SHANGWE LA CHRISTINA SHUSHO UKUMBINI MBELE YA BINTI YAKE ODESIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 138

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu Месяц назад +3

    😢😢😢kutengana ni kubaya sana binti simama na neno uvunje Roho ya talaka isikufate

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b Месяц назад +14

    Mwenyezi Mungu airudishe hii ndoa ya Shusho jamani

  • @graceochieng447
    @graceochieng447 Месяц назад

    Mama nakupenda bure🎉🎉🎉🎉

  • @BeatriceLyatuu-w8j
    @BeatriceLyatuu-w8j Месяц назад +3

    Yaani nimejikuta nalia... Cpendi wazazi kutengana Mungu mwenyewe anachukia wanandoa kuachana... Nimejikuta nalia Sana... Maana kitendo cha kuachana kwa Baba na mama WA bibi harusi... Kumeondoa hata nguvu ya Dj kuweka wimbo maalumu kwa Christina maana angekuwa hajatengana na mume angeimba hata ule wimbo WA ndoa...aliyoimbaga Lkn nguvu ya kuimba hakuweza kuimba maana kashatolewa kwenye lain... Naomba tuzidi kuwaombea mpaka atakaporudi kwa mume WA ujana wake wakalee wajukuu

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 Месяц назад +2

    Public speaking ni kitu kingine aisee .....🔥🔥🔥

  • @MaureenKunambi
    @MaureenKunambi Месяц назад +1

    Baba kaongea vizuri mama karukaruka tu, mtakoma na ma vyama yenu mluojiungamanisha nakina dimond hana ata ujasiri

  • @gipsonbamuhaga2976
    @gipsonbamuhaga2976 Месяц назад +1

    Dada Christina kindly reveal your decision nimekuwa nikikufuatia sana kwenye mitandao ya kijamii muonee huruma huyo mzee 😢😢😢😢 kuna kesho pls pls and plse najua uchungu wakutengana unawatendea nini watoto wako Mungu akurejeshee ufahamu.

  • @JoniaMurungi
    @JoniaMurungi Месяц назад +3

    How I wish Christina angerudiana na mumewe ... they make a great couple.

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 Месяц назад

      Hana nuru tena, anaongea upumbavu mtupu... Shikamoo ndo nini sasa!? Very stupid.

  • @LaureenGodwin
    @LaureenGodwin Месяц назад

    Jamani Tina,umekosa la kuongea ,pole sana.Tamaa ya mwili😂😂

  • @mwanaidisudi8965
    @mwanaidisudi8965 Месяц назад +2

    Madhara ya wazazi kutengana yanajitokeza zaidi kwa watoto sijui nini kilikupata dada yetu ila ungevumilia kwa ajili ya watoto wako na wokovu(YESU) ilikuwa ushuhida mzuri uliwajenga wengi na kutukuza wengi ila hukuutunza muujiza(wokovu)wako💯🙆

    • @JacquelineanyangoRayamo
      @JacquelineanyangoRayamo Месяц назад +2

      Which kuvumilia please 😢 osinachi alivumilia kipi kilimkuta mauti hao wtt alikua avumilie kawaacha ss kwa Hali mbaya zaidi

    • @julieg7206
      @julieg7206 Месяц назад

      Kweli kabisa...alaliaye kitanda ndiye ajuaye kunguni wake​@@JacquelineanyangoRayamo

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p Месяц назад +7

    Mko mnamjaji Christian mambo ya ndani ni vigumu sana kujua

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 Месяц назад

      Wewe unayajua ee

    • @annekagiri4303
      @annekagiri4303 Месяц назад

      @@zakiamseka9698 hakuna mwanamke aachae ndoa yake juu ya vile Iko poa.

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 Месяц назад

      Nani amekudanganya hivyo? Endelea kupotea! Dhambi inamtafuna huyu dada... Na atasema tu.

    • @zaynabahmad8219
      @zaynabahmad8219 Месяц назад

      Kabisa yani

  • @yaredamos7664
    @yaredamos7664 Месяц назад +4

    Ukimwangalia Christina shusho na ukamsikiliza anavyoongea utagundua hakuwa na Amani rohoni .

