidMushaga-xj3bf 6 месяцев назад +1

    Yes mpakaliwa mafuta wa Mungu

  • @JenipherJoachimu
    @JenipherJoachimu 4 месяца назад

    Jaman lkwan ulmwengu unaelekea wap? Jaman shetan anataka kutuvuruga au dada shushu jaman,mmh,

  • @RainaLaurenti
    @RainaLaurenti 4 месяца назад

    Yaani kuna kitu umenifungua aiseee

  • @ZawadChaeka
    @ZawadChaeka 5 месяцев назад

    Ameni mtumishi wa mungu

  • @Mtituboy
    @Mtituboy 6 месяцев назад +1

    Christina shusho aliudhalilisha Sana ukristo inabidi atubu

  • @tuludes
    @tuludes 5 месяцев назад +3

    Ndoa ni ibada kamili. Anayetoroka ndoa anamtoroka mungu. Kutengana sawa, ikiwa kuna tofauti zisizorekebika lakini hapa hamna talaka kamwe. Talaka ni dhambi.

  • @AgnesMmila
    @AgnesMmila 6 месяцев назад +1

    Mimi ningekua Mungu hakika wangekiona acha Mungu mwenyewe atusaidie

  • @ShallothMatowo
    @ShallothMatowo 6 месяцев назад +2

    Ndoa pia ni wito. Kaacha wito wa ndo

  • @annlewa1136
    @annlewa1136 6 месяцев назад +2

    Christine didn't choose her husband. He was chosen for her by her parents. There was no love involved in the first place.

    • @MeryPapi
      @MeryPapi 6 месяцев назад

      Kwahiyo nyimbo zake za ndoa alikuwa anamuimbia nani? Anawahubiri watu kitu asichokiishi?

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 6 месяцев назад +4

    Mtumishi kasian umesema vzr Sana Mungu akubariki

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 6 месяцев назад +2

    Freemason wameharibu biblia hairuhusu mwanamke kuwa mchungaj wanawake wachunge nyumba zao Hilo ni agizo la mungu 1timotheo 9_13 Toto 2:3_5 tuirudie biblia

  • @AngelAgai-x3c
    @AngelAgai-x3c 6 месяцев назад +3

    Umesem ukwel mtupu mtumishi

  • @stellambilinyi5402
    @stellambilinyi5402 6 месяцев назад +1

    Amen

  • @charitymutungi0013
    @charitymutungi0013 6 месяцев назад +3

    I agree with you...Christina Shusho anasema tu uongo....Amepotea huyo

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 6 месяцев назад +1

    Jaamani kristina shusho. Wameachana mumewe. Mmmmmh dunia hiii

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 6 месяцев назад

    Thanks to God because he is not a man. Mungu kama angekuwa kama mtu kwa jinsi alivyo mtu asingetupenda kabisa. Asante Mungu kwa hii Yohana 3 :16. Watu wengi wanaingia kwenye jaribu na kutenda dhambi kwa sababu hawajui jinsi ya kumrejesha mtu ambaye kaingia kwenye tatizo la kiroho ktk maisha yake. Comment nyingi zinaishia watu kutenda dhambi kwa matusi, dharau na shutuma kwa mkosaji. Galatia 6 :1 itawahukumu sana.

  • @ezekielmahinyila381
    @ezekielmahinyila381 6 месяцев назад +6

    Uasi kupitia uimbaji haujaanza leo... Muasisi wake ni Shetani alipoongoza sifa Mbinguni na kuupata umaarufu kwa malaika na mara zote wanapata ushawishi na kuondoka na wafuasi kama shetani alivyoondoka na ⅓ ya malaika kwa mujibu wa bible...kwa hiyo...unapokuwa kwenye industry ya muziki/uimbaji unatakiwa uwe very careful lazima ufike stage ya kuasi baada ya kuupata umaarufu...

