Faith Victory Media
Faith Victory Media
  • Видео 542
  • Просмотров 278 442

Видео

JINSI MIILI YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KUDONDOKEWA NA GHOROFA KARIAKOO IKIINGIA MNAZI MMOJA
Просмотров 428Месяц назад
JINSI MIILI YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KUDONDOKEWA NA GHOROFA KARIAKOO IKIINGIA MNAZI MMOJA
MKUU WA MKOA, WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KARIAKOO KUAGWA LEO MNAZI MMOJA.
Просмотров 109Месяц назад
MKUU WA MKOA, WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KARIAKOO KUAGWA LEO MNAZI MMOJA.
RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WALIOPATA AJALI KARIAKOO | KIPAUMBELE CHETU SASA NI KUWAOKOA NDUGU ZETU.
Просмотров 68Месяц назад
Please listen to Faith Victory Radio at: cast1.asurahosting.com/proxy/... OR you can download our Apps on Apple AppStore or Google PlayStore (Faith Victory Radio). You can also connect and follow us on our other Social Media Platforms: (1) TikTok: Faith victory radio (2) Instagram: Faith victory radio
HATUTAKIWI KUINGIA HATA BAR, ILI TUSIWAPE CHA KUONGEA. APOSTLE CHRISS MWASOTA.
Просмотров 87Месяц назад
Please listen to Faith Victory Radio at: cast1.asurahosting.com/proxy/... OR you can download our Apps on Apple AppStore or Google PlayStore (Faith Victory Radio). You can also connect and follow us on our other Social Media Platforms: (1) Tiktok: Faith victory radio (2) Instagram: Faith victory radio ........
SISI JE! TUTAPATAJE KUPONA, TUSIPOJALI WOKOVU MKUU NAMNA HII? KIPINDI CHA WATOTO NA MWAL. HOPE
Просмотров 69Месяц назад
SISI JE! TUTAPATAJE KUPONA, TUSIPOJALI WOKOVU MKUU NAMNA HII? KIPINDI CHA WATOTO NA MWAL. HOPE
ASKOFU JOHN SHUSHO " UKILA PESA YA SADAKA LAZIMA IONGEE KATIKA MAISHA YAKO, UZAO WA KIKUHANI".
Просмотров 669Месяц назад
ASKOFU JOHN SHUSHO " UKILA PESA YA SADAKA LAZIMA IONGEE KATIKA MAISHA YAKO, UZAO WA KIKUHANI".
SHANGWE LA CHRISTINA SHUSHO UKUMBINI MBELE YA BINTI YAKE ODESIA
Просмотров 43 тыс.Месяц назад
SHANGWE LA CHRISTINA SHUSHO UKUMBINI MBELE YA BINTI YAKE ODESIA
UTACHEKA NI BALAA ZITO UTANI WA MC SAM SASALI UKUMBINI
Просмотров 757Месяц назад
UTACHEKA NI BALAA ZITO UTANI WA MC SAM SASALI UKUMBINI
KAKA YAKE JOEL LWAGA, NSAJIGWA "TUNAHITAJI KUWE NA CHOMBO KITAKACHO LIMIT KAZI ZA SANAA KAMA TBS"
Просмотров 96Месяц назад
KAKA YAKE JOEL LWAGA, NSAJIGWA "TUNAHITAJI KUWE NA CHOMBO KITAKACHO LIMIT KAZI ZA SANAA KAMA TBS"
ASKOFU JOHN SHUSHO KWENYE SEND OFF YA BINTI YAKE WA KWANZA.
Просмотров 54 тыс.Месяц назад
ASKOFU JOHN SHUSHO KWENYE SEND OFF YA BINTI YAKE WA KWANZA.
ONA CHRISTINA SHUSHO ALIVYOMWAGA PESA KWA KIJANA WAKE
Просмотров 12 тыс.Месяц назад
ONA CHRISTINA SHUSHO ALIVYOMWAGA PESA KWA KIJANA WAKE
MZAZI ANAMPA MTOTO 200 AKATOE SADAKA KWELI? | HATUA YANGU HATUA YAKO.
Просмотров 38Месяц назад
MZAZI ANAMPA MTOTO 200 AKATOE SADAKA KWELI? | HATUA YANGU HATUA YAKO.
AGAPE GOSPEL BAND WASIMAMISHA KIJIJI CHAO MLIMANI CITY
Просмотров 1,2 тыс.Месяц назад
AGAPE GOSPEL BAND WASIMAMISHA KIJIJI CHAO MLIMANI CITY
REHEMA SIMFUKWE AKIIMBA CHANZO LIVE WAKATI WA MUNGU MLIMANI CITY
Просмотров 403Месяц назад
REHEMA SIMFUKWE AKIIMBA CHANZO LIVE WAKATI WA MUNGU MLIMANI CITY