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j Месяц назад +5

    Anaongea hata havieleweki aibu tupu😂😂😂

    • @kingdavid8800
      @kingdavid8800 Месяц назад

      Ila wew😂😂😂😂😂😂😂

  • @VictoriaGalinoma
    @VictoriaGalinoma Месяц назад +3

    Jipe moyo Mungu yuko nawe

  • @Favour-i6d
    @Favour-i6d Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂ata ingekuwa ww nyy ungesemaje na yako ishabomoka aki😢😢😢shikamooo tuuuu inatosha😅😅😅😅

  • @BabyRiziki-v5q
    @BabyRiziki-v5q Месяц назад +1

    Baraka tele dada christineoooo🎉🎉🎉🎉❤❤😂

  • @mkamboimaganga5690
    @mkamboimaganga5690 Месяц назад

    Congratulations mama mzaa Chema❤

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 Месяц назад +3

    Aibuu sana

  • @eliudnjenga9385
    @eliudnjenga9385 Месяц назад +3

    Salaam nyingi tu kutoka kenya 🇰🇪jirani wetu tz tunawapenda tunaenzi sana mimi sitamhukumu shusho kama dada yangu kiimani anaheshimika sana hapa kenya 🇰🇪ila maoni yangu ni wasameheane arudi kwa ndoa yake ni maoni tu sijui maamuzi yake ndoa ni ya wawili sijui alichokiona kuikweli huyu ni nyota tajika na wengi walimtazamia kua na ndoa dhabiti kama kioo cha jamii

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад +2

    Aibu sana dada wa nyumbani.Songa mbele tu 😮Mimi nisingalienda mbele kuongea😢😢

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j Месяц назад

      Ongea yake yenyewe ya aibu😂😂😂

  • @agneskamau2219
    @agneskamau2219 Месяц назад +2

    Pride comes before a. Jijazie

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Месяц назад

    Kwa kwdli kaonwkana kitumo na hata kumaribisha ni kumpa kamba ajinyonge mwennyewe, wamemuweka mahali pake hawajampapatikia, hata kutaka aimbe maana hawakuona kipaji ndani ya uovu, na hivyo ndiyo picha ya mbinguni, hayambuliki.maana nyimbo zake ni kelele masikioni kwa Mungu

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 Месяц назад

    Huyu mama hajaachana na mume wake mzee shusho, ila ameweka private, hapost picha na mumewe na hata watoto wake hajawapost kwenye mitandao, kilichotokea ni kwamba Christina amefungua kanisa lake na wakati mume wake pia ni mchungaji, Ingekuwa vzr akiweka wazi kuwa hajaachana na mumewe maana hii scandle inamuharibia sana

  • @Aisha-qd2rg
    @Aisha-qd2rg Месяц назад +7

    subhan Allah mama unakosaje maneno mawili au matatu ya kumpa mwanao ?? Jmn hapa alimkosea sana mwanae km shikamoo kwani alikua hazipati jmn hmmm Mungu aendelee kukuponya na kiburi cha uzima ila tunaomba urudi tu kwa mumeo

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial Месяц назад +2

      Alishamwambia sasa kwan lazma aongee hapo mbele

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg Месяц назад +1

      @WiselightOfficial angeseme hat nikutakie baraka huko uendako km alimwambia angeseme sij mbele kwakua nilishongea nae c bas na sio kujichoresh na maneno yasioelewk ok tumuombee Mtoto adum katika ndoa yake

    • @fabianbukuku
      @fabianbukuku Месяц назад

      Hatakuja kupata amani milele

    • @ummusalamameena8714
      @ummusalamameena8714 Месяц назад +1

      @@Aisha-qd2rg subiri umwambie ww mwanao tulia mwaya eeee

  • @heriethsamwel7190
    @heriethsamwel7190 Месяц назад +2

    Oyoooooyoooo tena kwa mchungaji 😂

  • @ummusalamameena8714
    @ummusalamameena8714 Месяц назад +9

    Sasa mbona km nyie mnahitaji ushauri yani wanawake mna chukiiiiii 😢mfyuuu eti hana ushauri ulikuwepo wakati anamzaa mpk hapo ,nyie mnaotaka ushauri kachukueni kwa wazazi wenu sio mnataka shauri za mama za watu

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 Месяц назад +2

      Watu wanaongozwa na mihemko. Tusipende kuhukumu. Hamjui dada wa watu alipitia Nini. Maisha ya Shusho mwachieni yeye na MUNGU wake

    • @ummusalamameena8714
      @ummusalamameena8714 Месяц назад +1

      @violettemitchel6772 exactly

    • @Rizikiskitchen
      @Rizikiskitchen Месяц назад

      Labda sijui kama umeokoka ao la? Ila Ungelikua umeokoka, I think you should have understood some of the comments here. Uyu binti angelikua kaharibika sifa zingelienda kwa mama yake eti mtoto wa Christina Shusho kaharibikaaaa. So try to understand some of the comments. Thanks!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад +1

