Mama Rose na Christine why why mnapotea kweli when I see this clip I started 2 cry 😢 😭 😫 mbona roho wa mungu hakunena ndani yenu hizi hela rudishine please
Tatiso watu wengi umasikini inawasumbua mtu akifanikiwa mnaonqeya mengi wajinqa Sana njiye hata shetani anawashwa Sana baba nabii mkuu amebarikiwa Sana
siyo biashara Gospel Music pia inahitaji pesa unadhani studio watu wanaingia bure au..au msanii kusafiri kwenda kwenye huduma anapaa think twice tuko kwenye kipindi ambacho pesa is more needed kufanikisha mambo
Da Tina Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu tafakari hizi comments za watakatifu wa Mungu kisha chukua hatua. Hua nawaza uimbaji unamgusa Sana Mungu ndiyomana una vita Kali, wengi wanaanza na Mungu na kumaliza vibaya, ona hata shetani naye alikua muimbaji. Mungu tupe neema yako tumalize salama🙏
Maandiko lazima yatimie,,,,na hizi ndizo shuhuda tunazoshuhudia Imeandikwa:siku za mwisho watu watapenda pesa, na lundo la manabii wa uwongo watatokea, na watamtoa pepo kwa jina na la Yesu naye pepo atatoka. Wakristo wasome maandiko kuwatambua hawa Nabii waongo,,,tumeambiwa tutawatambua kwa Matendo yao,,,haya ya hawa manabii ni ushahidi tosha wa maandiko kutimia. Tuamke Wakristo,,,makanisa ya leo badala la kuwa nyumba ya ibada yamegeuka manyumba ya biashara na taasisi za kipesa kwa viongozi kutakatisha pesa za waumini.
Ni Unabii wa ukweli huu -Kusema Wapinga Kristo hata sasa wapo na katika siku za mwisho Watatolewa ili waonekane Hadharani/✍️✍️✍️ Nimemkumbuka pia yule ambaye alishuhudia kwamba hata waimbaji wapo kuleeee.....
Kabisa kabisa msifumbie macho uovu katika Marko 13:22"Kwa maana wataondoka makristo wa uwongo na manabii wa uwongo watatoa ishara na maajabu wapate kuwadanganya kama yamkini hata hao wateule" ndo kama hao waimbaji tulio waamin ndugu zangu msishtuke biblia imesema yote tuombe toba Mungu airehemu Tanzania😥😭😭😭🙏
Kaka true afu hao wengne mapepo yanavaa miili yanazaliwa yanazaa yanaeza yakawa wachungaj mengne wanamuzk wengne wakawa hata wapga debe ilimrad kuipotosha dunia isifklie Utakatfu na kujiandaa na kifo bali wafkilie Mali za dunia hii nakuiona dhambi ni ktu chakawaida mwshowe wanadamu halisi kuiga matendo yao wakdhan n wanadamu wenzao kumbe mapepo.
@@meckmbilinyi6077 1 Timothy 6:9-10 9 But those who desire to be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and harmful lusts which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is a root of all kinds of evil, for which some have strayed from the faith in their greediness, and pierced themselves through with many sorrows.
Kuriko kuombea Mungu amupe macho nahakiri arudi kwa Yesu Christana muna matukunaka please Kama kweli umeokoka simama kwa kuombea hawa watu Shetani anatuiba.janet From Rwanda love Jesus 🙏🏼
Jamani wanamaombi naombeni tumuombee Christina kuna vile aliharibu sana kazi za Ibilisi akafika mahali akampa adui mlango akamuweza sasa tusiishie kumlaumu mtu akianguka kanisa likiomba kwa bidii ataachiwa mm sioni kama niakili yake au Roho Mtakatifufu anamuongoza hapa japo yeye anaona yupo sawa kuna wale mnanielewa!!
Hapo kanisani Kuna watu wanalala njaa,na wanatoa kidogo walichonacho kwa kushawishiwa na nabii,mwishowe pesa wanapewa watu wengine na hao wanashangilia tuu km mazuzu..Ee Mungu tusaidie
Christina,binti wa Mungu aliye hai.Mungu alikuchagua na kukufanya chombo cha sifa ili kwa kipaji chako jina lake Jehovah lihimidiwe.Ulipo leo ndio ulipotakiwa kuwa?umemwacha Mungu aliyekuokoa.Vua hizo pete zote,mrudie Mola wako
1 Timothy 6:9-10 9 But those who desire to be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and harmful lusts which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is a root of all kinds of evil, for which some have strayed from the faith in their greediness, and pierced themselves through with many sorrows.
MUNGU.unaejibu kwa moto.mwenye ahadi za kweri tunaamini katika matendo Yako na neno rako ulilo sema.wanamacho rakini hawaoni Wana masikio rakini hawasikii.tusaidie.MUNGU wetu mwenye kutukomboa na huovu huu unaofanyika mbere ya macho Yako tusamehe.JEHOVA HIRE.