MAMIA YA WATU WABARIKIWA NA PAUL CLEMENT AKIIMBA BWANA AMEFANYA JANA MLIMANI CITY
Просмотров 166Месяц назад
MAMIA YA WATU WABARIKIWA NA PAUL CLEMENT AKIIMBA BWANA AMEFANYA JANA MLIMANI CITY
UTACHEKA UTANI WA MC WILLY NA DORCAS KWA ODESIA SHUSHO | VITU ANAVYOKWAZA MAMA NI KUTULIPA MAPEMA.
Просмотров 260Месяц назад
UTACHEKA UTANI WA MC WILLY NA DORCAS KWA ODESIA SHUSHO | VITU ANAVYOKWAZA MAMA NI KUTULIPA MAPEMA.
"MKE WANGU KWANGU NI KAMA RAFIKI, MAMA, NA MTUMISHI MWENZANGU" MUME WA RITHA KOMBA.
Просмотров 58Месяц назад
"MKE WANGU KWANGU NI KAMA RAFIKI, MAMA, NA MTUMISHI MWENZANGU" MUME WA RITHA KOMBA.
KUYA CREATIONS MBUNIFU WA MAVAZI YA RITHA KOMBA NA WAIMBAJI WENGI WA INJILI NCHINI.
Просмотров 652 месяца назад
KUYA CREATIONS MBUNIFU WA MAVAZI YA RITHA KOMBA NA WAIMBAJI WENGI WA INJILI NCHINI.
PADRI "NJIA PEKEE YA KUMKUMBUKA OMBENI PHIRI NI KUGUSA MAISHA YA HAWA WATOTO WAKE KWENYE ELIMU"
Просмотров 2572 месяца назад
PADRI "NJIA PEKEE YA KUMKUMBUKA OMBENI PHIRI NI KUGUSA MAISHA YA HAWA WATOTO WAKE KWENYE ELIMU"
AMRAHUL SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA OMBENI PHIRI KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WENZAKE.
Просмотров 1442 месяца назад
AMRAHUL SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA OMBENI PHIRI KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WENZAKE.
GLOIRE BASS KWENYE THE GARDEN SHOW NA DORCAS MAKOBA.
Просмотров 3902 месяца назад
GLOIRE BASS KWENYE THE GARDEN SHOW NA DORCAS MAKOBA.
NONDO ZA MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA "WATU WENGI HAWANA MUENDELEZO UTANGAZAJI NIMEANZA TANGU MWAKA 2001"
Просмотров 793 месяца назад
NONDO ZA MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA "WATU WENGI HAWANA MUENDELEZO UTANGAZAJI NIMEANZA TANGU MWAKA 2001"
UPENDO \\ UMENIFANYA IBADA LIVE PEFORMANCE BY PAUL CLEMENT(WORSHIP VIDEO)
Просмотров 8443 месяца назад
UPENDO \\ UMENIFANYA IBADA LIVE PEFORMANCE BY PAUL CLEMENT(WORSHIP VIDEO)
MAISHA YANGU \\ MY DADY MY DADY LIVE PEFORMANCE BY DORCAS MAKOBA (WORSHIP VIDEO)
Просмотров 2164 месяца назад
MAISHA YANGU \\ MY DADY MY DADY LIVE PEFORMANCE BY DORCAS MAKOBA (WORSHIP VIDEO)
KANISA LA FAITH VICTORY INTERNATIONAL CHURCH LINAKUANDALIA IBADA YA "TAFUTA" USIPANGE KUKOSA
Просмотров 844 месяца назад
KANISA LA FAITH VICTORY INTERNATIONAL CHURCH LINAKUANDALIA IBADA YA "TAFUTA" USIPANGE KUKOSA
LINDA FIGO ZAKO KWA KUEPUKA HAYA - HP SPECIALIST BENJAMIN
Просмотров 434 месяца назад
LINDA FIGO ZAKO KWA KUEPUKA HAYA - HP SPECIALIST BENJAMIN
TUNAPO HUDUMU NASISI TUNATAMANI KUHUDUMIWA, ABARIKIWE ANGEL BENARD LEO NIMEBARIKIWA-JOSELINE KAYOMBI
Просмотров 774 месяца назад
TUNAPO HUDUMU NASISI TUNATAMANI KUHUDUMIWA, ABARIKIWE ANGEL BENARD LEO NIMEBARIKIWA-JOSELINE KAYOMBI
ANGEL BENARD AMEPATA KIBALI MBELE ZA MUNGU NDIO MAANA KAFANYA HII IBADA - PST JONATHAN NDARI
Просмотров 5104 месяца назад
ANGEL BENARD AMEPATA KIBALI MBELE ZA MUNGU NDIO MAANA KAFANYA HII IBADA - PST JONATHAN NDARI
WENGI WANAPOTEA KWA KUKOSA UNYENYEKEVU NA KUSHINDWA KUSIKIA NINI MUMGU ANASEMA- PST DORCUS(SALASALA)
Просмотров 524 месяца назад
WENGI WANAPOTEA KWA KUKOSA UNYENYEKEVU NA KUSHINDWA KUSIKIA NINI MUMGU ANASEMA- PST DORCUS(SALASALA)

