Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.1Wakorintho 10:21.Tubuni basi Christina mrejee neno la Mungu ,ni dhambi kutoka kwenye ndoa
Mimi sioni kwa nini watu wanaelewa vibaya? Nadhani mmueleze cha kufanya. Shushu alibabaika pesa tu. Pesa zilimuuza Yesu lakini mimi nadhani aliropoka tu.
This is the time to serve Almighty Father God in truth and Spirit John 4:23 Lakini saa inakuja,nayo sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli ,kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu
Tabia mbaya sana kwa mwanaume anayejitambua kuongea mbele ya hadhara huku akijitafuna tafuna, akila chew gum, au kuwa na tooth stick mdomoni. Tafadhali jiheshimu na rekebisha tabia hiyo!
@@HamisAbdallah-cj2sc Bahati mbaya hujui "good.manners"! Hivi mfano mko mezani mnakula chakula mwenzako anatoa kîtambaa anapenga kamasi utauona ni sawa? Kusikiliza na kuzingatia kauli ya mtu inaendana na yeye mwenyewe anavyojiheshimu, kujiadabisha na kujiadilisha. Huwezi kumkuta mtu amesimama barabara huku anakojoa ukasimama kumsikikiza hata kama maneno yake yana maana bila kumkosoa kwa kukosa adabu, kujidhalilisha na kujifedhehesha mbele za watu!
Tabia mbaya sana kuzungumza kwenye hadhara ukijitafuna tafuna. Mwanaume anayejitambua hawezi kujiachia kwa tabia ya kuongea huku anakula kula namna hii!
Hapana Mtumishi Paschal Cassian,uhusiano na watu wa giza na watu wa Nuru haupo ,2 Wakorintho 6:14-15 ,Ibilisi ni muongo ni muharibifu ..umaarufu sio mzuri akikup support Ibilisi wapo watumishi wa Mungu ambao wangempa support Yohana 10:10
Kristina mimi ninakupenda sana, sihitaji usemwe vibaya kila kona, Nakuomba tafakari ushauli wangu, urudi kwa mumeo, kamwombe msamaha kutamka neno kutengana na mumeo, hilo sio neno rafiki na mwenyez mungu. Furaha ya duniani ili izidi zaidi ni kuvumiliana ktk ndoa, muwe marafiki wana ndoa pendaneni. Mimi nitafurai nikisiki umerudi kwamumeo na umemwomba msamaha. Na kuomba msamaha sio ujinga ni kufunika kombe mwana haramu apite, na mwana haramu ni ibilisi.
Wewe Cassian usiongee ukitafuna big G.This is mannerism.Ni tabia mbaya sana uwe mstaarabu unaleta kinyaa kuonekana unabig G mdomoni jamani.Ni mbaya sana.Acha mara Moja.
1 wakorinto 15:33,34 Msidanganyike: “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.” 34 Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu.
Isaaya5:11-14.kwa hiyo kuzimu kumeongeza tamaa yake,kumefunua kinywa chake bila kiasi na utukufu wao,na wingi wao,na ghasia yao,naye pia afurahiye miongoni mwao,hushuka na kuingia humo.
Nafsi ya Christina Shusho 1Wakorintho5:10 Sisemi msichangamane kabisa na wazinzi wa dunia hii ,au na wenye kutamani,au na wanyang'anyi,au na wenye kuabudu sanamu,maana hapo ingewalazimu kutoka katika dunia.diamond anabudu sanamu za kuzimu underground
Tatizo hapa wakristo wengi humu hatujakuwa kiroho, Ila haramu ni haramu, tuache kuwaka tamaa za dunia kwa kuangamiza ukristo kwa kuficha ukweli, mtumishi huyu anasema kweli ya Mungu
Kwakweli Kuna haja watu kuhakikisha kama unafaa kuitwa mtumishi Sasa Kristina shusho amekuambia ametengana na mume wake?na je kuwa mwita daimond pasta amekosea Nini?anatabiri kuokolewa kwake?nuru inaang'aza kwenye pishi au uvunguni huyu mtumishi ni mzinzi yaani yuko mwilini na wenye ufahamu atafahau huyu mtu anashida
Kwenye hilo swala la kwenda mbinguni mm nitambishia unaweza kwenda MBINGUNI na ukarudi mbn wapo wanaoshuka kuzimu kila sku Kwann MBINGUNI wasiende watu wanaenda MBINGUNI kiroho na kurud tena karibia kila sku
Tuache hizo jamani huyo mama alikuwa kibiashara na TV ya wasafi sherehe ya pasaka sasa blabla ni nyingi sanaa huyo mama kama alikuwa na tabia njema hawezi badilika.