Christian shosho amepata tamaa ya pesa na ukubwa anainamie mathabahu za kishetani na sio kwamba hajui na kumsimu zaidi ya Mungu pengine ameungana na ufalme wa giza tubu Sana wewe mama
I used to love Muhando and her song nibebe when i was younger,But not now,Sijui hata wimbo mmoja wa huyu shusho ila jina nafahamu ni mwibaji,Mimi si fun wao hata Kidogo,Niligundua wengi wao wanamtumikia shetani na ni wanafiki,Kwa hivyo hata upako uliobembwa na nyimbo zao ni wa kishetani,.Tenzi Rohoni mpaka leo na kesho, Wengine am never a fun
Nakumbuka Kuna wakati Askofu Gamanywa alikuwa anamwombea Godwin Ombeni madhabahuni mahali Fulani halafu akasema hivi "Mungu alinisemesha niongee na waimbaji wa injili wenzako wamekataa " Naanza kuelewa maana ya Ile sentensi. Hakika mteule shika sana ulichonacho.
Yaani ata nikitazama siamini nyimbo zake zilikuwa zimejawa roho mtakatifu ukiimba unaingia rohoni lkn sai NI tofauti ,Heri mwisho mwema wapendwa vyote tutaviacha apa duniani ata hayo nawigi hayatuinjizi mbinguni hayo be natural my sister's
MUNGU alijitukuza BRAZIL muda mfupi baada ya shetani kujiinua. MUNGU karibu TANZANIA. Shugulika Na manabii wa uongo watu wameacha kumsifu MUNGU anasifia manabii. Makanisa yamekua kama madangulo. Eee MUNGU tusaidie.
Huyo body guard wa nini tena jamani. Roho Mrakatifu aliye na kanisa mbona anatosha wapendwa? Kitu gani hiki tena Ohhhhhhhh. Mungu wangu na Bwana wangu.
Sishangai haya coz mimi ni mkristo lakini najua kweli Dini moja tuuh, duniani , uislamu,,. Haya mengine yote niutopolo tu usenge utaskia Yesu ni Mungu, ndio maana hata knsani kwenyewe siendagi, siku nikiacha pombe naslimu..
Yaaani ni siku za mwisho ..tunaambiwa mpk watumishi wa liookoka wataungana na manabii wa uwongo,kwasababu ya Tamaa ya pesa...na mbio zote kwenda madhebahu za uongo still mmeambulia milioni kumi..sasa hiyo ni pesa gani yakumfanya mtu kumsaliti Mungu wake..kiukweli nimekuwa disappointed Sana..na hata kanisani kwake asipoangalia washirika watagawanyika..mchungaji gan asiye na msimamo...huna imani na Mungu wako alie hai Dada Tina
Mafarisayo nyie, yaani kila Nabii ni fake, watumishi wa Mungu wanaponyenyekea na kumtafuta Mungu kwa bidii na Mungu anawabariki kihuduma na kifedha nyie kazi yenu ni kuamini tu kila kitu kizuri ni Cha shetani. Je kwani hakuna Mungu mbinguni anayeweza kuinua watumishi na kuwabariki namna hi?? Haujapenda vile ametoa million 10 kwaajili ya kusupport kazi ya Mungu. Kumaanisha angetoa hio pesa ili ajenge ufalme wa shetani hapo wewe ungeshangilia mpaka meno yote yaonekane kwa sababu wewe sio shabiki wa kazi ya Mungu, unashabikia shetani!!!! Ushindwe na usipige watumishi wa Mungu wanapofanya kazi kwaajili ya kujenga mwili wa kristo.
Mark 8:36-37 36 For what will it profit a man if he gains the whole world, and loses his own soul? 37 Or what will a man give in exchange for his soul?
@@mwitaagness455 Hatuhukumu wajua wakati huu nikumwambia Mungu atengeneze mioyo yetu aondoe kila uchafu sasa kama utaenda kwa nabii mweny kila mtu yuajua ni nabii wa uongo atakusaidia na nn Je ni kitu gani cheny Jeodav yuafundsha cha kukusaidia kukulia wokovu 😔
@@carolinederi5690 ni kweli lkn imefika mahal hatujui hata mkwel ni yupi na muongo ni yupi, tumuombe Mungu atupe macho ya rohoni...ila huwa naogopa sana kuhukumu moja kwa moja.
na apo akiambiwa kama amemshujudiya mwanadamu atajieleza,Ila shusho amepoteya kwani uyo ni baba,baba ni mungu,eti naomba nguvu ,nguvu ni za mungu sio zawanadamu
Hapana, usiseme hivyo ndugu, mimi na wewe hatumjui christina shusho, na wala hatujawahi kuonana naye live wala tumsikie angalau tuweze kumjua vizuri. Ogopa sana kumhukumu mtu usiyemfahamu, mimi na wewe tusiwe wepesi wa kuhukumu.