Комментарии

  • @DrTiibaza
    @DrTiibaza 3 дня назад

    Dada Mira uko vzr

  • @JaiNdaluhijwe
    @JaiNdaluhijwe 28 дней назад

    Baba ni mzuri na Ana hekima Shusho ludi kwa mmeo uombe msamaha .kuhusu kutawaliwa na fedha ni Shusho ndo maana kwenda kwa Jodevi kuomba hela.

  • @josphineondiek3153
    @josphineondiek3153 Месяц назад

    Eeee I've nothing against Shusho but Kindly, go back to your marriage.

  • @MonicaSimon-h4z
    @MonicaSimon-h4z Месяц назад

    Angel Mungu akuinue zaidi Mtumishi wa Mungu

  • @graceochieng447
    @graceochieng447 Месяц назад

    Mama nakupenda bure🎉🎉🎉🎉

  • @faithowuor6593
    @faithowuor6593 Месяц назад

  • @juniormalili6042
    @juniormalili6042 Месяц назад

    Mapenzi ni hisia ,waacheni kila mmoja ana jeraha lake ,waacheni ,mtu aishi mara mbili ,acheni kuwajadili kwa mabaya hamjui yanayowasibu kama mnawapenda waombeeni wapate healing ,ila ndoa sio mchezo walio ndani ya ndoa wanaelewa , kama haupo ndani ya field ni kheri kukaa kimya subiria yakwako

  • @MaureenKunambi
    @MaureenKunambi Месяц назад

    Baba kaongea vizuri mama karukaruka tu, mtakoma na ma vyama yenu mluojiungamanisha nakina dimond hana ata ujasiri

  • @mathansamwel749
    @mathansamwel749 Месяц назад

    Hakika this is man of God kweli sema Mungu amsaidie binti huyu

  • @Millieykitawa9652
    @Millieykitawa9652 Месяц назад

    Wisdom❤❤❤

  • @LaureenGodwin
    @LaureenGodwin Месяц назад

    Jamani Tina,umekosa la kuongea ,pole sana.Tamaa ya mwili😂😂

  • @ElizabethAbel-tg6hn
    @ElizabethAbel-tg6hn Месяц назад

    Kongole kwa Bab shusho

  • @ANNAMBENI
    @ANNAMBENI Месяц назад

    Kuna siku namuona christin shusho kwwny tv ameshuka uwanja wa ndege kavaa tait na blauz nakikot palepal nikasema ma mchungaji ciku hiz kaingia mjin kabl ht skend zake hazijaanza