    • @julianawilson8179
      @julianawilson8179 3 месяца назад

      Af kweli kabisa umenikumbusha hapa, kwamba shetani baba wa uasi ndiye chanzo, very true. Mungu awasaidie waimbaji aloo, wasimfate lusifa

  • @Nambeyebeauty
    @Nambeyebeauty 6 месяцев назад +2

    Kweli Baba

  • @osmundmlowe3735
    @osmundmlowe3735 6 месяцев назад +1

    Hii nini sasa km tulisema Bwana amesema kweli mke moja na mme moja Leo tunaacha mme wa Ndoa na kwenda kwa kahaba ,basi asiseme chochote kuhusu Yesu any amaze na kabisa na hukumu

  • @JeremieMulungula
    @JeremieMulungula 6 месяцев назад +2

    Mungu akubariki na kukuzidishia Kwa ufunuo huu. Dunia itapita na mambo yake yote alakini Neno la Mungu halita badirika litabaki imara.
    Angeliomba tu musaha kabla fimbo ya Mungu hajaipata

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 6 месяцев назад +3

    Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya kizazi hiki mtumishi

  • @DM_15
    @DM_15 6 месяцев назад +3

    Shusho kasha onja utamu wa shetani bwana, siunajuatena shetani nae bingwa wa swaga

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 6 месяцев назад +1

    Pascal, wimbo wako wa nikumbuke ulinivusha mahali

  • @RedsExpelius
    @RedsExpelius 6 месяцев назад +3

    Amina ni kwer kabisa mtumisha wamungu pasko kasian

  • @martinkijazi6220
    @martinkijazi6220 5 месяцев назад

    Katika hili, Tuwaombee tu, maana inasikitisha sana, wale wa rohoni wanafahamu hili.

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 6 месяцев назад +2

    Hawa wachungaji utadhani yeye ni malaika, ukifatilia utakuta yeye ni mla kondoo. Mtu anaye fatililia mambo ya wengine ni hatari sana. Sasa maisha ya Shusho yana kuhusu nini??? Huyu anatafuta kiki nameona mjinga na Mungu amsamehe.

  • @irenemark6908
    @irenemark6908 5 месяцев назад +1

    Kuachana na mume au mke sio tatizo ili mradi usiende kuoa au kuolewa tena basi hivo wamuache dada wa watu maana wanaweza kumponda mawe wee kumbe mwenyewe kaamua kutoka na kusimama yeye kama yeye sio kila anaetoka kwenye ndoa anaenda kuwa kahaba jamani punguzeni hukumu

    • @emmanuelshilagi3302
      @emmanuelshilagi3302 3 месяца назад

      wasiwasi ni kwamba ataushinda mwili kwa tunayoyaona je atajilinda maana ukamuacha mke au mume yampsa mtu asimame sawasawa

  • @hurumakaminyoge4209
    @hurumakaminyoge4209 6 месяцев назад +1

    Ubarikiwe baba

  • @clementmgiga6438
    @clementmgiga6438 6 месяцев назад +1

    Vipi kuhusu Paulo Mtume aliyemtumikia Mungu bila kuwa na ndoa?na wengine wote wanaomtumikia Mungu bila ndoa je wanafanya upagani?bado mtumishi wa hujaliweka sawa jambo la ndoa!! Ndoa ni kwa ajili ya mwili,ni mahitaji ya mwili,na anayeikakataa ndoa maana yake amekataa mahitaji ya mwili tu,namaanisha hapo hajamkataa Mungu.Na bado mtu anaweza kumtumikia akiwa hana ndoa.

    • @johnnganga1559
      @johnnganga1559 6 месяцев назад

      Kaisome biblia vizuri. Hakuna pahali biblia imesema Paulo alikua ameoa tangu mwanzo. Huyu unaye mteteya, amekuwa kwandoa na akakula kiapo.