Ulitaka akaende wapi kuomba mchango wake mm binafsi nampenda sana huyu dada katimia akili nyingi tatizo mambo ya Hela so mambo ya kiroho hata sheee anaombwa iwe nabii zazima atoe hii ni kazi ya Mungu tutasikiaje huduma yake sasa kama watu wenyewe wanaojiita wapo kiroho hawachangi na mabahili sana acheni wivu kuredi studio wimbo 150000 video nzuri wimbo Moja 1000000 unataka afanyaje mwacheni dada wa watu kwahiyo kama nabii wa uongo asitoe pesaa? Hii ni nzuri nimependa anajua kucheza na watu wenye Hela
Dhaaa hakika wewe mbaba upo kuvuna wengi, yaaani Christina sikukutegemea na wewe kuwa ungeangukia mikononi mwa ibilisi , dhaaa kweri pesa inanguvu shetani
Mungu atusaidie tufike salama sijawahi kuwa mfuasi wa nabii lakini Tina soma comment Mungu akuongoze wanadamu tutasema mengi. Mimi najua Tina kaumbiwa roho ya unyenyekevu hata mtoto mdogo aweza kumpigia goti cjaona shida kwenye hilo. Wanaendaga kuimba hata kwa watu wasiomjua Mungu ili wabadilike. Wewe unajua ulienda kufanya nini ukweli unao Mungu mwema akushike usisahau kusudi la Mungu katika huduma.
Lugha ya nguvu Mimi nimeelewa ni lugha ya tafsida ikimaanisha pesa. Jmn ni hela ngapi zinaletwa makanisani tena za uovu tunapokea kwa ni vile watu hawajui. Tunachofanya Ni kuzibadilisha ziwe sadaka kwa maombi Mungu atusaidie ndio ombi langu. Tumuombee shusho Mungu amsaidie kuishia kumsema hakusaidii.
Mkiambiw huk mnapotea hamsikii dunian din ya mungu kabisa ya kweli ni moja tu ,ni uislam ila kw wenye akili ndy wataamin hilo na walio funguliw na mungu kujua hilo na kam hutaamin hilo bc acha tuendelee kuangamia tu tukif tuishie motoni tu
Mama Rose na Christine why why mnapotea kweli when I see this clip I started 2 cry 😢 😭 😫 mbona roho wa mungu hakunena ndani yenu hizi hela rudishine please
Kweli wamepotea hawana roho mtakatifu wa kuwafunulia mambo hawaelewi watamalizwa kabisa
Walipotea kitambo. Tazama mavazi na maongeo Yao,SASA vitendo...
@@mercyetago4020 ukweli kabisa
Tatiso watu wengi umasikini inawasumbua mtu akifanikiwa mnaonqeya mengi wajinqa Sana njiye hata shetani anawashwa Sana baba nabii mkuu amebarikiwa Sana
Neema ikikuondokea hata roho wa Mungu hunyamaza na ndio maana haja Yao ni hela Wala hawaoni kupotea😢😢
Christina nakupenda sana nakuamini napenda nyimbo zako Mungu kakutoa mbali hakuna baba hapo hakuna nguvu hapo mwambie Mungu pelke akupe😢
May God have mercy.tunaanza vizuri na tunamaluza vbaya may God redeem the remnants
😄😄😄Ee Mwana wa Daudi Uturehemu Sasa hivi Gospel ni biashara 📌❤️🙌
siyo biashara Gospel Music pia inahitaji pesa unadhani studio watu wanaingia bure au..au msanii kusafiri kwenda kwenye huduma anapaa think twice tuko kwenye kipindi ambacho pesa is more needed kufanikisha mambo
Hapa ndipo mungu anawaonyesha watumishi wakweli nawauongo kweli mungu yupo kazi
Da Tina Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu tafakari hizi comments za watakatifu wa Mungu kisha chukua hatua. Hua nawaza uimbaji unamgusa Sana Mungu ndiyomana una vita Kali, wengi wanaanza na Mungu na kumaliza vibaya, ona hata shetani naye alikua muimbaji. Mungu tupe neema yako tumalize salama🙏
Pole Christina, sijui unaelekea wapi, kama haujui tupo watu tunaofuatilia ulipotoka mpaka ulipo hatujui unaelekea wapi
Unamkufuru mungu
Christina umekosea Sana Kwa nabii mtegemee mungu nguvu Gani unataka za kuzimu ? AU nakupenda Sana lakini Kwa maanent hapana mtumish
Pole sana Christina...Usingejiingiza huko mapema tu namna hiyo.. may God help u
Inatia huruma
Maandiko lazima yatimie,,,,na hizi ndizo shuhuda tunazoshuhudia Imeandikwa:siku za mwisho watu watapenda pesa, na lundo la manabii wa uwongo watatokea, na watamtoa pepo kwa jina na la Yesu naye pepo atatoka. Wakristo wasome maandiko kuwatambua hawa Nabii waongo,,,tumeambiwa tutawatambua kwa Matendo yao,,,haya ya hawa manabii ni ushahidi tosha wa maandiko kutimia. Tuamke Wakristo,,,makanisa ya leo badala la kuwa nyumba ya ibada yamegeuka manyumba ya biashara na taasisi za kipesa kwa viongozi kutakatisha pesa za waumini.