    Upuuzi na unafiki😢😢

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Месяц назад

    Sio suala la kuzaa ,wewe hauna yesu,shikamoo inatoka ukumbini au ipo moyoni ,upandacho utavuna

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад +1

      Ko wewe ndo una yesu peke yako

  • @HadijaMmbaga-q4x
    @HadijaMmbaga-q4x Месяц назад +9

    Sasa atasema nin wakat yeue mwenyew katok kwa ndoa han hata ujasir wa kumwambia chochote

    • @judithuwamwiza5709
      @judithuwamwiza5709 Месяц назад

      Basi asingeenda mbere jamani

    • @JoelinaPareso
      @JoelinaPareso Месяц назад +1

      Alichosema ni kwamba shikamoo ziongezeke jamani

    • @peterludovick7020
      @peterludovick7020 Месяц назад

      Hizo shikamoo zinamjenga vipi huyo mtoto? Au zimampatia funzo gani katika maisha anayokwenda kuishi na huyo mwenzake? @ Joelina Pareso

  • @patriciah999
    @patriciah999 Месяц назад +1

    Eeeeeh sijui...

  • @JacquelineMueni-q9d
    @JacquelineMueni-q9d Месяц назад

    Hongera

  • @MwalimuPastorSam
    @MwalimuPastorSam Месяц назад +11

    Dada Christina JIANGALIE,JIANGALIE TENA, JIHOJI,JITAFAKARI NA JIELEWE! UMEONGEA NINI?😢😢. SHETANI ANAZIDI KUKUANIKA HADHARANI?. RUDI KWA YESU. REJEA KWA YESU. HAJAWAHI HUYU YESU KUMKATAA MTU AREJEAYE. NJOO KWA YESU CHRISTINA

    • @annekagiri4303
      @annekagiri4303 Месяц назад +1

      Is this how to do evangelism?

    • @EstherCharo-lc3md
      @EstherCharo-lc3md Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Rizikiskitchen
      @Rizikiskitchen Месяц назад

      Kabisa huyu mama ajiangalie sana anakokwenda sio pazuri. Hata sijaelewa alichokiongea kabisa 😢

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 Месяц назад +1

      Mzee shusho hongera sana kwa ulichokiongea siku ya harusi ya mwanao. Mungu akubariki baba uwaoze mabinti zako wote. Amen

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 Месяц назад +1

      Ongera sn dd kristina kwa kuozesha

  • @UgwuEmmanuel-u3v
    @UgwuEmmanuel-u3v Месяц назад +2

    Upuuzi

  • @CeciliaJoel-ty5eb
    @CeciliaJoel-ty5eb Месяц назад +2

    Du nimeshangaa mno shikamooo ndio n n

  • @fatmamussa6134
    @fatmamussa6134 Месяц назад +4

    Kwanza nicheke😂😂😂😂mama WA hovyo Sana huyo kivuluge Dada msikilize Sana baba yako utakua na ndoa yenye amani

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg Месяц назад

      @@fatmamussa6134 yaan mama anaomb shikamoo utafikil hawah zipata jmn hat kama waliachan alitakiwa aseme mwanangu nenda kajenge familia ukawe mke Bora kamtunze mumeo hata angeseme kushindwa kwangu sio kushindwa kwako au angeseme maombi ndio siraha ya ndoa yaan utafikil mupagani wakati yeye mwenyew mumchungaji

  • @juniormalili6042
    @juniormalili6042 Месяц назад

    Mapenzi ni hisia ,waacheni kila mmoja ana jeraha lake ,waacheni ,mtu aishi mara mbili ,acheni kuwajadili kwa mabaya hamjui yanayowasibu kama mnawapenda waombeeni wapate healing ,ila ndoa sio mchezo walio ndani ya ndoa wanaelewa , kama haupo ndani ya field ni kheri kukaa kimya subiria yakwako

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 Месяц назад

    Hata Hata ujasiri yakuongea

  • @julieg7206
    @julieg7206 Месяц назад +1

    Mbona ndoa ikianguka mwanamke ndie wa kwanza kulaumiwa na akivumilia mateso mwishowe kauawa tena mwamlaumu? Jamani kipi chema?

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Месяц назад

    Christina kaaibika, yaani Askofu wa watu kaongezeka, huyo Mama mzinzi kashuka

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Месяц назад

    SASA WE MAMA HAPO UMEMSHAURI NINI MTOTO? .. HAPA KWA UPANDE WA MAMA KAZI IPO😢..