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 Месяц назад

    Huyu mama hajaachana na mume wake mzee shusho, ila ameweka private, hapost picha na mumewe na hata watoto wake hajawapost kwenye mitandao, kilichotokea ni kwamba Christina amefungua kanisa lake na wakati mume wake pia ni mchungaji, Ingekuwa vzr akiweka wazi kuwa hajaachana na mumewe maana hii scandle inamuharibia sana

  • @kelvinmpulule2627
    @kelvinmpulule2627 Месяц назад

    Amejaa hekima sana, ubarikiwe baba, nimekupenda bure❤❤

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl Месяц назад

    Hongera sana nawafaham vizuri wewe nafamilia yako

  • @SiameFrida
    @SiameFrida Месяц назад

    ❤❤❤ baba christina huyu

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 Месяц назад

    Hata Hata ujasiri yakuongea

  • @mborawakiche7564
    @mborawakiche7564 Месяц назад

    Ndoa zina siri kubwasn!! Sisi tunaona ya nje lkn hakimu mzuri wa ndoa ni wanandoa wenyewe na Mungu wao tuuuu 🎉

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Месяц назад

    Kwa kwdli kaonwkana kitumo na hata kumaribisha ni kumpa kamba ajinyonge mwennyewe, wamemuweka mahali pake hawajampapatikia, hata kutaka aimbe maana hawakuona kipaji ndani ya uovu, na hivyo ndiyo picha ya mbinguni, hayambuliki.maana nyimbo zake ni kelele masikioni kwa Mungu

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Месяц назад

    Christina kaaibika, yaani Askofu wa watu kaongezeka, huyo Mama mzinzi kashuka

  • @yaredamos7664
    @yaredamos7664 Месяц назад

    Ukimwangalia Christina shusho na ukamsikiliza anavyoongea utagundua hakuwa na Amani rohoni .

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Месяц назад

    Hao wanao piga kelele kwa shisho wameolewa kweli?

  • @NeemaKarolishayo
    @NeemaKarolishayo Месяц назад

    Mimi jamani nilivyokuwa nabarikiwa na christina shusho naona aibu uwiii

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 Месяц назад

    Yani shusho ao karogwa kumuacha mume wa ekima kama uyu

  • @EnthusiasticOrangeJuice-se6bp
    @EnthusiasticOrangeJuice-se6bp Месяц назад

    And😊

  • @julieg7206
    @julieg7206 Месяц назад

    Mbona ndoa ikianguka mwanamke ndie wa kwanza kulaumiwa na akivumilia mateso mwishowe kauawa tena mwamlaumu? Jamani kipi chema?

  • @hildachaula9249
    @hildachaula9249 Месяц назад

    Mungu akutunze baba umeongea point mtumishi. Kila la kheri mwanangu ktk maisha Yako ya ndoa

  • @ChristinaCharles-r3z
    @ChristinaCharles-r3z Месяц назад

    Mama ni mama aisee❤❤❤❤❤ Shusho

  • @gipsonbamuhaga2976
    @gipsonbamuhaga2976 Месяц назад

    Dada Christina kindly reveal your decision nimekuwa nikikufuatia sana kwenye mitandao ya kijamii muonee huruma huyo mzee 😢😢😢😢 kuna kesho pls pls and plse najua uchungu wakutengana unawatendea nini watoto wako Mungu akurejeshee ufahamu.

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu Месяц назад

    😢😢😢kutengana ni kubaya sana binti simama na neno uvunje Roho ya talaka isikufate

  • @wakeshojana
    @wakeshojana Месяц назад

    CHRISS MWASOTA hana tofauti na mafarisayo walomlaumu Yesu Kristo alipokula na kunywa na walevi - Luka 7:34 TUBUNI NYOTE!!