Ni Unabii wa ukweli huu -Kusema Wapinga Kristo hata sasa wapo na katika siku za mwisho Watatolewa ili waonekane Hadharani/✍️✍️✍️ Nimemkumbuka pia yule ambaye alishuhudia kwamba hata waimbaji wapo kuleeee.....
Kamsikilize mch. Katekela ,. Haya yote kayaweka waz
@@jamestocta3075 Roho Mtakatifu ndio namtaka zaidi katika siku hizi za mwisho
Pole sana shusho taa zako zimezima
Nitakuwa nasikiliza tenzi za Rohoni basi tu
Hahahahaha Hata mimi nitakuwa nasikiliza Tenzi za Mbarikiwa mwakipesile
@@mestonisimzosha203 tena ameziimba kuna upako wa hali ya juu
Itabidi na sisi tuimbe 😢
@@sarahwawuda5164 ni kweli kabisaaa
@@sarahwawuda5164 ni kweli kabisaaa
kwa kipande hicho 2 ulichoimba nakupa milioni 10 mmmh hatari sana, mwenye masikio asikie , mwenye macho huwezi kuambiwa tazama!!
Ww ungeweza kumsapoti kwa shilingi ngapi!???
Kama hukutaka apewe na huyo prophet
Dunia Sasa I mashakan
akili ni mali na dini ni imani mungu tusaidie kutuepushe na watumishi wale feki
Kweli
Kweli kaka tuliowaamini kiasi nao wamekuwa wapuuzi
Agiza soda
Kabisa kabisa msifumbie macho uovu katika Marko 13:22"Kwa maana wataondoka makristo wa uwongo na manabii wa uwongo watatoa ishara na maajabu wapate kuwadanganya kama yamkini hata hao wateule" ndo kama hao waimbaji tulio waamin ndugu zangu msishtuke biblia imesema yote tuombe toba Mungu airehemu Tanzania😥😭😭😭🙏
Christina umefikia huko,,na wewe ni miongoni mwa wanawake wajinga? Du nilihisi unaakili kumbe mpuuzi tu
Shetan anaharakisha mambo kabla Yesu hajarud kulichukua kanisa, ee Mungu tusaidie tupate kuwajua ili tuwakwepe.
Kaka true afu hao wengne mapepo yanavaa miili yanazaliwa yanazaa yanaeza yakawa wachungaj mengne wanamuzk wengne wakawa hata wapga debe ilimrad kuipotosha dunia isifklie Utakatfu na kujiandaa na kifo bali wafkilie Mali za dunia hii nakuiona dhambi ni ktu chakawaida mwshowe wanadamu halisi kuiga matendo yao wakdhan n wanadamu wenzao kumbe mapepo.
Ama kweli kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake mungu tuepushe naupuzii wanamna iyo waebrania 2:3
Mhhhhhhh kweli shetani Yuko seriuz! Ivi mnajua kwa kwakufanya ivo mnawapoteza watu wengi Sana wanaingia gizani!
Kwa nini
@@meckmbilinyi6077 huyu sio nabii wa Mungu trust me
@@meckmbilinyi6077
1 Timothy 6:9-10
9 But those who desire to be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and harmful lusts which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is a root of all kinds of evil, for which some have strayed from the faith in their greediness, and pierced themselves through with many sorrows.
@@meckmbilinyi6077 Does he preach the true gospel of repentance, holiness and baptism of the Holy Spirit?
Mungu akuhurumie christine Muko radhi kwenda kwenye madhabahu ya uongo juu y’a pesa😭😭😭
Mbona huyu alishaingia kwa mashetani muda mrefu sana
Kabisaa pesa mbaya
@@bintalmasi2393 bora umalizie
Kuna usichikijua, cku za mwisho kila kitu hadharani
You didn't know that she is a devil worshipper?? She is implementing her task for the salary in hell.... Nabii mkuu thats blasphemous...lets pray
Hii madhabahu ni feki,mungu atusaidie,Kuna mpaka madj;mbinja nazo
Una uhakika mungu akusameee bure
Hiiii Yesu nifundishe kunyamaza nisikutende dhambi kwa hizi nyakati mbaya
Kuriko kuombea Mungu amupe macho nahakiri arudi kwa Yesu Christana muna matukunaka please Kama kweli umeokoka simama kwa kuombea hawa watu Shetani anatuiba.janet From Rwanda love Jesus 🙏🏼
Christina na wew umefika huko du!! Pole kumbe nawe ni mjinga
Mjinga mkubwa tena sana kuahacha mumewe kuradaranda tu bila sababu pepo ya kike
Tumpokee roho mtakatifu na akae ndan yetu atuongoze
Hakuna Mungu hapo ,shusho umeendea njaa huko unadhalilisha huduma Yako ,Bora ushindwe kutoa hyo album kuliko kwenda huko
Jamani wanamaombi naombeni tumuombee Christina kuna vile aliharibu sana kazi za Ibilisi akafika mahali akampa adui mlango akamuweza sasa tusiishie kumlaumu mtu akianguka kanisa likiomba kwa bidii ataachiwa mm sioni kama niakili yake au Roho Mtakatifufu anamuongoza hapa japo yeye anaona yupo sawa kuna wale mnanielewa!!