  • @CharlesZakayo-d5l
    @CharlesZakayo-d5l Месяц назад

    Hapana, Biblia hairuhusu kupeana distance. Inataka mapatano

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 6 месяцев назад +2

    Haleluya

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 6 месяцев назад +1

    Ni kweli mie hapa sijaoleka nilikua naubiri lakini nikawacha kuhubiri Kwa sababu ya majaribu mengi ya wanaume Bado naenda kanisani ila kuhubiri nimewacha lakini nasubuka sana kiuduma

    • @Caroline-mc5ro
      @Caroline-mc5ro 6 месяцев назад

      Ndio dada ata mimi niliacha huduma kwa sababu ya kuwa sina mume kumtumikia mungu bila mume ni vigumu mno kuna majaribu na hauheshiwa

  • @EliseNakamanga
    @EliseNakamanga 6 месяцев назад +1

    Ni kweli kabisa

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 6 месяцев назад

    Ameni mtumishi nimekuelewa

  • @GodfreyMolel
    @GodfreyMolel 6 месяцев назад +2

    Bwana yesu asifiwe mi Nina shauri kitu kimoja tusimuingilie sana shusho ni vizuri tuwe watu hasa wa ku a makini kwa matamshi au kiongea kwenu kwa Nini nasema hivi wengi mnaongea bila kujua yal e ambayo shusho anapitia ktk ndoa yake muwe na hekima ya kuwafariji na kuwatia wenzetu moyo sio kuwachamba hadharani wew unayeongea na ni mtumishi unatfuna bigg unaonyesha Nini kwenye mdahalo mzima warejesheni watu kwa hekima ya kiungu ungekua mzuri na kumpenda shusho ungemfuata nyumbani kwake na kumshauri tuwe na hekima wapendwa

    • @MeryPapi
      @MeryPapi 6 месяцев назад

      Usipokumbuka we mwenyewe ni wapi ulipoanguka,ili utubu hakuna atakaekuambia makosa yako ambayo huyajui na ukamuelewa,shusho anajua anayoyafanya na anaijua Biblia vizuri Ila anaikanyaga kwa miguu yakr

    • @GBachuba
      @GBachuba 5 месяцев назад

      Umenena vema mpendwa hata mi nilisema kama ww mtumishi mmoja akanijia juu ila hekima nibora zaidi mfate mtu zungumza nae akishupaza shingo mwache Mungu atajua amfanye nn

  • @LillianMethodius
    @LillianMethodius 5 месяцев назад

    Nkweli umesema sahii

  • @CamelyneAtsenga
    @CamelyneAtsenga 4 месяца назад

    Mutumishi umeongea poa, na nimekwelewa, pia kuna mafunzo apo kama mawili ivi yamenijenga.
    Lakini Kwa awa kina dada zangu, nawapenda Sana, Kwa nyimbo zao.
    Na ikiwa Wana Mambo mengine, Mimi usema ivi, nasoma ujumbe Tu wanao utoa, maana ata neno lenyewe linatuambia wazi.
    Watatokea, na watakua wenye kujipenda wenyewe, wenye Mambo mengi.
    Nanocha penda nikukumbushe ni hivi, umesema vizuri unawajua, na kumaanisha mnakutana pia.
    Na neno linatuambia hivi, ndugu yako anapopatikana na kosa lolote, mmwendee kwa upole na kumrudisha kwenye njia.
    So naona sio vizuri kumwanika mwenzako kwenye mitandao ulimwengu mzima uyasikie mabaya yake, ambapo tunamjua kama mutumishi anaye tuinua kupitia neno, ju nyimbo zake zote zinatoka kwenye Biblia.
    Kama Mungu angelikua anaanika kila MTU ivyo, basi akungekua na toba.
    Watafute Kisha mukae msemezame, Kisha uwarudishe katika neno, itakua vema kabisa🙏

  • @zipporahngila382
    @zipporahngila382 6 месяцев назад

    Ukiitaji huudumu vizuri uwe na ndoa watu waache kudanganya

  • @estherndunge8377
    @estherndunge8377 2 месяца назад

    Kwani mtu asipokuwa kwa ndoa hawezi mtumikia mungu?