  • @julianasamwel9089
    @julianasamwel9089 Месяц назад

    Amen baba kwa wosia uliojaa hekima ya ki- Mungu

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 Месяц назад

    Enjoy mama

  • @BeatriceLyatuu-w8j
    @BeatriceLyatuu-w8j Месяц назад

    Yaani nimejikuta nalia... Cpendi wazazi kutengana Mungu mwenyewe anachukia wanandoa kuachana... Nimejikuta nalia Sana... Maana kitendo cha kuachana kwa Baba na mama WA bibi harusi... Kumeondoa hata nguvu ya Dj kuweka wimbo maalumu kwa Christina maana angekuwa hajatengana na mume angeimba hata ule wimbo WA ndoa...aliyoimbaga Lkn nguvu ya kuimba hakuweza kuimba maana kashatolewa kwenye lain... Naomba tuzidi kuwaombea mpaka atakaporudi kwa mume WA ujana wake wakalee wajukuu

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Месяц назад

    😂😂😂ila wapenzi watazamaji mna kazi,ishu ni sherehe ya binti yao ile mtu wa kwanza kaanza kukoment juu ya Christina basi wote mnafuata humo humo,daaah!!na mnavyojua kuhukumu sasa😂😂😅

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 Месяц назад

    Aiseeeee!! Mzee anaongea maneno mazito mnooo. Mwenye sikio na asikie....... - Tamaa ya macho - Tamaa ya mwili - Kiburi cha uzima

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 Месяц назад

    Public speaking ni kitu kingine aisee .....🔥🔥🔥

  • @masweto
    @masweto Месяц назад

    Kwanza huyo binti hajaokoka malembo ni chukizo kwa Mungu

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад

      Aya wewe ulieokoka....si ndo unamjua Mungu vizuri....acha mambo yako..unampangia Mungu yupi aokoke yupi asiokoke....Acha kuhukumu..nonsense

    • @masweto
      @masweto Месяц назад

      @frida-oi6kw unayo simu ya tachi bonya utube mapambo ni dhambi au sio dhambi

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад

      @@masweto we kweli nimegundua kitu kwako.....yani unasema nibonyeze youtube...nikazani unasema nifungue Bible nisome kumbe youtube...Duuh mpaka hapo bas...niishie hapo duh umenishangaza

    • @masweto
      @masweto Месяц назад

      @frida-oi6kw hiyo biblia inakataza mapambo sana sema ulokole usiokua na Mungu unaruhusu mapambo Hana tofauti na kahaba ataenda mbingu ya nani akiwa na maherni mabangiri malipstiki mawanja mekap kweli harafu mtu akisema mnakuja juu maandiko hata kama mtu akiyatoa kazi ni ubishi tu

    • @masweto
      @masweto Месяц назад

      @frida-oi6kw 1petro 3:3-6yeremia 4:30...1timotheo2:9 mapambo haya makanisa yote yatatoswa jehanam kwa kutokutii neno la Mungu

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Месяц назад

    Sio suala la kuzaa ,wewe hauna yesu,shikamoo inatoka ukumbini au ipo moyoni ,upandacho utavuna

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад

      Ko wewe ndo una yesu peke yako

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Месяц назад

    Sio yeye ni aibu na pepo

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 Месяц назад

    Mungu akubariki baba

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Месяц назад

    This man ia a gift of his family,my God lulu hii unaoachaje ata kama kuna shida za ndani,je yesu umemkana mamaaaaa

  • @RoseNgallo-z1e
    @RoseNgallo-z1e Месяц назад

    Mama mkwe shusho😂😂😂😂

  • @CellinaMsimbe
    @CellinaMsimbe Месяц назад

    Nimependa hadi raha ❤

  • @AminaMajaliwa-y2w
    @AminaMajaliwa-y2w Месяц назад

    Amina baba

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Месяц назад

    SASA WE MAMA HAPO UMEMSHAURI NINI MTOTO? .. HAPA KWA UPANDE WA MAMA KAZI IPO😢..

  • @kimlulu2769
    @kimlulu2769 Месяц назад

    Mchungaji anabusara sana jmn kabisa lake lipo wapi

  • @GreenerMichael
    @GreenerMichael Месяц назад

    Had aibu

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 Месяц назад

    Nakupenda baba ubarikiwe