Hapo kanisani Kuna watu wanalala njaa,na wanatoa kidogo walichonacho kwa kushawishiwa na nabii,mwishowe pesa wanapewa watu wengine na hao wanashangilia tuu km mazuzu..Ee Mungu tusaidie
Nimechekaa sanaaa Jmn ... Ety mazuzu😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha kazi ipo
Wajinga ndo waliwao
🤣🤣🤣hii movie kali na inachekesha kweli! Inafanana na movie za kina Jackie chan
Ukiwa na baba na huitishi ni sawa na yule kaka yake mwana mpotevu
Hakunaga Cha BURE Twende Mbele tu.Sadaka inanena Kwaiyo alikozitolea hizo pesa Pana kuhusu100%.ila pole sanaa😢
Sure
Kweli kabisa
Christina Shusho......dada yangu mpenzi ni nini kimekupata??😭😭😭
Alishalishwa Laana
Fedha fedheha
Christina,binti wa Mungu aliye hai.Mungu alikuchagua na kukufanya chombo cha sifa ili kwa kipaji chako jina lake Jehovah lihimidiwe.Ulipo leo ndio ulipotakiwa kuwa?umemwacha Mungu aliyekuokoa.Vua hizo pete zote,mrudie Mola wako
1 Timothy 6:9-10
9 But those who desire to be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and harmful lusts which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is a root of all kinds of evil, for which some have strayed from the faith in their greediness, and pierced themselves through with many sorrows.
Aibu saana christina naumia kwaajili yako😭😭Mungu turehemu
Yaaaani inaumiza sana
Huyu alishapotea alivoanza kujifanya amekua mchungaji
MUNGU.unaejibu kwa moto.mwenye ahadi za kweri tunaamini katika matendo Yako na neno rako ulilo sema.wanamacho rakini hawaoni Wana masikio rakini hawasikii.tusaidie.MUNGU wetu mwenye kutukomboa na huovu huu unaofanyika mbere ya macho Yako tusamehe.JEHOVA HIRE.
Nabii Nakupenda sana kwa kusupport!!!!!
Mutalipwa na Mungu
Mwenyezi mungu simama nasi katika hihi safari tukiyopo.unamwamini binadamu kuliko aliyo juu
Kwa kipande hicho "ULICHONIIMBIA" nakusuport milioni kumi😭😭😭.Cha Shetani utalia nacho!
Christian shosho amepata tamaa ya pesa na ukubwa anainamie mathabahu za kishetani na sio kwamba hajui na kumsimu zaidi ya Mungu pengine ameungana na ufalme wa giza tubu Sana wewe mama
Kweli akupe macho aiseee 😭😭😭 mahana Umepotea sana dada
I used to love Muhando and her song nibebe when i was younger,But not now,Sijui hata wimbo mmoja wa huyu shusho ila jina nafahamu ni mwibaji,Mimi si fun wao hata Kidogo,Niligundua wengi wao wanamtumikia shetani na ni wanafiki,Kwa hivyo hata upako uliobembwa na nyimbo zao ni wa kishetani,.Tenzi Rohoni mpaka leo na kesho, Wengine am never a fun
Nakumbuka Kuna wakati Askofu Gamanywa alikuwa anamwombea Godwin Ombeni madhabahuni mahali Fulani halafu akasema hivi "Mungu alinisemesha niongee na waimbaji wa injili wenzako wamekataa " Naanza kuelewa maana ya Ile sentensi. Hakika mteule shika sana ulichonacho.