  • @angelamwakimonga8322
    @angelamwakimonga8322 6 месяцев назад +12

    Hii ni kweli kabisa..ndoa na utumishi hua vinaenda sambamba..umeongea ukweli mtupu

  • @SifaKavira-ip3vn
    @SifaKavira-ip3vn 6 месяцев назад +1

    Na hitaji number za huyu mtumishi

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 6 месяцев назад +2

    AMEN

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba 6 месяцев назад

    Kasian Umesema kweri kabsa ndiomaana uliacha mzk wa Dunia

  • @DevothaAmosy
    @DevothaAmosy 4 месяца назад

    Umenena vyema kanisa linaharibiwa kwa mazoea

  • @darcinmubeza1560
    @darcinmubeza1560 6 месяцев назад

    Anaye jizaniya kuwa amesimama aangaliye vema asianguke.

  • @enoskasuku853
    @enoskasuku853 6 месяцев назад +2

    Mtumishi uko kwenye ile kweli,,amen

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 месяцев назад

      Hakuna ukweli wowote. Muziki wa injili utaendelea kumpaisha mama yetu mpendwa wacha muongee sisi tupo nae pamoja. Mungu awaongoze

    • @paulsanga7591
      @paulsanga7591 6 месяцев назад

      ​@@thomaschagula3508watoto wa lusifa mnavyoona mja wenu mpya ankuj mnavyotetea ss🤣

    • @HAPPYSULE
      @HAPPYSULE 6 месяцев назад

      Huwezi muacha mume hafu ukasema mbinguni uende, Kwanza hapo kanisani kwenu anafungishaje ndoa, hapo msitengane hatakifo kiwatenganishe yeye anapasemaje?

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 месяцев назад

      @@paulsanga7591 andika kiswahili kizuri tukuelewe basi kaka.

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 месяцев назад

      @@HAPPYSULE Ni lini umeshawai kusikia ndoa inafungwa hapo tafadhali? If you havent researched you have no right to speak!

  • @amanimargaret.1576
    @amanimargaret.1576 5 месяцев назад

    Shusho alisema huyo mume alikuwa kimutu tu aliyekuwah anapita kisha akapewa tena n mzee , means shusho anataka mtu wa kimo chake barubaru

  • @chrisbertrandnyamusa9549
    @chrisbertrandnyamusa9549 6 месяцев назад +2

    According to the Bible ndoa sio amri ya Mungu. Unapofanya sawa , usipofanya ukawaza kuzishinda tamaa za mwili ni sawa . Sipendi sana watu wanaojifanya ma judges, asa wanaowahukumu watu kwa ku angalia upande mmoja.

    • @DM_15
      @DM_15 6 месяцев назад

      Hilo andiko nikweli linasema hivyo ila unatakiwa kujua swala landoa siolakuonja onja , mtume paulo alisema niheri kuoa kuliko kuwakwatamaa . Nahiohio biblia inakataza kuachana mkisha ungana

    • @desolz3809
      @desolz3809 6 месяцев назад

      Tupe kifungu😂😂😂

    • @chrisbertrandnyamusa9549
      @chrisbertrandnyamusa9549 6 месяцев назад +1

      @DM_15 kuna watu walipoteza maisha kwa ajili yaku stack kwenye ndoa zao na ungali mambo yako vibaya sana kwenye ndoa. Kuna wengine walipata hadi mental problems kwa ajili ya ndoa.