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Месяц назад

    Hii ndo ILE MUNGU ALISEMA NDOA NI FAMILIA , ATA MTOTO MWENYEWE ALIKUWA ANAMSHANGAA MAMA MTU , ILA JAMAN WAZAZI MMMMM

  • @jonastsokitsongo4667
    @jonastsokitsongo4667 Месяц назад

    Maman shusho, fundisho gani unampa msichana wako. Ila, unahitajika kurudi katika njia sahihi ili uwemfano mwema kwa msichana wako. Nafasi ingalipo

  • @visionsmart8874
    @visionsmart8874 Месяц назад +5

    Mwanamke wa hovyo

  • @CosmasLeza
    @CosmasLeza Месяц назад +1

    Sasa angesemaje jaman hakuna hata lakuzungumza

  • @Jenifajerad
    @Jenifajerad Месяц назад +15

    Masikini hana ata lakumfunza mwanaeee😢😢😢😢😢

  • @RehemaMrope-n4s
    @RehemaMrope-n4s Месяц назад +3

    Unafki2 aripokua akiongea mzee mambo yabusara mlikaa kimya saizi uyo kichwa maji wenu kaamka mnamsapoti acheni unafk

  • @ScolaKiondo
    @ScolaKiondo Месяц назад

    Aongee nn sasa pindi kamfunza mengi hd kuolewa ..ndoa si andanzi kusema kila mtu atakula

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Месяц назад +8

    huyu kichwan kumejaa moshi

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Месяц назад +1

      sio moshi bwana ni ukungu, Moshi ni our favorate home

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Месяц назад

      ​@@julianapeason6254nilikuwa niseme hivyo pia 😅😅

    • @peterludovick7020
      @peterludovick7020 Месяц назад

      @Wilfred Kumejaa hewa chafu Co2 yaani mpaka watoto wadogo wanamshinda akili sijui ni nini kimemkuta huyu dada

  • @mbatemgingamwita5944
    @mbatemgingamwita5944 Месяц назад +3

    Hakika dada umefeli sana, basi itoshe kusema hivyo tu sikuhukumu, niseme neno moja tena siyo mimi lakini neno la hekima la sijui sasa niseme mzazi mwenzio sijui niseme mme wako sijui niseme x wako dah!!! Mungu anahusika katika semi zako? Na matendo yako? Mungu akusaidie hakika umeboa saana.

  • @carolinenerima9023
    @carolinenerima9023 Месяц назад +2

    Na ako na wafuasi wa kidevo ameandamana naye,yesu yupi,Yesu ulishamtoroka wewe, confidence ya Mungu imemtoka!

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 Месяц назад +1

    Mtoto hana cha kujifunza kwa mamake yaani alivyoongea tu hana upako tena

  • @visionsmart8874
    @visionsmart8874 Месяц назад +3

    Unaona ulivyo mjinga

  • @ChristinaCharles-r3z
    @ChristinaCharles-r3z Месяц назад +1

    Mama ni mama aisee❤❤❤❤❤ Shusho

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 Месяц назад

    Enjoy mama

  • @carolinenerima9023
    @carolinenerima9023 Месяц назад

    Hata mwanawe anashangazwa jinsi mamake kageuka kitu kingine tu.....jamani!!

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 Месяц назад

    Mmh sina la kuongeza ila.muoaji usijisahau sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад +1

    ANAJITOWA KIMASOMASO. 😢

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 Месяц назад

    Mungu akusamehe Yani shikamoo ndiyo mafunzo kwa mwanao?

  • @NeemaNicodem-d9z
    @NeemaNicodem-d9z Месяц назад

    Bachelor hawezi kumshauri mwanandoa hasa pale anapokuwa mzazi

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn Месяц назад

    Unajikakamuuuaaaa... Acha kiburi cha uzima! Unajikaza tu Christina, Ila moyoni unahukumiwa. Wanawake nyie mmmmmh

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q Месяц назад

    Mmmmmmmm haya

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Месяц назад

    Hao wanao piga kelele kwa shisho wameolewa kweli?

  • @pastorlazarosamwelkilala5795
    @pastorlazarosamwelkilala5795 Месяц назад

    WAZAZI TUNA KITU CHA KUJIFUNZA HATA KAMA MLISHA ACHANA NA MME WAKO NA MKE WAKO MNA SHINDWA KUSEMA KAMA WAZAZI WA MTOTO

  • @annarulanyaga
    @annarulanyaga Месяц назад +2

    Yaani hadi kuna kaukuta kati yake na mtoto yani no hug eti kagonga tu vitu vingi vimeonyesha Christina amepoteza kitu kikubwa

