Judgement we leave to God, lets not take God's place.Tujishughulishe na working out our salvation with fear and trembling. Tusichukue mamlaka ya Mungu. Ahsante.
Huyu Mzee ana hekima sana na chanzo Cha hekima yake ni Mungu. Kwa uzee huu anaachwa na mke kweli. Nafikiri Christina amrudie tu mume wake nje ya hapo anatafuta laana.
Judgement we leave to God, lets not take God's place.Tujishughulishe na working out our salvation with fear and trembling. Tusichukue mamlaka ya Mungu. Ahsante.
Mungu akutunze Sana baba nimejifunza kwako kitu kizuri mnoo ktk mafundisho yako ubarikiwe mnooo
Nakuomba kwa Mungu Sanaa Mzee wangu Pastor Dr Shusho kwa huduma uliopewa na Mungu nahekima kubwa
Rev.John ninekuelewa sana MUNGU akuinuie juu zaidi
Huyu Mzee ana hekima sana na chanzo Cha hekima yake ni Mungu. Kwa uzee huu anaachwa na mke kweli. Nafikiri Christina amrudie tu mume wake nje ya hapo anatafuta laana.
Laana juu ya laana. Mungu hadhihakiwi
Laaana kubwa
Nimeisikia mahali Christina akisema ya kwamba walimrufisha kwao mwaka 2010
Mungu akutie nguvu Mzee wangu usimwache mungu ataendelea kukitetea
Bishop Shusho take ❤ and remain strong
Mungu anasikiya kililo cha wa Tanzania ....kwa familia ya Shushu
Umaarufu ulimfukuza lucifer mbinguni, huyo Christina na genge lake la waabudu mashetani hawatoboi. Mungu akubariki mzee.
Mbona wawchane kwa miaka ya uzeeni Christina rudi ulinde bwana ako weeh😮
Congo, pesa kwanza, zikipungua nasepa
May good Lorld be with you always Mzee Shushu
Mungu aendeleye ku mutiya nguvu baba
Jamani huduma gani inafanya uache ndoa Yako?may God heal our marriages
Amen mchungaji
MZEE NYAMAZA KIMYA MUNGU ATAKUSEMEA NA DUNIA ITASIKIA MZEE WASIKUNAJISI
It’s true she’s know what she’s doing but may almighty forgive her
Congo!!!!? Kumbe Hujui???
Christine amurudie mungu
NMEIPENDA HII SIMBA NI WA MUNGU NA DANIEL NI WA MUNGU
YEEEESSSUUUU MPEKUVUKA KWA USHINDI KILA JARIBU APITIALO
He looks a bit older than Christina..age difference also matters
MUNGU AKUTUNZE AKUBARIKI AZIDI KUKUINUA
Amina
Amen
Aliolewaje nahuyu mzee??
Aliozwa akiwa umri 19 baada ya shule Kisha kumrudishia wazazi wake 2010 baada kutotoa nyimbo zake zakwanza
Baba yangu pole sana ni mimi mwanao nimeumia sana Abdul Simbarakiye kutoka Bujumbura Burundi
B
Naomba mawasilinano yako mtangazaji
Ina maana mtangazaji hajaona hii?
Kaka wewe Una undugu na Boniface magupa?
Yule wa classic fm, 😅
Tunapewa nguvu na madhabahu ya Yesu Fresh spring fellowship kimara temboni ngome ya Yesu😅