Kweli Hela ndo zinaabudiwa tu kweli dd huyu ninae mjua kakomaa kiloho anapiga magoti kuomba
Yaani ata nikitazama siamini nyimbo zake zilikuwa zimejawa roho mtakatifu ukiimba unaingia rohoni lkn sai NI tofauti ,Heri mwisho mwema wapendwa vyote tutaviacha apa duniani ata hayo nawigi hayatuinjizi mbinguni hayo be natural my sister's
Ashasajiliwa
Wokovu bila Roho mtakatifu ni shida sana
Saanaa tu
Pesa, Pesa, Pesa Mungu uturehemu sana🙏
Irareo kumtafuta Mungu nikazi hadiwaimbaji wanamsujudia Mwanadam. Mungu tusamehe
NJAA MBAYA SANA PESA NDO KILA KITU HAPA DUNIANI
Mbona mume wake ana pesa
@@heritier5119 hiyo ni njaa iliyo mpeleka hapo hakuna cha mmewe ana pesa
MUNGU alijitukuza BRAZIL muda mfupi baada ya shetani kujiinua. MUNGU karibu TANZANIA. Shugulika Na manabii wa uongo watu wameacha kumsifu MUNGU anasifia manabii. Makanisa yamekua kama madangulo. Eee MUNGU tusaidie.
Kwa moyo alionibariki Mungu, ningezaliwa mkristu, ningesilimu na kuwa muislamu nikiwa na miaka 2 yaani namaliza kunyonya tu Mungu shahidi 🙏🏽
Kafie mbele
Mungu akusaidie
Shetani hana ndugu,Hana Cha Bure!
Christina umeangukia pua.
Kristo Yesu akurehemu!
Pole Sana Shusho tangu ulipomuomba Mungu akupe macho uone mpaka leo bado kipofu tu.
Oooh oooh shusho nakupenda sana ila muulize Mungu kila Wakt niwap uende na wapi usiende
Safi sana Neema loy
Ooooh shusho shusho umeenda hapo my GOD kila kitu kitajulikana wazi
@@johnssaimon450 I say inahuzunisha sana sana
Ni wakati wa kuwa makini na kuuliza kwa Roho mtakatifu nyombo zipi za kusikiliza is beta nyimbo za tenzi tu kuepusha nafsi zetu kuchafuliwa.
Amen
Omba mungu akupee majo ya kweli uone sawa sawa❤
😢nimemshanga Sana Kristina
Christina nashtuka sana kukuona hapa Aky Mungu akusaidie sana
Christine mungu hazihakiwi; nikuwa nakuamini kumbuka umepotosha watungi kumsujudia mwanadamu siwezi tena hata kusikiliza nyimbo yako
Mzee mwenye kuheshimiwa ndiye kichwa na nabii afundishaye uongo ndiye mkia. Isaya 9:15
Why alot of security guards!!!!! There is God's protection I think, those guards should be outside, Nway
Huyo body guard wa nini tena jamani. Roho Mrakatifu aliye na kanisa mbona anatosha wapendwa? Kitu gani hiki tena Ohhhhhhhh. Mungu wangu na Bwana wangu.
Mungu aturehemu katika maisha haya ya aibu mbele za Mungu.
Sishangai haya coz mimi ni mkristo lakini najua kweli Dini moja tuuh, duniani , uislamu,,. Haya mengine yote niutopolo tu usenge utaskia Yesu ni Mungu, ndio maana hata knsani kwenyewe siendagi, siku nikiacha pombe naslimu..
Yaaani ni siku za mwisho ..tunaambiwa mpk watumishi wa liookoka wataungana na manabii wa uwongo,kwasababu ya Tamaa ya pesa...na mbio zote kwenda madhebahu za uongo still mmeambulia milioni kumi..sasa hiyo ni pesa gani yakumfanya mtu kumsaliti Mungu wake..kiukweli nimekuwa disappointed Sana..na hata kanisani kwake asipoangalia washirika watagawanyika..mchungaji gan asiye na msimamo...huna imani na Mungu wako alie hai Dada Tina
Je ndio christina anamsaliti Mungu,au tayari alishatoka kwa Mungu zamani? Pengine wanajuana rohoni hao.
kabisaaa Mana huyu dada simwamin sikuiz
Mafarisayo nyie, yaani kila Nabii ni fake, watumishi wa Mungu wanaponyenyekea na kumtafuta Mungu kwa bidii na Mungu anawabariki kihuduma na kifedha nyie kazi yenu ni kuamini tu kila kitu kizuri ni Cha shetani. Je kwani hakuna Mungu mbinguni anayeweza kuinua watumishi na kuwabariki namna hi?? Haujapenda vile ametoa million 10 kwaajili ya kusupport kazi ya Mungu. Kumaanisha angetoa hio pesa ili ajenge ufalme wa shetani hapo wewe ungeshangilia mpaka meno yote yaonekane kwa sababu wewe sio shabiki wa kazi ya Mungu, unashabikia shetani!!!! Ushindwe na usipige watumishi wa Mungu wanapofanya kazi kwaajili ya kujenga mwili wa kristo.