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Месяц назад

    Sio yeye ni aibu na pepo

  • @nuswemwakasala8687
    @nuswemwakasala8687 Месяц назад

    Kivulugeeeee

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je Месяц назад

    Mc ni mtangazaji wa clouds

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 Месяц назад

    utaongea nini sasa wewee mama

  • @gwakisanoah2538
    @gwakisanoah2538 Месяц назад

    Hivi hiki ndicho alichoongea!!? Au clip ilkatwa? Au nimesikia vibaya!!! Something wrong with this girl (mama hawezi kuwa hivi)

  • @GreenerMichael
    @GreenerMichael Месяц назад

    Had aibu

  • @BethKiarie-lu8zh
    @BethKiarie-lu8zh Месяц назад

    Huyu dada asiwe kaa mamake

  • @NeemaAlula
    @NeemaAlula Месяц назад

    barikiwa sana

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 Месяц назад +3

    Anaomba shikamoo

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq Месяц назад

    Hawa kina shusho wa wapi mbona kama Kiswahili wanaongea kwa mbwembwe za kiulaya ulaya😊

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 Месяц назад

    Duh

  • @christinemulanga3863
    @christinemulanga3863 Месяц назад +1

    Waah..ushauri WA mama kwa mwanawe hakuna jamani dadangu!!?

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Месяц назад

    Gal don't be like your mama

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 Месяц назад

    Mengi huna maana wewe mwenyewe kunguru hafugiki umekimbia ndoa

    • @annarulanyaga
      @annarulanyaga Месяц назад

      Hata angesema mengi baba amesema mimi nakutakia tu ndoa njema zingatia yote baba aliyosema! Ila anajiona binti kama ndoa ya mwanaye ndio imemkuza kwani shikamoo hadi uozeshe? Shikamoo mshangazi unapata hata haujaozesha hiyo kama kauli ya kaumalaya eti shikamoi ziongezeke mimi sijaozesha ila umri unafanya shikamoo ziko nyingi tu na wewe unaeza kuwa age mate wangu

  • @stephenmoshi1993
    @stephenmoshi1993 Месяц назад

    Chizi huyu

  • @josphineondiek3153
    @josphineondiek3153 29 дней назад

    Eeee I've nothing against Shusho but Kindly, go back to your marriage.

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Месяц назад +3

    Yeye ameshindwa ndoa atamtunda nini? kaja kama mpita njia looh

    • @annekagiri4303
      @annekagiri4303 Месяц назад +1

      Yeye ndiye mama mzazi wa msichana..njinyonge.

    • @tunudachitalks6575
      @tunudachitalks6575 Месяц назад

      Hivi mnadhani kuvunja ndoa ni mwanamke tu ndo huwa anahusika? Kitanda usichokilalia kunguni wake huwajui tusiyaangalie mambo kwa mitizamo ya nje na jamii iko tayari mtu afe ndo waseme hee si angeondoka jamani. Tuwache kuhukumu

    • @magrethsanga942
      @magrethsanga942 Месяц назад

      Ila jamni dah huyu dada kanibrok kwenye insta yake pumbafu kabisaaaa kumuacha mzee shusho kudanga tuuu

    • @peterludovick7020
      @peterludovick7020 Месяц назад

      @ Tunu, Hakuna anayemhukumu mtu ila kwa mtazazamo wako hapo unajifunza nini? Tuache ushabiki ungefurahi kama ungeona watu wakimsifia kwa ushauri aliyoutoa kwa mwanae? Kweli? Jamani!? Embu jifunze jambo kuwa ukiona unasemwa sana na watu tafiti ujue wapi unakosea kwani Mungu huwatumia haohao watu kama malaika kwako, na hakuna aliyemtumaini Mungu ukweli akamuaibisha. Hapo huyo mama wa mtoto kaanza kupata aibu

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Месяц назад

    Mi huyu Dada si jui kilimpata nini manake Mume wake anaonekana ni mtaratibu mwenye hekima sana na watoto washakuwa kama hivi bado mama unawakatisha tamaa Kwa kweli . Mungu hapendi hata kidogo

  • @VirginiaMuthoki-wt6ig
    @VirginiaMuthoki-wt6ig Месяц назад

    Upuzi mwengine is made to intimidate the husband

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Месяц назад +5

    we bibi harusi kuw makini na mafundisho ya mamako,usimsikilize huyo atakupoteza.Anaonekana ni zero brain kabisa huyo.
    Mzee shusho mpige pini asitumie jina lako la shusho kwenye huduma yake
    ubaya ubwela

    • @joreen7603
      @joreen7603 Месяц назад +3

      Isilo lijua saw na usiku wa gizaa na punguza kuukumu maan wew sio mungu

    • @EstherCharo-lc3md
      @EstherCharo-lc3md Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