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 6 месяцев назад

      @@chrisbertrandnyamusa9549hicho sio kigezo…haulazimiwishi kuoa au kuolewa kama ulivyosema kuwa ndoa sio amri. Lakini ukishaingia kwenye ndoa, ni mpaka kifo..au ikitokea ukamuacha mke au mume, basi huruhusiwi kuoa au kuolewa na mwingine wakati yule bado yu hai. Biblia imeweka hivyo na hakuna wa kubatilisha. Haya ya kupigana na kuumizana, hayabatilishi kile alichosema Mungu. Watu watakuhurumia na kukwambia ondoka kaoe mwingine au kaolewe na mwingine. Lakini Biblia inasemaje kuhusu hilo? Lakini unapokosea kuoa au kuolewa, unawajibika kwa uamzi uliyofanya. Hapa huwa tunataka watu watuhurimie, lakini tunasahau wakati tunafanya maamzi hatukumshushirikisha hata mmoja. Kwenye sheria kuna usemi usemao kuwa “..kutojua sheria si utetezi iwapo utavunja sheria mojawapo…” lazima uadhibiwe kwa mjibu wa sheria.

    • @jmat82012
      @jmat82012 6 месяцев назад

      I admire your wisdom. This are not ministers.

  • @mwajabumbajo6560
    @mwajabumbajo6560 6 месяцев назад +2

    Mpaka katoka kwenye ndoa tena ya muda mrefu, my dear is not a joke! Kwa wanawake hujue mwanaume anashida tena kubwa, wanajificha tu kwenye vivuli vya uchungaji,. Huyu Shusho tumuache!!!!

    • @Mchungaji883
      @Mchungaji883 6 месяцев назад

      Nahisi nawewe unatabia kama za shusho

    • @happymvula
      @happymvula 5 месяцев назад

      Unamjua mzee shusho hata kidogo? Unamjua Christina? 😂

    • @mwajabumbajo6560
      @mwajabumbajo6560 5 месяцев назад

      Hawa watu wanaoitwa watumishi ni binadamu kama sisi, na sio Malaika, na hawaishi mbinguni tunaishi nao hapa duniani, wengine ni majirani zetu, jamaa zetu, marafiki zetu, ndugu zetu, yaani Wanamatukio Huku mpaka tunabaki midomo wazi, but mwisho wa siku Mungu ndiye Judge!.

  • @darcinmubeza1560
    @darcinmubeza1560 6 месяцев назад +1

    Kama ndugu tena watumishi wa Mungu amupashwi kukosowana, kulaumiana, kuukumiana na kupigana mikuki kwenye mitandao.

  • @AhamadiKikuji
    @AhamadiKikuji 5 месяцев назад

    Hakuna mungu wa hivyo anayekuachanisha na mume ili ukamtumukie huyo ni shetani

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 6 месяцев назад

    Huyumtotnimzuri bwana hawezikaanamtu asiye vyema kimweli injili nichakulacharoho lakini kuna chakula chamili kimpasachumume kumpa mkewe sasa labdajamaahana

  • @Oreshan-l3f
    @Oreshan-l3f 6 месяцев назад +1

    Ama alivuka Ile upande mwigine

  • @GodfreyMwamaka
    @GodfreyMwamaka 6 месяцев назад +2

    Arudi kwa mumewe

  • @zipporahngila382
    @zipporahngila382 6 месяцев назад

    Huduma bela ndoa nigumu uzizi lazima

  • @FaidaBuhendwa-i6m
    @FaidaBuhendwa-i6m 5 месяцев назад

    Ameanguka uyo malaya

  • @HappyBalkhHound-ue6zh
    @HappyBalkhHound-ue6zh 6 месяцев назад

    Ndoa yako kama imesimama shukuru

  • @marymosesk9871
    @marymosesk9871 6 месяцев назад +1

    Kwakweli umenena vema sana

  • @esperenceamris
    @esperenceamris 6 месяцев назад +3

    Safi sana baba

  • @eddahlitunda1038
    @eddahlitunda1038 6 месяцев назад +3

    Stop chewing

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 6 месяцев назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 6 месяцев назад

    Neno chungu lakini la kweli