Hapana jamani christina hawezi kuacha mungu na ndoa yake eti kwa ajili ya Diamondi huyo Diamondi kachezea wanawake wangapi duniani na kuwateketeza? Labda kuna kitu kingine tuu kilicho mfanya yeye atengane na mumewe
Christina shusho...Imba wimbo yako "Nisamehe" 1st album... your song was prayer for couples.Not too late , REPENT .. remember ,Satan work ..Steal , destroy and kill
Very well spoken and a very good advice to Christina.Shusho
May she a rise timely and do the right thing before its too late❤
Jamani mungu yuamjua Christina vizuri kulko yeyote yule mmuachen I fanye kaziyake
Ni kweli kabisa usemayo !
Tusiingize ushabiki bali tuombe neema ya Mungu itakayotuonesha
Ukweli na kuijua kweli ya ya Mungu
Tusitekwe na nguvu ya ibilisi
Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.1Wakorintho 10:21.Tubuni basi Christina mrejee neno la Mungu ,ni dhambi kutoka kwenye ndoa
Christina Shusho : The cry you will cry when the saints (HolySpirit) have gone Cry it now while the saints are still around.
Mimi sioni kwa nini watu wanaelewa vibaya? Nadhani mmueleze cha kufanya. Shushu alibabaika pesa tu. Pesa zilimuuza Yesu lakini mimi nadhani aliropoka tu.
Tafadhali kama hauna cha kuongea acha kuongea. Ongea vitu vyenye uhakika. Mungu anakuona acha kumsingizia mtumishi wa Mungu vibaya.
Since that day.christina shusho.ebu tushugulike nafamilia zetu.
Haya maneno mnayoyasema nannianawalipa kilasiku kusungumsiya mtu kilasiku hakunashakuvanya😢😢😢
Unasema sahihi sanaaaaaa ni vizuri ambiwe ajue
This is the time to serve Almighty Father God in truth and Spirit John 4:23 Lakini saa inakuja,nayo sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli ,kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu
Maa shaa Allah
Mungu akusaidie
Only God who will judge this
Ni kwasbabu siyo mkeo
Miaka 5 mbela atakuwa mzuri kuliko sasa!
Huyu Christina amen Tereza period
Uko mwishoni umezunguza viZli sana❤
Tabia mbaya sana kwa mwanaume anayejitambua kuongea mbele ya hadhara huku akijitafuna tafuna, akila chew gum, au kuwa na tooth stick mdomoni. Tafadhali jiheshimu na rekebisha tabia hiyo!
Watu bwana badala ya kusikiliza anachokisema pasko wao wanaangalia anachotafuna nakumkosoa kosoa anachosema sio anachotafuna
Anatafuna bogoka
@@HamisAbdallah-cj2sc Bahati mbaya hujui "good.manners"! Hivi mfano mko mezani mnakula chakula mwenzako anatoa kîtambaa anapenga kamasi utauona ni sawa? Kusikiliza na kuzingatia kauli ya mtu inaendana na yeye mwenyewe anavyojiheshimu, kujiadabisha na kujiadilisha. Huwezi kumkuta mtu amesimama barabara huku anakojoa ukasimama kumsikikiza hata kama maneno yake yana maana bila kumkosoa kwa kukosa adabu, kujidhalilisha na kujifedhehesha mbele za watu!