Kweli Naungana na ww ndugu yangu ,hizi ni nyakati mwisho
Huyu dada sijaamini kama nae aweza ungana na hawa manabii wa uongo
Kweli mungu atunusuru
ss mbona hutusaidiii watoto wako
Duuuh Mungu nifundishe kunyamaza😷😷😷😷😷😷 tamaa inatuponza walokole et baba naomba unipe nguvu 😡😡🤔 haiya bna
hizi nyakat za hatari sana
Mark 8:36-37
36 For what will it profit a man if he gains the whole world, and loses his own soul? 37 Or what will a man give in exchange for his soul?
It's really end time.hadi unainamia binadamu mwenzako.Mungu alikupa kipaji c binadamu jamani
Huyu jamaa alifaa kugombea urais wa tanzania#anasaidia sana#akiwa kiongozi wa nchi nchi itasonga mbele
Nani alikwambia Tanzania tunahitaji kuongozwa na waabudu Shetani?
Duh mungu atukumbuke Christina umeenda huko kwel n nyakat za mwisho
Shetani kweli Ana nguvu sikutegemea huyu nae katumika na huyu nabii feki mh hatari Mungu utusamehe kwa kweli
Binadamu hatuna jema, Uongo wake huyu baba unatoka wapi?
Rukaiya frank ,Pray for him ukiona upo salama Mshukuru Mungu
Kwakwel Mungu atusaidie hakunq Mungu apo shetan kajichukulia mateka watu wote hao mmh
@@mosesjohnswilla9926alisupport tattoo waaa na Bible ilikataa
Umasikini unawatesa
Kwani nabii anapeanga mtu nguvu ama ni mungu anapeanga mtu nguvu
Lakini huu ni mfano mzuri kwa wale ambao ni mzao wa ibrahimu kwa imani. Galatia 3:29.
Shushooo ushauza nafsi .
..MUNGU akusaidie utoke huko kwa neema yake...
Hata chanjo Alichanjwa kwaiyo Huyu sio mwenzetu
Kwa kweli, Mungu atusaidie tu
😂😂😂😂😂😂😂
Mmmh Mungu naomba uturehemu utusamehe..YESU ANARUDI
Kwanza huyu demu ni kahaba tu anazurula ovyo ovyo mara kenya mm sisikilizi nyimbo zake tena shenz kabisa
Mfalme yupi aliyemuomba christina shusho😮😮
Wa Shetani
Ibiris ndo mfalme wao
Ni mwimbaji wangu number one katika maisha yangu mimi ni mukongomani apa DRC namupenda saana shshu.
Shusho yuafanya nini huku kwa nabii wa uongo jameni twaelekea wapi Mungu sisi watumishi wako😢 Too bad
Nabii mkuu kachora 4 kanisani 😳😳
@@carolinederi5690 msihukumu msije mkahukumiwa
@@mwitaagness455 Hatuhukumu wajua wakati huu nikumwambia Mungu atengeneze mioyo yetu aondoe kila uchafu sasa kama utaenda kwa nabii mweny kila mtu yuajua ni nabii wa uongo atakusaidia na nn Je ni kitu gani cheny Jeodav yuafundsha cha kukusaidia kukulia wokovu 😔
@@carolinederi5690 ni kweli lkn imefika mahal hatujui hata mkwel ni yupi na muongo ni yupi, tumuombe Mungu atupe macho ya rohoni...ila huwa naogopa sana kuhukumu moja kwa moja.
Mmmmm! Mungu tusaidie sana
Kwakwel atusaidie
Mungu atusaidie kweli na atupe macho ya rohoni
Nyie we dada mbona unapotea uyo si nimwanadam tu wakawaida kwanini unamwambia akupe nguvu, akupe nguvu yeye kama nani mweeeeee pole dada😭😭😭😭😭😭
Hapa ni kwisha kazi yani aibu mnatia aibu Mungu kwa nini ile sheria isirudi ukiingia madhabahuni na uchafu unafia hukohuko madhabahuni Mungu simama😭😭
na apo akiambiwa kama amemshujudiya mwanadamu atajieleza,Ila shusho amepoteya kwani uyo ni baba,baba ni mungu,eti naomba nguvu ,nguvu ni za mungu sio zawanadamu
Nilikuwa nakwamini sana kupitia nyimbo zako christina shusho lakini uliko elekea sio kuzuri unapotea
Lkn mbona umekosa ayo macho ya kuona sawasawa dada aisee mungu akurehemu
Hiyo album yako sitaki hata kuiona! Mnatumika na njaa zenu mpo ladhi kuwaingiza watu gizani
Kwel kabisa
Hapana, usiseme hivyo ndugu, mimi na wewe hatumjui christina shusho, na wala hatujawahi kuonana naye live wala tumsikie angalau tuweze kumjua vizuri. Ogopa sana kumhukumu mtu usiyemfahamu, mimi na wewe tusiwe wepesi wa kuhukumu.