Chukua fact achana na kujitafuna
Please naomba version ya pili na Mtumishi huyu. Shukurani
Cassian jifunze kuwa smart unapofanyiwa interview. Kutafuna tafuna wakati unaongea na ulimwengu ni Dalili ya UCHAFU.
Kula ni uchafu ?
Mlevi tu mmoja unaleta maada ya kipuuzi sikiliza anachosema
Nikujiamini brother
hah ha kama ni mtu wa nyumbani kwetu
Ukweli
Repetence is now, while the saints are still in the world
Point bro utafika mbali
Yupo mtumishi mmoja alisema ukiona kila siku unazungumziwa kila siku bas ujue wanakuinua
Kwahiyo hata kinyesi kikisema sana kitakuwa dhahabu?
Makumbwa
Ni tabia mbaya mtu na heshima yake unaongeya na ubani mdomoni bad manners
Acheni kukuza jambo bana nyie kila kitu kibaya fata maisha yako iwe bad manners hio sio shida yako mind your own business..
@@IdarousPossyit’s unprofessional hata wewe mind your business. This is a social media platform, everyone has a right to express their intuition
@@madagascar8873 hujitambui..nikheri ungekaa kimya ukaonekana mwenye busara kuliko kuongea na kuonesha kiasi cha ujinga uliokua nao
Aki huyu c anaudhi,unaongeaj3e na kutafunatafuna big g.
Tabia mbaya sana kuzungumza kwenye hadhara ukijitafuna tafuna. Mwanaume anayejitambua hawezi kujiachia kwa tabia ya kuongea huku anakula kula namna hii!
Hapana Mtumishi Paschal Cassian,uhusiano na watu wa giza na watu wa Nuru haupo ,2 Wakorintho 6:14-15 ,Ibilisi ni muongo ni muharibifu ..umaarufu sio mzuri akikup support Ibilisi wapo watumishi wa Mungu ambao wangempa support Yohana 10:10
Tina ndoo alipofikia nuru na giza havichangani diamond atampeleka motoni
Ni wakati wakuomba Mungu aturehemu sana nyakati hizi ni mbaya
Kristina mimi ninakupenda sana, sihitaji usemwe vibaya kila kona, Nakuomba tafakari ushauli wangu, urudi kwa mumeo, kamwombe msamaha kutamka neno kutengana na mumeo, hilo sio neno rafiki na mwenyez mungu. Furaha ya duniani ili izidi zaidi ni kuvumiliana ktk ndoa, muwe marafiki wana ndoa pendaneni. Mimi nitafurai nikisiki umerudi kwamumeo na umemwomba msamaha. Na kuomba msamaha sio ujinga ni kufunika kombe mwana haramu apite, na mwana haramu ni ibilisi.
Toa gamu basi baba Cassian. Interview 1,2,3 gamu toa baba
Tumuachie Mungu ashughulike nalo, usimuwekee mipaka Mipaka ya Miaka 5.
Ñimuhimu kukemea Kama mtumishi mtu akienda ndivyo sivyo
Wewe Cassian usiongee ukitafuna big G.This is mannerism.Ni tabia mbaya sana uwe mstaarabu unaleta kinyaa kuonekana unabig G mdomoni jamani.Ni mbaya sana.Acha mara Moja.
1 wakorinto 15:33,34
Msidanganyike: “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.” 34 Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu.
Isaaya5:11-14.kwa hiyo kuzimu kumeongeza tamaa yake,kumefunua kinywa chake bila kiasi na utukufu wao,na wingi wao,na ghasia yao,naye pia afurahiye miongoni mwao,hushuka na kuingia humo.
😢😢😢Ooh God have mercy
Casian acha kutafuna Gum ukiwa mbele ya Camera
Tafadhali sio vizuri kuongea maneno maalum mtu akiwa akitafuna
Gonga like 🎉🎉🎉❤❤
Ni kweli kabisa! Ki shetani alimuingia.
Unafanyiwa interview unarafuna kama mtoto mdogo
Unaandika kifaransa hapa shem on
Zungumza kuhusu mambo Yako usizungumzie ya wengne
Acha kumnenea vibaya Christina shusho.
Brother umeongea vuzuri.....lakini acha na ubazokazoka.unapoongea mbele ya watu achana na hayoooo
Mbona Diamond asemi? Msimsemee sana. Hayo yeye ni ya kawaida. Ukijichomeka, atasahau. Wala hakimbuki.
Mtumishi Cassian kwenye kipengele cha kuchukuliwa mbinguni au kuzimu ni jambo linalowezekana hapo hata Bible imezungumza
Yoeli 2:28-30
2Kor 12:1-4
Casian hujafika Congo wewe,Kila mwanamke Congo anapenda Make ups hadi wanaume hivyo hatumshangai Christina Shusho kupenda Make ups
Nafsi ya Christina Shusho 1Wakorintho5:10 Sisemi msichangamane kabisa na wazinzi wa dunia hii ,au na wenye kutamani,au na wanyang'anyi,au na wenye kuabudu sanamu,maana hapo ingewalazimu kutoka katika dunia.diamond anabudu sanamu za kuzimu underground
Kama fala vile anavyotafuna big g
Sio kosa lako
Sasa Christina ana watoto ...kweli uyu diamond atakaa naye kweli??????
Diamond atmuacha vile naatomgozo wengine...
Liviathan spirit inamusumbuwa sana.
Tatizo hapa wakristo wengi humu hatujakuwa kiroho, Ila haramu ni haramu, tuache kuwaka tamaa za dunia kwa kuangamiza ukristo kwa kuficha ukweli, mtumishi huyu anasema kweli ya Mungu
Kweli mongy kspots hinajulikana
Namwambino anatumia wanake tuu kashanyanduliwa
Jinsia na umri ukomavu wa sura havikube naunachokifanya usifanyetena kha
Maandiko yanasema Husihukumu kabla uja ukumiwa
Shusho aulize rose mwando alipitia nn let us repent Jesus is coming
Yaani mimi imebidi ni mute nikataka nimtukana na mshukuru Mungu nikajirudi hatakumsikiliza naona aibu kubwa zima ustarabu huna jufunzwa
Hapana. Christina atachekesha. Hajaachana na mume wake, bhana. Shetani ashindwe. Kwa Diamond tena!! Hahahahah!!
Mungu asaidie Christina kufungua Hilo , Hata zeeka tu Bali Atakufa Hilo ni lengo la Shetani, Maana Nuru na Giza havichangamani kabisa
Siyo heshima kutafuna tafuna shingome wakati yenyi interview inayopita dunia nzima mtumishi🙏
Ndugu,, ikiwa hauna injili yakuwafanikisha washirika wako,, huyo Mungu muulize tena
Mke malsya ni malaya aijalishi ameolewa na nani christine alijisaau kuo yy ni bibia mchugaji
Tabia mbaya vp
Vile ndugu yetu amesema iko kwenye mahojiano kwenye tv na iko anakula ubani
Unatafuna,Dawa?
Siklizeni ujumbe anao utowa msimaindi kutafuna mnakua kama watoto wa kufkili
Umeongea sana mekapu ina zeesha sana tena sanaaaa
Eti Christina Shushu, jina lenyewe hujui kulitamka
Kwakweli Kuna haja watu kuhakikisha kama unafaa kuitwa mtumishi Sasa Kristina shusho amekuambia ametengana na mume wake?na je kuwa mwita daimond pasta amekosea Nini?anatabiri kuokolewa kwake?nuru inaang'aza kwenye pishi au uvunguni huyu mtumishi ni mzinzi yaani yuko mwilini na wenye ufahamu atafahau huyu mtu anashida
Huyu jamaa ni mentally very smart.
Aliolewa kw kukazmishwaaaaaaa nalikuw na umri mdogo
Unauhakikagani?
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwenye hilo swala la kwenda mbinguni mm nitambishia unaweza kwenda MBINGUNI na ukarudi mbn wapo wanaoshuka kuzimu kila sku Kwann MBINGUNI wasiende watu wanaenda MBINGUNI kiroho na kurud tena karibia kila sku
😂😂😂tako wewe
Hatari hata mimi nataka kwenda mbinguni na kurudia ili nisimulie ya mbinguni nisaidieni wa ndugu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuache hizo jamani huyo mama alikuwa kibiashara na TV ya wasafi sherehe ya pasaka sasa blabla ni nyingi sanaa huyo mama kama alikuwa na tabia njema hawezi badilika.