@@sundawnsmedia6659 hko sahihi but mtu anataka kuabudiwa, kuwarubuni watu maarufu ili kuwashawishi watu wengine! Nonsense
Ushasema pia mm hata sitatubutu kuiona.....waimbaji waliokanyaga hapo niliacha kuwafwatilia
Kabisaaa
Tulisema makahaba kanisani sasa ndio hayo sasa
Ulitaka akaende wapi kuomba mchango wake mm binafsi nampenda sana huyu dada katimia akili nyingi tatizo mambo ya Hela so mambo ya kiroho hata sheee anaombwa iwe nabii zazima atoe hii ni kazi ya Mungu tutasikiaje huduma yake sasa kama watu wenyewe wanaojiita wapo kiroho hawachangi na mabahili sana acheni wivu kuredi studio wimbo 150000 video nzuri wimbo Moja 1000000 unataka afanyaje mwacheni dada wa watu kwahiyo kama nabii wa uongo asitoe pesaa? Hii ni nzuri nimependa anajua kucheza na watu wenye Hela
@@isaacchalamila umasikini uta walazimu watu kufanya mambo ya hovyo
Ndio maana nilifika mahali nikachukia nyimbo zake kabisa.
Amesha fungwa Christina shusho. Na nguvu za giza
Mpaka naogopaa kusema chochote mmmmmmm!
End times....kwani ni ibada ya pesa...Jehova rapha
Dhaaa hakika wewe mbaba upo kuvuna wengi, yaaani Christina sikukutegemea na wewe kuwa ungeangukia mikononi mwa ibilisi , dhaaa kweri pesa inanguvu shetani
Pesa ni mvito
Rose na Christina mnashindwa Nini kutambua roho wa mungu na roho mdanganyifu
hakuna jipya hapo pengine hata yeye yupo kwenye kundi lile lile. Mungu pekee ndiye anayemjua
Mungu atusaidie tufike salama sijawahi kuwa mfuasi wa nabii lakini Tina soma comment Mungu akuongoze wanadamu tutasema mengi.
Mimi najua Tina kaumbiwa roho ya unyenyekevu hata mtoto mdogo aweza kumpigia goti cjaona shida kwenye hilo.
Wanaendaga kuimba hata kwa watu wasiomjua Mungu ili wabadilike.
Wewe unajua ulienda kufanya nini ukweli unao Mungu mwema akushike usisahau kusudi la Mungu katika huduma.
Lugha ya nguvu Mimi nimeelewa ni lugha ya tafsida ikimaanisha pesa.
Jmn ni hela ngapi zinaletwa makanisani tena za uovu tunapokea kwa ni vile watu hawajui.
Tunachofanya Ni kuzibadilisha ziwe sadaka kwa maombi
Mungu atusaidie ndio ombi langu.
Tumuombee shusho Mungu amsaidie kuishia kumsema hakusaidii.
Huyu ni tapeli jamani tumsome kwa macho ya ndani sana
Hawa ni freemason
Sawa ila siku mbaya sana watu watajitenga na imani zao wakiwasikliza manabii mitume na walimu wa uongo hii
Haifai, ni vibaya kumpigia magoti na kumuinamia huyu mhubiri. Yeye ni mwanadamu pia.
Ngoja tuone Ila mungu ataonyesha manabii wa uongo ngoja tuone
Shetani Yuko kazini
Ivi unajua kwa nini huyo nabii wa uongo ameimba huo wimbo. Inasikitisha sana 😭😭😭
😭😭😭 Bwana yesu rehem ingilia kati
Nmelia sana 😢😢😢😢hadi amemjua hayo macho hana
Glory be to God again
C shosho anainamia watu ana adolize watu hata alipokuwa runda alimsimu yule mama zaidi ya Mungu
Ukiwa mumbaji wa injili ni lazima uwe mjanja nakusifia mtu yeyote hata kama nabii wa uongo...christina chukua pesa yako unajua huyo mwongo tu
Christina shusho twakupenda saana, binafsi napenda #Shusha #Nyavu
Mmm
Umefeli apo shusho umeni.desapoint sana
Yaaan ametudisapoint wengi Sana yaana Hadi naongea pekeangu E Mungu tusaidiane tulikotoka Kuna afadhali kuliko tunakoelekea
Mkiambiw huk mnapotea hamsikii dunian din ya mungu kabisa ya kweli ni moja tu ,ni uislam ila kw wenye akili ndy wataamin hilo na walio funguliw na mungu kujua hilo na kam hutaamin hilo bc acha tuendelee kuangamia tu tukif tuishie motoni tu
Ulioyaomba yote kwa mfalume umeyapata !!! Mmh hatari sana 😢
Hatushangai Hata Chanjo Ya CORONA ya mpinga Kristi/KUZIMU yenye vinasaba ya Mapepo Alichanja KWAIYO TUMPE POLE. DUniani NI kwao
Pole sana
Wenye shagwe ya Vanessa Mdee aka V money Nitupieni like humu.