Ukweli mtupu
IT IS VERY bad manners to chew gum while speaking in public.
Pia dhambi inazeesha zaidi hilo ni anguko la kiroho kwa dada yetu arudi alikotoka.
Huyo baba alikua na tamaa tu kuoa mtoto kaa mtoto wake kwann akuona ahibu kuoa mtoto na sasa Ac,,one ahibu kuwashwa?
Christina yupo sahihi hataki dhambi acheni maneno...
Kutamka kwa mdomo sio hoja hila kuyatenda usemayo ndio tunaangalia
Kuacha family ni dhambi
Kutafuna jojo umezingua sana umetukela nchagu nchagu huoni na unaelezea umekuwa kama mtoto japo unazungumza fact usirudie unawakela watu.
Suluhisho....aende gym awe mrembo na atafute media's Na aendelee kuimba Na kupiga injili
Hapana jamani christina hawezi kuacha mungu na ndoa yake eti kwa ajili ya Diamondi huyo Diamondi kachezea wanawake wangapi duniani na kuwateketeza? Labda kuna kitu kingine tuu kilicho mfanya yeye atengane na mumewe
Mbona huyujamaa unafatilia maisha ya watu
Too much. Is because they don't mind their business. Too much hatred and jealous now all over the world. 🙃😢😢😢
Shusho anafuata media bora hakuna cha zaid
Wewe pia hauna adabu,kwani unatafuna miraa.
Mnamuhukumu mno,,,,acheni kumuhukumu
Wales mnao hukumu,niwambie hivi,kitanda usichokilalia haukijui mvunguni mwake
Kwani kutafuna inahusiana nini na kuongea mbona anasikika vzuri tu au ndo wale mnapenda kutafutia watu makosa acheni hizo bwan
Leo ndo kidogo nimekuelewa unaongea kistaarabu kuliko siku zote
Kwani hamjui kwMba washanyanduana
Hiyo gam unayokula huku unafanya enterviw ni uboya umeniuzi sana kama bwege bhana
Yaani anatuzalilisha sana watu wa umri wake hayo mambo wafanye watoto wa kike tena wafanya kwa mapozi wakitilisha mvuto sio ww bwana
Kwer kabc
Uyu anakula pick namdomo kama kuma
😂😂e😂😂😂
Christina shusho...Imba wimbo yako "Nisamehe" 1st album... your song was prayer for couples.Not too late , REPENT .. remember ,Satan work ..Steal , destroy and kill
Uvaaji wa cristina shushu unatia shaka.
Izo ni dharau kuongea mbele ya media uku unajitafuna.
Not good aisee
Casian hivi hata hujione kuwa unatuboa sana kwa kutafuna tafuta hadharani?
Kwanini unakua hivyo ndg??
Jamaa alitafuta. Kabint kadogo😁😁
wakwanza yeye? wapo wengi tu waliolewa na watu wamewazidi 12+ lakini waliishi vizuri tu, tatizo ni la christina mwenyewe umri aachane nao
19 kuolewa sio mdogo
Kila mtu ana dhambi zake kuolewa nakuokoka Ni uwamuzi wamtu Tana oa MKE wa umuri wako uepuke lawama alipota BB kwtamaa tu,
Mbona wewe una danga na mtu umri wa baba yako
Uyu dada shusho jinsi alivyo mzee shusho autamuweza wewe inaonekana kwake uwe ndani naye uyo dada Malaya mzee mwenzangu muachie Mungu atakupa mtu ambaye utaendana nae
Kavamiwa nashetani uyo
Mbona mambo ya watu yanawakosesha wengine usingizi 😂😂kafuatilieni ya kwenu mtapoteza muda kama alichukua huo uamuzi ni wa kwake hukumu achia mungu